If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
WANYAMA WA PORINI
Sarufi |
Mnyambuliko wa Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha. - Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha. - Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini. - Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana. - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Muulize mwenzako angependa umfanyie nini ili afurahi? - Tazama picha ifuatayo kisha usome kifungu kifuatacho. - Shirikiana na mwenzako kusoma kifungu tena ukizingatia maneno anika, anikia, anikwa. - Eleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi kutokana na jinsi maneno hayo yanavyobadilika. - Ukiwa pamoja na mwenzako, someni sentensi zifuatazo. - Shirikiana na mwenzako kueleza maana ya kila sentensi. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 87-88
- Picha - Kifungu cha habari - Orodha ya sentensi - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mnyambuliko wa vitenzi
- Kueleza maana ya kauli mbalimbali
- Kutambua vitenzi katika kauli mbalimbali
- Kueleza maana ya sentensi
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha. - Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha. - Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini. - Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana. - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutokana na sentensi ulizozisoma, mweleze mwenzako maana ya kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa. - Tambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutenda katika jedwali. - Tambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendwa katika jedwali. - Tambua kwa kupigia mstari vitenzi vya hali ya kutendea katika sentensi zifuatazo. - Andika daftarini vitenzi vilivyo katika hali ya kutendwa katika sentensi zifuatazo. |
Vitenzi vya kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa hutumiwa vipi katika sentensi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 88-89
- Jedwali la vitenzi - Orodha ya sentensi - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vitenzi vya kauli mbalimbali
- Kupigia mstari vitenzi vya hali ya kutendea
- Kuorodhesha vitenzi vya hali ya kutendwa
- Kueleza maana ya kauli mbalimbali
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha. - Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha. - Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini. - Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana. - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Shirikiana na mwenzako kujaza mapengo katika jedwali la kauli za vitenzi. - Shirikiana na mwenzako kujaza mapengo katika sentensi zifuatazo kwa kutumia vitenzi sahihi. - Shirikiana na mwenzako kuandika upya sentensi zifuatazo katika kauli ya kutendea. - Tunga sentensi kwa kutumia vitenzi vifuatavyo: jazwa, shika, torokea, nyesha, bebwa. |
Kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa zinatofautiana vipi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 89-90
- Jedwali la vitenzi - Orodha ya vitenzi - Sentensi zenye nafasi za kujaza - Vifaa vya kidijitali |
Kujaza mapengo katika jedwali
- Kujaza vitenzi sahihi katika sentensi
- Kubadilisha sentensi kutoka kauli moja hadi nyingine
- Kutunga sentensi zenye vitenzi mbalimbali
|
|
| 2 | 4 |
AFYA BORA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi. - Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi. - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Je, unapokuwa nyumbani au njiani wewe huzungumza na nani? - Mweleze mwenzako baadhi ya mambo unayopenda kuzungumzia. - Kwa nini si vizuri kuzungumza na mtu yeyote? - Tambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi kwa kumweleza mwenzako mazungumzo katika picha zifuatazo yanafanyika wapi. - Taja miktadha mingine isiyo rasmi ya mazungumzo ambayo unajua. |
Je, unazingatia nini wakati wa kuzungumza na watu mbalimbali?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 91-92
- Picha za watu wakizungumza - Vifaa vya kidijitali - Video ya mazungumzo |
Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi
- Kutaja miktadha mingine isiyo rasmi
- Kueleza mambo ya kuzingatia kwenye mazungumzo
- Kutumia lugha ya upole na heshima
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma. - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. - Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma. - Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua kitabu, gazeti na jarida linalokuvutia maktabani au mtandaoni. - Soma kichwa cha hadithi au habari. - Tazama picha ya hadithi au habari. - Bashiri kitakachotokea katika hadithi au habari. - Soma hadithi au habari uliyochagua. - Tambua msamiati uliotumiwa. - Andika maana ya msamiati huo. - Tunga sentensi ukitumia msamiati uliojifunza. |
Kusoma kwa mapana kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93
- Vitabu - Magazeti - Majarida - Vifaa vya kidijitali |
Kuchagua matini ya kusoma
- Kutambua msamiati mpya
- Kutafuta maana ya msamiati
- Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |

- Wasimulie wenzako kuhusu hadithi au habari uliyoisoma kwenye kitabu, gazeti, jarida au mtandao ukizingatia hatua hizi: -a) Habari uliyoisoma ilihusu nini? -b) Ni nini kilichotendeka mwanzoni mwa hadithi au habari? -c) Ni nini kilichotendeka katikati? -d) Hadithi au habari ilimalizika namna gani? -e) Ulijifunza nini kutokana na hadithi au habari hiyo? - Tafuta habari kuhusu afya kwenye mtandao salama kisha usome. - Waeleze wenzako kwa kifupi kile ulichokisoma. |
Je, unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93-94
- Vifaa vya kidijitali - Mtandao salama - Shajara ya kusoma - Vitabu vya hadithi |
Kusimulia habari iliyosomwa
- Kutaja mafunzo katika hadithi
- Kujaza shajara ya kusoma
- Kutoa muhtasari wa habari
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha. - Kutambua vinyume vya nomino katika matini. - Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino ipasavyo. - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Orodhesha nomino za A na B. - Umetambua nini kuhusu nomino za A zikilinganishwa na za B? Mweleze mwenzako. - Kutokana na nomino ulizozisoma, eleza maana ya kinyume cha nomino. - Shirikiana na mwenzako kutambua kinyume cha kila nomino kwenye jedwali. - Shirikiana na mwenzako kuandaa orodha ya vinyume vya nomino za vitu halisi mnavyoweza kutambua. |
Matumizi ya vinyume vya nomino huchangia vipi katika ukuzaji wa lugha?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 97-98
- Jedwali la nomino - Kapu maneno - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vinyume vya nomino
- Kuorodhesha vinyume vya nomino
- Kueleza maana ya kinyume cha nomino
- Kutoa mifano ya vinyume vya nomino
|
|
| 4 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini. - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tambua insha ya maelezo kwa kusoma kielelezo kifuatacho. - Shirikiana na mwenzako kujadili insha uliyoisoma kwa kuzingatia yafuatayo: anwani, tahajia, mpangilio wa aya, hati safi, uakifishaji, ubunifu. - Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu Maji kwa kujibu maswali kama vile: Maji hupatikana wapi? Maji hutumiwa vipi? Maji huhifadhiwa wapi? Njia za kuzuia matumizi mabaya ya maji ni zipi? Kwa nini maji ni muhimu maishani? |
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94-95
- Mfano wa insha ya maelezo - Vifaa vya kidijitali - Vidokezo vya insha |
Kutambua sifa za insha ya maelezo
- Kujadili mfano wa insha
- Kuandaa vidokezo vya insha
- Kueleza mambo ya kuzingatia
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi. - Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi. - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama maigizo ya mazungumzo kuhusu Lishe bora kwenye video au tarakilishi yaliyoandaliwa na mwalimu. - Je, ni maneno gani ya upole na heshima yaliyotumiwa katika mazungumzo uliyoyatazama? - Waeleze wenzako kwa nini wanafaa kuzingatia mambo yafuatayo katika mazungumzo: - a) kutumia lugha ya upole na heshima. - b) kumpa mwenzako nafasi ya kuzungumza. - c) kusikiliza kwa makini mwenzako anapozungumza. - Ukiwa na wenzako, igizeni mazungumzo ya mtoto na mzazi. |
Kwa nini ni muhimu kutumia lugha ya upole katika mazungumzo?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 92-93
- Video ya mazungumzo - Vifaa vya kidijitali - Shajara ya tathmini |
Kuigiza mazungumzo
- Kutambua maneno ya upole
- Kuzingatia nidhamu ya lugha
- Kujitathimini katika mazungumzo
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma. - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. - Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma. - Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chora jedwali linalofuata kwenye kitabu maalum. Kila ukisoma hadithi au habari lijaze ili kuweka rekodi ya mambo uliyosoma. - Jadili na wenzako matini ambayo umesoma. - Eleza ujumbe wa matini uliyosoma. - Tambua na andika daftarini msamiati mpya kutoka matini uliyosoma. - Tumia kamusi kutafuta maana ya msamiati mpya. - Tunga sentensi ukitumia msamiati mpya uliotambua. |
Kusoma matini ya kidijitali kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94
- Shajara ya kusoma - Kamusi - Vifaa vya kidijitali - Mtandao salama |
Kujaza shajara ya kusoma
- Kutambua msamiati mpya
- Kutafuta maana ya msamiati
- Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha. - Kutambua vinyume vya nomino katika matini. - Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino ipasavyo. - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tunga sentensi sahihi ukitumia vinyume vya nomino ulizotambua kwenye jedwali katika Shughuli ya 2. - Taja nomino zenye vinyume katika mazingira yako. - Tumia nomino hizo na vinyume vyake kutunga sentensi. - Nakili daftarini shajara ifuatayo kisha uweke alama ✓ panapofaa ili kupima uwezo wako wa kutumia vinyume vya nomino katika mawasiliano. - Jadili na wenzako juu ya matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano. |
Vinyume vya nomino vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 98-99
- Orodha ya nomino - Shajara ya tathmini - Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye vinyume vya nomino
- Kutaja nomino zenye vinyume
- Kujitathimini katika kutumia vinyume
- Kujadili umuhimu wa vinyume vya nomino
|
|
| 5 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini. - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Andika insha ya maelezo kuhusu Maji. Tumia vidokezo ulivyoandaa na mwenzako. Zingatia: lugha sahihi, uakifishaji ufaao, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo, maelezo yenye matumizi ya methali na nahau. - Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili wakupe maoni. - Andike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa na mwenzako. - Iweke nakala safi ya insha yako kwenye potifolio na uwasilishe kwa mwalimu ili akupe maoni yake. - Andika insha ya maelezo kuhusu Michezo. |
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 96
- Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia - Potifolio - Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya maelezo
- Kusomea wenzake insha
- Kuboresha insha kutokana na maoni
- Kuhifadhi insha kwenye potifolio
|
|
| 5 | 2 |
KUKABILIANA NA UHALIFU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Tashbihi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha. - Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini. - Kutumia tashbihi za kimo na umbo kwa usahihi katika sentensi. - Kufurahia matumizi ya tashbihi za kimo na umbo katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kuelezea maana ya tashbihi. - Kutambua tashbihi za kimo na umbo kama "mrefu kama twiga," "mfupi kama nyundo," "mwembamba kama sindano," "konda kama ng'onda" katika vitabu, chati au vyombo vya kidijitali. - Kurejelea picha au michoro kwenye chati au tarakilishi ili kutumia tashbihi zifaazo kutolea maelezo. - Kutunga sentensi akitumia tashbihi za kimo na umbo akiwa peke yake au katika vikundi. - Kukamilisha sentensi zinazolinganisha vitu viwili kwa kutumia tashbihi za kimo na umbo. |
Matumizi ya tashbihi yana umuhimu gani katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 100
Kadi za tashbihi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua tashbihi katika tungo za fasihi simulizi
Kueleza matumizi ya tashbihi
Kutunga tashbihi
Kutofautisha tashbihi na semi zingine
|
|
| 5 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Nyakati na hali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali. - Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi. - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa. - Kusoma matini lengwa ili kupata ujumbe. - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao. - Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kuifungua na kuifunga. - Kutambua mitandao salama yenye matini yanayoafiki kiwango na mahitaji yake. - Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao. - Kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni. - Kusoma matini kwenye tovuti salama. - Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake. |
Unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 103
Tarakilishi/vipakatalishi Matini za kusoma zinazohusu kukabiliana na uhalifu Kamusi za mtandaoni KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 107 Chati ya viambishi vya nyakati Kadi za maneno za vitenzi Vifaa vya kidijitali Sentensi zenye vitenzi vya nyakati tofauti |
Kutambua hatua za usalama mtandaoni
Kufungua na kufunga faili ipasavyo
Kusakura matini salama mtandaoni
Kutoa muhtasari wa matini aliyosoma
Kujibu maswali kutoka kwenye matini
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Nyakati na hali
Kuandika Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua viambishi vya nyakati kwenye vitenzi. - Kutambua vitenzi katika nyakati tofauti hali ya kuendelea kwenye matini. - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea. - Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini. - Kuandike upya sentensi katika wakati mmoja hali ya kuendelea ziwe katika nyakati tofauti hali ya kuendelea daftarini. - Kusoma na kutambua vitenzi vinavyoonyesha nyakati mbalimbali katika matini inayohusu kukabiliana na uhalifu. - Kubadilisha sentensi zenye vitenzi vya wakati uliopita hadi wakati uliopo na ujao. |
Je, mabadiliko ya nyakati za vitenzi huathiri vipi maana ya ujumbe?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 108
Tarakilishi/vipakatalishi Matini zenye vitenzi vya nyakati tofauti Chati ya viambishi vya nyakati KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 105 Mifano ya insha za masimulizi Chati ya muundo wa insha ya masimulizi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi katika nyakati tofauti
Kubadilisha sentensi kutoka wakati mmoja hadi mwingine
Kutambua vitenzi vya nyakati tofauti kwenye matini
Kutumia vitenzi vya nyakati mwafaka kuwasilisha ujumbe
|
|
| 6 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Tashbihi
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha. - Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini. - Kutumia tashbihi za kimo na umbo kwa usahihi katika sentensi. - Kufurahia matumizi ya tashbihi za kimo na umbo katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza hadithi fupi inayohusisha masuala ya uhalifu na kusikia jinsi tashbihi zinavyotumika kutolea maelezo. - Kutumia tashbihi kwa usahihi kuelezea watu wanaohusika na uhalifu. - Kutunga sentensi zenye tashbihi za maumbile za watu mbali mbali anaowafahamu. - Kubuni hadithi fupi akitumia tashbihi za kimo na umbo. - Kumweleza mzazi/mlezi wake tashbihi alizozifunza na kufanya zoezi la kutumia tashbihi nyumbani. |
Ni tashbihi gani zinazotumika kuelezea watu wanaohusika na uhalifu?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 101
Picha za watu wa maumbile tofauti Vifaa vya kidijitali Hadithi fupi zenye tashbihi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 104 Tarakilishi/vipakatalishi zilizo na matini zinazohusu kukabiliana na uhalifu Picha zinazoonyesha aina za uhalifu Kamusi |
Kutunga sentensi zenye tashbihi
Kuelezea maumbile ya watu kwa kutumia tashbihi
Kushiriki katika kubuni hadithi fupi
Kutumia tashbihi katika mawasiliano ya kila siku
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Nyakati na hali
Kuandika Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua viambishi vya nyakati kwenye vitenzi. - Kutambua vitenzi katika nyakati tofauti hali ya kuendelea kwenye matini. - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea. - Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga kifungu kifupi kuhusu kukabiliana na uhalifu akitumia vitenzi vya nyakati mbalimbali hali ya kuendelea. - Kuwasomea wenzake kifungu alichotunga. - Kutambua vitenzi vya nyakati mbalimbali kutoka kwenye kifungu kilichosomwa na mwenzake. - Kubadilisha kifungu kutoka wakati mmoja hadi wakati mwingine. - Kutathmini kazi yake na ya wenzake kwa kutumia orodha hakiki inayojumuisha utumiaji wa nyakati. |
Ni wakati upi unaofaa kutumika katika kuelezea tukio la uhalifu lililotokea?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 109
Orodha hakiki ya matumizi ya nyakati Vifungu vya habari vya uhalifu Matini ya mwalimu KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 106 Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za masimulizi Orodha hakiki ya vipengele vya insha ya masimulizi |
Kutunga kifungu kifupi kuhusu uhalifu
Kutambua vitenzi vya nyakati mbalimbali
Kubadilisha kifungu kutoka wakati mmoja hadi mwingine
Kutathmini kazi kwa kutumia orodha hakiki
|
|
| 6 | 3 |
MAPATO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha mbele ya wenzake. - Kutumia ishara zifaazo ili kuimarisha masimulizi yake. - Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikilize masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali. - Kubuni simulizi linalohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana na wenzake. - Kutoa maelezo kuhusu mada lengwa (k.v. jinsi ya kujipatia riziki, Jinsi ya kutumia mapato yake, n.k.). - Kutumia ishara za mwili zifaazo k.v ishara za uso, za mikono, mabega kuimarisha masimulizi yake. - Kujadiliana na wenzake kuhusu ubora wa masimulizi aliyosikiliza. |
Je, ni nini unachozingatia unapotoa simulizi?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 112
Picha/michoro kuhusu mapato Vifaa vya kidijitali Mifano ya simulizi |
Kushiriki mjadala
Matamshi bora ya maneno
Utetezi wa hoja kwa lugha ya adabu
Kutumia lugha ya ushawishi
Kutumia ishara za mwili
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufasaha
Ukanushaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuambatanisha ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha. - Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. - Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo). - Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno yasiyopungua 75 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) ili wenzake wamtolee maoni. |
Kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 114
Vifungu vya hadithi kuhusu mapato Vifaa vya kidijitali Chati ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 118 Chati ya viambishi vya ukanushaji Kadi maneno |
Kusoma kwa kutambua habari mahususi
Kujibu maswali
Kupanga matukio kwa mtiririko sahihi
Kufanya tathmini
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji ili kuubainisha. - Kutambua maneno yaliyokanushwa katika kundi la maneno. - Kutambua viambishi vya nafsi na wakati katika maneno. - Kukanusha maneno na sentensi kwa kuzingatia nafsi na wakati katika mawasiliano. - Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuwasilisha sentensi zake darasani ili wenzake wazitathmini. - Kufanya mazoezi ya kukanusha sentensi akizingatia mada ya mapato. - Kubadilisha sentensi zenye vitenzi katika hali ya kutenda kuwa katika hali ya kukanusha. - Kutumia ukanushaji katika mawasiliano ya kawaida darasani. |
Kukanusha maneno na sentensi kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 119
Orodha ya sentensi zenye vitenzi katika hali ya kutenda Vifaa vya kidijitali Mifano ya sentensi ziliziokanushwa KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 120 Jedwali la viambishi vya ukanushaji Orodha ya sentensi za kukanusha |
Kubadilisha sentensi za kutenda kuwa za kukanusha
Kutambua viambishi vya ukanushaji
Kutunga sentensi zenye vitenzi katika hali ya kukanusha
Kuwasiliana kwa kutumia sentensi zenye ukanushaji
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
|
Ukubwa wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukubwa wa nomino ili kuubainisha. - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja. - Kutambua nomino katika hali ya ukubwa. - Kubadilisha nomino kutoka hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa. - Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi. - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mti, mto, mji) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu maneno au kifaa cha kidijitali. - Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa. - Kushiriki katika mchezo wa vikundi; kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino na kingine kitaje ukubwa wa nomino hiyo. - Kuburura na kuambatanisha orodha ya nomino katika hali ya ukubwa na orodha nyingine ya nomino katika hali ya wastani kwenye tarakilishi. |
Kutaja nomino katika ukubwa wake kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 121
Orodha ya nomino za wastani na ukubwa Vifaa vya kidijitali Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na ukubwa |
Kujaza pengo kwa nomino za ukubwa
Kuuliza maswali na kutoa majibu
Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa
Kufanyiana tathmini
|
|
| 7 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo. - Kuandika barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kuchangamkia umuhimu wa barua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Aandae vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. - Kushirikiana na wenzake kujadili mada ya barua ya kirafiki na vipengele vyake. - Kuandika barua ya kirafiki daftarini yenye kuzingatia mada ya mapato kwa rafiki, ndugu, mzazi n.k. kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu. |
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 116
Mifano ya barua za kirafiki Mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki
Kuchora muundo wa barua ya kirafiki
Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki
Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kirafiki
|
|
| 7 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha mbele ya wenzake. - Kutumia ishara zifaazo ili kuimarisha masimulizi yake. - Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua mada inayohusu mapato kama "Jinsi ya kupata na kutumia mapato". - Kuandaa hoja za masimulizi yake akitumia mchoro wa kiakili. - Kusimulia kisa kuhusu mapato mbele ya darasa akitumia lugha fasaha, ishara za mwili zifaazo na usanifu wa lugha. - Kujibu maswali kutoka kwa wenzake kuhusu masimulizi yake. - Kutoa maoni kuhusu masimulizi ya wenzake kwa heshima na upendo. |
Masimulizi mazuri kuhusu mapato yanapaswa kujumuisha mambo gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 113
Mchoro wa kiakili Vifaa vya kidijitali Picha kuhusu mapato KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 115 Hadithi zinazohusiana na mapato Kamusi |
Utungaji wa masimulizi
Uwasilishaji wa masimulizi
Matumizi ya ishara za mwili
Ujibu wa maswali
Kutoa maoni kwa heshima
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Ukubwa wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukubwa wa nomino ili kuubainisha. - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja. - Kutambua nomino katika hali ya ukubwa. - Kubadilisha nomino kutoka hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa. - Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi. - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi zinazorejelea nomino lengwa katika ukubwa akiwa peke yake au kwenye vikundi. - Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa katika sentensi. - Kutoa maana ya nomino katika hali ya ukubwa. - Kutunga hadithi fupi akitumia nomino katika hali ya ukubwa. |
Ni nomino zipi zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 122
Kadi za nomino za wastani na ukubwa Chati ya nomino za wastani na ukubwa Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za ukubwa |
Kutambua nomino za ukubwa
Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi ukubwa
Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa
Kutoa maana za nomino za ukubwa
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Udogo wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya udogo wa nomino ili kuubainisha. - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja. - Kutambua nomino katika hali ya udogo. - Kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya udogo. - Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi. - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mti, mto, mji) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu maneno au kifaa cha kidijitali. - Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya udogo. - Kushiriki katika mchezo wa vikundi; kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino na kingine kitaje udogo wa nomino husika. - Kuburura na kuambatanisha orodha ya nomino katika hali ya udogo na orodha nyingine ya nomino katika hali ya wastani kwenye tarakilishi. |
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 123
Orodha ya nomino za wastani na udogo Vifaa vya kidijitali Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na udogo |
Kutambua nomino katika hali ya udogo
Kubadilisha nomino za wastani kuwa za udogo
Kutunga sentensi zenye nomino za udogo
Kufanyiana tathmini
|
|
| 8 | 3 |
Sarufi
|
Udogo wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya udogo wa nomino ili kuubainisha. - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja. - Kutambua nomino katika hali ya udogo. - Kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya udogo. - Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi. - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi zinazorejelea nomino lengwa katika udogo akiwa peke yake au kwenye vikundi. - Kutofautisha kati ya nomino katika hali ya wastani, ukubwa na udogo. - Kubadilisha sentensi zenye nomino za wastani hadi kuwa zenye nomino za udogo. - Kutunga hadithi fupi akitumia nomino katika hali ya udogo zinazohusu mapato. |
Ni tofauti zipi kati ya nomino za ukubwa na udogo?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 124
Kadi za nomino za wastani, ukubwa na udogo Jedwali la mifano ya nomino za wastani, ukubwa na udogo Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za udogo |
Kutofautisha kati ya nomino za wastani, ukubwa na udogo
Kutunga sentensi zenye nomino za udogo
Kubadilisha sentensi zenye nomino za wastani kuwa za udogo
Kutunga hadithi fupi yenye nomino za udogo
|
|
| 8 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo. - Kuandika barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kuchangamkia umuhimu wa barua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kifaa cha kidijitali kuandika insha ya barua kuhusu kupigana na umasikini. - Kuandika barua ya kirafiki mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini. - Kuwasomea wenzake barua ya kirafiki aliyoandika ili waitathmini. - Kushirikiana na wenzake katika vikundi kujadili kuhusu umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano. |
Barua za kirafiki zina umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 117
Vifaa vya kidijitali Mifano ya barua za kirafiki Matini ya mwalimu |
Kuandika barua ya kirafiki
Kusomeana barua za kirafiki
Kufanya tathmini
Kutoa maoni kuhusu barua za wenzake
|
|
| 9 |
End term assessment |
||||||||
Your Name Comes Here