Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
AFYA BORA

Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi.
- Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi.
- Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Je, unapokuwa nyumbani au njiani wewe huzungumza na nani?
- Mweleze mwenzako baadhi ya mambo unayopenda kuzungumzia.
- Kwa nini si vizuri kuzungumza na mtu yeyote?
- Tambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi kwa kumweleza mwenzako mazungumzo katika picha zifuatazo yanafanyika wapi.
- Taja miktadha mingine isiyo rasmi ya mazungumzo ambayo unajua.
Je, unazingatia nini wakati wa kuzungumza na watu mbalimbali?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 91-92
- Picha za watu wakizungumza
- Vifaa vya kidijitali
- Video ya mazungumzo
Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi - Kutaja miktadha mingine isiyo rasmi - Kueleza mambo ya kuzingatia kwenye mazungumzo - Kutumia lugha ya upole na heshima
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma.
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
- Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua kitabu, gazeti na jarida linalokuvutia maktabani au mtandaoni.
- Soma kichwa cha hadithi au habari.
- Tazama picha ya hadithi au habari.
- Bashiri kitakachotokea katika hadithi au habari.
- Soma hadithi au habari uliyochagua.
- Tambua msamiati uliotumiwa.
- Andika maana ya msamiati huo.
- Tunga sentensi ukitumia msamiati uliojifunza.
Kusoma kwa mapana kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93
- Vitabu
- Magazeti
- Majarida
- Vifaa vya kidijitali
Kuchagua matini ya kusoma - Kutambua msamiati mpya - Kutafuta maana ya msamiati - Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
2 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma.
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
- Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Wasimulie wenzako kuhusu hadithi au habari uliyoisoma kwenye kitabu, gazeti, jarida au mtandao ukizingatia hatua hizi:
-a) Habari uliyoisoma ilihusu nini?
-b) Ni nini kilichotendeka mwanzoni mwa hadithi au habari?
-c) Ni nini kilichotendeka katikati?
-d) Hadithi au habari ilimalizika namna gani?
-e) Ulijifunza nini kutokana na hadithi au habari hiyo?
- Tafuta habari kuhusu afya kwenye mtandao salama kisha usome.
- Waeleze wenzako kwa kifupi kile ulichokisoma.
Je, unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93-94
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao salama
- Shajara ya kusoma
- Vitabu vya hadithi
Kusimulia habari iliyosomwa - Kutaja mafunzo katika hadithi - Kujaza shajara ya kusoma - Kutoa muhtasari wa habari
2 4
Sarufi
Vinyume vya Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.
- Kutambua vinyume vya nomino katika matini.
- Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino ipasavyo.
- Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Orodhesha nomino za A na B.
- Umetambua nini kuhusu nomino za A zikilinganishwa na za B? Mweleze mwenzako.
- Kutokana na nomino ulizozisoma, eleza maana ya kinyume cha nomino.
- Shirikiana na mwenzako kutambua kinyume cha kila nomino kwenye jedwali.
- Shirikiana na mwenzako kuandaa orodha ya vinyume vya nomino za vitu halisi mnavyoweza kutambua.
Matumizi ya vinyume vya nomino huchangia vipi katika ukuzaji wa lugha?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 97-98
- Jedwali la nomino
- Kapu maneno
- Kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua vinyume vya nomino - Kuorodhesha vinyume vya nomino - Kueleza maana ya kinyume cha nomino - Kutoa mifano ya vinyume vya nomino
3 1
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tambua insha ya maelezo kwa kusoma kielelezo kifuatacho.
- Shirikiana na mwenzako kujadili insha uliyoisoma kwa kuzingatia yafuatayo: anwani, tahajia, mpangilio wa aya, hati safi, uakifishaji, ubunifu.
- Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu Maji kwa kujibu maswali kama vile: Maji hupatikana wapi? Maji hutumiwa vipi? Maji huhifadhiwa wapi? Njia za kuzuia matumizi mabaya ya maji ni zipi? Kwa nini maji ni muhimu maishani?
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94-95
- Mfano wa insha ya maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Vidokezo vya insha
Kutambua sifa za insha ya maelezo - Kujadili mfano wa insha - Kuandaa vidokezo vya insha - Kueleza mambo ya kuzingatia
3 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi.
- Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi.
- Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama maigizo ya mazungumzo kuhusu Lishe bora kwenye video au tarakilishi yaliyoandaliwa na mwalimu.
- Je, ni maneno gani ya upole na heshima yaliyotumiwa katika mazungumzo uliyoyatazama?
- Waeleze wenzako kwa nini wanafaa kuzingatia mambo yafuatayo katika mazungumzo:
- a) kutumia lugha ya upole na heshima.
- b) kumpa mwenzako nafasi ya kuzungumza.
- c) kusikiliza kwa makini mwenzako anapozungumza.
- Ukiwa na wenzako, igizeni mazungumzo ya mtoto na mzazi.
Kwa nini ni muhimu kutumia lugha ya upole katika mazungumzo?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 92-93
- Video ya mazungumzo
- Vifaa vya kidijitali
- Shajara ya tathmini
Kuigiza mazungumzo - Kutambua maneno ya upole - Kuzingatia nidhamu ya lugha - Kujitathimini katika mazungumzo
3 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma.
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
- Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chora jedwali linalofuata kwenye kitabu maalum. Kila ukisoma hadithi au habari lijaze ili kuweka rekodi ya mambo uliyosoma.
- Jadili na wenzako matini ambayo umesoma.
- Eleza ujumbe wa matini uliyosoma.
- Tambua na andika daftarini msamiati mpya kutoka matini uliyosoma.
- Tumia kamusi kutafuta maana ya msamiati mpya.
- Tunga sentensi ukitumia msamiati mpya uliotambua.
Kusoma matini ya kidijitali kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94
- Shajara ya kusoma
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao salama
Kujaza shajara ya kusoma - Kutambua msamiati mpya - Kutafuta maana ya msamiati - Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
3 4
Sarufi
Vinyume vya Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.
- Kutambua vinyume vya nomino katika matini.
- Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino ipasavyo.
- Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tunga sentensi sahihi ukitumia vinyume vya nomino ulizotambua kwenye jedwali katika Shughuli ya 2.
- Taja nomino zenye vinyume katika mazingira yako.
- Tumia nomino hizo na vinyume vyake kutunga sentensi.
- Nakili daftarini shajara ifuatayo kisha uweke alama ✓ panapofaa ili kupima uwezo wako wa kutumia vinyume vya nomino katika mawasiliano.
- Jadili na wenzako juu ya matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano.
Vinyume vya nomino vina umuhimu gani katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 98-99
- Orodha ya nomino
- Shajara ya tathmini
- Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye vinyume vya nomino - Kutaja nomino zenye vinyume - Kujitathimini katika kutumia vinyume - Kujadili umuhimu wa vinyume vya nomino
4 1
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Andika insha ya maelezo kuhusu Maji. Tumia vidokezo ulivyoandaa na mwenzako. Zingatia: lugha sahihi, uakifishaji ufaao, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo, maelezo yenye matumizi ya methali na nahau.
- Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili wakupe maoni.
- Andike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa na mwenzako.
- Iweke nakala safi ya insha yako kwenye potifolio na uwasilishe kwa mwalimu ili akupe maoni yake.
- Andika insha ya maelezo kuhusu Michezo.
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 96
- Vidokezo vya insha
- Karatasi za kuandikia
- Potifolio
- Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha ya maelezo - Kusomea wenzake insha - Kuboresha insha kutokana na maoni - Kuhifadhi insha kwenye potifolio
4 2
KUKABILIANA NA UHALIFU

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Tashbihi
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha.
- Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini.
- Kutumia tashbihi za kimo na umbo kwa usahihi katika sentensi.
- Kufurahia matumizi ya tashbihi za kimo na umbo katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kuelezea maana ya tashbihi.
- Kutambua tashbihi za kimo na umbo kama "mrefu kama twiga," "mfupi kama nyundo," "mwembamba kama sindano," "konda kama ng'onda" katika vitabu, chati au vyombo vya kidijitali.
- Kurejelea picha au michoro kwenye chati au tarakilishi ili kutumia tashbihi zifaazo kutolea maelezo.
- Kutunga sentensi akitumia tashbihi za kimo na umbo akiwa peke yake au katika vikundi.
- Kukamilisha sentensi zinazolinganisha vitu viwili kwa kutumia tashbihi za kimo na umbo.
Matumizi ya tashbihi yana umuhimu gani katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 100
Kadi za tashbihi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 103
Tarakilishi/vipakatalishi
Matini za kusoma zinazohusu kukabiliana na uhalifu
Kamusi za mtandaoni
Kutambua tashbihi katika tungo za fasihi simulizi Kueleza matumizi ya tashbihi Kutunga tashbihi Kutofautisha tashbihi na semi zingine
4 3
Sarufi
Nyakati na hali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vya nyakati kwenye vitenzi.
- Kutambua vitenzi katika nyakati tofauti hali ya kuendelea kwenye matini.
- Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea.
- Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viambishi vinavyobainisha nyakati mbalimbali (uliopita, uliopo na ujao) kwenye sentensi zilizoonyeshwa kwenye chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali.
- Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea katika mazungumzo, kuandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi.
- Kushirikiana na wenzake katika vikundi kutaja sentensi katika wakati fulani na kuzibadilisha katika wakati tofauti hali ya kuendelea.
- Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea.
Ni viambishi vipi hutumika kuwakilisha nyakati mbalimbali katika vitenzi?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 107
Chati ya viambishi vya nyakati
Kadi za maneno za vitenzi
Vifaa vya kidijitali
Sentensi zenye vitenzi vya nyakati tofauti
Kutambua viambishi vya nyakati mbalimbali Kubaini vitenzi katika nyakati tofauti Kutunga sentensi katika nyakati tofauti Kubadilisha sentensi kutoka wakati mmoja hadi mwingine
4 4
Sarufi
Kuandika
Nyakati na hali
Kuandika Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vya nyakati kwenye vitenzi.
- Kutambua vitenzi katika nyakati tofauti hali ya kuendelea kwenye matini.
- Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea.
- Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
- Kuandike upya sentensi katika wakati mmoja hali ya kuendelea ziwe katika nyakati tofauti hali ya kuendelea daftarini.
- Kusoma na kutambua vitenzi vinavyoonyesha nyakati mbalimbali katika matini inayohusu kukabiliana na uhalifu.
- Kubadilisha sentensi zenye vitenzi vya wakati uliopita hadi wakati uliopo na ujao.
Je, mabadiliko ya nyakati za vitenzi huathiri vipi maana ya ujumbe?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 108
Tarakilishi/vipakatalishi
Matini zenye vitenzi vya nyakati tofauti
Chati ya viambishi vya nyakati
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 105
Mifano ya insha za masimulizi
Chati ya muundo wa insha ya masimulizi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi katika nyakati tofauti Kubadilisha sentensi kutoka wakati mmoja hadi mwingine Kutambua vitenzi vya nyakati tofauti kwenye matini Kutumia vitenzi vya nyakati mwafaka kuwasilisha ujumbe
5 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Tashbihi
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha.
- Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini.
- Kutumia tashbihi za kimo na umbo kwa usahihi katika sentensi.
- Kufurahia matumizi ya tashbihi za kimo na umbo katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza hadithi fupi inayohusisha masuala ya uhalifu na kusikia jinsi tashbihi zinavyotumika kutolea maelezo.
- Kutumia tashbihi kwa usahihi kuelezea watu wanaohusika na uhalifu.
- Kutunga sentensi zenye tashbihi za maumbile za watu mbali mbali anaowafahamu.
- Kubuni hadithi fupi akitumia tashbihi za kimo na umbo.
- Kumweleza mzazi/mlezi wake tashbihi alizozifunza na kufanya zoezi la kutumia tashbihi nyumbani.
Ni tashbihi gani zinazotumika kuelezea watu wanaohusika na uhalifu?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 101
Picha za watu wa maumbile tofauti
Vifaa vya kidijitali
Hadithi fupi zenye tashbihi
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 104
Tarakilishi/vipakatalishi zilizo na matini zinazohusu kukabiliana na uhalifu
Picha zinazoonyesha aina za uhalifu
Kamusi
Kutunga sentensi zenye tashbihi Kuelezea maumbile ya watu kwa kutumia tashbihi Kushiriki katika kubuni hadithi fupi Kutumia tashbihi katika mawasiliano ya kila siku
5 2
Sarufi
Kuandika
Nyakati na hali
Kuandika Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vya nyakati kwenye vitenzi.
- Kutambua vitenzi katika nyakati tofauti hali ya kuendelea kwenye matini.
- Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea.
- Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga kifungu kifupi kuhusu kukabiliana na uhalifu akitumia vitenzi vya nyakati mbalimbali hali ya kuendelea.
- Kuwasomea wenzake kifungu alichotunga.
- Kutambua vitenzi vya nyakati mbalimbali kutoka kwenye kifungu kilichosomwa na mwenzake.
- Kubadilisha kifungu kutoka wakati mmoja hadi wakati mwingine.
- Kutathmini kazi yake na ya wenzake kwa kutumia orodha hakiki inayojumuisha utumiaji wa nyakati.
Ni wakati upi unaofaa kutumika katika kuelezea tukio la uhalifu lililotokea?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 109
Orodha hakiki ya matumizi ya nyakati
Vifungu vya habari vya uhalifu
Matini ya mwalimu
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 106
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya insha za masimulizi
Orodha hakiki ya vipengele vya insha ya masimulizi
Kutunga kifungu kifupi kuhusu uhalifu Kutambua vitenzi vya nyakati mbalimbali Kubadilisha kifungu kutoka wakati mmoja hadi mwingine Kutathmini kazi kwa kutumia orodha hakiki
5 3
MAPATO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha mbele ya wenzake.
- Kutumia ishara zifaazo ili kuimarisha masimulizi yake.
- Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikilize masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali.
- Kubuni simulizi linalohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana na wenzake.
- Kutoa maelezo kuhusu mada lengwa (k.v. jinsi ya kujipatia riziki, Jinsi ya kutumia mapato yake, n.k.).
- Kutumia ishara za mwili zifaazo k.v ishara za uso, za mikono, mabega kuimarisha masimulizi yake.
- Kujadiliana na wenzake kuhusu ubora wa masimulizi aliyosikiliza.
Je, ni nini unachozingatia unapotoa simulizi?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 112
Picha/michoro kuhusu mapato
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya simulizi
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 114
Vifungu vya hadithi kuhusu mapato
Chati ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha
Kushiriki mjadala Matamshi bora ya maneno Utetezi wa hoja kwa lugha ya adabu Kutumia lugha ya ushawishi Kutumia ishara za mwili
5 4
Sarufi
Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukanushaji ili kuubainisha.
- Kutambua maneno yaliyokanushwa katika kundi la maneno.
- Kutambua viambishi vya nafsi na wakati katika maneno.
- Kukanusha maneno na sentensi kwa kuzingatia nafsi na wakati katika mawasiliano.
- Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya ukanushaji.
- Kutambua maneno yaliyokanushwa kwenye chati, ubao, kapu maneno, mti maneno na vyombo vya kidijitali.
- Kutambua viambishi vya nafsi na wakati katika maneno akishirikiana na wenzake.
- Kukanusha maneno na sentensi akizingatia nafsi na nyakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Unazingatia nini unapokanusha maneno na sentensi kwa kuzingatia nafsi na wakati?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 118
Chati ya viambishi vya ukanushaji
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 119
Orodha ya sentensi zenye vitenzi katika hali ya kutenda
Mifano ya sentensi ziliziokanushwa
Kujaza pengo kwa viambishi vya ukanushaji Kuuliza maswali na kutoa majibu Kutunga sentensi za ukanushaji Kufanyiana tathmini
6 1
Sarufi
Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukanushaji ili kuubainisha.
- Kutambua maneno yaliyokanushwa katika kundi la maneno.
- Kutambua viambishi vya nafsi na wakati katika maneno.
- Kukanusha maneno na sentensi kwa kuzingatia nafsi na wakati katika mawasiliano.
- Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji katika vyombo vya kidijitali.
- Kutumia jedwali la viambishi vya ukanushaji kwa nafsi na nyakati mbalimbali.
- Kucheza mchezo wa ukanushaji ambapo mwanafunzi mmoja anatoa sentensi na mwingine anaikanusha.
- Kutunga kifungu kifupi akitumia sentensi zenye ukanushaji kuhusu mapato.
Ni viambishi gani hutumika katika ukanushaji wa vitenzi?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 120
Vifaa vya kidijitali
Jedwali la viambishi vya ukanushaji
Orodha ya sentensi za kukanusha
Kukanusha sentensi kwa kuzingatia nafsi na wakati Kutumia viambishi vya ukanushaji ipasavyo Kutunga kifungu chenye sentensi za ukanushaji Kufanya mchezo wa ukanushaji
6 2
Sarufi
Kuandika
Ukubwa wa Nomino
Kuandika Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukubwa wa nomino ili kuubainisha.
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja.
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa.
- Kubadilisha nomino kutoka hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa.
- Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi.
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mti, mto, mji) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu maneno au kifaa cha kidijitali.
- Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa.
- Kushiriki katika mchezo wa vikundi; kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino na kingine kitaje ukubwa wa nomino hiyo.
- Kuburura na kuambatanisha orodha ya nomino katika hali ya ukubwa na orodha nyingine ya nomino katika hali ya wastani kwenye tarakilishi.
Kutaja nomino katika ukubwa wake kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 121
Orodha ya nomino za wastani na ukubwa
Vifaa vya kidijitali
Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na ukubwa
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 116
Mifano ya barua za kirafiki
Mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki
Kujaza pengo kwa nomino za ukubwa Kuuliza maswali na kutoa majibu Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa Kufanyiana tathmini
6 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha mbele ya wenzake.
- Kutumia ishara zifaazo ili kuimarisha masimulizi yake.
- Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua mada inayohusu mapato kama "Jinsi ya kupata na kutumia mapato".
- Kuandaa hoja za masimulizi yake akitumia mchoro wa kiakili.
- Kusimulia kisa kuhusu mapato mbele ya darasa akitumia lugha fasaha, ishara za mwili zifaazo na usanifu wa lugha.
- Kujibu maswali kutoka kwa wenzake kuhusu masimulizi yake.
- Kutoa maoni kuhusu masimulizi ya wenzake kwa heshima na upendo.
Masimulizi mazuri kuhusu mapato yanapaswa kujumuisha mambo gani?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 113
Mchoro wa kiakili
Vifaa vya kidijitali
Picha kuhusu mapato
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 115
Hadithi zinazohusiana na mapato
Kamusi
Utungaji wa masimulizi Uwasilishaji wa masimulizi Matumizi ya ishara za mwili Ujibu wa maswali Kutoa maoni kwa heshima
6 4
Sarufi
Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukubwa wa nomino ili kuubainisha.
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja.
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa.
- Kubadilisha nomino kutoka hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa.
- Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi.
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi zinazorejelea nomino lengwa katika ukubwa akiwa peke yake au kwenye vikundi.
- Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa katika sentensi.
- Kutoa maana ya nomino katika hali ya ukubwa.
- Kutunga hadithi fupi akitumia nomino katika hali ya ukubwa.
Ni nomino zipi zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 122
Kadi za nomino za wastani na ukubwa
Chati ya nomino za wastani na ukubwa
Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za ukubwa
Kutambua nomino za ukubwa Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi ukubwa Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa Kutoa maana za nomino za ukubwa
7 1
Sarufi
Udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya udogo wa nomino ili kuubainisha.
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja.
- Kutambua nomino katika hali ya udogo.
- Kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya udogo.
- Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi.
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mti, mto, mji) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu maneno au kifaa cha kidijitali.
- Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya udogo.
- Kushiriki katika mchezo wa vikundi; kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino na kingine kitaje udogo wa nomino husika.
- Kuburura na kuambatanisha orodha ya nomino katika hali ya udogo na orodha nyingine ya nomino katika hali ya wastani kwenye tarakilishi.
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 123
Orodha ya nomino za wastani na udogo
Vifaa vya kidijitali
Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na udogo
Kutambua nomino katika hali ya udogo Kubadilisha nomino za wastani kuwa za udogo Kutunga sentensi zenye nomino za udogo Kufanyiana tathmini
7 2
Sarufi
Udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya udogo wa nomino ili kuubainisha.
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja.
- Kutambua nomino katika hali ya udogo.
- Kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya udogo.
- Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi.
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi zinazorejelea nomino lengwa katika udogo akiwa peke yake au kwenye vikundi.
- Kutofautisha kati ya nomino katika hali ya wastani, ukubwa na udogo.
- Kubadilisha sentensi zenye nomino za wastani hadi kuwa zenye nomino za udogo.
- Kutunga hadithi fupi akitumia nomino katika hali ya udogo zinazohusu mapato.
Ni tofauti zipi kati ya nomino za ukubwa na udogo?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 124
Kadi za nomino za wastani, ukubwa na udogo
Jedwali la mifano ya nomino za wastani, ukubwa na udogo
Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za udogo
Kutofautisha kati ya nomino za wastani, ukubwa na udogo Kutunga sentensi zenye nomino za udogo Kubadilisha sentensi zenye nomino za wastani kuwa za udogo Kutunga hadithi fupi yenye nomino za udogo
7 3
Kuandika
Kuandika Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
- Kuchangamkia umuhimu wa barua katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kifaa cha kidijitali kuandika insha ya barua kuhusu kupigana na umasikini.
- Kuandika barua ya kirafiki mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini.
- Kuwasomea wenzake barua ya kirafiki aliyoandika ili waitathmini.
- Kushirikiana na wenzake katika vikundi kujadili kuhusu umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano.
Barua za kirafiki zina umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 117
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya barua za kirafiki
Matini ya mwalimu
Kuandika barua ya kirafiki Kusomeana barua za kirafiki Kufanya tathmini Kutoa maoni kuhusu barua za wenzake
8

End term Exams


Your Name Comes Here


Download

Feedback