Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
MAGONJWA YASIOAMBUKIZWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza habari katika matini ya kusikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
-Kudondoa habari muhimu katika matini aliyosikiliza kwa kufuata mpangilio ufaao.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza matini kutoka kifaa cha kidijitali au mwalimu wake.
-Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa.
-Kueleza hoja muhimu aliyotambua kutoka matini aliyosikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza.
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 95
-Vifaa vya kidijitali
-Kinasasauti
-Projekta
-Vidokezo vya kusikiliza
Kujibu maswali -Kufupisha matini -Kudondoa hoja muhimu -Kutoa maana ya maneno
1 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza habari katika matini ya kusikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
-Kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuelezea mwenzake maana ya msamiati katika matini ya kusikiliza.
-Kudondoa habari muhimu katika matini aliyosikiliza kwa kufuata mpangilio ufaao.
-Kushiriki mazungumzo kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa huku akitoa hoja kwa mpangilio ufaao.
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 96
-Vifaa vya kidijitali
-Kinasasauti
-Chati zenye msamiati wa magonjwa yasiyoambukizwa
Kujibu maswali -Kufupisha matini -Mazungumzo -Wanafunzi kufanyiana tathmini
1 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha.
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha.
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala.
-Kusoma kifungu kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa kwa kuzingatia kasi ifaayo.
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 97
-Vifaa vya kidijitali
-Projekta
-Video za mielelezo ya usomaji
Kusoma kwa sauti -Maigizo -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
1 4
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufasaha
Aina za Sentensi - Sentensi changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo.
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
-Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo.
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa.
-Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni.
-Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora.
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 98
-Kifungu cha habari kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 101
-Orodha ya sentensi
-Kapu maneno
-Chati yenye sentensi mbalimbali
Kusoma kwa sauti -Maigizo -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Kujibu maswali
2 1
Sarufi
Aina za Sentensi - Sentensi changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua sentensi changamano katika matini.
-Kutumia sentensi changamano ipasavyo katika matini.
-Kuonea fahari matumizi ya sentensi changamano katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuwawasilishia wenzake darasani sentensi changamano alizotunga ili wazitathmini.
-Kumtungia mzazi au mlezi sentensi changamano zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani.
-Kutunga sentensi changamano kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa na namna ya kujikinga.
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 102
-Vitabu mbalimbali
-Kadi maneno
-Mifano ya sentensi changamano
Kutunga sentensi -Kurekebisha sentensi -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Kuandika aya zenye sentensi changamano
2 2
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kutambua hotuba ya kutoa ufafanuzi katika matini.
-Kujadili ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe, lugha na muundo ufaao wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake miktadha inayochochea hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 99
-Vielelezo vya hotuba ya kutoa ufafanuzi
-Vitabu mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
Kujibu maswali -Mijadala -Kuandika vidokezo vya hotuba -Kutunga hotuba ya kutoa ufafanuzi
2 3
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kwa kuzingatia vipengele vyake.
-Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kutoa ufafanuzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao.
-Kuwasomea wenzake hotuba aliyoandika ili waitolee maoni.
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu suala linaloathiri jamii yao kisha amsomee mzazi au mlezi ili aitolee maoni.
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 100
-Mifano ya hotuba za kutoa ufafanuzi
-Vifaa vya kidijitali
-Chati zenye vidokezo vya muundo wa hotuba
Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Uwasilishaji wa hotuba -Mjadala
2 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi - Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua wahusika katika hadithi.
-Kuchambua sifa za wahusika katika hadithi.
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua washiriki katika hadithi inayosimuliwa.
-Kutambua wahusika katika hadithi inayosimuliwa.
-Kutambua sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali.
-Kuchambua wahusika katika hadithi aliyosikiliza.
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 103
-Hadithi zenye wahusika mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
-Picha za wahusika
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotambua wahusika -Kujibu maswali -Mazungumzo -Mijadala
3 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi - Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua sifa za wahusika katika hadithi.
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
-Kufurahia kushiriki katika uchambuzi wa wahusika katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
-Kutamba hadithi akiwa na wenzake huku wakichukua majukumu mbalimbali.
-Kutunga hadithi fupi ambayo ina wahusika wanyama kuhusu kuheshimu tamaduni za wengine.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza.
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 104
-Hadithi zenye wahusika mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
-Picha za wahusika
Kujibu maswali -Mazungumzo -Mijadala -Kutunga hadithi fupi
3 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
-Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha kwenye tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
-Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu mbinu za lugha katika tamthilia na kuutolea maoni.
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha? 2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 105
-Tamthilia teule
-Vitabu mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
Kutambua mbinu za lugha -Kujibu maswali -Kuchanganua mbinu za lugha -Mijadala
3 3
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali - Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
-Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia aliyosoma.
-Kutambua na kuchambua mbinu za lugha katika tamthilia ya kuchaguliwa.
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha? 2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 106
-Tamthilia teule
-Vitabu mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 109
-Chati zenye mifano ya sentensi
-Kapu maneno
Kutambua mbinu za lugha -Kujibu maswali -Kuchanganua mbinu za lugha -Mijadala
3 4
Sarufi
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali - Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu katika matini.
-Kukanusha sentensi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu.
-Kuchangamkia kukanusha sentensi katika hali ya mazoea na timilifu ili kukuza mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kukanusha sentensi au vifungu alivyotunga kisha awatumie wenzake kupitia vifaa vya kidijitali au kuwasomea darasani ili wazitolee maoni.
-Kukanusha sentensi katika hali ya mazoea na timilifu.
-Kutunga sentensi zenye ukanushaji kuhusu kuheshimu tamaduni za wengine.
1. Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini? 2. Je, ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu hutofautianaje?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 110
-Chati zenye mifano ya sentensi
-Kapu maneno
-Vifaa vya kidijitali
Kukanusha sentensi -Kutunga sentensi -Mijadala -Wanafunzi kufanyiana tathmini
4 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali.
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali.
-Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mahali.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vigezo vya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo.
-Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo kutokana na kielelezo cha insha.
-Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu mahali panapolengwa katika insha ya maelezo.
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 107
-Vielelezo vya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
Kuandika vidokezo -Kuandika insha ya maelezo -Mijadala -Wanafunzi kufanyiana tathmini
4 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mahali.
-Kuonea fahari utoaji wa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutumia lugha inayojenga picha ya kinachoelezewa.
-Kuandika insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali akizingatia muundo ufaao na inayohusisha kuheshimu tamaduni za wengine.
-Kubuni insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali kisha awasambazie wenzake mtandaoni ili waitolee maoni.
-Kumsomea mzazi au mlezi insha ya kubuni aliyoandika ili aitolee maoni.
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 108
-Vielelezo vya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
Kuandika insha ya maelezo -Mijadala -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Kuwasilisha kazi
4 3
KUWEKA AKIBA

Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Matumizi ya Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
-Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
-Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika hadithi kama utungo wa fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vipengele vya lugha kwa kusikiliza hadithi kutoka kwa mwalimu au vifaa vya kidijitali.
-Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vilivyotumika katika hadithi walizosikiliza.
-Kusimulia hadithi kwa kutumia vipengele vya lugha.
-Kuwawasilishia wenzake hadithi aliyotunga ili watambue vipengele vya lugha vilivyotumika.
-Kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza hadithi na kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika.
1. Ni mbinu gani za lugha zinazotumika katika masimulizi ya hadithi? 2. Matumizi ya lugha katika hadithi yana umuhimu gani?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 111
-Vifaa vya kidijitali
-Rekodi za sauti
-Chati
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala.
-Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala.
-Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini) katika kifungu cha ufahamu cha mjadala.
-Kutambua msamiati mpya (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha mjadala na kuueleza kwa kutumia kamusi.
-Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa kwenye kifungu cha ufahamu cha mjadala na kutunga sentensi akiutumia.
-Kuchambua mitazamo iliyo katika kifungu cha ufahamu cha mjadala.
1. Utawezaje kutambua habari mahususi katika hadithi unayoisoma? 2. Je, unazingatia nini unaposoma vifungu vya ufahamu?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 113
-Kamusi
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Vitabu vya ziada
Kujibu maswali -Kuiga sentensi -Maswali ya mdomo -Zoezi la uandishi
5 1
Sarufi
Udogo wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua nomino katika hali ya udogo katika matini.
-Kubadilisha nomino za hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo.
-Kutumia nomino katika hali ya udogo ipasavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua nomino katika hali ya udogo kwenye orodha ya nomino, chati, kadi maneno, kapu maneno, sentensi, vifungu vya maneno au tarakilishi.
-Kutambua udogo katika maneno katika matini mbalimbali.
-Kuandika majina ya vifaa vya darasani katika udogo (k.v. kidawati, kijitabu).
-Kubadilisha nomino za hali ya wastani ziwe katika katika hali ya udogo akiwa na wenzake.
1. Je, ni mambo gani tunayozingatia tunapotumia nomino katika udogo?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 118
-Kadi maneno
-Kapu maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kamusi
Kutambua nomino za udogo -Kubadilisha nomino -Kutunga sentensi -Mazoezi ya maandishi
5 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Maelekezo
Hadithi: Matumizi ya Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya insha ya maelekezo.
-Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele vyake muhimu.
-Kufurahia kuandika insha za maelekezo akizingatia vipengele vyake muhimu.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vya insha ya maelekezo (k.v. matumizi ya lugha, mpangilio ufaao wa maelekezo, uangavu, ubanaji).
-Kutambua maneno mwafaka, mpangilio mzuri wa sentensi na mpangilio sahihi wa hatua katika kielelezo cha insha ya maelekezo kutoka kwa mwalimu, kwenye maandishi au vifaa vya kidijitali.
-Kuteua maneno yatakayosaidia kufanikisha maelekezo.
-Kuandaa mpangilio ufaao wa sentensi zinazofuatana kulingana na maelekezo anayotaka kutoa.
1. Je, unapoandika insha ya maelekezo unazingatia mambo gani?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 116
-Kielelezo cha insha ya maelekezo
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 112
-Vifaa vya kurekodia
-Picha
-Video
-Vitabu vya hadithi
Kazi ya vikundi -Maswali ya mdomo -Kuandika insha -Tathmini ya wenzake
5 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala.
-Kuridhia kusoma kifungu cha mjadala ili kukuza uelewa wa habari.
-Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati uliopatikana katika kifungu cha mjadala.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu kuhusu kuweka akiba.
-Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni.
-Kutambua mitazamo mbalimbali kuhusu kuweka akiba inayojitokeza kwenye kifungu.
-Kueleza sababu wanazozitoa wale wanaounga mkono uwekaji wa akiba.
-Kueleza sababu wanazozitoa wale wanaopinga uwekaji wa akiba.
-Kutoa maoni yake kuhusu uwekaji wa akiba.
1. Je, ni mitazamo ipi kuhusu kuweka akiba inayojitokeza katika kifungu? 2. Unakubaliana na mtazamo upi kuhusu kuweka akiba? Kwa nini?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 114-115
-Kamusi
-Vifaa vya kidijitali
-Gazeti
-Vitabu vya ziada
Kujibu maswali -Mjadala -Maswali ya mdomo -Zoezi la uandishi -Tathmini ya wenzake
5 4
Sarufi
Udogo wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutumia nomino katika hali ya udogo ipasavyo.
-Kuonea fahari kutumia nomino katika hali ya udogo katika sentensi.
-Kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia hali ya udogo ipasavyo.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kuweka akiba.
-Kuwasilisha kazi yake darasani ili wenzake wazitathmini.
-Kumsomea mzazi au mlezi majina ya vitu vinavyopatikana nyumbani au shuleni katika udogo na kumtungia sentensi kwa kutumia maneno hayo.
1. Kuna tofauti gani kati ya nomino katika hali ya wastani na nomino katika hali ya udogo? 2. Ni mifano ipi ya nomino za udogo unayotumia katika mawasiliano ya kila siku?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 119
-Kadi maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Mabango
-Kamusi
Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi
6 1
Kuandika
Insha za Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchagua aina ya chakula ambacho angetaka kupika.
-Kuandika insha ya maelekezo yenye mpangilio mzuri.
-Kutumia lugha fasaha katika uandishi wa insha ya maelekezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kushiriki kujadili maneno, sentensi na hatua zinazoafiki maelekezo yaliyolengwa.
-Kuandika insha ya maelekezo akizingatia uteuzi mwafaka wa maneno, sentensi na hatua ili kumjengea msomaji taswira kamili ya kile kinachoelekezwa.
-Kuwasomea wenzake insha ya maelekezo aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
-Kufanya marekebisho ya insha yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake.
1. Kwa nini ni muhimu kutumia lugha inayoeleweka katika insha ya maelekezo? 2. Mpangilio mzuri wa hatua una umuhimu gani katika insha ya maelekezo?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 117
-Kamusi
-Vifaa vya kidijitali
-Mifano ya insha za maelekezo
-Chati
Kazi ya uandishi -Kuwasilisha kwa wenzake -Tathmini ya wenzake -Kurekebisha kazi
6 2
MAADILI YA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya usikilizaji husishi.
-Kutambua vipengele vya usikilizaji husishi katika matini.
-Kujadili vipengele vya usikilizaji husishi ili kuvipambanua.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya usikilizaji husishi.
-Kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi ambamo kusikiliza husishi hutokea katika jamii yake.
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza husishi (k.v. kuwa makini, kuuliza maswali yasiyoelekeza, kuomba ufafanuzi, kumtazama mzungumzaji, kuelewa ujumbe anaotaka kukupitishia).
-Kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa kutoka vifaa vya kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza husishi vilivyozingatiwa.
1. Je, ni miktadha gani rasmi na isiyo rasmi ambapo usikilizaji husishi hutokea? 2. Ni vipengele gani unazingatia katika kusikiliza husishi?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 120
-Vifaa vya kidijitali
-Rekodi za sauti
-Picha
-Chati
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Mjadala
6 3
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja.
-Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja.
-Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vya ufupisho (k.v. habari muhimu katika aya, lugha ya anayefupisha, kudumisha mtazamo wa kifungu, idadi ya maneno).
-Kueleza kwa usahihi ujumbe katika kila aya kwa kutumia sentensi mojamoja.
-Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja.
-Kujadili kuhusu jinsi ya kuandika ufupisho wa matini.
1. Je, unazingatia nini unapofupisha kifungu cha ufahamu?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 122
-Vifaa vya kidijitali
-Machapisho
-Kamusi
-Chati
-Mifano ya ufupisho
Kueleza ujumbe wa aya -Kazi ya vikundi -Maswali ya mdomo -Zoezi la uandishi
6 4
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini.
-Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa kwa kuzingatia kanuni za kubadilisha usemi.
-Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini.
-Kujadili kanuni za kubadilisha usemi (k.v. wakati, nafsi, alama za uakifishi).
-Kutambua kanuni za kimsingi za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa.
-Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi.
1. Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa? 2. Unazingatia nini unapobadilisha usemi?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 126
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kamusi
-Mifano ya sentensi
-Kadi maneno
Kutambua aina za usemi -Kubadilisha sentensi -Mjadala -Mazoezi ya maandishi
7 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Baruapepe ya Kiofisi
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe ya kiofisi.
-Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi.
-Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe ya kiofisi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe ya kiofisi.
-Kujadili na wenzake vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi.
-Kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe ya kiofisi.
-Kuandika baruapepe ya kiofisi kwenye tarakilishi na kumsambazia mwenzake kupitia mtandao ili aitolee maoni.
1. Je, ulizingatia vipengele gani katika baruapepe uliyowahi kuandika?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 124
-Vifaa vya kidijitali
-Mifano ya baruapepe
-Chati
-Tarakilishi
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 121
-Rekodi za sauti
-Picha
-Video
Kujadili vipengele -Kuandika baruapepe -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake
7 2
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa.
-Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali.
-Kutumia lugha fasaha katika ufupisho.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini.
-Kumsomea mzazi au mlezi ufupisho alioufanya ili autolee maoni.
-Kusoma kifungu kuhusu maadili ya kijamii.
-Kufupisha kifungu hicho akizingatia idadi ya maneno inayohitajika.
-Kuwasomea wenzake ufupisho wake ili waitolee maoni.
1. Kwa nini ni muhimu kudumisha mtazamo wa kifungu katika ufupisho? 2. Utakadirijeje idadi ya maneno unapofupisha kifungu?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 123
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kifungu cha kufupisha
-Chati
-Mifano ya ufupisho
Kuandika ufupisho -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Zoezi la uandishi
7 3
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo.
-Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano.
-Kubadilisha sentensi kwa kufuata kanuni za kubadilisha usemi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi za usemi halisi na usemi wa taarifa akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la maadili ya kijamii.
-Kuwasomea au kuwasambazia wenzake sentensi alizotunga ili wazitathmini.
-Kushiriki katika mchezo wa kubadilisha usemi darasani.
-Kufanya marekebisho ya sentensi alizotunga kulingana na maoni ya wenzake.
1. Ni mifano ipi ya usemi halisi inayotumika katika mawasiliano ya kila siku? 2. Kwa nini ni muhimu kujua kubadilisha usemi halisi na usemi wa taarifa?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 127-128
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kamusi
-Mifano ya sentensi
-Kadi maneno
Kutunga sentensi -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Mchezo wa kubadilisha usemi -Zoezi la uandishi
7 4
Kuandika
Baruapepe ya Kiofisi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika baruapepe ya kiofisi kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao.
-Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe ya kiofisi.
-Kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano ipasavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kumwandikia mwalimu wake baruapepe ya kiofisi ili aitathmini.
-Kumsomea mzazi au mlezi baruapepe aliyoiandika ili aitolee maoni.
-Kuandika baruapepe ya kiofisi inayohusu maadili ya kijamii.
-Kushiriki kujadili uzuri na mapungufu ya baruapepe ya kiofisi aliyoandika.
1. Kwa nini ni muhimu kuzingatia muundo ufaao katika baruapepe ya kiofisi? 2. Lugha ya baruapepe ya kiofisi inatofautianaje na lugha ya baruapepe ya kirafiki?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 125
-Vifaa vya kidijitali
-Mifano ya baruapepe
-Tarakilishi
-Intaneti
Kuandika baruapepe -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Zoezi la uandishi

Your Name Comes Here


Download

Feedback