Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA PILI
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

Opener assessment

2 1
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo.
Kusoma maneno yenye sauti lengwa k.v gunia,darasa.
kufurahia kusoma maneno tofauti.
Mwanafunzi:
aweza kutambua sauti /g/, /d/, /gu/, da katika maneno. Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa
Je, ni sauti zipi unazojua kutamka?
Kutambua Kuambatanisha maneno lengwa Kazi mradi
2 2
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua salamu zinazotumiwa nyakati mbalimbali.
Kuigiza salamu zinazotumiwa nyakati mbalimbali.
Kuchangamkia matumizi ya salamu mbalimbali.

Mwanafunzi:
-Kusikiliza salamu za nyakati mbalimbali katika kifaa cha kidijitali.
-Wanafunzi kusikiliza maelezo ya salamu mbalimbali katika sentensi k.v. shikamoo?Marahaba
Salamu aleikum?
Kutambua salamu. Kuigiza salamu Kujibu maswali. Kazi mradi
2 3
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua msamiati wa shuleni.
Kusoma vifungu vya maneno yenye msaniati wa shule.
Kuchangamkia matumizi ya msamiati wa shule sahihi.
Mwanafunzi:
-Kusoma vifungu vya maneno yenye msamiati wa shule.
-Watambua misamiati mbalimbali katika vifungu vya maneno k.v. mwalimu mkuu,darasa,maktaba.
Unajua kusoma herufi na maneno gani?
Vifungu vya maneno.
Kadi maneno.
Chati.
JKF Kiswahili Gredi 2 uk 7-8.
Kutambua maneno Kusoma vifungu Kujibu maswali Kazi mradi
2 4
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma msamiati wa tarakimu.
Kuandika msamiati wa tarakimu mbalimbali.
Kufuruhia matumizi ya msamiati wa tarakimu mbalimbali.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Je, hii ni tarakimu gani?
Kutambua Msamiati. Kusoma. Kujibu maswali. Kazi mradi.
3 1
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma kifungu cha shule yetu.
Kujibu maswali ya kifungu cha shule yetu.
Kuimarisha ustadi wa lugha kwa kusoma misamiati mbalimbali.
Mwanafunzi:
-Kusoma kifungu cha shule yetu kwa vikundi au wakiwa wawili wawili.
-Kujibu maswali ya kifungu cha shule yetu k.v. shule yenu inaitwa aje?
Je, unatambua msamiati gani wa shule?
Kutambua msamiati Kusoma msamiati Kujibu maswali Kazi mradi
3 2
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua maneno yenye sauti lengwa/g/d.
Kusoma maneno yeye sauti lengwa ya /g/d/.
Kufurahia kusoma maneno yenye sauti lengwa/g/d/
Mwanafunzi:
-Kusoma sauti mbalimbali k.v. g/d/
Unajua kuandika herufi na maneno gani?
Kutambua maneno. Kuaandika maneno Kujadili maana ya maneno. Kusoma maneno
3 3
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Je, ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha kitu ni cha mwenzako?
Kutambua maneo Kuambatanisha maneno lengwa Kujibu maswali Kazi mradi
3 4
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Tunaamkuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni?
Kutambua maamkuzi Kusoma maamkuzi Kuigiza Kazi mradi
4 1
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma maneno na sentensi zinazojumuisha msamiati wa shuleni katika kuimarisha stadi ya kusoma.
Kuandika maneno na sentensi fupi kuhusu shule ili kuimarisha stadi ya kuandika.
Kufurahia kutumia msamiati wa shule katika mawasiliano ya kila siku.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Taja vifaa mbalimbali vinavyopatikana shuleni na umuhimu wake.
Kusoma Kutambua k.m. kwenye orodha Kuandika.
4 2
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi la tunapenda kusoma.
Kujibu maswali ya shairi la tunapenda kusoma.
Kuchangamkia utunzi wa shairi.

Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Je, unadhani hili shairi linahusu nini?
Kusoma Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu. Kazi mradi.
4 3
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutamka sauti na majina yenye sauti/j/r/.
Kusoma maneno yenye sauti /j/r.
Kufurahia kutamka maneno yenye sauti/j/r.
Mwanafunzi kutamka sauti /j/r/.
Kusoma maneno yenye sauti j//r k.v jembe,rula,randa n.k.
Je, unaeza tamka majina yenye sauti/j/r?
4 4
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutaja majina ya vitu vinavyopatikana shuleni ili kuimarisha stadi ya kuzungumza.
kuelezea vitu vinavyopatikana shuleni ili kuimarisha stadi ya kusikiliza.
kuthamini umuhimu wa vitu vinavyopatikana shuleni.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Ni vifaa vipi vinavyopatikana shuleni?
Kusoma Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu. Kazi mradi.
5

Midterm assessment

6 1
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nambari 21-30 kwa maneno ili kuimarisha mawasiliano.
kusoma nambari 21-30 kwa maneno ili kujenga stadi ya kusoma.
kuchangamkia kutumia nambari 21- 30 kwa maneno katika mazungumzo yake.
-Mwanafunzi asome majina ya nambari 21-30. Wanafunzi wasome kadi za nambari 21-30 na majina yake ili kuziambatanisha katika vikundi.
-Mwanafunzi aandike nambari 21-30.
Unaeza andika nambari gani kati ya 21 hadi 30?
Kusoma Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu. Kazi mradi.
6 2
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma sentensi zinazojumuisha
-Mwanafunzi:
Kutambua na kusoma sentensi zinazojumuisha -ako,-enu katika sentensi kwa vikundi.
-Mwanafunzi kujaza mapengo akitumia -ako,au enu katika sentensi akiwa pekee yake.
Je, -ako inatumika kuonyesha nini?
Chati
Kusoma Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu. Kazi mradi.
6 3
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi la tunapenda kusoma.
Kujibu maswali ya shairi la tunapenda kusoma.
Kuchangamkia utunzi wa shairi.

Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Shairi hili linahusu nini?
Kusoma Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu. Kazi mradi.
6 4
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma.
kuandika herufi zinazowakilishwa na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kuandika.
kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Unajua kuandika herufi na maneno gani?
Kutambua k.m. kwenye orodha Kusoma maneno Kuandika setntensi Kazi mradi
7 1
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nambari 31-50 kwa maneno ili kuimarisha mawasiliano.
kuandika nambari 31-50 kwa maneno ili kujenga stadi ya kuandika.
kuchangamkia kutumia nambari 31- 50 kwa maneno katika mazungumzo yake.

-Mwanafunzi asome majina ya nambari 31-50.

-Wanafunzi wasome kadi za nambari 31-50 na majina yake ili kuziambatanisha katika vikundi. -Mwanafunzi aandike nambari 31-50
Taja 31-50 kwa Kiswahili?

Kutambua. Kuandika nambari Kujaza mapengo Kazi mradi
7 2
SHULENI
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma hadithi kuhusu shule ili kuimarisha stadi ya kusoma .
kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa katika kupata mafunzo ya hadithi .
kuchangamkia kusoma hadithi kuhusu shule
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Unaona nini katika picha?
Kutambua Kusoma Kujaza mapengo Kujibu maswali Kazi mradi
7 3
HAKI ZANGU
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kuimarisha stadi ya kusoma.
Kujadili umuhimu wa haki za Watoto.
Kufurahia matumizi ya sauti lengwa.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Haki za Watoto ni gani?
Kusoma Kuandika Kujibu maswali Kazi mradi
7 4
HAKI ZANGU
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua picha kuhusu haki za watoto ili kuifahamu hadithi vizuri
kusoma hadithi kuhusu haki za watoto katika kuimarisha stadi ya kusoma.
kufahamu hadithi aliyoisoma au aliyosomewa ili kupata mafunzo yanayolengwa.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
#NAME?
Ni masuala yapi uliyojifunza katika hadithi uliyosoma?
a)Kueleza. b)Kusoma insha c)Kujadili d)Kuandika sifaza insha. e)Kazi mradi
8

Endterm assessment

9

Closing of school


Your Name Comes Here


Download

Feedback