If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
Vyakula
vya
kiasilia
|
Sauti na majina
ya herufi za
Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, "kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha stadi ya kuzungumza" |
Mwanafunzi atambue
sauti lengwa /s/, /b/, /y/ na "/z/ katika maneno. Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti" lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili na kama darasa. |
Ni sauti zipi
unazoweza kutamka?
|
Mwalimu asikize
sauti ambazo mwanafunzi anaweza tamka. |
Wanafunzi
Uk97-98
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
Wanafunzi
|
|
| 2 | 2 |
Vyakula
vya
kiasilia
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno katika kuimarisha stadi ya kuzungumza |
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti.
Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi |
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
|
Mwalimu asikilize mwanafunzi akisoma.
|
"Wanafunzi Uk 98
Oxford Kiswahili"
Dadisi mazoezi
ya lugha gredi 1
|
|
| 2 | 3 |

| 2 | 4 |
Vyakula
vya
kiasilia
|
Sauti na majina
ya herufi za
Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi
aambatanishe silabi "kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa. Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za" maneno. |
Unajua kusoma herufi
na maneno yapi?
|
Mwalimu atazame
mwanafunzi akisoma silabi katika uk 99 kisha utunge maneno. |
Wanafunzi
"
Uk 98-99
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1"
|
|
| 3 | 1 |
Vyakula
vya
kiasilia
|
Sauti na majina
ya herufi za
Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma herufi za sauti moja katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Wanafunzi waweza
kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi inayowakilisha sauti iliyofunzwa. |
Unajua kusoma herufi
na maneno yapi?
|
Mwalimu aanaglie
mwanafunzi akifanya zoezi. |
Wanafunzi
Uk99-100
Oxford
Kiswahili
Dadisi mazoezi
ya lugha gredi 1
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
"Vyakula
vya"
kiasilia
|
"Sauti na majina
ya herufi za"
Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
" " kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
"Mwanafunzi aandike
maumbo ya herufi za sauti" alizosoma hewani na vitabuni. |
"Unajua kuandika
herufi na maneno"
yapi?
|
"Mwalimu atazame
mwanafunzi" akiandika maneno. |
Wanafunzi
"
Uk 101
Oxford Kiswahili"
Dadisi mazoezi
ya lugha gredi 1
|
|
| 3 | 4 |
"Vyakula
vya"
kiasilia
|
"Sauti na majina
ya herufi za"
Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
" " kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
"Mwanafunzi asome
maneno kwa kutumia" silabi au kwa kugawa maneno marefu katika sehemu ndogo ndogo ili kuyasoma kwa urahisi. |
"Unajua kuandika
herufi na maneno"
yapi?
|
"Mwalimu aangalie
mwanafunzi" anapoandika herufi anazojua. |
Tarakilishi
"
Uk 102
Oxford Kiswahili"
Dadisi mazoezi
ya lugha gredi 1
|
|
| 4 | 1 |
Vyakula vya kiasilia
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuandika maumbo ya herufi yanayowakilisha sauti lengwa |
Mwanafunzi aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni
|
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
|
Mwalimu atazame maumbo ambayo mwanafunzi anachora.
|
Wanafunzi
Uk103
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 4 | 2 |

| 4 | 3 |
Vyakula vya kiasilia
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti lengwa katika mawasiliano ya kila siku. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yanayobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili |
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
|
Mwalimu atazame kazi ambayo mwanafunzi anachora.
|
Wanafunzi Uk103
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 4 | 4 |
Msamiati
|
Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua vyakula vya kiasili ili kuimarisha lishe bora b) kusoma majina ya vyakula mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi atambue vyakula mbalimbali vya kiasili kwa kutumia vyakula halisi, picha na michoro kama vile mihogo, viazi, mahindi, maharagwe, mboga na matunda.
Mwanafunzi atumie msamiati aliyofunzwa kutunga sentensi. |
Unapenda waweza kutaja chakula kipi?
|
Mwalimu asahihishe sentensi ambazo mwanafunzi anaandika.
|
Wanafunzi
Uk 104
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 5 | 1 |
Msamiati
|
Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuandika majina ya vyakula katika kuimarisha stadi ya Kuandika kutumia majina ya vyakula katika sentensi sahihi |
Mwanafunzi aweza kupewa kadi za majina ya vyakula vya kiasili asome kwa sauti.
Wanafunzi waweza kuambatanisha majina ya vyakula halisi au michoro na majina yavyo. |
Vyakula vipi hukuzwa shambani?
|
Mwalimu asikize baadhi ya chakula vinazokuzwa shambani.
|
Wanafunzi
Uk 105-106
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungu mza
|
Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza masimulizi kuhusu vyakula vya kiasili katika kuimarisha stadi ya kusikiliza |
Mwanafunzi asimulie hadithi kuhusu vyakula vya kiasili.
Wanafunzi wajadiliane kuhusu umuhimu wa vyakula vya kiasili. Wanafunzi wasimuliane visa kuhusu vyakula vya kiasili.wanafunzi |
Kwa nini tunakula chakula?
|
Mwalimu asikilize mwanafunzi akieleza umuhimu wa chakula.
|
Tarakilishi
Uk 107
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 5 | 3-4 |

| 6 |
Midterm break |
||||||||
| 7 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungu mza
|
Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kufahamu masimulizi aliyosikiliza katika kuimarisha stadi ya kusikiliza kufurahia vyakula vya kiasili katika maisha ya kila siku. |
"Mwanafunzi aweza kuhusishwa katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu vyakula vya kiasili.
Mwanafunzi aweza kusikiliza nyimbo na mashairi yaliyorekodiwa kwenye vifaa vya" kiteknolojia kuhusu vyakula vya kiasili. |
Je, umuhimu wa vyakula vya kiasili ni upi?
|
Mwalimu atazame mwanafunzi akifanya zoezi.
|
Tarakilishi
Uk107-108
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma:
|
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi aliyosoma au kusomewa ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenywae hadithi.wanafunzi |
Je, unaona nini katika picha?
|
Mwalimu asikize mwanafunzi akisimulia kis a chochote.
|
Wanafunzi
Uk 110
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma:
|
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu vyakula vya kiasili ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi asikilize mwalimu anaposoma hadithi, asome pamoja na mwalimu kisha asome peke yake, wawili wawili au katika vikundi.
|
Unadhani ni nini kitakachotokea katika hadithi
|
Mwalimu asikize mwanafunzi akisoma hadithi.
|
Wanafunzi Uk 110-111
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 7 | 4 |

| 8 | 1 |
kusoma
|
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kufurahia vyakula vya kiasili maishani. |
Mwanafunzi asikilize hadithi ya mwalimu au hadithi iliyorekodiwa kuhusu vyakula vya kiasili.
|
Unakumbuka hadithi gani uliyoisoma?
|
Mwalimu asahihishe kazi ya mwanafunzi.
|
"Tarakilishi
Uk112
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi"
ya lugha gredi 1
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi na
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua matumizi ya |
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na
|
Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?
|
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitunga sentensi.
|
Wanafunzi
Uk 113
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
| 8 | 3 |

| 8 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi na
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kufurahia kutumia |
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na
|
Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?
|
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitumia angu na etu katika kutunga sentensi.
|
Tarakilishi 114-115
Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
Your Name Comes Here