If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 2 |
Kusoma
|
uzalendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
Kusoma
Jibu maswali |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 169-170
|
|
1 | 3 |
Kisikiliza na kuongea
|
Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali |
Malumbano
|
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169
|
|
1 | 4 |
kusoma
|
uzalendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Kusoma
Kuchambua |
Tamthilia
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 169-170
|
|
1 | 5 |
Kuandika
|
mahojiano na dayolojia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za mahojiano |
Kusoma
Kufupisha |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 174
|
|
1 | 6 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
2 | 1-2 |
Kusoma
Kisikiliza na kuongea |
Uzalendo
Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali |
Kusoma
Jibu maswali Malumbano |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 169-170
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169 |
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Nyakati na hali marudio
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua kiambishi cha wakati na matumizi yake katika setensi mfano -li-( uliopita) walisherehekea kiambishi cha hali -me- timilifu wahalifu wamefungwa kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali |
Kutaja
Kueleza |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 170-172
|
|
2 | 4 |
kusoma
|
uzalendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Kusoma
Kuchambua |
Tamthilia
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 169-170
|
|
2 | 5 |
Kuandika
|
mahojiano na dayolojia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za mahojiano |
Kusoma
Kufupisha |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 174
|
|
2 | 6 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
3 | 1-2 |
Kusoma
Kisikiliza na kuongea |
Uraibu
Fasihi simulizi Mafumbo Misimu Kazi mradi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo mwanfunzi kutambua maana ya mafumbo kueleza umuhimu wa mafumbo kutoa mifano ya mafumbo kueleza maana ya misimu kutoa mifano ya misimu |
Kusoma
Jibu maswali Malumbano |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 179-181
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 177-179 |
|
3 | 3 |
Sarufi
|
Uakifishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuakifisha sentensi kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali |
Kutaja
Kueleza |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 181
|
|
3 | 4 |
kusoma
|
Ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Kusoma
Kuchambua |
Tamthilia
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182
|
|
3 | 5 |
Kuandika
|
Barua meme
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya barua meme Kuandika nukulishi |
Kusoma
Kufupisha |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182-186
|
|
3 | 6 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 1-2 |
Kusoma
Kusikiliza na kuongea |
Shairi
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana |
Kusoma
Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Kitabu
Kitabu kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 188-189
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191 |
|
4 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana Mifano katika sentensi Mzee aliinamishiwa tagaa atunde mapera Majitrani waliondosheana uhasam uliowatenganisha kwa muda mrefu |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
4 | 4 |
kuandika
|
Mazingira
fomu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 192
|
|
4 | 5 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 6 |
Fasihi andishi

5 | 1-2 |
Kusoma
Sarufi |
Ufahamu
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu Kukunga sentesni kwa kauli ya kutendama Mafano Kwaa- kwama Tua- tuama Mifano kwa sentesni Pikipiki ilikuwama matopeni Kauli ya kutendata Mfano Fumba- fumbuta Kama- kamata Mifano kwa sentensi Askari walimkamata pwagu aliyenyakua rununu Halima alikokota rukwama iliyojaa shehena |
Kusoma
Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Kitabu
Kitabu kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 188-189
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191 |
|
5 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua methali Kutaja sifa za methali, dhima ya methali na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
5 | 4 |
kuandika
|
Utungaji wa kisanii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
mwanfunnzi aweze kutunga mashairi huru |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 198-199
|
|
5 | 5 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 6 |

6 | 1-2 |
Kusoma
Sarufi |
Urithi
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendau Mafano Vaa- vua Umba-umbua Mifano kwa sentesni Ninavipanga viatbu vyangu , mtu asije akavipangua Kauli ya kutenduka Mifano kwa sentensi Siri ya wandani hao ilifichuka Mtego wa panya uliteguka |
Kusoma
Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Kitabu
Kitabu kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200-201
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 202-203 |
|
6 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
|
Maghani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua Maghani Kutaja sifa za Maghani, dhima ya Maghani na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200
|
|
6 | 4 |
kuandika
|
Matangazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
mwanfunnzi aweze kuandika matangazo |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 203-204
|
|
6 | 5 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 6 |

7 | 1-2 |
Kusoma
Sarufi |
Mchezo wa kuigiza: tusikate miti ovyo!
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendea Mafano Mifano kwa sentesni La- kakangu hula mkate kila siku Kauli ya kutendwa Mifano kwa sentensi La-liwa- Pa-pewa |
Kusoma
Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Kitabu
Kitabu kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 208-209
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 210-211 |
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
|
Ngomezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua Ngomezi Kutaja sifa za Ngomezi , dhima ya Ngomezi na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 206-207
|
|
7 | 4 |
kuandika
|
Ripoti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
mwanafunzi aweze kuandika repoti |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 213-214
|
|
7 | 5 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 6 |

8-9 |
Exams |
Your Name Comes Here