If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1-4 |
DUKANI
Kuandika |
Uandishi wa Insha - Andika Insha ya Kwanza kuhusu Dukani [40422]
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha: wahusika, ujumbe, muundo Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Dukani akizingatia kanuni za uandishi Kufurahia uandishi wa insha tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa kisa: wahusika, ujumbe, muundo Kusikiliza mfano wa insha ukitolewa na mwalimu na kutambua vipengele vyake Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Dukani kwa kufuata hatua: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi |
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Vitabu vya kuandikia Chati ya vipengele vya insha Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha
Hatua tano za uandishi
Orodha hakiki
Tathmini ya wenzake
|
|
| 1 |
REPORTING |
||||||||
| 2 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maagizo - Sikiliza Wimbo na Soma Maneno /dh/ [40416]
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua aina mbalimbali za maagizo yanayotumiwa dukani Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayohusu dukani Kusoma maneno yenye sauti /dh/: dhahabu, dhihirisha, madhehebu, dhaman |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza wimbo wa dukani ukiimbwa na mwalimu na kujadili maagizo yanayojitokeza Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /dh/: dhahabu, dhihirisha, madhehebu, dhaman Kuigiza mazungumzo ya kutoa na kufuata maagizo dukani akiwa na wenzake |
Je, ni kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Kadi za maneno yenye /dh/ Vifaa vya kidijitali Chati ya maagizo |
Kusikiliza wimbo
Kutamka maneno /dh/
Kuigiza maagizo
Tathmini ya matamshi
|
|
| 2 | 2 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Kanusha Sentensi (Somo la Kwanza) [40425]
Kusoma kwa Ufahamu - Shairi la Dukani (Somo la Pili) [40420] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi Kanusha sentensi za nafsi ya tatu: Yeye alinunua bidhaa → Yeye hakunununua bidhaa Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu kutoka kwenye kadi maneno au chati akiwa na wenzake Kanusha sentensi zifuatazo: Yeye alinunua bidhaa / Wao walienda shuleni / Yeye anasafiri / Wao watacheza Kuigiza matumizi ya nafsi ya tatu umoja na wingi na ukanushaji wake akiwa na wenzake |
Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Iwapo hakufanya mambo uliyotaja, ungesemaje?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Kadi za sentensi Chati ya ukanushaji Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 93 Picha ya duka Kamusi ndogo |
Kanusha sentensi
Kuigiza ukanushaji
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Uandishi wa Insha - Rekebisha na Nakala Safi ya Dukani [40423]
Maagizo - Sikiliza Mazungumzo ya Dukani na Maneno /th/ [40417] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kurekebisha insha ya Dukani kwa kuzingatia kanuni za uandishi Kuandika nakala safi ya insha Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha insha ya Dukani iliyoandikwa kipindi kilichopita kwa kuzingatia hati nadhifu, maudhui, mtiririko Kuandika nakala safi ya insha kwa kufuata hatua za uandishi Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Dukani. Kiandike upya na umsomee mwenzako |
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 93
Kazi za awali za wanafunzi Orodha hakiki ya insha Vitabu vya kuandikia Kadi za maneno yenye /th/ Vifaa vya kidijitali Chati ya mazungumzo |
Rekebisha na andika upya insha
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 2 | 4 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Jaza Nafasi kwa Ukanushaji [40426]
Kusoma kwa Ufahamu - Pendo na Duka Lake [40421] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi kwa usahihi Kujaza nafasi kwa ukanushaji sahihi kwa kutumia mfano: Yeye _nunua nyama → Yeye hakununua nyama Kutunga sentensi akitumia nafsi ya tatu na ukanushaji wake |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujaza nafasi kwa ukanushaji sahihi kwa kutumia mfano: Yeye _nunua nyama → Yeye hakununua nyama Kukamilisha: Yeye _uza pipi / Wao _panga bidhaa vizuri / Yeye _nunua kalamu / Wao _enda dukani Kutunga sentensi mbili ukitumia nafsi ya tatu umoja na mbili ukitumia nafsi ya tatu wingi na ukanushaji |
Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Iwapo hakufanya mambo uliyotaja, ungesemaje?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 93
Karatasi za mazoezi Kadi za mifano ya ukanushaji Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 96 Picha ya duka Kamusi ndogo |
Kujaza nafasi ukanushaji
Kutunga sentensi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Uandishi wa Insha - Rekebisha Ninapotumwa Dukani [40424]
Maagizo - Igiza na Soma Maneno /ch/ + Picha uk.105 [40418] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Kuweka Akiba ya Pesa Kurekebisha insha na kuandika nakala safi Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Andika kifungu chenye maneno kati ya 85 na 90 kuhusu Kuweka Akiba ya Pesa kwa kuzingatia vipengele vya insha Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Ninapotumwa Dukani. Kiandike upya Msomee mwenzako kifungu ulichoandika kuhusu Ninapotumwa Dukani ili amtolee maoni |
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 101
Vitabu vya kuandikia Orodha hakiki ya insha Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 98 Picha uk. 105 Kadi za maneno yenye /ch/ |
Kuandika insha mpya
Rekebisha na andika upya
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 3 | 2 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Ambatanisha na Jaza Nafasi [40427]
Kusoma kwa Ufasaha - Shairi la Ndege wa Nyumbani [40432] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuambatanisha sentensi na ukanushaji wake ipasavyo Kujaza nafasi katika sentensi kuonyesha ukanusho wa nafsi ya tatu Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
Ambatanisha sentensi katika A na ukanushaji wake katika B: Yeye alimpa chenji ↔ Yeye hakumpa chenji / Wao walinunua kitabu ↔ Wao hawakununua kitabu Jaza nafasi kuonyesha ukanusho: Yeye _kosa bidhaa / Wao _kupima unga kwa ratili / Yeye _kutaka kununua mkate / Wao _uza mazao yao Kanusha sentensi hizi: Wao walinunua mbegu / Yeye aliweka vitabu mkobani / Yeye anauza sukari / Wao waliweka pesa benki |
Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Iwapo hakufanya mambo uliyotaja, ungesemaje?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 96
Jedwali A-B la ukanushaji Karatasi za mazoezi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 106 Picha ya ndege wa nyumbani Kamusi ndogo |
Kuambatanisha sentensi/ukanushaji
Kujaza nafasi
Kanusha sentensi
Tathmini ya wenzake
|
|
| 3 | 3 |
NDEGE NIMPENDAYE
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Tahajia - Andika Insha ya Kwanza (Jinsi ya Kutunza Kuku) [40435]
Matamshi Bora - Sauti /mbw/ Somo la Kwanza [40428] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Kuku kwa kuzingatia tahajia sahihi Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua tahajia sahihi za maneno katika uandishi wa insha kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Kuku kwa kuzingatia tahajia sahihi za maneno Msomee mwenzako, mzazi au mlezi ili akutolee maoni |
Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 106
Vitabu vya kuandikia Chati ya tahajia Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /mbw/ Chati ya sauti |
Kuandika insha kwa tahajia sahihi
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 3 | 4 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya hili na haya - Kutambua na Pigia Mstari [40437]
Kusoma kwa Ufasaha - Ndege Ninayempenda [40433] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya neno hili na haya katika sentensi Kupiga mstari neno hili na haya katika sentensi mbalimbali Kufurahia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua matumizi ya hili na haya (k.v. jicho hili – macho haya, jino hili – meno haya) katika kifungu kwenye chati au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake Pigia mstari neno hili na haya katika sentensi: Darasa hili lina wanafunzi / Magari haya yanapendeza / Dirisha hili limefunguliwa / Matunda haya yameiva Jaza nafasi ukitumia neno linalofaa: Jino ___ linapendeza (hili/haya/hao) / Matawi ___ ni mengi (hili/haya) / Jiko ___ ni letu / Majani ___ ni makavu |
Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na maneno hili na haya?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 106
Kadi za sentensi Chati ya hili/haya Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108 Picha ya kasuku Kamusi ndogo |
Kupiga mstari hili/haya
Kujaza nafasi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 4 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Tahajia - Rekebisha Insha na Nakala Safi [40436]
Matamshi Bora - Sauti /mbw/ Somo la Pili [40429] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kurekebisha insha akizingatia tahajia sahihi za maneno Kuandika nakala safi ya insha ya Jinsi ya Kutunza Ndege Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha insha ya Jinsi ya Kutunza Ndege kwa kuzingatia tahajia sahihi Kuandika nakala safi ya insha kwa kufuata hatua za uandishi Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Jinsi ya Kutunza Ndege. Kiandike upya na umsomee mwenzako |
Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 116
Kazi za awali za wanafunzi Orodha hakiki ya tahajia Vitabu vya kuandikia KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108 Kifungu chenye maneno /mbw/ Vifaa vya kidijitali (kinasasauti) Kadi za sauti |
Rekebisha na andika upya insha
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 4 | 2 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya hili na haya - Andika Sentensi kwa Wingi [40438]
Kusoma kwa Ufasaha - Njiwa na Ziara ya Porini [40434] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika sentensi katika wingi kwa kubadilisha hili kuwa haya Kutumia hili na haya kwa usahihi katika sentensi Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika sentensi katika wingi: Jembe hili ni la jirani / Jicho hili linaona mbali / Jani hili linaanguka / Tunda hili ni tamu Kusoma sentensi zinazoonyesha matumizi ya hili na haya katika kifungu akishirikiana na wenzake Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizoandika |
Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na maneno hili na haya?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 113
Karatasi za mazoezi Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 111 Picha ya njiwa na ndege wa porini Kamusi ndogo |
Kuandika sentensi wingi
Kusomea wenzake
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 4 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora - Sauti /nd/ [40430]
Matamshi Bora - Sauti /ny/ [40431] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua silabi za sauti /nd/ katika maneno: ndumakuwili, undugu, ndururu, ndovu Kutamka maneno yenye sauti /nd/ kwa ufasaha Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti /nd/ kwa kuzingatia matamshi bora |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua silabi za sauti /nd/ katika kadi maneno, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /nd/: ndumakuwili, undugu, ndururu, ndovu Kujirekodi akisoma maneno yenye sauti /nd/ na kusikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108
Kadi za maneno yenye /nd/ Vifaa vya kidijitali Chati ya sauti KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 111 Kadi za maneno yenye /ny/ |
Kutamka maneno /nd/
Kujirekodi na kutathmini
Tathmini ya matamshi
Orodha hakiki
|
|
| 4 | 4 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya hili na haya - Jaza Nafasi na Nakili [40439]
Kusoma kwa Ufahamu - Soko la Sokotele [40443] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kujaza nafasi kwa kutumia hili au haya ipasavyo katika sentensi Kuandika kifungu kwa kutumia hili na haya Kuchangamkia matumizi sahihi ya hili na haya katika uandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Jaza nafasi katika sentensi kwa kutumia hili au haya: Kuku wangu alitaga mayai ___ / Njiwa aliangusha tawi ___ / Tai alitua juu ya paa ___ / Masanduku ___ yalitumika kubebea vifaranga Nakili kifungu hiki ukipigia mstari hili na haya: Jana nilisoma shairi hili. Leo nimesoma shairi hili. Mashairi haya kuhusu ndege yananipendeza Tunga sentensi tatu ukitumia kila mojawapo: hili na haya |
Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na maneno hili na haya?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 118
Karatasi za mazoezi Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 121 Picha ya soko Kamusi ndogo |
Kujaza nafasi hili/haya
Kunakili kifungu
Kutunga sentensi
Tathmini ya wenzake
|
|
| 5 | 1 |
SOKONI
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Masimulizi - Andika Insha ya Kwanza: Soko Letu [40446]
Mazungumzo - Sikiliza Mazungumzo ya Sokoni (Somo la Kwanza) [40440] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya masimulizi Kuandika insha ya masimulizi ya maneno 85–90 kuhusu Soko Letu Kuchangamkia uandishi wa insha ya masimulizi ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza masimulizi yakitolewa na mwalimu na kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye kitabu ili kutambua mambo muhimu Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Soko Letu kwa kufuata hatua: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi |
Je, unapenda kusimulia kuhusu nini?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 121
Vitabu vya kuandikia Chati ya vipengele vya insha ya masimulizi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 126 Picha ya muuzaji na mnunuzi Kadi za mazungumzo |
Kuandika insha ya masimulizi
Hatua tano za uandishi
Orodha hakiki
Tathmini ya wenzake
|
|
| 5 | 2 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Jaza Nafasi (Somo la Kwanza) [40449]
Kusoma kwa Ufahamu - Soko la Katiko [40444] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya katika sentensi Kujaza nafasi kwa kutumia juu ya, ndani ya au mbele ya ipasavyo Kuchangamkia matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya katika hadithi ya Soko la Sokotele Kujaza nafasi: Viazi vilijazwa ___ gunia / Bidhaa zilipangwa ___ rafu / Muuzaji aliweka vitunguu ___ meza / Mteja alisimama ___ muuzaji Kugiza matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya kwa vitu vinavyopatikana darasani |
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu/mtu aliye mahali fulani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 121
Vitu vya darasani Karatasi za mazoezi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 123 Picha ya soko la kuku Kamusi ndogo |
Kujaza nafasi
Kuigiza matumizi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Masimulizi - Andika Insha: Bidhaa Zinazouzwa Sokoni [40447]
Mazungumzo - Sikiliza na Soma Maneno /mbw/ (Somo la Pili) [40441] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya masimulizi ya maneno 85–90 kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni Kutumia vipengele vya insha ya masimulizi: wahusika, ujumbe, mtiririko Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kufuata hatua za uandishi Ukiwa na mwenzako, soma kisa kuhusu soko kutoka kwenye kitabu au mtandaoni na jadili ujumbe |
Je, kisa ulichowahi kusimuliwa kilikuwa na mafunzo gani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 128
Vitabu vya kuandikia Orodha hakiki ya insha ya masimulizi Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /mbw/ Chati ya mazungumzo |
Kuandika insha ya masimulizi
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 5 | 4 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Tunga Sentensi [40450]
Kusoma kwa Ufahamu - Uuzaji wa Samaki [40445] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutumia juu ya, ndani ya na mbele ya ipasavyo katika sentensi Kutunga sentensi moja kwa kila moja ya juu ya, ndani ya na mbele ya Kuigiza matumizi ya vihusishi hivi kwa vitu vinavyopatikana darasani |
Mwanafunzi aelekezwe:
Tumia juu ya, ndani ya na mbele ya kutunga sentensi ukitumia maneno haya: mayai / ndizi / trei Kujaza nafasi: Mnunuzi ameingia duka (mbele ya/ndani ya) / Ameketi ___ nyumba / Dalali amesimama ___ jukwaa / Maua mazuri yamepandwa ___ jengo Kuigiza matumizi: Mboga iko ndani ya gunia / Vitabu viko juu ya rafu / Gari liko mbele ya duka |
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu/mtu aliye mahali fulani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 123
Vitu vya darasani Karatasi za mazoezi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 131 Picha ya biashara ya samaki Kamusi ndogo |
Kutunga sentensi
Kujaza nafasi
Kuigiza matumizi
Tathmini ya wenzake
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Masimulizi - Rekebisha na Nakala Safi [40448]
Mazungumzo - Igiza Mazungumzo ya Sokoni (Somo la Tatu) [40442] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kurekebisha insha ya Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kuzingatia kanuni za uandishi Kuandika nakala safi ya insha Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha insha ya Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kuzingatia tahajia, mtiririko na vipengele vya insha ya masimulizi Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni. Kiandike kifungu upya Msomee mwenzako kifungu ulichoandika kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni ili amtolee maoni |
Je, kisa ulichowahi kusimuliwa kilikuwa na mafunzo gani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 131
Kazi za awali za wanafunzi Orodha hakiki ya insha Vitabu vya kuandikia KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 133 Picha ya Neema na Baba sokoni Vifaa vya kidijitali Kadi za mazungumzo |
Rekebisha na andika upya insha
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 6 | 2 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Chagua na Jaza Nafasi [40451]
Kusoma kwa Ufasaha - Safari Mjini [40456] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuchagua neno sahihi kati ya juu ya, ndani ya na mbele ya kukamilisha sentensi Kutunga sentensi tatu ukitumia juu ya, ndani ya na mbele ya Kumtungia mzazi au mlezi sentensi kwa kutumia vihusishi hivi kwa kuzingatia vitu nyumbani |
Mwanafunzi aelekezwe:
Chagua neno sahihi kukamilisha sentensi: Alijaza bidhaa ___ kikapu (juu ya/ndani ya) / Wauzaji huweka pesa zao ___ mfuko / Magunia ya vitunguu huletwa ___ bodaboda / Mlinzi alisimama ___ lango la soko Jaza nafasi: Aliweka matunda ___ kikapu / ___ darasa letu kuna bustani / Ndege alitua ___ mti / Kitanda kiko ___ nyumba Kumtungia mzazi au mlezi sentensi kwa kutumia juu ya, ndani ya na mbele ya kwa kuzingatia vitu nyumbani |
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu/mtu aliye mahali fulani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 133
Karatasi za mazoezi Vitu vya darasani Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 136 Picha ya safari/teknolojia Kamusi ndogo |
Kuchagua neno sahihi
Kutunga sentensi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 6 | 3 |
TEKNOLOJIA
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Maelezo - Andika Insha ya Kwanza: Jinsi ya Kutunza Simu [40459]
Matamshi Bora - Sauti /mb/ Somo la Kwanza [40452] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo Kuandika insha ya maelezo ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Simu Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo ipasavyo ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo: wahusika, ujumbe, muundo Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo kwenye kitabu akiwa na wenzake Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Simu kwa kufuata hatua: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi |
Je, unatumia maneno ya aina gani unapotoa maelezo kuhusu kitu?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 136
Vitabu vya kuandikia Chati ya vipengele vya insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /mb/ Chati ya sauti |
Kuandika insha ya maelezo
Hatua tano za uandishi
Orodha hakiki
Tathmini ya wenzake
|
|
| 6 | 4 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Vinyume vya Vitendo - Jaza Nafasi (Somo la Kwanza) [40461]
Kusoma kwa Ufasaha - Shairi la Vyombo vya Usafiri [40457] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vinyume vya vitendo katika sentensi Kujaza nafasi kwa kutumia kinyume cha maneno kwenye mabano Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vinyume vya vitendo: fungua–funga, keti–simama, twika–tua kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali Jaza nafasi ukitumia kinyume: Kaka ___ runinga (alinunua) / Mama ___ simu (alipata) / Mtoto ___ (amelala) / Mwalimu ___ stima (aliwasha) Kuigiza vinyume vya vitendo akiwa na wenzake |
Je, unajua vinyume vipi vya vitendo?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 138
Kadi za vinyume vya vitendo Karatasi za mazoezi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 141 Picha ya vyombo vya usafiri Kamusi ndogo |
Kujaza nafasi vinyume
Kuigiza vitendo
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Maelezo - Andika Umuhimu wa Tabuleti [40460]
Matamshi Bora - Sauti /nz/ [40454] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya maelezo ya maneno 85–90 kuhusu Umuhimu wa Tabuleti Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni Kurekebisha insha kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha ya maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika kifungu cha maneno 85–90 kuhusu Umuhimu wa Tabuleti kwa kufuata hatua za uandishi Msomee mwenzako, mzazi au mlezi kifungu hicho ili atoe maoni Andika insha kuhusu Televisheni (maneno 85–90). Msomee mwenzako kifungu hicho ili akutolee maoni |
Je, unatumia maneno ya aina gani unapotoa maelezo kuhusu kitu?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 143
Vitabu vya kuandikia Orodha hakiki ya insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 138 Kadi za maneno yenye /nz/ Chati ya sauti |
Kuandika insha ya maelezo
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 7 | 2 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Vinyume vya Vitendo - Andika Vinyume (Somo la Pili) [40462]
Kusoma kwa Ufasaha - Hadithi ya Bi. Mosi na Tarakilishi [40458] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika vinyume vya vitendo: anika–kunjua, tia–toa, fungua–funga, enda–rudi Kutunga sentensi ukitumia vinyume vya maneno: anza, penda, twende, panda Kutumia vinyume vya vitendo ipasavyo katika matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
Andika vinyume vya vitendo vifuatavyo: anika / tia / fungua / enda Tunga sentensi ukitumia vinyume vya maneno haya: anza / penda / twende / panda Kusikiliza kifungu chenye vinyume vya vitendo kikisomwa na mwalimu na kutambua vinyume |
Je, unajua vinyume vipi vya vitendo?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 141
Kadi za vinyume vya vitendo Karatasi za mazoezi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 143 Picha ya tarakilishi Kamusi ndogo |
Kuandika vinyume
Kutunga sentensi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 7 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha |
Matamshi Bora - Sauti /mb/ Somo la Pili [40453]
Vinyume vya Vitendo - Ambatanisha na Andika (Somo la Tatu) [40463] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua silabi za sauti /mb/ katika maneno: bembeleza, kimbia, mbuyu, mbolea Kuigiza mazungumzo ya kifungu cha teknolojia kwa kuzingatia matamshi bora Kutamka maneno yenye sauti /mb/ kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
Igiza kifungu cha mazungumzo kuhusu teknolojia kwa kufuata maelekezo ya mwalimu Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /mb/: bembeleza, kimbia, mbuyu, mbolea Mtamkie mwenzako, mzazi au mlezi maneno: twiga, tunza, ng'ambo ili akupe maoni |
Je, ni kwa nini tunatumia matamshi bora tunapozungumza?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 143
Kadi za maneno yenye /mb/ Vifaa vya kidijitali Chati ya mazungumzo Jedwali la maneno na vinyume Karatasi za mazoezi |
Kuigiza mazungumzo
Kutamka maneno /mb/
Tathmini ya matamshi
Maoni ya wenzake
|
|
| 7 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora - Sauti /tw/ [40455]
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua na kutamka maneno yenye sauti /tw/: ametwikwa, twisti, twendeni, mtwana Kusikiliza hadithi ya Dada na Rununu kutoka kwa mwalimu kwa makini Kutumia maneno yenye sauti /tw/ kwa ufasaha katika mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /tw/: ametwikwa, twisti, twendeni, mtwana Tunga sentensi kwa kutumia vinyume vya maneno haya: lala / washa / cheka / enda Kutazama picha ya Dada na Rununu na kusikiliza hadithi kutoka kwa mwalimu kwa makini |
Je, ni kwa nini tunatumia matamshi bora tunapozungumza?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 148
Picha uk. 150 Kadi za maneno yenye /tw/ Vifaa vya kidijitali |
Kutamka maneno /tw/
Kusikiliza hadithi
Tathmini ya matamshi
Maoni ya wenzake
|
|
Your Name Comes Here