If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 |
Opening school |
||||||||
| 1 | 2 |
USAFI WA MAZINGIRA
Kusoma |
Kusoma kwa Ufasaha - Usafi Nyumbani na Usafi Shuleni [40407]
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua sauti /dh/, /th/ na /ch/ katika vifungu vya Usafi Nyumbani na Usafi Shuleni Kusoma vifungu kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika na kasi ifaayo Kueleza ujumbe wa vifungu kuhusu umuhimu wa usafi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu cha Usafi Nyumbani kuhusu umuhimu wa usafi wa choo, nguo na jikoni Kusoma kifungu cha Usafi Shuleni kuhusu wanafunzi wa Shule ya Hekima wanaothamini usafi Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika) |
Je, utafanya nini ili kusikika vizuri unaposoma?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 78
Picha ya usafi Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kwa ufasaha
Kutambua sauti /dh/ /th/ /ch/
Tathmini ya matamshi
|
|
| 1 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Imla - Kuandika Sentensi za Imla (Somo la Kwanza) [40410]
Matamshi Bora - Sikiliza na Tamka Sauti /dh/ /th/ /ch/ [40404] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo Kuandika sentensi za imla akizingatia sauti /dh/, /th/ na /ch/ Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kwa makini maneno yenye sauti /dh/, /th/ na /ch/ yakitamkwa na mwalimu Kuandika sentensi utakazosomewa na mwalimu akizingatia kanuni za uandishi Kujadili na wenzake sentensi alizoziandika ili kuzitethmini |
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 76
Daftari la kuandikia Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno /dh/ /th/ /ch/ Vifaa vya kidijitali (kinasasauti) Chati ya sauti |
Kuandika imla
Kusahihisha kwa wenzake
Tathmini ya uandishi
Orodha hakiki
|
|
| 1 | 4 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya -eupe -eusi -ekundu - Kutambua na Kutumia -ekundu [40413]
Kusoma kwa Ufasaha - Maneno yenye Sauti /ch/ [40408] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua maneno yenye -ekundu katika sentensi Kukamilisha sentensi kwa kutumia -ekundu ipasavyo Kufurahia kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua maneno yenye -ekundu kwa kurejelea vitu halisi katika mazingira akiwa na wenzake Kukamilisha sentensi kwa kutumia -ekundu: Maua ___ yanavutia nyuki / Ukuta utapakwa rangi ___ / Zena alivaa nguo ___ / Vikombe ___ vitasafishwa Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga |
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 81
Vitu vya rangi nyekundu darasani Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /ch/ Chati |
Kukamilisha sentensi -ekundu
Kutunga sentensi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 2 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Imla - Kuandika Sentensi za Imla (Somo la Pili) [40411]
Matamshi Bora - Sauti /dh/ katika Mazingira Safi [40405] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika kifungu cha maneno 55–60 yanayotamkwa kwenye imla kwa kuzingatia sauti /dh/, /th/ na /ch/ Kutumia kanuni zifaazo za uandishi katika kuandika imla Kuchangamkia kuandika imla kwa makini |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kwa makini maneno yenye sauti /dh/, /th/ na /ch/ yakitamkwa na mwalimu au kifaa cha kidijitali Kuandika kifungu cha maneno 55–60 yatakayotamkwa akizingatia kanuni zifaazo za uandishi Kujadili na wenzake kifungu alichokiandika ili kukitathmini |
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 83
Daftari la kuandikia Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /dh/ |
Kuandika imla
Kusahihisha kwa wenzake
Tathmini ya uandishi
Orodha hakiki
|
|
| 2 | 2 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya -eupe -eusi -ekundu - Jaza Nafasi -eusi/-eupe [40414]
Kusoma kwa Ufasaha - Miti ni Uhai [40409] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutumia -eusi na -eupe ipasavyo katika sentensi Kujaza nafasi kwa kutumia -eusi au -eupe katika mktadha wa usafi Kutunga sentensi mbili ukitumia -eusi na mbili ukitumia -eupe |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujaza nafasi kwa kutumia -eusi au -eupe: Kuku alitaga mayai ___ / Jirani yetu atanunua magurudumu ___ / Alisugua meno yakawa ___ / Barabara ya kwetu ina lami ___ Kusikiliza maelezo kuhusu matumizi ya -eupe na -eusi kutoka kwa mwalimu Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga |
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 83
Karatasi za mazoezi Kadi za rangi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 86 Picha ya miti Kadi za maneno yenye /th/ |
Kujaza nafasi -eusi/-eupe
Kutunga sentensi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Matumizi ya Lugha |
Imla - Kiandike Upya na Kusomeana (Somo la Tatu) [40412]
Matamshi Bora - Sauti /ch/ na Kusikiliza Wimbo [40406] Matumizi ya -eupe -eusi -ekundu - Kutunga Sentensi [40415] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika kifungu cha maneno 55–60 kutoka kwa imla kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi Kuandika upya kifungu na kuwasomea wenzake Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika akizingatia kanuni za uandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika sentensi za imla zitakazotamkwa na mwalimu kwa kuzingatia kanuni za uandishi Kiandike upya na umsomee mwenzako kifungu ulichoandika Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika ili amtolee maoni |
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 88
Daftari la kuandikia Matini ya mwalimu Vitabu vya kuandikia Picha uk. 90 Kadi za maneno yenye /ch/ Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 86 Karatasi za mazoezi Vitu vya rangi tofauti |
Kuandika imla
Kusomea wenzako
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 2 | 4 |
DUKANI
Kusoma Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu - Shairi la Dukani (Somo la Kwanza) [40419]
Uandishi wa Insha - Andika Insha ya Kwanza kuhusu Dukani [40422] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua msamiati wa dukani katika shairi: pesa, bidhaa, muuzaji, ratili, sarafu Kueleza ujumbe wa shairi kuhusu shughuli za dukani Kutabiri na kuthibitisha maudhui ya shairi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi la Dukani na kueleza ujumbe wake kwa kuzingatia beti tatu Kujibu maswali: Asubuhi tunamuona nani? / Kwa nini Bi. Musa hufanya bidii kazini? / Mteja anaweza kutumia njia gani kulipia bidhaa? / Tunga sentensi ukitumia neno pesa Kutumia msamiati wa suala lengwa: duka, bidhaa, pesa, chenji, mteja, muuzaji |
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Picha ya duka Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali Vitabu vya kuandikia Chati ya vipengele vya insha |
Kusoma shairi kwa ufasaha
Kujibu maswali ya ufahamu
Kutambua msamiati
Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
|
|
| 3 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha |
Maagizo - Sikiliza Wimbo na Soma Maneno /dh/ [40416]
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Kanusha Sentensi (Somo la Kwanza) [40425] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua aina mbalimbali za maagizo yanayotumiwa dukani Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayohusu dukani Kusoma maneno yenye sauti /dh/: dhahabu, dhihirisha, madhehebu, dhaman |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza wimbo wa dukani ukiimbwa na mwalimu na kujadili maagizo yanayojitokeza Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /dh/: dhahabu, dhihirisha, madhehebu, dhaman Kuigiza mazungumzo ya kutoa na kufuata maagizo dukani akiwa na wenzake |
Je, ni kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Kadi za maneno yenye /dh/ Vifaa vya kidijitali Chati ya maagizo Kadi za sentensi Chati ya ukanushaji |
Kusikiliza wimbo
Kutamka maneno /dh/
Kuigiza maagizo
Tathmini ya matamshi
|
|
| 3 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu - Shairi la Dukani (Somo la Pili) [40420]
Uandishi wa Insha - Rekebisha na Nakala Safi ya Dukani [40423] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza ujumbe wa shairi kwa kina zaidi: muuzaji, bei, noti, sarafu, ratili Kutabiri na kuthibitisha maudhui ya shairi kwa kuzingatia picha Kueleza mafunzo yanayotokana na shairi kuhusu biashara ya dukani |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi la Dukani tena kwa kuzingatia beti zote tatu na kueleza ujumbe wa kila beti Kujibu maswali: Muuzaji anataka kupata nini katika biashara yake? / Ni bidhaa gani zinaweza kupimwa kwenye ratili? / Muuzaji ni mtu anayefanya kazi gani? Kutumia msamiati wa shairi kwa usahihi katika mazungumzo |
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 93
Picha ya duka Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali Kazi za awali za wanafunzi Orodha hakiki ya insha Vitabu vya kuandikia |
Kusoma shairi kwa ufasaha
Kujibu maswali ya ufahamu
Kujadili ujumbe
Tathmini ya kikundi
|
|
| 3 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha Kusoma |
Maagizo - Sikiliza Mazungumzo ya Dukani na Maneno /th/ [40417]
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Jaza Nafasi kwa Ukanushaji [40426] Kusoma kwa Ufahamu - Pendo na Duka Lake [40421] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayohusu dukani Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /th/: tamthilia, thibitisho, alithubutu, thiolojia Kujadili ujumbe wa mazungumzo ya dukani |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza mazungumzo ya dukani yakisomwa na mwalimu na kutambua maagizo yaliyotolewa Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /th/: tamthilia, thibitisho, alithubutu, thiolojia Kushirikiana na wenzake kutoa na kufuata maagizo yanayohusiana na dukani |
Je, ni kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 93
Kadi za maneno yenye /th/ Vifaa vya kidijitali Chati ya mazungumzo Karatasi za mazoezi Kadi za mifano ya ukanushaji KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 96 Picha ya duka Kamusi ndogo |
Kusikiliza mazungumzo
Kutamka maneno /th/
Kuigiza maagizo
Tathmini ya matamshi
|
|
| 3 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Uandishi wa Insha - Rekebisha Ninapotumwa Dukani [40424]
Maagizo - Igiza na Soma Maneno /ch/ + Picha uk.105 [40418] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Kuweka Akiba ya Pesa Kurekebisha insha na kuandika nakala safi Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Andika kifungu chenye maneno kati ya 85 na 90 kuhusu Kuweka Akiba ya Pesa kwa kuzingatia vipengele vya insha Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Ninapotumwa Dukani. Kiandike upya Msomee mwenzako kifungu ulichoandika kuhusu Ninapotumwa Dukani ili amtolee maoni |
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 101
Vitabu vya kuandikia Orodha hakiki ya insha Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 98 Picha uk. 105 Kadi za maneno yenye /ch/ |
Kuandika insha mpya
Rekebisha na andika upya
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 4 | 1 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Ambatanisha na Jaza Nafasi [40427]
Kusoma kwa Ufasaha - Shairi la Ndege wa Nyumbani [40432] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuambatanisha sentensi na ukanushaji wake ipasavyo Kujaza nafasi katika sentensi kuonyesha ukanusho wa nafsi ya tatu Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
Ambatanisha sentensi katika A na ukanushaji wake katika B: Yeye alimpa chenji ↔ Yeye hakumpa chenji / Wao walinunua kitabu ↔ Wao hawakununua kitabu Jaza nafasi kuonyesha ukanusho: Yeye _kosa bidhaa / Wao _kupima unga kwa ratili / Yeye _kutaka kununua mkate / Wao _uza mazao yao Kanusha sentensi hizi: Wao walinunua mbegu / Yeye aliweka vitabu mkobani / Yeye anauza sukari / Wao waliweka pesa benki |
Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Iwapo hakufanya mambo uliyotaja, ungesemaje?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 96
Jedwali A-B la ukanushaji Karatasi za mazoezi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 106 Picha ya ndege wa nyumbani Kamusi ndogo |
Kuambatanisha sentensi/ukanushaji
Kujaza nafasi
Kanusha sentensi
Tathmini ya wenzake
|
|
| 4 | 2 |
NDEGE NIMPENDAYE
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Tahajia - Andika Insha ya Kwanza (Jinsi ya Kutunza Kuku) [40435]
Matamshi Bora - Sauti /mbw/ Somo la Kwanza [40428] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Kuku kwa kuzingatia tahajia sahihi Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua tahajia sahihi za maneno katika uandishi wa insha kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Kuku kwa kuzingatia tahajia sahihi za maneno Msomee mwenzako, mzazi au mlezi ili akutolee maoni |
Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 106
Vitabu vya kuandikia Chati ya tahajia Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /mbw/ Chati ya sauti |
Kuandika insha kwa tahajia sahihi
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 4 | 3 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya hili na haya - Kutambua na Pigia Mstari [40437]
Kusoma kwa Ufasaha - Ndege Ninayempenda [40433] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya neno hili na haya katika sentensi Kupiga mstari neno hili na haya katika sentensi mbalimbali Kufurahia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua matumizi ya hili na haya (k.v. jicho hili – macho haya, jino hili – meno haya) katika kifungu kwenye chati au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake Pigia mstari neno hili na haya katika sentensi: Darasa hili lina wanafunzi / Magari haya yanapendeza / Dirisha hili limefunguliwa / Matunda haya yameiva Jaza nafasi ukitumia neno linalofaa: Jino ___ linapendeza (hili/haya/hao) / Matawi ___ ni mengi (hili/haya) / Jiko ___ ni letu / Majani ___ ni makavu |
Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na maneno hili na haya?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 106
Kadi za sentensi Chati ya hili/haya Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108 Picha ya kasuku Kamusi ndogo |
Kupiga mstari hili/haya
Kujaza nafasi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 4 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Matumizi ya Lugha |
Tahajia - Rekebisha Insha na Nakala Safi [40436]
Matamshi Bora - Sauti /mbw/ Somo la Pili [40429] Matumizi ya hili na haya - Andika Sentensi kwa Wingi [40438] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kurekebisha insha akizingatia tahajia sahihi za maneno Kuandika nakala safi ya insha ya Jinsi ya Kutunza Ndege Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha insha ya Jinsi ya Kutunza Ndege kwa kuzingatia tahajia sahihi Kuandika nakala safi ya insha kwa kufuata hatua za uandishi Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Jinsi ya Kutunza Ndege. Kiandike upya na umsomee mwenzako |
Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 116
Kazi za awali za wanafunzi Orodha hakiki ya tahajia Vitabu vya kuandikia KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108 Kifungu chenye maneno /mbw/ Vifaa vya kidijitali (kinasasauti) Kadi za sauti KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 113 Karatasi za mazoezi Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali |
Rekebisha na andika upya insha
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusoma kwa Ufasaha - Njiwa na Ziara ya Porini [40434]
Matamshi Bora - Sauti /nd/ [40430] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kusoma vifungu vya Njiwa na Ziara ya Porini kwa kuzingatia matamshi bora Kueleza ujumbe wa vifungu kuhusu ndege porini na nyumbani Kueleza mafunzo yanayotokana na vifungu |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu cha Njiwa kuhusu jinsi njiwa wa kike anavyoatamia mayai na kukuza makinda Kusoma hadithi ya Ziara ya Porini kuhusu wanafunzi waliozuru Msitu wa Amani na kuona chiriku, kasuku, korongo Kujibu maswali: Njiwa ni ndege gani? / Njiwa wa kike hufanya nini? / Watoto wa ndege huitwaje? |
Je, ni kwa nini tunasoma kwa ufasaha?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 111
Picha ya njiwa na ndege wa porini Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108 Kadi za maneno yenye /nd/ Chati ya sauti |
Kusoma kwa ufasaha
Kujibu maswali ya ufahamu
Kujadili ujumbe
Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
|
|
| 5 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha |
Matamshi Bora - Sauti /ny/ [40431]
Matumizi ya hili na haya - Jaza Nafasi na Nakili [40439] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua silabi za sauti /ny/ katika maneno: nyangumi, nyamaza, mfinyanzi, nyambizi Kutamka maneno yenye sauti /ny/ kwa ufasaha Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti /ny/ kwa kuzingatia matamshi bora |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti /ny/ yakitamkwa na mwalimu au kifaa cha kidijitali na kutambua silabi lengwa Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /ny/: nyangumi, nyamaza, mfinyanzi, nyambizi Mtamkie mwenzako, mzazi au mlezi maneno: nyanya, ndevu, nyuni ili akutolee maoni |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 111
Kadi za maneno yenye /ny/ Vifaa vya kidijitali Chati ya sauti KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 118 Karatasi za mazoezi Kadi za sentensi |
Kutamka maneno /ny/
Kujirekodi na kutathmini
Tathmini ya matamshi
Orodha hakiki
|
|
| 5 | 3 |
SOKONI
Kusoma Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu - Soko la Sokotele [40443]
Insha ya Masimulizi - Andika Insha ya Kwanza: Soko Letu [40446] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua msamiati wa sokoni: muuzaji, mteja, bidhaa, sarafu, risiti, chenji Kueleza ujumbe wa hadithi ya Soko la Sokotele Kutabiri na kuthibitisha maudhui ya hadithi kwa kuzingatia picha |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutabiri ujumbe wa hadithi kwa kutazama picha kisha kuthibitisha baada ya kusoma Kusoma hadithi ya Soko la Sokotele: Bi. Mambo akifanya biashara, wateja wakikagua bidhaa na kulipa kwa sarafu Kujibu maswali kuhusu hadithi na kutumia msamiati wa suala lengwa |
Je, ni mambo yapi unayozingatia unaposoma kifungu chochote?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 121
Picha ya soko Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali Vitabu vya kuandikia Chati ya vipengele vya insha ya masimulizi |
Kusoma kwa ufasaha
Kutambua msamiati
Kutabiri na kuthibitisha
Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
|
|
| 5 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha Kusoma |
Mazungumzo - Sikiliza Mazungumzo ya Sokoni (Somo la Kwanza) [40440]
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Jaza Nafasi (Somo la Kwanza) [40449] Kusoma kwa Ufahamu - Soko la Katiko [40444] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua suala lengwa linalozungumziwa katika mazungumzo ya sokoni Kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo Kuigiza mazungumzo kati ya muuzaji na mnunuzi kwa lugha ya heshima |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza mazungumzo kati ya muuzaji na mnunuzi yakisomwa na mwalimu Kutambua suala lengwa linalozungumziwa kwa kutumia picha Kuigiza mazungumzo ya sokoni akiwa na mwenzake: Chukulia kuwa mko sokoni. Wewe ni muuzaji na mwenzako ni mnunuzi |
Je, unazingatia nini unapozungumza kuhusu masuala mbalimbali?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 126
Picha ya muuzaji na mnunuzi Vifaa vya kidijitali Kadi za mazungumzo KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 121 Vitu vya darasani Karatasi za mazoezi KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 123 Picha ya soko la kuku Kamusi ndogo |
Kusikiliza mazungumzo
Kuigiza mazungumzo
Tathmini ya lugha na matamshi
Maoni ya wenzake
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Masimulizi - Andika Insha: Bidhaa Zinazouzwa Sokoni [40447]
Mazungumzo - Sikiliza na Soma Maneno /mbw/ (Somo la Pili) [40441] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya masimulizi ya maneno 85–90 kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni Kutumia vipengele vya insha ya masimulizi: wahusika, ujumbe, mtiririko Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kufuata hatua za uandishi Ukiwa na mwenzako, soma kisa kuhusu soko kutoka kwenye kitabu au mtandaoni na jadili ujumbe |
Je, kisa ulichowahi kusimuliwa kilikuwa na mafunzo gani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 128
Vitabu vya kuandikia Orodha hakiki ya insha ya masimulizi Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /mbw/ Chati ya mazungumzo |
Kuandika insha ya masimulizi
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 6 | 2 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Tunga Sentensi [40450]
Kusoma kwa Ufahamu - Uuzaji wa Samaki [40445] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutumia juu ya, ndani ya na mbele ya ipasavyo katika sentensi Kutunga sentensi moja kwa kila moja ya juu ya, ndani ya na mbele ya Kuigiza matumizi ya vihusishi hivi kwa vitu vinavyopatikana darasani |
Mwanafunzi aelekezwe:
Tumia juu ya, ndani ya na mbele ya kutunga sentensi ukitumia maneno haya: mayai / ndizi / trei Kujaza nafasi: Mnunuzi ameingia duka (mbele ya/ndani ya) / Ameketi ___ nyumba / Dalali amesimama ___ jukwaa / Maua mazuri yamepandwa ___ jengo Kuigiza matumizi: Mboga iko ndani ya gunia / Vitabu viko juu ya rafu / Gari liko mbele ya duka |
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu/mtu aliye mahali fulani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 123
Vitu vya darasani Karatasi za mazoezi Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 131 Picha ya biashara ya samaki Kamusi ndogo |
Kutunga sentensi
Kujaza nafasi
Kuigiza matumizi
Tathmini ya wenzake
|
|
| 6 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Masimulizi - Rekebisha na Nakala Safi [40448]
Mazungumzo - Igiza Mazungumzo ya Sokoni (Somo la Tatu) [40442] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kurekebisha insha ya Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kuzingatia kanuni za uandishi Kuandika nakala safi ya insha Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha insha ya Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kuzingatia tahajia, mtiririko na vipengele vya insha ya masimulizi Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni. Kiandike kifungu upya Msomee mwenzako kifungu ulichoandika kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni ili amtolee maoni |
Je, kisa ulichowahi kusimuliwa kilikuwa na mafunzo gani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 131
Kazi za awali za wanafunzi Orodha hakiki ya insha Vitabu vya kuandikia KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 133 Picha ya Neema na Baba sokoni Vifaa vya kidijitali Kadi za mazungumzo |
Rekebisha na andika upya insha
Kusomea wenzake
Tathmini kwa orodha hakiki
|
|
| 6 | 4 |
Matumizi ya Lugha
Kusoma |
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Chagua na Jaza Nafasi [40451]
Kusoma kwa Ufasaha - Safari Mjini [40456] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuchagua neno sahihi kati ya juu ya, ndani ya na mbele ya kukamilisha sentensi Kutunga sentensi tatu ukitumia juu ya, ndani ya na mbele ya Kumtungia mzazi au mlezi sentensi kwa kutumia vihusishi hivi kwa kuzingatia vitu nyumbani |
Mwanafunzi aelekezwe:
Chagua neno sahihi kukamilisha sentensi: Alijaza bidhaa ___ kikapu (juu ya/ndani ya) / Wauzaji huweka pesa zao ___ mfuko / Magunia ya vitunguu huletwa ___ bodaboda / Mlinzi alisimama ___ lango la soko Jaza nafasi: Aliweka matunda ___ kikapu / ___ darasa letu kuna bustani / Ndege alitua ___ mti / Kitanda kiko ___ nyumba Kumtungia mzazi au mlezi sentensi kwa kutumia juu ya, ndani ya na mbele ya kwa kuzingatia vitu nyumbani |
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu/mtu aliye mahali fulani?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 133
Karatasi za mazoezi Vitu vya darasani Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 136 Picha ya safari/teknolojia Kamusi ndogo |
Kuchagua neno sahihi
Kutunga sentensi
Tathmini ya wenzake
Orodha hakiki
|
|
| 7 | 1 |
TEKNOLOJIA
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Matumizi ya Lugha |
Insha ya Maelezo - Andika Insha ya Kwanza: Jinsi ya Kutunza Simu [40459]
Matamshi Bora - Sauti /mb/ Somo la Kwanza [40452] Vinyume vya Vitendo - Jaza Nafasi (Somo la Kwanza) [40461] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo Kuandika insha ya maelezo ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Simu Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo ipasavyo ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo: wahusika, ujumbe, muundo Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo kwenye kitabu akiwa na wenzake Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Simu kwa kufuata hatua: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi |
Je, unatumia maneno ya aina gani unapotoa maelezo kuhusu kitu?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 136
Vitabu vya kuandikia Chati ya vipengele vya insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /mb/ Chati ya sauti KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 138 Kadi za vinyume vya vitendo Karatasi za mazoezi |
Kuandika insha ya maelezo
Hatua tano za uandishi
Orodha hakiki
Tathmini ya wenzake
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha - Shairi la Vyombo vya Usafiri [40457]
Insha ya Maelezo - Andika Umuhimu wa Tabuleti [40460] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua sauti /tw/ katika shairi: Twende, twendeshe, tukiepuka Kusoma shairi kwa kuzingatia matamshi bora na ishara zifaazo Kueleza ujumbe wa shairi kuhusu vyombo vya usafiri |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi la Vyombo vya Usafiri na kueleza ujumbe wake kwa kuzingatia beti zote Kujibu maswali: Wakati mwandishi ana haraka hupanda nini? / Tunaona nini tunapoabiri ndege? / Taja vyombo vingine vya usafiri / Tunga sentensi ukitumia neno eropleni Msomee mwenzako kifungu Matumizi ya Rununu |
Kwa nini ni muhimu kusoma kifungu kwa ufasaha?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 141
Picha ya vyombo vya usafiri Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 143 Vitabu vya kuandikia Orodha hakiki ya insha ya maelezo |
Kusoma shairi kwa ufasaha
Kujibu maswali ya ufahamu
Kutambua sauti /tw/
Tathmini ya matamshi
|
|
| 7 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha |
Matamshi Bora - Sauti /nz/ [40454]
Vinyume vya Vitendo - Andika Vinyume (Somo la Pili) [40462] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua silabi za sauti /nz/ katika maneno: mwanafunzi, kanzu, mkurugenzi, nzumari Kutamka maneno yenye sauti /nz/ kwa ufasaha Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti /nz/ kwa kuzingatia matamshi bora |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /nz/: mwanafunzi, kanzu, mkurugenzi, nzumari Kujirekodi akisoma maneno yenye sauti /nz/ na kusikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi Mtamkie mwenzako, mzazi au mlezi maneno: nzumari, mwanafunzi ili akupe maoni |
Je, ni kwa nini tunatumia matamshi bora tunapozungumza?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 138
Kadi za maneno yenye /nz/ Vifaa vya kidijitali Chati ya sauti KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 141 Kadi za vinyume vya vitendo Karatasi za mazoezi |
Kutamka maneno /nz/
Kujirekodi na kutathmini
Tathmini ya matamshi
Orodha hakiki
|
|
| 7 | 4 |
Kusoma
Kusikiliza na Kuzungumza Matumizi ya Lugha Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusoma kwa Ufasaha - Hadithi ya Bi. Mosi na Tarakilishi [40458]
Matamshi Bora - Sauti /mb/ Somo la Pili [40453] Vinyume vya Vitendo - Ambatanisha na Andika (Somo la Tatu) [40463] Matamshi Bora - Sauti /tw/ [40455] |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua msamiati wa teknolojia: tarakilishi, video, kompyuta Kueleza ujumbe wa hadithi kuhusu Bi. Mosi na matumizi ya tarakilishi Kueleza mafunzo yanayotokana na hadithi |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma hadithi ya Bi. Mosi akionyesha wanafunzi wanyama kwenye tarakilishi Kujibu maswali: Kifaa alichoshika Bi. Mosi kinaitwaje? / Wanafunzi waliona wanyama gani kwenye tarakilishi? / Tarakilishi hutumika kufanya mambo gani? / Tunga sentensi ukitumia neno video Kumsomea mzazi au mlezi hadithi kwa kuzingatia matamshi bora |
Kwa nini ni muhimu kusoma kifungu kwa ufasaha?
|
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 143
Picha ya tarakilishi Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno yenye /mb/ Chati ya mazungumzo Jedwali la maneno na vinyume Karatasi za mazoezi KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 148 Picha uk. 150 Kadi za maneno yenye /tw/ |
Kusoma kwa ufasaha
Kujibu maswali ya ufahamu
Kujadili mafunzo
Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
|
|
| 8 |
End term examination |
||||||||
| 9 |
Revision and closing |
||||||||
Your Name Comes Here