Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2027
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kujibu - Mahojiano
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
A-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano B.Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano¶-Kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo¶-C.Kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aweze.   Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano¶-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano¶-Kusikiliza mahojiano kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza¶-Kushiriki mahojiano kuhusu suala lengwa
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 ifaa vya kidijitali¶Video za mahojiano¶Chati¶Kadi maneno
Kutambua vipengele vya mahojiano¶Kushiriki mahojiano¶Kujibu maswali¶Kueleza umuhimu wa mahojiano
2 2
Kusikiliza na Kuzungumza
K
Kusikiliza na Kujibu - Mahojiano
U
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:                     A-Kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano B.Kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali C.Kutathmini uongozi bora katika mahojiano
Mwanafunzi aweze.  -Kuigiza mahojiano kati ya chifu na mwanakijiji¶-Kutathmini mahojiano yaliyoigiziwa¶-Kushiriki mazungumzo na mzazi kuhusu suala lengwa¶-Kutumia orodha ya ukaguzi kujitathmini
Je, unahitaji nini ili ufanye mahojiano mazuri?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 rodha ya ukaguzi¶Kadi za tathmini¶Matini ya mwalimu
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 icha¶Michoro¶Vifaa vya kidijitali
Kushiriki mahojiano¶Kujitathmini¶Kutoa maoni¶Kuigiza mazungumzo
2 3
Kusoma
Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 A Kueleza maana ya msamiati katika kifungu¶-B.Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu. C.kutumia msamiati alivyoutambua kwa usahihi                       D-Kusoma vifungu mtandaoni kuhusu usafi
Mwanafunzi aweze ¶-Kutambua na kueleza maana ya msamiati¶-Kutunga sentensi akitumia msamiati mpya¶-Kumsomea mzazi kifungu kifupi¶-Kusakura mtandaoni na kusoma vifungu kuhusu usafi
Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 hati¶Kamusi¶Matini ya mwalimu
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 atini ya mwalimu¶Kifaa cha kidijitali¶Kadi zenye mifano
Kutambua msamiati mpya¶Kutunga sentensi¶Kufanya tathmini ya maana
2 4
Kuandika

Viakifishi - Alama ya Hisi na Ritifaa
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 A Kutumia alama ya ritifaa ipasavyo.  B.Kufurahia matumizi yafaayo ya alama za uakifishaji¶.               C-Kuandika vifungu vyenye matumizi sahihi ya alama za uakifishaji
Mwanafunzi aweze :¶-Kutambua matumizi ya alama ya ritifaa¶-Kuandika maneno yenye alama ya ritifaa¶-Kutunga kifungu kuhusu usafi¶-Kuwasambazia wenzake kifungu kwenye mtandao
Je, alama ya ritifaa hutumiwa vipi katika maandishi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 atini ya mwalimu¶Kifaa cha kidijitali¶Mifano ya alama za ritifaa
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Chati¶Kadi maneno
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Matini ya mwalimu¶Kifaa cha kidijitali¶Jedwali la viwakilishi
Kutunga sentensi zenye alama ya ritifaa¶Kusahihisha kifungu¶Kuweka alama za uakifishaji
3 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /g/ na /gh/
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kutambua sauti /g/ na /gh/ katika silabi na maneno¶-Kutamka sauti /g/ na /gh/ ipasavyo¶-Kutumia maneno yenye sauti /g/ na /gh/ ipasavyo¶-Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /g/ na /gh/
Mwanafunzi aweze :¶-Kutambua sauti /g/ na /gh/ katika maneno¶-Kusikiliza maneno na vitanzandimi¶-Kutafuta maneno yenye sauti /g/ na /gh/¶-Kutunga sentensi akitumia maneno yenye sauti lengwa
Ni maneno yapi yaliyo na sauti /g/ na /gh/?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Picha¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu
Kutambua sauti /g/ na /gh/¶Kutamka ipasavyo¶Kutunga sentensi¶Kufanya tathmini ya matamshi
3 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /g/ na /gh/
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /g/ na /gh/¶-Kuigiza mazungumzo akizingatia matamshi bora¶-Kushiriki mazungumzo na mzazi kwa kuzingatia sauti lengwa
Mwanafunzi aweze :¶-Kuigiza mazungumzo kati ya Maya na Mlama¶-Kutaja maneno yote yenye sauti /g/ na /gh/¶-Kutunga sentensi akitumia maneno ya sauti lengwa¶-Kushiriki mazungumzo na mzazi
Je, unatumiaje sauti /g/ na /gh/ katika mazungumzo?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Kadi za maneno¶Mazungumzo ya Maya na Mlama
Kuigiza mazungumzo¶Kutamka sauti sahihi¶Kutunga vitanzandimi¶Kushiriki na mzazi
3 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia¶-Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma¶-Kueleza kwa muhtasari ujumbe wa matini aliyosoma¶-Kujenga mazoea ya kusoma matini za miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aweze ¶-Kuteua matini kuhusu suala linalomvutia¶-Kusoma matini ya kujichagulia¶-Kutambua msamiati katika matini¶-Kutumia kamusi kutafuta maana¶-Kuwaeleza wenzake ujumbe wa matini
Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Matini mbalimbali za kujichagulia¶Kamusi¶Kijitabu cha rekodi
Kutambua msamiati mpya¶Kutunga sentensi¶Kutoa muhtasari¶Kuweka rekodi ya aliyosoma
3 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze: , ¶.                 -Kutunga sentensi akitumia msamiati mpya¶-Kuandika muhtasari wa matini ya kujichagulia¶-Kuweka rekodi ya matini aliyosoma¶.   -Kutoa maoni kuhusu matini aliyosoma
Mwanafunzi aweze :¶-Kutunga sentensi akitumia msamiati mpya¶-Kuandika muhtasari wa matini¶-Kujaza kijitabu cha "Shajara yangu"¶-Kutoa maoni kuhusu matini aliyosoma
Unapataje ujumbe katika matini uliyoisoma?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Shajara ya usomaji¶Matini ya mwalimu¶Kijitabu maalum
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Matini ya mwalimu¶Michoro¶Chati¶Mfano wa barua ya kirafiki
Kutunga sentensi sahihi¶Kuandika muhtasari¶Kuweka rekodi¶Kutoa maoni
4 1
Kuandika
Barua ya Kirafiki ya Kutoa Shukrani
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani¶.                 -Kukuza mazoea ya kuandika barua ya kirafiki¶-Kutumia lugha ifaayo katika barua ya kirafiki
Mwanafunzi aweze :¶-Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani¶-Kuwasomea wenzake barua aliyoandika¶-Kurekebisha barua akizingatia maoni ya wenzake¶-Kumwandikia mzazi barua ya kutoa shukrani
Je, unazingatia nini unapoandika barua ya kirafiki?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu¶Mifano ya barua za kirafiki
Kuandika barua ya kirafiki¶Kusomeana barua¶Kufanya tathmini¶Kutoa maoni
4 2
Sarufi
Viwakilishi vya Sifa, Pekee na Viulizi
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kutambua viwakilishi vya sifa katika matini¶.         -Kutumia viwakilishi vya sifa ipasavyo¶.                 -Kuchangamkia matumizi yafaayo ya viwakilishi vya sifa
Mwanafunzi aweze :¶-Kuchopoa viwakilishi vya sifa katika mafungu¶-Kutambua viwakilishi vya sifa katika sentensi¶-Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vya sifa¶-Kuandika aya kuhusu matumizi yafaayo ya dawa
Kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vya sifa na vivumishi vya sifa?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu¶Orodha ya viwakilishi
Kutambua viwakilishi vya sifa¶Kutunga sentensi¶Orodha hakiki¶Kufanya tathmini
4 3
Sarufi
Viwakilishi vya Sifa, Pekee na Viulizi
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kutambua viwakilishi vya pekee na viulizi¶.    -Kutumia viwakilishi vya pekee na viulizi ipasavyo¶-Kuchangamkia kutumia viwakilishi mbalimbali katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze ¶-Kutambua viwakilishi vya pekee na viulizi¶-Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vya pekee na viulizi¶-Kuandika aya kuhusu dawa akitumia viwakilishi mbalimbali¶-Kumsomea mzazi sentensi zenye viwakilishi
Viwakilishi vya pekee hutumiwa kwa namna gani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Kadi za viwakilishi¶Matini ya mwalimu
Kutunga sentensi sahihi¶Kutambua viwakilishi¶Kufanyiana tathmini¶Kushiriki na mzazi
4 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi - Mighani
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kueleza dhana ya mighani ili kuipambanua¶-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa mighani¶-Kujadili ujumbe na lugha katika mighani
Mwanafunzi aweze   -Kueleza maana ya mighani¶-Kushiriki kueleza sifa za mighani¶-Kujadili vipengele vya uwasilishaji wa mighani¶-Kusikiliza mighani ikisimuliwa na mwalimu
Je, unaposimulia mighani unafaa kuzingatia vipengele gani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Kadi za tashbihi¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu
Kutambua mighani¶Kueleza matumizi¶Kutunga mighani¶Kutofautisha mighani na semi zingine
5 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi - Mighani
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:                   , ¶-Kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo¶-Kuchangamkia kushiriki katika uwasilishaji wa mighani¶-Kuwawasilishia mzazi mighani aliyotafitia katika jamii
Mwanafunzi aweze ¶-Kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo¶-Kubainisha sifa na vipengele vya uwasilishaji¶-Kuwasilishia mzazi mighani aliyotafitia¶-Kujadili ujumbe husika
Je, ni mambo gani muhimu katika uwasilishaji wa mighani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini zilizo na mighani¶Chati za uwasilishaji
Kusimulia mighani¶Kueleza matumizi¶Kutunga mighani¶Kushiriki na jamii
5 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Tamthilia
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kueleza maana ya tamthilia ili kuipambanua¶-Kujadili sifa za tamthilia kama utanzu wa fasihi andishi¶-Kuchangamkia usomaji wa tamthilia
Mwanafunzi aweze :¶-Kufafanua maana ya tamthilia¶-Kutafiti maktabani kuhusu sifa za tamthilia¶-Kuwawasilishia wenzake utafiti wake¶-Kusoma tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
Je, tamthilia uliyowahi kusoma ilikuwa inahusu nini?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Diwani ya mashairi iliyoteuliwa¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Tamthilia iliyoteuliwa¶Chati ya sifa za tamthilia¶Vifaa vya kidijitali
Kutambua sifa za tamthilia¶Kusoma tamthilia¶Kuandika muhtasari¶Kujadili ujumbe
5 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kubaini wazo moja kuu la insha ya masimulizi¶-Kuandika insha ya masimulizi inayoendeleza wazo moja kuu¶-Kufurahia kuandika insha za masimulizi
Mwanafunzi aweze :¶-Kutambua wazo moja kuu la simulizi¶-Kuandika insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa¶-Kuliendeleza wazo moja kuu katika kila aya¶-Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya kubuni?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Mifano ya insha za masimulizi¶Picha¶Vifaa vya kidijitali
Kutambua wazo kuu¶Kuandika insha ya masimulizi¶Kusahihisha kazi¶Kuwasomea wenzake
5 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kuendeleza wazo kuu katika aya za insha¶.        Kutumia wahusika katika simulizi¶-Kuwasilisha insha kwa wenzake ili waitathmini
Mwanafunzi aweze :¶-Kuendeleza wazo moja kuu katika kila aya¶-Kutumia wahusika katika simulizi¶-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika¶-Kutambua wazo moja kuu katika insha za wengine
Je, unavyoendeleza wazo kuu katika insha ya masimulizi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Mifano ya insha za masimulizi¶Matini ya mwalimu
Kuandika insha sahihi¶Kuendeleza wazo kuu¶Kurekebisha insha¶Kuwasilisha kazi
6 1
Sarufi
Viwakilishi Vimilikishi na Visisitizi
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:                   , ¶-Kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika matini¶.     -Kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo¶-Kuchangamkia kutumia viwakilishi katika sentensi na vifungu
Mwanafunzi aweze :¶-Kuchopoa viwakilishi vimilikishi na visisitizi¶-Kutambua viwakilishi katika sentensi¶-Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vimilikishi¶-Kumsomea mzazi sentensi zinazotumia viwakilishi
Unazingatia nini unapotumia viwakilishi vimilikishi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu¶Orodha ya viwakilishi
Kutambua viwakilishi vimilikishi¶Kutunga sentensi¶Kujaza mapengo¶Kushiriki na mzazi
6 2
Sarufi
Viwakilishi Vimilikishi na Visisitizi
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kutambua viwakilishi visisitizi katika matini¶-Kutumia viwakilishi visisitizi ipasavyo¶-Kuchangamkia matumizi ya viwakilishi mbalimbali
Mwanafunzi aweze:¶ -Kutambua viwakilishi visisitizi¶-Kujaza nafasi kwa viwakilishi visisitizi¶-Kutunga kifungu cha aya moja¶-Kuwasilishia mwalimu kifungu chake
Je, viwakilishi visisitizi vina muhimu gani katika mawasiliano?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Kapu na kadi maneno¶Matini ya mwalimu
Kutambua viwakilishi visisitizi¶Kutunga sentensi¶Kufanya tathmini¶Kuwasilisha kazi
6 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi - Visasili
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kueleza dhana ya visasili ili kuibanisha¶-Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili¶-Kuwasilisha visasili kwa kuzingatia uwasilishaji ufaao
Mwanafunzi aweze :¶-Kueleza maana ya visasili¶-Kufanya utafiti kuhusu sifa za visasili¶-Kuwawasilishia wenzake matokeo ya utafiti¶-Kujadili vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji
Je, uwasilishaji wa hadithi ya visasili huzingatia vipengele gani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Orodha ya visasili¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu
Kutambua visasili¶Kueleza matumizi¶Kutunga visasili¶Kutofautisha visasili na semi zingine
6 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi - Visasili
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi¶-Kufurahia uchambuzi na uwasilishaji wa visasili¶-       Kujadili na mzazi kuhusu visasili katika jamii
Mwanafunzi aweze :¶-Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi¶-Kubainisha vipengele vya uwasilishaji¶-Kujadili na mzazi kuhusu visasili¶-Kusimulia visasili akizingatia vipengele vya uwasilishaji
Visasili vina sifa gani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini zilizo na visasili¶Chati za uwasilishaji
Kusimulia visasili¶Kueleza matumizi¶Kutunga visasili¶Kushiriki na jamii
7 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:,                       -Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha¶-     Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora¶-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
Mwanafunzi aweze: ¶-Kujadiliana vipengele vya kusoma kwa ufasaha¶-Kutazama vielelezo vya usomaji fasaha¶-Kusoma kifungu akizingatia matamshi bora¶-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Diwani ya mashairi iliyoteuliwa¶Chati ya sifa za usomaji¶Vifaa vya kidijitali
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Makala mbalimbali¶Vifaa vya kidijitali¶Chati ya usomaji
Kutambua vipengele vya usomaji¶Kusoma kwa ufasaha¶Kujibu maswali¶Kufanya tathmini
7 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kutambua mbinu za lugha katika insha ya masimulizi¶-Kujadili umuhimu wa mbinu za lugha¶.        -Kujadili wahusika na mandhari katika insha za masimulizi
Mwanafunzi aweze :¶-Kutambua mbinu za lugha katika vielelezo¶-Kushirikiana kujadili umuhimu wa lugha ya kiubunifu¶-Kutafiti kuhusu umuhimu wa mbinu za lugha¶-Kujadili wahusika na mandhari
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya masimulizi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Mifano ya insha za masimulizi¶Picha¶Vifaa vya kidijitali
Kutambua mbinu za lugha¶Kujadili umuhimu¶Kuandika mwongozo¶Kutunga insha
7 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:                     ¶-Kuandika insha ya masimulizi akizingatia mbinu za lugha¶-Kufurahia kuandika insha ya masimulizi¶-Kutunga insha zenye wahusika wanaobainika na mandhari ifaavyo
Mwanafunzi aweze: ¶-Kuandika insha ya masimulizi akitumia lugha kiubunifu¶-Kuwabainisha wahusika na mandhari¶-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika¶-Kumsomea mzazi kielelezo cha insha
Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika uandishi wa insha ya masimulizi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Mifano ya insha za masimulizi¶Matini ya mwalimu
Kuandika insha ya masimulizi¶Kutumia mbinu za lugha¶Kurekebisha insha¶Kuwasilisha kazi
7 4
Sarufi
Nyakati na Hali - Hali ya Mazoea na Timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, ¶-Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu¶.     Kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo¶-Kufurahia kutumia hali za vitenzi ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aweze :¶-Kushirikiana kueleza maana ya hali ya mazoea¶-Kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa¶-Kutunga sentensi kwa kutumia hali ya mazoea¶-Kuandika sentensi katika hali ya mazoea
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Kadi za vihusishi¶Chati¶Vifaa vya kidijitali
Kutambua hali ya mazoea¶Kutunga sentensi sahihi¶Kufanyiana tathmini¶Kuweka rekodi
8

Midterm assessments

9

Midterm

10 1
Sarufi
Nyakati na Hali - Hali ya Mazoea na Timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
 ¶-Kueleza maana ya hali timilifu¶-Kutumia hali timilifu ipasavyo¶-Kutofautisha hali ya mazoea na hali timilifu
Mwanafunzi aweze :¶-Kutambua hali timilifu katika picha¶-Kutunga sentensi kwa kutumia hali timilifu¶-Kubadilisha sentensi kutoka hali ya mazoea hadi timilifu¶-Kumwasilishia mzazi sentensi alizotunga
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Picha za matendo¶Kadi za sentensi¶Vifaa vya kidijitali
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Chati za maagizo¶Matini ya mwalimu
Kutambua hali timilifu¶Kutunga sentensi¶Kubadilisha hali¶Kushiriki na mzazi
10 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kueleza maana ya maagizo ili kuyapambanua¶- Kutambua maagizo katika miktadha mbalimbali¶- Kujadili sifa za kimsingi za maagizo yafaayo¶- Kutoa na kupokea maagizo ipasavyo¶- Kuchangamkia kutoa na kufuata maagizo ifaavyo katika miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aweze :¶- Kutafiti maktabani au mtandaoni kuhusu sifa za maagizo na kuwawasilishia wenzake darasani wazitathmini¶- Kuigiza utoaji na uitikiaji wa maagizo mbalimbali kwa uwazi akiwa na wenzake¶- Kujadiliana na wenzake kuhusu aina mbalimbali za maagizo kulingana na miktadha ya jamii zao¶- Kushirikiana na mwenzake katika kuandaa maagizo na kisha kuyawasilisha darasani
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 53¶Vifaa vya kidijitali¶Kadi za maagizo¶Matini ya mwalimu
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Kifaa cha kidijitali¶Kamusi¶Matini ya mwalimu
Kuigiza maagizo¶Kushiriki mijadala¶Kuwasilisha kazi¶Kufanyiana tathmini
10 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu¶.                - Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu¶.                - Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari
Mwanafunzi aweze :¶- Kusakura vifungu vya ufahamu kuhusu suala lengwa kwenye vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake na kuvisoma¶- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kifupi kwa sauti na kueleza habari husika kwa ufupi
Ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Kamusi¶Matini ya mwalimu
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Kifaa cha kidijitali¶Mifano ya insha za maelekezo¶Kamusi
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 58¶Vifaa vya kidijitali¶Mifano ya insha za maelekezo¶Matini ya mwalimu
Kusoma kwa ufahamu¶Kueleza ujumbe¶Kushiriki na mzazi/mlezi¶Kufanyiana tathmini
10 4
Sarufi
Nyakati na Hali - Hali Timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ili kuzipambanua¶.     - Kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu katika matini¶- Kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo katika matini¶-        --Kuchangamkia kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aweze :¶- Kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu¶- Kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu (li, me) na wakati ujao hali timilifu (ta, me) akishirikiana na wenzake¶- Kushirikiana na wenzake kutenga vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu kutoka kwenye chati au mti maneno
Kwa nini ni muhimu kujifunza nyakati na hali?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Chati za nyakati na hali¶Mti maneno¶Vifaa vya kidijitali
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Chati za nyakati¶Matini ya mwalimu
Kutambua viambishi vya nyakati¶Kutunga sentensi¶Kujaza pengo¶Kufanyiana tathmini
11 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza¶-  -            -Kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku¶- Kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini¶-                     - Kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku
Mwanafunzi aweze :¶- Kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake¶- Kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini na maisha ya kila siku¶- Kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini
Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako?¶Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini za sauti¶Kanda za sauti
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini za mzazi/mlezi¶Matini ya mwalimu
Kueleza ujumbe¶Kuhusisha na maisha ya kila siku¶Kujadili mafunzo¶Kushiriki na mzazi/mlezi
11 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua¶- Kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia¶.                - Kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia¶- Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kujenga misingi ya uchambuzi
Mwanafunzi aelekezwe                 :¶- Kueleza maana ya maudhui katika fasihi¶- Kutambua maudhui mbalimbali katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu akiwa na mwenzake¶- Kujadili maudhui ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu akishirikiana na wenzake¶- Kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu maudhui¶- Kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
Je, tamthilia uliyowahi kusoma ilikuwa inahusu nini?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Tamthilia iliyoteuliwa¶Matini ya mwalimu¶Vitabu vya fasihi
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 65¶Tamthilia iliyoteuliwa¶Vitabu vya fasihi¶Matini ya mwalimu
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Mifano ya insha za mdokezo¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu
Kutambua maudhui¶Kujadili dhamira¶Kuwasilisha uchambuzi¶Kuandika maelezo mafupi
11 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Mdokezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua¶- Kubainisha aina za insha ya mdokezo¶- Kujadili vipengele vya insha ya mdokezo¶- Kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika¶- Kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu
Mwanafunzi aweze ¶- Kueleza vipengele vilivyozingatiwa katika uandishi wa insha ya mdokezo aliyosoma¶- Kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha za mdokezo¶- Kuwasilisha insha yake darasani ili wenzake waitolee maoni¶- Kuwasilishia mzazi au mlezi insha aliyoiandika ili aitolee maoni
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Mifano ya insha za mdokezo¶Matini ya mwalimu
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Chati za vivumishi¶Kadi maneno¶Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha ya mdokezo¶Kuwasilisha darasani¶Kutoa na kupokea maoni¶Kushiriki na mzazi/mlezi
11 4
Sarufi
 
Vivumishi vya Sifa na Viashiria
 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini¶- Kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini¶- Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze :¶- Kutunga sentensi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akishirikiana na wenzake¶- Kutunga aya kuhusu suala lengwa kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akishirikiana na wenzake¶- Kutafiti mtandaoni kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria¶- Kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyotafiti mtandaoni
Je, kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vya sifa na vivumishi vya sifa?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini za utafiti¶Chati za vivumishi
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini za mazungumzo¶Chati za vipengele vya usikilizaji
Kutunga sentensi na aya¶Kutafiti mtandaoni¶Kushiriki na mzazi/mlezi¶Kufanya tathmini
12 1
Kusikiliza na Kuzungumza

Usikilizaji Husishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha¶- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi¶- Kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi¶- Kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine
Mwanafunzi aweze ¶- Kumsikiliza mwenzake, mwalimu au mgeni mwalikwa akisema kauli au akisoma vifungu vifupi kuhusu suala lengwa na kufasiri hisia zake¶- Kuigiza kikao cha utoaji nasaha akishirikiana na wenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi¶- Kushiriki mazungumzo kuhusu suala lengwa na mzazi, mlezi au mwenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 74¶Vifaa vya kidijitali¶Matini za mazungumzo¶Jedwali la ukaguzi
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Matini za kufupisha¶Vifaa vya kidijitali¶Kamusi
Kuigiza kikao cha utoaji nasaha¶Kufasiri hisia za mzungumzaji¶Kushiriki na mzazi/mlezi¶Kufanyiana tathmini
12 2
Kusoma

Ufupisho

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua¶- Kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu¶- Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho¶- Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi
Mwanafunzi aweze ¶- Kueleza kwa maneno yake habari muhimu katika kifungu alichosoma¶- Kufupisha kifungu alichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini akishirikiana na wenzake¶- Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni¶- Kumweleza mzazi au mlezi namna ya kufupisha kifungu kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini
Je, unavutiwa na nini unaposoma shairi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 77¶Matini za kufupisha¶Vifaa vya kidijitali¶Jedwali la vipengele
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Mifano ya insha za maelezo¶Vifaa vya kidijitali¶Chati za tamathali za lugha
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Mifano ya insha za maelezo¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu
Kufupisha kifungu¶Kuwasilisha kazi¶Kushiriki na mzazi/mlezi¶Kutoa na kupokea maoni
12 3
Sarufi
Vivumishi Vimilikishi na vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini¶- Kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini¶- Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze :¶- Kutambua vivumishi vimilikishi, na vya idadi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake¶- Kutenga vivumishi vimilikishi na vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi¶- Kumtajia mwenzake vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya shuleni
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Chati za vivumishi¶Kadi maneno¶Vifaa vya kidijitali
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 82¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu¶Chati za vivumishi
Kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi¶Kutenga vivumishi¶Kutaja vivumishi mazingireni¶Kujaza nafasi
12 4
Kusikiliza na Kuzungumza

Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
¶- Kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua¶- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo¶- Kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji¶- Kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aweze :¶- Kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake¶- Kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo akishirikiana na wenzake¶- Kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Vifaa vya kidijitali¶Matini za uzungumzaji¶Chati za vipengele vya uzungumzaji
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Jedwali la ukaguzi¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 8 Tamthilia iliyoteuliwa¶Vifaa vya kidijitali¶Matini ya mwalimu
Kutambua vipengele vya uzungumzaji¶Kusikiliza uzungumzaji¶Kutathmini vipengele¶Kushiriki uzungumzaji

Your Name Comes Here


Download

Feedback