Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2027
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
USAFI WA MAZINGIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza na Kujibu - Mjadala
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala.
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala.
Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama na kusikiliza mjadala kuhusu usafi wa mazingira katika kifaa cha kidijitali.
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza na kuchangia mjadala.
Kujadili vipengele alivyotambua kwenye daftari lake.
Kushiriki mjadala darasani na wenzake.
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 1
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kadi maneno
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 4
Picha
Michoro
Kutambua vipengele vya mjadala Kuuliza na kujibu maswali Orodha hakiki Kueleza Kushiriki mjadala
2 2
Sarufi
Kuandika
Vihusishi vya Mahali
Viakifishi - Koloni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya vihusishi vya mahali.
Kutambua vihusishi vya mahali katika matini.
Kutumia vihusishi vya mahali ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya vihusishi vya mahali.
Kutambua vihusishi vya mahali kama "chini ya", "kando ya", "mbele ya", "ndani ya", "juu ya" katika sentensi.
Kujaza pengo katika sentensi kwa kutumia vihusishi vya mahali.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi vya mahali ipasavyo kuhusu usafi wa mazingira.
Je, ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 10-11
Kadi maneno
Matini ya mwalimu
Picha zinazoonyesha mahali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 8
Kifaa cha kidijitali
Kadi zenye mifano ya matumizi ya koloni
Kujaza pengo kwa vihusishi vya mahali Kuuliza maswali na kutoa majibu Kutunga sentensi zenye vihusishi vya mahali Kufanyiana tathmini
2 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza na Kujibu - Mjadala
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala.
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala.
Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua mada "Usafi wa mazingira ndio unaozuia kuenea kwa maradhi".
Kujigawa katika vikundi viwili: kuunga mkono na kupinga mjadala.
Kutayarisha hoja za kuunga mkono au kupinga mjadala.
Kuchagua viongozi wa kuwaelekeza kama vile mwenyekiti, katibu, mlinda nidhamu na mtunza wakati.
Je, unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 3
Chati ya vipengele vya mjadala
Karatasi za kuandikia hoja
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 5-6
Chati
Kamusi
Matini ya mwalimu
Kushiriki mjadala Matamshi bora ya maneno Utetezi wa hoja kwa lugha ya adabu Kutumia lugha ya ushawishi
2 4
Sarufi
Kuandika
Vihusishi vya Wakati
Viakifishi - Semi Koloni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vihusishi vya wakati katika matini.
Kutumia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya wakati katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vya wakati kama "baada ya", "kabla ya", "tangu", "toka", "hadi" kutoka kwa kapu maneno, chati au mti maneno.
Kutambua vihusishi vya wakati katika sentensi.
Kujaza nafasi kwa vihusishi vya wakati.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi vya wakati ipasavyo kuhusu usafi wa mazingira.
Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 11-12
Chati mabango
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 9
Matini ya mwalimu
Kadi
Mifano ya sentensi zenye matumizi ya semi koloni
Kujaza pengo kwa vihusishi vya wakati Kujibu maswali Kutunga sentensi zenye vihusishi vya wakati Kutambua tofauti kati ya vihusishi vya mahali na vya wakati
3 1
MAZOEZI YA VIUNGO VYA MWILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutamka sauti /b/ na /mb/ ipasavyo ili kuzitofautisha kimatamshi.
Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo.
Kuunda vitanzandimi vyepesi vyenye sauti /b/ na /mb/.
Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /b/ na /mb/ katika mazungumzo ya kawaida.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno kama "bali-mbali", "bao-mbao", "baba-bomba", "ibo-imba", "boga-mboga".
Kusikiliza na kutamka vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha matamshi ya sauti /b/ na /mb/ katika kifaa cha kidijitali.
Kubuni vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha sauti /b/ na /mb/.
Kuwasomea wenzake vitanzandimi alivyobuni ili wamtolee maoni.
Je, kutamka maneno yenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo kuna umuhimu gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 13-14
Mti maneno
Matini ya mwalimu
Kifaa cha kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 15-16
Matini mbalimbali za kujichagulia
Kamusi
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno Kutunga vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/ Orodha hakiki ya maneno yenye sauti hizo
3 2
Sarufi
Vihusishi vya -a Unganifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika matini.
Kutumia vihusishi vya -a unganifu ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi ya -a unganifu ifaavyo katika mahusiano na mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vya -a unganifu kama "wa", "la", "ya", "cha", "za" katika mafungu ya maneno.
Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika sentensi.
Kujaza pengo kwa vihusishi vya -a unganifu.
Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya -a unganifu akizingatia mazoezi ya viungo vya mwili.
Je, vihusishi vya -a unganifu hutumika vipi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 19-20
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Orodha ya vihusishi vya -a unganifu
Kutambua vihusishi vya -a unganifu Kuulizana na kujibu maswali Kutunga sentensi zenye vihusishi vya -a unganifu Orodha hakiki ya matumizi ya vihusishi vya -a unganifu
3 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kirafiki
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua ujumbe unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki.
Kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki.
Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki.
Kuchangamkia kujibu barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua ujumbe unaoafiki anapojibu barua ya kirafiki.
Kueleza lugha inayofaa kujibu barua ya kirafiki.
Kujadili muundo wa kujibu barua ya kirafiki akishirikiana na wenzake.
Kuchora mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki kitambuni.
Je, unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 17
Matini ya mwalimu
Michoro
Chati
Mfano wa barua ya kirafiki
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 13-14
Mti maneno
Kifaa cha kidijitali
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki Kuchora muundo wa barua ya kirafiki Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kirafiki
3 4
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Vihusishi vya Sababu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma.
Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua matini kuhusu mazoezi ya viungo vya mwili kisha some matini aliyojichagulia.
Kutambua msamiati muhimu katika matini aliyoteua.
Kufafanua ujumbe wa matini aliyoisoma kwa ufupi.
Kutambua na kuorodhesha msamiati uliotumika katika matini aliyojichagulia.
Je, unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 15-16
Matini mbalimbali za kujichagulia
Kamusi
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 21
Vifaa vya kidijitali
Kapu na kadi maneno
Matini ya mwalimu
Kusoma matini ya kujichagulia Kutambua msamiati muhimu Kuorodhesha msamiati na maana yake Kufafanua ujumbe wa matini
4 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kirafiki
Semi - Tashbihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao.
Kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao.
Kuwasomea wenzake barua aliyoandika ili wamtolee maoni.
Kurekebisha barua yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake.
Kuwasilisha barua yake kwa mwalimu ili aitathimini.
Je, unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 18-19
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Mifano ya barua za kirafiki
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 24
Kadi za tashbihi
Kuandika barua ya kirafiki Kusomeana barua za kirafiki Kufanya tathmini Kutoa maoni kuhusu barua za wenzake
4 2
UTUNZAJI WA WANYAMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Semi - Sitiari
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya sitiari ili kuipambanua na tungo zingine.
Kutambua sitiari katika matini ya fasihi simulizi.
Kueleza matumizi ya sitiari katika matini ya fasihi simulizi.
Kuchangamkia matumizi ya sitiari katika tungo za fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya sitiari.
Kutambua sitiari kama "Yeye ni twiga", "Yeye ni simba" kutoka kwenye tungo simulizi au kifaa cha kidijitali.
Kueleza matumizi ya sitiari katika tungo za fasihi simulizi.
Kushiriki katika uwasilishaji wa sitiari.
Kwa nini tunatumia sitiari kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 25-27
Matini zilizo na sitiari
Chati za sitiari
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 30-31
Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
Matini ya mwalimu
Kutambua sitiari katika tungo za fasihi simulizi Kueleza matumizi ya sitiari Kutunga sitiari Kutofautisha sitiari na tashbihi
4 3
Sarufi
Vihusishi Vilinganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vihusishi vilinganishi katika matini.
Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vilinganishi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vilinganishi kama "kama", "sawa na", "mithili ya", "kupita", "kuliko" n.k.
Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi kama "Sungura alimchekelea Kobe na kumwambia, 'mimi ni mwepesi kuliko wewe.'"
Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vihusishi vilinganishi.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi vilinganishi akizingatia utunzaji wa wanyama.
Je, vihusishi vilinganishi na kihusishi 'na' huchangia vipi katika mawasiliano?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 36-37
Kadi za vihusishi vilinganishi
Chati
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi Kujaza pengo kwa vihusishi vilinganishi Kutunga sentensi zenye vihusishi vilinganishi Kufanyiana tathmini
4 4
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni - Masimulizi
Semi - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi.
Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho.
Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika.
Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa simulizi.
Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi na kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho.
Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye matini za aina mbalimbali na kufafanua ujumbe kupitia kwa wahusika.
Kujadili vigezo vya kutathmini insha ya masimulizi.
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 33-34
Mifano ya insha za masimulizi
Picha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 27-29
Orodha ya methali
Matini ya mwalimu
Kutambua vipengele vya insha ya masimulizi Kufafanua ujumbe wa insha kupitia utangulizi, kiini na hitimisho Kuandika mwongozo wa kutunga insha ya masimulizi
5 1
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kihusishi 'na'
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya shairi ili kulitofautisha na tungo zingine.
Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi.
Kueleza sifa za ushairi katika shairi.
Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi "Wanyama tuwalindeni, waishi pasi nakama" katika diwani iliyoteuliwa na mwalimu.
Kutambua vipengele vya shairi kama vile vina, mizani, mishororo, kituo, na kadhalika.
Kujadili na wenzake sifa za shairi alilolisoma.
Kuwasomea wenzake shairi hilo kwa kuzingatia kanuni za usomaji wa mashairi.
Je, unavutiwa na nini unaposoma shairi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 31-32
Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
Chati ya sifa za ushairi
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 37-38
Kadi za sentensi zenye kihusishi 'na'
Matini ya mwalimu
Kutambua sifa za ushairi katika shairi Kusoma shairi kwa ufasaha Kujibu maswali kuhusu shairi Kufanya tathmini ya ujumbe wa shairi
5 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni - Masimulizi
Semi - Vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi.
Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho.
Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika.
Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao.
Kufurahia kufafanua ujumbe wa insha ya kusimulia ili kufanikisha maelezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa wanyama daftarini mwake au katika kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini, hitimisho na wahusika.
Kuwasomea wenzake insha aliyoandika darasani au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
Kurekebisha insha yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake.
Kuwasilisha insha iliyorekebishwa kwa mwalimu kwa tathmini.
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 35
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya insha za masimulizi
Matini ya mwalimu
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 40
Kamusi
Mtandao salama
Kadi maneno
Kuandika insha ya masimulizi Kufafanua ujumbe wa insha kupitia wahusika Kurekebisha insha kulingana na maoni ya wenzake Kuwasilisha insha iliyorekebishwa
5 3
UTUNZAJI WA MALIASILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Semi - Vitendawili
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi;
Kueleza umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi;
Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wake;
Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kufanya utafiti kuhusu umuhimu wa vitendawili;
Kufafanua umuhimu wa vitendawili katika vipengele kama vile huburudisha, hukuza ubunifu, hukuza uwezo wa kufikiri, hukuza uwezo wa kukumbuka na huelimisha;
Wasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji.
Kwa nini vitendawili ni muhimu katika jamii?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 41
Picha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 44
Kifungu cha nathari
Kutambua umuhimu wa vitendawili; Kueleza umuhimu wa vitendawili; Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
5 4
Sarufi
Nyakati na Hali - -ki- ya masharti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua -ki- ya masharti katika matini;
Kueleza matumizi ya -ki- ya masharti;
Kutumia -ki- ya masharti ipasavyo katika matini;
Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ki- ya masharti ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Nakili sentensi zilizo na -ki- ya masharti;
Tambua -ki- ya masharti katika sentensi kwa kuichorea mstari;
Eleza maana inayojitokeza katika sentensi za -ki- ya masharti;
Chagua sentensi zilizotumia -ki- ya masharti kati ya sentensi zilizotolewa.
-ki- ya masharti hutumiwa wakati gani katika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 50
Chati
Matini yenye sentensi za -ki- ya masharti
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 51
Karatasi zenye sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua -ki- ya masharti; Kueleza matumizi ya -ki- ya masharti; Kutunga sentensi akitumia -ki- ya masharti
6 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali;
Kutambua lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kujadili lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kutumia lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kufurahia matumizi ya lugha ya kitamathali katika kuandika insha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kamusi au mtandao salama kutafuta maana ya tamathali;
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali;
Kutoa mifano ya tamathali za usemi;
Kusoma insha ya masimulizi na kutambua lugha ya kitamathali iliyotumika.
Lugha ya kitamathali huongeza ladha gani katika insha?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 47
Kamusi
Mtandao salama
Insha ya mfano
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali; Kutambua lugha ya kitamathali katika insha; Kutumia lugha ya kitamathali katika sentensi
6 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni - Masimulizi
Semi - Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi;
Kujadili matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi;
Kujadili mandhari katika insha ya masimulizi;
Kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari;
Kufurahia kuandika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutafuta maana ya wahusika;
Kusoma insha ya masimulizi;
Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi;
Jadili matendo ya wahusika;
Jadili mandhari katika insha aliyosoma.
Unazingatia vipengele vipi unapoandika insha ya masimulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 48
Insha ya mfano
Picha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 42
Kamusi
Mtandao salama
Kadi za nahau
Kutambua wahusika katika insha; Kujadili matendo ya wahusika; Kujadili mandhari katika insha
6 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Semi - Nahau
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua umuhimu wa nahau katika fasihi simulizi;
Kueleza umuhimu wa nahau katika fasihi simulizi;
Kutumia nahau ipasavyo katika mawasiliano;
Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza hadithi ya mwalimu iliyo na nahau;
Kutambua nahau katika hadithi iliyosikilizwa;
Kueleza maana za nahau zilizotambuliwa;
Jadili umuhimu wa nahau zilizotambuliwa.
Nahau huongeza ladha gani katika lugha?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 43
Hadithi ya sungura
Kadi za nahau
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 45
Kifungu cha nathari
Saa ya kidijitali
Kutambua nahau; Kueleza umuhimu wa nahau; Kutumia nahau ipasavyo
6 4
Sarufi
Kuandika
Nyakati na Hali - -ka- ya kufuatana kwa vitendo
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua -ka- ya kufuatana kwa vitendo katika matini;
Kueleza matumizi ya -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini;
Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ka- ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutambua sentensi zenye -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutunga sentensi akitumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kusomea mwenzake sentensi alizozitunga.
-ka- ya kufuatana kwa vitendo hutumiwa wakati gani katika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 51
Karatasi zenye sentensi
Kadi za maneno
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 49
Orodha ya tathmini
Karatasi za kuandikia
Kutambua -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kutunga sentensi akitumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kufanya tathmini
7 1
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Ufahamu wa Kusikiliza
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kueleza vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza na kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza;
Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha ya wanafunzi wanasikiliza runinga;
Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza kwa kuzingatia matendo katika picha;
Jadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza.
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kujibu mjadala?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 52
Picha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 55
Kifungu cha ufahamu
Kutambua kanuni za ufahamu wa kusikiliza; Kusikiliza kwa makini; Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza
7 2
Sarufi
Hali za Masharti - -nge-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya hali ya masharti;
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-;
Kutumia hali ya masharti -nge- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -nge- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -nge-;
Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya masharti -nge-;
Kutambua vitenzi ambavyo vinaonyesha hali ya masharti -nge-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -nge-.
Je, unahitaji kufanya nini unapoonyesha hali ya masharti unatumia viambishi gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 60
Chati
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Karatasi za kuandikia
Kutambua hali ya masharti -nge-; Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -nge-; Kujaza nafasi kwa kutumia -nge-
7 3
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya shajara;
Kujadili vipengele vya shajara;
Kutambua vipengele vya shajara katika kielelezo;
Kuchangamkia kuandika shajara ili kuweka kumbukumbu ya matukio muhimu.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma maandishi katika kijitabu;
Kueleza maana ya shajara kutokana na maandishi aliyosoma;
Kusoma tena insha ya shajara ya kibinafsi;
Jadili vipengele vya shajara aliyosoma.
Kwa nini watu hutumia shajara?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 57
Kijitabu cha shajara
Mfano wa shajara
Kueleza maana ya shajara; Kutambua vipengele vya shajara; Kutunga sentensi za kibinafsi za kuweka katika shajara
7 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Ufahamu wa Kusikiliza
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sifa za ufahamu wa kusikiliza;
Kueleza sifa za ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza na kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza;
Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
Jadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza kifungu cha ufahamu wa kusikiliza kilichorekodiwa au kusomwa na mwalimu;
Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza.
Kusikiliza kwa ufahamu kuna faida gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 53
Kifaa cha kidijitali
Kifungu cha ufahamu
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 56
Kamusi
Chati
Karatasi
Kutambua sifa za ufahamu wa kusikiliza; Kusikiliza kwa makini; Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza
8

midterm

9 1
Sarufi
Hali za Masharti - -ngali-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutumia hali ya masharti -ngali- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -ngali-;
Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutambua vitenzi ambavyo vinaonyesha hali ya masharti -ngali-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-.
Kiambishi -ngali- kinatofautianaje na -nge-?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Chati
Karatasi zenye sentensi
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 62
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
Kutambua hali ya masharti -ngali-; Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -ngali-
9 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika shajara akizingatia vipengele vyake;
Kufanya marekebisho ya shajara;
Kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika shajara kuonyesha shughuli zake za siku mojawapo shuleni;
Kusomea mwenzake shajara aliyoandika;
Kuomba maoni ya mwenzake kuhusu shajara yake;
Kuandika nakala safi ya shajara yake.
Ni vipengele vipi muhimu katika shajara?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 58
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 63
Picha
Kuandika shajara; Kusahihisha shajara; Kusoma shajara kwa wenzake
9 3
USALAMA BARABARANI

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Vielezi vya Namna
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya maudhui;
Kutambua maudhui katika shairi;
Kujadili maudhui katika shairi;
Kuchambua shairi kwa kuzingatia maudhui;
Kufurahia kuchambua mashairi kwa kuzingatia maudhui.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kazi yoyote ya fasihi kueleza mambo yanayozungumziwa humo;
Kutazama kitabu cha fasihi atakachoonyeshwa na mwalimu;
Kueleza maana ya maudhui;
Kutafiti mtandaoni salama maana ya maudhui katika kazi za fasihi.
Je, shairi ulilowahi kusoma lilikuwa linazungumzia nini?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 65
Kitabu cha fasihi
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 70
Chati
Karatasi zenye sentensi
Kamusi
Kueleza maana ya maudhui; Kutambua maudhui katika shairi; Kujadili maudhui katika shairi
9 4
Sarufi
Kuandika
Vielezi vya Namna
Insha za Kubuni - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua aina mbalimbali za vielezi vya namna;
Kueleza aina mbalimbali za vielezi vya namna;
Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya namna katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuzingatia vielezi vya namna kama halisi, hali, tumizi, vikariri, mkazo, viigizi na kifani;
Kamilisha sentensi kwa kuchagua vielezi sahihi vya namna;
Kutumia vielezi vya namna kutunga sentensi.
Vielezi vya namna huchangia vipi katika mawasiliano?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 71
Kadi za vielezi vya namna
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 68
Kielelezo cha insha ya methali
Kutambua aina za vielezi vya namna; Kujaza pengo kwa vielezi vya namna; Kutunga sentensi akitumia vielezi vya namna
10 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini;
Kulinganisha misimamo na mielekeo ya ujumbe wa matini aliyosikiliza na ile ya jamii yake;
Kujenga mazoea ya kutambua msimamo na mielekeo katika matini mbalimbali ili kupata maana ya ujumbe.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kifungu na kutoa msimamo na mielekeo yake;
Kutoa sababu za msimamo wake;
Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini aliyosikiliza kuhusu usalama barabarani na ile ya jamii yake.
Unaweza vipi kutambua msimamo wa mtu katika mazungumzo?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 64
Kifungu cha kusomewa
Vifaa vya kidijitali
Kueleza msimamo na mielekeo; Kutoa sababu za msimamo wake; Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini na ile ya jamii
10 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Vielezi vya Wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya dhamira;
Kutambua dhamira katika shairi;
Kujadili dhamira katika shairi;
Kuchambua shairi kwa kuzingatia dhamira;
Kufurahia kuchambua mashairi kwa kuzingatia dhamira.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi "Ajali tuzilaani";
Kujadili maudhui katika shairi alilosoma;
Kujadili dhamira katika shairi;
Kuandika maudhui na dhamira katika daftari.
Je, unavutiwa na nini unaposoma shairi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 66
Shairi "Ajali tuzilaani"
Chati
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 72
Matini yenye vielezi vya wakati
Vifaa vya kidijitali
Kueleza maana ya dhamira; Kutambua dhamira katika shairi; Kujadili dhamira katika shairi
10 3
Sarufi
Kuandika
Vielezi vya Wakati
Insha za Kubuni - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua aina mbalimbali za vielezi vya wakati;
Kueleza aina mbalimbali za vielezi vya wakati;
Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya wakati katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua aina za vielezi vya wakati kama nyakati za siku, siku za wiki, miezi ya mwaka, siku mbalimbali, miaka na wakati usio dhahiri;
Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vielezi vya wakati;
Kuandika kifungu cha aya moja akitumia vielezi vya wakati angalau vitano.
Je, tofauti kati ya vielezi vya namna na vya wakati ni ipi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 73
Kadi za vielezi vya wakati
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 69
Jedwali la tathmini
Karatasi za kuandikia
Kutambua aina za vielezi vya wakati; Kutunga sentensi akitumia vielezi vya wakati; Kuandika kifungu akitumia vielezi vya wakati
10 4
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kutathmini
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini;
Kubainisha vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini;
Kusikiliza na kutathmini ujumbe wa matini;
Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini ili kukuza stadi ya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha ya vituo vya huduma na kueleza shughuli zinazotendeka;
Kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kidijitali;
Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini;
Kujadili vipengele vya kutathmini katika mazungumzo aliyosikiliza.
Unazingatia nini kutambua ikiwa mzungumzaji anasema ukweli?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 75
Picha
Kifaa cha kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 78
Vifungu vya ufahamu
Kubainisha vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini; Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini; Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
11 1
Sarufi
Kuandika
Vielezi vya Mahali
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vielezi vya mahali katika matini;
Kueleza matumizi ya vielezi vya mahali;
Kutumia vielezi vya mahali ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya mahali katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama mafungu ya maneno yenye vielezi vya mahali;
Kupigia mstari mafungu yanayoeleza mahali ambapo kitendo kinafanyika;
Kutambua vielezi vya mahali katika sentensi;
Kutunga sentensi akitumia vielezi vya mahali vifuatavyo: shuleni, kwenye soko, Kenya, ndani ya mto, gwarideni, katika gari.
Vielezi vya mahali huundwaje?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 84
Mafungu ya maneno
Chati
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 82
Kielelezo cha insha ya maelezo
Kamusi
Kutambua vielezi vya mahali; Kutunga sentensi akitumia vielezi vya mahali; Kupigia mstari vielezi vya mahali katika kifungu
11 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kusikiliza na kutathmini ujumbe wa matini;
Kutoa maoni kuhusu ujumbe wa matini aliyosikiliza;
Kusikiliza kwa makini mazungumzo;
Kutathmini ujumbe wa mazungumzo;
Kulinganisha maoni na ya wenzake kuhusu ujumbe wa mazungumzo.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza mazungumzo ya Mshauri, Rozi na Malema katika kifaa cha kidijitali;
Kueleza ujumbe kutokana na mazungumzo hayo;
Kutathmini ujumbe wa Mshauri, Rozi na Malema;
Kulinganisha maoni yao kuhusu ujumbe wa mazungumzo.
Je, mtazamo wa wahusika kuhusu chakula kituoni unatofautianaje?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 76
Mazungumzo kwenye kifaa cha kidijitali
Kueleza ujumbe kutokana na mazungumzo; Kutathmini ujumbe wa mazungumzo; Kulinganisha maoni kuhusu mazungumzo
11 3
Kusoma
Sarufi
Ufupisho
Vielezi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya ufupisho;
Kufupisha kifungu kwa idadi maalum ya maneno;
Kuchangamkia kufupisha vifungu kwa mpangilio ufaao;
Kuheshimu maagizo ya ufupisho.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu cha hadithi kilichotolewa;
Kufupisha kifungu kwa maneno 110-115;
Kusomea mwenzake ufupisho wake ili apate maoni;
Kuandika nakala safi ya ufupisho.
Mbinu zipi zinasaidia kufupisha kifungu kwa kuzingatia idadi ya maneno inayohitajika?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 79
Kifungu cha hadithi
Karatasi za kuandikia
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 85
Kiwambo cha tarakilishi
Matini yenye vielezi vya idadi
Kufupisha kifungu kwa idadi maalum ya maneno; Kupangilia habari kwa mtiririko wa maana; Kuzingatia vipengele vya ufupisho
11 4
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni - Maelezo
Uzungumzaji wa Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika insha ya maelezo akitumia lugha inayoathiri hisia mbalimbali;
Kufanya marekebisho ya insha ya maelezo;
Kuheshimu maoni ya wengine katika uandishi wa insha za maelezo;
Kufurahia kutumia lugha inayoathiri hisia katika insha za maelezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika insha ya maelezo kuhusu asasi moja ya kijamii inavyowahudumia watu;
Kutumia lugha inayoathiri hisia mbalimbali;
Kusomea mwenzake insha aliyoandika ili apate maoni;
Kuandika upya insha yake akizingatia maoni aliyopewa na mwenzake.
Je, matumizi ya lugha inayoathiri hisia huleta msisitizo upi katika insha ya maelezo?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 83
Vifaa vya kidijitali
Karatasi za kuandikia
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 88
Video ya mzungumzaji
Picha za miktadha ya uzungumzaji
Kuandika insha ya maelezo akitumia lugha inayoathiri hisia; Kufanya marekebisho ya insha; Uwasilishaji wa insha kwa mwalimu
12 1
MISUKOSUKO YA KIJAMII

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya mandhari;
Kutambua mandhari katika shairi;
Kueleza umuhimu wa mandhari katika shairi;
Kuchambua mandhari katika shairi;
Kuchangamkia usomaji wa mashairi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutafuta kwenye kamusi au mtandaoni maana ya neno mandhari;
Kusoma shairi "Misukosuko ya nini?";
Kutambua mandhari katika shairi, akizingatia mahali matukio yanapotokea na kipindi cha matukio yanayorejelewa;
Kueleza umuhimu wa mandhari katika shairi.
Shairi ni nini?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 91
Kamusi
Shairi "Misukosuko ya nini?"
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 95
Mnyororo wa nomino
Jedwali la sentensi
Kueleza maana ya mandhari; Kutambua mandhari katika shairi; Kueleza umuhimu wa mandhari katika shairi
12 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Viakifishi - Mabano
Uzungumzaji wa Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya mabano katika matini;
Kueleza matumizi ya mabano;
Kutumia mabano ipasavyo katika kuakifisha matini;
Kufurahia matumizi yafaayo ya mabano katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye mabano;
Kueleza matini iliyofungiwa kwa alama za mabano;
Kutambua matumizi ya mabano katika sentensi kuonyesha kisawe cha neno, kutoa ufafanuzi wa neno na kufungia nambari katika orodha;
Kuakifisha kifungu kwa kutumia mabano.
Mabano hutumiwa kufanya nini katika kuandika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 93
Sentensi zenye mabano
Kifungu cha kuakifisha
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 89
Kifaa cha kidijitali
Jedwali la tathmini
Kutambua matumizi ya mabano; Kueleza matumizi ya mabano; Kutumia mabano ipasavyo kuakifisha
12 3
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya muundo wa shairi;
Kutambua vipengele vya muundo wa shairi;
Kuchambua muundo wa shairi kwa kutumia vipengele maalum;
Kuheshimu maoni ya wengine kuhusu muundo wa shairi;
Kufurahia kusoma mashairi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena shairi "Misukosuko ya nini?";
Kujibu maswali kuhusiana na idadi ya beti, mishororo, vipande, mizani, vina na mtiririko wa mishororo ya mwisho;
Kusoma shairi lingine kutoka katika diwani iliyopendekezwa;
Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo wa shairi.
Umewahi kusoma shairi kuhusu nini?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 92
Shairi "Misukosuko ya nini?"
Diwani iliyopendekezwa
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 96
Orodha ya nomino za ngeli ya YA-YA
Sentensi za umoja na wingi
Kutambua vipengele vya muundo wa shairi; Kuchambua muundo wa shairi; Uwasilishaji wa kazi kwa mwalimu
12 4
Kuandika
Viakifishi - Kistari Kifupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya kistari kifupi katika matini;
Kueleza matumizi ya kistari kifupi;
Kutumia kistari kifupi ipasavyo katika matini;
Kufurahia matumizi yafaayo ya kistari kifupi katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma vifungu vyenye kistari kifupi;
Kutambua matumizi ya kistari kifupi katika tarehe, kuonyesha neno linaendelea mstari unaofuata, kuonyesha sauti imedumishwa, kuonyesha herufi zitakazoongezwa, kuunganisha maneno mawili na kuonyesha kipindi cha muda;
Kutunga sentensi tano akitumia kistari kifupi.
Kistari kifupi hutumiwa kufanya nini katika kuandika?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 94
Vifungu vyenye kistari kifupi
Karatasi za kuandikia
Kutambua matumizi ya kistari kifupi; Kueleza matumizi ya kistari kifupi; Kutumia kistari kifupi ipasavyo

Your Name Comes Here


Download

Feedback