If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Mjarabu wa Kwanza na Udurusu wa Mtihani wa Mwisho wa Mwaka |
|||||||
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu |
Sifa za fasihi simulizi
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya fasihi simulizi. -Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili. -Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi. -Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
|
|
2 | 2 |
Sarufi
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
|
|
2 | 3 |
Sarufi
Kusoma |
Upatanisho wa kisarufi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi. -Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi. -Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio Kusoma. Kusikiliza. Kuandika. Kujadiliana. Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
|
|
2 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 5 |
Kusoma
|
Kusoma kwa mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma aina mbalimbali za maandishi yaliyoandikwa kwa miundo na mitindo mbalimbali. -Kusoma kwa haraka bila kuzingatia maneno au vifungu vyote. -Kusoma bila kutafuta maana za maneno kwenye kamusi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 8
|
|
2 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Barua ya kirafiki
Fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na muundo wa barua za kirafiki -Kutaja sifa za barua za kirafiki -Kueleza umuhimu wa barua za kirafiki -Kueleza maana za fasihi simulizi na fasihi andishi -Kueleza tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. -Kutoa mifano ya vipera vya fasihi simulizi katika jamii (yake) |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Kueleza Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 9
|
|
3 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza sifa za shairi mwafaka. -Kukariri shairi ‘Kutegea kazi’ -Kueleza muundo wa shairi hilo. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 11-12
|
|
3 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
|
|
3 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Upatanisho wa kisarufi
Fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutunga sentensi akizingatia upatanisho sahihi wa kisarufi. -Kukamilisha jedwali kutumia kirejeshi amba- na ‘o’ rejeshi. -Kueleza asili na maendeleo ya fasihi andishi. -Kufafanua sifa zinazobainisha fasihi andishi. -Kutaja tanzu za fasihi andishi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio Mjadala Uvumbuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
|
|
3 | 5 |
Kuandika
|
Barua rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza muundo wa barua rasmi. -Kutaja sifa za barua rasmi. -Kuandika barua rasmi kwa mfadhili. |
Maelezo
Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 19-20
|
|
3 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Lugha ya itifaki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu -Kueleza mazingira ambamo lugha ya itifaki hutumiwa. -Kufafanua sifa za lugha ya itifaki. -Kueleza umuhimu wa lugha ya itifaki. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 2 |
Ufupisho
|
Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sarufi. -Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia katika ufupisho. -Kuandika muhtasari wa taarifa kwa usahihi. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 22-23
|
|
4 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Aina za maneno: Nomino
Maudhui katika fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya nomino. -Kuainisha makundi ya nomino na kutaja mifano. -Kutumia nomino katika sentensi sahihi. -Kueleza maana ya maudhui na mafunzo. -Kufafanua maudhui ya fasihi andishi. -Kubainisha maudhui ya hadithi zozote katika mkusanyiko wa hadithi fupi. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali Maelezo Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 23-25
|
|
4 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 5 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Tahakiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. -Kueleza maana ya Tahakiki. -Kuorodhesha mambo anayohitaji kuzingatia mhakiki anapoandika Tahakiki. -Kuandika tahikiki ya maneno yasiyopungua 400 wala kuzidi 450. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza Kuandika Kueleza Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya methali. -Kufafanua matumizi ya methali. -Kutumia methali katika mazungumzo. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 30-32
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Misemo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa misemo. -Kutoa mifano ya misemo. -Kutumia katika misemo kimantiki na kisarufi. |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 32-34
|
|
5 | 2 |
Ufahamu
Kusoma (fasihi) |
Mfinyanzi hulia gaeni
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maana ya methali ‘Mfinyanzi hulia gaeni’ -Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali somo, -Kubainisha aina za wahusika. -Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika. -Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti Kusoma Kujadili Kuandika Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 34-36
|
|
5 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kubainisha aina za wahusika. -Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika. -Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Viwakilishi
Viwakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi. -Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
|
|
5 | 5 |
Kusoma kwa kina
|
Mashairi huru
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza chimbuko la mashairi ya huru -Kueleza sifa za mashairi ya huru. -Kujadili mtindo katika shairi hili, ‘Wasia’ |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 42-45
|
|
5 | 6 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Insha ya methali
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa insha ya methali. -Kupambanua sifa za insha ya methali. -Kuandika insha ya methali. -Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika Kusoma Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 45-46
|
|
6 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii: Sajili ya bunge
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sajili katika lugha. -Kufafanua sifa za lugha ya sajili ya bunge. -Kuigiza mazungumzo na kutoa idhibati kuwa ni lugha ya bungeni. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 47-48
|
|
6 | 3 |
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Aina za maneno: Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. -Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. Maelezo Ufafanuzi. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 48-51
|
|
6 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno: Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
6 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja vipengele vya kutumia kupata maadili ya Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza maana ya anwani na umuhimu wake. -Kufafanua wahusika na jinsi wanavyojenga maadili. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 6 |
Kusoma kwa kina
|
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na umuhimu wa fani katika mashairi ya arudhi. -Kufafanua muundo, mtindo, wahusika, na matumizi ya lugha katika mashairi ya arudhi. -Kuchambua fani katika mashairi ya arudhi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 54-56
|
|
7 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi: Mafumbo
Fasihi simulizi: Misimu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutoa maana ya mafumbo. -Kueleza sifa bainifu za mafumbo. -Kupambanua dhima ya mafumbo. -Kufumbua mafumbo. -Kueleza misimu. -Kueleza sababu ya misimu kuchipuka. -Kufafanua sifa ya misimu. -Kutoa mifano ya misimu. |
Uvumbuzi wa mafumbo.
Uvumbuzi huria. Michezo ya lugha. Maelezo Ufafanuzi. Mifano. Ufaraguzi Utafiti Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-58
|
|
7 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Lakabu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya lakabu. -Kufafanua sifa za lakabu. -Kutoa mifano ya lakabu. |
Usomaji.
Maelezo. Utafiti. Majadiliano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
7 |
Mtihani wa Katikati ya Muhula |
|||||||
8 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya. -Kutaja maadili katika riwaya. -Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
8 | 2 |
Ufahamu
|
Unene wa kuhatarisha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma taarifa kwa ufasaha. -Kujibu maswali kwa usahihi. -Kueleza maana ya maneno. -Kuzingatia mafunzo. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 62-64
|
|
8 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
8 |
Likizo Fupi |
|||||||
9 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Vitenzi
Mashairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba. -Kufafanua wakati na sababu za kuchipua kwa mashairi huru. -Kueleza kuzuka kwa mtindo wa mashairi ya kisasa. -Kutoa maoni kuhusu mgogoro wa mashairi ya jadi na huru. |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi Dayalojia Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
9 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
9 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kutambua sifa za shairi huru. -Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi huru. -Kuandika shairi huru lisilopungua beti nne. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Mashairi Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
9 | 4 |
Kusikiliza kuzungumza
|
Mahojiano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa mahojiano. -Kuandika insha ya mahojiano kwa ufasaha. -Kuigiza mahojiano darasani. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 71-74
|
|
9 | 5 |
Kusikiliza kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufupisho
Vitenzi: Mzizi na viambishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma ufupisho. -Kueleza kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, vitambulisho vya ukubwa vya kale na sasa. -Kwa maneno 35 kueleza kati ya vijana wa sasa na wa kale. -Kueleza dhana ya mzizi na viambishi katika vitenzi. -Kubainisha mzizi wa viambishi awali na tamati katika vitenzi. -Kuonyesha viambishi vya kauli za Mnyambuliko katika vitenzi. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu Maelezo Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 74-75
|
|
9 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi -Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
10 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi -Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
10 | 2 |
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
Tamathali za usemi
Soga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza manufaa ya tamathali za usemi kwa uandishi wa fasihi. -Kufafanua maana za tamathali za usemi. -Kudondoa tamathali zozote kutoka kwenye riwaya teule. -Kueleza maana ya soga. -Kufafanua sifa za soga. -Kubainisha mafunzo katika soga. -Kutoa mfano wa soga |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti Maelezo Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 79-83
|
|
10 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko wa vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. -Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. -Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 89-93
|
|
10 | 4 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Uandishi wa tahariri
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya tahariri -Kujadili jinsi ya kuandika tahariri. -Kuandika tahariri. -Kusoma kwa sauti na matamshi bora -Kupambanua sifa za wahusika, maudhui, mtindo wa mwandishi -Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kueleza Kuzuru maktaba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 95
|
|
10 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na matamshi bora -Kupambanua sifa za wahusika, maudhui, mtindo wa mwandishi -Kujibu maswali. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuzuru maktaba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
10 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma Kusoma ufahamu. Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani. Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
|
11 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi II
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
|
|
11 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
|
|
11 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kwanza ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kwanza. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kwanza. Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kwanza Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kwanza Kujibu maswali |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
11 | 4 |
Kusoma kwa kina
|
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
|
|
11 | 5 |
Kuandika
Fasihi |
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
|
|
11 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
|
|
12-13 |
Mtihani wa Mwisho wa Muhula |
Your Name Comes Here