If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Sifa za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya fasihi simulizi. -Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili. -Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
|
|
2 | 2 |

2 | 3 |
Ufahamu
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 2-3
|
|
2 | 4-5 |
Ufahamu
Sarufi |
Ufahamu
Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. -Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti Tajriba. Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 2-3
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8 |
|
2 | 6 |
Sarufi
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi. -Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
|
|
3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Kusoma.
Kusikiliza. Kuandika. Kujadiliana. Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 2 |

3 | 3 |

3 | 4-5 |
Kusoma (fasihi)

Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 6 |
Kusoma
|
Kusoma kwa mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma aina mbalimbali za maandishi yaliyoandikwa kwa miundo na mitindo mbalimbali. -Kusoma kwa haraka bila kuzingatia maneno au vifungu vyote. -Kusoma bila kutafuta maana za maneno kwenye kamusi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 8
|
|
4 | 1 |
Kuandika
|
Barua ya kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na muundo wa barua za kirafiki -Kutaja sifa za barua za kirafiki -Kueleza umuhimu wa barua za kirafiki |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 9
|
|
4 | 2 |

4 | 3 |

4 | 4-5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana za fasihi simulizi na fasihi andishi -Kueleza tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. -Kutoa mifano ya vipera vya fasihi simulizi katika jamii (yake) -Kueleza sifa za shairi mwafaka. -Kukariri shairi ‘Kutegea kazi’ -Kueleza muundo wa shairi hilo. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika Maelezo Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 10-11
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 11-12 |
|
4 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza sifa za shairi mwafaka. -Kukariri shairi ‘Kutegea kazi’ -Kueleza muundo wa shairi hilo. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 11-12
|
|
5 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 2 |

5 | 3 |

5 | 4-5 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. -Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi Tajriba. Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17 |
|
5 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
|
|
6 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutunga sentensi akizingatia upatanisho sahihi wa kisarufi. -Kukamilisha jedwali kutumia kirejeshi amba- na ‘o’ rejeshi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
|
|
6 | 2 |
Kusoma kwa kina
|
Fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza asili na maendeleo ya fasihi andishi. -Kufafanua sifa zinazobainisha fasihi andishi. -Kutaja tanzu za fasihi andishi. |
Mjadala
Maswali na majibu. Uvumbuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 17-19 |
|
6 | 3 |

6 | 4-5 |
Kuandika
|
Barua rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza muundo wa barua rasmi. -Kutaja sifa za barua rasmi. -Kuandika barua rasmi kwa mfadhili. |
Maelezo
Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 19-20
|
|
6 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
7 | 1 |

7 | 2 |

7 | 3 |

7 | 4-5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii: Lugha ya itifaki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza mazingira ambamo lugha ya itifaki hutumiwa. -Kufafanua sifa za lugha ya itifaki. -Kueleza umuhimu wa lugha ya itifaki. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 21-22 |
|
7 | 6 |
Ufupisho
|
Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sarufi. -Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia katika ufupisho. -Kuandika muhtasari wa taarifa kwa usahihi. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 22-23
|
|
8 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno: Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya nomino. -Kuainisha makundi ya nomino na kutaja mifano. -Kutumia nomino katika sentensi sahihi. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 23-25
|
|
8 | 1-2 |

8-9 |
Mid term break |
|||||||
9 | 3 |
Kusoma kwa kina
|
Maudhui katika fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya maudhui na mafunzo. -Kufafanua maudhui ya fasihi andishi. -Kubainisha maudhui ya hadithi zozote katika mkusanyiko wa hadithi fupi. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 25-26
|
|
9 | 4-5 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) |
Maudhui katika fasihi andishi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya maudhui na mafunzo. -Kufafanua maudhui ya fasihi andishi. -Kubainisha maudhui ya hadithi zozote katika mkusanyiko wa hadithi fupi. -Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi Kusoma Kujadili Kusikiliza kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 25-26
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi |
|
9 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
10 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
10 | 2 |

10 | 3 |
Kuandika
|
Tahakiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya Tahakiki. -Kuorodhesha mambo anayohitaji kuzingatia mhakiki anapoandika Tahakiki. -Kuandika tahikiki ya maneno yasiyopungua 400 wala kuzidi 450. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 27-29
|
|
10 | 4-5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya methali. -Kufafanua matumizi ya methali. -Kutumia methali katika mazungumzo. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 30-32
|
|
10 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Misemo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa misemo. -Kutoa mifano ya misemo. -Kutumia katika misemo kimantiki na kisarufi. |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 32-34
|
|
11 | 1 |
Ufahamu
|
Mfinyanzi hulia gaeni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maana ya methali ‘Mfinyanzi hulia gaeni’ -Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 34-36
|
|
11 | 2 |

11 | 3 |

11 | 4-5 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kubainisha aina za wahusika. -Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika. -Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
11 | 6 |

12 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi. -Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
|
|
12 | 2 |

12 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
|
|
12 | 4-5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Viwakilishi
Mashairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. -Kueleza chimbuko la mashairi ya huru -Kueleza sifa za mashairi ya huru. -Kujadili mtindo katika shairi hili, ‘Wasia’ |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi Kudadisi Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 42-45 |
|
12 | 6 |
Kusoma kwa kina
|
Mashairi huru
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza chimbuko la mashairi ya huru -Kueleza sifa za mashairi ya huru. -Kujadili mtindo katika shairi hili, ‘Wasia’ |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 42-45
|
Your Name Comes Here