If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Kufungua shule na kudurusu kazi ya likizo |
|||||||
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Sifa za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya fasihi simulizi. -Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili. -Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
|
|
2 | 2 |
Ufahamu
Sarufi |
Ufahamu
Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. -Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti Tajriba. Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 2-3
|
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi. -Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
|
|
2 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Kusoma.
Kusikiliza. Kuandika. Kujadiliana. Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 6 |
Kusoma
|
Kusoma kwa mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma aina mbalimbali za maandishi yaliyoandikwa kwa miundo na mitindo mbalimbali. -Kusoma kwa haraka bila kuzingatia maneno au vifungu vyote. -Kusoma bila kutafuta maana za maneno kwenye kamusi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 8
|
|
3 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Barua ya kirafiki
Fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na muundo wa barua za kirafiki -Kutaja sifa za barua za kirafiki -Kueleza umuhimu wa barua za kirafiki -Kueleza maana za fasihi simulizi na fasihi andishi -Kueleza tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. -Kutoa mifano ya vipera vya fasihi simulizi katika jamii (yake) |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Kueleza Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 9
|
|
3 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza sifa za shairi mwafaka. -Kukariri shairi ‘Kutegea kazi’ -Kueleza muundo wa shairi hilo. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 11-12
|
|
3 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Upatanisho wa kisarufi
Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. -Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutunga sentensi akizingatia upatanisho sahihi wa kisarufi. -Kukamilisha jedwali kutumia kirejeshi amba- na ‘o’ rejeshi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
|
|
3 | 6 |
Kusoma kwa kina
|
Fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza asili na maendeleo ya fasihi andishi. -Kufafanua sifa zinazobainisha fasihi andishi. -Kutaja tanzu za fasihi andishi. |
Mjadala
Maswali na majibu. Uvumbuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 17-19 |
|
4 | 1 |
Kuandika
|
Barua rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza muundo wa barua rasmi. -Kutaja sifa za barua rasmi. -Kuandika barua rasmi kwa mfadhili. |
Maelezo
Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 19-20
|
|
4 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufupisho |
Isimu jamii: Lugha ya itifaki
Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza mazingira ambamo lugha ya itifaki hutumiwa. -Kufafanua sifa za lugha ya itifaki. -Kueleza umuhimu wa lugha ya itifaki. -Kueleza maana ya sarufi. -Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia katika ufupisho. -Kuandika muhtasari wa taarifa kwa usahihi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi Kusoma Majadiliano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 21-22 |
|
4 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno: Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya nomino. -Kuainisha makundi ya nomino na kutaja mifano. -Kutumia nomino katika sentensi sahihi. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 23-25
|
|
4 | 6 |
Kusoma kwa kina
|
Maudhui katika fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya maudhui na mafunzo. -Kufafanua maudhui ya fasihi andishi. -Kubainisha maudhui ya hadithi zozote katika mkusanyiko wa hadithi fupi. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 25-26
|
|
5 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 2 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Tahakiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. -Kueleza maana ya Tahakiki. -Kuorodhesha mambo anayohitaji kuzingatia mhakiki anapoandika Tahakiki. -Kuandika tahikiki ya maneno yasiyopungua 400 wala kuzidi 450. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza Kuandika Kueleza Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya methali. -Kufafanua matumizi ya methali. -Kutumia methali katika mazungumzo. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 30-32
|
|
5 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Misemo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa misemo. -Kutoa mifano ya misemo. -Kutumia katika misemo kimantiki na kisarufi. |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 32-34
|
|
5 | 5 |
Ufahamu
|
Mfinyanzi hulia gaeni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maana ya methali ‘Mfinyanzi hulia gaeni’ -Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 34-36
|
|
5 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kubainisha aina za wahusika. -Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika. -Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Viwakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kubainisha aina za wahusika. -Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika. -Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. -Kueleza maana ya viwakilishi. -Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuigiza Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
|
|
6 | 3 |
Kusoma kwa kina
|
Mashairi huru
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza chimbuko la mashairi ya huru -Kueleza sifa za mashairi ya huru. -Kujadili mtindo katika shairi hili, ‘Wasia’ |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 42-45
|
|
6 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa insha ya methali. -Kupambanua sifa za insha ya methali. -Kuandika insha ya methali. |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 45-46
|
|
6 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii: Sajili ya bunge
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sajili katika lugha. -Kufafanua sifa za lugha ya sajili ya bunge. -Kuigiza mazungumzo na kutoa idhibati kuwa ni lugha ya bungeni. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 47-48
|
|
7 | 1 |
Ufahamu
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 48-51
|
|
7 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno: Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
7 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno: Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
7 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja vipengele vya kutumia kupata maadili ya Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza maana ya anwani na umuhimu wake. -Kufafanua wahusika na jinsi wanavyojenga maadili. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
7 | 5 |
Kusoma kwa kina
|
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na umuhimu wa fani katika mashairi ya arudhi. -Kufafanua muundo, mtindo, wahusika, na matumizi ya lugha katika mashairi ya arudhi. -Kuchambua fani katika mashairi ya arudhi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 54-56
|
|
7 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi: Mafumbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutoa maana ya mafumbo. -Kueleza sifa bainifu za mafumbo. -Kupambanua dhima ya mafumbo. -Kufumbua mafumbo. |
Uvumbuzi wa mafumbo.
Uvumbuzi huria. Michezo ya lugha. Maelezo Ufafanuzi. Mifano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-58
|
|
8 |
Mtihani WA likizo fupi na likizo fupi |
|||||||
9 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi: Misimu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza misimu. -Kueleza sababu ya misimu kuchipuka. -Kufafanua sifa ya misimu. -Kutoa mifano ya misimu. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-60
|
|
9 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) |
Lakabu
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya lakabu. -Kufafanua sifa za lakabu. -Kutoa mifano ya lakabu. -Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya. -Kutaja maadili katika riwaya. -Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Usomaji.
Maelezo. Utafiti. Majadiliano Kusoma Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
9 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya. -Kutaja maadili katika riwaya. -Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
9 | 4 |
Ufahamu
|
Unene wa kuhatarisha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma taarifa kwa ufasaha. -Kujibu maswali kwa usahihi. -Kueleza maana ya maneno. -Kuzingatia mafunzo. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 62-64
|
|
9 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
9 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba. |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
10 | 1 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) |
Mashairi huru
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua wakati na sababu za kuchipua kwa mashairi huru. -Kueleza kuzuka kwa mtindo wa mashairi ya kisasa. -Kutoa maoni kuhusu mgogoro wa mashairi ya jadi na huru. -Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. |
Dayalojia
Maelezo Utafiti Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
|
|
10 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
10 | 3 |
Kusikiliza kuzungumza
|
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua sifa za shairi huru. -Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi huru. -Kuandika shairi huru lisilopungua beti nne. |
Mashairi
Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
|
|
10 | 4 |
Kusikiliza kuzungumza
|
Mahojiano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa mahojiano. -Kuandika insha ya mahojiano kwa ufasaha. -Kuigiza mahojiano darasani. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 71-74
|
|
10 | 5 |
Kusikiliza kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufupisho
Vitenzi: Mzizi na viambishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma ufupisho. -Kueleza kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, vitambulisho vya ukubwa vya kale na sasa. -Kwa maneno 35 kueleza kati ya vijana wa sasa na wa kale. -Kueleza dhana ya mzizi na viambishi katika vitenzi. -Kubainisha mzizi wa viambishi awali na tamati katika vitenzi. -Kuonyesha viambishi vya kauli za Mnyambuliko katika vitenzi. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu Maelezo Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 74-75
|
|
10 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi -Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
11 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi -Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
11 | 2 |
Kusoma
|
Tamathali za usemi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza manufaa ya tamathali za usemi kwa uandishi wa fasihi. -Kufafanua maana za tamathali za usemi. -Kudondoa tamathali zozote kutoka kwenye riwaya teule. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 79-83
|
|
11 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Soga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya soga. -Kufafanua sifa za soga. -Kubainisha mafunzo katika soga. -Kutoa mfano wa soga |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 84-86
|
|
11 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kuandika |
Mnyambuliko wa vitenzi
Uandishi wa tahariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. -Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. -Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. -Kueleza maana ya tahariri -Kujadili jinsi ya kuandika tahariri. -Kuandika tahariri. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 89-93
|
|
11 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na matamshi bora -Kupambanua sifa za wahusika, maudhui, mtindo wa mwandishi -Kujibu maswali. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuzuru maktaba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
11 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na matamshi bora -Kupambanua sifa za wahusika, maudhui, mtindo wa mwandishi -Kujibu maswali. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuzuru maktaba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
12-13 |
Mtihani WA mwisho wa muhula na kufunga shule |
Your Name Comes Here