If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
9 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mazungumzo
mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo . -kueleza maana ya mawaidha kwa kutumia kamusi au kusakura mtandaoni. -kutambua ujumbe unaoweza kuwasilishwa kupitia kwa mawaidha. -kutambua sifa za kimawaidha za kifasihi katika matini mbalimbali ambazo fanani anastahili kuwa nazo. -kutambua na kueleza sifa za hadhira katika kuuliza na kujibu maswali ipasavyo. |
Mwanfaunzi aelekezwe.
-kueleza maana ya mawaidha akitumia mtandao au kamusi. -kutambua ujumbe unaoweza kuwasilishwa kupitia mawaidha. -kutambua na kuandika sifa za kimawaidha za kifasihi katika matini mbali mbali ambazo fanani asstahili kuwa nazo. -kutambua na kueleza sifa za hadhira katika kuuliza na kujibu maswali ipasavyo. |
Je sifa za fanani na hadhira katika mawaidha ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 139-140
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali. Picha michoro |
Kueleza maana
Kutambua ujumbe
Kutambua sifa
Orodha hakiki
|
|
10 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma |
Mazungumzo
mawaidha
Kusoma kwa kina Mbinu za lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu kisha ajibu maswali ili kuthibitisha mawaidha ya kifasihi. -kutambua vipengele vya liwasilishaji wa mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kuhusa suala lengwa |
Mwanfunzi aelekezwe.
Kusikiliza mawaidha takayosomewa na mwalimu na kujibu maswali ipasavyo. -kutambua vipengele vya uwasilishanji wa mawidha ya kifasihi ipasavyo. -kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kuhusu suala lengwa ili ili kutathmini uelewa. |
Je vipengele vya uwasilishanji wa mawaidha ya kifasihi ni vipi?
|
Kisw sahili uk wa 141-142
Matini ya mwalimu mwanafunzi Access Kiswahili sahili gredi ya 9 uk wa 143-144 -matini ya mwalimu -diwani za mashairi |
Kusikiliza
Kujibu maswali
Kutambua
Kuwasilisha
Orodha hakiki
|
|
10 | 2 |
kusoma
|
Kusoma kwa kina ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutunga shairi la beti tatu akishirikisha mbinu mbalimbali za lugha na kuziwasilisha kwa wenzao ili kutathmini - kusoma shairi teule na kuchambua akizingatia mbinu za lugha zilizotumika kisha kuandika mbinu hizo daftarini |
-kutunga shairi la beti tatu akizingatia mbinu za lugha kisha kuliandika daftarini mwao na kuliwasilisha kwa wenzao ili kutathmini
-kusoma shairi teule na kuchambua mbinu za lugha za lugha zilizotumika ili kutathmini uelewa |
Je unazingatia nini unapotunga shairi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 145
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidigitali |
-Kutunga
-kusoma
kuchambua
|
|
10 | 3 |
kuandika
|
Insha za kubuni
maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusoma kielelezo cha insha ya maelezo ili kutambua ni ya aina gani - kutambua hali inayoelezewa katika insha aliyoisoma ili kuelewa maana ya hali katika insha ya maelezo - kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali - kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali katika daftari au tarakilishi kuhusu suala lengwa kisha awasomee wenzake ili awatolee maoni |
kusoma kielelezo cha insha ya maelezo ili kutambua ni ya aina gani
-kutambua hali inayoelezewa katika insha aliyoisoma ili kuelewa maana ya hali katika insha ya maelezo -kujadili vipengele vya kuzingatia katika insha ya maelezo kuhusu hali -kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali daftarini au tarakilishi kuhusu swala lengwa kisha awasomee wenzake ili wamtolee maoni |
Je, vipengele vya kuzingatia katika insha ya maelezo kuhusu hali ni zipi?
|
Kisw sahil gredi ya 9 uk wa 146-147
-matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
-kusoma
-kutambua
|
|
10 | 4 |
sarufi
|
Ukanushaji hali ya masharti
Ukanushaji wa hali ya masharti -ngali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti |
-kueleza maana ya ukanushaji wa masharti
|
Je, ukanusho wa hali ya masharti
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 146-148
-matini ya mwalimu -chati na mabango Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 149-150 -chati na michoro |
-kueleza
-Kutaja Mifano
-Kutunga sentensi na kukanusha
-Kutathmini
|
|
10 | 5 |
sarufi
|
Ukanushaji wa hali ya masharti (-ki)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kukanusha sentensi katika hali ya masharti(-ki) akizingatia kambishi |
kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya
|
Je ukanusho wa hali ya masharti (-ki) hutumia kiambishi kipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 151-152
-matini ya mwalimu -mabango -michoro -chati |
-kutambua
-kusoma
-kukanusha
-Kutunga
-Kutathmini
-Orodha hakiki
|
|
11 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha - kujadiliumuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha - kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu ili kutambua na kujadili vipengele vya lugha vinavyotumika |
kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha
-kujadili pamoja na wenzake umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha -kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu ili kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika |
Je ni vipengele vipi vinavyotumika katika ngeli ya mawaidha?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 153
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali |
Kusoma na kutambua
-kujadili
-kusikiliza na kujibu maswali
|
|
11 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma |
mawaidha
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha mjadala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili ishara zifaazo ili kuboresha uwasilishaji wa maidha -kutolea wenzake darasani mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara |
-kujadili ishara zinazo fanikisha uwasilishaji wa mawaidha
-kutolea wenzake mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara zifaazo |
je, ishara zifaazo katika mawaidha ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 154
-matini ya mwalimu Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 155-156 -picha -michoro -vifaa vya kidijitali |
-Kujadili
-kutoa mawaidha
-Kutathmini
-Orodha hakiki
|
|
11 | 3 |
kusoma
|
Kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusakira mtandaoni kifungu cha mjadala na kukisoma kisha aandike habari mahususi katika kifungu cha mjadala alichokisoma -kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mtazamo wake ili kutathmini uelewa |
-kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome kisha aandike habari mahususi katika kifungu alichokisoma
-kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mitazamo yake vilivyo |
Je, unazingatia nini unaposakira matini ya kusoma mtandaoni?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 156
-vifaa vya kidijitali |
-kusakira
-kusoma
-kuchambua
-Orodha hakiki
|
|
11 | 4 |
kuandika
|
Insha za kiuamilifu
shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kujadili umuhimu wa shajara - kueleza aina za shajara ili kuzitofautisha na zingine - kusoma shajara iliyo katika vitabu vyao kisha kujibu maswali ipasavyo - Kuchangamkia kusoma vielelezo vya shajara katika matini mbalimbali |
-kujadili umuhimu wa shajara katika maisha a kila siku
-kueleza aina za shajara ili kuzibaini -kusoma kielelezo cha shajara kisha kujibu maswali yake ipasavyo -kufurahia kusoma vielelezo mbalimbali vya shajara ili kujua umuhimu wa shajara |
Je, shajara ina umuhimu gani?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 158-159
-matini ya mwalimu -kielelezo |
-Kujadili
-kutambua
-kusoma na kujibu maswali
|
|
11 | 5 |
kuandika
sarufi |
Insha za kiuamilifu
shajara
Ukubwa na udogo wa nomino a, Hali ya ukubwa wa nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kuandaa vidokezo vya kuandika shajara kuhusu suala lengwa - kuandika shajara kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele muhimu alivyojifunza awali ili kutathmini uelewa |
-kuandaa vodokezo vya kumsaidia kuandika shajara kuhusu suala lengwa
-kuandika shajara kuhusu sual lengwa akizingatia vipengele muhimu alivyojifunza awali ili kutathmini uelewa |
Je, shajara huandikwa je?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 160
-matini ya mwalimu Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 160- 161 -kamusi -vifaa vya kidijitali |
-kuandaa vidokezo
-Kujadili
-kuandika
-Kutathmini
|
|
12 | 1 |
sarufi
|
Hali ya udogo wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya udogo wa nomino - kutambua nomino katika hali ya udogo c, kutambua kiambishi knachotumika katika hali ya udogo wa nomino - kutambua nomino katika hali ya udogo katika matini mbalimbali - kuchangamkia kujaza jedwali na kutunga sentensi katika hali ya udogo ili kutathmini uelewa |
kueleza maana ya udogo wa nomino
-kutambua nomino katika hali ya udogo -kutambua na kujadili kiambishi kinachotumika katika hali ya udogo wa nomino -kutambua na kuandika nomino katika kauli ya udogo katika matini mbalimbali -kufurahia kujaza pengo na kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo ili kutathmini uelewa |
Je, kiambishi katika hali ya udogo wa nomino ni kipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 162-164
-matini ya mwalimu -kupu maneno -kamusi |
-kueleza
-kutambua
-kuandika
-Kujadili
Kutunga sentensi
-kujaza pengo
-Orodha hakiki
|
|
12 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza kwa kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini - kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa kutathmini ili kutofautisha na nyingine - kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo - kusikiliza mazungumzo yatakayowasilishwa na wanafunzi wenzake na kujibu maswali yake |
-kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
-kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa kutathmini ili kutofautisha na miktadha mingine -kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo -kusikiliza mazungumzo kutoka kwa wenzao ili kuyatathmini |
Je vipengele katika kuzungumza kwa kutathmini ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 166-167
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali |
-kueleza maana
-kueleza umuhimu
Kujadili vipengele
-Kusikiliza mazungumzo
-Kutathmini
|
|
12 | 3 |
kusoma
Kuandika |
ufupisho
Kujibu barua pepe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili vipengele vya kuzingatia katika kufupisha habari. -kusoma kifungu kisha kujibu maswali kisha afupishe kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho . Atafute mtandaoni au kusoma vitambuni ujumbe ulio na mada lengwa kisha azingatie a vipengele muhimu kufupisha li kudhamini . |
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho.
B,kusoma kifungu kisha kujibu maswali na kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho . -Kutafuta mtandaoni au vitambuni kusoma ujumbe a ulio na suala lengwa kisha azingatie vipengele vya ufupisho kufupisha ili kutamini kuelewe . |
Je vipengele muhimu vya ufupisho ni vipi ?
|
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 167-168
-matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali . -kiswahili gredi 9 ukurasa wa 169 - 170 . Na mwanafunzi . |
-Kujadili vipengele
-kuandika
|
|
12 | 4 |
Kuandika
|
Kujibu barua pepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza tofauti baini ya usemi halisi na usemi wa taarifa -Kujadili mambo ya kuzingatia katika usemi halisi . -Kujadili mambo ya kuzingatia katika usemi wa taarifa ili kubainisha . -Kutambua usemi halisi na useimi wa taarifa katika matini mbali mbali . -Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa na usemi wa taarifa kuwa usemi halisi . -Kuchangamkia kuandika sentensi katika usemi halisi na usemi taarifa ili kuthamini. |
-kueleza tofauti baini ya usemi halisi na usemi wa taarifa .
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katia usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano . -Kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matani na miktadha mbalimbali . -Kujadili kanuni zinazozingatiwa ili kubadilisha usemi halisi kwa usemi halisi . -Kuchangamkia kuandika sentensi katika usemi halisi na taarifa ili kutathmini kuelewa . |
Je unazingatia kanuni zipi unapobadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
|
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 174 - 174 .
-matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali . picha |
-kueleza tofauti .
-Kujadili vipengele .
-Kutambua .
-Kujadili kanuni .
-Kufanya mazoezi .
-Orodha hakiki .
|
|
12 | 5 |
Kuandika
|
Kujibu barua pepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia li kujibu barua pepe .-Kujadili lugha inayofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe .-Kuandikia rafiki barua pepe akizingatia vipengele na vidokezo ambavyo vitamwezesah kujibu barua pepe ipasavyo ili kutathmini |
-Kujadili vipengele vya kuzingatia li kujibu barua pepe .-Kujadili lugha inayofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe .-Kuandikia rafiki barua pepe akizingatia vipengele na vidokezo ambavyo vitamwezesah kujibu barua pepe ipasavyo ili kutathmini
|
|
|
|
|
13 |
EXAMS |
Your Name Comes Here