Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
9 5
Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzo mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo .
-kueleza maana ya mawaidha kwa kutumia kamusi au kusakura mtandaoni.
-kutambua ujumbe unaoweza kuwasilishwa kupitia kwa mawaidha.
-kutambua sifa za kimawaidha za kifasihi katika matini mbalimbali ambazo fanani anastahili kuwa nazo.
-kutambua na kueleza sifa za hadhira katika kuuliza na kujibu maswali ipasavyo.
Mwanfaunzi aelekezwe.
-kueleza maana ya mawaidha akitumia mtandao au kamusi.
-kutambua ujumbe unaoweza kuwasilishwa kupitia mawaidha.
-kutambua na kuandika sifa za kimawaidha za kifasihi katika matini mbali mbali ambazo fanani asstahili kuwa nazo.
-kutambua na kueleza sifa za hadhira katika kuuliza na kujibu maswali ipasavyo.
Je sifa za fanani na hadhira katika mawaidha ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 139-140
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali.
Picha
michoro
Kueleza maana Kutambua ujumbe Kutambua sifa Orodha hakiki
10 1
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma
Mazungumzo mawaidha
Kusoma kwa kina Mbinu za lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu kisha ajibu maswali ili kuthibitisha mawaidha ya kifasihi.
-kutambua vipengele vya liwasilishaji wa mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kuhusa suala lengwa
Mwanfunzi aelekezwe.
Kusikiliza mawaidha takayosomewa na mwalimu na kujibu maswali ipasavyo.
-kutambua vipengele vya uwasilishanji wa mawidha ya kifasihi ipasavyo.
-kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kuhusu suala lengwa ili ili kutathmini uelewa.
Je vipengele vya uwasilishanji wa mawaidha ya kifasihi ni vipi?
Kisw sahili uk wa 141-142
Matini ya mwalimu
mwanafunzi
Access Kiswahili sahili gredi ya 9 uk wa 143-144
-matini ya mwalimu
-diwani za mashairi
Kusikiliza Kujibu maswali Kutambua Kuwasilisha Orodha hakiki
10 2
kusoma
Kusoma kwa kina ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutunga shairi la beti tatu akishirikisha mbinu mbalimbali za lugha na kuziwasilisha kwa wenzao ili kutathmini
- kusoma shairi teule na kuchambua akizingatia mbinu za lugha zilizotumika kisha kuandika mbinu hizo daftarini
-kutunga shairi la beti tatu akizingatia mbinu za lugha kisha kuliandika daftarini mwao na kuliwasilisha kwa wenzao ili kutathmini
-kusoma shairi teule na kuchambua mbinu za lugha za lugha zilizotumika ili kutathmini uelewa
Je unazingatia nini unapotunga shairi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 145
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidigitali
-Kutunga -kusoma kuchambua
10 3
kuandika
Insha za kubuni maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kusoma kielelezo cha insha ya maelezo ili kutambua ni ya aina gani
- kutambua hali inayoelezewa katika insha aliyoisoma ili kuelewa maana ya hali katika insha ya maelezo
- kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali
- kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali katika daftari au tarakilishi kuhusu suala lengwa kisha awasomee wenzake ili awatolee maoni
kusoma kielelezo cha insha ya maelezo ili kutambua ni ya aina gani
-kutambua hali inayoelezewa katika insha aliyoisoma ili kuelewa maana ya hali katika insha ya maelezo
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika insha ya maelezo kuhusu hali
-kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali daftarini au tarakilishi kuhusu swala lengwa kisha awasomee wenzake ili wamtolee maoni
Je, vipengele vya kuzingatia katika insha ya maelezo kuhusu hali ni zipi?
Kisw sahil gredi ya 9 uk wa 146-147
-matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
-kusoma -kutambua
10 4
sarufi
Ukanushaji hali ya masharti
Ukanushaji wa hali ya masharti -ngali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti
-kueleza maana ya ukanushaji wa masharti
Je, ukanusho wa hali ya masharti
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 146-148
-matini ya mwalimu
-chati na mabango
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 149-150
-chati na michoro
-kueleza -Kutaja Mifano -Kutunga sentensi na kukanusha -Kutathmini
10 5
sarufi
Ukanushaji wa hali ya masharti (-ki)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kukanusha sentensi katika hali ya masharti(-ki) akizingatia kambishi
kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya
Je ukanusho wa hali ya masharti (-ki) hutumia kiambishi kipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 151-152
-matini ya mwalimu
-mabango
-michoro
-chati
-kutambua -kusoma -kukanusha -Kutunga -Kutathmini -Orodha hakiki
11 1
Kusikiliza na kuzungumza
mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha
- kujadiliumuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha
- kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu ili kutambua na kujadili vipengele vya lugha vinavyotumika
kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha
-kujadili pamoja na wenzake umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha
-kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu ili kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika
Je ni vipengele vipi vinavyotumika katika ngeli ya mawaidha?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 153
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
Kusoma na kutambua -kujadili -kusikiliza na kujibu maswali
11 2
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma
mawaidha
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kujadili ishara zifaazo ili kuboresha uwasilishaji wa maidha
-kutolea wenzake darasani mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara
-kujadili ishara zinazo fanikisha uwasilishaji wa mawaidha
-kutolea wenzake mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara zifaazo
je, ishara zifaazo katika mawaidha ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 154
-matini ya mwalimu
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 155-156
-picha
-michoro
-vifaa vya kidijitali
-Kujadili -kutoa mawaidha -Kutathmini -Orodha hakiki
11 3
kusoma
Kifungu cha mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusakira mtandaoni kifungu cha mjadala na kukisoma kisha aandike habari mahususi katika kifungu cha mjadala alichokisoma
-kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mtazamo wake ili kutathmini uelewa
-kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome kisha aandike habari mahususi katika kifungu alichokisoma
-kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mitazamo yake vilivyo
Je, unazingatia nini unaposakira matini ya kusoma mtandaoni?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 156
-vifaa vya kidijitali
-kusakira -kusoma -kuchambua -Orodha hakiki
11 4
kuandika
Insha za kiuamilifu shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kujadili umuhimu wa shajara
- kueleza aina za shajara ili kuzitofautisha na zingine
- kusoma shajara iliyo katika vitabu vyao kisha kujibu maswali ipasavyo
- Kuchangamkia kusoma vielelezo vya shajara katika matini mbalimbali
-kujadili umuhimu wa shajara katika maisha a kila siku
-kueleza aina za shajara ili kuzibaini
-kusoma kielelezo cha shajara kisha kujibu maswali yake ipasavyo
-kufurahia kusoma vielelezo mbalimbali vya shajara ili kujua umuhimu wa shajara
Je, shajara ina umuhimu gani?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 158-159
-matini ya mwalimu
-kielelezo
-Kujadili -kutambua -kusoma na kujibu maswali
11 5
kuandika
sarufi
Insha za kiuamilifu shajara
Ukubwa na udogo wa nomino a, Hali ya ukubwa wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kuandaa vidokezo vya kuandika shajara kuhusu suala lengwa
- kuandika shajara kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele muhimu alivyojifunza awali ili kutathmini uelewa
-kuandaa vodokezo vya kumsaidia kuandika shajara kuhusu suala lengwa
-kuandika shajara kuhusu sual lengwa akizingatia vipengele muhimu alivyojifunza awali ili kutathmini uelewa
Je, shajara huandikwa je?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 160
-matini ya mwalimu
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 160- 161
-kamusi
-vifaa vya kidijitali
-kuandaa vidokezo -Kujadili -kuandika -Kutathmini
12 1
sarufi
Hali ya udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya udogo wa nomino
- kutambua nomino katika hali ya udogo
c, kutambua kiambishi knachotumika katika hali ya udogo wa nomino
- kutambua nomino katika hali ya udogo katika matini mbalimbali
- kuchangamkia kujaza jedwali na kutunga sentensi katika hali ya udogo ili kutathmini uelewa
kueleza maana ya udogo wa nomino
-kutambua nomino katika hali ya udogo
-kutambua na kujadili kiambishi kinachotumika katika hali ya udogo wa nomino
-kutambua na kuandika nomino katika kauli ya udogo katika matini mbalimbali
-kufurahia kujaza pengo na kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo ili kutathmini uelewa
Je, kiambishi katika hali ya udogo wa nomino ni kipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 162-164
-matini ya mwalimu
-kupu maneno
-kamusi
-kueleza -kutambua -kuandika -Kujadili Kutunga sentensi -kujaza pengo -Orodha hakiki
12 2
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza kwa kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
- kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa kutathmini ili kutofautisha na nyingine
- kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo
- kusikiliza mazungumzo yatakayowasilishwa na wanafunzi wenzake na kujibu maswali yake
-kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
-kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa kutathmini ili kutofautisha na miktadha mingine
-kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo
-kusikiliza mazungumzo kutoka kwa wenzao ili kuyatathmini
Je vipengele katika kuzungumza kwa kutathmini ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 166-167
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-kueleza maana -kueleza umuhimu Kujadili vipengele -Kusikiliza mazungumzo -Kutathmini
12 3
kusoma
Kuandika
ufupisho
Kujibu barua pepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili vipengele vya kuzingatia katika kufupisha habari.
-kusoma kifungu kisha kujibu maswali kisha afupishe kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho .
Atafute mtandaoni au kusoma vitambuni ujumbe ulio na mada lengwa kisha azingatie a vipengele muhimu kufupisha li kudhamini .
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho.
B,kusoma kifungu kisha kujibu maswali na kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho .
-Kutafuta mtandaoni au vitambuni kusoma ujumbe a ulio na suala lengwa kisha azingatie vipengele vya ufupisho kufupisha ili kutamini kuelewe .
Je vipengele muhimu vya ufupisho ni vipi ?
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 167-168
-matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali .
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 169 - 170 .
Na mwanafunzi .
-Kujadili vipengele -kuandika
12 4
Kuandika
Kujibu barua pepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza tofauti baini ya usemi halisi na usemi wa taarifa
-Kujadili mambo ya kuzingatia katika usemi halisi .
-Kujadili mambo ya kuzingatia katika usemi wa taarifa ili kubainisha .
-Kutambua usemi halisi na useimi wa taarifa katika matini mbali mbali .
-Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa na usemi wa taarifa kuwa usemi halisi .
-Kuchangamkia kuandika sentensi katika usemi halisi na usemi taarifa ili kuthamini.
-kueleza tofauti baini ya usemi halisi na usemi wa taarifa .
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katia usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano .
-Kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matani na miktadha mbalimbali .
-Kujadili kanuni zinazozingatiwa ili kubadilisha usemi halisi kwa usemi halisi .
-Kuchangamkia kuandika sentensi katika usemi halisi na taarifa ili kutathmini kuelewa .
Je unazingatia kanuni zipi unapobadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 174 - 174 .
-matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali .
picha
-kueleza tofauti . -Kujadili vipengele . -Kutambua . -Kujadili kanuni . -Kufanya mazoezi . -Orodha hakiki .
12 5
Kuandika
Kujibu barua pepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia li kujibu barua pepe .-Kujadili lugha inayofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe .-Kuandikia rafiki barua pepe akizingatia vipengele na vidokezo ambavyo vitamwezesah kujibu  barua pepe ipasavyo ili kutathmini 
-Kujadili vipengele vya kuzingatia li kujibu barua pepe .-Kujadili lugha inayofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe .-Kuandikia rafiki barua pepe akizingatia vipengele na vidokezo ambavyo vitamwezesah kujibu  barua pepe ipasavyo ili kutathmini 
13

EXAMS


Your Name Comes Here


Download

Feedback