Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
3 1
UTUNZAJI WA WANYAMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Tashbihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya tashbihi ili kuipambanua na tungo zingine.
Kutambua tashbihi katika matini ya fasihi simulizi.
Kueleza matumizi ya tashbihi katika matini ya fasihi simulizi.
Kuchangamkia matumizi ya tashbihi katika tungo za fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya tashbihi.
Kutambua tashbihi kama "mrefu kama twiga", "maridadi kama tausi" katika tungo simulizi.
Kueleza matumizi ya tashbihi katika tungo za fasihi simulizi.
Kushiriki katika uwasilishaji wa tashbihi.
Je, tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 24
Kadi za tashbihi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua tashbihi katika tungo za fasihi simulizi Kueleza matumizi ya tashbihi Kutunga tashbihi Kutofautisha tashbihi na semi zingine
3

Mtihani wa mwanzo wa muhula

4 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Sitiari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya sitiari ili kuipambanua na tungo zingine.
Kutambua sitiari katika matini ya fasihi simulizi.
Kueleza matumizi ya sitiari katika matini ya fasihi simulizi.
Kuchangamkia matumizi ya sitiari katika tungo za fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya sitiari.
Kutambua sitiari kama "Yeye ni twiga", "Yeye ni simba" kutoka kwenye tungo simulizi au kifaa cha kidijitali.
Kueleza matumizi ya sitiari katika tungo za fasihi simulizi.
Kushiriki katika uwasilishaji wa sitiari.
Kwa nini tunatumia sitiari kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 25-27
Matini zilizo na sitiari
Chati za sitiari
Vifaa vya kidijitali
Kutambua sitiari katika tungo za fasihi simulizi Kueleza matumizi ya sitiari Kutunga sitiari Kutofautisha sitiari na tashbihi
4 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya methali ili kuipambanua na tungo zingine.
Kutambua methali katika matini ya fasihi simulizi.
Kueleza matumizi ya methali katika matini ya fasihi simulizi.
Kuchangamkia matumizi ya methali katika tungo za fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya methali.
Kutambua methali katika tungo simulizi, kapu la semi, au kifaa cha kidijitali.
Kueleza matumizi ya methali katika tungo za fasihi simulizi.
Kushiriki katika uwasilishaji wa methali.
Kwa nini tunatumia methali kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 27-29
Orodha ya methali
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua methali katika tungo za fasihi simulizi Kueleza matumizi ya methali Kutunga methali Kutofautisha methali na semi zingine
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya shairi ili kulitofautisha na tungo zingine.
Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi.
Kueleza sifa za ushairi katika shairi.
Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutafiti maana ya shairi vitabuni au mtandaoni ili kulitofautisha na tungo nyingine.
Kujadili na wenzake sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi.
Kusoma mashairi katika diwani iliyoteuliwa na mwalimu na kueleza sifa za ushairi katika mashairi hayo.
Kuwasomea wenzake sifa alizotambua katika mashairi aliyoyasoma ili wamtolee maoni.
Je, shairi ulilowahi kusoma lilikuwa linazungumzia nini?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 30-31
Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua sifa za ushairi Kusoma shairi kwa kuzingatia vipengele vyake Kuandika muhtasari wa sifa za ushairi Kujadili ujumbe wa shairi
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya shairi ili kulitofautisha na tungo zingine.
Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi.
Kueleza sifa za ushairi katika shairi.
Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi "Wanyama tuwalindeni, waishi pasi nakama" katika diwani iliyoteuliwa na mwalimu.
Kutambua vipengele vya shairi kama vile vina, mizani, mishororo, kituo, na kadhalika.
Kujadili na wenzake sifa za shairi alilolisoma.
Kuwasomea wenzake shairi hilo kwa kuzingatia kanuni za usomaji wa mashairi.
Je, unavutiwa na nini unaposoma shairi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 31-32
Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
Chati ya sifa za ushairi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua sifa za ushairi katika shairi Kusoma shairi kwa ufasaha Kujibu maswali kuhusu shairi Kufanya tathmini ya ujumbe wa shairi
5 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi.
Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho.
Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika.
Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa simulizi.
Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi na kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho.
Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye matini za aina mbalimbali na kufafanua ujumbe kupitia kwa wahusika.
Kujadili vigezo vya kutathmini insha ya masimulizi.
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 33-34
Mifano ya insha za masimulizi
Picha
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vipengele vya insha ya masimulizi Kufafanua ujumbe wa insha kupitia utangulizi, kiini na hitimisho Kuandika mwongozo wa kutunga insha ya masimulizi
5 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi.
Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho.
Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika.
Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao.
Kufurahia kufafanua ujumbe wa insha ya kusimulia ili kufanikisha maelezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa wanyama daftarini mwake au katika kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini, hitimisho na wahusika.
Kuwasomea wenzake insha aliyoandika darasani au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
Kurekebisha insha yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake.
Kuwasilisha insha iliyorekebishwa kwa mwalimu kwa tathmini.
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 35
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya insha za masimulizi
Matini ya mwalimu
Kuandika insha ya masimulizi Kufafanua ujumbe wa insha kupitia wahusika Kurekebisha insha kulingana na maoni ya wenzake Kuwasilisha insha iliyorekebishwa
5 3
Sarufi
Vihusishi Vilinganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vihusishi vilinganishi katika matini.
Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vilinganishi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vilinganishi kama "kama", "sawa na", "mithili ya", "kupita", "kuliko" n.k.
Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi kama "Sungura alimchekelea Kobe na kumwambia, 'mimi ni mwepesi kuliko wewe.'"
Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vihusishi vilinganishi.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi vilinganishi akizingatia utunzaji wa wanyama.
Je, vihusishi vilinganishi na kihusishi 'na' huchangia vipi katika mawasiliano?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 36-37
Kadi za vihusishi vilinganishi
Chati
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi Kujaza pengo kwa vihusishi vilinganishi Kutunga sentensi zenye vihusishi vilinganishi Kufanyiana tathmini
5 4

6 1
Sarufi
Kihusishi 'na'
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua kihusishi 'na' katika matini.
Kutumia kihusishi 'na' ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia kutumia kihusishi 'na' katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi kama "Waliwaona simba wakifukuzana na swara."
Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi kwa kukipigia mstari.
Kujaza pengo kwa kutumia kihusishi 'na' panapohitajika.
Kutunga sentensi na vifungu kwa kutumia kihusishi 'na' ipasavyo kuhusu utunzaji wa wanyama.
Je, kihusishi 'na' kinatofautianaje na vihusishi vingine?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 37-38
Kadi za sentensi zenye kihusishi 'na'
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi Kutunga sentensi zenye kihusishi 'na' Kujaza pengo kwa kihusishi 'na' Kufanyiana tathmini
6 2
UTUNZAJI WA MALIASILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya vitendawili;
Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili;
Kutambua vitendawili katika matini;
Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wake;
Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kamusi au mtandao salama kutafuta maana ya vitendawili;
Kueleza maana ya vitendawili;
Kutoa mfano wa kitendawili kutokana na maana aliyopata;
Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili.
Unazingatia nini unapowasilisha vitendawili?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 40
Kamusi
Mtandao salama
Kadi maneno
Kutambua vitendawili; Kueleza maana ya vitendawili; Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
6 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi;
Kueleza umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi;
Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wake;
Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kufanya utafiti kuhusu umuhimu wa vitendawili;
Kufafanua umuhimu wa vitendawili katika vipengele kama vile huburudisha, hukuza ubunifu, hukuza uwezo wa kufikiri, hukuza uwezo wa kukumbuka na huelimisha;
Wasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji.
Kwa nini vitendawili ni muhimu katika jamii?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 41
Picha
Vifaa vya kidijitali
Kutambua umuhimu wa vitendawili; Kueleza umuhimu wa vitendawili; Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
6 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya nahau;
Kutambua nahau katika matini;
Kueleza maana za nahau;
Kutumia nahau ipasavyo katika mawasiliano;
Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kamusi au mtandao salama kutafuta maana ya nahau;
Kueleza maana ya nahau;
Kutoa mfano wa nahau kutokana na maana aliyopata;
Jadili maana za nahau mbalimbali.
Nahau hutumiwa kwa nini katika mawasiliano?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 42
Kamusi
Mtandao salama
Kadi za nahau
Kutambua nahau; Kueleza maana za nahau; Kutumia nahau ipasavyo katika sentensi
7 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua umuhimu wa nahau katika fasihi simulizi;
Kueleza umuhimu wa nahau katika fasihi simulizi;
Kutumia nahau ipasavyo katika mawasiliano;
Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza hadithi ya mwalimu iliyo na nahau;
Kutambua nahau katika hadithi iliyosikilizwa;
Kueleza maana za nahau zilizotambuliwa;
Jadili umuhimu wa nahau zilizotambuliwa.
Nahau huongeza ladha gani katika lugha?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 43
Hadithi ya sungura
Kadi za nahau
Kutambua nahau; Kueleza umuhimu wa nahau; Kutumia nahau ipasavyo
7 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha;
Kueleza vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha;
Kusoma kifungu cha nathari akizingatia matamshi bora;
Kusoma kifungu cha nathari akizingatia kasi ifaayo;
Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza na kumtazama mwalimu akisoma kifungu;
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha;
Kueleza vipengele alivyotambua kwa kuzingatia ubora wa matamshi, kasi ya usomaji, kiwango cha sauti na kuambatanisha ishara zifaazo.
Unazingatia mambo gani unaposoma kwa ufasaha?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 44
Kifungu cha nathari
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha; Kusoma kwa kuzingatia matamshi bora; Kusoma kwa kasi ifaayo
7 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kusoma kifungu cha nathari akizingatia kasi ifaayo;
Kusoma kifungu cha nathari akizingatia kiwango kifaacho cha sauti;
Kusoma kifungu cha nathari akizingatia ishara za mwili zifaazo;
Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu cha nathari kuhusu maliasili akizingatia kasi ifaayo;
Kupimwa idadi ya maneno anayosoma kwa muda wa dakika moja;
Kusoma kifungu cha nathari akizingatia kiwango kifaacho cha sauti;
Kusoma akiambatanisha ishara zifaazo.
Kwa nini ni muhimu kusoma kwa kasi ifaayo?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 45
Kifungu cha nathari
Saa ya kidijitali
Kusoma kwa kasi ifaayo; Kusoma kwa kiwango kifaacho cha sauti; Kusoma akitumia ishara zifaazo
7 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali;
Kutambua lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kujadili lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kutumia lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kufurahia matumizi ya lugha ya kitamathali katika kuandika insha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kamusi au mtandao salama kutafuta maana ya tamathali;
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali;
Kutoa mifano ya tamathali za usemi;
Kusoma insha ya masimulizi na kutambua lugha ya kitamathali iliyotumika.
Lugha ya kitamathali huongeza ladha gani katika insha?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 47
Kamusi
Mtandao salama
Insha ya mfano
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali; Kutambua lugha ya kitamathali katika insha; Kutumia lugha ya kitamathali katika sentensi
8 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi;
Kujadili matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi;
Kujadili mandhari katika insha ya masimulizi;
Kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari;
Kufurahia kuandika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutafuta maana ya wahusika;
Kusoma insha ya masimulizi;
Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi;
Jadili matendo ya wahusika;
Jadili mandhari katika insha aliyosoma.
Unazingatia vipengele vipi unapoandika insha ya masimulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 48
Insha ya mfano
Picha
Vifaa vya kidijitali
Kutambua wahusika katika insha; Kujadili matendo ya wahusika; Kujadili mandhari katika insha
8 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari;
Kufanya marekebisho ya insha ya masimulizi;
Kufurahia kuandika insha za masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na uchoraji wa mandhari.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika insha akisimulia yaliyotokea katika siku ya upandaji wa miti;
Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha aliyoandika;
Kuandika nakala safi ya insha baada ya kuirekebisha;
Kuwasomea wenzake nakala safi ya insha aliyoandika.
Kwa nini uchoraji wa mandhari ni muhimu katika insha ya masimulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 49
Orodha ya tathmini
Karatasi za kuandikia
Kuandika insha ya masimulizi; Kutumia lugha ya kitamathali; Kubainisha wahusika; Kuchora mandhari
8 3
Sarufi
Nyakati na Hali - -ki- ya masharti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua -ki- ya masharti katika matini;
Kueleza matumizi ya -ki- ya masharti;
Kutumia -ki- ya masharti ipasavyo katika matini;
Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ki- ya masharti ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Nakili sentensi zilizo na -ki- ya masharti;
Tambua -ki- ya masharti katika sentensi kwa kuichorea mstari;
Eleza maana inayojitokeza katika sentensi za -ki- ya masharti;
Chagua sentensi zilizotumia -ki- ya masharti kati ya sentensi zilizotolewa.
-ki- ya masharti hutumiwa wakati gani katika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 50
Chati
Matini yenye sentensi za -ki- ya masharti
Kutambua -ki- ya masharti; Kueleza matumizi ya -ki- ya masharti; Kutunga sentensi akitumia -ki- ya masharti
8 4
Sarufi
Nyakati na Hali - -ki- ya masharti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua -ki- ya masharti katika matini;
Kutumia -ki- ya masharti ipasavyo katika matini;
Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ki- ya masharti ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua sentensi zenye -ki- ya masharti;
Kubadilisha sentensi ambazo hazina -ki- ya masharti ziwe na -ki- ya masharti;
Kutunga sentensi tano akitumia -ki- ya masharti.
Je, ni tofauti gani kati ya -ki- ya masharti na -ki- ya wakati?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 51
Karatasi zenye sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kubadilisha sentensi ziwe na -ki- ya masharti; Kutunga sentensi akitumia -ki- ya masharti; Kufanya tathmini
9

Likizo fupi

10 1
Sarufi
Nyakati na Hali - -ka- ya kufuatana kwa vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua -ka- ya kufuatana kwa vitendo katika matini;
Kueleza matumizi ya -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini;
Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ka- ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutambua sentensi zenye -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutunga sentensi akitumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kusomea mwenzake sentensi alizozitunga.
-ka- ya kufuatana kwa vitendo hutumiwa wakati gani katika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 51
Karatasi zenye sentensi
Kadi za maneno
Kutambua -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kutunga sentensi akitumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kufanya tathmini
10 2
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kueleza vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza na kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza;
Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha ya wanafunzi wanasikiliza runinga;
Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza kwa kuzingatia matendo katika picha;
Jadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza.
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kujibu mjadala?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 52
Picha
Vifaa vya kidijitali
Kutambua kanuni za ufahamu wa kusikiliza; Kusikiliza kwa makini; Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza
10 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sifa za ufahamu wa kusikiliza;
Kueleza sifa za ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza na kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza;
Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
Jadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza kifungu cha ufahamu wa kusikiliza kilichorekodiwa au kusomwa na mwalimu;
Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza.
Kusikiliza kwa ufahamu kuna faida gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 53
Kifaa cha kidijitali
Kifungu cha ufahamu
Kutambua sifa za ufahamu wa kusikiliza; Kusikiliza kwa makini; Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza
10 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu;
Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu;
Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu;
Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu kinachohusu mitazamo hasi ya kijinsia;
Kudondoa habari mahususi katika kifungu kwa kujibu maswali yaliyotolewa;
Kujadili maswali na majibu na wenzake.
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu cha ufahamu kwa usahihi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 55
Kifungu cha ufahamu
Vifaa vya kidijitali
Kudondoa habari mahususi; Kupanga matukio kwa mtiririko; Kujibu maswali
11 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu;
Kueleza maana ya msamiati kulingana na kifungu cha ufahamu;
Kutumia msamiati unaotokana na kifungu cha ufahamu ipasavyo;
Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena kifungu cha ufahamu;
Kufanya utabiri na ufasiri kuhusu nini kingetokea iwapo waajiri wasingebagua waajiriwa kwa misingi ya kijinsia;
Kueleza maana ya msamiati uliotumika katika kifungu;
Kutunga sentensi akitumia msamiati huo.
Je, utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu cha ufahamu?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 56
Kamusi
Chati
Karatasi
Kufanya utabiri na ufasiri; Kueleza maana ya msamiati; Kutunga sentensi akitumia msamiati
11 2

11 3
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya shajara;
Kujadili vipengele vya shajara;
Kutambua vipengele vya shajara katika kielelezo;
Kuchangamkia kuandika shajara ili kuweka kumbukumbu ya matukio muhimu.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma maandishi katika kijitabu;
Kueleza maana ya shajara kutokana na maandishi aliyosoma;
Kusoma tena insha ya shajara ya kibinafsi;
Jadili vipengele vya shajara aliyosoma.
Kwa nini watu hutumia shajara?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 57
Kijitabu cha shajara
Mfano wa shajara
Kueleza maana ya shajara; Kutambua vipengele vya shajara; Kutunga sentensi za kibinafsi za kuweka katika shajara
11 4
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika shajara akizingatia vipengele vyake;
Kufanya marekebisho ya shajara;
Kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika shajara kuonyesha shughuli zake za siku mojawapo shuleni;
Kusomea mwenzake shajara aliyoandika;
Kuomba maoni ya mwenzake kuhusu shajara yake;
Kuandika nakala safi ya shajara yake.
Ni vipengele vipi muhimu katika shajara?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 58
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
Kuandika shajara; Kusahihisha shajara; Kusoma shajara kwa wenzake
12 1
Sarufi
Hali za Masharti - -nge-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya hali ya masharti;
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-;
Kutumia hali ya masharti -nge- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -nge- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -nge-;
Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya masharti -nge-;
Kutambua vitenzi ambavyo vinaonyesha hali ya masharti -nge-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -nge-.
Je, unahitaji kufanya nini unapoonyesha hali ya masharti unatumia viambishi gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 60
Chati
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua hali ya masharti -nge-; Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -nge-; Kujaza nafasi kwa kutumia -nge-
12 2
Sarufi
Hali za Masharti - -nge-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-;
Kutumia hali ya masharti -nge- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -nge- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia hali ya masharti -nge- kutunga sentensi tano;
Kutunga kifungu cha aya moja kilicho na vitenzi vilivyo katika hali ya masharti -nge-;
Kusoma kifungu alichoandika kwa wenzake.
Ni tofauti gani kati ya hali ya masharti -nge- na -ngali-?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -nge-; Kuandika kifungu cha aya kilicho na hali ya masharti -nge-; Kusahihisha sentensi na vifungu vya wenzake
12 3
Sarufi
Hali za Masharti - -ngali-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutumia hali ya masharti -ngali- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -ngali-;
Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutambua vitenzi ambavyo vinaonyesha hali ya masharti -ngali-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-.
Kiambishi -ngali- kinatofautianaje na -nge-?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Chati
Karatasi zenye sentensi
Kutambua hali ya masharti -ngali-; Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -ngali-
12 4
Sarufi
Hali za Masharti - -ngali-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutumia hali ya masharti -ngali- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujaza nafasi kwa kutumia hali ya masharti -ngali-;
Kutunga sentensi tano akitumia hali ya masharti -ngali-;
Kutunga kifungu cha aya moja kilicho na vitenzi vilivyo katika hali ya masharti -ngali-.
Je, ni wakati gani tunaweza kutumia hali ya masharti -ngali-?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 62
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
Kujaza nafasi kwa kutumia -ngali-; Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -ngali-; Kuandika kifungu cha aya kilicho na hali ya masharti -ngali-
13

Mtihani wa mwisho wa muhula

14

Marudio, Kasahihisha na kufunga shule

Your Name Comes Here

Download

Feedback