If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
3 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu Sarufi |
Sifa za fasihi simulizi
Ufahamu Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya fasihi simulizi. -Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili. -Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi. -Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Kueleza Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 2-3 |
|
3 | 3 |
Sarufi
Kusoma Kusoma (fasihi) |
Upatanisho wa kisarufi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi. -Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
|
|
3 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa mapana
Barua ya kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma aina mbalimbali za maandishi yaliyoandikwa kwa miundo na mitindo mbalimbali. -Kusoma kwa haraka bila kuzingatia maneno au vifungu vyote. -Kusoma bila kutafuta maana za maneno kwenye kamusi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 8
|
|
3 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana za fasihi simulizi na fasihi andishi -Kueleza tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. -Kutoa mifano ya vipera vya fasihi simulizi katika jamii (yake) |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 10-11
|
|
3 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 1-2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina Kuandika Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Upatanisho wa kisarufi
Fasihi andishi Barua rasmi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutunga sentensi akizingatia upatanisho sahihi wa kisarufi. -Kukamilisha jedwali kutumia kirejeshi amba- na ‘o’ rejeshi. -Kueleza muundo wa barua rasmi. -Kutaja sifa za barua rasmi. -Kuandika barua rasmi kwa mfadhili. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio Maelezo Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 19-20 |
|
4 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufupisho |
Isimu jamii: Lugha ya itifaki
Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza mazingira ambamo lugha ya itifaki hutumiwa. -Kufafanua sifa za lugha ya itifaki. -Kueleza umuhimu wa lugha ya itifaki. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 21-22 |
|
4 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Aina za maneno: Nomino
Maudhui katika fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya nomino. -Kuainisha makundi ya nomino na kutaja mifano. -Kutumia nomino katika sentensi sahihi. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 23-25
|
|
4 | 5 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Tahakiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Methali
Misemo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya methali. -Kufafanua matumizi ya methali. -Kutumia methali katika mazungumzo. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 30-32
|
|
5 | 1-2 |
Ufahamu
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Sarufi na matumizi ya lugha |
Mfinyanzi hulia gaeni
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Viwakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maana ya methali ‘Mfinyanzi hulia gaeni’ -Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali -Kueleza maana ya viwakilishi. -Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 34-36
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42 |
|
5 | 3 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Mashairi huru
Insha ya methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza chimbuko la mashairi ya huru -Kueleza sifa za mashairi ya huru. -Kujadili mtindo katika shairi hili, ‘Wasia’ |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 42-45
|
|
5 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Sajili ya bunge |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 5 |
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Aina za maneno: Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 48-51
|
|
5 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Aina za maneno: Vivumishi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
6 | 1-2 |
Kusoma kwa kina
Kusikiliza na kuzungumza |
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi
Fasihi simulizi: Mafumbo Fasihi simulizi: Misimu Lakabu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na umuhimu wa fani katika mashairi ya arudhi. -Kufafanua muundo, mtindo, wahusika, na matumizi ya lugha katika mashairi ya arudhi. -Kuchambua fani katika mashairi ya arudhi. -Kueleza misimu. -Kueleza sababu ya misimu kuchipuka. -Kufafanua sifa ya misimu. -Kutoa mifano ya misimu. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi Ufaraguzi Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 54-56
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-60 |
|
6 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Ufahamu |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Unene wa kuhatarisha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya. -Kutaja maadili katika riwaya. -Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
6 | 5 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Mashairi huru
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua wakati na sababu za kuchipua kwa mashairi huru. -Kueleza kuzuka kwa mtindo wa mashairi ya kisasa. -Kutoa maoni kuhusu mgogoro wa mashairi ya jadi na huru. |
Dayalojia
Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
|
|
6 | 6 |
Kusikiliza kuzungumza
|
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
Mahojiano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua sifa za shairi huru. -Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi huru. -Kuandika shairi huru lisilopungua beti nne. |
Mashairi
Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
|
|
7 | 1-2 |
Kusikiliza kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) Kusoma |
Ufupisho
Vitenzi: Mzizi na viambishi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Tamathali za usemi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma ufupisho. -Kueleza kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, vitambulisho vya ukubwa vya kale na sasa. -Kwa maneno 35 kueleza kati ya vijana wa sasa na wa kale. -Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi -Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 74-75
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi |
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Soga
Mnyambuliko wa vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya soga. -Kufafanua sifa za soga. -Kubainisha mafunzo katika soga. -Kutoa mfano wa soga |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 84-86
|
|
7 | 4 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Uandishi wa tahariri
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya tahariri -Kujadili jinsi ya kuandika tahariri. -Kuandika tahariri. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 95
|
|
7 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
|
7 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Mnyambuliko vitenzi II
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
|
|
8 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina Kuandika Fasihi |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Muundo na mtindo katika fasihi andishi Utafiti wa kazi za fasihi simulizi Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kwanza Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kwanza Kujibu maswali somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kueleza Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106 |
|
8 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Miviga
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
|
|
8 | 4 |
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufupisho
Aina za maneno; Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe Kudondoa hoja muhimu Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
|
|
8 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Aina za maneno; Viunganishi
Aina za maneno; Vihusishi Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
|
8 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Aina za maneno; Vihisishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nne na ya tano Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nne na ya tano Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
9 | 1-2 |
Kusoma kwa kina
Kuandika Kuandika Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Mashairi ya arudhi
Memo Baruameme Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 |
|
9-10 |
Mid term break |
|||||||
10 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Ujumbe wa rununu
Ngano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
|
10 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Ngano
Uundaji wa maneno Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
|
|
10 | 5 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya saba Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya saba. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
10 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Insha za masimulizi
Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
|
|
11 | 1-2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Kusoma kwa mapana Kuandika |
Mwingiliano wa aina za maneno
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa Kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana. Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani. Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu Usomaji. Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149 |
|
11 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
Nyakati, hali na ukanushaji wake Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba. Kufafanua sifa za lugha ya hotuba. Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
|
|
11 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Historia ya lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya tisa. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya tisa. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
11 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
|
11 | 6 |
Ufahamu
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
|
12 | 1-2 |
Sarufi
Kusoma kwa kina Kuandika Kusikiliza na kuzungumza Kusoma (fasihi) |
Ukanushaji wa hali II
Kamliwaze Insha ya mawazo Mawaidha katika fasihi simulizi Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Maelezo
Ufafanuzi. Mifano. Kueleza Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62 |
|
12 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Ufahamu |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na moja. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na moja. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
12 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Uakifishaji
Idhini ya kishairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
|
|
12 | 5 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Insha ya wasifu
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
12 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Ngomezi
Muundo wa sentensi Tawasifu Isimu jamii: Sajili ya michezoni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya Ngomezi. Kutaja sifa za ngomezi Kufafanua umuhimu wa ngomezi Kutaja ngomezi za kisasa |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 177-178
|
Your Name Comes Here