If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma |
Kusikiliza kwa kina .
Sauti - b - na -mb -
Kusoma kwa mapona |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambka sauti |
-kutambua sauti b na mb ipasavyo ili kuzitofautisha.
-Kusikiliza na kutamka sauti b na mb katika vitanza ndimi katika kifaa cha kidijitali . -Kushirikiana na wenzake kubuni vitanza ndimivyepesi vinavyo husiana na sauti b na mb. |
Je kutumia maneno yenye sauti -b - na - mb - yana umuhimu gani?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 14-15 .
-Mti maneno -Matini ya mwalimu Na mwanafunzi -Kifaa cha kidijitari -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 15-16 . -Matini mbali mbali za kujichagulia. |
-kutambua
-Kutunga vitanzi ndimi
-Oroha hakiki
|
|
1 | 2 |
Kuandika
|
Insha za kiuamilifu .
Barua ya kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua ujumbe unaotumika katika kujibu barua ya kirafiki -Kueleza lugha inytumika katika kujibu barua ya kirafiki -Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki. -Kuchamkia kuchora muundo unaotuika katika kujibu barua ya kirafki . |
-kutambua ujumbe unaoafiki anapojibu barua ya kirafki.
-kueleza lugha inayofaa kujibu barua ya kirafiki -kuchora muundo wa kujibu barua ya kirafiki kitambuni |
Je unazingatia nini unapojibu barua ay kirafiki?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 17-18 .
-Matini ya mwalimu . -Michoro -chati |
-Kutambua
-Kuchora
-Kujibu maswali
-Kueleza .
-Kujadiliana na wenzake.
|
|
1 | 3 |
Kuandika
|
Insha za kiuamilifu
Barua ya kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujibu barua aya kirafiki akizingatia ujumbe ,lugha na muundo unaofaa -Kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku. |
-kuandika na kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe,lugha na muundo unaofaa
-Kuwasomea wenzake barua aliyoiandika ili waitolee maoni. |
Je unazingatia nini unapojibu barua ay kirafiki?
|
-acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 18-19 .
-Vifaa vya kidijitali . -Matini ya mwalimu. |
-Kuandika barua
-Kusomeana
-Kufanya tathmini .
|
|
1 | 4 |
sarufi
|
Vihusishi .
Vihusishi vya A - unganifu
Vihusishi vya sababu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya a unganifu katika matani -kutumia vihusishi vya a unganifu ipasavyo kaika matini -Kuchngamkia matumizi ya a unganifuifaavyo kaytika mahusiano |
-kutambua vihusishi vya a unganifu katika kapu maneno chati au katika tarakilishi.
-Kutambua vihusishi vya a unganifu katika sentensi au vifungu kwenye vitabu -Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya a unganifu akizingatia maswala mtaambuko . |
Je vihusishi vya A- unganifu hutumika vipi ?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 19-20 .
-Vifaa vya kidigitali . -Matini ya mwalimu. -Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 21-22. -Vifaa vya kidijitali -Kapu na kadi amneno -Matini ya mwalimu |
-kutambua
-Kuulizana na kujibu maswali
-Kutunga sentensi
-Orodha hakiki
-Kufanya tathmini .
|
|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Semi
Tashbihi sitiari na methali
Tashbihi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleze maana ya tashbihi -Kutabua tashbihi katika matani ya fasihi . -Kueleza matumizi ya tashbihi katika matani ya fasihi simlizi -Kuchangamkia kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo za fasihi simulizi . |
-kueleza maana ya tshbihi
-Atambue tashbhi katika matani ya fasihi -Aeleze matumizi ya tashbihi katik amatani ya fasihi simulizi. -Achangamkie kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo la fasihi. |
Je tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi ?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 23-24 .
Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati |
-Kusoma
-Kutambua
-Kujadili
-Kielezo maana
-Kuchangamkia mazoezi .
|
|
2 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Semi .
(sitiari na methali )
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kutumia istiari katika uwasilishaji wa tungo la fasihi . -Kchangmkia matumizi ya istiari na methali katika tungo la fasihi simulizi. |
-kutumia istiari na methali katika uwasilishaji wa tung za fasihi simulizi
-Ashiriki katika uwasilishaji wa istiari na methali katika fasihi simulizi |
Je kwa nini tunatumia ishari na methalikuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 24 -26 .
Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati |
-kufunga tathmini
-kusoma hadithi
-Kuwasilisha istiari
-methali
-mazoezi
|
|
2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina .
Sifa za ushairi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya shairi ili kutofautisha na tungo nyingine -Kujadili sifa za ushairi kama utunzi wa fasihi andishi -kueleza sifa za ushairi katika shairi -Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasishi. |
-kutafiti maana ya ushairi vitambuni au mtandaoni ili kutofautisha na fungo nyingine.
-kutambua sifa za ushairi utunzi wa fasihi andishi -Kujadiliana sifa za ushairi kama ufunzo wa fasihi simulizi |
Je shairi uiowahi kulisoma lilikua linasimulia nini?
Je unafahamu sifa zipi za ushairi?
|
-Kiswahili acess gredi ya 9 ukurasa wa 29-30.
-Matini ya mwalimu -Kifaa cha kidigitari -mashairi -diwani teule -Vifaa vya kidigitari -Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 31-32 |
-kutambua
-Kujadiliana na kutafiti
-maswali na majibu
-shairi
|
|
2 | 4 |
Kuandika
|
Insha za kubuni .
Masimulizi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengelee vya kufafaulia ujumbe wa insha ya simulizi -Kufafanua ujumbe wa insha ya simulizi kupitia kwa utanguliizi kiini na hitimisho . -Kuafanua ujumbe wa insha smulizi kupitia kwa wahusika -Kufurahia kufafanua ujumbe wa insha simulizi ili kufanikisha maelezo. |
-kutambua vipengele vya kufanunua ujumbe wa insha simulizi
-Kusoma kielelezo cha insha simulizi . -Kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi,kiini na hitimisho -Asome kielelzo cha insha ya masimulizi na kufafafnua ujumbe kupitia wahusika. -Atoe amelezo yake darasani. |
Je unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi ?
|
Kiswahil gradi ya 9 ukurasa 32-33
Vifaa vya kiditali Matini ya mwalimu Kielelzo cha insha. |
-kusoma
-kuchambua
-Kijadilana
-Kuulizana na kujibu maswali.
|
|
3 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za kubuni
masimulizi
Vuhusishi . Vihusishi vilinganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika insha ya masimuizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao -Kuandika insha simulizi kwa kuzingati aujumbe na muundo ufaao . |
-kuandika insha ya asimulizi daftarini mwake au kweny kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi ,kiini,hitimisho na wahusika
-Awasomee wenzake ili waitolee maoni . |
Je unaff kuzingatia nini unapoa andika insha ya masimulizi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 33
-Matini ya mwalimu . -Vifaa vya kidigitari -Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34. -Chati -Vifaa vya kiditajitari -Matii ya mwalimu . |
-kuandika insha
-Kufanyiana tathmini
-Kielelzo cha barua iliyoandikwa
|
|
3 | 2 |
Sarufi
|
Vihusishi .
Kihusishi na .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi na katika matini . -Kutumia kihusshi na ipasavyo katika matini . -Kuchangamkia kutumia kihusishi na katika amawasiliano ya kila siku . |
-Kutambua kihusishi na katika sentensi kwenye vifungo kwa kupigia mstari .
-Atunge sentensi na vifungu kwa kutumia kihusishi na akizingatia maswala lengwa na masuala mtambuko mbali mbali . |
Je kihusishi na kuchngia vipi katika mawasiliano?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati -Vifaa vya kidigitari -Matini ya mwalimu . |
-kutambua
-Kutunga sentensikufanya mazoezikutathmin
|
|
3 | 3 |
Kuskiliza na kuzungumza
|
Semi .
vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitendawili ili kuvipambanua . -Kutambua vitendawili ktika matini . -Kufafanua umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi . -Kuchangamkia uwasilishaji wa vitendawili katika fungo za fasihi . |
-Kueleza maana ya vitendawili .
-Kutambua vitendawili katika matini ya fasihi simulizi . -Kutafiti mtandaoni au vitabuni umuhimu wa vitendawili . -Kujadili vipengele vya uwasilishaji vitendawili . -Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili . |
Je vitendawili vina umhim upi katka fasihi simulizi?
Je unazingatia nini unapowasilisha vitendawili?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 37-38 .
-Matini ya mwalimu. -Chati -Michoro -Kifaa cha kidigitali . |
-kueleza
-Kitendawili
-kufafanua
-Kuwasilisha vitendawili
-Kutenga na kutengua.
|
|
3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufasaha |
Semi .
Nahali .
Kusoma kwa ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maan ya nahu ili kupambanua . -Kutambua nahau katika matini -Kufafanua umuhimu wa nahu katika fasihi simulizi. -Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi . |
- kueleza maana ya nahau .
-Kutambua nahau mbali mbali katika matini ya fasihi simulizi na kueleza maan yake . -Kutafiti mtandaoni umuhimu wa nahau . -Atunge sentensi akitmia nahu ifaavyo -Ajaze nafasi katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka . |
Je nahau ni nini ?
|
-Acess kiswahil gradi ya 9 ukurasa wa 39-40.
-Matini ya mwalimu -Picha -Michoro -Vifaa vya kidijari. kiswahli gredi ya 9 ukurasa 41-43 -Vitabu -Matini ya mwalimu . |
-kujaza nafasi
-Kutunga sentensis
-Kujadili
-Kutathmini.
|
|
4 | 1 |
Kusoma kwa ufasaha
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kifungu akizingatia ishara za misili ziffazo . -Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufsaha ili kufanikisha mawasiliano . |
-Kusoma kifungu akizingatia ishara za mwili .
-Kisakuru kifungu cha nathari mtandaoni na kuwasome wenzake kwa ufasaha . |
Je unaposoma kifungu chochcote unazingatia mambo gani?
|
Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 43.
Matini ya mwalimu? |
-kusoma
-Kufanyiana tathmini.
|
|
4 | 2 |
Kuandika
|
Insha za kubuni
masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya lugha ya kitamli,matendo ya wahusika na mandhari ili kubainisha . -Kujadili lugha za kitamathari,matendo ya wahusika na mathari katika insha ya masimulizi . -Kuchangamkia kufafanua lugha ya kitamathdali ,matendo ya wahusika na mandhari katika insha ya masimulizi . |
-Kutambua vipengele vya lugha ya kitamathali ,matendo ya wahusika na mandhari katika masimulizi kwenye matini andishi .
-Kueleza maan ya lugha ya kitamthlia ,matendo ya wahusika na madhari . -Kusoma vielelezo vya insha za kubni kwenye matini za maandishi na kulainisha lugha ya kita mathali ,matendo ya wahusika na mandhari . |
Je unazingatia vipengee vipi unapo andika insha ya masimulizi?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 44 - 45.
-Matini ya mwalimu -Picha -Kifaa cha kidijitari. -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 46? -Matini ya mwalimu. -Michoro -vitabu |
-kusoma
-Kufanyiana tathmini
|
|
4 | 3 |
Sarufi
|
Nyakati na hali .
Ki- ya masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kufafanua amatumizi ya ki ya masharti -Kutambua ki ya masharti katika matini . -Kutumia ki ya masharti ipasavyo katika matini . -Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo ki ya ya masharti ili kufanikisha mawasiliano . |
-kutambua ki ya mashrati katika matini mbali mbali .
-Kuchanganua sentensi zilizi ashiria matumizi ya ki ya masharti kutokana ana mchanganyiko wa sentensi kwenye vitabu au tarakiishi . -Atunge sentensi akitumia ki ya masharti . |
Je ki-ya masharti hutumika wakati gani katika sentensi?
|
1,kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 47-48
-Matini ya mwalimu . -Vitabu -Picha -michoro |
-kutambua
-Mifano
-Maelezo
-mazoezi
-Kutunga sentensi
-Kuandika.
|
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Nyakati na hali .
Hali ya kufuata na kwa vitendo .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini . -Kutumia ka ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini . -Kujenga mazoea ya matumizi ya ka ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano . |
-kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini mbalimbali
-Atambue sentensi zinazoashiria matumizi ya kufuatana kwa vitendo kutokana na mchnganyiko wa sentensi kwenye vitabu au tarakilishi . |
Je -ka ya kufuatana kwa vitendo hutumika wakati gani katika senstensi.?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 48 - 49 .
-Matini ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Picha michoro |
-kueleza Mifano
-mazoezi
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kuskiliza
Ufahamu wa kuskiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza . -Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza -Jadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza . -Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa kufahamu ili kukuza stadi za kusikiliza . |
-Kueleza maan ya ufahamu wa kusikiliza .
-Kutaja na kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza . -Kujadili vipengele vya kusikiliza . |
Je kuskiliza kwa ufahamu kuna faida gani?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 51 -52 .
-Matini ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Picha -michoro -Vifaa vya kidijitari -Kiswahili gredi 9 ukurasa wa 51-52 -Matini ya mwalimu na mwanafunzi . |
-kusikilza na kujibu maswali .
|
|
5 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi kutoka kifungu cha ufahamu . -Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu . -Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza kuelewa habari . |
-Kusoma kifungu cha ufahamu .
-Kudondoa habari mahususis katika kifungu cha ufahamu . -Kueleza habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi na ufasiri kutokana na kifungu cha ufaham u . |
Je kwa nini tunasoma kifungu cha ufahamau?
|
-vifaa vya kidigitali
-Kiswahli gredi ya 9 ukurasa wa 52-54 -Matini ya mwalimu -Picha |
-kusoma na Kuulizana maswali
-Kudondoakielelzo
-kutabiri
-michoro
|
|
5 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua msamiati kutoka kwa kifungu cha ufahamu . -Kueleza maan aya msamiati kulingana na kifungu cha ufahamu . -Kuchangamkia matumizi ya msamiati aliotambua katika sentensi na vifungu . |
-Kuchopoa msamiati wa suala lengwa kwenye kitabu
-Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa matumizi katika matini . -Kutumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi kisha amsomomee mwenzake ili kutoleana maana . |
Je ni mambo gani tunayozingatia tunaposoma kifungu cha ufahamu?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 54-55
-Chati -Matini ya mwalimu -Picha -michoro |
-kusoma
-Kudondoa msamiati
-Kutunga sentensi
|
|
5 | 4 |
Kuandika
sarufi |
Insha za kiuamilifu .
Shajara .
Hali yza masharti . -nge- |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maan ya shajara . -Kujadili vipengele vya shajara . -Kuandika shajara akizingatia vipengele vyake . -Kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku . |
-Kueleza maana ya shajara .
-Kujadili na mwenzake shajara alivyoisoma . -Kutambua na kujadili vipengele vya shajara kwa kurejelea kielelezo cha shajara . -Kuandika shajara akizingatia vipengele vya vyake . |
Je muundo na mtindo wa shajara ni upi?
Je kwa nini watu utumia shajara?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukrasa wa 55-57.
-Kielelewzo cha shajara -Matani ya mwalimu -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 58 -Chati -Picha -Michoro -Vifaa vya kidigitali |
-Kitambua
-Kuuliza na kujibu.
-Kujadili
|
|
6 | 1 |
sarufi
|
Hali ya masharti .
-ngali)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti ngali katika matini . -Kutumia hali ya masharti ngali ipasavyo . -Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti ngali ili kukuza ufasaha wa lugha . |
-Kutafiti mtandaoni au vitabuni matumizi ya hali ya masharti ya ngali .
-Kutambua matumizi sahihi ya ngali katika sentensi au vifungu . -Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya ngali kutokana na mchanganyiko wa sentensi kwenye vitabu ,tarakiishi na kuvipigia mstari -Kutunga sentensi kuonyesha matumizi ya ngali akizingatia maswala mtaambuko . |
Je hali ya masharti nge hutumika vipi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 59-60
-Matani ya mwalimu |
-Kutunga sentensi
-Kuuliza maswali
-kujaza pengo
-Kutathmini.
|
|
6 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
sarufi |
Kusikiliza na kufasiri .
Vielezi vya wakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya a kufasiri kwa kusikiliza ili kubainisha . -Kueeza misimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini ya kusikiliza . -Kujenga mazoea ya kutambua misimamo na mielekeo katika matini mbali mbali ili kupata amaana ya ujumbe . |
-kutafiti maan ya kusikiliza kwa ufasiri kutoka mtandaoni au maktaba na awasilishe matokeo ya utafiti .
-Kueleza msismamo na mielekeo kuhusu ujumbe katika matini mbali mbali anayosikiliza kuhusu suala lengwa . -Kusikiliza habari kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijiari . -Kuchambua msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe. |
Je ni misimamo ipi iliyopo katika matini ulizowahi kuskiliza?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 61-62
-Matani ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Matani ya mwanafunzi Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa 70-71 matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -michoro -kapu maneno |
-kuskiliza na Kuuliza
-kueleza
-kuchambua
-kuandika na kujibu maswali.
|
|
6 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza kwa kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- aeleza maana ya kusikiliza kwa Kutathmini kwa kutafiti mtandaoni au vitabuni. - Kujadili vipengele vya kizinga katika kusikiliza kwa Kutathmini. -kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu akizingatia vipengele muhimu kusikiliza kwa Kutathmini -Achangamkie kusikiliza kwa Kutathmini habari yoyote ya kujichagulia mtandaoni amsomee mwenzake ili amtolee maoni |
-kusakura mtandaoni au vitabuni ili kueleza maana ya Kusikiliza kwa Kutathmini
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika Kusikiliza na Kutathmini. -Kusikiliza kwa makini kifungu atakachosomewa na mwalimu ili kutoa vipengele vinavyostahili kwa matini hiyo. -kusakura mtandaoni ili kutoa habari atakayosomea mwenzake ili amtolee maoni. |
Je kusikiliza kwa kutathmini kunahitaji nini?
|
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa wa 74-76
Matini ya mwalimu -kamusi -kifaa cha kidijitali |
-kutafiti
-Kujadili
-kusoma
-kujibu maswali
-Kutathmini
|
|
6 | 4 |
kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusakura mtandaoni au vitambuni na kueleza maana ya ufupisho. - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kufupisha kifungu - kusoma kifungu kisha kujibu maswali ipasavyo - Achangamkie kufupisha ujumbe akizingatia vipengele muhimu |
-kusakura mitandaoni au vitabuni ili kueleza maana ya ufupisho
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa kifungu -kusoma kifungu na kisha kujibu maswali ipasavyo -azingatie ujumbe, muundo na lugha sahihi ili kufupisha ujumbe kwa aya moja na maneno 40. |
Je unazingatia vipengele vipi katika ufupisho?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 74-76
Matini ya mwalimu -kamusi -kifaa cha kidijitali |
-kutafiti
-Kujadili
-kusoma
-kujibu maswali
-Kutathmini
|
|
7 | 1 |
kuandika
|
Insha za kubuni
(maelezo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya insha ya Maelezo akizingatia lugha inayoathiri hisia mbalimbali. - Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayo athiri hisia katika insha ya maelezo. -kusoma kielelezo cha insha ya Maelezo ili kutambua hisia zilizotumika katika maelezo. - Achangamkie kuandika insha ya Maelezo akitumia lugha inayo athiri hisia mbalimbali |
-kueleza maana ya insha ya Maelezo kwa kutafiti katika mtandao au vitabuni.
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayo athiri hisia katika maelezo. -kusoma kielelezo cha insha ya Maelezo ili kutambua hisia zinazojitokeza katika kuandika insha ya kubuni ya Maelezo akitumia lugha inayo athiri hisia katika suala lengwa na mitambuko mbalimbalihb |
Je insha za kubuni za maelezo huzingatia hisia gani unapoandika?
|
Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 77-78
-matini ya mwalimu -vifaa va kidijitali -picha michor -kamusi |
-kutafiti
-kueleza
-Kujadili
-kusoma
-kujibu maswali
-kuandika
|
|
7 | 2 |
sarufi
|
Vielezi vya mahali na vya idadi
a, vielezi vya mahali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- keleza maana ya vielezi vya mahali - Kutaja Mifano ya vielezi vya mahali - kutambua vielezi vya mahali katika matini mbalimbali. - Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo kwa kupigia mstari na kutungia sentensi. |
-kueleza maana ya vieleza vya mahali kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-Kutaja vielezi vya mahali katika matini mbalimbali -kutambua vielezi vya mahali kwa kuvipigia mstari -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo katika Kutunga sentensi na kunakili kifungu kifupi |
Je vielezi vya mahali hutumika vipi katika mawasiliano?
|
Access kisw sahili gredi a 9 uk wa 79-80
-matini ya mwalimu -picha -michoro -vifaa vya kidijitali -kamusi |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
7 | 3 |
sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
vielezi vya idadi
Uzungumzaji wa kushawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya vielezi vya idadi - kutaja mifano ya vielezi vya idadi. - kutambua vielezi vya idadi katika matini mbalimbali - kuchangamkia matumizi ya vielezi vya idadi ipasavyo kwakupigia mstari, kutunga sentensi na kutunga kifungu kifupi. |
Mwanafunzi alekezwe:
-kueleza maana ya vielezi vya idadi kwa kutafiti mtandaoni au vitabuni -kutaja vielezi vya idadi kama ilivyo kwenye vitabu -kutambua vielezi vya idadi katika matini mbalimbali -kuumia vielezi vya idadi ipasavyo katika kutunga sentensi, kuandika kifungu kifupi na kupigia mstari ili kuthibitisha uelewa. |
Je vielezi vya idadi hutumika vipi katika mawasiliani?
|
Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 81-82
-matini ya mwalimu -kadi maneno -kapu maneno -picha -kamusi -vifaa vya kidijitali Access kisw sahili gredi ya 9 uk 83-84 -michoro -vifaa vya kidigitali |
-kutafiti
-kueleza
-Kutaja
-kutambua
-kujaza pengo
-Kutunga sentensi
-kuandika kifungu
|
|
7 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina
Ushairi
a, mandhari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndodo, - kueleza maana ya mandhari katika fasihi andishi -kutaja mifano ya mandhari katika kazi ya fasihi - kujadili umuhimu wa mandhari katika fasihi - kuchangamkia kusoma shairi na kujibu maswali yake huku akitambua mandhari ya shairi hilo. |
-kueleza maana ya mandhari kwa kusakira mitandaoni au vitabuni.
-kutaja mifano ya mandhari katika kazi ya fasihi andishi -kujadili umuhimu wa mandhari katika fasihi andishi -kuchangamkia na kufurahia kusoma shairi na kujibu maswali yake akitambua mandhari katika suala lengwa |
Je, utatambua aje mandhari katika ushairi?
|
Access kisw sahili gredi ya 9 uk 84-86
-matini ya mwalimu -picha -vifaa vya kidijitali -kamusi |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-kusoma shairi
|
|
8 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina
b, muundo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya muundo katika fasihi andishi -kutambua vipengele vya muundo katika shairi -kuchangamkia kusoma shairi akizingatia maudhui na muundo ili kudhibitisha uelewa. |
-kutafiti na kusakira mtandaoni ili kueleza maana ya muundo katika fasihi
-kutambua vipengele muhimu katika shairi ikiwa ni pamoja na vina, mizani, beti na mishororo -kuchangamkia kusoma shairi akizingatia maudhui na muundo ili kutathmini uelewa |
Je, viengele vya muundo katika shairi ni vipi?
|
Access kisw sahili gredi la 9 uk 87-88
-matini ya mwalimu -picha -michoro -kamusi -vifaa vya kidigitali |
-kusakura
-kueleza
-kutambua
-Kujadili
-kusoma na kukariri shairi
-maswali na majibu
|
|
8 | 2 |
kuandika
|
Viakifishi mabano na kistari kifupi
a, matumizi ya mabano
Viakifishi Matumizi ya kistari kifupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanafunzi awezw - kueleza maana ya mabano -kujadili matumizi ya mabano -kutambua matumizi ya mabano katika sentensi na vifungu -kuchangamkia kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia mabano ipasavyo |
-kusakura na kutafuta ili kujua maana ya mabano
-kujadili matumizi ya mabano katika matini mbalimbali -kutambua matumizi ya mabano katika sentensi na vifungu vifupi -kuchangamkia kuandika kifungu kuhusu suala lengwa akituma mabano ipasavyo |
Je mabano ( ) hutumika vipi katika mawasiliani?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 88-89
-matini ya mwalini -vifaa vya kidigitali -chati Acess kisw sahili gredi ya 9 uk 89-90 -matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -kamusi |
-kutafiti
-kueleza
-kutambua
-kuandika
-maswali na majibu
|
|
8 | 3 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
a, ngeli ya u-zi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kusoma mifano ya sentensi katika ngeli ya u-zi - kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya u-zi katika sentensi -kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi na kuandika vitabuni - kuchangamkia kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa |
-kusoma mifano ya sentensi katika ngeli a u-zi
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika umoja na wingi vya ngeli ya u-zi katika sentensi. -kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi, umoja na wingi na kuviandika vitabuni -afurahie kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa |
Je nomino katika ngeli ya u-zi ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 91-92
-matini ya mwalimu -kadi maneno -michoro -picha -vifaa vya kidijitali |
-kusoma
-kueleza
-Kutaja
-Kutunga sentensi
-kujaza pendo
|
|
8 | 4 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
Ngeli ya (ya-ya)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wwa mada ndodo, - kusoma mifano ya swentensi katika ngele ya ya-ya ili kutambua viambishi katika umoja na wingi -kutambua kwa kupigia mistari viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya ya-ya katika kifungu cha maneno. -kutambua nomino za ngeli ya ya-ya katika matini mbalimbali kuchangamkia na kufurahia kutunga kifungu cha aya moja kuhusu suala lengwa akizingatia upatanisho wa ngeli ya ya-ya na kutunga sentensi ili kutathmini uelewa |
-kusoma na kutambua viambishi vya ngeli ya ya-ya katika umoja na wingi
-kutambua viambishi ngeli vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya ya-ya katika kifungu cha maneno na sentensi -kutambua na kuorodhesha nomino katika ngeli ya ya-ya katika matini mbalimbali -kufurahia kutunga sentensi na kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akizingatia upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya ya-ya ili kutathmini uelewa |
Je, nomino katika ngeli ya ya-ya ni zipi?
Viambishi ngeli katika ngeli ya ya-ya umoja na wingi ni vipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 93-94
-matini ya mwalimu -kifaa cha kidigitali -picha -michoro -kamusi |
-kusoma
-kutambua
-Kutaja
-kuandika
-Kutunga sentensi
-kuandika kifungu cha aya moja
|
|
9 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma |
Kusikiliza kwa kina
Sauti j na nj
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha kishawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kutamka sauti j nan j ipasavyo ili kuzibainisha - kutambua kwa kupigia mstari sauti j nan j ili kizitofautisha - kusoma vitanzandimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j na nj -achangamkie kutunga vitanza ndimi akitumia nomino katika sauti j nan j kuvisomea wengine ili kuwatolea maoni |
-kutamka sauti j na nj ipasavyo ili kuzibainisha
-kutambua kwa kupiga mstari sauti j na nj katika sentensi na kifungu -kusoma vitanza ndimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j nan j -kufurahia kutunga vitanza ndimi akitumia jozi ya maneno katika sauti ya j nan j kama vile: kuja-kunja Ajali-anjali Waja-wanja Amsomee mwenzake ili kumtolea maoni |
Sauti j nan j hutofautiana vipi katika matamshi?
|
Access kisw gredi ya 9 uk wa 96
-matini ya mwalimu -kamusi -picha Access kisw sahili grade ya 9 uk wa 97-98 -vifaa vya kidijitali |
-kutamka
-kutambua
-kusoma
-Kutunga vitanzandimi
|
|
9 | 2 |
kuandika
|
Insha za kubuni
(Masimulizi)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kilichoko kitabunu - kutambua vipengele vilivyo tumika kukuza mawazo tofauti katika kila aya. - kuandaa vidokezo vya kuandikia insha ya masimulizi na kuviandika daftarini -kuandika insha ya masimulizi akirejelea ujumbe, muundo na lugha akizingatia suala lengwa |
-kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi katika vitabu
-kutambua vipengele muhimu vilivyotumika kukuza mawazo tofauti katika kila aya -kuandaa vidokezo vitakavyo msaidia kuandika insha ya masimulizi kuhusi suala lengwa -kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi akizingatia ujumbe, muundo na lugha ifaavyo na kurejelea suala lengwa |
Je, ni vipengele vipi vinavyozingatiwa katika uandishi wa insha ya masimulizi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 99-101
-matini ya mwalimu -kielelezo cha insha -kamusi |
-kusoma
-kuandaa vidokezo
-kutambua vipengele
-kuandika
|
|
9 | 3 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
Ngeli ya (li)
Ngeli na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya (ku) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya (li) - Kutaja nomino katika ngeli ya (li) katika chati - kutambua kwa kuvipigia mstari viambishi vya upatanisho wa kisarufi a ngeli ya (li) - Achangamkie Kutunga sentensi na kifungu kifupi akitumia nomino katika ngeli ya (li) ili Kutathmini uelewa |
-kutaja nomino katika ngeli ya (li) na kuzitambua katika matini mbalimbali
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya li umoja na wingi -kusoma kifungu kisha kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi ya ngeli ya li -kuchangamkia kifungu kifupi na sentensi akitumia nomino katika ngeli ya li ili kutathmini uelewa |
Je, nomino katika ngeli ya (li) ni zipi?
Viambishi ngeli katika ngeli ya (li) ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 102-103
-matini ya mwalimu -kamusi -chati -mabango Access kisw sahili grdi ya 9 uk wa 104-105 -vifaa vya kidijitali |
-kutambua kwa kusoma
-Kutaja
-Kujadili
Orodha hakiki
-Kutunga sentensi na kifungu
|
|
9 | 4 |
sarufi
|
Ngeli ya pa-ku-mu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusoma na kutambua viambishi ngeli katika ngeli ya pa-ku-mu - kutambua viambishi vya upatanisho wa sarufi ya ngeli ya pa-ku-mu katika matini mbalimbali - kutambua na kutaja nomino katika ngeli ya pa-ku-mu na kutunga sentensi akitumia nomino hizo ili kutathmini uelewa |
-kusoma na kutambua viambishi ngeli katika ngeli ya pa-ku-mu
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya pa-ku-mu katika matini mbalimbali ipasavyo -kuchangamkia na kutaja nomino katika ngeli ya pa-ku-mu na kutunga sentensi ili kuzitofautisha na zingine -kutathmini kazi ya wenzao |
Je viambishi vya ngeli ya pa-ku-mu ni zipi?
Je, nomino katika ngeli ya pa-ku-mu ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa106-107
-matini ya mwalimu Mabango -chati -kamusi -vifaa vya kidigitali |
-kusoma
-Kutaja
-kutambua
-Kutunga sentensi
-Orodha hakiki
-Kutathmini
|
|
10 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mazungumzo
Malumbano ya utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kueleza maana ya malumbano ya utani - kutaji aina za malumbano ya utanikama atavyopata katika mitandai ama vitabu - kujadili sifa za malumbano ya utani pamoja na vipengele muhimu vya uwasilishaji wa malumbano ya utani - kuwasilisha malumbano ya utani katika vikundi ili wayatolee maoni |
-kueleza maana ya malumbano ya utani kwa kutafiti nas kusakura mitandaoni
-kutaja aina za malumbano ya utani ili kutofautisha na malumbano mengine -kujadili sifa na vipengele muhimu katika uwasilishaji wa malumbano ya utani -kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika vikundi ili kutoleana maoni |
Je, sifa za malumbano ya utani ni zipi?
Vipengele muhimu katika malumbano ya utani ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 108-109
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -mwanafunzi |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-Kuwasilisha
|
|
10 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mazungumzo
Malumbano ya utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani katika mawasilisho yao - kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika vikundi vyao ili kutoleana maoni na kutathmini |
-kujadili pamoja na wenzake vipengele muhimu vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
-kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika kikundi au wawili akizingatia vipengele muhimu ili kutathmini uelewa |
Je, vipengele muhimu katika uwasilishaji wa malumbano ya utani ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa109-110
-matini ya mwalimu -mwanafunzi |
-Kujadili
-Kuwasilisha
-Orodha hakiki
|
|
10 | 3 |
kusoma
|
Ushairi
Kusoma kwa kina
wahusika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kueleza maana ya wahusika katika fasihi - kujadili sifa za wahusika katika kazi ya fasihi andishi - kusoma na kutambua wahusika katika shairi pamoja na sifa zake |
-kueleza maana ya wahusika katika fasihi
-kujadili sifa za wahusika kama zinavyojitokeza katika shairi -kusoma shairi na kutambua wahusika na sifa zao |
Je, wahusika ni kina nani katika shairi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 110-111
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali |
-kueleza
-kusoma
-kuandika
-kutambua
-Orodha hakiki
|
|
10 | 4 |
kusoma
kuandika |
Kusoma kwa kina
Ushairi
Wahusika karika shairi
Barua rasmi Barua ya kuomba kazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma shairi na kichambua sifa za wahusika kama zinavyojitokeza -kusoma shairi katika diwani iliyo teuliwa na mwalimu kisah ajadili sifa za wahusika katika shairi hilo ili kutathmini uelewa. |
-Kusoma shairi na kichambua sifa za wahusika kama zinavyojitokeza katika shairi hilo
-kusoma shairi katika diwani teule na kujadili sifa za wahusika katika kikundi ili kutathimini uelewa. |
Je sifa za wahusika katika shairi ni zipi?
|
-Kisw sahili gradi ya 9
Uk wa 112 -Matini ya mwalimu na mwanfunzi Kisw sahihi gredi ya 9 uk wa 112-113 -matini ya mwali vifua vya kidijitali |
-kusoma
-kuchambua sifa
-Kutathmini
-Orodha hakiki
|
|
11 | 1 |
kuandika
|
Barua rasmi ya kuomba kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze -Kuadika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia ujumbe, muundo na lugha pamoja na vipengele muhimu katika daftari au kifaa cha kidijitali. -kuwasomea wenzake barua aliyo iyandik ili waitolee maoni. |
-kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akifuata na kuzingatia vipengele muhimu na muundo na lugha ipasavyo.
-kusoma barua ilivyo iandika kwa wenzake ili waitolee maoni na kutathmini. |
Je unapoadika barua rasmi huzingatia nini?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 114
Matini ya mwalimu |
Kuandika barua rasmi
kutathmini
|
|
11 | 2 |
sarufi
|
Vinyume vya vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi -kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kutofautisha na vingine. -kuambatanisha vihusishi na vinyume vyake katika jedwali |
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi kwa kitafiti vitabuni
-kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kubaini na vingine. Kuabatanisha katika jedwali vinyume na vihusishi vyake ipasavyo. |
Je vinyume vya vihusishi ni vipi
|
Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 115-116
Matini ya mwalimu Mabongo Vifaa vya kidijitari |
Kutafuta kueleza
Kuambatasha
Orodha hakiki
|
|
11 | 3 |
sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Vinyume vya vihusishi
Uzungumzaji katika sherehe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vinyume vya vihusishi kwa kuvipigia mstari katika kifungu -kisakira mtandaoni ili kutafuta vinyume zaidi |
Aelekezwe kutabua vinyume vya vihusishi kwa kupigia mstari
-kuandika vinyume vya vihusishi villivyo pigiwa mstari katika daftari na kutunga sentensi. |
Je utajuaje vinyume vya vihusishi
|
Uk wa 116
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 118-119 Matini ya mwalimu picha michoro |
Kujaza pengo
Kupigia mstari
Kutunga sentensi
|
|
11 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Uzungumzanji katika sherehem
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwnafunzi aweze -kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kidigitari au matini ya mwalimu na kutambua muktadha wa mazungumzo hayo -kuigiza mazungumzo katika muktdha mbali mbali ya sherehe wanazozijua ili kutadhimini uelewa sherehe wanazozijua ili kutathmini ni uelewa |
Mwanafunzi aelezwe
Kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kijiditali kisha kujibu maswali ipasavyo. Kuigiza mazungumzo katika muktadha mbali mbali ya sherehe ili kutathmini ni uelewa |
Je unazingatia nini unapozungumza katika sherehe
|
Kiswahili sahili gredi 9 uk wa 119
Matini ya mwalimu mwanfunzi |
Kisakira na kusikiliza
Kujibu maswali
Kuigiza mazungumzo
|
|
12 | 1 |
kusoma
|
Kusoma kwa mapana
Matini ya kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwaisho wa mada ndogo mwanfunzi aweze. -kutambua matini mbali mbali anazoweza kusoma kwa kujichagulia -kutambua vipengele vya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kujisomea. -ateue matini ifaayo ya kujisomea kama sayansi, historia , fasihi au michezo. -kuchangamkia kusoma na kuchambua misamiati uliotumika kisha kuutungia sentensi. |
Mwanafunzi aelezwe.
Kutambua matini mbalimbali anazoweza kusoma aidha katika mtandao au vitabuni. -kutambua vipengele muhimu vya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kijisomes. -kuteua matini ifaayo ili kujisomea akizingatia, kiwango cha uelewa, lugha iliyotumika, inayomuutia. -kuchangamkia kusoma na kuchambua msamiati uliotumika katika matini hizo kisha kutunga sentensi ama kusomea wenzake ili watathmini |
Je unaposoma matini ya kujichagulia unazingatia nini
|
Kisw sahihi
Gredi ya 9 uk wa 119-120 -matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitari Mwanfunzi novela |
Kutambua
Kuchagua
Kuteua
Kusoma
Kuchambua msamiati
Kutunga sentensi
|
|
12 | 2 |
kuandika
|
Insha za kubuni
maelezo
Insha za kubuni (maelezo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze -kutambua mitazamo mbalimbali ya kuzingatia wakati wa kuandika isha ya maelezo - Kusoma na kielelezo cha insha na kutambua mitazamo iliyoko katika insha hiyo -kujadili mitazamo mbali mbali katika insha ya maelezo waliyoisoma |
Mwanfunzi aelekezwe
-kutambua na kutaja mitazamo mbalimbali inayozingatiwa katika uandishi wa insha ya maelezo - Kusoma na kutambua mitazamo katika kueleza hicho ili kubainisha. -kujadili mitazamo mbali mbali katika insha ya kueleza na kuandika katika daftari zao |
Je ni mitazamo gani unayozingatia
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 121
Matini ya mwalimu kamusi Kisw sahili gredi 9 Uk wa 122-123 Matini ya mwlimu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua
Kusoma
Chambua
kuandika
|
|
12 | 3 |
sarufi
|
Mnyambuliko wa vitenzi
Kauli ya kutendana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi aweze. -Kueleza maana ya kauli ya kutendana -kutoa mifano ya maneno katika kauli ya kutendana -kutambua kwa kupigia mstari viabishi vya kauli ya kutendana katika matini mbali mbali -kuchangamkia kitunga sentensi akitumia nomino ya kutendana |
Mwanfunzi aelekezwe.
Kueleza maana ya kauli ya kutendana akitumia mtandao au vitabu -kutaja mifano ya nomino katika kauli ya kutendana -kutambua kwa kupigia mstari viabishi na nomino katika kauli ya kutendana -kuchangamkia na kufyrahia kuandika vite na kutunga sentensi katika kauli ya kutendana ili kutathmini. |
Je kiambishi cha kauli ya kutendana ni kipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 124
Kamusi Vifaa vya kidijitali Mabango michoro |
Kueleza
Kutaja
Kinyabua
Kuandika
Kutunga sentensi
Kuandika vitenzi
Orodha hakiki
|
|
12 | 4 |
sarufi
|
Kauli ya kutendeana
Mnyabuliko wa vitenzi kauli ya kutendesha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aelekezwe na aweze -kueleza maana ya kauli ya kutendeana -kutaja mifano ya nomino katika kauli ya kutendeana na kueleza viambishi vya kauli ya kutendeana. -kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kifungu. -kuchangamkia kuandika vitenzi na sentensi ya kutendeana |
Kueleza maana ya kauli ya kutendeana akitumia kamausi au mtandao
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendeana ili kuuibadilisha. Kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kufungucha maneno ipasavyo. -kuandika vitenzi na kutunga sentensi katika kauli ya kutendeana ili kutathmini |
Je viabishi vya kauli ya kutendeana ni vipi
|
Access
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 126-127 Matini ya mwalimu Kamusi Vifaa vya kidijitari mabango Kisw sahili gredi ya 9 uk 127-129 Matini ya mwalimu kamusi vifaa vya kidijitali mabango picha |
Kueleza
Kutaja
Kutambua
Kutinga
Sentensi
Kujaza pengo
kusoma
|
|
13 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matini ya kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze. -Kueleza maona ya matini ya kusikiliza -kujadili vipengele vya kuzingatia katika matini ya kusikiliza. -kusikiliza matini atakayosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali yake ipasavyo kuhusu suala lengwa ili kutoa maoni |
Mwanfunzi aelekezwe
-kusakira na kueleza maana ya matini ya kusikiliza - kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika uzikilizaji -kusikiliza matini atakayosomewa na mwalimukisha kujibu maswali yake ipasavyo na kutolea maoni |
Je vipengele vya usikilizaji ni vipi?
|
Kisw
Sahili Gredi ya 9 uk wa 129-130 Matini ya mwalimu vifua vya kidijitari |
Kueleza
Kujadili
Kuandika
Kusikiliza
Kujibu maswali
|
|
13 | 2 |
kusoma
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi aweze -kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuelewa mada lengwa -kusikiliza au kutazama video au televisheni ili kuona watu wakisoma Makala kwa ufasaha kisha kujadili vipengele vilivyotumika katika usomaji -kusoma kifungu kwa zamu akizingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kutathmini usomaji wake |
Mwanfunzi aelekezwe
-kutanja na kueleza vipengele vinavyozingatiwa ili kusoma kwa ufasaha -kusikiliza video au kutazama runinga ili kuona watu wakisoma kwa ufasaha katika miktadha mbali mbali na kuchambua vipengele vilivyotumika. -kufurahia kusoma kifungu kwa zamu huku akizingatia vipengele muhimu inavyostahili wenzake watathmini usomaji wake. |
Je vipengele vya kuzingatiwa unaposoma kwa ufasaha ni vipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 131-132.
Matini ya mwalimu vifaa vya kidigitari runinga |
Iweleza
Kusoma
Kusikiliza
Kujibu maswali
|
|
13 | 3 |
kuandika
|
Hotuba ya kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- ndogo . -kueleza maana ya hotumba ya kishawishi ili kutofautisha na zingine. -kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kishwawishi. -kusoma kielezo cha hotuba yakushawishi huku akizingatia vipengele vya kushawishi vilivyotumika. -kujadili vidokeza vya kuandika hotumba ya kushawishi kuhusu suala lengwa |
Mwanfunzi aelekezwe
-kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kutofautisha na zingine Kujadili pamoja na wenzake vipengele vinavyozingatiwa katika uandishi wa hotumba ya kushawioshi -kusoma kielezo cha hotuba ya kushawishi akichambua vipengele vilivyotumika -kujadili vidokezo muhimu vya kuudaamwanfunzi ili aandike hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa |
Je vipengele vya kusingatia katika uandishi wa houmba ya kishawishi ni vipi?
|
Access
Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 133-134 Matini ya mwalimu Vifaa vya kidigitari Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 135. |
Kueleza
Kujadili
Kusoma
kielelezo
|
|
13 | 4 |
Sarufi
|
Aina ya sentensi
Sentensi tata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze -kusoma aina za sentensi ili kubainisha sentensi tata. -kutoa sentensi zingine zenye maana Zaidi ya moja na kueleza maana ya sentensi tata -kutambua sentensi tata katika matini mbali mbali. -kuchangamkia kutunga sentensi tata na kuwasomea wenzano ili kutathmini uelewa. |
- kusoma aina mbali mbali za sentensi si tata
-Kutaja sentensi tata ili kueleza maana na kuzitofautisha baina ya zingine. kutambua na kuziandika sentensi tata katika matini mbali mbali. Kuchangamkia Kutunga sentensi tata na kuwasomes wenzao ili Kutathmini uelewa |
Je sentensi tata zina maana gani?
|
Kisw sahili
Gredi ya 9 uk wa 136-137 Matini ya mwalimu Vifaa vya kidigitali Picha na michoro |
Kusoma ili kubainisha
Kutaja sentensi
Kutambua
Kutunga sentensi
kutathmini
|
Your Name Comes Here