Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 3
USALAMA BARABARANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa kufasiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri
-Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kufasiri
-Kuchangamkia kusikiliza kwa kufasiri

-Kusikiliza matini kuhusu usalama barabarani
-Kutambua misimamo mbalimbali katika matini iliyosikilizwa
-Kutoa maoni kuhusu misimamo hiyo
-Kujadili namna ya kutambua misimamo mbalimbali
Ni misimamo gani iliyopo katika matini ulizowahi kusikiliza?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 85
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 86
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri -Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kufasiri
1 4
Kusoma
Kusoma kwa kina: maudhui katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya maudhui katika fasihi
-Kutambua maudhui katika shairi
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kusoma shairi kuhusu usalama barabarani
-Kutambua maudhui yanayojitokeza kwenye shairi
-Kujadili maudhui katika shairi
-Kuchambua maudhui katika shairi
Je, mashairi uliyowahi kusoma yalizungumzia nini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 88
-Kueleza maana ya maudhui katika fasihi -Kutambua maudhui katika shairi
2 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa kina: dhamira katika shairi
Insha za kubuni: methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya dhamira katika fasihi
-Kutambua dhamira katika shairi
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kusoma shairi kuhusu usalama barabarani
-Kutambua dhamira yanayojitokeza kwenye shairi
-Kujadili dhamira katika shairi
-Kuchambua dhamira katika shairi
Mashairi uliyowahi kusoma yana mafunzo gani?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 89
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 90
-Kueleza maana ya dhamira katika fasihi -Kutambua dhamira katika shairi
2 2
Kuandika
Insha za kubuni: methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kuorodhesha vidokezo vya kuandika insha ya methali
-Kuandika insha ya methali ukizingatia vipengele vyake
-Kuchangamkia uandishi wa insha za methali

-Kuchagua methali inayohusiana na usalama barabarani
-Kuorodhesha vidokezo vya kuandika insha ya methali
-Kuandika insha ya methali
-Kusahihisha insha ya methali
Ni vipengele gani vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya methali?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 92
-Kuorodhesha vidokezo vya kuandika insha ya methali -Kuandika insha ya methali ukizingatia vipengele vyake
2 3
Sarufi
Vielezi vya namna
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vielezi vya namna
-Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna

-Kusoma sentensi zenye vielezi vya namna
-Kutambua vielezi vya namna katika sentensi
-Kutumia vielezi vya namna katika sentensi
-Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya namna
Ni vielezi vipi unavyojua?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 93
-Kutambua vielezi vya namna -Kutumia vielezi vya namna ipasavyo
2 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vielezi vya wakati
Kusikiliza kwa kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vielezi vya wakati
-Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya wakati

-Kusoma sentensi zenye vielezi vya wakati
-Kutambua vielezi vya wakati katika sentensi
-Kutumia vielezi vya wakati katika sentensi
-Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya wakati
Vielezi hutumiwa vipi katika matumizi ya lugha?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 95
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 99
-Kutambua vielezi vya wakati -Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo
3 1
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutathmini ujumbe wa mzungumzaji
-Kutathmini mtazamo wa mzungumzaji
-Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini

-Kusikiliza mazungumzo kuhusu huduma katika asasi za kijamii
-Kutathmini ujumbe unaojitokeza katika mazungumzo
-Kutathmini mtazamo wa wahusika mbalimbali
-Kueleza maoni yake kuhusu mambo yanayozungumziwa
Je, mtazamo wa mzungumzaji unakubalika kiasi gani?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 101
-Kutathmini ujumbe wa mzungumzaji -Kutathmini mtazamo wa mzungumzaji -Kueleza maoni yake kuhusu ujumbe na mtazamo wa mzungumzaji
3 2
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya ufupisho
-Kutambua vipengele vya ufupisho
-Kuchangamkia ufupisho wa habari za kifungu

-Kusoma vifungu vifupi kuhusu huduma katika asasi za kijamii
-Kujadili tofauti kati ya kifungu asilia na ufupisho
-Kutambua vipengele vya ufupisho
Je, unazingatia nini unapotaka kueleza jambo kwa ufupi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 103
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 105
-Kueleza maana ya ufupisho -Kutambua vipengele vya ufupisho
3 3
Kuandika
Insha za kubuni: maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya insha ya maelezo
-Kutambua lugha inayoathiri hisia inayotumika katika insha ya maelezo
-Kuchangamkia uandishi wa insha za maelezo

-Kusoma mfano wa insha ya maelezo kuhusu asasi za kijamii
-Kutambua vivumishi, vielezi na vihisishi vilivyotumika kuathiri hisia
-Kutambua mbinu za lugha zilizotumiwa kuathiri hisia
Je, ni nini kinafanya maelezo katika insha kudhihirika?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 106
-Kueleza maana ya insha ya maelezo -Kutambua lugha inayoathiri hisia inayotumika katika insha ya maelezo
3 4
Kuandika
Sarufi
Insha za kubuni: maelezo
Vielezi vya mahali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo
-Kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia katika kuandika insha ya maelezo
-Kuchangamkia uandishi wa insha za maelezo

-Kujadili jinsi insha ya maelezo inavyochangia katika kushawishi, kuburudisha, kupasha habari au kufunza
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia
-Kuandika insha ya maelezo kuhusu kutoa huduma katika asasi za kijamii
-Kutumia lugha inayoathiri hisia ya msomaji
Unapotoa maelezo kuhusu jambo fulani, utatumia aina gani za maneno ili maelezo yako yaathiri hisia?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 108
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 109
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia -Kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia katika kuandika insha ya maelezo
4 1
Sarufi
Vielezi vya idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vielezi vya idadi
-Kutumia vielezi vya idadi ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya idadi

-Kutambua vielezi vya idadi katika picha na sentensi
-Kujadili maana ya vielezi vya idadi
-Kutaja mifano ya vielezi vya idadi
-Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya idadi
Ni idadi gani zinazoweza kutajwa kwa kutumia vielezi vya idadi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 111
-Kutambua vielezi vya idadi -Kutumia vielezi vya idadi ipasavyo
4 2
MISUKOSUKO YA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Uzungumzaji wa kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi
-Kubainisha miktadha ya uzungumzaji wa kushawishi
-Kuchangamkia uzungumzaji wa kushawishi

-Kusikiliza kifungu kinachohusu misukosuko ya kijamii
-Kujadili maana ya uzungumzaji wa kushawishi
-Kutambua miktadha ya uzungumzaji wa kushawishi
Ni lini tunatumia mazungumzo ya kushawishi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 116
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 118
-Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi -Kubainisha miktadha ya uzungumzaji wa kushawishi
4 3
Kusoma
Kusoma kwa kina: mandhari katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya mandhari katika fasihi
-Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kusoma shairi kuhusu misukosuko ya kijamii
-Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi
-Kueleza umuhimu wa mandhari katika shairi
Je, mashairi uliyowahi kusoma yana mandhari ya aina gani?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 119
-Kueleza maana ya mandhari katika fasihi -Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi
4 4
Kusoma
Kusoma kwa kina: mandhari katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kufafanua vipengele vya muundo katika shairi
-Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kusoma shairi kuhusu misukosuko ya kijamii
-Kutambua vipengele vya muundo kama vile beti, mishororo, mizani, vina, vipande na mshororo wa mwisho
-Kuchambua muundo wa shairi
Vipengele vya muundo katika shairi vinahusu nini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 120
-Kufafanua vipengele vya muundo katika shairi -Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo
5 1
Kuandika
Viakifishi: mabano
Viakifishi: kistari kifupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua matumizi ya mabano
-Kutumia mabano ipasavyo
-Kuchangamkia matumizi ya mabano katika maandishi

-Kutambua alama ya mabano
-Kusoma sentensi zenye mabano
-Kujadili matumizi ya mabano
-Kutumia mabano ipasavyo katika sentensi
Je, mabano hutumiwa vipi katika matini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 122
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 124
-Kutambua matumizi ya mabano -Kutumia mabano ipasavyo
5 2
Sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi
-Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI
-Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-ZI

-Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya U-ZI
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-ZI
-Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya U-ZI
-Kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika sentensi
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-ZI?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 126
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-ZI -Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI -Kutumia nomino za ngeli ya U-ZI kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
5 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya YA-YA
Kusikiliza kwa kina: sauti j na nj
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA-YA katika sentensi
-Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA
-Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya YA-YA

-Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya YA-YA
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA-YA
-Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya YA-YA
-Kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika sentensi
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya YA-YA?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 130
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 135
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA-YA -Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA -Kutumia nomino za ngeli ya YA-YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
5 4
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa kina: sauti j na nj
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutofautisha sauti j na nj kimatamshi
-Kutumia maneno yenye sauti j na nj ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matamshi bora ya sauti j na nj

-Kutamka vitanzandimi vyenye sauti j na nj
-Kuunda vitanzandimi vyenye sauti j na nj
-Kusoma vifungu vyenye sauti j na nj
Ni maneno gani yanayotatanisha katika matamshi ya sauti j na nj?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 136
-Kutofautisha sauti j na nj kimatamshi -Kutamka vitanzandimi vyenye sauti j na nj ipasavyo -Kuunda vitanzandimi vyenye sauti j na nj
6 1
Kusoma
Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi
-Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha kushawishi
-Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya kushawishi

-Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho
-Kueleza maana ya msamiati kutoka kifungu hicho
Ni mambo gani unazingatia unaposoma kifungu cha kushawishi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 137
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 139
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi -Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha kushawishi
6 2
Kuandika
Insha za kubuni: masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua jinsi matukio yanavyofuatana baina ya aya za insha ya masimulizi
-Kutambua vipengele vinavyokuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kusoma insha ya masimulizi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kujadili jinsi matukio yanavyofuatana baina ya aya
-Kutambua vipengele vilivyotumika kukuza wazo baina ya aya
Je, unawezaje kulikuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 140
-Kutambua jinsi matukio yanavyofuatana baina ya aya za insha ya masimulizi -Kutambua vipengele vinavyokuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
6 3
Kuandika
Sarufi
Insha za kubuni: masimulizi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kujadili vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kujadili vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi: mada, lugha, wahusika, mandhari na dhamira
-Kuandika insha ya masimulizi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kukuza wazo baina ya kila aya ifaavyo
Ni vipengele gani vya ukuzaji wa wazo hutumiwa katika insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 142
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 143
-Kujadili vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya
6 4
Sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya KU katika sentensi
-Kutambua nomino za ngeli ya KU
-Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya KU

-Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya KU
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya KU
-Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya KU
-Kutumia nomino za ngeli ya KU katika sentensi
Ni hali gani katika mazingira yako zinazoweza kuundiwa majina yaliyo katika ngeli ya KU?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 147
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya KU -Kutambua nomino za ngeli ya KU -Kutumia nomino za ngeli ya KU kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
7

Mtihani wa kati ya muhula

8

Likizo fupi

9 1
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo: Malumbano ya utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya malumbano ya utani kama kipera cha mazungumzo,
-kujadili sifa za malumbano ya utani,
-kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani.
- Kueleza maana ya malumbano ya utani akiwa na mwenzake
-Kujadili sifa za malumbano ya utani akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kutambua vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
-Kusikiliza malumbano ya utani katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa au mwalimu na kutambua vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152
Kutambua sifa za malumbano ya utani
9 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya wahusika katika fasihi,
-kutambua wahusika katika shairi,
-kujadili sifa za wahusika katika shairi.
- Kutafiti mtandaoni au maktabani maana ya wahusika katika fasihi
-Kutambua wahusika (k.v. nafsineni) katika shairi akishirikiana na wenzake
-Kuchambua wahusika katika shairi akiwa na wenzake
-Kujadili na wenzake sifa za wahusika katika shairi
Ni wahusika aina gani waliopo katika mashairi uliyowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 155
Kutambua wahusika katika shairi
9 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika,
-kujenga mazoea ya kuchambua wahusika katika mashairi ili kuimarisha uwazaji wa kina.
- Kuchambua shairi na kutaja sifa za wahusika kutokana na sura au umbo
-Kuigiza wahusika katika mashairi akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao
-Kumsomea mzazi au mlezi wake shairi na kujadiliana naye kuhusu wahusika
Ni wahusika aina gani waliopo katika mashairi uliyowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 155
Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika
9 4
Kuandika
Barua ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi,
-kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi.
- Kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
-Kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi akiwa na wenzake
-Kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba kazi kwa kujadiliana na mwenzake
-Kutambua na kutumia lugha inayofaa kwa uandishi wa barua rasmi ya kuomba kazi kwa kujadili na wenzake
-Kujadili kwa madhumuni ya kufahamu muundo wa barua rasmi ya kuomba kazi
Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 157
Kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi
10 1
Sarufi
Vinyume vya vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi,
-kutambua vinyume vya vihusishi katika matini.
- Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
-Kutambua matumizi sahihi ya vinyume vya vihusishi kutoka katika vitabu, tarakilishi au chati akiwa na wenzake au katika kikundi
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vihusishi kutokana na mchanganyiko wa sentensi kutoka katika vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
1. Ni vihusishi gani unavyovijua? -2. Ni mambo gani yanayoonyeshwa na vinyume vya vihusishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 159
Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini
10 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vinyume vya vihusishi
Uzungumzaji katika sherehe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika matini,
-kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo vinyume vya vihusishi.
- Kutunga sentensi kuonyesha matumizi ya vinyume vya vihusishi akishirikiana na wenzake
-Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zenye vihusishi na vinyume vyake vinavyotokea katika mazingira ya nyumbani
1. Ni vihusishi gani unavyovijua? -2. Ni mambo gani yanayoonyeshwa na vinyume vya vihusishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 159
-Ukurasa 164
Kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika matini
10 3
HAKI ZA KIBINADAMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Uzungumzaji katika sherehe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji katika muktadha wa sherehe,
-kutoa mazungumzo katika muktadha wa sherehe kwa kutumia vipengele vifaavyo,
-kuchangamkia mazungumzo yafaayo katika miktadha ya sherehe.
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza katika miktadha ya sherehe akiwa na wenzake
-Kuigiza uzungumzaji katika miktadha ya sherehe huku akizingatia vipengele vya uwasilishaji wa uzungumzaji wa aina hii
Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuzungumza katika muktadha wa sherehe?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 164
Kuwasilisha mazungumzo katika muktadha wa sherehe
10 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuteua matini ya kusoma ya kiwango chake,
-kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia,
-kutambua maana ya msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia.
- Kuchagua matini ya kiwango chake na kuisoma
-Kueleza wenzake ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma
-Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia
-Kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno asiyoyajua akishirikiana na wenzake
-Kujenga rekodi ya msamiati na matumizi mengine ya lugha aliyojifunza katika kitabu au shajara yake
1. Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma? -2. Ni mambo gani unayozingatia wakati wa kusoma matini ya kujichagulia?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 166
Kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia
11 1
Kuandika
Insha za Kubuni: Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kujadili mitazamo katika insha za maelezo,
-kuandika mswada wa insha ya maelezo akizingatia mtazamo mahususi.
- Kutambua mitazamo mbalimbali ya kimaelezo katika insha za maelezo akiwa na wenzake
-Kushirikiana na wenzake kueleza mitazamo mbalimbali ya kimaelezo katika insha za maelezo
-Kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia mitazamo ya kimaelezo atakayotumia katika insha yake ya maelezo
-Kuandika mswada wa insha ya maelezo akizingatia mtazamo ya kimaelezo aliyochagua kutumia
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 167
Kutambua mitazamo mbalimbali katika insha za maelezo
11 2
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni: Maelezo
Mnyambuliko wa vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuandika insha ya maelezo akizingatia mtazamo mahususi,
-kufurahia kuandika insha za maelezo zinazoonyesha mitazamo mahususi.
- Kuandika insha kamili ya maelezo akizingatia mtazamo wa kimaelezo aliyochagua kutumia
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
-Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake insha ya maelezo aliyoiandika ili aitolee maoni
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 167
-Ukurasa 170
Kuandika insha ya maelezo inayoonyesha mtazamo mahususi
11 3
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA

Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza habari katika matini ya kusikiliza,
-kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
- Kushirikiana na wenzake kueleza hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza akiwa na wenzake
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178
Kueleza habari katika matini ya kusikiliza
11 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuchanganua mitazamo na maoni katika kifungu cha kusikiliza,
-kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza.
- Kujadili mitazamo na maoni katika kifungu cha kusikiliza akiwa na wenzake katika kikundi
-Kushirikisha mzazi, mlezi au mwenzake kusikiliza kifungu kutoka kifaa cha kidijitali na kujadili mitazamo katika kifungu hicho
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178
Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha kusikiliza
12 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora,
-kusoma kifungu kwa kasi ifaayo,
-kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo.
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala akiwa na wenzake
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora
-Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo)
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180
Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo
12 2
Kuandika
Hotuba ya kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kuitofautisha na aina nyingine za hotuba,
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi.
- Kueleza maana ya hotuba ya kushawishi akishirikiana na wenzake
-Kutambua hotuba ya kushawishi katika matini
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi akiwa na wenzake
-Kusoma kielelezo cha hotuba ya kushawishi na kujadili vipengele vilivyotumiwa katika hotuba hiyo akiwa na wenzake
-Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kushawishi
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182
Kutambua vipengele vya hotuba ya kushawishi
12 3
Kuandika
Sarufi
Hotuba ya kushawishi
Aina za sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuandika hotuba ya kushawishi akizingatia vipengele vifaavyo,
-kuchangamkia kuandika ipasavyo hotuba ya kushawishi.
- Kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa akitumia vidokezo walivyovijadili
-Kuwasomea wenzake hotuba yake au kumsambazia kupitia mtandao ili waitolee maoni
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182
-Ukurasa 185
Kuandika hotuba ya kushawishi
12 4
Sarufi
Aina za sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata,
-kujenga ujuzi wa kuchanganua maana mbalimbali katika sentensi tata ili kufasiri habari kikamilifu.
- Kutolea wenzake maana tofauti za sentensi tata alizozitambua
-Kutunga sentensi tata kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha
-Kuwasilisha darasani sentensi tata alizotunga ili wenzake wazitolee maoni kwa heshima na upendo
-Kumtungia mzazi au mlezi wake sentensi tata zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani
Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 185
Kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata
13

Mtihani wa mwisho wa muhula


Your Name Comes Here


Download

Feedback