Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu wa kuskiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza .
-Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza
-Jadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza .
-Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa kufahamu ili kukuza stadi za kusikiliza .
-Kueleza maan ya ufahamu wa kusikiliza .
-Kutaja na kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza .
-Kujadili vipengele vya kusikiliza .
Je kuskiliza kwa ufahamu kuna faida gani?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 51 -52 .
-Matini ya mwalimu
-Vifaa vya kidigitali
-Picha
-michoro
-kusikilza na kujibu maswali .
2 2
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu wa kuskiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza akizingatia vipengele vyake .
-Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikilza .
-Kusikiliza ufahamu kuhuzu suala lengwa ktoka kwa mwalimu na pia kwenye chombo cha kidijitali .
-Kushirikiana na wenzake kujibu maswali kutoka kwa ufahamu walioshirikiza .
Je kusikiliza kwa ufahamu kuna faida zipi?
-Vifaa vya kidijitari
-Kiswahili gredi 9 ukurasa wa 51-52
-Matini ya mwalimu na mwanafunzi .
-Kusoma -Kusikiliza -Kuuliza maswali . -Kujibu maswali
2 3
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi kutoka kifungu cha ufahamu .
-Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu .
-Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza kuelewa habari .
-Kusoma kifungu cha ufahamu .
-Kudondoa habari mahususis katika kifungu cha ufahamu .
-Kueleza habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi na ufasiri kutokana na kifungu cha ufaham u .
Je kwa nini tunasoma kifungu cha ufahamau?
-vifaa vya kidigitali
-Kiswahli gredi ya 9 ukurasa wa 52-54
-Matini ya mwalimu
-Picha
-kusoma na Kuulizana maswali -Kudondoakielelzo -kutabiri -michoro
2 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa ufahamu .
Insha za kiuamilifu . Shajara .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua msamiati kutoka kwa kifungu cha ufahamu .
-Kueleza maan aya msamiati kulingana na kifungu cha ufahamu .
-Kuchangamkia matumizi ya msamiati aliotambua katika sentensi na vifungu .
-Kuchopoa msamiati wa suala lengwa kwenye kitabu
-Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa matumizi katika matini .
-Kutumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi kisha amsomomee mwenzake ili kutoleana maana .
Je ni mambo gani tunayozingatia tunaposoma kifungu cha ufahamu?
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 54-55
-Chati
-Matini ya mwalimu
-Picha
-michoro
-kiswahili gredi ya 9 ukrasa wa 55-57.
-Kielelewzo cha shajara
-Matani ya mwalimu
-kusoma -Kudondoa msamiati -Kutunga sentensi
3 1
sarufi
Hali yza masharti . -nge-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maan ya hali ya masharti .
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti nge katika matini
-Kutumia hali ya masharti nge ipasavyo katika matini .
-Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti nge ili kukuza ufasaha wa lugha .
-Kutafiti maana halisi ya hali ya masharti nge .
-Atambue na kueleza hali halisi ya hali ya masharti nge . katika sentensi na vifungu .
-Achanganue sentensi zinashoashiria matumizi ya hali ya masharti nge kutokana na mchnganyiko wa sentensi kutoka kwenye vitabu .
-Atunge sentensi kuonyesha matumizi ya nge akizingatia mtaambuko mbali mbali .
Je hali ya masharti ya nge hutumika vipi?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 58
-Matani ya mwalimu
-Chati
-Picha
-Michoro
-Vifaa vya kidigitali
-Mifano -Maelezo -Kutunga sentensi -Orodha hakiki -kutambua
3 2
sarufi
Hali ya masharti . -ngali)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti ngali katika matini .
-Kutumia hali ya masharti ngali ipasavyo .
-Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti ngali ili kukuza ufasaha wa lugha .
-Kutafiti mtandaoni au vitabuni matumizi ya hali ya masharti ya ngali .
-Kutambua matumizi sahihi ya ngali katika sentensi au vifungu .
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya ngali kutokana na mchanganyiko wa sentensi kwenye vitabu ,tarakiishi na kuvipigia mstari
-Kutunga sentensi kuonyesha matumizi ya ngali akizingatia maswala mtaambuko .
Je hali ya masharti nge hutumika vipi?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 59-60
-Matani ya mwalimu
-Kutunga sentensi -Kuuliza maswali -kujaza pengo -Kutathmini.
3 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza na kufasiri .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya a kufasiri kwa kusikiliza ili kubainisha .
-Kueeza misimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini ya kusikiliza .
-Kujenga mazoea ya kutambua misimamo na mielekeo katika matini mbali mbali ili kupata amaana ya ujumbe .
-kutafiti maan ya kusikiliza kwa ufasiri kutoka mtandaoni au maktaba na awasilishe matokeo ya utafiti .
-Kueleza msismamo na mielekeo kuhusu ujumbe katika matini mbali mbali anayosikiliza kuhusu suala lengwa .
-Kusikiliza habari kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijiari .
-Kuchambua msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe.
Je ni misimamo ipi iliyopo katika matini ulizowahi kuskiliza?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 61-62
-Matani ya mwalimu
-Vifaa vya kidigitali
-Matani ya mwanafunzi
-kuskiliza na Kuuliza -kueleza -kuchambua -kuandika na kujibu maswali.
3 4
Kusoma
Kusoma kwa kina . Ushairi . (Maudhui) .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Je maudhui ni nini katika kazi ya fasihi?
Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 63-64
Mitani ya mwalimu
Vifaa vya kidigitari
Picha za michoro
-Kielezo -Kujadili -kuchambua -kusoma shairi.
4 1
Kusoma
Kusoma kwa kina . (dhamira)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Je dhamira ni nini katika kazi ya fasihi andishi?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 64-65
-Matani ya mwalmu
-Vifaa vya kidigitari
-kutafiti -kueleza -Kutaja Mifano -Kujadili -kuandika -picha
4 2
Kuandika
Insha za kubuni . (methali)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya insha ya methali
-Kujadili vipengele muhimu katika uandishi wa insha ya methali
-Asome kielelzo cha insha ya methali Na kuandika vindokezo atakavyotumia ili kuandika insha ya methali .
-Andika insha ya methali kizingatia vipengele muhimu vya uanishi .
-Kuelewe na kueleza maan ya insha ya methali
-Kujadili vipengele muhimu akizingatia ujumbe,mundo na lugha sahihi .
-Asome kielelezo cha insha ya methali ili kuandaa vidokezo vitakavyo idhimisha kuandika insha ya methali .
-Kuchngamkia uandishi wa insha ya methali huku akizingatia suala lengwa .
Je insha ya methali inahusu nini? Unazingatia nii kuandka insha ya methali?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 66-68
-Matini ya mwalimu
-Kueleza -Kusoma kielelzo -Kuandika insha .
4 3
sarufi
Vielezi vya wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya vielezi vya wakati
-Kutambua vielezi vya wakati katika matini mbalimbali kwa kupiga mstari. Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya wakati kwa Kutunga sentensi na vifungu vifupi ili kuthibitisha uelewa.
-maana ya vielezi vya wakati kwa kusakura mtandaoni au vitabuni
-kutambua vielezi vya wakati kwa Kutaja na kuandika katika matini mbalimbali
-Achangamkie kutumia vielezi vya wakati ipasavyo kwa Kutunga sentensi na kujaza pengo ili kuthibitisha uelewa
Je vielezi vya wakati hutumika vipi?
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa 70-71
matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-michoro
-kapu maneno
-kueleza -kutafiti -kutambua -Kutaja -Kutunga sentensi -kupigia mstari -Kutathmini
4 4
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma
Kusikiliza kwa kutathmini
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- aeleza maana ya kusikiliza kwa Kutathmini kwa kutafiti mtandaoni au vitabuni.
- Kujadili vipengele vya kizinga katika kusikiliza kwa Kutathmini.
-kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu akizingatia vipengele muhimu kusikiliza kwa Kutathmini
-Achangamkie kusikiliza kwa Kutathmini habari yoyote ya kujichagulia mtandaoni amsomee mwenzake ili amtolee maoni
-kusakura mtandaoni au vitabuni ili kueleza maana ya Kusikiliza kwa Kutathmini
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika Kusikiliza na Kutathmini.
-Kusikiliza kwa makini kifungu atakachosomewa na mwalimu ili kutoa vipengele vinavyostahili kwa matini hiyo.
-kusakura mtandaoni ili kutoa habari atakayosomea mwenzake ili amtolee maoni.
Je kusikiliza kwa kutathmini kunahitaji nini?
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa wa 74-76
Matini ya mwalimu
-kamusi
-kifaa cha kidijitali
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 74-76
-kutafiti -Kujadili -kusoma -kujibu maswali -Kutathmini
5 1
kuandika
Insha za kubuni (maelezo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya insha ya Maelezo akizingatia lugha inayoathiri hisia mbalimbali.
- Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayo athiri hisia katika insha ya maelezo.
-kusoma kielelezo cha insha ya Maelezo ili kutambua hisia zilizotumika katika maelezo.
- Achangamkie kuandika insha ya Maelezo akitumia lugha inayo athiri hisia mbalimbali
-kueleza maana ya insha ya Maelezo kwa kutafiti katika mtandao au vitabuni.
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayo athiri hisia katika maelezo.
-kusoma kielelezo cha insha ya Maelezo ili kutambua hisia zinazojitokeza katika kuandika insha ya kubuni ya Maelezo akitumia lugha inayo athiri hisia katika suala lengwa na mitambuko mbalimbalihb
Je insha za kubuni za maelezo huzingatia hisia gani unapoandika?
Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 77-78
-matini ya mwalimu
-vifaa va kidijitali
-picha michor
-kamusi
-kutafiti -kueleza -Kujadili -kusoma -kujibu maswali -kuandika
5 2
sarufi
Vielezi vya mahali na vya idadi a, vielezi vya mahali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- keleza maana ya vielezi vya mahali
- Kutaja Mifano ya vielezi vya mahali
- kutambua vielezi vya mahali katika matini mbalimbali.
- Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo kwa kupigia mstari na kutungia sentensi.
-kueleza maana ya vieleza vya mahali kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-Kutaja vielezi vya mahali katika matini mbalimbali
-kutambua vielezi vya mahali kwa kuvipigia mstari
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo katika Kutunga sentensi na kunakili kifungu kifupi
Je vielezi vya mahali hutumika vipi katika mawasiliano?
Access kisw sahili gredi a 9 uk wa 79-80
-matini ya mwalimu
-picha
-michoro
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
-kueleza -Kutaja -Kujadili -Kutunga sentensi -Kutathmini
5 3
sarufi
Vielezi vya mahali na vya idadi a, vielezi vya mahali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- keleza maana ya vielezi vya mahali
- Kutaja Mifano ya vielezi vya mahali
- kutambua vielezi vya mahali katika matini mbalimbali.
- Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo kwa kupigia mstari na kutungia sentensi.
-kueleza maana ya vieleza vya mahali kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-Kutaja vielezi vya mahali katika matini mbalimbali
-kutambua vielezi vya mahali kwa kuvipigia mstari
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo katika Kutunga sentensi na kunakili kifungu kifupi
Je vielezi vya mahali hutumika vipi katika mawasiliano?
Access kisw sahili gredi a 9 uk wa 79-80
-matini ya mwalimu
-picha
-michoro
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
-kueleza -Kutaja -Kujadili -Kutunga sentensi -Kutathmini
5 4
sarufi
vielezi vya idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya vielezi vya idadi
- kutaja mifano ya vielezi vya idadi.
- kutambua vielezi vya idadi katika matini mbalimbali
- kuchangamkia matumizi ya vielezi vya idadi ipasavyo kwakupigia mstari, kutunga sentensi na kutunga kifungu kifupi.
Mwanafunzi alekezwe:
-kueleza maana ya vielezi vya idadi kwa kutafiti mtandaoni au vitabuni
-kutaja vielezi vya idadi kama ilivyo kwenye vitabu
-kutambua vielezi vya idadi katika matini mbalimbali
-kuumia vielezi vya idadi ipasavyo katika kutunga sentensi, kuandika kifungu kifupi na kupigia mstari ili kuthibitisha uelewa.
Je vielezi vya idadi hutumika vipi katika mawasiliani?
Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 81-82
-matini ya mwalimu
-kadi maneno
-kapu maneno
-picha
-kamusi
-vifaa vya kidijitali
-kutafiti -kueleza -Kutaja -kutambua -kujaza pengo -Kutunga sentensi -kuandika kifungu
6 1
Kusikiliza na kuzungumza
Uzungumzaji wa kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi
- kubainisha miktadha ya kijamii ambapo uzungumzaji wa kishawishi hutokea
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kishawishi
asikilize mwenzake akifanya uzungumzaji wa kishawishi akizingatia vipengele muhimu ili kumtathmini
-kueleza maana ya mazungumzo ya kishawishi kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-kubainisha miktadha ya kijamii ambapo uzungumzaji wa kushawishi hutokea
-kujadili vipengele vya kuzingatia anapo zungumza kwa kishawishi
-asikilize miktadha mbalimbali ya kishawishi ili kutathmini vipengele vinavyotumika
Je vipengele vya uzungumzaji wa ushawishi ni vipi?
Access kisw sahili gredi ya 9 uk 83-84
-matini ya mwalimu
-picha
-michoro
-kamusi
-vifaa vya kidigitali
-kusakula -kueleza -kubainisha -Kujadili -Kusikiliza
6 2
Kusoma
Kusoma kwa kina Ushairi a, mandhari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndodo,
- kueleza maana ya mandhari katika fasihi andishi
-kutaja mifano ya mandhari katika kazi ya fasihi
- kujadili umuhimu wa mandhari katika fasihi
- kuchangamkia kusoma shairi na kujibu maswali yake huku akitambua mandhari ya shairi hilo.
-kueleza maana ya mandhari kwa kusakira mitandaoni au vitabuni.
-kutaja mifano ya mandhari katika kazi ya fasihi andishi
-kujadili umuhimu wa mandhari katika fasihi andishi
-kuchangamkia na kufurahia kusoma shairi na kujibu maswali yake akitambua mandhari katika suala lengwa
Je, utatambua aje mandhari katika ushairi?
Access kisw sahili gredi ya 9 uk 84-86
-matini ya mwalimu
-picha
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
-kueleza -Kutaja -Kujadili -kusoma shairi
6 3
Kusoma
Kusoma kwa kina b, muundo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kueleza maana ya muundo katika fasihi andishi
-kutambua vipengele vya muundo katika shairi
-kuchangamkia kusoma shairi akizingatia maudhui na muundo ili kudhibitisha uelewa.
-kutafiti na kusakira mtandaoni ili kueleza maana ya muundo katika fasihi
-kutambua vipengele muhimu katika shairi ikiwa ni pamoja na vina, mizani, beti na mishororo
-kuchangamkia kusoma shairi akizingatia maudhui na muundo ili kutathmini uelewa
Je, viengele vya muundo katika shairi ni vipi?
Access kisw sahili gredi la 9 uk 87-88
-matini ya mwalimu
-picha
-michoro
-kamusi
-vifaa vya kidigitali
-kusakura -kueleza -kutambua -Kujadili -kusoma na kukariri shairi -maswali na majibu
6 4
kuandika
Viakifishi mabano na kistari kifupi a, matumizi ya mabano
Viakifishi Matumizi ya kistari kifupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanafunzi awezw
- kueleza maana ya mabano
-kujadili matumizi ya mabano
-kutambua matumizi ya mabano katika sentensi na vifungu
-kuchangamkia kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia mabano ipasavyo
-kusakura na kutafuta ili kujua maana ya mabano
-kujadili matumizi ya mabano katika matini mbalimbali
-kutambua matumizi ya mabano katika sentensi na vifungu vifupi
-kuchangamkia kuandika kifungu kuhusu suala lengwa akituma mabano ipasavyo
Je mabano ( ) hutumika vipi katika mawasiliani?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 88-89
-matini ya mwalini
-vifaa vya kidigitali
-chati
Acess kisw sahili gredi ya 9 uk 89-90
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
-kutafiti -kueleza -kutambua -kuandika -maswali na majibu
7 1
sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi a, ngeli ya u-zi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
- kusoma mifano ya sentensi katika ngeli ya u-zi
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya u-zi katika sentensi
-kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi na kuandika vitabuni
- kuchangamkia kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa
-kusoma mifano ya sentensi katika ngeli a u-zi
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika umoja na wingi vya ngeli ya u-zi katika sentensi.
-kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi, umoja na wingi na kuviandika vitabuni
-afurahie kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa
Je nomino katika ngeli ya u-zi ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 91-92
-matini ya mwalimu
-kadi maneno
-michoro
-picha
-vifaa vya kidijitali
-kusoma -kueleza -Kutaja -Kutunga sentensi -kujaza pendo
7 2
sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya (ya-ya)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wwa mada ndodo,
- kusoma mifano ya swentensi katika ngele ya ya-ya ili kutambua viambishi katika umoja na wingi
-kutambua kwa kupigia mistari viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya ya-ya katika kifungu cha maneno.
-kutambua nomino za ngeli ya ya-ya katika matini mbalimbali kuchangamkia na kufurahia kutunga kifungu cha aya moja kuhusu suala lengwa akizingatia upatanisho wa ngeli ya ya-ya na kutunga sentensi ili kutathmini uelewa
-kusoma na kutambua viambishi vya ngeli ya ya-ya katika umoja na wingi
-kutambua viambishi ngeli vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya ya-ya katika kifungu cha maneno na sentensi
-kutambua na kuorodhesha nomino katika ngeli ya ya-ya katika matini mbalimbali
-kufurahia kutunga sentensi na kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akizingatia upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya ya-ya ili kutathmini uelewa
Je, nomino katika ngeli ya ya-ya ni zipi? Viambishi ngeli katika ngeli ya ya-ya umoja na wingi ni vipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 93-94
-matini ya mwalimu
-kifaa cha kidigitali
-picha
-michoro
-kamusi
-kusoma -kutambua -Kutaja -kuandika -Kutunga sentensi -kuandika kifungu cha aya moja
7 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza kwa kina Sauti j na nj
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
-kutamka sauti j nan j ipasavyo ili kuzibainisha
- kutambua kwa kupigia mstari sauti j nan j ili kizitofautisha
- kusoma vitanzandimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j na nj
-achangamkie kutunga vitanza ndimi akitumia nomino katika sauti j nan j kuvisomea wengine ili kuwatolea maoni
-kutamka sauti j na nj ipasavyo ili kuzibainisha
-kutambua kwa kupiga mstari sauti j na nj katika sentensi na kifungu
-kusoma vitanza ndimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j nan j
-kufurahia kutunga vitanza ndimi akitumia jozi ya maneno katika sauti ya j nan j kama vile: kuja-kunja
Ajali-anjali
Waja-wanja
Amsomee mwenzake ili kumtolea maoni
Sauti j nan j hutofautiana vipi katika matamshi?
Access kisw gredi ya 9 uk wa 96
-matini ya mwalimu
-kamusi
-picha
-kutamka -kutambua -kusoma -Kutunga vitanzandimi
7 4
kusoma
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha kishawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
- kusoma kifungu na kujibu maswali ya ufahamu
- kutambua msamiati ulio tumika na kuutungia sentensi
- kujadili faida ya vifaa vya kidijitali kama ilivyo elezewa katika kifungu
- kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu kifungu cha kishawishi
-kusoma kifungu cha ufahamu wa kishawishi na kujibu maswali ifaavyo
-kutambua msamiati ulivyotumika katika ufahamu na kueleza maana yake
-kujadili faida ya matumizi ya vifaa vya kidijitali kama ilivyo katika ufahamu
-kuchangamkia kujibu maswali na kutunga sentensi
Je, ni vipengele vipi vinavyo kuongoza kujibu maswali a ufahamu?
Access kisw sahili grade ya 9 uk wa 97-98
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
-kusoma na kujibu maswali -Kujadili -kutambua msamiati -Kutunga sentensi
8 1
kuandika
Insha za kubuni (Masimulizi)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
- kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kilichoko kitabunu
- kutambua vipengele vilivyo tumika kukuza mawazo tofauti katika kila aya.
- kuandaa vidokezo vya kuandikia insha ya masimulizi na kuviandika daftarini
-kuandika insha ya masimulizi akirejelea ujumbe, muundo na lugha akizingatia suala lengwa
-kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi katika vitabu
-kutambua vipengele muhimu vilivyotumika kukuza mawazo tofauti katika kila aya
-kuandaa vidokezo vitakavyo msaidia kuandika insha ya masimulizi kuhusi suala lengwa
-kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi akizingatia ujumbe, muundo na lugha ifaavyo na kurejelea suala lengwa
Je, ni vipengele vipi vinavyozingatiwa katika uandishi wa insha ya masimulizi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 99-101
-matini ya mwalimu
-kielelezo cha insha
-kamusi
-kusoma -kuandaa vidokezo -kutambua vipengele -kuandika
8 2
sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya (li)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya (li)
- Kutaja nomino katika ngeli ya (li) katika chati
- kutambua kwa kuvipigia mstari viambishi vya upatanisho wa kisarufi a ngeli ya (li)
- Achangamkie Kutunga sentensi na kifungu kifupi akitumia nomino katika ngeli ya (li) ili Kutathmini uelewa
-kutaja nomino katika ngeli ya (li) na kuzitambua katika matini mbalimbali
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya li umoja na wingi
-kusoma kifungu kisha kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi ya ngeli ya li
-kuchangamkia kifungu kifupi na sentensi akitumia nomino katika ngeli ya li ili kutathmini uelewa
Je, nomino katika ngeli ya (li) ni zipi? Viambishi ngeli katika ngeli ya (li) ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 102-103
-matini ya mwalimu
-kamusi
-chati
-mabango
-kutambua kwa kusoma -Kutaja -Kujadili Orodha hakiki -Kutunga sentensi na kifungu
8 3
sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya (ku)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
- kusoma na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi ulivyo kolezwa rangi katika ngeli ya (ku)
- atambue kwa kutafiti na kusakira mitandaoni nomino katika ngeli ya (ku)
- kutambua kwa kupigia mstari vitenzi jina katika ngeli ya (ku)
- kuchangamkia kutunga sentensi akitumia nomino au vitenzi jina katika ngeli ya (ku)
-kusoma na kutambua viambishi vya ngeli ya ku katika umoja na wingi
-kutambua kwa kusakira mtandaoni na vitabuni nomino katika ngeli ya ku
-kupigia mstari nomno katika nya ku ili kuzibainisha na zingine
-kuchangamkia kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya ku ipasavyo
Je, nomino katika ngeli ya ku ni zipi?
Access kisw sahili grdi ya 9 uk wa 104-105
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-chati
-mabango
-kusoma -kutambua -Kutaja -Kutunga sentensi -Kutathmini
8 4
sarufi
kusoma
Ngeli ya pa-ku-mu
Ushairi Kusoma kwa kina wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kusoma na kutambua viambishi ngeli katika ngeli ya pa-ku-mu
- kutambua viambishi vya upatanisho wa sarufi ya ngeli ya pa-ku-mu katika matini mbalimbali
- kutambua na kutaja nomino katika ngeli ya pa-ku-mu na kutunga sentensi akitumia nomino hizo ili kutathmini uelewa
-kusoma na kutambua viambishi ngeli katika ngeli ya pa-ku-mu
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya pa-ku-mu katika matini mbalimbali ipasavyo
-kuchangamkia na kutaja nomino katika ngeli ya pa-ku-mu na kutunga sentensi ili kuzitofautisha na zingine
-kutathmini kazi ya wenzao
Je viambishi vya ngeli ya pa-ku-mu ni zipi? Je, nomino katika ngeli ya pa-ku-mu ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa106-107
-matini ya mwalimu
Mabango
-chati
-kamusi
-vifaa vya kidigitali
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 110-111
-vifaa vya kidijitali
-kusoma -Kutaja -kutambua -Kutunga sentensi -Orodha hakiki -Kutathmini
9

Midterm

10 1
kusoma
Kusoma kwa kina Ushairi Wahusika karika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma shairi na kichambua sifa za wahusika kama zinavyojitokeza
-kusoma shairi katika diwani iliyo teuliwa na mwalimu kisah ajadili sifa za wahusika katika shairi hilo ili kutathmini uelewa.
-Kusoma shairi na kichambua sifa za wahusika kama zinavyojitokeza katika shairi hilo
-kusoma shairi katika diwani teule na kujadili sifa za wahusika katika kikundi ili kutathimini uelewa.
Je sifa za wahusika katika shairi ni zipi?
-Kisw sahili gradi ya 9
Uk wa 112
-Matini ya mwalimu na mwanfunzi
-kusoma -kuchambua sifa -Kutathmini -Orodha hakiki
10 2
kuandika
Barua rasmi Barua ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
-kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
-kujadili vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi kama : anwanin, mtajo
-kusoma kielezo cha barua rasmi na kujibu maswali yake.
-kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi kwa kitafiti na kisakira mtandaoni au vitaboni
-Kujadili vipengele muhimu vya barua rasmi akizingatia ujumbe, muundo na lugha ipasavyo
-kusoma barua rasmi ya kuomba kazi na kujibu maswali yake
Je brua rasni ya kuomba kazi huzingatia nini?
Kisw sahihi gredi ya 9 uk wa 112-113
-matini ya mwali vifua vya kidijitali
Kisakura Kitafiti Kieleza Kusoma kujadili
10 3
kuandika
Barua rasmi ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze
-Kuadika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia ujumbe, muundo na lugha pamoja na vipengele muhimu katika daftari au kifaa cha kidijitali.
-kuwasomea wenzake barua aliyo iyandik ili waitolee maoni.
-kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akifuata na kuzingatia vipengele muhimu na muundo na lugha ipasavyo.
-kusoma barua ilivyo iandika kwa wenzake ili waitolee maoni na kutathmini.
Je unapoadika barua rasmi huzingatia nini?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 114
Matini ya mwalimu
Kuandika barua rasmi kutathmini
10 4
sarufi
Vinyume vya vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
-kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kutofautisha na vingine.
-kuambatanisha vihusishi na vinyume vyake katika jedwali
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi kwa kitafiti vitabuni
-kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kubaini na vingine.
Kuabatanisha katika jedwali vinyume na vihusishi vyake ipasavyo.
Je vinyume vya vihusishi ni vipi
Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 115-116
Matini ya mwalimu
Mabongo
Vifaa vya kidijitari
Kutafuta kueleza Kuambatasha Orodha hakiki
11 1
sarufi
Vinyume vya vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vinyume vya vihusishi kwa kuvipigia mstari katika kifungu
-kisakira mtandaoni ili kutafuta vinyume zaidi
Aelekezwe kutabua vinyume vya vihusishi kwa kupigia mstari
-kuandika vinyume vya vihusishi villivyo pigiwa mstari katika daftari na kutunga sentensi.
Je utajuaje vinyume vya vihusishi
Uk wa 116
Kujaza pengo Kupigia mstari Kutunga sentensi
11 2
Kusikiliza na kuzungumza
Uzungumzaji katika sherehe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
-kueleza maana ya kuzungumza katika sherehe.
-kujadili ujumbe unoaafikiuzungumzaji katika miktadha mbali mbali ya sherehe.
- kujadili vipengele muhimu unapozungumza katika sherehe na kuandika katika vitabu au vifaa vya kidijitali
-kuwasilisha mazungumzo katika vikundi ili wayatolee maoni
Mwanfunzi aelekezwe
Kueleza maana ya kuzungumza katika miktadha mbalimbali ya sherehe.
Kujadili ujumbe muhimu unaoafiki mikatadha mbali mbali katika sherehe.
-Kuzingatia vipengele vya kuzingatia katika uzungumzanji katika sherehe pamoja na wenzake katika ili watolee maoni
Je ni vipengele vipi unavyozingatia unapozungumza katika sherehe
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 118-119
Matini ya mwalimu
picha
michoro
Kueleza Kutambua Kujadili Orodha hakiki
11 3
Kusikiliza na kuzungumza
Uzungumzanji katika sherehem
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwnafunzi aweze
-kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kidigitari au matini ya mwalimu na kutambua muktadha wa mazungumzo hayo
-kuigiza mazungumzo katika muktdha mbali mbali ya sherehe wanazozijua ili kutadhimini uelewa sherehe wanazozijua ili kutathmini ni uelewa
Mwanafunzi aelezwe
Kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kijiditali kisha kujibu maswali ipasavyo.
Kuigiza mazungumzo katika muktadha mbali mbali ya sherehe ili kutathmini ni uelewa
Je unazingatia nini unapozungumza katika sherehe
Kiswahili sahili gredi 9 uk wa 119
Matini ya mwalimu
mwanfunzi
Kisakira na kusikiliza Kujibu maswali Kuigiza mazungumzo
11 4
kusoma
kuandika
Kusoma kwa mapana Matini ya kujichagulia
Insha za kubuni maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwaisho wa mada ndogo mwanfunzi aweze.
-kutambua matini mbali mbali anazoweza kusoma kwa kujichagulia
-kutambua vipengele vya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kujisomea.
-ateue matini ifaayo ya kujisomea kama sayansi, historia , fasihi au michezo.
-kuchangamkia kusoma na kuchambua misamiati uliotumika kisha kuutungia sentensi.
Mwanafunzi aelezwe.
Kutambua matini mbalimbali anazoweza kusoma aidha katika mtandao au vitabuni.
-kutambua vipengele muhimu vya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kijisomes.
-kuteua matini ifaayo ili kujisomea akizingatia, kiwango cha uelewa, lugha iliyotumika, inayomuutia.
-kuchangamkia kusoma na kuchambua msamiati uliotumika katika matini hizo kisha kutunga sentensi ama kusomea wenzake ili watathmini
Je unaposoma matini ya kujichagulia unazingatia nini
Kisw sahihi
Gredi ya 9 uk wa 119-120
-matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitari
Mwanfunzi
novela
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 121
Matini ya mwalimu
kamusi
Kutambua Kuchagua Kuteua Kusoma Kuchambua msamiati Kutunga sentensi
12 1
kuandika
Insha za kubuni (maelezo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze
-kusakira mtambaoni au vitabuni na vielelezo vya insha za maelezo na kuchambua mitazamo mbalimbali katika insha hizo.
-kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu suala lengwa akizingatia mitazamo inayostahili ili kutathmini uelewa
Mwanfunzi aelekezwe.
-kusakira na kutafiti mtandaoni au vitabuni vielekezo mbali mbali vya insha ya maelezo ili kuteua mitazamo mbali mbali iliyotumika.
-kuchangamkia kuandaika insha ya maelezo kuhusu suals lengwa akizingatia ili kutathmini uelewa.
Je ni mitazamo ipi inayotiwa katika insha ya maelezo?
Kisw sahili gredi 9
Uk wa 122-123
Matini ya mwlimu
Vifaa vya kidijitali
Kisakura Kitafiti Kusoma Kuandika insha ya maelezo
12 2
sarufi
Mnyambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi aweze.
-Kueleza maana ya kauli ya kutendana
-kutoa mifano ya maneno katika kauli ya kutendana
-kutambua kwa kupigia mstari viabishi vya kauli ya kutendana katika matini mbali mbali
-kuchangamkia kitunga sentensi akitumia nomino ya kutendana
Mwanfunzi aelekezwe.
Kueleza maana ya kauli ya kutendana akitumia mtandao au vitabu
-kutaja mifano ya nomino katika kauli ya kutendana
-kutambua kwa kupigia mstari viabishi na nomino katika kauli ya kutendana
-kuchangamkia na kufyrahia kuandika vite na kutunga sentensi katika kauli ya kutendana ili kutathmini.
Je kiambishi cha kauli ya kutendana ni kipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 124
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Mabango
michoro
Kueleza Kutaja Kinyabua Kuandika Kutunga sentensi Kuandika vitenzi Orodha hakiki
12 3
sarufi
Kauli ya kutendeana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aelekezwe na aweze
-kueleza maana ya kauli ya kutendeana
-kutaja mifano ya nomino katika kauli ya kutendeana na kueleza viambishi vya kauli ya kutendeana.
-kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kifungu.
-kuchangamkia kuandika vitenzi na sentensi ya kutendeana
Kueleza maana ya kauli ya kutendeana akitumia kamausi au mtandao
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendeana ili kuuibadilisha.
Kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kufungucha maneno ipasavyo.
-kuandika vitenzi na kutunga sentensi katika kauli ya kutendeana ili kutathmini
Je viabishi vya kauli ya kutendeana ni vipi
Access
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 126-127
Matini ya mwalimu
Kamusi
Vifaa vya kidijitari
mabango
Kueleza Kutaja Kutambua Kutinga Sentensi Kujaza pengo kusoma
12 4
sarufi
Mnyabuliko wa vitenzi kauli ya kutendesha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi aweze.
-kueleza maana ya kauli ya kutendesha katika mnyambuliko wa vitenzi
-kutaja mifano ya vitenzi katika kauli ya kutendesha.
-kutambua viambishi vya kauli ya kutendesha
- kutambua kwa kupigia mstari viambishi na nomino katika kauli ya kutendesha katika kifungu na kujaza pengo ipasavyo
Mwanafunzi aelekezwe.
-Kueleze maana kwa kusakira kwenye mtandao au kamusi maana ya kauli ya kutendesha.
-kutaja mifano ya vitenzi katika kauli ya kutendesha akizingatia muundo upasavyo.
-kuchangamkia kwa kupigia mstari viambishi na vitenzi katika kauli ya kutendesha katika sentensi kifungu au mtandao ni ipasavyo.
Je vitenzi katika kauli ya kutendesha hunyambuliwa vip?
Access
Kisw sahili gredi ya 9 uk 127-129
Matini ya mwalimu kamusi vifaa vya kidijitali mabango picha
Kueleza Kutaja Kutambua Kupigia nstrari Kitnga sentensi Kujaza pengo Ordha hakiki

Your Name Comes Here


Download

Feedback