Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TANO
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 2
NDEGE WA PORINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini
- kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
- kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua maneno matatu yenye maana sawa (k.v. nyumbani, mastakimu, chengo; barabara, tariki, baraste; jitimai, huzuni, simanzi) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti maneno au kuburura kwa kutumia tarakilishi
- kueleza maana ya maneno matatu yenye maana sawa akiwa na wenzake
- kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa kutoka kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno
- kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au vyombo vya kidijitali
- kujadili visawe mbalimbali katika vikundi
Unajua maneno gani yenye maana sawa?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 118
Picha za ndege wa porini
Kadi za maneno
Kapu la maneno
Mti maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua maneno matatu yenye maana sawa Kueleza maana ya visawe Kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa Kutunga sentensi kwa kutumia visawe
1 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini
- kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
- kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuchagua kundi la maneno lenye visawe pekee (k.v. kandanda, kabumbu, soka)
- kueleza maana ya maneno aliyochagua
- kutaja visawe vingine vitatu anavyojua
- kushiriki katika mchezo ambapo mmoja anataja neno na mwingine anataja visawe viwili vya neno hilo
- kuambatanisha kila neno na visawe vyake kwenye jedwali
- kutamka sentensi upya kwa kutumia visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari
1. Je, mtu anaweza kutumia visawe wapi? 2. Kwa nini visawe ni muhimu katika lugha?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 119
Kadi za visawe
Jedwali la kuambatanisha maneno na visawe
Sentensi zenye maneno yaliyopigiwa mstari
Kuchagua maneno yenye visawe Kutaja visawe vya maneno Kuambatanisha maneno na visawe vyake Kutumia visawe katika sentensi
1 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
- kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha
- kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
- kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
- kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza
- kufurahia kusoma michezo na kuigiza
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu ndege wa porini "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO"
- kueleza maana ya mchezo wa kuigiza
- kujadili ujumbe wa mchezo wa kuigiza
- kutaja wahusika watano waliotajwa kwenye mchezo wa kuigiza
- kuonyesha maelekezo yaliyotumika katika mchezo wa kuigiza
- kujadili maana za maneno kama yalivyotumika katika mchezo wa kuigiza
- kuigiza mchezo uliosomwa
1. Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza? 2. Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma? 3. Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 121
Mchezo wa kuigiza "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO"
Orodha ya wahusika
Vifaa vya kidijitali
Kutambua mchezo wa kuigiza Kutaja wahusika kwenye mchezo wa kuigiza Kueleza maana ya maneno Kujibu maswali kutoka kwa mchezo wa kuigiza Kuigiza mchezo wa kuigiza
1 5
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
- kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha
- kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
- kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
- kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza
- kufurahia kusoma michezo na kuigiza
Mwanafunzi aelekezwe:
- kueleza maana za maneno kama vile 'mwewe', 'mbuni', 'chiriku', 'kasuku' na 'kukuziwa' jinsi yalivyotumika katika mchezo wa kuigiza
- kuandika ujumbe wa mchezo wa kuigiza kwa ufupi
- kuwasilisha muhtasari wa mchezo wa kuigiza kwa wenzake ili wautolee maoni
- kuigiza mchezo wa kuigiza kwa kuhakikisha wametilia mkazo maelekezo yaliyotolewa
- kusoma video ya mchezo wa kuigiza katika mtandao salama
- kujadili maelekezo yaliyotumiwa kwenye mchezo huo
1. Je, ujumbe wa mchezo wa kuigiza "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO" ni upi? 2. Ni matatizo gani yanayowakumba ndege wa porini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 123
Mchezo wa kuigiza ulioandikwa
Video za mchezo wa kuigiza
Kamusi ya Kiswahili
Kueleza maana ya maneno Kuandika muhtasari wa mchezo wa kuigiza Kuigiza mchezo wa kuigiza kwa kuzingatia maelekezo Kujadili ujumbe wa mchezo wa kuigiza
2 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
- kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha
- kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
- kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
- kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza
- kufurahia kusoma michezo na kuigiza
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutafuta video ya mchezo wa kuigiza katika mtandao salama
- kutaja wahusika katika mchezo huo wa kuigiza
- kueleza maelekezo yaliyotumiwa katika mchezo huo wa kuigiza
- kuandika ujumbe wa mchezo huo wa kuigiza kwa ufupi
- kusomea wenzake ujumbe huo ili wautolee maoni
- kuendelea kufanya mazoezi ya kuigiza mchezo alichosoma kwa kutumia maelekezo yafaayo
1. Kwa nini maelekezo ni muhimu katika mchezo wa kuigiza? 2. Ni maelekezo gani yaliyotumiwa katika mchezo wa kuigiza uliotazama?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 125
Video ya mchezo wa kuigiza
Kifaa cha kidijitali cha kutazama video
Mtandao salama
Kutaja wahusika katika mchezo wa kuigiza Kueleza maelekezo katika mchezo wa kuigiza Kuandika ujumbe wa mchezo wa kuigiza Kuigiza mchezo kwa kuzingatia maelekezo
2 2
Kuandika
Insha za Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kueleza sifa za insha ya masimulizi ili kuibainisha
- kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
- kuchangamkia utunzi mzuri
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma insha ya masimulizi kuhusu "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE"
- kutambua sifa za insha ya masimulizi
- kupambanua sehemu za insha hiyo (mada, utangulizi, mwili, hitimisho)
- kujadili maudhui ya insha hiyo
- kuandika vidokezo vya insha tofauti ya masimulizi kuhusu ndege wa porini
- kujadiliana na wenzake kuhusu vidokezo hivyo
Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 126
Insha ya masimulizi "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE"
Chati ya sifa za insha ya masimulizi
Daftari la mwanafunzi
Kutambua sifa za insha ya masimulizi Kupambanua sehemu za insha ya masimulizi (mada, utangulizi, mwili, hitimisho) Kueleza maudhui ya insha ya masimulizi Kuandika vidokezo vya insha ya masimulizi
2 3
Kuandika
Insha za Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kueleza sifa za insha ya masimulizi ili kuibainisha
- kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
- kuchangamkia utunzi mzuri
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma insha ya masimulizi kuhusu "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE"
- kutambua sifa za insha ya masimulizi
- kupambanua sehemu za insha hiyo (mada, utangulizi, mwili, hitimisho)
- kujadili maudhui ya insha hiyo
- kuandika vidokezo vya insha tofauti ya masimulizi kuhusu ndege wa porini
- kujadiliana na wenzake kuhusu vidokezo hivyo
Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 126
Insha ya masimulizi "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE"
Chati ya sifa za insha ya masimulizi
Daftari la mwanafunzi
Kutambua sifa za insha ya masimulizi Kupambanua sehemu za insha ya masimulizi (mada, utangulizi, mwili, hitimisho) Kueleza maudhui ya insha ya masimulizi Kuandika vidokezo vya insha ya masimulizi
2 4
Kuandika
Insha za Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kueleza sifa za insha ya masimulizi ili kuibainisha
- kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
- kuchangamkia utunzi mzuri
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuzingatia vidokezo alivyoandaa kuandika insha ya masimulizi kuhusu "Ziara ya Kuona Ndege wa Porini"
- kuandika insha isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia vigezo kama vile mada, utangulizi, mwili, na hitimisho
- kusoma insha aliyoandika kwa wenzake ili waisome na kuitolea maoni
- kurekebisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake
- kuhifadhi nakala safi ya insha hiyo katika potifolio
Je, ni sifa zipi muhimu za insha ya masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 127
Vidokezo vya insha ya masimulizi
Daftari la mwanafunzi
Potifolio
Kuandika insha ya masimulizi Kuzingatia muundo wa insha ya masimulizi Kusoma na kurekebisha insha ya masimulizi Kuhifadhi insha katika potifolio
2 5
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendewa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa katika matini ili kuvitofautisha
- kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa ipasavyo anapowasiliana
- kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo vinavyofanyiwa watu (k.v. somewa, pewa, bebewa, ombewa)
- kujadili vitendo vinavyofanyiwa wahusika katika picha
- kueleza kuwa vitenzi somewa, pewa, bebewa na ombewa viko katika kauli ya kutendewa
- kutambua vitenzi katika kauli ya kutendewa kwenye orodha ya vitenzi (chorewa, limia, pikiwa, imbia, andikiwa)
- kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendewa kwenye sentensi
- kuchagua sentensi zilizotumia vitenzi katika kauli ya kutendewa
Je, vitenzi vinabadilika vipi vikiongezewa viambishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 128
Picha zinazoonyesha watu wakifanyiwa vitendo
Orodha ya vitenzi
Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa
Kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendewa Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa Kueleza maana ya kauli ya kutendewa
3 1
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendewa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa katika matini ili kuvitofautisha
- kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa ipasavyo anapowasiliana
- kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuambatanisha vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa (anda - andikiwa, zima - zimiwa)
- kutaja vitenzi vingine vitano vilivyo katika kauli ya kutendewa
- kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa (pima - pimiwa, cheza - chezewa)
- kutunga sentensi katika kauli ya kutendewa akitumia vitenzi mbalimbali
- kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitolee maoni
1. Je, unaweza kutaja vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendewa? 2. Kauli ya kutendewa inatusaidiaje katika kuwasiliana?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 129
Jedwali la vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa
Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa
Daftari la mwanafunzi
Kuambatanisha vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa Kuwasomea wenzake sentensi
3 2
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vitenzi katika hali ya kutendeka katika matini ili kuvitofautisha
- kutumia vitenzi katika hali ya kutendeka ipasavyo anapowasiliana
- kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendeka katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo (futika, funguka, shoneka, limika)
- kujadili kinachofanyika kwenye picha hizo
- kusoma vitenzi kwenye picha hizo
- kueleza kwamba vitenzi hivyo viko katika kauli ya kutendeka
- kutaja vitenzi vitano vingine katika kauli ya kutendeka
- kuchagua vitenzi katika kauli ya kutendeka kwenye chati
- kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendeka kwenye sentensi
- kuchagua sentensi zilizo na vitenzi katika kauli ya kutendeka
Je, ni vitenzi vipi viko kwenye kauli ya kutendeka?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 130
Picha zinazoonyesha vitendo katika kauli ya kutendeka
Chati ya vitenzi
Sentensi zenye vitenzi vya kauli ya kutendeka
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendeka Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendeka Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendeka
3 3
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vitenzi katika hali ya kutendana katika matini ili kuvitofautisha
- kutumia vitenzi katika hali ya kutendana ipasavyo anapowasiliana
- kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendana katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo (salimiana, agana)
- kujadili kinachotendeka kwenye picha hizo
- kusoma vitenzi kwenye picha hizo
- kueleza kuwa vitenzi hivyo viko katika kauli ya kutendana
- kutaja vitenzi vingine vitano katika kauli ya kutendana
- kuchora duara kwenye vitenzi katika kauli ya kutendana kwenye mraba
- kupigia mstari vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendana kwenye sentensi
Kauli ya kutendana huonyesha nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 133
Picha zinazoonyesha vitendo katika kauli ya kutendana
Mraba wenye vitenzi mbalimbali
Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendana
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendana Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendana Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendana Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendana
3 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kutendewa, Kutendeka na Kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matini ili kuvitofautisha
- kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasiliana
- kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kubainisha kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana kwa vitenzi mbalimbali
- kutumia jedwali lililopeanwa kunyambua vitenzi katika kauli tatu: kutenda, kutendewa, kutendeka na kutendana
- kujaza nafasi kwa vitenzi katika kauli mwafaka
- kutunga sentensi kutumia vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana
- kuwasilisha kazi yake kwa mwalimu
1. Ni tofauti gani kati ya vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana? 2. Ni kauli ipi unaipenda zaidi kati ya kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana? Kwa nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 136
Jedwali la kunyambua vitenzi katika kauli mbalimbali
Sentensi zenye nafasi za kujaza
Daftari la mwanafunzi
Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana Kujaza nafasi kwa vitenzi katika kauli mwafaka Kutunga sentensi kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali Kubainisha tofauti kati ya kauli mbalimbali
3 5
MAGONJWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo ya Kimuktadha: Miktadha Rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasiliano
- kutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasiliano
- kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha watu katika miktadha rasmi (k.v. hospitalini, ofisini, mahakamani, bungeni)
- kueleza mahali ambako watu wapo katika picha hizo
- kueleza kama mazingira hayo ni rasmi au sio rasmi
- kuchagua miktadha rasmi kutoka kwa orodha iliyopeanwa
- kutaja mahali pengine ambapo lugha rasmi inaweza kutumiwa
Tunaitumia lugha rasmi wakati gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 138
Picha za watu katika miktadha mbalimbali
Orodha ya miktadha rasmi na yasiyo rasmi
Chati ya miktadha rasmi
Kutambua miktadha rasmi Kutofautisha miktadha rasmi na yasiyo rasmi Kutaja mahali ambapo lugha rasmi hutumiwa Kueleza sababu za kutumia lugha rasmi
4 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo ya Kimuktadha: Miktadha Rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasiliano
- kutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasiliano
- kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuigiza mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa kwenye hospitali
- kutambua mambo yanayofanyika katika mazungumzo hayo
- kutaja wahusika katika mazungumzo hayo
- kueleza muktadha wa mazungumzo hayo
- kueleza lugha ya heshima na adabu iliyotumika katika mazungumzo hayo
- kueleza umuhimu wa kutumia lugha ya heshima na adabu katika mazungumzo
1. Je, mazungumzo rasmi huwa na wahusika wa aina gani? 2. Kwa nini ni muhimu kutumia lugha ya heshima na adabu katika mazungumzo?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 139
Mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa
Vifaa vya kidijitali kwa maigizo
Chati ya sifa za lugha rasmi
Kuigiza mazungumzo rasmi Kutambua wahusika katika mazungumzo Kutaja sifa za lugha rasmi Kutumia lugha ya heshima na adabu
4 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua matini za aina mbalimbali za kusoma na kuchagua zinazomvutia
- kusoma matini alizochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa
- kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutembelea maktaba au mtandao salama
- kuchagua matini zinazomvutia
- kujaza jedwali la matini alizozichagua (k.v. majarida, vitabu, magazeti)
- kueleza sababu zinazomfanya avutiwe na matini hizo
- kusoma kimyakimya matini alizozichagua
- kueleza ujumbe unaojitokeza katika matini hizo
1. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini? 2. Unachagua matini hizo kwa nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 141
Majarida, vitabu na magazeti
Jedwali la matini mbalimbali
Mtandao salama
Kuchagua matini zinazowavutia Kujaza jedwali la matini alizochagua Kueleza sababu za kuchagua matini fulani Kusoma matini aliyochagua
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua matini za aina mbalimbali za kusoma na kuchagua zinazomvutia
- kusoma matini alizochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa
- kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma kimyakimya matini alizozichagua
- kueleza ujumbe unaojitokeza katika matini hizo
- kuandika ujumbe wa matini hizo kwa ufupi
- kuwasilisha muhtasari aliandika kwa wenzake
- kuomba wenzake wautoe muhtasari huo maoni
- kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe wa matini walizosoma
1. Je, ungehimiza mtu mwingine kusoma matini uliyosoma? Kwa nini? 2. Matini yako inakufunza nini kuhusu magonjwa?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 141
Matini alizochagua mwanafunzi
Daftari la mwanafunzi
Vifaa vya kidijitali
Kusoma matini aliyochagua Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma Kuandika muhtasari wa matini Kuwasilisha muhtasari kwa wenzake
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua matini za aina mbalimbali za kusoma na kuchagua zinazomvutia
- kusoma matini alizochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa
- kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutembelea mtandao salama na kutafuta matini kuhusu magonjwa
- kusoma matini anazochagua
- kueleza maana za maneno mapya anayopata kutoka kwenye matini
- kujadili ujumbe wa matini hizo na wenzake
- kuandika muhtasari wa matini alizosoma
- kushirikisha wenzake kuhusu mambo muhimu aliyojifunza kutoka kwa matini
1. Ni maneno gani mapya umejifunza kutoka kwa matini uliyosoma? 2. Unaweza kueleza ujumbe wa matini uliyosoma kwa njia gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 142
Mtandao salama
Matini mbalimbali za kidijitali
Kamusi ya Kiswahili
Kutafuta matini katika mtandao salama Kusoma matini aliyochagua Kueleza maana za maneno mapya Kuandika muhtasari wa matini
4 5
Kuandika
Insha za Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali
- kuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaao
- kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma insha ya maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti magonjwa
- kutaja mada ya insha hiyo
- kujadili ujumbe wa insha hiyo
- kutambua muundo wa insha hiyo (kichwa, utangulizi, mwili, hitimisho)
- kueleza sifa za insha ya maelezo
- kubainisha vipengele muhimu katika insha ya maelezo
1. Je, umewahi kuandika insha ya maelezo? 2. Uliandika insha ya maelezo kuhusu mada gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 142
Insha ya maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti magonjwa
Chati ya muundo wa insha ya maelezo
Orodha ya sifa za insha ya maelezo
Kutambua vipengele vya insha ya maelezo Kubainisha utangulizi, mwili na hitimisho wa insha Kueleza ujumbe wa insha ya maelezo Kueleza sifa za insha ya maelezo
5 1
Kuandika
Insha za Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali
- kuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaao
- kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi
Mwanafunzi aelekezwe:
- kujadili mada mbalimbali kuhusu magonjwa zinazoweza kuandikiwa insha ya maelezo
- kuchagua mada moja kati ya zile alizojadili
- kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha hiyo
- kuandika insha isiyopungua maneno 150 kuhusu mada aliyoichagua
- kusomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
- kurekebisha insha kulingana na maoni ya wenzake
1. Je, ni vipengele gani vya kuzingatia unapoandika insha ya maelezo? 2. Maua gani yanayosababisha magonjwa?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 143
Vidokezo vya kuandaa insha
Daftari la mwanafunzi
Kalamu na penseli
Mifano ya insha za maelezo
Kuchagua mada ya insha ya maelezo Kuandaa vidokezo vya insha Kuandika insha ya maelezo Kusomea wenzake insha Kurekebisha insha
5 2
Kuandika
Insha za Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali
- kuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaao
- kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi
Mwanafunzi aelekezwe:
- kujadili mada mbalimbali kuhusu magonjwa zinazoweza kuandikiwa insha ya maelezo
- kuchagua mada moja kati ya zile alizojadili
- kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha hiyo
- kuandika insha isiyopungua maneno 150 kuhusu mada aliyoichagua
- kusomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
- kurekebisha insha kulingana na maoni ya wenzake
1. Je, ni vipengele gani vya kuzingatia unapoandika insha ya maelezo? 2. Maua gani yanayosababisha magonjwa?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 143
Vidokezo vya kuandaa insha
Daftari la mwanafunzi
Kalamu na penseli
Mifano ya insha za maelezo
Kuchagua mada ya insha ya maelezo Kuandaa vidokezo vya insha Kuandika insha ya maelezo Kusomea wenzake insha Kurekebisha insha
5 3
Sarufi
Vinyume vya Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vinyume vya vitenzi katika matini
- kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi
- kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vitenzi katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha mbalimbali zinazoonyesha vitendo kinyume (k.v. simama-keti, cheka-lia)
- kujadili kinachoonekana katika picha
- kutaja vitenzi vinavyoweza kutumika kuelezea hali katika picha za sehemu A na B
- kueleza kuwa picha za sehemu B ni vinyume vya sehemu A
- kuambatanisha kila kitenzi na kinyume chake
- kuchagua maneno ambayo ni vitenzi kwenye chati
- kutaja vinyume vya vitenzi vilivyochaguliwa
Je, vitenzi gani unavyoweza kutambua vinyume vyake?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 145
Picha zinazoonyesha vitendo kinyume
Jedwali la vitenzi na vinyume vyake
Chati ya maneno mbalimbali
Sentensi zenye vitenzi
Kutambua vinyume vya vitenzi Kuambatanisha vitenzi na vinyume vyake Kuchagua maneno ambayo ni vitenzi Kueleza uhusiano kati ya vitenzi
5 4
Sarufi
Vinyume vya Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vinyume vya vitenzi katika matini
- kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi
- kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vitenzi katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha za shangazi anaanika nguo na shangazi anaanua nguo
- kusoma sentensi zilizo chini ya picha hizo
- kupigia mstari vitenzi katika sentensi alizosoma
- kueleza uhusiano uliopo kati ya vitenzi hivyo
- kuandika sentensi upya kwa kutumia vinyume vya vitenzi vilivyopigiwa mstari
- kutumia kinyume cha kitenzi kilicho mabanoni kujazia nafasi
- kutunga sentensi kutumia vinyume vya vitenzi
1. Ni vipi tunavyoundua vinyume vya vitenzi? 2. Matumizi ya vinyume vya vitenzi yana umuhimu gani katika mawasiliano?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 146
Picha za shangazi akianika na kuanua nguo
Sentensi zenye vitenzi vilivyopigiwa mstari
Sentensi zenye nafasi za kujaza
Orodha ya vitenzi
Kutambua vitenzi katika sentensi Kuandika sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi Kujaza nafasi kwa kutumia vinyume vya vitenzi Kutunga sentensi zenye vinyume vya vitenzi
5 5
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vinyume vya Vitenzi
Tashbihi: Tashbihi za Tabia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vinyume vya vitenzi katika matini
- kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi
- kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vitenzi katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kukamilisha jedwali la vitenzi na vinyume vyake
- kusoma sentensi zilizopeanwa
- kuandika sentensi hizo upya kwa kutumia vinyume vya vitenzi katika sentensi
- kuchagua miktadha rasmi kutoka orodha iliyopeanwa
- kuandika mifano ya miktadha rasmi
- kuambatanisha vitenzi na vinyume vyake
1. Je, ni vinyume vipi vya vitenzi vilivyopigiwa mstari kwenye sentensi? 2. Magonjwa hutokana na nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 147
Jedwali la vitenzi na vinyume vyake
Sentensi zenye vitenzi
Orodha ya miktadha
Daftari la mwanafunzi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 150
Picha za tashbihi za tabia
Vifaa vya kidijitali
Chati zenye tashbihi
Kukamilisha jedwali la vitenzi na vinyume vyake Kuandika sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi Kuchagua miktadha rasmi Kuambatanisha vitenzi na vinyume vyake
6 1
KUDHIBITI ITIKADI ZA KIDINI NA ZA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Tashbihi: Tashbihi za Tabia
Matini ya Kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua tashbihi za tabia katika matini mbalimbali
- Kufafanua maana za tashbihi mbalimbali za tabia kwa kutoa mifano
- Kutumia tashbihi za tabia kwa usahihi katika sentensi
- Kufurahia matumizi ya tashbihi za tabia katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kupigia mstari tashbihi za tabia kwenye kifungu cha habari "Kijiji cha ltikadi"
- Kueleza maana za tashbihi alizotambua katika kifungu
- Kukamilisha tashbihi kama "Ana maneno mengi kama..."
- Kujaza nafasi kwa tashbihi za tabia zinazofaa
- Kutunga sentensi akitumia tashbihi za tabia
Je, unaweza kutambua tashbihi za tabia katika vifungu vya habari?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 151
Kifungu cha habari "Kijiji cha ltikadi"
Kapu la tashbihi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 154
Picha za vifaa vya kidijitali
Tarakilishi/vipakatalishi
Orodha ya hatua za kiusalama
Kujaza nafasi Kutunga sentensi zenye tashbihi za tabia Kueleza matumizi ya tashbihi
6 2
Kusoma
Matini ya Kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi
- Kusakura kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma
- Kutumia vyombo vya kidijitali kwa urahisi kupata matini zinazolengwa
- Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama faili ambayo mwalimu atawaonyesha kwenye tarakilishi na kuitaja
- Kufungua na kufunga faili hiyo
- Kusoma kifungu kilicho katika faili hiyo
- Kusakura tovuti salama zenye vifungu kuhusu mada mbalimbali kama "Madhara ya Ukeketaji wa Wasichana"
- Kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi ya mtandaoni
Unapenda kusoma habari kuhusu nini mtandaoni?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 155
Tarakilishi/vipakatalishi
Mtandao
Faili zenye vifungu vya kusoma
Kufungua na kufunga faili Kusakura tovuti zenye vifungu Kutambua maneno mapya na kutafuta maana zake
6 3
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya masimulizi "SHEREHE NILIYOHUDHURIA"
- Kutambua insha ya masimulizi, mada yake na muundo wake
- Kutambua utangulizi, mwili na hitimisho wa insha hiyo
- Kutambua maudhui ya insha hiyo
- Kujadiliana na wenzake kuhusu muundo na maudhui ya insha ya masimulizi
Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 156
Mfano wa insha ya masimulizi "SHEREHE NILIYOHUDHURIA"
Chati ya muundo wa insha ya masimulizi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 158
Orodha ya mada za insha
Tarakilishi/vipakatalishi
Kutambua sehemu za insha ya masimulizi Kutambua mada ya insha Kutofautisha kati ya utangulizi, mwili na hitimisho
6 4
Sarufi
Nyakati na Hali: Hali ya Mazoea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya hali ya mazoea katika kitenzi
- Kutambua vitenzi katika hali ya mazoea katika matini
- Kutumia vitenzi vya hali ya mazoea katika sentensi
- Kufurahia matumizi ya hali ya mazoea katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika hali ya mazoea
- Kutambua kiambishi cha hali ya mazoea (hu)
- Kupigia mstari viambishi vya hali ya mazoea kwenye sentensi zilizotolewa
- Kukamilisha sentensi kwa kutumia viambishi vya hali ya mazoea
- Kutazama picha na kusoma sentensi zilizo chini yake
Je, wewe hufanya shughuli gani kila siku?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 159
Kapu maneno
Sentensi zenye vitenzi katika hali ya mazoea
Picha zinazoonyesha vitendo vya kila siku
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 161
Kapu la vitenzi
Sentensi zenye vitenzi katika hali ya mazoea
Kutambua viambishi vya hali ya mazoea Kutunga sentensi zenye vitenzi katika hali ya mazoea Kujaza nafasi kwa viambishi vya hali ya mazoea
6 5
Sarufi
Nyakati na Hali: Hali Timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya hali timilifu katika kitenzi
- Kutambua vitenzi katika hali timilifu katika matini
- Kutumia vitenzi vya hali timilifu katika sentensi
- Kufurahia matumizi ya hali timilifu katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazoonyesha vitendo vilivyokamilika na kusoma sentensi zilizo chini ya picha hizo
- Kutambua vitendo katika sentensi vimetendeka muda upi
- Kutambua viambishi vya hali timilifu (me) katika sentensi
- Kupigia mstari viambishi vya hali timilifu katika vitenzi vilivyotolewa
- Kupigia mstari viambishi vya hali timilifu kwenye sentensi
Mambo gani ambayo umeyafanya muda mfupi uliopita?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 162
Picha zinazoonyesha vitendo vilivyokamilika
Kapu la vitenzi katika hali timilifu
Kutambua viambishi vya hali timilifu Kupigia mstari viambishi vya hali timilifu Kutunga sentensi zenye vitenzi katika hali timilifu
7 1
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Nyakati na Hali: Hali Timilifu
Kutoa Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vitenzi katika hali timilifu
- Kutumia vitenzi vya hali timilifu katika sentensi
- Kufurahia matumizi ya hali timilifu katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kupigia mstari vitenzi katika hali timilifu kwenye sentensi zilizotolewa
- Kutaja vitenzi vitano katika hali timilifu katika mazingira ya shuleni
- Kutaja vitenzi vitano katika hali timilifu katika mazingira ya nyumbani
- Kuchagua sentensi katika hali timilifu kati ya sentensi zilizotolewa
- Kutunga sentensi tano katika hali timilifu
Tofauti kati ya hali ya mazoea na hali timilifu ni ipi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 163
Kadi za sentensi zenye vitenzi katika hali timilifu
Orodha ya vitenzi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 167
Mifano ya masimulizi
Vifaa vya kidijitali
Picha
Kutambua vitenzi katika hali timilifu Kutunga sentensi zenye vitenzi katika hali timilifu Kufanyiana tathmini
7 2
UWEKEZAJI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kutoa Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kubuni masimulizi yanayohusiana na mada husika
- Kutoa masimulizi kwa kutumia lugha fasaha
- Kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake
- Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kujadiliana na mwenzake kuhusu mambo yanayotokea katika picha hiyo
- Kubuni masimulizi kuhusu picha hiyo
- Kutoa masimulizi aliyoyabuni
- Kutazama picha zaidi na kubuni masimulizi kuhusu picha hizo
- Kumtolea mwenzake masimulizi akitumia ishara za mwili zifaazo
Unatumia ishara gani za mwili unapotoa masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 168
Picha mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 169
Picha ya mtu akisoma
Chati ya mambo ya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
Kubuni masimulizi Kutoa masimulizi Kutumia ishara za mwili Kutoa maoni kuhusu masimulizi ya wenzake
7 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kusoma kifungu cha simulizi kwa kuzingatia matamshi bora, kasi inayofaa, sauti inayofaa na ishara zinazofaa
- Kutumia ishara zifaazo anapoisoma
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu "Bidii ya Marimari" kwa zamu akiwa katika kikundi
- Kusoma kifungu hicho kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu hicho kwa sauti inayosikika vizuri
- Kusoma kifungu hicho kwa kasi inayofaa
- Kusoma kifungu hicho akiambatanisha ishara zinazofaa
- Kuhesabu maneno anayoweza kusoma kwa dakika moja
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu simulizi kwa usahihi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 170
Kifungu cha habari "Bidii ya Marimari"
Saa ya kupimia muda
Kusoma kwa kuzingatia matamshi bora Kusoma kwa kasi inayofaa Kusoma kwa sauti inayosikika vizuri Kutumia ishara zinazofaa wakati wa kusoma
7 4
Kuandika
Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake
- Kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo
- Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma barua iliyotolewa na kutambua aina yake
- Kutambua maudhui ya baruapepe hiyo
- Kutambua sehemu za muundo wa baruapepe hiyo kama vile anwanipepe ya mtumaji, anwanipepe ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili, hitimisho na jina la mwandishi
Unazingatia nini unapoandika baruapepe?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 172
Mfano wa baruapepe
Chati ya muundo wa baruapepe
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 173
Tarakilishi/vipakatalishi
Mtandao
Kutambua sehemu za baruapepe Kueleza maudhui ya baruapepe Kubainisha mtindo wa baruapepe
7 5
Sarufi
Ukanushaji: Nafsi na Wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya nafsi katika sentensi
- Kukanusha viambishi vya nafsi katika sentensi kwa usahihi
- Kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya nafsi na kuzikanusha
- Kufurahia ukanushaji wa viambishi vya nafsi katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zilizo chini ya picha hizo
- Kutambua viambishi vilivyoandikwa kwa rangi nyekundu
- Kutambua viambishi vya nafsi ya kwanza, ya pili na ya tatu
- Kutambua viambishi vya nafsi ya kwanza, ya pili na ya tatu katika umoja na wingi
- Kutambua viambishi vya nafsi kwenye sentensi zilizotolewa
Je, viambishi vya nafsi katika vitenzi ni vipi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 174
Picha na sentensi
Chati ya viambishi vya nafsi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 177
Michoro/picha
Tarakilishi/vipakatalishi
Kutambua viambishi vya nafsi katika sentensi Kukanusha sentensi zenye viambishi vya nafsi Kutunga sentensi zenye viambishi vya nafsi
8 1
Sarufi
Ukanushaji: Nafsi na Wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya wakati katika sentensi
- Kukanusha viambishi vya wakati katika sentensi kwa usahihi
- Kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya wakati na kuzikanusha
- Kufurahia ukanushaji wa viambishi vya wakati katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizotolewa na kutambua viambishi vya wakati vilivyoandikwa kwa rangi nyekundu
- Kutambua viambishi vya wakati uliopita (li), wakati uliopo (na) na wakati ujao (ta)
- Kupigia mistari viambishi vya wakati katika sentensi zilizotolewa
- Kukanusha sentensi zilizotolewa kwa kuzingatia wakati
Ni wakati gani tunatumia viambishi 'li', 'na' na 'ta'?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 178
Kadi za sentensi zenye viambishi vya wakati
Chati ya viambishi vya wakati
Kutambua viambishi vya wakati Kupigia mistari viambishi vya wakati Kukanusha sentensi zenye viambishi vya wakati
8 2
Sarufi
Ukubwa na udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m na zenye mzizi wa silabi mbili
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m katika hali ya ukubwa
- Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa
- Kutumia nomino zinazoanza kwa herufi m katika hali ya ukubwa kwenye sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kutaja nomino zinazorejelewa katika picha hizo
- Kutambua herufi zinazoanza nomino hizo
- Kuhesabu silabi za nomino hizo baada ya kuondoa herufi m
- Kuchagua nomino zinazoanza kwa herufi m na zenye mzizi wa silabi mbili kwenye orodha iliyotolewa
- Kutazama picha zinazoonyesha tofauti kati ya hali ya wastani na hali ya ukubwa
Ni nomino gani unazoweza kutaja ukubwa wake?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 181
Picha za nomino
Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi m
Kapu la maneno
Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m na zenye mzizi wa silabi mbili Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa
8 3
Sarufi
Ukubwa na udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m katika hali ya udogo
- Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo
- Kutumia nomino zinazoanza kwa herufi m katika hali ya udogo kwenye sentensi
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwa usahihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutaja nomino zinazoanza kwa herufi m
- Kutazama picha zinazoonyesha tofauti kati ya hali ya wastani na hali ya udogo
- Kutambua picha iliyo katika hali ya wastani na iliyo katika hali ya udogo
- Kueleza jinsi ya kubadili nomino mpira kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo
- Kutambu nomino katika hali ya udogo kwenye orodha iliyotolewa
Ni nomino gani unazoweza kutaja udogo wake?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 184
Picha za nomino katika hali ya wastani na udogo
Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi m katika hali ya udogo
Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m katika hali ya udogo Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya udogo
8 4
Sarufi
Ukubwa na udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi n
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi n katika hali ya ukubwa
- Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa
- Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kutaja nomino zinazorejelewa katika picha hizo
- Kutambua herufi zinazoanza nomino hizo
- Kuchagua nomino zinazoanza kwa herufi n kwenye ubao uliowekwa
- Kutazama picha zinazoonyesha tofauti kati ya hali ya wastani na hali ya ukubwa
- Kutambua njia za kuunda ukubwa wa nomino zinazoanza kwa herufi n
Ni nomino gani zinazoanza kwa herufi n?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 188
Picha za nomino zinazoanza kwa herufi n
Chati ya nomino katika hali ya wastani na ukubwa
Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi n Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya ukubwa
8 5
Sarufi
Ukubwa na udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi n
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi n katika hali ya udogo
- Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo
- Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutaja nomino zinazoanza kwa herufi n
- Kutazama picha zinazoonyesha tofauti kati ya hali ya wastani na hali ya udogo
- Kutambua picha iliyo katika hali ya wastani na iliyo katika hali ya udogo
- Kueleza jinsi ya kubadili nomino nguruwe kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo
- Kuchagua nomino zinazoanza kwa herufi n katika hali ya udogo kwenye baluni zilizotolewa
Ni nomino gani unazoweza kutaja udogo wake?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 192
Picha za nomino katika hali ya wastani na udogo
Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi n katika hali ya udogo
Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi n katika hali ya udogo Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya udogo
9

END OF END OF TERM EXAMINATION AND SCHOOL CLOSING


Your Name Comes Here


Download

Feedback