If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 2 |
USAFI WA KIBINAFSI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza na Kujibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mazungumzo - Kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mazungumzo - Kuchangamkia kushiriki mazungumzo katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza (k.v. kuwa makini, kumtazama mzungumzaji) - Kusikiliza na kujibu mazungumzo kuhusu usafi wa kibinafsi - Kuigiza mazungumzo ya simu kwa kutumia vipengele vifaavyo |
Je, unaposikiliza mazungumzo unapaswa kuzingatia nini ili kupata ujumbe unaowasilishwa?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 1
Vifaa vya kidijitali Chati Kadi maneno |
Maswali ya mdomo
Uchunguzi wakati wa mazungumzo
Tathmini ya wenzake
|
|
1 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza na Kujibu
Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kuonyesha ujuzi mzuri wa kusikiliza katika mazungumzo - Kujibu kwa kutumia lugha ya heshima - Kuonyesha ujasiri katika kushiriki mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kufanya mazoezi ya kusikiliza kwa ufanisi - Kushiriki mazungumzo yaliyoongozwa kuhusu usafi wa kibinafsi - Kuonyesha jinsi ya kubadilishana zamu katika mazungumzo - Kutumia mawasiliano yasiyokuwa ya maneno |
Ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kujibu vizuri katika mazungumzo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 1
Vifaa vya sauti Mifano ya mazungumzo Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 4 Picha Michoro Vifaa vya kidijitali |
Tathmini ya uigizaji
Ufahamu wa kusikiliza
Ubora wa majibu
|
|
1 | 4 |
Kusoma
|
Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kueleza maana ya msamiati katika kifungu - Kutumia msamiati mpya katika sentensi - Kufanya utabiri na ufasiri wa habari |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati mpya katika kifungu - Kutumia kamusi kueleza maana za maneno - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya - Kujibu maswali ya ufahamu |
Je, utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu simulizi?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 5
Chati Kamusi Matini ya mwalimu |
Kutambua msamiati mpya
Kutunga sentensi
Tathmini ya maana ya msamiati
|
|
2 | 1 |
Kuandika
|
Viakifishi - Herufi Kubwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua matumizi ya herufi kubwa katika matini - Kutumia herufi kubwa ipasavyo katika matini - Kuonea fahari matumizi ya herufi kubwa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matumizi ya herufi kubwa (mwanzoni mwa sentensi, majina ya watu) - Kuandika kifungu kuhusu usafi wa kibinafsi - Kusahihisha kifungu kisichozingatia herufi kubwa |
Je, herufi kubwa hutumika vipi katika maandishi?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 8
Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali |
Kutambua alama za herufi kubwa
Kuandika kifungu
Kusahihisha makosa
|
|
2 | 2 |
Kuandika
Sarufi |
Viakifishi - Kikomo
Nomino za Pekee |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua matumizi ya kikomo katika matini - Kutumia kikomo ipasavyo katika matini - Kuonea fahari matumizi sahihi ya kikomo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matumizi ya kikomo (mwishoni mwa sentensi) - Kuandika kifungu kuhusu usafi wa kibinafsi - Kusahihisha kifungu kisichozingatia kikomo |
Je, kikomo hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 14
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 7 Chati Kadi maneno |
Kutambua alama ya kikomo
Kuandika kifungu
Kusahihisha makosa
|
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Nomino za Kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua nomino za kawaida katika matini - Kutofautisha nomino za pekee na za kawaida - Kutumia nomino za kawaida ipasavyo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za kawaida katika sentensi - Kutenga nomino za kawaida katika orodha - Kutunga kifungu kuhusu usafi wa kibinafsi |
Ni vitu gani katika mazingira yako ambavyo ni nomino za kawaida?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 13
Tarakilishi Chati Kadi maneno |
Kutambua nomino za kawaida
Kutofautisha nomino
Kutunga kifungu
|
|
2 | 4 |
MATUMIZI YA PESA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Lugha katika Nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule - Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika nyimbo kama utungo wa fasihi simulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vya lugha kama vile urudiaji, nahau, methali na maneno yasiyokuwa na maana kwa kusikiliza nyimbo kuhusu matumizi ya pesa - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vilivyotumika katika nyimbo walizosikiliza akiwa na wenzake - Kutunga wimbo unaohusiana na matumizi ya pesa akizingatia vipengele vya lugha katika nyimbo |
Nyimbo hutumia vipengele gani vya lugha?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 147
Kinasasauti Nyimbo kuhusu pesa Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vipengele vya lugha
Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha
Kutunga wimbo
|
|
3 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Lugha katika Nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule - Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika nyimbo kama utungo wa fasihi simulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo mtakayoimbiwa na mwalimu na kuimba wimbo mliosikiliza - Kutambua mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo mliosikiliza - Kujadili umuhimu wa vipengele vya mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo - Kushirikiana na mwenzake kutunga wimbo unaohusu matumizi ya pesa na kuimbeni wimbo wenu huku mkijirekodi kwenye kinasasauti |
Kutumia vipengele mbalimbali vya lugha katika wimbo kuna umuhimu gani?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 154
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kutambua mbinu za lugha
Kutunga wimbo
Kujirekodi
|
|
3 | 2 |

3 | 3 |
Kusoma
|
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala - Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala - Kuandika habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi - Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala - Kuridhia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala cha ufahamu 'Mla Leo' kuhusu matumizi ya pesa - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala cha ufahamu - Kutambua msamiati mpya kuhusu matumizi ya pesa katika kifungu cha mjadala - Kuandika habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi |
Kwa nini tunasoma ufahamu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 149
Kifungu 'Mla Leo' Kamusi Matini ya mwalimu |
Kusoma kifungu cha mjadala
Kudondoa habari mahususi
Kuandika ufupisho
|
|
3 | 3-4 |

4 |
Midterm exams |
||||||||
5 | 1 |

- Kusoma kifungu 'Uwekezaji bora' kuhusu matumizi ya pesa - Kuchambua mitazamo iliyo katika kifungu cha ufahamu cha mjadala - Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - Kutathmini kazi ya wenzake kwa upendo - Kubainisha tofauti na mifanano ya maoni baina ya wahusika |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 154
Kifungu 'Uwekezaji bora' Kamusi Matini ya mwalimu |
Kuchambua mitazamo
Kuwasilisha kazi
Kutathmini kazi za wenzake
|
|
5 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya Maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua aina za insha za maelekezo - Kujadili sifa za insha ya maelekezo - Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo - Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele muhimu vya insha ya maelekezo - Kufurahia kutoa maelekezo ifaavyo katika maisha ya kila siku akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma maelekezo ya 'Karibu nyumbani kwetu' na kubainisha sifa za insha ya maelekezo - Kutambua aina za insha za maelekezo na kujadili aina mbalimbali za insha za maelekezo - Kushirikiana na mwenzake katika kikundi kujadili mpangilio unaofaa wa hatua za kuelekeza - Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo |
Utatumia mpangilio gani wa kumwelekeza mtu asipoteze njia?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 152
Mifano ya insha za maelekezo Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua aina za insha za maelekezo
Kujadili mpangilio wa hatua
Kuandaa mpangilio
|
|
5 | 3 |

5 | 4 |

- Kuandika insha ya maelekezo kwenye tarakilishi akizingatia anwani na mpangilio mwafaka wa hatua - Kuwasambazie wenzake insha aliyoandika kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni - Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelekezo aliyoandika akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua |
Ni hatua gani za kuandika insha ya maelekezo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 158
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya maelekezo
Kusambaza kazi kwenye mtandao
Kusahihisha insha
|
|
6 | 1 |
Sarufi
|
Ukubwa wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika hali ya ukubwa katika matini - Kutambua viambishi vya ukubwa katika nomino - Kutumia nomino katika hali ya ukubwa ipasavyo - Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa katika sentensi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa kama vile jitu, joka, jiji, kapu, goma kwenye orodha ya nomino, chati, kadi maneno - Kutambua viambishi vya ukubwa katika maneno akiwa peke yake au katika kikundi - Kuandika majina ya vifaa vya darasani katika ukubwa - Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya ukubwa kwa usahihi |
Unazingatia nini unapoandika nomino katika ukubwa?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 151
Kadi maneno Chati Matini ya mwalimu Vifaa vya darasani |
Kutambua nomino za ukubwa
Kutambua viambishi vya ukubwa
Kuambatanisha nomino
|
|
6 | 2 |

6 | 3 |

- Kubadilisha nomino za hali ya wastani ziwe katika hali ya ukubwa akiwa peke yake au katika kikundi - Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya ukubwa kuhusu matumizi ya pesa na kuwasilisha darasani ili wenzake wazitathmini - Kumtajia mzazi au mlezi majina ya vifaa vya nyumbani katika ukubwa na kutunga sentensi |
Ni vigezo gani vya kutumia nomino katika ukubwa?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 156
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Kadi maneno |
Kubadilisha nomino
Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa
Kutathmini sentensi za wenzake
|
|
6 | 4 |

7 | 1 |
MAADILI YA MTU BINAFSI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza Habari na Kujibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua masuala katika matini aliyosikiliza - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini aliyosikiliza - Kutabiri yatakayotokea katika matini kutokana na vidokezo alivyosikia katika habari - Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza - Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua masuala yanayoshughulikiwa katika matini kuhusu maadili ya mtu binafsi aliyosikiliza - Kutambua msamiati wa maadili ya mtu binafsi uliotumika katika matini alizosikiliza - Kutabiri kitakachotokea au atakachofanya mhusika kutoka kwenye matini aliyosikiliza kwa kuzingatia vidokezo |
Je, ni mambo gani yanayokuelekeza kufasiri suala muhimu katika habari unayosikiliza?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 159
Kinasasauti Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua masuala
Kutambua msamiati
Kutabiri matukio
|
|
7 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza Habari na Kujibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua masuala katika matini aliyosikiliza - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini aliyosikiliza - Kutabiri yatakayotokea katika matini kutokana na vidokezo alivyosikia katika habari - Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza - Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana za msamiati wa maadili ya mtu binafsi kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza - Kusikiliza matini kuhusu maadili ya mtu binafsi kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kufasiri wazo kuu - Kusikiliza habari kwenye vifaa vya kidijitali kuhusu maadili ya mtu binafsi - Kushirikiana na mzazi au mlezi kutafiti kwenye tovuti salama kuhusu maadili ya mtu binafsi |
Ni njia gani za kufasiri ujumbe katika habari?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 164
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kueleza maana za msamiati
Kufasiri wazo kuu
Kushirikiana na mzazi
|
|
7 | 3 |

7 | 4 |
Kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja - Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa - Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kuhusu maadili ya mtu binafsi - Kueleza kwa usahihi ujumbe katika kila aya kwa kutumia sentensi mojamoja - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja - Kujadili katika kikundi kuhusu jinsi ya kuandika ufupisho wa matini |
Ni mambo gani yanayokusaidia kuandika ufupisho?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 160
Kifungu kuhusu maadili Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kifungu
Kueleza ujumbe wa aya
Kujadili jinsi ya kuandika ufupisho
|
|
8 | 1 |
Kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja - Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa - Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu 'Adili' kuhusu maadili ya mtu binafsi - Kueleza ujumbe unaopatikana katika kila aya ya kifungu kwa sentensi mojamoja - Kueleza ujumbe unaopatikana katika aya zote za kifungu kwa aya moja - Kujadili namna ya kuandika ufupisho wa matini |
Ni hatua gani za kuandika ufupisho?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 165
Kifungu 'Adili' Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kifungu cha 'Adili'
Kueleza ujumbe wa kifungu
Kujadili hatua za kuandika ufupisho
|
|
8 | 2 |

8 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika Kidijitali - Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki - Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki - Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki - Kuandika baruapepe kwa rafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe kwa rafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma baruapepe na kutambua ujumbe katika barua hiyo - Kutambua na kujadili ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki - Kujadili vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki vinavyojitokeza kwenye barua - Kushiriki katika kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki |
Je, utazingatia nini unapoandika barua pepe kwa rafiki yako?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 163
Mfano wa baruapepe Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kusoma baruapepe
Kutambua ujumbe na muundo
Kujadili lugha inayofaa
|
|
8 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Kidijitali - Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki - Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki - Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki - Kuandika baruapepe kwa rafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe kwa rafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika baruapepe kwa rafiki kwenye tarakilishi akizingatia ujumbe, lugha na muundo - Kuwasambazie wenzake baruapepe aliyoandika mtandaoni ili waisome na kuitolea maoni - Kuandika baruapepe kwa rafiki kisha amtumie mwalimu mtandaoni ili aisome na kuitathmini |
Ni vipengele gani vya kimuundo vya baruapepe?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 167
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika baruapepe
Kusambaza kazi mtandaoni
Kumtumia mwalimu kazi
|
|
9 | 1 |
Sarufi
|
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana za usemi halisi na usemi wa taarifa - Kutambua kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa - Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo - Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana za usemi halisi na usemi wa taarifa akiwa peke yake au wawiliwawili - Kutambua kanuni za kimsingi za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa - Kutungia wenzake katika kikundi sentensi sahili za usemi halisi na usemi wa taarifa akizingatia maadili ya mtu binafsi - Kumsomea mwenzake sentensi sahili alizotunga za usemi halisi na usemi wa taarifa |
Ni kwa usemi gani tunaweza kuwasilisha ujumbe?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 161
Mifano ya sentensi za usemi halisi na wa taarifa Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana za usemi halisi na wa taarifa
Kutambua kanuni za kubadilisha usemi
Kutunga sentensi
|
|
9 | 2 |

9 | 3 |

- Kubadilisha sentensi sahili kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi - Kushirikiana na wenzake kutunga na kutathmini sentensi sahili za usemi halisi na usemi wa taarifa - Kutunga sentensi sahili katika usemi halisi na usemi wa taarifa kwenye kipakatalishi kuhusu maadili ya mtu binafsi |
Je, ni mambo gani unayazingatia wakati wa kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 166
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Mifano ya sentensi |
Kubadilisha usemi
Kushirikiana kutunga sentensi
Kutathmini sentensi za wenzake
|
|
9 | 4 |

Your Name Comes Here