Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SABA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 2
LISHE BORA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /dh/ na /th/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua sauti /dh/ na /th/ katika maneno
- Kutamka sauti /dh/ na /th/ ipasavyo
- Kuchangamkia matamshi bora ya sauti hizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /dh/ na /th/ katika maneno
- Kutamka maneno yenye sauti hizi ipasavyo
- Kutunga vitanzandimi vyenye sauti hizi
- Kurekodi akiimba vitanzandimi
Ni maneno yepi unayoyajua yaliyo na sauti /dh/ na /th/?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 16
Mti maneno
Matini ya mwalimu
Kifaa cha kidijitali
Kutambua sauti lengwa Kutunga vitanzandimi Kutamka ipasavyo
1 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua msamiati katika matini ya kujichagulia
- Kutumia msamiati mpya katika sentensi
- Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua matini kuhusu lishe bora
- Kutambua msamiati mpya katika matini
- Kutumia kamusi kueleza maana za maneno
- Kuweka rekodi ya msamiati mpya
Unapenda kusoma matini za aina gani?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 18
Matini mbalimbali
Kamusi
Kijitabu cha msamiati
Kutambua msamiati Kueleza ujumbe Kuweka rekodi
1 4
Kuandika
Barua ya Kirafiki ya Kutoa Mwaliko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko
- Kutambua ujumbe katika barua ya kirafiki
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko
- Kutambua ujumbe katika mfano wa barua
- Kujadili vipengele vya kimuundo
- Kujadili lugha inayofaa
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 20
Mifano ya barua
Chati
Matini ya mwalimu
Kutambua vipengele Kujadili muundo Kuuliza na kujibu
2 1
Sarufi
Nomino za Makundi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua nomino za makundi katika matini
- Kutumia nomino za makundi ipasavyo
- Kuchangamkia kutumia nomino za makundi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za makundi (mkungu, mtungo, tita)
- Kutenga nomino za makundi katika sentensi
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za makundi
- Kutambua nomino za makundi katika mazingira
Ni nomino gani za makundi zinazopatikana katika mazingira ya shuleni?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 19
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kadi maneno
Kutambua nomino za makundi Kutunga sentensi Kufanyiana tathmini
2 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Nomino za Dhahania
Wahusika katika Nyimbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua nomino za dhahania katika matini
- Kutumia nomino za dhahania ipasavyo
- Kuchangamkia kutumia nomino za dhahania
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za dhahania (ugonjwa, furaha, elimu)
- Kutenga nomino za dhahania katika sentensi
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za dhahania
- Kuandika aya kuhusu lishe bora
Ni nomino gani za dhahania zinazopatikana katika mazingira yako?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 25
Kapu maneno
Chati
Vifaa vya kidijitali
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 137
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
Nyimbo za utatuzi wa mizozo
Kutambua nomino za dhahania Kutunga sentensi Kuandika aya
2 3
UTATUZI WA MIZOZO

Kusikiliza na Kuzungumza
Wahusika katika Nyimbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua wahusika katika wimbo
- Kuchambua wahusika katika wimbo
- Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika wimbo
- Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika nyimbo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika wimbo akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kutunga wimbo kuhusu utatuzi wa mizozo na kuwawasilishia wenzake ili wachanganue wahusika
- Kushirikiana na mzazi au mlezi wake kuchanganua wahusika katika nyimbo mbalimbali kutoka kwa jamii yake
Ni mafunzo gani tunayapata kutoka kwa wahusika?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 142
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
Kueleza mafunzo Kutunga wimbo Kuwasilisha wimbo
2 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi
- Kutambua mbinu za lugha katika novela
- Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela
- Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kutambua mbinu za lugha kama vile tashbihi, sitiari, nahau, methali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela
- Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake na kutoa maoni
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 139
Novela iliyoteuliwa
Matini ya mwalimu
Kamusi
Kutambua mbinu za lugha Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha Kuhakiki uwasilishaji
3 1
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi
- Kutambua mbinu za lugha katika novela
- Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela
- Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua mbinu za lugha kwenye novela aliyosoma
- Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kuwasilisha muhtasari wa matumizi ya mbinu za lugha katika novela
- Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika novela
Ni mbinu gani za lugha tunazozifahamu?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 143
Novela iliyoteuliwa
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua mbinu za lugha Kuwasilisha muhtasari Kufanya utafiti
3 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo
- Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mtu
- Kuchangamkia kutoa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua dhana ya insha ya maelezo akiwa peke yake au katika kikundi
- Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo akiwa na wenzake katika kikundi
- Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo
- Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu sura na matendo ya mtu
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 141
Mifano ya insha za maelezo
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 145
Tarakilishi
Kutambua insha ya maelezo Kuandaa vidokezo Kujadiliana kuhusu mada
3 3
Sarufi
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukanushaji
- Kutambua nyakati katika matini
- Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini
- Kutumia ipasavyo hali ya ukanushaji wa wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini
- Kuchangamkia kukanusha sentensi katika wakati uliopita, uliopo na ujao ili kukuza mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ukanushaji akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kutambua nyakati tatu tofauti (uliopita, uliopo, ujao) kutoka kwenye chati, mti maneno, vitabu au vifaa vya kidijitali
- Kutambua ukanushaji wa sentensi katika wakati uliopita, uliopo na ujao akiwa na wenzake katika kikundi
Tunakanusha sentensi kwa kuzingatia nyakati gani?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 140
Chati za nyakati
Mti maneno
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua nyakati Kutambua ukanushaji Kujadiliana kuhusu ukanushaji
3 4
Sarufi
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukanushaji
- Kutambua nyakati katika matini
- Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini
- Kutumia ipasavyo hali ya ukanushaji wa wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini
- Kuchangamkia kukanusha sentensi katika wakati uliopita, uliopo na ujao ili kukuza mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi kwa kutumia nyakati hizo na kujadiliana na wenzake wakiwa wawili wawili au katika kikundi
- Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji katika wakati uliopita, uliopo na ujao kuhusu utatuzi wa mizozo
- Kushirikiana na wenzake kuwatumia sentensi kupitia vifaa vya kidijitali
Ni nyakati gani zinazoathiri ukanushaji?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 144
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kadi maneno
Kutunga sentensi za ukanushaji Kubadilisha nyakati Kushirikiana kutumia vifaa vya kidijitali
4

Mid-term assessments

5 1
MATUMIZI YA PESA

Kusikiliza na Kuzungumza
Lugha katika Nyimbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo
- Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule
- Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika nyimbo kama utungo wa fasihi simulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vya lugha kama vile urudiaji, nahau, methali na maneno yasiyokuwa na maana kwa kusikiliza nyimbo kuhusu matumizi ya pesa
- Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vilivyotumika katika nyimbo walizosikiliza akiwa na wenzake
- Kutunga wimbo unaohusiana na matumizi ya pesa akizingatia vipengele vya lugha katika nyimbo
Nyimbo hutumia vipengele gani vya lugha?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 147
Kinasasauti
Nyimbo kuhusu pesa
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vipengele vya lugha Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha Kutunga wimbo
5 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Lugha katika Nyimbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo
- Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule
- Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika nyimbo kama utungo wa fasihi simulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo mtakayoimbiwa na mwalimu na kuimba wimbo mliosikiliza
- Kutambua mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo mliosikiliza
- Kujadili umuhimu wa vipengele vya mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo
- Kushirikiana na mwenzake kutunga wimbo unaohusu matumizi ya pesa na kuimbeni wimbo wenu huku mkijirekodi kwenye kinasasauti
Kutumia vipengele mbalimbali vya lugha katika wimbo kuna umuhimu gani?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 154
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
Kutambua mbinu za lugha Kutunga wimbo Kujirekodi
5 3
Kusoma
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala
- Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala
- Kuandika habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi
- Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala
- Kuridhia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala cha ufahamu 'Mla Leo' kuhusu matumizi ya pesa
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala cha ufahamu
- Kutambua msamiati mpya kuhusu matumizi ya pesa katika kifungu cha mjadala
- Kuandika habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi
Kwa nini tunasoma ufahamu?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 149
Kifungu 'Mla Leo'
Kamusi
Matini ya mwalimu
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 154
Kifungu 'Uwekezaji bora'
Kusoma kifungu cha mjadala Kudondoa habari mahususi Kuandika ufupisho
5 4
Kuandika
Insha ya Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua aina za insha za maelekezo
- Kujadili sifa za insha ya maelekezo
- Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo
- Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele muhimu vya insha ya maelekezo
- Kufurahia kutoa maelekezo ifaavyo katika maisha ya kila siku akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma maelekezo ya 'Karibu nyumbani kwetu' na kubainisha sifa za insha ya maelekezo
- Kutambua aina za insha za maelekezo na kujadili aina mbalimbali za insha za maelekezo
- Kushirikiana na mwenzake katika kikundi kujadili mpangilio unaofaa wa hatua za kuelekeza
- Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo
Utatumia mpangilio gani wa kumwelekeza mtu asipoteze njia?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 152
Mifano ya insha za maelekezo
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kutambua aina za insha za maelekezo Kujadili mpangilio wa hatua Kuandaa mpangilio
6 1
Kuandika
Insha ya Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua aina za insha za maelekezo
- Kujadili sifa za insha ya maelekezo
- Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo
- Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele muhimu vya insha ya maelekezo
- Kufurahia kutoa maelekezo ifaavyo katika maisha ya kila siku akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelekezo kwenye tarakilishi akizingatia anwani na mpangilio mwafaka wa hatua
- Kuwasambazie wenzake insha aliyoandika kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelekezo aliyoandika akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua
Ni hatua gani za kuandika insha ya maelekezo?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 158
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kuandika insha ya maelekezo Kusambaza kazi kwenye mtandao Kusahihisha insha
6 2
Sarufi
Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa katika matini
- Kutambua viambishi vya ukubwa katika nomino
- Kutumia nomino katika hali ya ukubwa ipasavyo
- Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa kama vile jitu, joka, jiji, kapu, goma kwenye orodha ya nomino, chati, kadi maneno
- Kutambua viambishi vya ukubwa katika maneno akiwa peke yake au katika kikundi
- Kuandika majina ya vifaa vya darasani katika ukubwa
- Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya ukubwa kwa usahihi
Unazingatia nini unapoandika nomino katika ukubwa?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 151
Kadi maneno
Chati
Matini ya mwalimu
Vifaa vya darasani
Kutambua nomino za ukubwa Kutambua viambishi vya ukubwa Kuambatanisha nomino
6 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ukubwa wa Nomino
Kusikiliza Habari na Kujibu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa katika matini
- Kutambua viambishi vya ukubwa katika nomino
- Kutumia nomino katika hali ya ukubwa ipasavyo
- Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kubadilisha nomino za hali ya wastani ziwe katika hali ya ukubwa akiwa peke yake au katika kikundi
- Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya ukubwa kuhusu matumizi ya pesa na kuwasilisha darasani ili wenzake wazitathmini
- Kumtajia mzazi au mlezi majina ya vifaa vya nyumbani katika ukubwa na kutunga sentensi
Ni vigezo gani vya kutumia nomino katika ukubwa?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 156
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kadi maneno
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 159
Kinasasauti
Kubadilisha nomino Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa Kutathmini sentensi za wenzake
6 4
MAADILI YA MTU BINAFSI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza Habari na Kujibu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua masuala katika matini aliyosikiliza
- Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini aliyosikiliza
- Kutabiri yatakayotokea katika matini kutokana na vidokezo alivyosikia katika habari
- Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza
- Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana za msamiati wa maadili ya mtu binafsi kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza
- Kusikiliza matini kuhusu maadili ya mtu binafsi kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kufasiri wazo kuu
- Kusikiliza habari kwenye vifaa vya kidijitali kuhusu maadili ya mtu binafsi
- Kushirikiana na mzazi au mlezi kutafiti kwenye tovuti salama kuhusu maadili ya mtu binafsi
Ni njia gani za kufasiri ujumbe katika habari?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 164
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
Kueleza maana za msamiati Kufasiri wazo kuu Kushirikiana na mzazi
7 1
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja
- Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja
- Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa
- Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kuhusu maadili ya mtu binafsi
- Kueleza kwa usahihi ujumbe katika kila aya kwa kutumia sentensi mojamoja
- Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja
- Kujadili katika kikundi kuhusu jinsi ya kuandika ufupisho wa matini
Ni mambo gani yanayokusaidia kuandika ufupisho?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 160
Kifungu kuhusu maadili
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kifungu Kueleza ujumbe wa aya Kujadili jinsi ya kuandika ufupisho
7 2
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja
- Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja
- Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa
- Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu 'Adili' kuhusu maadili ya mtu binafsi
- Kueleza ujumbe unaopatikana katika kila aya ya kifungu kwa sentensi mojamoja
- Kueleza ujumbe unaopatikana katika aya zote za kifungu kwa aya moja
- Kujadili namna ya kuandika ufupisho wa matini
Ni hatua gani za kuandika ufupisho?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 165
Kifungu 'Adili'
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kifungu cha 'Adili' Kueleza ujumbe wa kifungu Kujadili hatua za kuandika ufupisho
7 3
Kuandika
Kuandika Kidijitali - Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki
- Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki
- Kuandika baruapepe kwa rafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
- Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe kwa rafiki
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma baruapepe na kutambua ujumbe katika barua hiyo
- Kutambua na kujadili ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki
- Kujadili vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki vinavyojitokeza kwenye barua
- Kushiriki katika kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki
Je, utazingatia nini unapoandika barua pepe kwa rafiki yako?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 163
Mfano wa baruapepe
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 167
Kusoma baruapepe Kutambua ujumbe na muundo Kujadili lugha inayofaa
7 4
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana za usemi halisi na usemi wa taarifa
- Kutambua kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo
- Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana za usemi halisi na usemi wa taarifa akiwa peke yake au wawiliwawili
- Kutambua kanuni za kimsingi za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- Kutungia wenzake katika kikundi sentensi sahili za usemi halisi na usemi wa taarifa akizingatia maadili ya mtu binafsi
- Kumsomea mwenzake sentensi sahili alizotunga za usemi halisi na usemi wa taarifa
Ni kwa usemi gani tunaweza kuwasilisha ujumbe?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 161
Mifano ya sentensi za usemi halisi na wa taarifa
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kueleza maana za usemi halisi na wa taarifa Kutambua kanuni za kubadilisha usemi Kutunga sentensi
8

End term assessment

9

School Closing

10 1
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana za usemi halisi na usemi wa taarifa
- Kutambua kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo
- Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kubadilisha sentensi sahili kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi
- Kushirikiana na wenzake kutunga na kutathmini sentensi sahili za usemi halisi na usemi wa taarifa
- Kutunga sentensi sahili katika usemi halisi na usemi wa taarifa kwenye kipakatalishi kuhusu maadili ya mtu binafsi
Je, ni mambo gani unayazingatia wakati wa kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 166
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Mifano ya sentensi
Kubadilisha usemi Kushirikiana kutunga sentensi Kutathmini sentensi za wenzake

Your Name Comes Here


Download

Feedback