Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SABA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 2
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /d/ na /nd/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sauti /d/ na /nd/ katika silabi na maneno
- Kutamka sauti /d/ na /nd/ ipasavyo
- Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /d/ na /nd/ katika mazungumzo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /d/ na /nd/ katika maneno na silabi
- Kutafuta maneno yenye sauti /d/ na /nd/ katika matini
- Kutunga vitanzandimi vinavyotumia sauti /d/ na /nd/
Ni maneno yepi unayoyajua yaliyo na sauti /d/ na /nd/?
LMK uk. 95
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Tarakilishi
Kutambua sauti sahihi Kutamka ipasavyo Kuunda vitanzandimi
1 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /d/ na /nd/
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutamka maneno yenye sauti /d/ na /nd/ ipasavyo
- Kuunda vitanzandimi vyenye sauti /d/ na /nd/
- Kuchangamkia matamshi bora ya sauti hizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutofautisha maneno yenye sauti /d/ na /nd/ katika vitanzandimi
- Kutunga vitanzandimi vyenye maneno yenye sauti /d/ na /nd/
- Kujirekodi na kusikiliza vitanzandimi walivyounda
Ni maneno yepi unayoyajua yaliyo na sauti /d/ na /nd/?
LMK uk. 101
Simu
Rununu
Vitabu vya hadithi
Nyota ya Kiswahili uk. 97
Kamusi
Matini ya kushawishi
Kutamka ipasavyo Kuunda vitanzandimi Kutathmini vitanzandimi
1 4
Kusoma
Kuandika
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua msamiati wa teknolojia
- Kuchangamkia usomaji wa ufahamu
- Kuridhia kusoma vifungu vya kushawishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya teknolojia shuleni
- Kutambua msamiati wa teknolojia
- Kuwawasilishia wenzake kifungu alichofupisha
Kifungu cha kushawishi kina sifa gani?
LMKuk. 103
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Nyota ya Kiswahili uk. 100
Tarakilishi
Mifano ya insha
Kujibu maswali Kuandika ufupisho Kuwasilisha kazi
2 1
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni - Masimulizi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya masimulizi
- Kufurahia utunzi wa insha za masimulizi
- Kusahihisha insha za wenzake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya masimulizi inayogusia matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kuwasambazie wenzake insha aliyoandika
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya masimulizi
Ni sehemu gani kuu katika mpangilio wa matukio ya insha ya masimulizi?
LMK uk. 105
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Nyota ya Kiswahili uk. 98
Chati
Kadi maneno
Kuandika insha Kusambazie kazi Kusahihisha insha
2 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya LI-YA
Nyimbo za Kazi
Nyimbo za Dini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi
- Kutumia ipasavyo upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kadi maneno
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA
- Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi wa nomino za ngeli ya LI-YA
Utajuaje kama matini inazingatia kanuni za kisarufi?
LMK uk. 104
Chati
Kadi maneno
Tarakilishi
LMK uk. 107
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Picha za mazingira
LMK uk. 113
Simu
Vitabu vya nyimbo
Kutambua nomino za ngeli Kutunga sentensi sahihi Kufanyiana tathmini
2 3
KUJITHAMINI

Kusoma
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua wahusika katika novela
- Kujadili sifa za wahusika katika novela
- Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kutambua wahusika katika novela
- Kujadili sifa za wahusika katika novela
- Kuigiza wahusika katika novela
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
LMK uk. 109
Novela iliyoteuliwa
Video za wahusika
Vifaa vya kidijitali
LMK uk. 114
Video za uchambuzi
Kutambua wahusika Kuandaa muhtasari Kuigiza wahusika
2 4
Kuandika
Barua ya Kuomba Msamaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza umuhimu wa kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha?
LMK uk. 111
Mifano ya barua
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Nyota ya Kiswahili uk. 116
Kutambua vipengele Kuandika barua Kuwasilisha barua
3 1
Sarufi
Vinyume vya Maneno - Nomino
Vinyume vya Maneno - Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza dhana ya kinyume cha maneno
- Kutambua vinyume vya nomino na vivumishi
- Kutumia vinyume vya nomino na vivumishi katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maana ya kinyume cha maneno
- Kutambua vinyume vya nomino katika mti maneno
- Kuambatanisha nomino na vinyume vyake
- Kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya nomino
Je, dhana ya vinyume vya nomino ina maana gani?
LMK uk. 110
Mti maneno
Kadi za nomino
Tarakilishi
LMK uk. 115
Kadi maneno
Sentensi za mifano
Kutambua vinyume Kutunga sentensi Kufanyiana tathmini
3 2
MAJUKUMU YA WATOTO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kujadili vitendo au ishara vya kuambatanisha na mazungumzo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kuigiza jinsi ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
Ni vitendo gani tunatumia tunapozungumza?
LMK uk. 117
Video za mazungumzo
Vifaa vya kidijitali
LMK uk. 122
Rununu
LMK uk. 118
Makala mbalimbali
Kamusi
Kuigiza mazungumzo Kutambua vipengele Kushiriki mazungumzo
3 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Mapana
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku
- Kusakura mtandaoni kujichagulia matini ya ziada
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika muhtasari wa makala ya kujichagulia aliyosoma
- Kuwawasilishia wenzake muhtasari wake
- Kusakura mtandaoni ili kujichagulia matini ya ziada kuhusu majukumu ya watoto
Unazingatia nini unapochagua matini ya kujisomea?
LMK uk. 123
Matini mbalimbali
Mtandao
Vifaa vya kidijitali
LMK uk. 121
Mifano ya insha
Tarakilishi
Vidokezo vya insha
Kuandika muhtasari Kuwasilisha kazi Kusakura mtandaoni
3 4
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni - Maelezo
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao
- Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao wa maelezo
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
LMK uk. 125
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
LMK uk. 119
Kapu maneno
Jedwali la vitenzi
Kuandika insha Kuwasilisha kazi Kusahihisha insha
4 1
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendwa
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa ipasavyo
- Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kutenga vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kugeuza vitenzi katika jedwali katika kauli zinazoangaziwa
- Kutunga kifungu kuhusu majukumu ya watoto
Ni kauli gani za vitenzi unazozijua?
LMK uk. 124
Tarakilishi
Kadi maneno
Jedwali la vitenzi
LMK Gredi ya Saba uk. 127
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
Kutambua vitenzi Kutenga vitenzi Kutunga kifungu
4 2
MAGONJWA AMBUKIZI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Makini
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza
- Kuwasilisha hoja muhimu katika habari
- Kujenga mazoea ya kutambua hoja katika habari anayosikiliza ili kuimarisha usikilizaji wa makini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza habari kwenye kinasasauti jinsi atakavyoongozwa na mwalimu
- Kutafiti mtandaoni kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya magonjwa yanayoambukizwa
- Kuwawasilishie wenzake hoja muhimu alizotatmbua katika utafiti wake
Unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika habari uliyosikiliza?
LMK Gredi ya Saba uk. 132
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
LMK Gredi ya Saba uk. 128
Video
Kutambua hoja muhimu Kuwasilisha utafiti Kutoa maoni
4 3
Kusoma
Kuandika
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Hotuba ya Kupasha Habari
Hotuba ya Kupasha Habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
- Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
- Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo na kasi ifaayo
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa
- Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni
- Kumsomea mzazi au mlezi makala akizingatia vipengele vya usomaji bora
Ni vipengele gani vya kusoma kwa ufasaha?
LMK Gredi ya Saba uk. 133
Kifungu kuhusu magonjwa
Matini ya mwalimu
LMK Gredi ya Saba uk. 129
Mifano ya hotuba
Vifaa vya kidijitali
LMK Gredi ya Saba uk. 136
Tarakilishi
Kusoma kwa ufasaha Kutumia ishara zifaazo Kutathmini usomaji wa wenzake
4 4
Sarufi
Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya sentensi sahili na ambatano
- Kutambua sentensi sahili na ambatano katika matini
- Kutunga sentensi sahili na ambatano ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili na ambatano katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya sentensi sahili na sentensi ambatano akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kutenga sentensi sahili na ambatano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi
- Kutaja sentensi sahili na ambatano zinazojitokeza katika vifungu
Ni aina gani za sentensi unazozijua?
LMK Gredi ya Saba uk. 129
Chati
Kadi maneno
Matini ya mwalimu
Tarakilishi
LMK Gredi ya Saba uk. 135
Vifaa vya kidijitali
Kutambua aina za sentensi Kutenga sentensi sahili na ambatano Kutunga sentensi
5 1
UTATUZI WA MIZOZO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Wahusika katika Nyimbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua wahusika katika wimbo
- Kuchambua wahusika katika wimbo
- Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika wimbo
- Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika nyimbo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kutambua wahusika katika wimbo aliosikiliza
- Kuchambua akiwa na wenzake wahusika katika wimbo anaosikiliza
- Kuimba au kusikiliza wimbo katika vifaa vya kidijitali kuhusu utatuzi wa mizozo
Je, ni wahusika gani katika wimbo?
LMK Gredi ya Saba uk. 137
Kinasasauti
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Nyimbo za utatuzi wa mizozo
LMK Gredi ya Saba uk. 142
Kutambua wahusika Kuchambua wahusika Kuimba nyimbo
5 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi
- Kutambua mbinu za lugha katika novela
- Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela
- Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kutambua mbinu za lugha kama vile tashbihi, sitiari, nahau, methali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela
- Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake na kutoa maoni
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu?
LMK Gredi ya Saba uk. 139
Novela iliyoteuliwa
Matini ya mwalimu
Kamusi
LMK Gredi ya Saba uk. 143
Vifaa vya kidijitali
Kutambua mbinu za lugha Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha Kuhakiki uwasilishaji
5 3
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni - Maelezo
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo
- Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mtu
- Kuchangamkia kutoa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua dhana ya insha ya maelezo akiwa peke yake au katika kikundi
- Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo akiwa na wenzake katika kikundi
- Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo
- Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu sura na matendo ya mtu
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
LMK Gredi ya Saba uk. 141
Mifano ya insha za maelezo
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
LMK Gredi ya Saba uk. 145
Tarakilishi
LMK Gredi ya Saba uk. 140
Chati za nyakati
Mti maneno
Kutambua insha ya maelezo Kuandaa vidokezo Kujadiliana kuhusu mada
5-6

MID TERM BREAK

6 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati
Lugha katika Nyimbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukanushaji
- Kutambua nyakati katika matini
- Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini
- Kutumia ipasavyo hali ya ukanushaji wa wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini
- Kuchangamkia kukanusha sentensi katika wakati uliopita, uliopo na ujao ili kukuza mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi kwa kutumia nyakati hizo na kujadiliana na wenzake wakiwa wawili wawili au katika kikundi
- Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji katika wakati uliopita, uliopo na ujao kuhusu utatuzi wa mizozo
- Kushirikiana na wenzake kuwatumia sentensi kupitia vifaa vya kidijitali
Ni nyakati gani zinazoathiri ukanushaji?
LMK Gredi ya Saba uk. 144
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kadi maneno
LMK Gredi ya Saba uk. 147
Kinasasauti
Nyimbo kuhusu pesa
Kutunga sentensi za ukanushaji Kubadilisha nyakati Kushirikiana kutumia vifaa vya kidijitali
6 3
MATUMIZI YA PESA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Lugha katika Nyimbo
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo
- Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule
- Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika nyimbo kama utungo wa fasihi simulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo mtakayoimbiwa na mwalimu na kuimba wimbo mliosikiliza
- Kutambua mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo mliosikiliza
- Kujadili umuhimu wa vipengele vya mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo
- Kushirikiana na mwenzake kutunga wimbo unaohusu matumizi ya pesa na kuimbeni wimbo wenu huku mkijirekodi kwenye kinasasauti
Kutumia vipengele mbalimbali vya lugha katika wimbo kuna umuhimu gani?
LMK Gredi ya Saba uk. 154
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
LMK Gredi ya Saba uk. 149
Kifungu 'Mla Leo'
Kamusi
Kutambua mbinu za lugha Kutunga wimbo Kujirekodi
6 4
Kusoma
Kuandika
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Insha ya Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala
- Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala
- Kuandika habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi
- Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala
- Kuridhia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu 'Uwekezaji bora' kuhusu matumizi ya pesa
- Kuchambua mitazamo iliyo katika kifungu cha ufahamu cha mjadala
- Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni
- Kutathmini kazi ya wenzake kwa upendo
- Kubainisha tofauti na mifanano ya maoni baina ya wahusika
Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
LMK Gredi ya Saba uk. 154
Kifungu 'Uwekezaji bora'
Kamusi
Matini ya mwalimu
LMK Gredi ya Saba uk. 152
Mifano ya insha za maelekezo
Vifaa vya kidijitali
Kuchambua mitazamo Kuwasilisha kazi Kutathmini kazi za wenzake
7 1
Kuandika
Sarufi
Sarufi
Insha ya Maelekezo
Ukubwa wa Nomino
Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua aina za insha za maelekezo
- Kujadili sifa za insha ya maelekezo
- Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo
- Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele muhimu vya insha ya maelekezo
- Kufurahia kutoa maelekezo ifaavyo katika maisha ya kila siku akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelekezo kwenye tarakilishi akizingatia anwani na mpangilio mwafaka wa hatua
- Kuwasambazie wenzake insha aliyoandika kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelekezo aliyoandika akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua
Ni hatua gani za kuandika insha ya maelekezo?
LMK Gredi ya Saba uk. 158
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
LMK Gredi ya Saba uk. 151
Kadi maneno
Chati
Vifaa vya darasani
LMK Gredi ya Saba uk. 156
Kuandika insha ya maelekezo Kusambaza kazi kwenye mtandao Kusahihisha insha
7 2
MAADILI YA MTU BINAFSI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza Habari na Kujibu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua masuala katika matini aliyosikiliza
- Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini aliyosikiliza
- Kutabiri yatakayotokea katika matini kutokana na vidokezo alivyosikia katika habari
- Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza
- Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua masuala yanayoshughulikiwa katika matini kuhusu maadili ya mtu binafsi aliyosikiliza
- Kutambua msamiati wa maadili ya mtu binafsi uliotumika katika matini alizosikiliza
- Kutabiri kitakachotokea au atakachofanya mhusika kutoka kwenye matini aliyosikiliza kwa kuzingatia vidokezo
Je, ni mambo gani yanayokuelekeza kufasiri suala muhimu katika habari unayosikiliza?
LMK Gredi ya Saba uk. 159
Kinasasauti
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
LMK Gredi ya Saba uk. 164
Kutambua masuala Kutambua msamiati Kutabiri matukio
7 3
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja
- Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja
- Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa
- Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kuhusu maadili ya mtu binafsi
- Kueleza kwa usahihi ujumbe katika kila aya kwa kutumia sentensi mojamoja
- Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja
- Kujadili katika kikundi kuhusu jinsi ya kuandika ufupisho wa matini
Ni mambo gani yanayokusaidia kuandika ufupisho?
LMK Gredi ya Saba uk. 160
Kifungu kuhusu maadili
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
LMK Gredi ya Saba uk. 165
Kifungu 'Adili'
Kusoma kifungu Kueleza ujumbe wa aya Kujadili jinsi ya kuandika ufupisho
7 4
Kuandika
Kuandika Kidijitali - Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki
- Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki
- Kuandika baruapepe kwa rafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
- Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe kwa rafiki
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma baruapepe na kutambua ujumbe katika barua hiyo
- Kutambua na kujadili ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki
- Kujadili vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki vinavyojitokeza kwenye barua
- Kushiriki katika kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki
Je, utazingatia nini unapoandika barua pepe kwa rafiki yako?
LMK Gredi ya Saba uk. 163
Mfano wa baruapepe
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 167
Kusoma baruapepe Kutambua ujumbe na muundo Kujadili lugha inayofaa
8 1
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana za usemi halisi na usemi wa taarifa
- Kutambua kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo
- Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana za usemi halisi na usemi wa taarifa akiwa peke yake au wawiliwawili
- Kutambua kanuni za kimsingi za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- Kutungia wenzake katika kikundi sentensi sahili za usemi halisi na usemi wa taarifa akizingatia maadili ya mtu binafsi
- Kumsomea mwenzake sentensi sahili alizotunga za usemi halisi na usemi wa taarifa
Ni kwa usemi gani tunaweza kuwasilisha ujumbe?
LMK Gredi ya Saba uk. 161
Mifano ya sentensi za usemi halisi na wa taarifa
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
LMK Gredi ya Saba uk. 166
Mifano ya sentensi
Kueleza maana za usemi halisi na wa taarifa Kutambua kanuni za kubadilisha usemi Kutunga sentensi
9-10

END TERM EXAMS AND CLOSING


Your Name Comes Here


Download

Feedback