If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
5 | 5-4 |
HAKI ZA KIBINADAMU
Sarufi |
Mnyambuliko wa vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini, -kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari
-Kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake -Kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake -Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha watoe maoni yao |
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 170 |
Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha
|
|
5-4 |
no break |
||||||||
5 | 1 |
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza habari katika matini ya kusikiliza, -kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza. |
- Kushirikiana na wenzake kueleza hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza akiwa na wenzake |
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178 |
Kueleza habari katika matini ya kusikiliza
|
|
5 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza

5 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuchanganua mitazamo na maoni katika kifungu cha kusikiliza, -kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza. |
- Kujadili mitazamo na maoni katika kifungu cha kusikiliza akiwa na wenzake katika kikundi
-Kushirikisha mzazi, mlezi au mwenzake kusikiliza kifungu kutoka kifaa cha kidijitali na kujadili mitazamo katika kifungu hicho |
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178 |
Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha kusikiliza
|
|
5 | 4 |

5 | 5 |

6 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, -kusoma kifungu kwa kasi ifaayo, -kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo. |
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala akiwa na wenzake -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora -Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa -Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180 |
Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo
|
|
6 | 2 |

6 | 3 |
Kusoma
Kuandika Kuandika Sarufi |
Kusoma kwa Ufasaha
Hotuba ya kushawishi Hotuba ya kushawishi Aina za sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo, -kujenga mazoea ya kusoma vifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji matini ufaao ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa akiwa na wenzake katika kikundi
-Kuwasomea wenzake matini mbalimbali vitabuni au katika vifaa vya kidijitali akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili watoe maoni yao -Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake kifungu akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili amtolee maoni |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180 -Ukurasa 182 -Ukurasa 185 |
Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
|
|
6 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Aina za sentensi
Mazungumzo Mawaidha Mazungumzo Mawaidha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata, -kujenga ujuzi wa kuchanganua maana mbalimbali katika sentensi tata ili kufasiri habari kikamilifu. |
- Kutolea wenzake maana tofauti za sentensi tata alizozitambua
-Kutunga sentensi tata kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha -Kuwasilisha darasani sentensi tata alizotunga ili wenzake wazitolee maoni kwa heshima na upendo -Kumtungia mzazi au mlezi wake sentensi tata zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani |
Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 185 MENTOR -Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 104 -Kifaa cha kidijitali -Kinasa sauti -Kapu maneno -Mgeni mwalikwa -Chati |
Kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata
|
|
6 | 5 |
MSHIKAMANO WA KIJAMII
Kusoma Kusoma Kuandika |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Insha za Kubuni - Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua mbinu za lugha katika fasihi -Kuchanganua matumizi ya lugha katika mashairi -Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi |
-Kutambua mbinu za lugha akiwa na wenzake katika kikundi
-Kujadili mbinu za lugha kwa mujibu wa mashairi aliyosoma akishirikiana na wenzake katika kikundi -Kutunga shairi jepesi (lisilozidi beti tatu) kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha akishirikiana na wenzake na kuliwasilisha darasani |
Matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimi gani kwa msomaji?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 106 -Tarakilishi -Mtandao -Kamusi -Chati za mashairi -Uk wa: 108 -Vielelezo vya insha -Chati |
-Kutambua mbinu za lugha katika fasihi
-Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi
|
|
7 | 1 |
Kuandika
Sarufi Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Maelezo
Ukanushaji Ukanushaji Mawaidha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali akizingatia vipengele vyake -Kufurahia kutunga insha za maelezo kuhusu hali |
-Kuandika insha ya maelezo inayohusu hali kutumia tarakilishi akizingatia vipengele vyake
-Kusomea au kumtumia mwenzake insha ya maelezo inayohusu hali kupitia mtandao ili kuitathmini -Kumsomea mzazi au mlezi wake insha ya maelezo kuhusu hali aliyoandika ili atoe maoni |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo kuhusu hali?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 108 -Tarakilishi -Mtandao -Vielelezo vya insha -Uk wa: 110 -Chati za sentensi -Kapu maneno -Kadi -Orodha ya sentensi -Chati -Uk wa: 112 -Kifaa cha kidijitali -Kinasa sauti |
-Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali akizingatia vipengele vyake
|
|
7 | 2 |
MATUMIZI YA USHURU
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma |
Mawaidha
Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo -Kuonea fahari utoaji wa mawaidha katika maisha ya kila siku |
-Kutoa mawaidha kwa mwenzake yanayohusiana na matumizi ya ushuru akizingatia vipengele mbalimbali vya lugha
-Kusikiliza mawaidha yakitolewa na mzazi au mlezi wake na kutambua vipengele vya lugha katika mawaidha hayo -Kusakura mtandaoni na kusikiliza mawaidha mbalimbali kisha atambue vipengele vya lugha katika mawaidha hayo |
Unazingatia nini unapotoa mawaidha?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 112 -Kifaa cha kidijitali -Mgeni mwalikwa -Chati -Uk wa: 114 -Tarakilishi -Mtandao -Kamusi -Kitabu cha Mwanafuni |
-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo
|
|
7 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Udogo na Ukubwa wa Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili umuhimu wa shajara -Kueleza aina za shajara ili kuzibainisha |
-Kujadili umuhimu wa shajara
-Kutafiti maktabani au mtandaoni aina za shajara -Kujadili na mwenzake aina za shajara alizozitafiti |
Unazingatia nini unapoandika shajara?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 116 -Vielelezo vya shajara -Kamusi -Chati -Gredi ya Tisi -Tarakilishi -Mtandao -Uk wa: 118 -Kapu maneno -Kadi |
-Kujadili umuhimu wa shajara
-Kueleza aina za shajara ili kuzibainisha
|
|
7 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Kusikiliza kwa Kutathmini Kusikiliza kwa Kutathmini Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchangamkia kutumia kwa ufasaha nomino katika hali ya udogo na ukubwa ili kufanikisha mawasiliano |
-Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya udogo na ukubwa kwa usahihi kwenye chati za maneno akishirikiana na wenzake
-Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo au ukubwa -Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi ya ushuru akishirikiana na wenzake -Kumtajia mzazi au mlezi wake majina ya vifaa vya nyumbani katika udogo na ukubwa katika, mazingira ya nyumbani |
Ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 118 -Orodha ya nomino -Tarakilishi -Chati MENTOR -Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 120 -Uk. 122 |
-Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa
|
|
7 | 5 |
MAADILI YA KITAIFA
Kusoma Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi |
Ufupisho
Kujibu Baruapepe Kujibu Baruapepe Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali |
-Kusoma matini mbalimbali zikiwemo za mtandaoni na kufupisha habari -Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake habari aliyoifupisha |
Ufupisho una umuhimu gani katika uelewa wa habari?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 122 -Uk. 124 -Uk. 126 |
Kufupisha habari kutoka vyanzo mbalimbali
|
Your Name Comes Here