If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo: Malumbano ya utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya malumbano ya utani kama kipera cha mazungumzo, -kujadili sifa za malumbano ya utani, -kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani. |
- Kueleza maana ya malumbano ya utani akiwa na mwenzake
-Kujadili sifa za malumbano ya utani akishirikiana na wenzake katika kikundi -Kutambua vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa malumbano ya utani -Kusikiliza malumbano ya utani katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa au mwalimu na kutambua vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji |
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152 |
Kutambua sifa za malumbano ya utani
|
|
1 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Mazungumzo: Malumbano ya utani
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji, -kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji. |
- Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wake
-Kuwaeleza wenzake namna ya kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji -Kumweleza mzazi au mlezi jinsi ya kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji |
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152 -Ukurasa 155 |
Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi
|
|
1 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika, -kujenga mazoea ya kuchambua wahusika katika mashairi ili kuimarisha uwazaji wa kina. |
- Kuchambua shairi na kutaja sifa za wahusika kutokana na sura au umbo
-Kuigiza wahusika katika mashairi akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao -Kumsomea mzazi au mlezi wake shairi na kujadiliana naye kuhusu wahusika |
Ni wahusika aina gani waliopo katika mashairi uliyowahi kusoma?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 155 |
Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika
|
|
1 | 4 |
Kuandika
|
Barua ya kuomba kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi, -kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi. |
- Kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
-Kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi akiwa na wenzake -Kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba kazi kwa kujadiliana na mwenzake -Kutambua na kutumia lugha inayofaa kwa uandishi wa barua rasmi ya kuomba kazi kwa kujadili na wenzake -Kujadili kwa madhumuni ya kufahamu muundo wa barua rasmi ya kuomba kazi |
Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 157 |
Kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi
|
|
2 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Barua ya kuomba kazi
Vinyume vya vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia vipengele vyake, -kujenga mazoea ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi ipasavyo. |
- Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi kwenye tarakilishi na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake namna ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi |
Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 157 -Ukurasa 159 |
Kuandika barua ya kuomba kazi kwa kuzingatia vipengele vyake
|
|
2 | 2 |
Sarufi
|
Vinyume vya vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika matini, -kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo vinyume vya vihusishi. |
- Kutunga sentensi kuonyesha matumizi ya vinyume vya vihusishi akishirikiana na wenzake
-Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zenye vihusishi na vinyume vyake vinavyotokea katika mazingira ya nyumbani |
1. Ni vihusishi gani unavyovijua?
-2. Ni mambo gani yanayoonyeshwa na vinyume vya vihusishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 159 |
Kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika matini
|
|
2 | 3 |
HAKI ZA KIBINADAMU
Sarufi |
Mnyambuliko wa vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini, -kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari
-Kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake -Kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake -Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha watoe maoni yao |
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 170 |
Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha
|
|
2 | 4 |
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza habari katika matini ya kusikiliza, -kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza. |
- Kushirikiana na wenzake kueleza hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza akiwa na wenzake |
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178 |
Kueleza habari katika matini ya kusikiliza
|
|
3 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Ufahamu wa kusikiliza
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuchanganua mitazamo na maoni katika kifungu cha kusikiliza, -kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza. |
- Kujadili mitazamo na maoni katika kifungu cha kusikiliza akiwa na wenzake katika kikundi
-Kushirikisha mzazi, mlezi au mwenzake kusikiliza kifungu kutoka kifaa cha kidijitali na kujadili mitazamo katika kifungu hicho |
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178 -Ukurasa 180 |
Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha kusikiliza
|
|
3 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo, -kujenga mazoea ya kusoma vifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji matini ufaao ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa akiwa na wenzake katika kikundi
-Kuwasomea wenzake matini mbalimbali vitabuni au katika vifaa vya kidijitali akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili watoe maoni yao -Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake kifungu akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili amtolee maoni |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180 |
Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
|
|
3 | 3 |
Kuandika
|
Hotuba ya kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kuitofautisha na aina nyingine za hotuba, -kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi. |
- Kueleza maana ya hotuba ya kushawishi akishirikiana na wenzake
-Kutambua hotuba ya kushawishi katika matini -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi akiwa na wenzake -Kusoma kielelezo cha hotuba ya kushawishi na kujadili vipengele vilivyotumiwa katika hotuba hiyo akiwa na wenzake -Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kushawishi |
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182 |
Kutambua vipengele vya hotuba ya kushawishi
|
|
3 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Hotuba ya kushawishi
Aina za sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuandika hotuba ya kushawishi akizingatia vipengele vifaavyo, -kuchangamkia kuandika ipasavyo hotuba ya kushawishi. |
- Kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa akitumia vidokezo walivyovijadili
-Kuwasomea wenzake hotuba yake au kumsambazia kupitia mtandao ili waitolee maoni |
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182 -Ukurasa 185 |
Kuandika hotuba ya kushawishi
|
|
4 | 1 |
Sarufi
|
Aina za sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata, -kujenga ujuzi wa kuchanganua maana mbalimbali katika sentensi tata ili kufasiri habari kikamilifu. |
- Kutolea wenzake maana tofauti za sentensi tata alizozitambua
-Kutunga sentensi tata kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha -Kuwasilisha darasani sentensi tata alizotunga ili wenzake wazitolee maoni kwa heshima na upendo -Kumtungia mzazi au mlezi wake sentensi tata zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani |
Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 185 |
Kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata
|
|
4 | 2 |
MSHIKAMANO WA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya mawaidha -Kujadili ujumbe na sifa za mawaidha ya kifasihi -Kueleza vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha -Kutambua washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi -Kuchangamkia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika tungo za fasihi simulizi |
-Kueleza maana ya mawaidha akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kujadili ujumbe wa mawaidha ya kifasihi akishirikiana na wenzake katika kikundi -Kujadili na wenzake sifa za mawaidha ya kifasihi -Kueleza vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha -Kutambua washiriki (fanani, hadhira) katika mawaidha anayosikiliza |
Mawaidha hushirikisha kina nani?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 104 -Kifaa cha kidijitali -Kinasa sauti -Kapu maneno |
-Kutambua washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi
-Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
|
|
4 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi -Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji -Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika tungo za fasihi simulizi |
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha anayosikiliza kutoka kwa vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au mwalimu akiwa na wenzake
-Kutunga mawaidha kuhusu suala lengwa na kuwawasilishia wenzake darasani -Kusikiliza mawaidha atakayotolewa na mzazi au mlezi wake |
Mawaidha hushirikisha kina nani?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 104 -Kifaa cha kidijitali -Mgeni mwalikwa -Chati |
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha anayosikiliza
-Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
|
|
4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua mbinu za lugha katika fasihi -Kuchanganua matumizi ya lugha katika mashairi -Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi |
-Kutambua mbinu za lugha akiwa na wenzake katika kikundi
-Kujadili mbinu za lugha kwa mujibu wa mashairi aliyosoma akishirikiana na wenzake katika kikundi -Kutunga shairi jepesi (lisilozidi beti tatu) kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha akishirikiana na wenzake na kuliwasilisha darasani |
Matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimi gani kwa msomaji?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 106 -Tarakilishi -Mtandao -Kamusi -Chati za mashairi |
-Kutambua mbinu za lugha katika fasihi
-Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi
|
|
5 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali -Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali |
-Kujadili dhana ya insha ya maelezo kuhusu hali akiwa na mwenzake
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali -Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali katika kielelezo cha insha akiwa na wenzake |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo kuhusu hali?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 108 -Vielelezo vya insha -Kamusi -Chati |
-Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali
|
|
5 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali akizingatia vipengele vyake -Kufurahia kutunga insha za maelezo kuhusu hali |
-Kuandika insha ya maelezo inayohusu hali kutumia tarakilishi akizingatia vipengele vyake
-Kusomea au kumtumia mwenzake insha ya maelezo inayohusu hali kupitia mtandao ili kuitathmini -Kumsomea mzazi au mlezi wake insha ya maelezo kuhusu hali aliyoandika ili atoe maoni |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo kuhusu hali?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 108 -Tarakilishi -Mtandao -Vielelezo vya insha |
-Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali akizingatia vipengele vyake
|
|
5 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti nge-, -ngali-, na -ki- katika matini -Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini |
-Kutambua ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- katika matini mbalimbali (k.v. orodha ya sentensi, chati)
-Kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali na -ki- katika kikundi |
Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 110 -Chati za sentensi -Kapu maneno -Kadi |
-Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti -nge-, -ngali-, na -ki- katika matini
-Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini
|
|
5 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ukanushaji
Mawaidha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchangamkia matumizi sahihi ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- katika maisha ya kila siku |
-Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- akishirikiana na wenzake
-Kutumia ukanushaji wa masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake katika kikundi -Kumweleza mzazi, mlezi au mwezake namna ya kukanusha hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- zinavyokanushwa |
Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 110 -Orodha ya sentensi -Tarakilishi -Chati -Uk wa: 112 -Kifaa cha kidijitali -Kinasa sauti -Kapu maneno |
-Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti
|
|
6 | 1 |
MATUMIZI YA USHURU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo -Kuonea fahari utoaji wa mawaidha katika maisha ya kila siku |
-Kutoa mawaidha kwa mwenzake yanayohusiana na matumizi ya ushuru akizingatia vipengele mbalimbali vya lugha
-Kusikiliza mawaidha yakitolewa na mzazi au mlezi wake na kutambua vipengele vya lugha katika mawaidha hayo -Kusakura mtandaoni na kusikiliza mawaidha mbalimbali kisha atambue vipengele vya lugha katika mawaidha hayo |
Unazingatia nini unapotoa mawaidha?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 112 -Kifaa cha kidijitali -Mgeni mwalikwa -Chati |
-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo
|
|
6 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala -Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala |
-Kudondoa habari mahususi kwa mujibu wa kifungu cha mjadala alichosoma akishirikiana na wenzake
-Kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome na kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho akiwa na wenzake -Kujadili na wenzake maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala |
Ni mambo gani hujidhihirisha katika kifungu cha ufahamu?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 114 -Tarakilishi -Mtandao -Kamusi |
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala
-Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
|
|
6 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Insha za Kiuamilifu - Shajara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha mjadala -Kufurahia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
-Kuchanganua mtazamo katika kifungu cha mjadala akiwa na wenzake katika kikundi
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kupata habari mahususi katika kifungu cha mjadala ili watoe maoni |
Ni mambo gani hujidhihirisha katika kifungu cha ufahamu?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafuni -Gredi ya Tisa -Uk wa: 114 -Tarakilishi -Chati -Mtandao -Kitabu cha Mwanafunzi -Uk wa: 116 -Vielelezo vya shajara -Kamusi |
-Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha mjadala
|
|
6 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake -Kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku |
-Kueleza vipengele vya shajara
-Kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake -Kuwasomea wenzake shajara aliyoandika ili waitolee maoni |
Unazingatia nini unapoandika shajara?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisi -Uk wa: 116 -Tarakilishi -Mtandao -Vielelezo vya shajara |
-Kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake
|
|
7 | 1 |
Sarufi
|
Udogo na Ukubwa wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua hali ya udogo na ukubwa katika nomino -Kutumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa ipasavyo katika matini |
-Kuchopoa nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akiwa na mwenzake
-Kutambua viambishi vya udogo na ukubwa katika maneno akishirikiana na wenzake -Kuandika majina ya vifaa vya darasani katika udogo na ukubwa |
Ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 118 -Chati -Kapu maneno -Kadi |
-Kutambua hali ya udogo na ukubwa katika nomino
-Kutumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa ipasavyo katika matini
|
|
7 | 2 |
Sarufi
|
Udogo na Ukubwa wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchangamkia kutumia kwa ufasaha nomino katika hali ya udogo na ukubwa ili kufanikisha mawasiliano |
-Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya udogo na ukubwa kwa usahihi kwenye chati za maneno akishirikiana na wenzake
-Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo au ukubwa -Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi ya ushuru akishirikiana na wenzake -Kumtajia mzazi au mlezi wake majina ya vifaa vya nyumbani katika udogo na ukubwa katika, mazingira ya nyumbani |
Ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 118 -Orodha ya nomino -Tarakilishi -Chati |
-Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa
|
|
7 | 3 |
MAADILI YA KITAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo |
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini akishirikiana na mwenzake -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo |
Kusikiliza kwa kutathmini mazungumzo kuna umuhimu gani?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 120 |
Kueleza maana na vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini
|
|
7 | 4 |
Kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari katika matini -Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo |
-Kujadili vipengele vya ufupisho wa habari katika matini -Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo |
Unazingatia nini ili kuandika ufupisho ufaao?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 122 |
Kueleza vipengele vya kuzingatia katika ufupisho na kuandika ufupisho ufaao
|
|
8 | 1 |
Kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali |
-Kusoma matini mbalimbali zikiwemo za mtandaoni na kufupisha habari -Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake habari aliyoifupisha |
Ufupisho una umuhimu gani katika uelewa wa habari?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 122 |
Kufupisha habari kutoka vyanzo mbalimbali
|
|
8 | 2 |
Kuandika
|
Kujibu Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe -Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo |
-Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe -Kutambua na kutumia lugha inayofaa kwa uandishi wa barua ya kujibu baruapepe -Kujadili na wenzake vidokezo vya kutumia katika kujibu baruapepe |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia unapoandika baruapepe?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 124 |
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
|
|
8 | 3 |
Sarufi
|
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa -Kutumia usemi halisi ipasavyo katika matini |
-Kujadiliana na wenzake kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa -Kushiriki kugeuza sentensi zilizo katika usemi halisi ziwe katika usemi wa taarifa -Kutunga sentensi sahili katika usemi halisi |
Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 126 |
Kutambua kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
|
|
8 | 4 |
Sarufi
|
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutumia usemi wa taarifa ipasavyo katika matini -Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano ya kila siku |
-Kushiriki kugeuza sentensi zilizo katika usemi wa taarifa ziwe katika usemi halisi -Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi katika vikundi -Kutunga sentensi sahili katika usemi wa taarifa |
Unazingatia nini unapoandika usemi halisi na usemi wa taarifa?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 126 |
Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi kwenda usemi wa taarifa na kinyume chake
|
Your Name Comes Here