Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
MATUMIZI YA KODI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika katika mawaidha.
Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha katika mawaidha.
Kujadili vipengele vya ishara za mwili katika mawaidha.
Kutoa mawaidha kwa kutumia vipengele vya lugha na ishara zifaazo.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kwa makini mwalimu akitoa mawaidha.
Kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika katika mawaidha.
Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vilivyotumika katika mawaidha.
Kuigiza sehemu ya mawaidha ya babu huku akizingatia ishara za uso na mwili.
Je, vipengele vya lugha hutumiwaje kutoa mawaidha?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 152-153
Maigizo ya mawaidha
Orodha ya vipengele vya lugha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 153
Jedwali la tathmini
Kutambua vipengele vya lugha katika mawaidha Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha Kuigiza mawaidha kwa kuzingatia ishara za uso na mwili
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala.
Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala.
Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha mjadala.
Kufurahia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha na kueleza mjadala unaoweza kuzuka kutokana na maneno ya wahusika.
Kusoma kifungu cha mjadala kuhusu matumizi ya kodi.
Kudondoa habari mahususi kutoka katika kifungu kwa kujibu maswali yanayofuata.
Kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumika katika kifungu.
Je, unavutiwa na nini unaposoma kifungu cha ufahamu?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 154-155
Picha
Kifungu cha mjadala
Maswali ya ufahamu
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 156
Orodha ya msamiati
Tafsiri ya methali
Chati ya mitazamo ya wahusika
Kudondoa habari mahususi katika kifungu Kueleza maana ya msamiati Kujibu maswali ya ufahamu
2 3
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kujadili umuhimu wa shajara.
Kueleza aina za shajara.
Kutofautisha aina za shajara.
Kuchangamkia kutumia shajara katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili na wenzake umuhimu wa shajara.
Kutafiti mtandaoni umuhimu wa shajara.
Kueleza aina za shajara kama vile shajara ya kibinafsi na shajara rasmi.
Kutafuta katika mtandao salama maelezo kuhusu aina za shajara.
Kujadili aina mbili za shajara huku akibainisha tofauti zake.
Je, unazingatia nini unapoandika shajara?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 157
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya shajara
Mtandao salama
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 158
Vielelezo vya aina za shajara
Kujadili umuhimu wa shajara Kueleza aina za shajara Kutofautisha aina za shajara
2 4
Sarufi
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua nomino katika hali ya udogo.
Kutambua viambishi vya udogo katika nomino.
Kutumia nomino katika hali ya udogo ipasavyo katika sentensi.
Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya udogo.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha inayoonyesha hali ya udogo.
Kutambua nomino katika hali ya udogo zilizoko kwenye vibao.
Kutambua viambishi vya udogo katika majibu ya swali la kwanza.
Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya udogo.
Kukamilisha sentensi kwa kutumia hali ya udogo ya nomino kwenye mabano.
Je, ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya udogo?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 158-159
Picha
Vibao vya nomino
Chati ya kuambatanisha nomino
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 160-161
Chati ya nomino
Majedwali ya kuambatanisha nomino
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino katika hali ya udogo Kutambua viambishi vya udogo Kukamilisha sentensi kwa kutumia hali ya udogo ya nomino
3 1
MAADILI YA KITAIFA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini.
Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini.
Kutathmini mazungumzo aliyosikiliza kwa kuzingatia vipengele vya usikilizaji wa kutathmini.
Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini mazungumzo.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadiliana na mwenzake kuhusu kinachoendelea katika picha.
Kutafuta kwenye kamusi maana ya tathmini.
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini mazungumzo.
Kusikiliza wenzake wakisoma mazungumzo ya Wakio, Leboo na Ali yanayohusu kusikiliza kwa kutathmini.
Je, unazingatia nini ili kufanikisha kusikiliza kwa kutathmini?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 162-163
Picha
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 164
Mazungumzo yaliyorekodiwa
Orodha ya vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini Kutathmini mazungumzo aliyosikiliza Kueleza vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini
3 2
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari katika matini.
Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili habari inayoonyeshwa katika picha iliyotolewa.
Kusoma kifungu cha habari kuhusu Michezo ya Olimpiki na Taifa la Azania.
Kujadili vipengele vya ufupisho wa habari katika matini akizingatia maelekezo ya ufupisho, wazo kuu katika kila aya, kudondosha mifano na maelezo ya ziada, mpangilio wenye muwala n.k.
Je, unadhani ni hoja gani zilizoondolewa ili kufupisha habari hii?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 165
Picha
Kifungu cha habari
Orodha ya vipengele vya ufupisho
Kujadili vipengele vya ufupisho wa habari Kubainisha wazo kuu katika kila aya Kujadili namna ya kufupisha habari
3 3
Kusoma
Kuandika
Ufupisho
Kujibu Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Kusahihisha makosa katika ufupisho wa habari.
Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena kifungu cha habari kuhusu Michezo ya Olimpiki na Taifa la Azania.
Kuandika sentensi moja kuhusu ujumbe muhimu unaopatikana katika kila aya.
Kuandika ufupisho wa habari kwa kuunganisha sentensi hizo kuunda aya moja akizingatia vipengele vya ufupisho.
Kuwasomea wenzake ufupisho wake ili wampe maoni yao.
Una nafasi ndogo ya kuandika ufupisho, utafanyaje?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 166
Kifungu cha habari
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 167
Mfano wa baruapepe
Orodha ya vipengele vya baruapepe
Kuandika ufupisho wa habari Kutumia vipengele vya ufupisho Kurekebisha makosa katika ufupisho
3 4
Kuandika
Sarufi
Kujibu Baruapepe
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kujadili maana ya baruapepe ya kujibu.
Kutambua hatua za kujibu baruapepe.
Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Kujenga mazoea ya kujibu baruapepe ipasavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma baruapepe iliyotolewa kuhusu usalama katika eneo la Kolo.
Kujadili na kuandaa vidokezo vya kujibu baruapepe ya Mathias Mwamba.
Kuandika baruapepe ya kumjibu Mathias Mwamba akizingatia vipengele vya kujibu baruapepe aliyojifunza.
Kujaza jedwali la tathmini ili kutathmini baruapepe aliyoandika.
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kujibu baruapepe?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 168-169
Mfano wa baruapepe ya kujibu
Jedwali la tathmini
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 170
Sentensi za usemi halisi na usemi wa taarifa
Chati ya kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
Kuandika baruapepe ya kujibu Kutumia vipengele vya kujibu baruapepe Kutathmini baruapepe aliyoandika
4 1
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Uzungumzaji katika Sherehe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa na kinyume chake.
Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kubadilisha sentensi zilizoandikwa katika usemi wa taarifa ziwe katika usemi halisi.
Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ipasavyo kutunga kifungu kuhusu maadili ya kitaifa.
Kumweleza mwenzake kifungu alichotunga ili ampe maoni.
Unazingatia nini unapoandika usemi halisi? Unazingatia nini unapoandika usemi wa taarifa?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 171-172
Orodha ya mabadiliko ya usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 118
Picha
Chati ya sherehe mbalimbali
Kubadilisha sentensi zilizoandikwa katika usemi wa taarifa ziwe katika usemi halisi Kutunga kifungu kwa kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa Kuandika usemi halisi na usemi wa taarifa kwa usahihi
4 2
HAKI ZA KIBINADAMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Uzungumzaji katika Sherehe
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa sherehe.
Kutoa mazungumzo katika sherehe kwa kutumia vipengele vifaavyo.
Kufurahia kutoa mazungumzo katika sherehe.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili maana ya uzungumzaji katika sherehe akiwa na wenzake.
Kutambua miktadha ya sherehe na kuchagua wazungumzaji wanaofaa.
Kuandika vidokezo vitakavyoongoza wazungumzaji.
Kutoa mazungumzo kwa zamu akizingatia vipengele vifaavyo vya mazungumzo.
Je, ni vipengele vipi vifaavyo katika uzungumzaji wa sherehe?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 119-120
Chati ya vipengele vya uzungumzaji katika sherehe
Vidokezo vya uzungumzaji katika sherehe
Kifaa cha kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 121
Matini mbalimbali za kusoma
Mtandao salama
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vipengele vya uzungumzaji katika sherehe Kutoa mazungumzo katika sherehe Kufanya tathmini ya uzungumzaji wa wenzake
4 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Mapana
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
Kutambua matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia.
Kutumia msamiati uliotolewa katika matini kutunga sentensi.
Kufurahia kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena matini aliyojichagulia kisha:
Kuandika daftarini msamiati ambao hakuelewa maana yake.
Kutambua maana za msamiati kulingana na muktadha wa matumizi yake.
Kutumia kamusi kutafuta maana za msamiati ambao hakuweza kubainisha maana yake.
Kutumia msamiati aliojifunza kutunga sentensi.
Je, ni vipi tunaweza kutambua maana ya msamiati mpya katika matini?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 122
Kamusi
Shajara
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 122-123
Kielelezo cha insha ya maelezo
Majedwali na chati
Kutambua msamiati mpya katika matini Kueleza maana ya msamiati kwa muktadha Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya Kujaza shajara kikamilifu
4 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika vidokezo vya insha ya maelezo.
Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia mtazamo mahususi.
Kusahihisha makosa katika insha ya maelezo.
Kuchangamkia kuandika insha za maelezo zenye mitazamo tofauti.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika vidokezo vya insha ya maelezo yenye mtazamo mahususi.
Kupanga vidokezo jinsi vitakavyofuatana katika insha.
Kuandika insha inayoeleza mambo mahususi na kuonyesha mtazamo wake.
Kuwasomea wenzake insha yake ili wampe maoni.
Je, vidokezo huchangia vipi katika uandishi wa insha bora ya maelezo?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 124
Mifano ya vidokezo vya insha
Kielelezo cha insha ya maelezo
Vifaa vya kidijitali
Kuandika vidokezo vya insha ya maelezo Kuandika insha ya maelezo yenye mtazamo mahususi Kusahihisha makosa katika insha Kuwasilisha nakala safi ya insha
5 1
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendana
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendeana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya kauli ya kutendana.
Kutambua viambishi vya kauli ya kutendana.
Kutumia kauli ya kutendana katika sentensi.
Kufurahia kutumia kauli ya kutendana katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma maneno yaliyo katika jedwali lenye vitenzi vya kauli ya kutenda na kutendana.
Kutambua viambishi tamati katika maneno ya kauli ya kutendana.
Kutambua viambishi vilivyo katika vitenzi vya kauli ya kutendana.
Kubadilisha vitenzi vilivyotolewa kuwa katika kauli ya kutendana.
Je, viambishi gani hutumika katika kauli ya kutendana?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 124-125
Jedwali la vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendana
Kadi za vitenzi
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 126
Jedwali la vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendeana
Chati ya vitenzi katika kauli ya kutendeana
Kueleza maana ya kauli ya kutendana Kutambua viambishi vya kauli ya kutendana Kubadilisha vitenzi kuwa katika kauli ya kutendana Kutunga sentensi katika kauli ya kutendana
5 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendesha
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya kauli ya kutendesha.
Kutambua viambishi vya kauli ya kutendesha.
Kutumia kauli ya kutendesha katika sentensi.
Kufurahia kutumia kauli ya kutendesha katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma maneno katika jedwali lenye vitenzi vya kauli ya kutenda na kutendesha.
Kutambua viambishi tamati katika maneno ya kauli ya kutendesha.
Kutambua viambishi vilivyo katika vitenzi vya kauli ya kutendesha.
Kutumia kauli ya kutendesha kubadilisha sentensi zilizotolewa.
Je, viambishi gani hutumika katika kauli ya kutendesha?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 127-128
Jedwali la vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendesha
Mwavuli wa viambishi vya kauli ya kutendesha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 129
Picha ya daktari na mgonjwa
Habari itakayosomwa na mwalimu
Kueleza maana ya kauli ya kutendesha Kutambua viambishi vya kauli ya kutendesha Kubadilisha sentensi kuwa katika kauli ya kutendesha Kutunga sentensi katika kauli ya kutendesha
5 3
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Ufahamu wa Kusikiliza
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
Kuchanganua mitazamo na maoni katika matini ya kusikiliza.
Kufurahia kusikiliza matini za kusikiliza ili kupata habari mahususi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kukadiria maana ya msamiati mahususi kama 'kisukari', 'saratani', 'siha', 'mienendo ya maisha' na 'kinga yashinda tiba'.
Kuchanganua mitazamo na maoni ya habari aliyosikiliza kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha.
Kuchanganua mtazamo na maoni yake mwenyewe kuhusu habari aliyosikiliza.
Je, ni mitazamo na maoni yapi yanajitokeza katika habari uliyosikiliza?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 130
Orodha ya msamiati mahususi
Chati kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 131
Kifungu cha kusoma kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha
Rekodi za sauti za usomaji
Kukadiria maana ya msamiati mahususi Kuchanganua mitazamo na maoni katika habari Kueleza mtazamo wake kuhusu habari
5 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Hotuba ya Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo.
Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo.
Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
Kujenga mazoea ya kusoma vifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusomea mwenzake kifungu "Magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha" akizingatia kasi ifaayo.
Kupima idadi ya maneno atakayosoma kwa usahihi kwa muda wa dakika moja.
Kusomea mwenzake kifungu akitumia sauti ipasavyo.
Kusomea mwenzake kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo za uso na mikono.
Je, ni ishara zipi za mwili zinazofaa wakati wa kusoma?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 132-133
Kifungu cha kusoma kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha
Saa ya kidijitali
Orodha hakiki ya tathmini ya usomaji
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 134
Picha
Kielelezo cha hotuba ya kushawishi
Kamusi
Mtandao salama
Kusoma kwa kasi ifaayo Kusoma kwa sauti inayosikika vizuri Kuambatanisha ishara za mwili Kupima idadi ya maneno yanayosomwa kwa usahihi
6 1
Kuandika
Sarufi
Hotuba ya Kushawishi
Aina za Sentensi - Sentensi Tata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi.
Kuandika hotuba ya kushawishi akizingatia vipengele vifaavyo.
Kuchangamkia kuandika ipasavyo hotuba ya kushawishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi akizingatia ujumbe unaowasilishwa, lugha iliyotumiwa, na muundo wa hotuba.
Kuandika vidokezo vya hotuba ya kushawishi atakayoandika.
Kuandika hotuba ya kushawishi wanafunzi dhidi ya tabia ya ulaji keki, biskuti na peremende kwa wingi.
Je, ni vipengele vipi muhimu vya kuzingatia katika kuandika hotuba ya kushawishi?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 135-136
Kielelezo cha hotuba ya kushawishi
Orodha ya vipengele vya hotuba ya kushawishi
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 137
Kamusi
Orodha ya sentensi
Mtandao salama
Kutambua vipengele vya hotuba ya kushawishi Kuandika vidokezo vya hotuba ya kushawishi Kuandika hotuba ya kushawishi Kuchambua muundo wa hotuba ya kushawishi
6 2
Sarufi
Aina za Sentensi - Sentensi Tata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sentensi tata katika matini.
Kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata.
Kujenga ujuzi wa kuchanganua maana mbalimbali katika sentensi tata ili kufasiri habari kikamilifu.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuchambua maana mbili za kila sentensi zilizoandikwa kwenye matini.
Kutunga sentensi tata tano na kuziwasilisha katika kikundi ili wenzake watoe maana zake.
Kujadili sababu zinazosababisha utata katika sentensi.
Je, sentensi tata huchangia vipi katika mawasiliano?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 138
Orodha ya sentensi tata
Chati ya sababu za utata katika sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua sababu za utata katika sentensi Kuchambua maana mbalimbali za sentensi tata Kutunga sentensi tata Kufasiri sentensi tata ipasavyo
6 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Aina za Sentensi - Sentensi Tata
Mazungumzo - Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sababu zinazosababisha utata katika sentensi.
Kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata.
Kutunga sentensi tata.
Kujenga ujuzi wa kuchanganua maana mbalimbali katika sentensi tata ili kufasiri habari kikamilifu.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili sababu mbalimbali zinazosababisha utata katika sentensi kama kauli ya kutendea, vimilikishi, matumizi ya maneno yenye maana zaidi ya moja n.k.
Kutoa mifano ya sentensi tata kwa kila sababu iliyojadiliwa.
Kubainisha maana mbalimbali za sentensi tata alizozitunga.
Je, ni njia zipi zinaweza kutumika kupunguza utata katika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 139
Mifano ya sentensi tata
Orodha ya sababu za utata katika sentensi
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 140
Picha
Kifaa cha kidijitali
Kamusi
Kutambua sababu zinazosababisha utata katika sentensi Kutoa mifano ya sentensi tata kwa kila sababu Kuchambua maana mbalimbali za sentensi tata
6 4
MSHIKAMANO WA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo - Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kujadili ujumbe wa mawaidha.
Kueleza sifa za mawaidha ya kifasihi.
Kuchambua vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha.
Kuchangamkia kutambua washiriki katika mawaidha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili ujumbe wa mawaidha waliyosikiliza.
Kujadili sifa za mawaidha ya kifasihi akizingatia: a) kuwasilishwa mbele ya watu, b) umri wa watu wanaotoa mawaidha, c) lugha inayotumika, d) maudhui yanayolengwa.
Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha aliyoyasikiliza.
Je, ni vipengele vipi vya kuzingatia katika uwasilishaji wa mawaidha?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 142-143
Chati ya vipengele vya mawaidha
Kifaa cha kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 143-144
Vielelezo vya mawaidha
Vifaa vya kidijitali
Kueleza sifa za mawaidha ya kifasihi Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha Kujadili vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha
7 1
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza mbinu za lugha katika fasihi.
Kutambua mbinu za lugha zinazotumika katika shairi.
Kuchambua matumizi ya lugha katika mashairi.
Kufurahia kusoma mashairi kwa kuzingatia mbinu za lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili na wenzake mbinu za lugha katika tanzu za fasihi alizosoma awali.
Kusoma shairi lenye ubeti kuhusu "Mbiu leo imelia, nani asiyesikia?".
Kutambua mbinu za lugha zilizotumika katika shairi alilosoma.
Je, matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimu gani kwa msomaji?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 145
Shairi la kusoma
Diwani ya mashairi
Chati ya mbinu za lugha
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 146
Vifaa vya kidijitali
Jedwali la tathmini
Kutaja mbinu za lugha katika fasihi Kutambua mbinu za lugha katika shairi Kuchambua matumizi ya lugha katika mashairi
7 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali.
Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali.
Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali kwa kuzingatia vipengele vyake.
Kufurahia kutunga insha za maelezo kuhusu hali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutafuta maana ya neno "hali" kwa kutumia kamusi au mtandao salama.
Kutaja mifano ya hali mbalimbali.
Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali.
Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo "Uongozi shuleni".
Je, insha ya maelezo kuhusu hali ni nini?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 147
Kamusi
Kielelezo cha insha ya maelezo
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 148
Mifano ya insha ya maelezo
Vipengele vya insha ya maelezo
Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali Kutambua vipengele vya insha ya maelezo Kusoma na kujadili insha ya maelezo
7 3
Sarufi
Ukanushaji - Hali ya Masharti -nge-
Ukanushaji - Hali ya Masharti -ngali-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge- katika matini.
Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge- ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi sahihi ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge- katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zilizotolewa na kuzingatia ukanushaji wa hali ya masharti -nge-.
Kutambua sentensi zilizo katika hali ya ukanushaji kwa kuziandika daftarini.
Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge- katika sentensi zilizotolewa.
Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge-.
Je, ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge- unatumikaje katika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 149
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya sentensi za hali ya masharti ya -nge-
Chati
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 150
Mifano ya sentensi za hali ya masharti ya -ngali-
Kutambua sentensi zilizo katika hali ya ukanushaji Kukanisha sentensi za hali ya masharti ya -nge- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge-
7 4
Sarufi
Ukanushaji - Hali ya Masharti -ki-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti ya -ki- katika matini.
Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -ki- ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi sahihi ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -ki- katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zilizotolewa na kuzingatia ukanushaji wa hali ya masharti -ki-.
Kutambua sentensi zilizo katika hali ya ukanushaji kwa kuziandika daftarini.
Kufanya mazoezi ya kukanisha sentensi zilizotolewa.
Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti ya -ki-.
Je, ni vipi ukanushaji wa hali ya masharti ya -ki- hutofautiana na -nge- na -ngali-?
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 151
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya sentensi za hali ya masharti ya -ki-
Chati
Kutambua sentensi zilizo katika hali ya ukanushaji Kukanisha sentensi za hali ya masharti ya -ki- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa hali ya masharti ya -ki-

Your Name Comes Here


Download

Feedback