Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa kina: sauti j na nj
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua sauti j na nj ipasavyo
-Kutamka sauti j na nj ipasavyo
-Kuchangamkia matamshi bora ya sauti j na nj

-Kutambua sauti j na nj katika picha na maneno
-Kutamka silabi zenye sauti j na nj
-Kutamka maneno yenye sauti j na nj
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti j na nj?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 135
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 136
-Kutambua sauti j na nj -Kutamka sauti j na nj ipasavyo
1 2
Kusoma
Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi
-Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha kushawishi
-Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya kushawishi

-Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho
-Kueleza maana ya msamiati kutoka kifungu hicho
Ni mambo gani unazingatia unaposoma kifungu cha kushawishi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 137
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi -Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha kushawishi
1 3
Kusoma
Kuandika
Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Insha za kubuni: masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi
-Kufupisha kifungu cha kushawishi kwa aya moja
-Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya kushawishi

-Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kufupisha kifungu hicho kwa aya moja
-Kueleza funzo linalojitokeza katika kifungu hicho
Je, kifungu hicho kinatumia mbinu zipi za kushawishi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 139
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 140
-Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi -Kufupisha kifungu cha kushawishi kwa aya moja
1 4
Kuandika
Insha za kubuni: masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kujadili vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kujadili vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi: mada, lugha, wahusika, mandhari na dhamira
-Kuandika insha ya masimulizi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kukuza wazo baina ya kila aya ifaavyo
Ni vipengele gani vya ukuzaji wa wazo hutumiwa katika insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 142
-Kujadili vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya
2 1
Sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya LI
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya LI katika sentensi
-Kutambua nomino za ngeli ya LI
-Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya LI

-Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya LI
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya LI
-Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya LI
-Kutumia nomino za ngeli ya LI katika sentensi
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya LI?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 143
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 147
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya LI -Kutambua nomino za ngeli ya LI -Kutumia nomino za ngeli ya LI kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
2 2
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO

Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo: Malumbano ya utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya malumbano ya utani kama kipera cha mazungumzo,
-kujadili sifa za malumbano ya utani,
-kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani.
- Kueleza maana ya malumbano ya utani akiwa na mwenzake
-Kujadili sifa za malumbano ya utani akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kutambua vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
-Kusikiliza malumbano ya utani katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa au mwalimu na kutambua vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152
Kutambua sifa za malumbano ya utani
2 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo: Malumbano ya utani
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji,
-kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji.
- Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wake
-Kuwaeleza wenzake namna ya kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji
-Kumweleza mzazi au mlezi jinsi ya kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152
-Ukurasa 155
Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi
2 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
Barua ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika,
-kujenga mazoea ya kuchambua wahusika katika mashairi ili kuimarisha uwazaji wa kina.
- Kuchambua shairi na kutaja sifa za wahusika kutokana na sura au umbo
-Kuigiza wahusika katika mashairi akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao
-Kumsomea mzazi au mlezi wake shairi na kujadiliana naye kuhusu wahusika
Ni wahusika aina gani waliopo katika mashairi uliyowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 155
-Ukurasa 157
Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika
3 1
Kuandika
Barua ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia vipengele vyake,
-kujenga mazoea ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi ipasavyo.
- Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi kwenye tarakilishi na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake namna ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi
Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 157
Kuandika barua ya kuomba kazi kwa kuzingatia vipengele vyake
3 2
Sarufi
Vinyume vya vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi,
-kutambua vinyume vya vihusishi katika matini.
- Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
-Kutambua matumizi sahihi ya vinyume vya vihusishi kutoka katika vitabu, tarakilishi au chati akiwa na wenzake au katika kikundi
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vihusishi kutokana na mchanganyiko wa sentensi kutoka katika vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
1. Ni vihusishi gani unavyovijua? -2. Ni mambo gani yanayoonyeshwa na vinyume vya vihusishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 159
Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini
3 3
HAKI ZA KIBINADAMU

Sarufi
Mnyambuliko wa vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini,
-kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini ili kufanikisha mawasiliano.
- Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari
-Kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake
-Kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha watoe maoni yao
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 170
Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha
3 4
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza habari katika matini ya kusikiliza,
-kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
- Kushirikiana na wenzake kueleza hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza akiwa na wenzake
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178
Kueleza habari katika matini ya kusikiliza
4 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora,
-kusoma kifungu kwa kasi ifaayo,
-kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo.
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala akiwa na wenzake
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora
-Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo)
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180
Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo
4 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Hotuba ya kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo,
-kujenga mazoea ya kusoma vifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji matini ufaao ili kufanikisha mawasiliano.
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa akiwa na wenzake katika kikundi
-Kuwasomea wenzake matini mbalimbali vitabuni au katika vifaa vya kidijitali akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili watoe maoni yao
-Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake kifungu akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili amtolee maoni
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180
-Ukurasa 182
Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
4 3
Kuandika
Hotuba ya kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuandika hotuba ya kushawishi akizingatia vipengele vifaavyo,
-kuchangamkia kuandika ipasavyo hotuba ya kushawishi.
- Kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa akitumia vidokezo walivyovijadili
-Kuwasomea wenzake hotuba yake au kumsambazia kupitia mtandao ili waitolee maoni
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182
Kuandika hotuba ya kushawishi
4 4
Sarufi
Aina za sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya sentensi tata ili kuitofautisha na aina nyingine za sentensi,
-kutambua sentensi tata katika matini.
- Kutoa maelezo ya sentensi tata kwa usahihi
-Kutambua sentensi tata kwenye orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino akishirikiana na wenzake
-Kutambua sentensi tata zinazojitokeza katika vifungu akiwa na wenzake katika kikundi
Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 185
Kutambua sentensi tata katika matini
5 1
MSHIKAMANO WA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya mawaidha
-Kujadili ujumbe na sifa za mawaidha ya kifasihi
-Kueleza vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha
-Kutambua washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi
-Kuchangamkia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika tungo za fasihi simulizi
-Kueleza maana ya mawaidha akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kujadili ujumbe wa mawaidha ya kifasihi akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kujadili na wenzake sifa za mawaidha ya kifasihi
-Kueleza vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha
-Kutambua washiriki (fanani, hadhira) katika mawaidha anayosikiliza
Mawaidha hushirikisha kina nani?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 104
-Kifaa cha kidijitali
-Kinasa sauti
-Kapu maneno
-Kutambua washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi -Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
5 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo Mawaidha
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi
-Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
-Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika tungo za fasihi simulizi
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha anayosikiliza kutoka kwa vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au mwalimu akiwa na wenzake
-Kutunga mawaidha kuhusu suala lengwa na kuwawasilishia wenzake darasani
-Kusikiliza mawaidha atakayotolewa na mzazi au mlezi wake
Mawaidha hushirikisha kina nani?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 104
-Kifaa cha kidijitali
-Mgeni mwalikwa
-Chati
-Uk wa: 106
-Tarakilishi
-Mtandao
-Kamusi
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha anayosikiliza -Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
5 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha
-Kuchangamkia matumizi ya lugha katika ushairi
-Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu matumizi ya mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi waliyotunga na kuyatolea maoni
-Kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha akishirikiana na wenzake
-Kufanya utafiti mtandaoni kuhusu matumizi ya lugha katika mashairi na kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake
Matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimi gani kwa msomaji?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 106
-Tarakilishi
-Chati za mashairi
-Mtandao
-Kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha
5 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali
-Kujadili dhana ya insha ya maelezo kuhusu hali akiwa na mwenzake
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali katika kielelezo cha insha akiwa na wenzake
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo kuhusu hali?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 108
-Vielelezo vya insha
-Kamusi
-Chati
-Tarakilishi
-Mtandao
-Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali -Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali
6 1
Sarufi
Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti nge-, -ngali-, na -ki- katika matini
-Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini
-Kutambua ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- katika matini mbalimbali (k.v. orodha ya sentensi, chati)
-Kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali na -ki- katika kikundi
Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 110
-Chati za sentensi
-Kapu maneno
-Kadi
-Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti -nge-, -ngali-, na -ki- katika matini -Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini
6 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ukanushaji
Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuchangamkia matumizi sahihi ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- katika maisha ya kila siku
-Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- akishirikiana na wenzake
-Kutumia ukanushaji wa masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake katika kikundi
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwezake namna ya kukanusha hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- zinavyokanushwa
Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 110
-Orodha ya sentensi
-Tarakilishi
-Chati
-Uk wa: 112
-Kifaa cha kidijitali
-Kinasa sauti
-Kapu maneno
-Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti
6 3
MATUMIZI YA USHURU

Kusikiliza na Kuzungumza
Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo
-Kuonea fahari utoaji wa mawaidha katika maisha ya kila siku
-Kutoa mawaidha kwa mwenzake yanayohusiana na matumizi ya ushuru akizingatia vipengele mbalimbali vya lugha
-Kusikiliza mawaidha yakitolewa na mzazi au mlezi wake na kutambua vipengele vya lugha katika mawaidha hayo
-Kusakura mtandaoni na kusikiliza mawaidha mbalimbali kisha atambue vipengele vya lugha katika mawaidha hayo
Unazingatia nini unapotoa mawaidha?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 112
-Kifaa cha kidijitali
-Mgeni mwalikwa
-Chati
-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo
6 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala
-Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
-Kudondoa habari mahususi kwa mujibu wa kifungu cha mjadala alichosoma akishirikiana na wenzake
-Kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome na kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho akiwa na wenzake
-Kujadili na wenzake maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
Ni mambo gani hujidhihirisha katika kifungu cha ufahamu?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 114
-Tarakilishi
-Mtandao
-Kamusi
-Kitabu cha Mwanafuni
-Chati
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala -Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
7 1
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili umuhimu wa shajara
-Kueleza aina za shajara ili kuzibainisha
-Kujadili umuhimu wa shajara
-Kutafiti maktabani au mtandaoni aina za shajara
-Kujadili na mwenzake aina za shajara alizozitafiti
Unazingatia nini unapoandika shajara?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 116
-Vielelezo vya shajara
-Kamusi
-Chati
-Gredi ya Tisi
-Tarakilishi
-Mtandao
-Kujadili umuhimu wa shajara -Kueleza aina za shajara ili kuzibainisha
7 2
Sarufi
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua hali ya udogo na ukubwa katika nomino
-Kutumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa ipasavyo katika matini
-Kuchopoa nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akiwa na mwenzake
-Kutambua viambishi vya udogo na ukubwa katika maneno akishirikiana na wenzake
-Kuandika majina ya vifaa vya darasani katika udogo na ukubwa
Ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 118
-Chati
-Kapu maneno
-Kadi
-Kutambua hali ya udogo na ukubwa katika nomino -Kutumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa ipasavyo katika matini
7 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Kusikiliza kwa Kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuchangamkia kutumia kwa ufasaha nomino katika hali ya udogo na ukubwa ili kufanikisha mawasiliano
-Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya udogo na ukubwa kwa usahihi kwenye chati za maneno akishirikiana na wenzake
-Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo au ukubwa
-Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi ya ushuru akishirikiana na wenzake
-Kumtajia mzazi au mlezi wake majina ya vifaa vya nyumbani katika udogo na ukubwa katika, mazingira ya nyumbani
Ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 118
-Orodha ya nomino
-Tarakilishi
-Chati
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 120
-Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa
7 4
MAADILI YA KITAIFA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusikiliza mazungumzo na kuyatathmini kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
-Kuchangamkia kutathmini mazungumzo ili kuimarisha mawasiliano

-Kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa na kuyatathmini kwa kuzingatia vipengele mbalimbali
-Kushiriki na mzazi au mlezi wake katika mazungumzo kuhusu suala lengwa
Unazingatia nini katika kutathmini ufaafu wa mazungumzo?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 120
Kutathmini mazungumzo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
8 1
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari katika matini
-Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo

-Kujadili vipengele vya ufupisho wa habari katika matini
-Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
Unazingatia nini ili kuandika ufupisho ufaao?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 122
Kueleza vipengele vya kuzingatia katika ufupisho na kuandika ufupisho ufaao
8 2
Kuandika
Kujibu Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
-Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo

-Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
-Kutambua na kutumia lugha inayofaa kwa uandishi wa barua ya kujibu baruapepe
-Kujadili na wenzake vidokezo vya kutumia katika kujibu baruapepe
Je, ni mambo gani ya kuzingatia unapoandika baruapepe?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 124
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
8 3
Kuandika
Sarufi
Kujibu Baruapepe
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujenga mazoea ya kujibu baruapepe ipasavyo

-Kuandika barua baruapepe kuhusu suala lengwa kwenye tarakilishi
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake namna ya kujibu baruapepe
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kujibu baruapepe?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 124
-Uk. 126
Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
8 4
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutumia usemi wa taarifa ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano ya kila siku

-Kushiriki kugeuza sentensi zilizo katika usemi wa taarifa ziwe katika usemi halisi
-Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi katika vikundi
-Kutunga sentensi sahili katika usemi wa taarifa
Unazingatia nini unapoandika usemi halisi na usemi wa taarifa?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 126
Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi kwenda usemi wa taarifa na kinyume chake

Your Name Comes Here


Download

Feedback