If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1-4 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza na kujibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza kuhusu picha aliyoitazama katika kitabu cha mwanafunzi. Kusikiliza mazungumzo kati ya Simba na Mnyama Mgeni ambayo mwalimu atawasilisha. Kutaja vitendo ambavyo wanyama walifanya kuonyesha kuwa walikuwa wanasikiliza wakati wa mazungumzo yao. Kukuza ubunifu wa usikilizaji. |
Wakiwa wawili, wanafunzi amweleze mwenzake kuhusu picha aliyoitazama.
Wanafunzi waweze kusikiliza mazungumzo kati ya Simba na Mnyama Mgeni ambayo mwalimu atawasilisha. Wanafunzi waweze kutaja vitendo ambavyo wanyama walifanya kuonyesha kuwa walikuwa wanasikiliza wakati wa mazungumzo yao |
Je, unaposikiliza mtu akizungumza unafaa kufanya nini ili uupate ujumbe kiukamilifu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 1-2
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 |
Opener exam |
||||||||
| 3 | 1 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza na kujibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadili tabia za kinidhamu alizozingatia Mnyama Mgeni wakati wa kumjibu Simba. Kuigiza mazungumzo ya simu kisha kuzungumza kuhusu usafi wa kibinafsi. Kuchangamkia usafi wa kibinafsi. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadili tabia za kinidhamu alizozingatia Mnyama Mgeni wakati wa kumjibu Simba.
Wakiwa wawili, wanafunzi kuigiza mazungumzo ya simu na mwenzake. Zungumzieni kuhusu usafi wa kibinafsi. |
Je, ni vipengele gani vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mazungumzo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 2-3
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 2 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza mambo yanayoweza kumsaidia kupata ujumbe katika kifungu cha ufahamu. Kutazama picha iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi kisha kuzungumza kinachofanyika. Kufurahia mazungumzo yao. |
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze, kueleza mambo yanayoweza kumsaidia kupata ujumbe katika kifungu cha ufahamu.
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze, kutazama picha iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi kisha kuzungumza kinachofanyika. |
Je, ni mambo gani yanaweza kukusaidia kupata ujumbe katika kifungu cha ufahamu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 3
Kapu maneno Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 3-7 Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 3 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha simulizi
Kuandika: Viakifishi; Kichocheo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maneno yaliyotumika katika kifungu alichokisoma. Kusoma kifungu mtandaoni kuhusu usafi wa kibinafsi. Kufurahia kutumia mtandao. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza maneno yaliyotumika katika kifungu alichokisoma.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu mtandaoni kuhusu usafi wa kibinafsi. |
Umesoma kifungu gani katika mtandao?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 7-8
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 8-10 Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 4 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kuandika: Viakifishi; Kichocheo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kikomo katika sentensi. Kutunga sentensi akizingatia matumizi ya kikomo. Kujadiliana matumizi tofauti ya kikomo. Kuchangamkia matumizi ya kikomo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kueleza matumizi ya kikomo katika sentensi.
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi akizingatia matumizi ya kikomo. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi, kujadiliana matumizi tofauti ya kikomo. |
Kikomo hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 8-10
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 1 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za pekee katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza matumizi ya nomino za pekee. kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee. |
Wakiwa wawili, wanafunzi kutambua nomino za pekee katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi waweze, kueleza matumizi ya nomino za pekee. |
Nomino ni nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 10-11
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 11-12 Chati Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 2 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua nomino za kawaida katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni. Kutaja majina ya vitu vinavyopatikana shuleni. Kuchangamkia matumizi ya nomino za kawaida. |
Mwanafunzi aweze, kuchagua nomino za kawaida katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni.
Mwanafunzi, aweze kutaja majina ya vitu vinavyopatikana shuleni. |
Nomino za kawaida ulizochagua zinarejelea vitu gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 1-2
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 3 |
Lishe Bora
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa. Kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti dh na th. Kuchangamkia kukariri silabi za sauti dh na th katika silabi na maneno. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa.
Mkiwa wawili, wanafunzi kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti dh na th. |
Ni maneno gani unayojua ambayo yana sauti dh au th?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 15-16
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 15-17 Mabango Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 4 |
Lishe Bora
|
Kusoma kwa mapana; Kichocheo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusimulia wenzake katika kikundi kisa alichowahi kusoma. Kutambua msamiati uliotumika katika hadithi alichosimulia. Kufurahia kusimulia hadithi. |
Mwanafunzi aweze kusimulia wenzake katika kikundi kisa alichowahi kusoma.
Wanafunzi waweze kutambua msamiati uliotumika katika hadithi alichosimulia. |
Ni kitabu gani cha hadithi ulichosoma kikakufurahisha zaidi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 17
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 1 |
Lishe Bora
|
Kusoma kwa mapana; Kichocheo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua matini kutoka maktabani au kwenye mitandao salama ili aisome. Kutambua msamiati uliotumika katika hadithi kisha aandike maana za maneno hayo daftarini. Kufurahia kusoma hadithi maktabani au mtandaoni. |
Mwanafunzi aweze, kuchagua matini kutoka maktabani au kwenye mitandao salama ili aisome.
Mwanafunzi aweze kutambua msamiati uliotumika katika hadithi kisha aandike maana za maneno hayo daftarini. |
Umechagua kusoma matini gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 17-18
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 2 |
Lishe Bora
|
Kuandika; Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya mwaliko. Kusoma barua ya kirafiki iliyoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. Kuchangamkia kuandika barua ya kirafiki. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya mwaliko.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi kusoma barua ya kirafiki iliyoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. |
Je, ni shughuli gani ambayo inaweza kukufanya umwandikie rafiki yako barua ya kutoa mwaliko?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 20-21
Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 21-22 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 3 |
Lishe Bora
|
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua nomino za makundi katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni. Kutaja majina ya vitu vinavyopatikana katika mazingira yao. Kuchangamkia matumizi ya nomino za makundi. |
Mwanafunzi aweze, kuchagua nomino za makundi katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni.
Mwanafunzi aweze kutaja majina ya vitu vinavyopatikana katika mazingira yao |
Je, ni vitu gani unavyojua ambavyo vinapatikana katika mafungu au vikundi katika mazingira yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 23-24
Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 24-25 Kapu maneno |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 4 |
Lishe Bora
|
Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua nomino za dhahania kati ya nomino zilizo katika kapu la maneno. Kutunga sentensi akitumia nomino dhahania. Kuchangamkia kutumia nomino za dhahania. |
Mwanafunzi aweze kuchagua nomino za dhahania kati ya nomino zilizo katika kapu la maneno.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino dhahania. |
Ni nomino gani zinazotaja hali au vitu vya kufikirika tu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 25-27
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 1 |
Lishe Bora
Uhuru wa Wanyama |
Nomino za dhahania
Kusikiliza na kuzungumza; Tanzu za fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za dhahania katika sentensi. Kuandika aya moja kuhusu lishe bora akitumia nomino za dhahania. Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania. |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za dhahania katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kuandika aya moja kuhusu lishe bora akitumia nomino za dhahania. |
Je, umegundua nini kuhusu nomino hizo ukirejelea uwezekano kuonekana kwa macho au kushikika kwa mikono?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 27-28
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 29-31 Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 2 |
Uhuru wa Wanyama
|
Tanzu za fasihi
Kusoma; Kusoma kwa kina- Novela |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za tungo za fasihi simulizi na fasihi andishi katika matini. Kuigiza mazungumzo kati ya Ngamia na Ng |
Mwanafunzi kutaja aina za tungo za fasihi simulizi na fasihi andishi katika matini.
Wakiwa wawiliwawili au katika vikundi, wanafunzi waweze Kuigiza mazungumzo kati ya Ngamia na Ng |
Je, umewahi kusoma tungo gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 35-37 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 3 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kusoma kwa kina- Novela
Kuandika; Insha za kubuni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. Kujadiliana sifa za novela. Kufurahia kusoma novela. |
Mwanafunzi a sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu aweze kusoma.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana sifa za novela. |
Sifa za novela ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 36-37
Kapu maneno Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 37 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 4 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kuandika; Insha za kubuni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika vidokezo vya insha ya kubuni aliyoichagua. Kuandika insha ya kubuni. Kuchangamkia kuandika insha za kubuni. |
Mwanafunzi kuandika vidokezo vya insha ya kubuni aliyoichagua.
Mwanafunzi kuandika insha ya kubuni |
Unaweza kuandika vidokezo gani kuhusu kisa ulichotambua?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 |
Midterm exam |
||||||||
| 8 |
Midterm |
||||||||
| 9 | 1 |
Uhuru wa Wanyama
|
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za wingi
Aina za nomino: Nomino za wingi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za wingi katika kapu maneno. Kuandika nomino za wingi za vitu vinavyopatikana shuleni au nyumbani. Kuonea fahari nomino za wingi. |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za wingi katika kapu maneno.
Mwanafunzi nomino za wingi za vitu vinavyopatikana shuleni au nyumbani i aweze kuandika |
Ni vitu gani unavyojua ambavyo hupatikana katika wingi tu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38-39
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39 Chati |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 2 |
Uhuru wa Wanyama
|
Nomino za vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nomino za vitenzi jina katika matini. Kusoma kifungu, |
Mwanafunzi aweze kutaja nomino za vitenzi jina katika matini.
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu, |
Unafikiria nomino za vitenzi jina ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39-41
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 41 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 3 |
Aina za Maliasili
|
Kusikiliza na kuzungumza; Nyimbo za watoto
Nyimbo za watoto |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nyimbo za watoto anazozijua katika jamii yake. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za watoto. |
Mwanafunzi kutaja nyimbo za watoto anazozijua katika jamii yake.
Mwanafunzi kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. |
Je, ni nyimbo gani za watoto unazozijua katika jamii yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 43-44
Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44 Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 4 |
Aina za Maliasili
|
Nyimbo za bembelezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo bembelezi. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto.
Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, ni nyimbo gani unazozijua katika jamii yako ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44-45
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 1 |
Aina za Maliasili
|
Nyimbo za bembelezi
Kusoma; Kusoma kwa ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza sifa za bembelezi. Kujadilimtindo ya uwasilishaji wa bembelezi. Kuimba nyimbo moja bembelezi. Kufurahia kuimba nyimbo bembelezi. |
Mwanafunzi aweze kueleza sifa za bembelezi.
Wakiwa katika vikundi, waweze kujadiliana mtindo ya uwasilishaji wa bembelezi. Mwanafunzi kuimba nyimbo moja bembelezi. |
Unapoimba bembelezi, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 45-46
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 46-47 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 2 |
Aina za Maliasili
|
Kusoma kwa ufasaha
Kuandika; Insha za kubuni- Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza mwanahabari akitangaza taarifa. Mwigiza mtangazaji huyo mbele ya wenzake darasani. Kufurahia kuigiza watangazaji. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza mwanahabari akitangaza taarifa.
Mwanafunzi kumwigiza mtangazaji huyo mbele ya wenzake darasani |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 47
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 48-49 Kapu maneno Mabango Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 3 |
Aina za Maliasili
|
Insha za kubuni- Masimulizi
Sarufi; Nyakati: Wakati uliopo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi. Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari. Kufurahia kuandika insha za masimulizi. |
Mwanafunzi kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 49-50
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 50-51 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 4 |
Aina za Maliasili
|
Wakati uliopita
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita. Kutumia wakati uliopita katika sentensi. Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita.
Mwanafunzi kutumia wakati uliopita katika sentensi. |
Ni kipande gani cha neno kinachowakilisha wakati?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 51-52
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
Aina za Maliasili
Unyanyasaji wa Kijinsia |
Wakati ujao
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi kwenye kifungu katika wakati ujao. Kutumia vitenzi ili kuunda sentensi kuonyesha wakati ujao. Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi kwenye kifungu katika wakati ujao.
Mwanafunzi kutumia vitenzi ili kuunda sentensi kuonyesha wakati ujao. |
Unatumia vipi wakati ujao?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 52-54
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 55 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 2 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi
Kusoma kwa ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo. Kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. Kufurahia kuigiza mazungumzo. |
Wakiwa wawili, wanafunzi kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo.
Wakiwa katika vikundi, kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. |
Je, ni maamkuzi na maagano gani yanayotumika katika jamii yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 55
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 58-60 Kapu maneno Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 3 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni. Kutathmini umuhimu wa maelezo. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni |
Je, unaweza kumueleza vipi rafiki yako kufika nyumbani kwenu ili asipotee?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 61-62
Kamusi Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 62-63 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 4 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopo hali ya kuendelea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea. Kutunga sentensi katika wakati uliopo hali ya kuendelea. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati uliopo hali ya kuendelea |
Kwa nini tunazingatia nyakati na hali katika mawasiliano yetu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 63-64
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 1 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita hali ya kuendelea
Sarufi; Nyakati na hali; Wakati ujao hali ya kuendelea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. Kutunga sentensi katika wakati uliopita hali ya kuendelea. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati uliopita hali ya kuendelea |
Je, ulifanya nini jana kabla ya kulala?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 64-65
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 65-66 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 2 |
Usalama shuleni
|
Kusikiliza na Kuzungumza- Matini
Kusoma kwa kina; Maudhui na dhamira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua masuala yanayozungumziwa katika matini ya kusikiliza. Kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo katika matini ya kusikiliza. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa kusafiri. |
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze kutambua masuala yanayozungumziwa katika matini ya kusikiliza
Wanafunzi waweze kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo katika matini ya kusikiliza |
Ni mambo gani unayoyazingatia unapofafanua habari unaposikiliza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 67-68
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 68-69 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 3 |
Usalama shuleni
|
Kuandika; Insha za masimulizi kutokana na picha
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya masimulizi kutokana na picha. Kuandika insha ya masimulizi kutokana na picha zilizoko katika kitabu cha mwanafunzi. Kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi kutokana na picha. |
Wanafunzi, kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya masimulizi kutokana na picha.
Kuandika insha Wanafunzi, kuandika insha ya masimulizi kutokana na picha zilizoko katika kitabu cha mwanafunzi |
Je, ni vigezo vipi utakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya masimulizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 69-72
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 72-73 Kapu maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 4 |
Usalama shuleni
|
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. |
Wanafunzi, kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi
Wanafunzi waweze kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi |
Kuna tofauti gani kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 73-74
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
Your Name Comes Here