If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
SHULENI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maamkuzi na maagano ya nyakati za siku, - kuamkua na kuitikia maamkuzi na maagano ya nyakati za siku, - kufurahia kuamkua na kuagana ili kujenga mshikamano wa kijamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi mbalimbali ya nyakati za siku -kutazama picha za watu wakisalimiana na kuagana -kutazama video inayoonyesha watu wakitumia maamkuzi na maagano ya nyakati za siku -kuigiza na mwenzake maamkuzi na maagano mbalimbali |
Tunaamkuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 2
-Vifaa vya kidijitali -Picha na chati -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza

| 2 | 3 |

| 2 | 4 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 4
-Vifaa vya kidijitali -Picha na chati -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu, - kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha, - kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu, - kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu, - kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma kifungu chepesi cha maneno 31 - 34 -kutambua msamiati wa suala lengwa -kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano -kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha -kuthabiti utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma -kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu -kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu -kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa |
Kusoma kifungu ili ufahamu ujumbe unafanya nini?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 8
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |

| 3 | 4 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 9
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 4 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 10

| 4 | 2 |

| 4 | 3 |
Kuandika
|
Hati nadhifu: Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua hati nadhifu katika sentensi, - kuandika sentensi akizingatia hati nadhifu, - kufurahia kuandika akizingatia hati nadhifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua hati nadhifu kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali -kujadili na wenzake kuhusu hati nadhifu kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali -kuandika sentensi fupi kuhusu suala lengwa akizingatia hati nadhifu -kuwasilisha darasani sentensi zake ili wenzake wamtolee maoni -kumwandikia mzazi au mlezi sentensi fupi kuhusu suala lengwa akizingatia hati nadhifu |
Je, ni mambo gani unayozingatia wakati wa kuandika?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 12
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 4 | 4 |

| 5 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 13

| 5 | 2 |

| 5 | 3 |

| 5 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya wewe na nyinyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua wewe na nyinyi katika sentensi, - kutumia wewe na nyinyi ipasavyo katika sentensi, - kufurahia kutumia wewe na nyinyi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu nafsi ya pili (wewe na nyinyi) -kusoma vifungu vilivyo na nafsi ya pili (wewe na nyinyi) -kutumia nafsi ya pili (wewe na nyinyi) umoja na wingi kwa kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi -kujaza nafasi kwa kutumia wewe na nyinyi -kutaja zoezi la nafsi ya pili kwenye tarakilishi kwa kuburura majibu sahihi -kuwasiliana na mzazi au mlezi wake kwa kutumia nafsi ya pili (wewe na nyinyi) |
Ni neno gani unaloweza kutumia kuwataja wenzako bila kutaja majina yao?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 14
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
-Maswali ya maandishi
|
|
| 6 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 15

| 6 | 2 |

| 6 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 16

| 6 | 4 |

| 7 | 1 |
HAKI ZANGU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti /p/, /f/, /v/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua silabi za sauti lengwa katika maandishi, - kutamka ipasavyo silabi za sauti lengwa katika maandishi, - kutamka maneno mepesi yanayotokana na sauti lengwa katika maandishi, - kusoma ipasavyo sentensi nyepesi zenye sauti lengwa kwa matamshi bora - kuchangamkia usomaji bora wa maneno yanayotumia sauti lengwa katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi kwenye maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika sentensi -kusikiliza silabi lengwa zikitamkwa na mwalimu au kifaa cha kidijitali -kutamka silabi za sauti lengwa akiwa peke yake au na wenzake -kusikiliza maneno yenye sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu -kutamka maneno yenye sauti lengwa -kusikiliza sentensi zenye sauti lengwa zikisomwa -kusoma sentensi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali akitamka sentensi za sauti lengwa -kuwasiliana na mzazi au mlezi wake kwa kutumia maneno yenye sauti lengwa |
Je, kwa nini ni vizuri kutamka maneno vizuri tunapozungumza?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 20
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kadi maneno -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 22
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kadi maneno -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 4 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 25
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kadi maneno -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 8 |
MID TERM |
||||||||
| 9 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, -f) kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa -kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kuhusu haki za mtoto kwa kuzingatia matamshi bora -kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika -kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 33 kwa dakika) -kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo -kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo -kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa |
Je, ni mambo gani unayozingatia ili kusoma kwa ufasaha?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 26
-Vifaa vya kidijitali -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 9 | 2 |

| 9 | 3 |

| 9 | 4 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 27
-Vifaa vya kidijitali -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 10 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 28

| 10 | 2 |

| 10 | 3 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini, - kuandika herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi, - kufurahia kutumia herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi ili kuboresha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini -kunakili maneno na sentensi kuhusu mada lengwa (k.v upendo, kupata elimu, chakula, mavazi, makazi) kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa -kutunga na kuandika sentensi fupi akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa -kushirikiana na wenzake kutathmini sentensi walizotunga -kumwandikia mzazi au mlezi maneno kwa kutumia mpangilio ufaao wa herufi kubwa na hati nadhifu |
Je herufi kubwa huwa sifa gani?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 29
-Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Mti maneno -Picha -Chati -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 10 | 4 |

| 11 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 30
-Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Mti maneno -Picha -Chati -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 11 | 2 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 31

| 11 | 3 |

| 11 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Vifungu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi, - kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi, - kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi -kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake -kujaza nafasi kwa kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi -kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno akiambatanisha umoja na wingi -kumwonyesha mzazi au mlezi wake vifungu vya maneno alivyoviandika kwa umoja na wingi |
Umoja na wingi wa vifungu huwa na sifa gani?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 32
-Kadi maneno -Mti maneno -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Orodha hakiki
-Tathmini ya rika
|
|
| 12 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 33

| 12 | 2 |

| 12 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 34

| 12 | 4 |

Your Name Comes Here