If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 |
OPENING OF SCHOOLS |
||||||||
| 2 | 1-2 |
USAFI WA SEHEMU ZA UMMA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika |
Kusikiliza na Kujibu - Mahojiano
Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi Viwakilishi vya Nafsi, Vionyeshi na vya Idadi Viakifishi - Alama ya Hisi na Ritifaa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano -Kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo -Kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali Mwisho wa funzo, -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini -Kutumia viwakilishi vya nafsi ipasavyo -Kuchangamkia matumizi yafaayo ya viwakilishi vya nafsi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano -Kusikiliza mahojiano kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza -Kushiriki mahojiano kuhusu suala lengwa Mwanafunzi aelekezwe: -Kuchopoa viwakilishi vya nafsi katika kapu maneno -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi -Kumsomea mzazi sentensi zinazotumia viwakilishi |
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano?
Viwakilishi vina umuhimu gani katika mawasiliano? |
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 1
Vifaa vya kidijitali Video za mahojiano Chati Kadi maneno KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 4 Picha Michoro KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 10 Vifaa vya kidijitali Chati Kadi maneno KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 8 Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali Kadi zenye mifano |
Kutambua vipengele vya mahojiano
Kushiriki mahojiano
Kujibu maswali
Kueleza umuhimu wa mahojiano
Kutambua viwakilishi vya nafsi Kutunga sentensi Orodha hakiki Kueleza umuhimu |
|
| 2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza na Kujibu - Mahojiano
Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano -Kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali -Kutathmini uongozi bora katika mahojiano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuigiza mahojiano kati ya chifu na mwanakijiji -Kutathmini mahojiano yaliyoigiziwa -Kushiriki mazungumzo na mzazi kuhusu suala lengwa -Kutumia orodha ya ukaguzi kujitathmini |
Je, unahitaji nini ili ufanye mahojiano mazuri?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 2
Orodha ya ukaguzi Kadi za tathmini Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 5 Chati Kamusi |
Kushiriki mahojiano
Kujitathmini
Kutoa maoni
Kuigiza mazungumzo
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Viwakilishi vya Nafsi, Vionyeshi na vya Idadi
Viakifishi - Alama ya Hisi na Ritifaa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua viwakilishi vionyeshi na vya idadi -Kutumia viwakilishi vionyeshi na vya idadi ipasavyo -Kufurahia kutumia viwakilishi mbalimbali katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viwakilishi vionyeshi na vya idadi -Kujaza pengo kwa viwakilishi sahihi -Kutunga kifungu cha aya moja -Kumsambazia mwenzake sentensi mtandaoni |
Je, kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vionyeshi na vya idadi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 12
Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali Jedwali la viwakilishi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 9 Mifano ya alama za ritifaa |
Kutunga sentensi sahihi
Kujaza nafasi
Kufanyiana tathmini
Kutoa maoni
|
|
| 3 | 1-2 |
MATUMIZI YAFAAYO YA DAWA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /g/ na /gh/
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua sauti /g/ na /gh/ katika silabi na maneno -Kutamka sauti /g/ na /gh/ ipasavyo -Kutumia maneno yenye sauti /g/ na /gh/ ipasavyo -Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /g/ na /gh/ Mwisho wa funzo, -Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia -Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma -Kueleza kwa muhtasari ujumbe wa matini aliyosoma -Kujenga mazoea ya kusoma matini za miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua sauti /g/ na /gh/ katika maneno -Kusikiliza maneno na vitanzandimi -Kutafuta maneno yenye sauti /g/ na /gh/ -Kutunga sentensi akitumia maneno yenye sauti lengwa Mwanafunzi aelekezwe: -Kuteua matini kuhusu suala linalomvutia -Kusoma matini ya kujichagulia -Kutambua msamiati katika matini -Kutumia kamusi kutafuta maana -Kuwaeleza wenzake ujumbe wa matini |
Ni maneno yapi yaliyo na sauti /g/ na /gh/?
Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma? |
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 15
Picha Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 17 Matini mbalimbali za kujichagulia Kamusi Kijitabu cha rekodi |
Kutambua sauti /g/ na /gh/
Kutamka ipasavyo
Kutunga sentensi
Kufanya tathmini ya matamshi
Kutambua msamiati mpya Kutunga sentensi Kutoa muhtasari Kuweka rekodi ya aliyosoma |
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Sifa, Pekee na Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua viwakilishi vya sifa katika matini -Kutumia viwakilishi vya sifa ipasavyo -Kuchangamkia matumizi yafaayo ya viwakilishi vya sifa |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuchopoa viwakilishi vya sifa katika mafungu -Kutambua viwakilishi vya sifa katika sentensi -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vya sifa -Kuandika aya kuhusu matumizi yafaayo ya dawa |
Kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vya sifa na vivumishi vya sifa?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 23
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Orodha ya viwakilishi |
Kutambua viwakilishi vya sifa
Kutunga sentensi
Orodha hakiki
Kufanya tathmini
|
|
| 3 | 4 |
Kuandika
|
Barua ya Kirafiki ya Kutoa Shukrani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya kutoa shukrani -Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki -Kujadili ujumbe unaoafiki barua ya kirafiki ya kutoa shukrani |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza umuhimu wa kuandika barua ya kirafiki -Kutambua lugha inayofaa kwa uandishi -Kujadili vipengele vya kimuundo -Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 20
Matini ya mwalimu Michoro Chati Mfano wa barua ya kirafiki |
Kutambua vipengele vya barua
Kuchora muundo
Kujibu maswali
Kueleza lugha inayofaa
|
|
| 4 | 1-2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /g/ na /gh/
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /g/ na /gh/ -Kuigiza mazungumzo akizingatia matamshi bora -Kushiriki mazungumzo na mzazi kwa kuzingatia sauti lengwa Mwisho wa funzo, -Kutunga sentensi akitumia msamiati mpya -Kuandika muhtasari wa matini ya kujichagulia -Kuweka rekodi ya matini aliyosoma -Kutoa maoni kuhusu matini aliyosoma |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuigiza mazungumzo kati ya Maya na Mlama -Kutaja maneno yote yenye sauti /g/ na /gh/ -Kutunga sentensi akitumia maneno ya sauti lengwa -Kushiriki mazungumzo na mzazi Mwanafunzi aelekezwe: -Kutunga sentensi akitumia msamiati mpya -Kuandika muhtasari wa matini -Kujaza kijitabu cha "Shajara yangu" -Kutoa maoni kuhusu matini aliyosoma |
Je, unatumiaje sauti /g/ na /gh/ katika mazungumzo?
Unapataje ujumbe katika matini uliyoisoma? |
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 16
Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno Mazungumzo ya Maya na Mlama KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 19 Shajara ya usomaji Matini ya mwalimu Kijitabu maalum |
Kuigiza mazungumzo
Kutamka sauti sahihi
Kutunga vitanzandimi
Kushiriki na mzazi
Kutunga sentensi sahihi Kuandika muhtasari Kuweka rekodi Kutoa maoni |
|
| 4 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Sifa, Pekee na Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua viwakilishi vya pekee na viulizi -Kutumia viwakilishi vya pekee na viulizi ipasavyo -Kuchangamkia kutumia viwakilishi mbalimbali katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viwakilishi vya pekee na viulizi -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vya pekee na viulizi -Kuandika aya kuhusu dawa akitumia viwakilishi mbalimbali -Kumsomea mzazi sentensi zenye viwakilishi |
Viwakilishi vya pekee hutumiwa kwa namna gani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 25
Vifaa vya kidijitali Kadi za viwakilishi Matini ya mwalimu |
Kutunga sentensi sahihi
Kutambua viwakilishi
Kufanyiana tathmini
Kushiriki na mzazi
|
|
| 4 | 4 |
Kuandika
|
Barua ya Kirafiki ya Kutoa Shukrani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani -Kukuza mazoea ya kuandika barua ya kirafiki -Kutumia lugha ifaayo katika barua ya kirafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani -Kuwasomea wenzake barua aliyoandika -Kurekebisha barua akizingatia maoni ya wenzake -Kumwandikia mzazi barua ya kutoa shukrani |
Je, unazingatia nini unapoandika barua ya kirafiki?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 21
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Mifano ya barua za kirafiki |
Kuandika barua ya kirafiki
Kusomeana barua
Kufanya tathmini
Kutoa maoni
|
|
| 5 | 1-2 |
DHIKI ZINAZOKUMBA WANYAMA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Hadithi - Mighani
Kusoma kwa Kina - Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza dhana ya mighani ili kuipambanua -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa mighani -Kujadili ujumbe na lugha katika mighani Mwisho wa funzo, -Kueleza maana ya tamthilia ili kuipambanua -Kujadili sifa za tamthilia kama utanzu wa fasihi andishi -Kuchangamkia usomaji wa tamthilia |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya mighani -Kushiriki kueleza sifa za mighani -Kujadili vipengele vya uwasilishaji wa mighani -Kusikiliza mighani ikisimuliwa na mwalimu Mwanafunzi aelekezwe: -Kufafanua maana ya tamthilia -Kutafiti maktabani kuhusu sifa za tamthilia -Kuwawasilishia wenzake utafiti wake -Kusoma tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu |
Je, unaposimulia mighani unafaa kuzingatia vipengele gani?
Je, tamthilia uliyowahi kusoma ilikuwa inahusu nini? |
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 28
Kadi za tashbihi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 31 Diwani ya mashairi iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua mighani
Kueleza matumizi
Kutunga mighani
Kutofautisha mighani na semi zingine
Kutambua sifa za tamthilia Kusoma tamthilia Kuandika muhtasari Kujadili ujumbe |
|
| 5 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi Vimilikishi na Visisitizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika matini -Kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo -Kuchangamkia kutumia viwakilishi katika sentensi na vifungu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuchopoa viwakilishi vimilikishi na visisitizi -Kutambua viwakilishi katika sentensi -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vimilikishi -Kumsomea mzazi sentensi zinazotumia viwakilishi |
Unazingatia nini unapotumia viwakilishi vimilikishi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 36
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Orodha ya viwakilishi |
Kutambua viwakilishi vimilikishi
Kutunga sentensi
Kujaza mapengo
Kushiriki na mzazi
|
|
| 5 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kubaini wazo moja kuu la insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi inayoendeleza wazo moja kuu -Kufurahia kuandika insha za masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua wazo moja kuu la simulizi -Kuandika insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa -Kuliendeleza wazo moja kuu katika kila aya -Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha |
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya kubuni?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 34
Mifano ya insha za masimulizi Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutambua wazo kuu
Kuandika insha ya masimulizi
Kusahihisha kazi
Kuwasomea wenzake
|
|
| 6 | 1-2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Hadithi - Mighani
Kusoma kwa Kina - Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo -Kuchangamkia kushiriki katika uwasilishaji wa mighani -Kuwawasilishia mzazi mighani aliyotafitia katika jamii Mwisho wa funzo, -Kutambua muundo wa tamthilia -Kujadili wahusika na mazungumzo katika tamthilia -Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo -Kubainisha sifa na vipengele vya uwasilishaji -Kuwasilishia mzazi mighani aliyotafitia -Kujadili ujumbe husika Mwanafunzi aelekezwe: -Kusoma kurasa chache za tamthilia -Kujadili muundo wa tamthilia -Kutambua wahusika na mazungumzo -Kuwasilishia mzazi sifa za tamthilia |
Je, ni mambo gani muhimu katika uwasilishaji wa mighani?
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi vya tamthilia? |
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 29
Vifaa vya kidijitali Matini zilizo na mighani Chati za uwasilishaji KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 33 Tamthilia iliyoteuliwa Chati ya sifa za tamthilia Vifaa vya kidijitali |
Kusimulia mighani
Kueleza matumizi
Kutunga mighani
Kushiriki na jamii
Kusoma tamthilia Kutambua muundo Kueleza sifa Kufanya tathmini |
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi Vimilikishi na Visisitizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua viwakilishi visisitizi katika matini -Kutumia viwakilishi visisitizi ipasavyo -Kuchangamkia matumizi ya viwakilishi mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viwakilishi visisitizi -Kujaza nafasi kwa viwakilishi visisitizi -Kutunga kifungu cha aya moja -Kuwasilishia mwalimu kifungu chake |
Je, viwakilishi visisitizi vina muhimu gani katika mawasiliano?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 37
Vifaa vya kidijitali Kapu na kadi maneno Matini ya mwalimu |
Kutambua viwakilishi visisitizi
Kutunga sentensi
Kufanya tathmini
Kuwasilisha kazi
|
|
| 6 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kuendeleza wazo kuu katika aya za insha -Kutumia wahusika katika simulizi -Kuwasilisha insha kwa wenzake ili waitathmini |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuendeleza wazo moja kuu katika kila aya -Kutumia wahusika katika simulizi -Kuwasomea wenzake insha aliyoandika -Kutambua wazo moja kuu katika insha za wengine |
Je, unavyoendeleza wazo kuu katika insha ya masimulizi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 35
Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za masimulizi Matini ya mwalimu |
Kuandika insha sahihi
Kuendeleza wazo kuu
Kurekebisha insha
Kuwasilisha kazi
|
|
| 7 |
MID-TERM ASSESSMENTS |
||||||||
| 8 |
MID-TERM BREAK |
||||||||
| 9 | 1-2 |
MATUMIZI BORA YA MALIASILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Hadithi - Visasili
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza dhana ya visasili ili kuibanisha -Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili -Kuwasilisha visasili kwa kuzingatia uwasilishaji ufaao Mwisho wa funzo, -Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha -Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya visasili -Kufanya utafiti kuhusu sifa za visasili -Kuwawasilishia wenzake matokeo ya utafiti -Kujadili vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji Mwanafunzi aelekezwe: -Kujadiliana vipengele vya kusoma kwa ufasaha -Kutazama vielelezo vya usomaji fasaha -Kusoma kifungu akizingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo |
Je, uwasilishaji wa hadithi ya visasili huzingatia vipengele gani?
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani? |
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 40
Orodha ya visasili Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 42 Diwani ya mashairi iliyoteuliwa Chati ya sifa za usomaji Vifaa vya kidijitali |
Kutambua visasili
Kueleza matumizi
Kutunga visasili
Kutofautisha visasili na semi zingine
Kutambua vipengele vya usomaji Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali Kufanya tathmini |
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali - Hali ya Mazoea na Timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu -Kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo -Kufurahia kutumia hali za vitenzi ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kushirikiana kueleza maana ya hali ya mazoea -Kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa -Kutunga sentensi kwa kutumia hali ya mazoea -Kuandika sentensi katika hali ya mazoea |
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 47
Kadi za vihusishi Chati Vifaa vya kidijitali |
Kutambua hali ya mazoea
Kutunga sentensi sahihi
Kufanyiana tathmini
Kuweka rekodi
|
|
| 9 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua mbinu za lugha katika insha ya masimulizi -Kujadili umuhimu wa mbinu za lugha -Kujadili wahusika na mandhari katika insha za masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha katika vielelezo -Kushirikiana kujadili umuhimu wa lugha ya kiubunifu -Kutafiti kuhusu umuhimu wa mbinu za lugha -Kujadili wahusika na mandhari |
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya masimulizi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 45
Mifano ya insha za masimulizi Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mbinu za lugha
Kujadili umuhimu
Kuandika mwongozo
Kutunga insha
|
|
| 10 | 1-2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Hadithi - Visasili
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi -Kufurahia uchambuzi na uwasilishaji wa visasili -Kujadili na mzazi kuhusu visasili katika jamii Mwisho wa funzo, -Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi -Kubainisha vipengele vya uwasilishaji -Kujadili na mzazi kuhusu visasili -Kusimulia visasili akizingatia vipengele vya uwasilishaji Mwanafunzi aelekezwe: -Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo -Kusoma akiambatanisha ishara zifaazo -Kushirikiana na mzazi kusoma makala -Kuwasomea wenzake kifungu aliyoandika |
Visasili vina sifa gani?
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kufanikisha usomaji kwa ufasaha? |
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 41
Vifaa vya kidijitali Matini zilizo na visasili Chati za uwasilishaji KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 43 Makala mbalimbali Vifaa vya kidijitali Chati ya usomaji |
Kusimulia visasili
Kueleza matumizi
Kutunga visasili
Kushiriki na jamii
Kusoma kwa ufasaha Kutumia ishara zifaazo Kujibu maswali Kushiriki na mzazi |
|
| 10 | 3 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali - Hali ya Mazoea na Timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza maana ya hali timilifu -Kutumia hali timilifu ipasavyo -Kutofautisha hali ya mazoea na hali timilifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua hali timilifu katika picha -Kutunga sentensi kwa kutumia hali timilifu -Kubadilisha sentensi kutoka hali ya mazoea hadi timilifu -Kumwasilishia mzazi sentensi alizotunga |
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 48
Picha za matendo Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua hali timilifu
Kutunga sentensi
Kubadilisha hali
Kushiriki na mzazi
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kusikiliza Maagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kuandika insha ya masimulizi akizingatia mbinu za lugha -Kufurahia kuandika insha ya masimulizi -Kutunga insha zenye wahusika wanaobainika na mandhari ifaavyo |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya masimulizi akitumia lugha kiubunifu -Kuwabainisha wahusika na mandhari -Kuwasomea wenzake insha aliyoandika -Kumsomea mzazi kielelezo cha insha |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika uandishi wa insha ya masimulizi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 46
Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za masimulizi Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 51 Chati za maagizo |
Kuandika insha ya masimulizi
Kutumia mbinu za lugha
Kurekebisha insha
Kuwasilisha kazi
|
|
| 11 | 1-2 |
MAJUKUMU YA KIJINSIA
Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusoma kwa Ufahamu
Nyakati na Hali - Hali Timilifu Insha ya Maelekezo Kusikiliza Maagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu - Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari - Kutambua insha ya maelekezo katika matini - Kujadili sifa za insha ya maelekezo - Kuandika insha ya maelekezo akizingatia anwani na mpangilio ufaao - Kufurahia kuandika insha za maelekezo maishani |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali - Kueleza habari za kifungu kwa ufupi akishirikiana na wenzake - Kuchopoa msamiati wa suala lengwa na kuutia kwenye kapu la maneno - Kueleza maana za maneno kulingana na muktadha wa matumizi katika matini Mwanafunzi aelekezwe: - Kueleza maana ya insha ya maelekezo akishirikiana na wenzake - Kusoma kwenye kamusi au kifaa cha kidijitali maana ya insha ya maelekezo akiwa na mwenzake - Kutambua aina za insha za maelekezo kwenye maandishi au vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake - Kubainisha sifa za insha ya maelekezo kwa kuzingatia vielelezo vya insha kwenye matini za kimaandishi au za kidijitali |
Ni kwa njia gani tunaweza kudondoa habari mahususi kutokana na kifungu cha ufahamu?
Je, ni mambo gani unayozingatia unapoandika insha ya maelekezo? |
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 54
Kifaa cha kidijitali Kamusi Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 59 Chati za nyakati na hali Mti maneno Vifaa vya kidijitali KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 56 Kifaa cha kidijitali Mifano ya insha za maelekezo Kamusi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 52-53 Vifaa vya kidijitali Kadi za maagizo Matini ya mwalimu |
Kudondoa habari mahususi
Kujibu maswali ya ufahamu
Kueleza maana ya msamiati
Kushiriki mijadala
Kutambua sifa za insha ya maelekezo Kujadili vipengele muhimu Kuandika mpangilio wa hatua Kushiriki mijadala |
|
| 11 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu
Nyakati na Hali - Hali Timilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu - Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusakura vifungu vya ufahamu kuhusu suala lengwa kwenye vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake na kuvisoma - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kifupi kwa sauti na kueleza habari husika kwa ufupi |
Ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 55
Vifaa vya kidijitali Kamusi Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 60 Chati za nyakati |
Kusoma kwa ufahamu
Kueleza ujumbe
Kushiriki na mzazi/mlezi
Kufanyiana tathmini
|
|
| 11 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelekezo katika matini - Kujadili sifa za insha ya maelekezo - Kuandika insha ya maelekezo akizingatia anwani na mpangilio ufaao - Kufurahia kuandika insha za maelekezo maishani |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki kuandaa mpangilio ufaao wa hatua za insha ya maelekezo - Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele vyake muhimu huku akitumia vipengele vya lugha - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 57-58
Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za maelekezo Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya maelekezo
Kusomeana insha
Kutoa na kupokea maoni
Kurekebisha kazi
|
|
| 12 |
END TERM ASSESSMENTS |
||||||||
| 13 |
CLOSING OF SCHOOLS |
||||||||
Your Name Comes Here