If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 2 |
SAA NA MAJIRA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano - Kutumia maneno ya heshima yanayohusiana na udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku - Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maneno ya udugu kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu - Kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi - Kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya udugu kwenye tarakilishi na video - Kujadili matumizi ya maneno ya udugu akishirikiana na wenzake darasani |
Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 65
Picha Chati ya maneno ya udugu Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno |
Kutambua maneno ya udugu
Kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika sentensi
Kujaza nafasi kwa kutumia maneno ya udugu
Igizo la mazungumzo linalotumia maneno ya udugu ipasavyo
|
|
| 2 | 1 |
Kusoma
Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusoma kwa Mapana
Ngeli I-ZI Baruapepe Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuzingatia hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya kidijitali k.v. kufungua mitandao ifaayo - Kutambua mitandao salama yenye matini inayohusu suala lengwa (saa na majira) na inayoafiki kiwango chake - Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao - Kusoma matini kwa kutumia vifaa vya kidijitali yanayojumuisha msamiati wa saa na majira |
Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kidijitali?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 69
Tarakilishi/vipakatalishi Picha Mwongozo wa usalama mtandaoni Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 73 Kadi maneno Tarakilishi/vifaa vya kidijitali Chati ya ngeli ya I-ZI Miti maneno Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71 Vielelezo vya baruapepe Kielelezo cha muundo wa baruapepe Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 67 Chati ya maneno ya udugu na vyeo Picha za familia |
Kutambua hatua za kiusalama za kuzingatia mtandaoni
Kutumia mitandao salama kusakura matini
Kutoa muhtasari wa matini aliyosoma
Kutumia msamiati wa saa na majira katika mawasiliano
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Ngeli ya I-ZI Baruapepe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma matini kwa kutumia vifaa vya kidijitali yanayojumuisha msamiati wa saa (k.v. kasoro dakika…, saa… kamili, saa…na dakika…) na majira (nyakati za siku) (k.v. alfajiri, asubuhi, adhuhuri, alasiri, thenashara, machweo na macheo) - Kusoma vifungu vyenye suala lengwa ambavyo alisakura - Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake |
Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71
Vifaa vya kidijitali Kamusi ya mtandaoni Chati ya msamiati wa majira ya siku Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 74 Orodha ya nomino za ngeli ya I-ZI Mifano ya sentensi zenye nomino za ngeli ya I-ZI Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 72 Kielelezo cha baruapepe iliyokamilika Mwongozo wa kuandika baruapepe |
Kutambua msamiati wa saa na majira katika matini
Kutoa muhtasari wa matini aliyosoma
Kujibu maswali kuhusu msamiati wa saa na majira
Kutumia msamiati wa saa na majira katika sentensi
|
|
| 3 | 1 |
KUKABILIANA NA UMASKINI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Methali: Methali Zinazohusu Bidii
Kusoma kwa Ufahamu: Shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua methali zinazohusu bidii ili kuzitofautisha na aina zingine za methali - Kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii - Kutumia methali zinazohusu bidii katika mawasiliano - Kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua methali zinazohusu bidii (k.v. mchagua jembe si mkulima, mgagaa na upwa hali wali mkavu, atafutaye hupata, anayejitahidi hufaidi, ukiona vyaelea vimeundwa) katika chati, ubao, vyombo vya kidijitali - Kujadiliana kuhusu maana na matumizi ya methali zinazohusu bidii na wenzake darasani - Kutoa mifano ya methali zinazohusu bidii - Kusikiliza methali zinazohusu bidii zikitumiwa kupitia vyombo vya kidijitali |
Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 78
Chati ya methali Vifaa vya kidijitali Orodha ya methali zinazohusu bidii Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 82 Mashairi mbalimbali Chati yenye mifano ya vina na mizani |
Kutambua methali zinazohusu bidii
Kueleza maana na matumizi ya methali zinazohusu bidii
Kukamilisha methali zinazohusu bidii
Kufanyiana tathmini ya matumizi ya methali
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli ya U-ZI
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI ili kuzibainisha - Kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi - Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya U-ZI - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.m. uzi- nyuzi, ukuta-kuta, uta- nyuta, ubavu- mbavu, wakati-nyakati, ukucha-kucha na ufunguo-funguo, wimbo-nyimbo) - Kuandika nomino katika ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akiwa na wenzake - Kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 87
Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Chati ya nomino za ngeli ya U-ZI Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 85 Vielelezo vya insha za maelezo Kielelezo cha muundo wa insha |
Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI
Kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
Kupigia mstari nomino za ngeli ya U-ZI katika kifungu
Kuorodhesha mifano ya nomino za ngeli ya U-ZI
|
|
| 4 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Methali: Methali Zinazohusu Bidii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua methali zinazohusu bidii ili kuzitofautisha na aina zingine za methali - Kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii - Kutumia methali zinazohusu bidii katika mawasiliano - Kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake katika kukamilisha methali zinazohusu bidii - Kusakura mtandaoni kwa kusaidiwa na mzazi au mlezi wake ili kupata methali zaidi zinazohusu bidii na matumizi ya methali hizo - Kutunga sentensi akitumia methali zinazohusu bidii - Kutumia kamusi ya methali kueleza maana za methali mbalimbali zinazohusu bidii |
Kutumia methali zinazohusu bidii kuna umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 80
Kamusi ya methali Vifaa vya kidijitali Chati ya methali na maana zake |
Kueleza maana za methali zinazohusu bidii
Kutunga sentensi zenye methali zinazohusu bidii
Kutumia methali kukamilisha kifungu
Kuandika kifungu kifupi ukitumia methali za bidii
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu: Shairi
Ngeli ya U-ZI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mizani na vina katika shairi ili kuvibainisha - Kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu - Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo - Kusoma shairi "Tumeshinda Uchochole" akizingatia vina, mizani na ujumbe - Kuandika ujumbe unaojitokeza katika shairi "Tumeshinda Uchochole" - Kujibu maswali kuhusu vina, mizani na ujumbe wa shairi |
Ujumbe gani unaweza kutolewa kupitia ushairi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 84
Shairi la "Tumeshinda Uchochole" Vifaa vya kidijitali Mashairi mbalimbali Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 91 Chati ya viambishi vya ngeli ya U-ZI Kadi za sentensi |
Kusoma shairi kwa kuzingatia vina na mizani
Kujibu maswali kuhusu shairi
Kueleza ujumbe unaojitokeza katika shairi
Kufanya tathmini ya idadi ya mizani katika beti
|
|
| 5 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Maelezo
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali - Kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili kuitolea maoni |
Ni mambo gani unazingatia ili kuandika insha ya maelezo ya kuvutia?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 86
Vifaa vya kidijitali Orodha hakiki ya mambo ya kuzingatia katika insha ya maelezo Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 94 Chati ya shairi la "Nawajibika" Kamusi |
Kuandika insha ya maelezo ifaayo
Kutumia methali na nahau katika insha
Kusahihisha makosa katika insha
Kutathmini insha za wenzake
|
|
| 5 | 2 |
MAADILI
Kusoma Sarufi |
Kusoma kwa Mapana: Makala
Ngeli ya U-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa makala - Kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua makala mbalimbali kuhusu maadili - Chagueni makala yanayowavutia miongoni mwa yale mliyotambua - Someni makala mliyochagua - Jadilini mmejifunza nini kutokana na makala hayo |
Je, unafaa kuzingatia nini unapojichagulia makala ya kusoma?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 96
Makala mbalimbali Vifaa vya kidijitali Kamusi Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 100 Kadi maneno Chati ya nomino za ngeli ya U-YA Picha zenye nomino za ngeli ya U-YA |
Kutambua makala ya kusoma
Kueleza ujumbe wa makala
Kutambua msamiati muhimu katika makala
Kutoa muhtasari wa makala
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao - Kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi - Jadilini sehemu mbalimbali za insha ya wasifu vifuatavyo kwenye insha mliyosoma: kichwa, utangulizi, mwili na hitimisho - Jikiteni jinsi mada yenyewe, utangulizi, mwili na hitimisho vinaweza kumwelezea mtu, kitu, mnyama au mahali |
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 98
Insha za wasifu Vifaa vya kidijitali Mchoro wa muundo wa insha ya wasifu |
Kutambua vipengele vya muundo vya insha ya wasifu
Kuchora mchoro wa muundo wa insha ya wasifu
Kueleza vipengele vinavyojenga insha ya wasifu
Kutofautisha insha ya wasifu na aina nyingine za insha
|
|
| 6 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Ushairi
Kusoma kwa Mapana: Makala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano - Kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kujadili ujumbe katika shairi - Kujibu maswali yanayotokana na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati alioujifunza kutoka kwa shairi - Kukariri shairi mbele ya darasa akizingatia matamshi bora na mahadhi |
Je, shairi linalohusiana na maadili lina umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 95
Mashairi mbalimbali Vifaa vya kidijitali Uchati wa msamiati wa maadili Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 97 Kamusi Makala mbalimbali |
Kukariri shairi kwa usahihi
Kutambua ujumbe katika shairi
Kutumia msamiati wa shairi katika sentensi
Kufanya tathmini ya shairi zilizokaririwa
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli ya U-YA
Insha ya Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-YA kwenye sentensi - Kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi kwenye sentensi - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tunga sentensi ukitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja - Andika sentensi ulizotunga katika wingi - Wasomee wenzako sentensi ulizotunga - Waombe wakutolee maoni - Chagua jibu sahihi kujazia kila nafasi kwa viambishi vya ngeli ya U-YA |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-YA?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 101
Chati ya viambishi vya ngeli ya U-YA Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 99 Orodha ya vipengele vya insha ya wasifu Miongozo ya kuandika insha ya wasifu |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya U-YA
Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya U-YA
Kuandika sentensi katika umoja na wingi
Kufanyiana tathmini ya sentensi
|
|
| 7 | 2 |
ELIMU YA MAZINGIRA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Sarufi |
Nahau: Nahau za Usafi na Mazingira
Kusoma kwa Mapana: Matini Kusoma kwa Mapana: Matini Ngeli ya KU-KU |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali - kufafanua maana za nahau mbalimbali za usafi na mazingira kwa kutoa mifano - kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano - kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua nahau za usafi na mazingira (k.v. angua kucha, penga kamasi, piga deki, piga sulu, piga mswaki, enda msalani) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno au katika vyombo vya kidijitali - kujadiliana na wenzake maana za nahau za usafi na mazingira na kutoa mifano - kutumia nahau za usafi na mazingira kutunga sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake - kushirikiana na wenzake kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka |
1. Je, ni nahau zipi zinahusu usafi?
2. Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 104
Picha za nahau mbalimbali Kadi za maneno Chati ya nahau Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 107 Picha za matini mbalimbali Vitabu, magazeti na majarida Vifaa vya kidijitali Matini mbalimbali Maktaba Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 112 Picha za vitendo Sentensi zilizo na nomino za ngeli ya KU-KU Orodha ya nomino za ngeli ya KU-KU |
Kutambua nahau za usafi na mazingira
Kueleza maana za nahau
Kutunga sentensi zenye nahau
Kujaza nafasi kwa kutumia nahau
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya KU-KU
Kuandika Insha: Insha ya Maelezo Nahau: Nahau za Usafi na Mazingira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino katika ngeli ya KU-KU - kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi - kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya KU-KU - kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KU-KU katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo mbalimbali na kutaja vitendo hivyo - kutaja nomino za ngeli ya KU-KU kutokana na vitendo katika picha - kutaja nomino nyingine za ngeli ya KU-KU - kuchagua nomino za ngeli ya KU-KU kwenye mti maneno - kuunda nomino za ngeli ya KU-KU kwa kutumia kiambishi ku- na kitenzi - kuandika sentensi katika umoja na wingi - kutunga sentensi kwa kutumia nomino za ngeli ya KU-KU |
1. Ni vipi tunaweza kuunda nomino za ngeli ya KU-KU?
2. Je, nomino za ngeli ya KU-KU zinatofautiana vipi na nomino za ngeli nyingine?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 113
Picha za vitendo Mti maneno Jedwali la kuundika nomino za ngeli ya KU-KU Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 109 Matini ya insha ya maelezo Mifano ya insha za maelezo Chati ya muundo wa insha Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 105 Orodha ya nahau Picha zinazoonyesha nahau mbalimbali |
Kuunda nomino za ngeli ya KU-KU
Kutambua nomino za ngeli ya KU-KU
Kuandika sentensi katika umoja na wingi
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU
|
|
| 8-9 |
Halfterm |
||||||||
| 10 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana: Matini
Ngeli ya KU-KU |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba - kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa - kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma matini aliyoichagua ili kupata ujumbe uliomo - kueleza ujumbe wa matini hiyo kwa ufupi - kuandika muhtasari wa matini aliyoisoma - kuwasilisha muhtasari wake kwa wenzake ili wausikilize na kuutolea maoni - kutoa maoni yake kuhusu matini aliyoisoma - kujadiliana na wenzake kuhusu matini mbalimbali walizozisoma |
1. Ulipata ujumbe gani kutoka kwa matini uliyosoma?
2. Unaweza kushauri wenzako wasome matini hiyo? Kwa nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 108
Matini mbalimbali Daftari za wanafunzi Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 115 Sentensi zenye viambishi vya ngeli ya KU-KU Tepurekoda au kinasasauti |
Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma
Kuandika muhtasari wa matini
Kuwasilisha muhtasari
Kutoa maoni kuhusu matini
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli ya KU-KU
Kuandika Insha: Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU kwenye sentensi - kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusikiliza sentensi zikisomwa katika kiungo kilichotolewa - kutambua nomino za ngeli ya KU-KU kwenye sentensi alizosikiliza - kutumia kiambishi cha ngeli ya KU-KU kujaza kila nafasi kwa usahihi - kuandika nomino tano za ngeli ya KU-KU - kuchagua nomino ya ngeli ya KU-KU kwenye orodha iliyotolewa kujazia kila pengo - kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU |
1. Je, kuna nomino gani nyingine za ngeli ya KU-KU ambazo hujazitaja bado?
2. Je, ni viambishi gani vya ngeli ya KU-KU hutumika katika umoja na wingi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 116
Kiungo cha sauti: Orodha ya nomino za ngeli ya KU-KU Sentensi zenye nafasi za kujaza Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 111 Daftari la mwanafunzi Mifano ya insha za maelezo Vidokezo vya kuandaa insha |
Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya KU-KU
Kutambua nomino za ngeli ya KU-KU
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU
Kufafanua matumizi ya viambishi vya ngeli ya KU-KU
|
|
| 11 | 1 |
NDEGE WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Visawe
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini - kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano - kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua maneno matatu yenye maana sawa (k.v. nyumbani, mastakimu, chengo; barabara, tariki, baraste; jitimai, huzuni, simanzi) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti maneno au kuburura kwa kutumia tarakilishi - kueleza maana ya maneno matatu yenye maana sawa akiwa na wenzake - kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa kutoka kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno - kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au vyombo vya kidijitali - kujadili visawe mbalimbali katika vikundi |
Unajua maneno gani yenye maana sawa?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 118
Picha za ndege wa porini Kadi za maneno Kapu la maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 121 Mchezo wa kuigiza "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO" Orodha ya wahusika |
Kutambua maneno matatu yenye maana sawa
Kueleza maana ya visawe
Kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa
Kutunga sentensi kwa kutumia visawe
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendewa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini - kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha - kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza - kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali - kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza - kufurahia kusoma michezo na kuigiza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kueleza maana za maneno kama vile 'mwewe', 'mbuni', 'chiriku', 'kasuku' na 'kukuziwa' jinsi yalivyotumika katika mchezo wa kuigiza - kuandika ujumbe wa mchezo wa kuigiza kwa ufupi - kuwasilisha muhtasari wa mchezo wa kuigiza kwa wenzake ili wautolee maoni - kuigiza mchezo wa kuigiza kwa kuhakikisha wametilia mkazo maelekezo yaliyotolewa - kusoma video ya mchezo wa kuigiza katika mtandao salama - kujadili maelekezo yaliyotumiwa kwenye mchezo huo |
1. Je, ujumbe wa mchezo wa kuigiza "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO" ni upi?
2. Ni matatizo gani yanayowakumba ndege wa porini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 123
Mchezo wa kuigiza ulioandikwa Video za mchezo wa kuigiza Kamusi ya Kiswahili Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 128 Picha zinazoonyesha watu wakifanyiwa vitendo Orodha ya vitenzi Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa |
Kueleza maana ya maneno
Kuandika muhtasari wa mchezo wa kuigiza
Kuigiza mchezo wa kuigiza kwa kuzingatia maelekezo
Kujadili ujumbe wa mchezo wa kuigiza
|
|
| 12 | 1 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendewa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa katika matini ili kuvitofautisha - kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa ipasavyo anapowasiliana - kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuambatanisha vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa (anda - andikiwa, zima - zimiwa) - kutaja vitenzi vingine vitano vilivyo katika kauli ya kutendewa - kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa (pima - pimiwa, cheza - chezewa) - kutunga sentensi katika kauli ya kutendewa akitumia vitenzi mbalimbali - kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitolee maoni |
1. Je, unaweza kutaja vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendewa?
2. Kauli ya kutendewa inatusaidiaje katika kuwasiliana?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 129
Jedwali la vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa Daftari la mwanafunzi |
Kuambatanisha vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa
Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa
Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa
Kuwasomea wenzake sentensi
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka
Insha za Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vitenzi katika hali ya kutendeka katika matini ili kuvitofautisha - kutumia vitenzi katika hali ya kutendeka ipasavyo anapowasiliana - kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendeka katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo (futika, funguka, shoneka, limika) - kujadili kinachofanyika kwenye picha hizo - kusoma vitenzi kwenye picha hizo - kueleza kwamba vitenzi hivyo viko katika kauli ya kutendeka - kutaja vitenzi vitano vingine katika kauli ya kutendeka - kuchagua vitenzi katika kauli ya kutendeka kwenye chati - kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendeka kwenye sentensi - kuchagua sentensi zilizo na vitenzi katika kauli ya kutendeka |
Je, ni vitenzi vipi viko kwenye kauli ya kutendeka?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 130
Picha zinazoonyesha vitendo katika kauli ya kutendeka Chati ya vitenzi Sentensi zenye vitenzi vya kauli ya kutendeka Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 126 Insha ya masimulizi "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE" Chati ya sifa za insha ya masimulizi Daftari la mwanafunzi |
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendeka
Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendeka
Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendeka
|
|
| 13 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Visawe
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini - kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano - kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuchagua kundi la maneno lenye visawe pekee (k.v. kandanda, kabumbu, soka) - kueleza maana ya maneno aliyochagua - kutaja visawe vingine vitatu anavyojua - kushiriki katika mchezo ambapo mmoja anataja neno na mwingine anataja visawe viwili vya neno hilo - kuambatanisha kila neno na visawe vyake kwenye jedwali - kutamka sentensi upya kwa kutumia visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari |
1. Je, mtu anaweza kutumia visawe wapi?
2. Kwa nini visawe ni muhimu katika lugha?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 119
Kadi za visawe Jedwali la kuambatanisha maneno na visawe Sentensi zenye maneno yaliyopigiwa mstari Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 125 Video ya mchezo wa kuigiza Kifaa cha kidijitali cha kutazama video Mtandao salama |
Kuchagua maneno yenye visawe
Kutaja visawe vya maneno
Kuambatanisha maneno na visawe vyake
Kutumia visawe katika sentensi
|
|
| 13 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendana
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kutendewa, Kutendeka na Kutendana Insha za Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vitenzi katika hali ya kutendana katika matini ili kuvitofautisha - kutumia vitenzi katika hali ya kutendana ipasavyo anapowasiliana - kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendana katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo (salimiana, agana) - kujadili kinachotendeka kwenye picha hizo - kusoma vitenzi kwenye picha hizo - kueleza kuwa vitenzi hivyo viko katika kauli ya kutendana - kutaja vitenzi vingine vitano katika kauli ya kutendana - kuchora duara kwenye vitenzi katika kauli ya kutendana kwenye mraba - kupigia mstari vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendana kwenye sentensi |
Kauli ya kutendana huonyesha nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 133
Picha zinazoonyesha vitendo katika kauli ya kutendana Mraba wenye vitenzi mbalimbali Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendana Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 136 Jedwali la kunyambua vitenzi katika kauli mbalimbali Sentensi zenye nafasi za kujaza Daftari la mwanafunzi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 127 Vidokezo vya insha ya masimulizi Potifolio |
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendana
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendana
Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendana
Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendana
|
|
Your Name Comes Here