If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
MAZOEZI YA VIUNGO VYA MWILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutamka sauti /b/ na /mb/ ipasavyo ili kuzitofautisha kimatamshi. Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo. Kuunda vitanzandimi vyepesi vyenye sauti /b/ na /mb/. Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /b/ na /mb/ katika mazungumzo ya kawaida. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno kama "bali-mbali", "bao-mbao", "baba-bomba", "ibo-imba", "boga-mboga". Kusikiliza na kutamka vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha matamshi ya sauti /b/ na /mb/ katika kifaa cha kidijitali. Kubuni vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha sauti /b/ na /mb/. Kuwasomea wenzake vitanzandimi alivyobuni ili wamtolee maoni. |
Je, kutamka maneno yenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 13-14
Mti maneno Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 15-16 Matini mbalimbali za kujichagulia Kamusi |
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno
Kutunga vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/
Orodha hakiki ya maneno yenye sauti hizo
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
|
Vihusishi vya -a Unganifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika matini. Kutumia vihusishi vya -a unganifu ipasavyo katika matini. Kuchangamkia matumizi ya -a unganifu ifaavyo katika mahusiano na mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vya -a unganifu kama "wa", "la", "ya", "cha", "za" katika mafungu ya maneno. Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika sentensi. Kujaza pengo kwa vihusishi vya -a unganifu. Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya -a unganifu akizingatia mazoezi ya viungo vya mwili. |
Je, vihusishi vya -a unganifu hutumika vipi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 19-20
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Orodha ya vihusishi vya -a unganifu |
Kutambua vihusishi vya -a unganifu
Kuulizana na kujibu maswali
Kutunga sentensi zenye vihusishi vya -a unganifu
Orodha hakiki ya matumizi ya vihusishi vya -a unganifu
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kirafiki
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua ujumbe unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki. Kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki. Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki. Kuchangamkia kujibu barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua ujumbe unaoafiki anapojibu barua ya kirafiki. Kueleza lugha inayofaa kujibu barua ya kirafiki. Kujadili muundo wa kujibu barua ya kirafiki akishirikiana na wenzake. Kuchora mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki kitambuni. |
Je, unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 17
Matini ya mwalimu Michoro Chati Mfano wa barua ya kirafiki KLB Top Scholar Kiswahili uk. 13-14 Mti maneno Kifaa cha kidijitali |
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki
Kuchora muundo wa barua ya kirafiki
Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki
Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kirafiki
|
|
| 2 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma. Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma. Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua matini kuhusu mazoezi ya viungo vya mwili kisha some matini aliyojichagulia. Kutambua msamiati muhimu katika matini aliyoteua. Kufafanua ujumbe wa matini aliyoisoma kwa ufupi. Kutambua na kuorodhesha msamiati uliotumika katika matini aliyojichagulia. |
Je, unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 15-16
Matini mbalimbali za kujichagulia Kamusi |
Kusoma matini ya kujichagulia
Kutambua msamiati muhimu
Kuorodhesha msamiati na maana yake
Kufafanua ujumbe wa matini
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Vihusishi vya Sababu
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vihusishi vya sababu katika matini. Kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matini. Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika mawasiliano na mahusiano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vya sababu "kwa" katika sentensi kama "Alipendwa kwa wema wake." Kutambua vihusishi vya sababu katika sentensi kwa kuvipigia mstari. Kujaza pengo kwa vihusishi vya sababu vifaavyo. Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya sababu akizingatia mazoezi ya viungo vya mwili. |
Je, vihusishi vya -a unganifu na vya sababu hutofautiana vipi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 21
Vifaa vya kidijitali Kapu na kadi maneno Matini ya mwalimu KLB Top Scholar Kiswahili uk. 18-19 Mifano ya barua za kirafiki |
Kutambua vihusishi vya sababu
Kutunga sentensi zenye vihusishi vya sababu
Tathmini ya mwanafunzi
Orodha hakiki ya matumizi ya vihusishi vya sababu
|
|
| 3 | 2 |
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza; Kueleza vipengele vya ufahamu wa kusikiliza; Kusikiliza na kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza; Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha ya wanafunzi wanasikiliza runinga; Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza kwa kuzingatia matendo katika picha; Jadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza. |
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kujibu mjadala?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 52
Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutambua kanuni za ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza kwa makini;
Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza
|
|
| 3 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu
Hali za Masharti - -nge- |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu; Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu; Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu; Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu kinachohusu mitazamo hasi ya kijinsia; Kudondoa habari mahususi katika kifungu kwa kujibu maswali yaliyotolewa; Kujadili maswali na majibu na wenzake. |
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu cha ufahamu kwa usahihi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 55
Kifungu cha ufahamu Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 60 Chati Kadi maneno |
Kudondoa habari mahususi;
Kupanga matukio kwa mtiririko;
Kujibu maswali
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Hali za Masharti - -nge-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-; Kutumia hali ya masharti -nge- ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -nge- ili kukuza ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia hali ya masharti -nge- kutunga sentensi tano; Kutunga kifungu cha aya moja kilicho na vitenzi vilivyo katika hali ya masharti -nge-; Kusoma kifungu alichoandika kwa wenzake. |
Ni tofauti gani kati ya hali ya masharti -nge- na -ngali-?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Karatasi za kuandikia Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -nge-;
Kuandika kifungu cha aya kilicho na hali ya masharti -nge-;
Kusahihisha sentensi na vifungu vya wenzake
|
|
| 4 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Ufahamu wa Kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya shajara; Kujadili vipengele vya shajara; Kutambua vipengele vya shajara katika kielelezo; Kuchangamkia kuandika shajara ili kuweka kumbukumbu ya matukio muhimu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma maandishi katika kijitabu; Kueleza maana ya shajara kutokana na maandishi aliyosoma; Kusoma tena insha ya shajara ya kibinafsi; Jadili vipengele vya shajara aliyosoma. |
Kwa nini watu hutumia shajara?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 57
Kijitabu cha shajara Mfano wa shajara KLB Top Scholar Kiswahili uk. 53 Kifaa cha kidijitali Kifungu cha ufahamu |
Kueleza maana ya shajara;
Kutambua vipengele vya shajara;
Kutunga sentensi za kibinafsi za kuweka katika shajara
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu; Kueleza maana ya msamiati kulingana na kifungu cha ufahamu; Kutumia msamiati unaotokana na kifungu cha ufahamu ipasavyo; Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena kifungu cha ufahamu; Kufanya utabiri na ufasiri kuhusu nini kingetokea iwapo waajiri wasingebagua waajiriwa kwa misingi ya kijinsia; Kueleza maana ya msamiati uliotumika katika kifungu; Kutunga sentensi akitumia msamiati huo. |
Je, utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu cha ufahamu?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 56
Kamusi Chati Karatasi |
Kufanya utabiri na ufasiri;
Kueleza maana ya msamiati;
Kutunga sentensi akitumia msamiati
|
|
| 4 | 3 |
Sarufi
|
Hali za Masharti - -ngali-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kutumia hali ya masharti -ngali- ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -ngali-; Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kutambua vitenzi ambavyo vinaonyesha hali ya masharti -ngali-; Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-. |
Kiambishi -ngali- kinatofautianaje na -nge-?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Chati Karatasi zenye sentensi KLB Top Scholar Kiswahili uk. 62 Karatasi za kuandikia Vifaa vya kidijitali |
Kutambua hali ya masharti -ngali-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -ngali-
|
|
| 4 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika shajara akizingatia vipengele vyake; Kufanya marekebisho ya shajara; Kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika shajara kuonyesha shughuli zake za siku mojawapo shuleni; Kusomea mwenzake shajara aliyoandika; Kuomba maoni ya mwenzake kuhusu shajara yake; Kuandika nakala safi ya shajara yake. |
Ni vipengele vipi muhimu katika shajara?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 58
Karatasi za kuandikia Vifaa vya kidijitali |
Kuandika shajara;
Kusahihisha shajara;
Kusoma shajara kwa wenzake
|
|
| 5 | 1 |
USALAMA BARABARANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kusoma kwa Kina - Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri; Kueleza jinsi maneno, ishara na sauti zinasaidia katika kufasiri ujumbe; Kusikiliza na kufasiri ujumbe wa matini; Kujenga mazoea ya kutambua msimamo na mielekeo katika matini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri; Kueleza jinsi mambo kama maneno, ishara na kiwango cha sauti vinachangia katika kusikiliza na kufasiri ujumbe; Kutazama picha na kusikiliza kifungu. |
Ni misimamo gani iliyopo katika matini ulizowahi kuzisikiliza?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 63
Picha Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 65 Kitabu cha fasihi |
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri;
Kueleza jinsi maneno, ishara na sauti zinachangia katika kufasiri ujumbe;
Kusikiliza na kufasiri ujumbe
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
|
Vielezi vya Namna
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vielezi vya namna katika matini; Kueleza maana ya vielezi vya namna; Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya namna katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye vielezi vya namna; Kueleza maneno yaliyokolezwa rangi ni ya aina gani; Kutambua vielezi vya namna katika sentensi kwa kuvipigia mstari; Kutambua vielezi vya namna katika kifungu. |
Alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 70
Chati Karatasi zenye sentensi Kamusi |
Kutambua vielezi vya namna;
Kueleza maana ya vielezi vya namna;
Kutumia vielezi vya namna katika sentensi
|
|
| 5 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Vielezi vya Namna
Insha za Kubuni - Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua aina mbalimbali za vielezi vya namna; Kueleza aina mbalimbali za vielezi vya namna; Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya namna katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuzingatia vielezi vya namna kama halisi, hali, tumizi, vikariri, mkazo, viigizi na kifani; Kamilisha sentensi kwa kuchagua vielezi sahihi vya namna; Kutumia vielezi vya namna kutunga sentensi. |
Vielezi vya namna huchangia vipi katika mawasiliano?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 71
Kadi za vielezi vya namna Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 68 Kielelezo cha insha ya methali |
Kutambua aina za vielezi vya namna;
Kujaza pengo kwa vielezi vya namna;
Kutunga sentensi akitumia vielezi vya namna
|
|
| 5 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kufasiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini; Kulinganisha misimamo na mielekeo ya ujumbe wa matini aliyosikiliza na ile ya jamii yake; Kujenga mazoea ya kutambua msimamo na mielekeo katika matini mbalimbali ili kupata maana ya ujumbe. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kifungu na kutoa msimamo na mielekeo yake; Kutoa sababu za msimamo wake; Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini aliyosikiliza kuhusu usalama barabarani na ile ya jamii yake. |
Unaweza vipi kutambua msimamo wa mtu katika mazungumzo?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 64
Kifungu cha kusomewa Vifaa vya kidijitali |
Kueleza msimamo na mielekeo;
Kutoa sababu za msimamo wake;
Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini na ile ya jamii
|
|
| 6 |
Midbreak |
||||||||
| 7 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Vielezi vya Wakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya dhamira; Kutambua dhamira katika shairi; Kujadili dhamira katika shairi; Kuchambua shairi kwa kuzingatia dhamira; Kufurahia kuchambua mashairi kwa kuzingatia dhamira. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi "Ajali tuzilaani"; Kujadili maudhui katika shairi alilosoma; Kujadili dhamira katika shairi; Kuandika maudhui na dhamira katika daftari. |
Je, unavutiwa na nini unaposoma shairi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 66
Shairi "Ajali tuzilaani" Chati KLB Top Scholar Kiswahili uk. 72 Matini yenye vielezi vya wakati Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya dhamira;
Kutambua dhamira katika shairi;
Kujadili dhamira katika shairi
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
|
Vielezi vya Wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua aina mbalimbali za vielezi vya wakati; Kueleza aina mbalimbali za vielezi vya wakati; Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya wakati katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua aina za vielezi vya wakati kama nyakati za siku, siku za wiki, miezi ya mwaka, siku mbalimbali, miaka na wakati usio dhahiri; Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vielezi vya wakati; Kuandika kifungu cha aya moja akitumia vielezi vya wakati angalau vitano. |
Je, tofauti kati ya vielezi vya namna na vya wakati ni ipi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 73
Kadi za vielezi vya wakati Vifaa vya kidijitali |
Kutambua aina za vielezi vya wakati;
Kutunga sentensi akitumia vielezi vya wakati;
Kuandika kifungu akitumia vielezi vya wakati
|
|
| 7 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Methali
Kusikiliza kwa Kutathmini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya methali kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika; Kufanya marekebisho ya insha ya methali; Kufurahia kufasiri methali na kuziandikia insha zinazoafiki ili kujenga ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuchagua methali moja kuhusu usalama barabarani kati ya methali zilizopendekezwa; Kuandaa vidokezo vya kuandikia insha ya methali; Kuandika insha ya methali; Kusoma na mwenzako insha ya methali aliyoandika. |
Je, kwa nini mwanafunzi anahitaji kujua vipengele vya insha ya methali?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 69
Jedwali la tathmini Karatasi za kuandikia KLB Top Scholar Kiswahili uk. 75 Picha Kifaa cha kidijitali |
Kuandika insha ya methali;
Kufafanua ujumbe wa insha;
Kusahihisha insha
|
|
| 7 | 4 |
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII
Kusoma |
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya ufupisho; Kulinganisha kifungu asilia na ufupisho wake; Kubainisha vipengele vya ufupisho; Kufupisha kifungu kwa kuzingatia vipengele vya ufupisho; Kuchangamkia kusoma na kufupisha vifungu mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kulinganisha sentensi ndefu na fupi zenye ujumbe sawa; Kusoma vifungu A na B na kueleza kifungu kinachotoa habari kwa ufupi; Kubainisha vipengele vya ufupisho kwa kulinganisha kifungu A na B. |
Je, tunapofupisha kifungu tunasema ya muhimu tu?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 78
Vifungu vya ufahamu Kifaa cha kidijitali |
Kueleza maana ya ufupisho;
Kulinganisha kifungu asilia na ufupisho wake;
Kufanya tathmini
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Vielezi vya Mahali
Insha za Kubuni - Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vielezi vya mahali katika matini; Kueleza matumizi ya vielezi vya mahali; Kutumia vielezi vya mahali ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya mahali katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama mafungu ya maneno yenye vielezi vya mahali; Kupigia mstari mafungu yanayoeleza mahali ambapo kitendo kinafanyika; Kutambua vielezi vya mahali katika sentensi; Kutunga sentensi akitumia vielezi vya mahali vifuatavyo: shuleni, kwenye soko, Kenya, ndani ya mto, gwarideni, katika gari. |
Vielezi vya mahali huundwaje?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 84
Mafungu ya maneno Chati KLB Top Scholar Kiswahili uk. 82 Kielelezo cha insha ya maelezo Kamusi |
Kutambua vielezi vya mahali;
Kutunga sentensi akitumia vielezi vya mahali;
Kupigia mstari vielezi vya mahali katika kifungu
|
|
| 8 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kusikiliza na kutathmini ujumbe wa matini; Kutoa maoni kuhusu ujumbe wa matini aliyosikiliza; Kusikiliza kwa makini mazungumzo; Kutathmini ujumbe wa mazungumzo; Kulinganisha maoni na ya wenzake kuhusu ujumbe wa mazungumzo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza mazungumzo ya Mshauri, Rozi na Malema katika kifaa cha kidijitali; Kueleza ujumbe kutokana na mazungumzo hayo; Kutathmini ujumbe wa Mshauri, Rozi na Malema; Kulinganisha maoni yao kuhusu ujumbe wa mazungumzo. |
Je, mtazamo wa wahusika kuhusu chakula kituoni unatofautianaje?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 76
Mazungumzo kwenye kifaa cha kidijitali |
Kueleza ujumbe kutokana na mazungumzo;
Kutathmini ujumbe wa mazungumzo;
Kulinganisha maoni kuhusu mazungumzo
|
|
| 8 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Vielezi vya Idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya ufupisho; Kufupisha kifungu kwa idadi maalum ya maneno; Kuchangamkia kufupisha vifungu kwa mpangilio ufaao; Kuheshimu maagizo ya ufupisho. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu cha hadithi kilichotolewa; Kufupisha kifungu kwa maneno 110-115; Kusomea mwenzake ufupisho wake ili apate maoni; Kuandika nakala safi ya ufupisho. |
Mbinu zipi zinasaidia kufupisha kifungu kwa kuzingatia idadi ya maneno inayohitajika?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 79
Kifungu cha hadithi Karatasi za kuandikia KLB Top Scholar Kiswahili uk. 85 Kiwambo cha tarakilishi Matini yenye vielezi vya idadi |
Kufupisha kifungu kwa idadi maalum ya maneno;
Kupangilia habari kwa mtiririko wa maana;
Kuzingatia vipengele vya ufupisho
|
|
| 8 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya maelezo akitumia lugha inayoathiri hisia mbalimbali; Kufanya marekebisho ya insha ya maelezo; Kuheshimu maoni ya wengine katika uandishi wa insha za maelezo; Kufurahia kutumia lugha inayoathiri hisia katika insha za maelezo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika insha ya maelezo kuhusu asasi moja ya kijamii inavyowahudumia watu; Kutumia lugha inayoathiri hisia mbalimbali; Kusomea mwenzake insha aliyoandika ili apate maoni; Kuandika upya insha yake akizingatia maoni aliyopewa na mwenzake. |
Je, matumizi ya lugha inayoathiri hisia huleta msisitizo upi katika insha ya maelezo?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 83
Vifaa vya kidijitali Karatasi za kuandikia |
Kuandika insha ya maelezo akitumia lugha inayoathiri hisia;
Kufanya marekebisho ya insha;
Uwasilishaji wa insha kwa mwalimu
|
|
| 9 | 1 |
MISUKOSUKO YA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Uzungumzaji wa Kushawishi
Kusoma kwa Kina - Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi; Kubainisha miktadha ya uzungumzaji wa kushawishi; Kutambua vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi; Kueleza umuhimu wa vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi; Kuchangamkia uzungumzaji wa kushawishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza aina mbili za uzungumzaji kutoka kwa mwalimu au video; Kubainisha uzungumzaji ambao ni wa kushawishi; Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi; Kutazama picha na kubainisha miktadha ya uzungumzaji wa kushawishi. |
Mzungumzaji anashawishi vipi hadhira yake?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 88
Video ya mzungumzaji Picha za miktadha ya uzungumzaji KLB Top Scholar Kiswahili uk. 91 Kamusi Shairi "Misukosuko ya nini?" |
Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi;
Kubainisha miktadha ya uzungumzaji wa kushawishi;
Kueleza umuhimu wa vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI; Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-ZI; Kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika matini; Kuheshimu maoni ya wenzake; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI katika mnyororo wa nomino; Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya U-ZI katika jedwali la umoja na wingi; Kutambua kiambishi cha upatanisho wa kisarufi cha ngeli ya U-ZI; Kutunga sentensi katika umoja na wingi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI. |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-ZI?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 95
Mnyororo wa nomino Jedwali la sentensi |
Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI;
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi;
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-ZI
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Viakifishi - Mabano
Uzungumzaji wa Kushawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya mabano katika matini; Kueleza matumizi ya mabano; Kutumia mabano ipasavyo katika kuakifisha matini; Kufurahia matumizi yafaayo ya mabano katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye mabano; Kueleza matini iliyofungiwa kwa alama za mabano; Kutambua matumizi ya mabano katika sentensi kuonyesha kisawe cha neno, kutoa ufafanuzi wa neno na kufungia nambari katika orodha; Kuakifisha kifungu kwa kutumia mabano. |
Mabano hutumiwa kufanya nini katika kuandika sentensi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 93
Sentensi zenye mabano Kifungu cha kuakifisha KLB Top Scholar Kiswahili uk. 89 Kifaa cha kidijitali Jedwali la tathmini |
Kutambua matumizi ya mabano;
Kueleza matumizi ya mabano;
Kutumia mabano ipasavyo kuakifisha
|
|
| 9 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya muundo wa shairi; Kutambua vipengele vya muundo wa shairi; Kuchambua muundo wa shairi kwa kutumia vipengele maalum; Kuheshimu maoni ya wengine kuhusu muundo wa shairi; Kufurahia kusoma mashairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena shairi "Misukosuko ya nini?"; Kujibu maswali kuhusiana na idadi ya beti, mishororo, vipande, mizani, vina na mtiririko wa mishororo ya mwisho; Kusoma shairi lingine kutoka katika diwani iliyopendekezwa; Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo wa shairi. |
Umewahi kusoma shairi kuhusu nini?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 92
Shairi "Misukosuko ya nini?" Diwani iliyopendekezwa |
Kutambua vipengele vya muundo wa shairi;
Kuchambua muundo wa shairi;
Uwasilishaji wa kazi kwa mwalimu
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Viakifishi - Kistari Kifupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA; Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA-YA; Kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika matini; Kuheshimu maoni ya wenzake; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya ngeli ya YA-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA katika orodha ya maneno; Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi; Kutambua kiambishi cha upatanisho wa kisarufi cha ngeli ya YA-YA; Kutunga sentensi katika umoja na wingi akitumia nomino za ngeli ya YA-YA. |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya YA-YA?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 96
Orodha ya nomino za ngeli ya YA-YA Sentensi za umoja na wingi KLB Top Scholar Kiswahili uk. 94 Vifungu vyenye kistari kifupi Karatasi za kuandikia |
Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA;
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi;
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya YA-YA
|
|
| 10 | 2 |
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /j/ na /nj/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua sauti /j/ na /nj/ katika maneno; Kutamka maneno yenye sauti /j/ na /nj/ ipasavyo; Kutofautisha sauti /j/ na /nj/ kimatamshi; Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /j/ na /nj/ katika mazungumzo ya kawaida. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua sauti /j/ na /nj/ katika maneno kwenye kapu la maneno; Kunakili maneno aliyoyatambua na kupigia mstari sauti /j/ na /nj/; Kumtamkia mwenzake maneno hayo; Kumtamkia mwenzake maneno mengine anayojua yenye sauti /j/ na /nj/. |
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti /j/ na /nj/?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 98
Kapu la maneno Ujumbe wa kibiashara |
Kutambua sauti /j/ na /nj/ katika maneno;
Kutamka maneno yenye sauti /j/ na /nj/;
Kutofautisha sauti /j/ na /nj/ kimatamshi
|
|
| 10 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi; Kueleza maana za maneno kama yalivyotumiwa katika kifungu cha kushawishi; Kutumia msamiati unaotokana na kifungu cha kushawishi ipasavyo; Kuchangamkia usomaji wa kifungu cha kushawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma makala kuhusu Lena aliyeanzisha biashara; Kudondoa habari muhimu kutoka kwenye kifungu kwa kujibu maswali; Kueleza maana za maneno yaliyotumika katika kifungu; Kutunga sentensi akitumia maneno hayo. |
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu cha kushawishi kwa usahihi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 100
Makala ya Lena Kamusi KLB Top Scholar Kiswahili uk. 105 Sentensi zenye nomino za ngeli ya LI Chati ya maneno |
Kudondoa habari mahususi;
Kueleza maana za maneno;
Kutumia msamiati unaotokana na kifungu
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi; Kutambua vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi; Kubainisha vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi; Kupenda kutumia vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma mojawapo ya insha za masimulizi zilizohifadhiwa kwenye potifolio; Kueleza mawazo yalivyokuzwa baina ya aya; Kutambua vipengele vya ukuzaji wa wazo katika insha aliyoisoma; Kutambua wazo kuu, maelezo, mifano na hitimisho katika kila aya. |
Je, unafanya nini ili kulikuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 103
Insha za masimulizi zilizohifadhiwa Karatasi za kuandikia |
Kueleza ukuzaji wa wazo baina ya aya;
Kutambua vipengele vya ukuzaji wa wazo;
Kubainisha vipengele vya ukuzaji wa wazo
|
|
| 11 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /j/ na /nj/
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /j/ na /nj/ ipasavyo; Kubuni vitanzandimi vinavyohusisha sauti /j/ na /nj/; Kukariri vitanzandimi vyenye sauti /j/ na /nj/; Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /j/ na /nj/ katika mazungumzo ya kawaida. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza vitanzandimi vifuatavyo vikitamkwa na mwalimu au vikitamkwa kupitia kifaa cha kidijitali; Kutamka vitanzandimi alivyosikiliza; Kutumia jozi zenye sauti /j/ na /nj/ kubuni vitanzandimi; Kukariri vitanzandimi alivyobuni. |
Sauti /j/ na /nj/ zinatofautianaje?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 99
Kifaa cha kidijitali Jozi za maneno zenye sauti /j/ na /nj/ KLB Top Scholar Kiswahili uk. 101 Jedwali la tathmini Mtandao salama |
Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /j/ na /nj/;
Kubuni vitanzandimi vyenye sauti /j/ na /nj/;
Kukariri vitanzandimi vyenye sauti /j/ na /nj/
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua nomino za ngeli ya KU na PA-KU-MU; Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya KU na PA-KU-MU; Kutumia nomino za ngeli ya KU na PA-KU-MU katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya ngeli ya KU na PA-KU-MU katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kunakili sentensi zenye nomino za ngeli ya KU; Kutambua viambishi vya upatanisho wa ngeli ya KU kwa kuvipigia mstari; Kusoma nomino kwenye kadi; Kutambua nomino za ngeli ya KU kutoka kwenye kadi; Kutumia nomino katika ngeli ya KU kutunga sentensi; Nakili sentensi zenye viambishi vya ngeli ya PA-KU-MU. |
Je, viambishi vya ngeli ya PA-KU-MU vinatofautiana vipi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 106
Sentensi zenye nomino za ngeli ya KU Kadi za nomino Sentensi zenye viambishi vya ngeli ya PA-KU-MU |
Kutambua nomino za ngeli ya KU na PA-KU-MU;
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi;
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya KU na PA-KU-MU
|
|
| 11 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Masimulizi
Mazungumzo - Malumbano ya Utani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya; Kufanya marekebisho ya insha ya masimulizi; Kushirikiana na wenzake katika uandishi wa insha ya masimulizi; Kufurahia kuandika insha za masimulizi zinazozingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandaa vidokezo vya insha ya masimulizi kuhusu "Mfanyabiashara alivyotumia vifaa vya kidijitali kuendeleza biashara"; Kuandika maelezo yatakayokuza kila kidokezo; Kuandika insha ya masimulizi; Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili wampe maoni yao. |
Je, ni vipengele vipi vya ukuzaji wa wazo baina ya aya muhimu zaidi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 104
Vidokezo vya insha Karatasi za kuandikia KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 108 Picha Maigizo ya malumbano ya utani Kifaa cha kidijitali |
Kuandika insha ya masimulizi;
Kufanya marekebisho ya insha;
Kuwasomea wenzake insha
|
|
| 11 | 4 |
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO
Kusoma |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya wahusika katika fasihi. Kutambua wahusika katika shairi. Kujadili sifa za wahusika katika shairi. Kuchangamkia kutambua wahusika katika mashairi mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutaja majina ya watu katika novela au tamthilia alizosoma. Kueleza maana ya wahusika. Kusoma shairi "Uwele huu ni gani?" ukurasa wa 110. Kutambua wahusika katika shairi alilosoma kwa kujibu maswali. |
Je, wahusika ni nani katika kazi ya fasihi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 110
Diwani ya mashairi Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya wahusika katika fasihi
Kutambua wahusika katika shairi
Kujadili sifa za wahusika katika shairi
|
|
| 12 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Vinyume vya Vihusishi
Barua ya Kuomba Kazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi. Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini. Kutumia vinyume vya vihusishi katika sentensi. Kufurahia kutunga sentensi zenye vinyume vya vihusishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kulinganisha picha za A na B. Kujadili na mwenzake uhusiano wa vitu katika picha za A na B. Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi. Kutambua kihusishi na kinyume chake katika jedwali lililotolewa. |
Je, vinyume vya vihusishi vinatumikaje katika sentensi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 115
Picha Chati ya vihusishi na vinyume vyake Majedwali KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 113 Kielelezo cha barua rasmi ya kuomba kazi Chati ya vipengele vya barua rasmi Kifaa cha kidijitali |
Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
Kutambua vihusishi na vinyume vyake
Kuandika vihusishi na vinyume vyake
|
|
| 12 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo - Malumbano ya Utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza mambo yanayosimuliwa katika malumbano ya utani. Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani. Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kutumia vipengele vya kimsingi. Kuchangamkia kuwasilisha malumbano ya utani kwa kutumia vipengele vya kimsingi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuigiza malumbano ya utani ya nyanya na mjukuu. Kujadili na wenzake sifa za malumbano ya utani. Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani. Kuwasilisha malumbano ya utani akizingatia vipengele vya uwasilishaji. |
Je, ni nini vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa malumbano ya utani?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 109
Picha Kifaa cha kidijitali Chati ya vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani |
Kuigiza malumbano ya utani
Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
Kuwasilisha malumbano ya utani
|
|
| 12 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Vinyume vya Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua wahusika katika shairi. Kujadili sifa za wahusika katika shairi. Kuchambua wahusika katika shairi. Kuchangamkia kutambua wahusika katika mashairi mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena shairi "Uwele huu ni gani?" Kujadili sifa za wahusika. Kutambua hisia, tabia, na matendo ya wahusika. Kusoma diwani ya mashairi iliyopendekezwa na mwalimu. Kuchambua shairi moja kwa kuzingatia sifa za wahusika. |
Je, ni vigezo gani vinatumika kutambua wahusika katika shairi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 111-112
Diwani ya mashairi Chati ya sifa za wahusika Kifaa cha kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 116-117 Vifaa vya kidijitali Orodha ya vihusishi na vinyume vyake Kifungu cha ufahamu |
Kutambua wahusika katika shairi
Kujadili sifa za wahusika katika shairi
Kuchambua shairi kutoka kwenye diwani
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Barua ya Kuomba Kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi. Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi kwa kuzingatia vipengele vyake. Kufurahia kuandika barua rasmi ya kuomba kazi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena barua ya kuomba kazi iliyotolewa kielelezo. Kutayarisha vidokezo vya barua rasmi ya kuomba kazi ya msimu ya kuuza bidhaa katika duka kuu. Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi hiyo akizingatia vipengele vyake pamoja na lugha ifaayo. Kumweleza mwenzake barua yake ili atolewe maoni. |
Je, ni vidokezo vipi vifaa kuzingatiwa kabla ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 114
Kielelezo cha barua ya kuomba kazi Orodha ya vipengele vya barua rasmi Kifaa cha kidijitali |
Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi
Kutambua makosa katika barua
Kurekebisha barua kulingana na maoni ya wenzake
|
|
Your Name Comes Here