If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
USALAMA BARABARANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kufasiri - Msimamo na Mwelekeo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri - Kutambua vipengele vinavyosaidia kuuelewa msimamo na mwelekeo wa mzungumzaji - Kuchangamkia kusikiliza kwa kufasiri ili kupata uelewa wa kina |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro inayoonyesha wasikilizaji na kutambua wale wanaozingatia kinachozungumziwa - Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya kusikiliza kwa kufasiri - Kujadili vipengele vinavyosaidia kuuelewa msimamo na mwelekeo wa mzungumzaji akishirikiana na wenzake |
Je, unafaa kuzingatia nini ili kuuelewa msimamo na mwelekeo wa mzungumzaji?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 86
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu |
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri
- Kutambua vipengele vya kufasiri
- Kujibu maswali
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kufasiri - Msimamo na Mwelekeo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza msimamo na mwelekeo kuhusu ujumbe wa matini ya kusikiliza - Kulinganisha misimamo na mielekeo ya ujumbe wa matini na ile ya jamii yake - Kuthamini kusikiliza kwa kufasiri katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kwa makini rekodi za watu wakizungumza kwenye kifaa cha kidijitali kuhusu suala lengwa - Kueleza msimamo na mwelekeo wa kila mzungumzaji katika matini alizozisikiliza akishirikiana na wenzake - Kulinganisha misimamo na mielekeo ya ujumbe wa matini na ile ya jamii yake akishirikiana na wenzake |
Je, msimamo na mwelekeo wa mzungumzaji unafananaje au kutofautianaje na ule wa jamii yako?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 88
- Vifaa vya kidijitali - Rekodi za mazungumzo - Matini ya mwalimu |
Kueleza msimamo na mwelekeo wa mzungumzaji
- Kulinganisha misimamo
- Kutoa muhtasari
|
|
| 2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Maudhui)
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Dhamira) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya maudhui katika kazi ya fasihi - Kujadili maudhui katika shairi - Kuchangamkia kusoma mashairi ili kupata maudhui yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kueleza ujumbe unaopitishwa na kila mchoro akishirikiana na mwenzake - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua maudhui yanayoangaziwa - Kujadili maudhui aliyoyatambua katika shairi akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, maudhui katika kazi ya fasihi ni nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 89
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 91 - Matini ya mwalimu |
Kutambua maudhui katika shairi
- Kujadili maudhui
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya methali - Kujadili vigezo vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya methali - Kuthamini matumizi ya methali katika uandishi wa insha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya methali na matumizi yake - Kujadili vigezo vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya methali akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kujadili vipengele vya muundo wa insha ya methali akishirikiana na wenzake |
Je, unahitaji kufanya nini unapoandika insha ya methali?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 93
- Mifano ya insha za methali - Chati ya vigezo - Vifaa vya kidijitali |
Kueleza vigezo vya insha ya methali
- Kutambua vipengele vya muundo
- Kujibu maswali
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya insha ya methali katika kielelezo - Kuandika insha ya methali kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika - Kujenga mazoea ya kuandika insha za methali zenye mvuto |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha insha ya methali na kutambua vipengele vilivyotumika akishirikiana na mwenzake - Kuchagua methali na kuandaa vidokezo vya kuandika insha akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kuandika insha ya methali akizingatia vigezo na vipengele vya uandishi na kumsomea mwenzake ili aitolee maoni |
Je, vipengele vya muundo wa insha ya methali ni vipi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 94
- Vifaa vya kidijitali - Mifano ya insha za methali - Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya methali
- Kusomeana insha
- Kutoa maoni
- Kufanya tathmini
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Vielezi vya Namna
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vielezi vya namna - Kutambua vielezi vya namna katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoonyesha vielezi vya namna - Kutambua vielezi vya namna katika chati ya maneno akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi akitumia vielezi vya namna ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, vielezi vya namna hujibu swali gani katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 97
- Kadi za vielezi vya namna - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vielezi vya namna
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Vielezi vya Wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vielezi vya wakati - Kutumia vielezi vya namna na vya wakati ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vielezi katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoonyesha vielezi vya wakati - Kutambua vielezi vya wakati katika chati ya maneno na katika kifungu akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi na kifungu akitumia vielezi vya wakati ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, vielezi vya namna na vya wakati vinatofautianaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 99
- Kadi za vielezi vya wakati - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua vielezi vya wakati
- Kutunga sentensi na kifungu
- Kufanyiana tathmini
- Kujaza pengo
|
|
| 3 | 4 |
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kutathmini - Vipengele
Kusikiliza kwa Kutathmini - Ujumbe na Mtazamo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini ili kuibainisha - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini - Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini katika mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama mchoro wa watu wanaomsikiliza mzungumzaji na kujadili iwapo wanamakinikia kinachozungumzwa - Kuigiza kwa zamu tukio ambapo mtu mmoja anawatolea wenzake maagizo ya kuzingatia katika kutekeleza shughuli fulani - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini akishirikiana na wenzake |
Je, unafaa kuzingatia nini ili kufanikisha kusikiliza kwa kutathmini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 102
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 104 - Rekodi ya mazungumzo |
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
- Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini
- Kujibu maswali
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma
|
Ufupisho - Vipengele
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ufupisho - Kujadili vipengele vinavyozingatiwa katika kufupisha habari ya kifungu - Kuchangamkia kufupisha habari kwa usahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya ufupisho na vipengele vinavyozingatiwa katika kufupisha habari - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa na kutambua habari muhimu - Kumweleza mwenzake kwa usahihi na kwa kifupi habari muhimu alizozitambua |
Je, ni vipengele vipi vinavyozingatiwa katika kufupisha habari?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 105
- Vifungu vya habari - Chati ya vipengele vya ufupisho - Vifaa vya kidijitali |
Kueleza vipengele vya ufupisho
- Kutambua habari muhimu
- Kujibu maswali
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
|
Ufupisho - Kuandika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kudondoa mawazo makuu kutoka katika kifungu - Kufupisha kifungu kwa kuzingatia vipengele vya ufupisho - Kujenga mazoea ya kufupisha habari kwa usahihi katika maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa na kudondoa mawazo makuu akishirikiana na wenzake - Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho alivyojifunza - Kumsomea mwenzake ufupisho wake ili autolee maoni na kuusahihisha |
Je, kwa nini ni muhimu kufupisha habari kwa usahihi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 107
- Vifungu vya habari - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kudondoa mawazo makuu
- Kuandika ufupisho
- Kusomeana ufupisho
- Kufanya tathmini
|
|
| 4 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya maelezo - Kutambua lugha inayoathiri hisia mbalimbali katika insha ya maelezo - Kuthamini matumizi ya lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya insha ya maelezo na aina ya lugha inayotumiwa - Kusoma insha ya maelezo kuhusu suala lengwa na kutambua lugha inayoathiri hisia mbalimbali iliyotumiwa - Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo akishirikiana na wenzake |
Je, ni nini kinafanya maelezo katika insha kudhihirika?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 108
- Mifano ya insha za maelezo - Picha - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua lugha inayoathiri hisia
- Kujadili umuhimu wa lugha
- Kujibu maswali
|
|
| 4 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili vipengele vya insha ya maelezo - Kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia mbalimbali katika kuandika insha ya maelezo - Kujenga mazoea ya kuandika insha za maelezo zenye mvuto |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua mada ya kuandikia insha ya maelezo na kuandaa vidokezo akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kuandika insha ya maelezo akitumia lugha inayoathiri hisia mbalimbali ipasavyo - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni na kuisahihisha |
Je, lugha inayoathiri hisia ina umuhimu gani katika insha ya maelezo?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 110
- Vifaa vya kidijitali - Mifano ya insha za maelezo - Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya maelezo
- Kutumia lugha inayoathiri hisia
- Kusomeana insha
- Kufanya tathmini
|
|
| 5 |
Midterm break |
||||||||
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi vya Mahali
Vielezi vya Idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vielezi vya mahali - Kutambua vielezi vya mahali katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoonyesha vielezi vya mahali - Kutambua vielezi vya mahali katika chati ya maneno na katika kifungu akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi akitumia vielezi vya mahali ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, vielezi vya mahali hujibu swali gani katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 111
- Kadi za vielezi vya mahali - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 113 - Kadi za vielezi vya idadi - Matini ya mwalimu |
Kutambua vielezi vya mahali
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 6 | 2 |
MISUKOSUKO YA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza |
Uzungumzaji wa Kushawishi - Vipengele
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kushawishi - Kuchangamkia uzungumzaji wa kushawishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro inayoonyesha wazungumzaji na kutambua wale wanaojaribu kuwashawishi watu kufanya jambo fulani - Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya uzungumzaji wa kushawishi - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kushawishi akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, uzungumzaji wa kushawishi hutokea katika miktadha gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 116
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu |
Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi
- Kutambua vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi
- Kujibu maswali
|
|
| 6 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Uzungumzaji wa Kushawishi - Uwasilishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi katika mazungumzo - Kubuni na kuwasilisha mazungumzo ya kushawishi akizingatia vipengele vyake - Kuthamini uzungumzaji wa kushawishi katika kutatua misukosuko ya kijamii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kwa makini rekodi ya mazungumzo ya kushawishi kwenye kifaa cha kidijitali kuhusu suala lengwa - Kutambua vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi vilivyozingatiwa katika rekodi aliyoisikiliza akishirikiana na wenzake - Kubuni mazungumzo mepesi kuhusu suala lengwa na kuyawasilisha darasani akizingatia vipengele vya uwasilishaji |
Je, uzungumzaji wa kushawishi una umuhimu gani katika kutatua misukosuko ya kijamii?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 118
- Vifaa vya kidijitali - Rekodi ya mazungumzo - Matini ya mwalimu |
Kutambua vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi
- Kubuni mazungumzo
- Kuwasilisha mazungumzo
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Mandhari)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mandhari katika kazi ya fasihi - Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi - Kuchangamkia kusoma mashairi ili kupata mandhari yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kutaja maeneo na nyakati za siku zinazoonyeshwa akishirikiana na mwenzake - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua mandhari yanayojitokeza - Kueleza umuhimu wa mandhari aliyoyatambua katika kuuendeleza ujumbe wa shairi akishirikiana na wenzake |
Je, mandhari katika kazi ya fasihi ni nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 119
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mandhari katika shairi
- Kueleza umuhimu wa mandhari
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 7 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Muundo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya muundo wa shairi - Kufafanua vipengele vya muundo katika shairi - Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya muundo wa shairi na vipengele vyake - Kusoma shairi na kufafanua vipengele vya muundo kama vile beti, mishororo, vipande, mizani na vina - Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, vipengele vya muundo wa shairi vinahusu nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 121
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kufafanua vipengele vya muundo
- Kuchambua shairi
- Kughani shairi
- Kufanya tathmini
|
|
| 7 | 2 |
Kuandika
|
Viakifishi - Mabano
Viakifishi - Kistari Kifupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza matumizi ya mabano katika matini - Kutambua matumizi ya mabano katika matini - Kuthamini matumizi ya mabano katika maandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua ile iliyotumia mabano akishirikiana na mwenzake - Kueleza matumizi ya mabano katika sentensi aliyoitambua akishirikiana na mwenzake - Kuandika matumizi ya mabano katika sentensi alizopewa |
Je, mabano hutumiwa vipi katika matini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 124
- Mifano ya sentensi zenye mabano - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 126 - Mifano ya sentensi zenye kistari kifupi |
Kutambua matumizi ya mabano
- Kuandika sentensi zenye mabano
- Kujibu maswali
|
|
| 7 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI katika matini - Kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi - Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI akishirikiana na mwenzake - Kunakili mafungu ya maneno na kupigia mstari viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi |
Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi vipi katika upatanisho wa kisarufi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 128
- Kadi za nomino za ngeli ya U-ZI - Chati - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua ngeli ya U-ZI
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya YA-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA katika matini - Kutumia nomino za ngeli ya U-ZI na YA-YA katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi - Kuchangamkia matumizi ya ngeli katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya YA-YA akishirikiana na mwenzake - Kutambua majina ya ngeli ya YA-YA katika chati ya maneno akishirikiana na wenzake - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI na YA-YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi |
Je, ngeli ya U-ZI na YA-YA zinatofautianaje katika upatanisho wa kisarufi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 131
- Kadi za nomino za ngeli ya YA-YA - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua ngeli ya YA-YA
- Kutunga sentensi
- Kufanyiana tathmini
- Kujaza pengo
|
|
| 8 | 1 |
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /j/ na /nj/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sauti /j/ na /nj/ katika maneno - Kutamka maneno yenye sauti /j/ na /nj/ ipasavyo - Kuchangamkia kutamka sauti /j/ na /nj/ ipasavyo katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zilizo chini yake akishirikiana na mwenzake - Kutambua maneno yenye sauti /j/ na /nj/ katika sentensi alizozisoma na kuyatamka - Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti /j/ na /nj/ na kuyatamkia mwenzake maneno hayo |
Je, sauti /j/ na /nj/ zinatofautianaje kimatamshi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 136
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu |
Kutambua sauti /j/ na /nj/
- Kutamka maneno ipasavyo
- Kujibu maswali
|
|
| 8 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /j/ na /nj/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuzitofautisha sauti /j/ na /nj/ kimatamshi - Kubuni vitanzandimi kwa kutumia maneno yenye sauti /j/ na /nj/ - Kuthamini matamshi sahihi ya sauti /j/ na /nj/ katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kwa makini rekodi ya vitanzandimi kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua maneno yenye sauti /j/ na /nj/ - Kutamka kwa usahihi maneno aliyoyatambua na kuvitamka vitanzandimi alivyovisikiliza - Kubuni vitanzandimi vilivyo na sauti /j/ na /nj/ na kuvikariri akizingatia matamshi sahihi |
Je, unawezaje kubuni vitanzandimi vyenye sauti /j/ na /nj/?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 137
- Vifaa vya kidijitali - Rekodi ya vitanzandimi - Matini ya mwalimu |
Kutamka vitanzandimi
- Kubuni vitanzandimi
- Kukariri vitanzandimi
|
|
| 8 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kifungu cha kushawishi - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi - Kuchangamkia kusoma vifungu vya kushawishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya kifungu cha kushawishi na jinsi ya kudondoa habari kutoka katika kifungu - Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu suala lengwa na kudondoa habari muhimu - Kujibu maswali kuhusu kifungu alichokisoma akishirikiana na wenzake |
Je, ni mambo gani unayoyazingatia unaposoma kifungu cha kushawishi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 138
- Vifungu vya kushawishi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 140 - Kamusi |
Kudondoa habari mahususi
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 8 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya masimulizi - Kutambua vipengele vya kukuza wazo katika aya za insha ya masimulizi - Kuthamini uandishi wa insha za masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukumbushana na mwenzake maana ya insha ya masimulizi na vipengele vinavyotumiwa kufafanulia ujumbe - Kusoma insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa na kutambua vipengele vya kukuza wazo katika aya - Kueleza jinsi vipengele vya kukuza wazo vilivyotumiwa kufafanua ujumbe katika insha akishirikiana na wenzake |
Je, unawezaje kulikuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 142
- Mifano ya insha za masimulizi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua vipengele vya ukuzaji wazo
- Kueleza jinsi vipengele vilivyotumiwa
- Kujibu maswali
|
|
| 9 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili vidokezo vya kuandika insha ya masimulizi - Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya - Kujenga mazoea ya kuandika insha za masimulizi zenye mvuto |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua mada inayohusu suala lengwa na kujadili vidokezo vya kuandika insha akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kuandika insha ya masimulizi akizingatia vipengele vya kufafanulia ujumbe kama vile kichwa, utangulizi, lugha, wahusika na mandhari - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni na kuisahihisha |
Je, vipengele vya kufafanulia ujumbe vina umuhimu gani katika insha ya masimulizi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 144
- Vifaa vya kidijitali - Mifano ya insha za masimulizi - Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya masimulizi
- Kusomeana insha
- Kutoa maoni
- Kufanya tathmini
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI na KU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya LI na KU katika matini - Kutumia nomino za ngeli ya LI na KU katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi - Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya LI na KU katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI na KU akishirikiana na mwenzake - Kutambua nomino za ngeli ya LI na KU katika kadi za maneno na katika kifungu - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI na KU kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi |
Je, nomino za ngeli ya LI na KU zina sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 145
- Kadi za nomino za ngeli ya LI na KU - Chati - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua ngeli ya LI na KU
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya PA-KU-MU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU katika matini - Kutumia nomino za ngeli ya LI, KU na PA-KU-MU katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi - Kuchangamkia matumizi ya ngeli katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya PA-KU-MU akishirikiana na mwenzake - Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoandamana nazo ili kutambua nomino za ngeli ya PA-KU-MU - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI, KU na PA-KU-MU kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi |
Je, ngeli ya PA-KU-MU inatofautianaje na ngeli ya LI na KU?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 150
- Kadi za nomino za ngeli ya PA-KU-MU - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua ngeli ya PA-KU-MU
- Kutunga sentensi
- Kufanyiana tathmini
- Kujaza pengo
|
|
| 9 | 4 |
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo - Malumbano ya Utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya malumbano ya utani - Kutambua sifa za malumbano ya utani - Kuchangamkia malumbano ya utani katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama mchoro unaoonyesha wanafunzi wakishiriki malumbano ya utani na kujadili kinachoendelea - Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya malumbano ya utani - Kujadili sifa za malumbano ya utani zilizoorodheshwa na kutaja sifa nyingine akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, malumbano ya utani hutokea katika miktadha gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 154
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 156 - Rekodi ya malumbano ya utani |
Kueleza maana ya malumbano ya utani
- Kutambua sifa za malumbano ya utani
- Kujibu maswali
|
|
| 10 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Wahusika)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya wahusika katika ushairi - Kutambua wahusika katika shairi - Kuchangamkia kusoma mashairi ili kutambua wahusika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya wahusika katika fasihi na jinsi ya kuwatambua - Kusoma ubeti wa shairi na kutambua anayezungumza na anayezungumziwa - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua wahusika waliomo akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, wahusika katika shairi ni kina nani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 157
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua wahusika katika shairi
- Kutaja sifa za wahusika
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 10 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Wahusika)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutaja sifa za wahusika katika shairi - Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika - Kuthamini umuhimu wa wahusika katika kupitisha ujumbe wa shairi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kurejelea diwani ya mashairi iliyoteuliwa na kutambua wahusika katika mashairi - Kuchambua mashairi kwa kuzingatia sifa za wahusika waliomo akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kuigiza wahusika walio katika mojawapo ya mashairi aliyoyasoma |
Je, sifa za wahusika zinachangiaje katika kupitisha ujumbe wa shairi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 159
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kuchambua wahusika
- Kuigiza wahusika
- Kufanya tathmini
|
|
| 10 | 3 |
Kuandika
|
Barua Rasmi - Kuomba Kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi - Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba kazi - Kuthamini umuhimu wa barua rasmi ya kuomba kazi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukumbushana na wenzake maana ya barua rasmi na vipengele vinavyojumuisha muundo wake - Kusoma kielelezo cha barua rasmi ya kuomba kazi na kutambua ujumbe uliomo - Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba kazi vinavyojitokeza katika kielelezo akishirikiana na wenzake |
Je, barua rasmi ya kuomba kazi ina vipengele vipi vya kimuundo?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 160
- Mifano ya barua rasmi za kuomba kazi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua vipengele vya kimuundo
- Kueleza ujumbe wa barua
- Kujibu maswali
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
|
Barua Rasmi - Kuomba Kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili ujumbe na vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba kazi - Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi kwa kuzingatia vipengele vya kimuundo - Kujenga mazoea ya kuandika barua rasmi za kuomba kazi zenye mvuto |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kufikiria nafasi ya kazi iliyotangazwa na kujadili ujumbe na vipengele vya kimuundo vya barua ataakayoandika akishirikiana na wenzake - Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia ujumbe unaofaa, lugha faafu na vipengele vya kimuundo - Kuwasomea wenzake barua aliyoandika ili waitolee maoni na kuisahihisha |
Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 162
- Vifaa vya kidijitali - Mifano ya barua rasmi za kuomba kazi - Matini ya mwalimu |
Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi
- Kusomeana barua
- Kutoa maoni
- Kufanya tathmini
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi - Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vihusishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoandamana nazo ili kutambua vihusishi na vinyume vyake - Kutambua vihusishi na vinyume vya vihusishi hivyo katika chati ya maneno akishirikiana na wenzake - Kunakili sentensi na kupigia mstari zile zenye vihusishi na vinyume vya vihusishi hivyo |
Je, vinyume vya vihusishi ni nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 164
- Kadi za vihusishi na vinyume vyake - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 166 - Matini ya mwalimu |
Kutambua vinyume vya vihusishi
- Kunakili sentensi
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 11 | 2 |
HAKI ZA KIBINADAMU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Uzungumzaji katika Sherehe - Vipengele
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe - Kutambua miktadha tofauti katika jamii ambapo uzungumzaji katika sherehe hufanywa - Kuchangamkia uzungumzaji katika sherehe |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazoonyesha shughuli za sherehe na kujadili kinachoendelea akishirikiana na mwenzake - Kusikiliza kwa makini rekodi za mazungumzo kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua ile inayohusu muktadha wa sherehe - Kujadili vipengele vya kuzingatia wakati wa kuzungumza katika sherehe akishirikiana na wenzake |
Je, mzungumzaji anastahili kuzingatia nini anapozungumza katika sherehe?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 168
- Vifaa vya kidijitali - Picha za sherehe - Rekodi za mazungumzo |
Kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe
- Kutambua miktadha ya sherehe
- Kujibu maswali
|
|
| 11 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Uzungumzaji katika Sherehe - Uwasilishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza katika muktadha wa sherehe - Kutoa mazungumzo katika muktadha wa sherehe kwa kutumia vipengele vifaavyo - Kuthamini uzungumzaji katika sherehe katika kukuza mshikamano wa kijamii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vipengele vya kuzingatia wakati wa uzungumzaji katika sherehe akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kutambua muktadha wa sherehe na kuandaa mazungumzo ya kuwasilisha - Kuwasilisha mazungumzo katika sherehe akizingatia vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji |
Je, ujumbe unaozungumziwa katika sherehe unapaswa kuwa wa aina gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 170
- Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kujadili vipengele vya uzungumzaji
- Kuandaa mazungumzo
- Kuwasilisha mazungumzo katika sherehe
|
|
| 11 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana - Matini ya Kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya matini ya kujichagulia - Kujichagulia matini ya kusoma kuhusu mada inayompendeza - Kuchangamkia kusoma matini za kujichagulia |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu mambo ya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kusoma - Kwenda maktabani au kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya kusoma kuhusu mada inayompendeza - Kusoma matini aliyojichagulia na kuweleza wenzake ujumbe unaojitokeza |
Je, unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 171
- Vitabu maktabani - Vifaa vya kidijitali - Kamusi |
Kueleza ujumbe wa matini
- Kutambua msamiati mpya
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana - Matini ya Kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua msamiati mpya katika matini aliyojichagulia - Kueleza maana za msamiati kama ulivyotumiwa katika matini - Kuthamini kusoma matini za kujichagulia katika kupanua maarifa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maneno na mafungu ya maneno ambayo haelewi maana katika matini aliyojichagulia - Kueleza maana za msamiati kama ulivyotumiwa katika matini akitumia kamusi pale anapohitaji - Kutunga sentensi akitumia msamiati aliouelezea maana na kuweka rekodi ya msamiati aliojifunza |
Je, kusoma matini ya kujichagulia kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 171
- Vitabu maktabani - Vifaa vya kidijitali - Kamusi |
Kueleza maana za msamiati
- Kutunga sentensi
- Kuweka rekodi ya msamiati
- Kufanya tathmini
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya maelezo - Kujadili mitazamo mbalimbali katika insha za maelezo - Kuthamini uandishi wa insha za maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukumbushana na wenzake maana ya insha ya kubuni na insha ya maelezo - Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo kuhusu suala lengwa na kubainisha mtazamo wa kimaelezo unaojitokeza - Kujadili mtazamo wa kimaelezo alioutambua katika kielelezo akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, ni mitazamo ipi ya kimaelezo katika insha za maelezo unayoijua?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 172
- Mifano ya insha za maelezo - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 174 |
Kubainisha mtazamo wa kimaelezo
- Kujadili mtazamo
- Kujibu maswali
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutendana na Kutendeana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kauli ya kutendana na kutendeana - Kutambua viambishi vya kauli ya kutendana na kutendeana katika vitenzi - Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendana na kutendeana katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoandamana nazo ili kutambua vitenzi katika kauli ya kutendana - Kuteua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendana na kutendeana katika chati ya maneno na kuonyesha viambishi vyake - Kunakili sentensi na kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendana na kutendeana |
Je, kauli ya kutendana na kutendeana zinaleta maana gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 175
- Kadi za vitenzi - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya kauli ya kutendana na kutendeana
- Kunakili sentensi
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutendesha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kauli ya kutendesha - Kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha katika matini - Kuchangamkia matumizi ya mnyambuliko wa vitenzi katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kutambua vitendo vinavyoendelea na kauli ya mnyambuliko inayofaa kuvieleza - Kuteua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendesha katika chati ya maneno na kuonyesha viambishi vyake - Kutunga sentensi na kifungu akitumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha na kushiriki mchezo wa mnyambuliko wa vitenzi |
Je, kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha zinatofautianaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 180
- Kadi za vitenzi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutunga sentensi na kifungu
- Kushiriki mchezo wa mnyambuliko
- Kufanyiana tathmini
|
|
Your Name Comes Here