If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
HAKI ZANGU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti /p/, /f/, /v/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua silabi za sauti lengwa katika maandishi, - kutamka ipasavyo silabi za sauti lengwa katika maandishi, - kutamka maneno mepesi yanayotokana na sauti lengwa katika maandishi, - kusoma ipasavyo sentensi nyepesi zenye sauti lengwa kwa matamshi bora - kuchangamkia usomaji bora wa maneno yanayotumia sauti lengwa katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi kwenye maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika sentensi -kusikiliza silabi lengwa zikitamkwa na mwalimu au kifaa cha kidijitali -kutamka silabi za sauti lengwa akiwa peke yake au na wenzake -kusikiliza maneno yenye sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu -kutamka maneno yenye sauti lengwa -kusikiliza sentensi zenye sauti lengwa zikisomwa -kusoma sentensi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali akitamka sentensi za sauti lengwa -kuwasiliana na mzazi au mlezi wake kwa kutumia maneno yenye sauti lengwa |
Je, kwa nini ni vizuri kutamka maneno vizuri tunapozungumza?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 20
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kadi maneno -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza

| 2 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 22
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kadi maneno -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 2 | 4 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 25
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kadi maneno -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, -f) kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa -kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kuhusu haki za mtoto kwa kuzingatia matamshi bora -kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika -kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 33 kwa dakika) -kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo -kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo -kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa |
Je, ni mambo gani unayozingatia ili kusoma kwa ufasaha?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 26
-Vifaa vya kidijitali -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |

| 3 | 4 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 27
-Vifaa vya kidijitali -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 4 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 28

| 4 | 2 |

| 4 | 3 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini, - kuandika herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi, - kufurahia kutumia herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi ili kuboresha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini -kunakili maneno na sentensi kuhusu mada lengwa (k.v upendo, kupata elimu, chakula, mavazi, makazi) kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa -kutunga na kuandika sentensi fupi akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa -kushirikiana na wenzake kutathmini sentensi walizotunga -kumwandikia mzazi au mlezi maneno kwa kutumia mpangilio ufaao wa herufi kubwa na hati nadhifu |
Je herufi kubwa huwa sifa gani?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 29
-Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Mti maneno -Picha -Chati -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 4 | 4 |

| 5 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 30
-Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Mti maneno -Picha -Chati -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 5 | 2 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 31

| 5 | 3 |

| 5 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Vifungu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi, - kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi, - kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi -kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake -kujaza nafasi kwa kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi -kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno akiambatanisha umoja na wingi -kumwonyesha mzazi au mlezi wake vifungu vya maneno alivyoviandika kwa umoja na wingi |
Umoja na wingi wa vifungu huwa na sifa gani?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 32
-Kadi maneno -Mti maneno -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Orodha hakiki
-Tathmini ya rika
|
|
| 6 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 33

| 6 | 2 |

| 6 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 34

| 6 | 4 |

| 7 | 1 |
USAFIRI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti ch na dh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno, - kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha, - kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa akizingatia matamshi bora, - kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi za sauti lengwa (/ch/ na /dh/) katika maneno -kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa ifaavyo -kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya silabi za sauti lengwa -kutumia kifaa cha kidijitali kusikiliza matamshi bora ya silabi za sauti lengwa |
Je, ni maneno gani unayojua yenye sauti /ch/ na /dh/?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 52
-Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Chati -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 54
-Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Chati -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 4 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 55
-Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Chati -Mti maneno -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 8 |
Midterm |
||||||||
| 9 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua sauti lengwa katika matini mbalimbali, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo, - kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, -f) kufurahia kusoma kifungu ipasvyo ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua sauti /ch/ na /dh/ katika kadi maneno, mti maneno au kifaa cha kidijitali -kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, matamshi bora -kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, sauti inayosikika -kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, kasi ifaayo (maneno 36 kwa dakika) |
Je, ni mambo gani unazingatia kusoma kwa ufasaha?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 56
-Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu -Chati -Mti maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 9 | 2 |

| 9 | 3 |

| 9 | 4 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 57
-Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu -Chati -Mti maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 10 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 58

| 10 | 2 |

| 10 | 3 |
Kuandika
|
Nafasi katika maandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi, - kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi kwa maandishi, - kufurahia kuandika akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi -kuwaonyesha wenzake nafasi kati ya maneno katika sentensi -kuandika sentensi kuhusu suala lengwa akizingatia nafasi kati ya maneno -kuwaonyesha wenzake sentensi alizoziandika ili wazitolee maoni -kutumia kifaa cha kidijitali kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno |
Je, kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno katika sentensi?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 59
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 10 | 4 |

| 11 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 60

| 11 | 2 |

| 11 | 3 |

| 11 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa vifungu vya maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi, - kusoma vifungu vya maneno katika umoja na wingi, - kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno, - kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi -kusoma vifungu vifungu vya maneno katika umoja na wingi -kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno -kujaza nafasi zilizo wazi ili kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi -kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno |
Je, unapozungumzia umoja na wingi wa maneno au sentensi unamaanisha nini?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 61
-Kadi maneno -Mti maneno -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 12 | 1 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 62

| 12 | 2 |

| 12 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 63

| 12 | 4 |

Your Name Comes Here