Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA PILI
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
5 1
HAKI ZANGU

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti /p/, /f/, /v/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua silabi za sauti lengwa katika maandishi,
- kutamka ipasavyo silabi za sauti lengwa katika maandishi,
- kutamka maneno mepesi yanayotokana na sauti lengwa katika maandishi,
- kusoma ipasavyo sentensi nyepesi zenye sauti lengwa kwa matamshi bora
- kuchangamkia usomaji bora wa maneno yanayotumia sauti lengwa katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi kwenye maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika sentensi
-kusikiliza silabi lengwa zikitamkwa na mwalimu au kifaa cha kidijitali
-kutamka silabi za sauti lengwa akiwa peke yake au na wenzake
-kusikiliza maneno yenye sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu
-kutamka maneno yenye sauti lengwa
-kusikiliza sentensi zenye sauti lengwa zikisomwa
-kusoma sentensi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
-kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali akitamka sentensi za sauti lengwa
-kuwasiliana na mzazi au mlezi wake kwa kutumia maneno yenye sauti lengwa
Je, kwa nini ni vizuri kutamka maneno vizuri tunapozungumza?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 20
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
5 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora: Sauti /p/, /f/, /v/
Kusoma kwa ufasaha

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 22
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 25
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 26
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
5 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa ufasaha
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo,
-f) kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa
-kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kuhusu haki za mtoto kwa kuzingatia matamshi bora
-kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
-kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 33 kwa dakika)
-kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
-kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
-kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa
Je, ni mambo gani unayozingatia ili kusoma kwa ufasaha?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 27
-Vifaa vya kidijitali
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 28
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 29
-Kadi maneno
-Picha
-Chati
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
6 1
Kuandika
Sarufi
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
Umoja na Wingi wa Vifungu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini,
- kuandika herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi,
- kufurahia kutumia herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi ili kuboresha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini
-kunakili maneno na sentensi kuhusu mada lengwa (k.v upendo, kupata elimu, chakula, mavazi, makazi) kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa
-kutunga na kuandika sentensi fupi akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa
-kushirikiana na wenzake kutathmini sentensi walizotunga
-kumwandikia mzazi au mlezi maneno kwa kutumia mpangilio ufaao wa herufi kubwa na hati nadhifu
Je herufi kubwa huwa sifa gani?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 30
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Picha
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 31
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 32
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
6 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Umoja na Wingi wa Vifungu
Matamshi Bora: Sauti ch na dh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi,
- kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi,
- kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi
-kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake
-kujaza nafasi kwa kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno akiambatanisha umoja na wingi
-kumwonyesha mzazi au mlezi wake vifungu vya maneno alivyoviandika kwa umoja na wingi
Umoja na wingi wa vifungu huwa na sifa gani?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 33
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 34
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 52
-Chati
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Orodha hakiki -Tathmini ya rika
6 3
USAFIRI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora: Sauti ch na dh
Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno,
- kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha,
- kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa akizingatia matamshi bora,
- kufurahia matamshi bora katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi za sauti lengwa (/ch/ na /dh/) katika maneno
-kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa ifaavyo
-kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya silabi za sauti lengwa
-kutumia kifaa cha kidijitali kusikiliza matamshi bora ya silabi za sauti lengwa
Je, ni maneno gani unayojua yenye sauti /ch/ na /dh/?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 54
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Chati
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 55
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 56
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
7 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa ufasaha
Nafasi katika maandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua sauti lengwa katika matini mbalimbali,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo,
-f) kufurahia kusoma kifungu ipasvyo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua sauti /ch/ na /dh/ katika kadi maneno, mti maneno au kifaa cha kidijitali
-kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, matamshi bora
-kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, sauti inayosikika
-kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, kasi ifaayo (maneno 36 kwa dakika)
Je, ni mambo gani unazingatia kusoma kwa ufasaha?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 57
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
-Chati
-Mti maneno
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 58
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 59
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
7 2
Kuandika
Sarufi
Nafasi katika maandishi
Umoja na wingi wa vifungu vya maneno
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi,
- kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi kwa maandishi,
- kufurahia kuandika akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi
-kuwaonyesha wenzake nafasi kati ya maneno katika sentensi
-kuandika sentensi kuhusu suala lengwa akizingatia nafasi kati ya maneno
-kuwaonyesha wenzake sentensi alizoziandika ili wazitolee maoni
-kutumia kifaa cha kidijitali kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno
Je, kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno katika sentensi?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 60
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 61
-Kadi maneno
-Mti maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
7 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Umoja na wingi wa vifungu vya maneno
Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi,
- kusoma vifungu vya maneno katika umoja na wingi,
- kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno,
- kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kusoma vifungu vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno
-kujaza nafasi zilizo wazi ili kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno
Je, unapozungumzia umoja na wingi wa maneno au sentensi unamaanisha nini?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 62
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 63
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 66
-Chati
-Picha
-Vifaa halisi
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
8 1
MNYAMA NIMPENDAYE

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Hadithi
Kusoma kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua picha kuhusu suala lengwa,
- kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika hadithi aliyoisikiliza,
- kujibu maswali kuhusu hadithi aliyoisikiliza,
- kueleza ujumbe wa hadithi aliyoisikiliza,
- kufurahia ufahamu wa kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua picha kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali
-kujadili picha kutoka kwenye kitabu, chati, vya kidijitali
-kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi
-kusikiliza ufahamu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vyombo vya kidijitali
-kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza
-kujibu maswali yanayohusiana na ufahamu aliousikiliza
-kueleza maudhui ya ufahamu aliousikiliza
-kumsimulie mzazi au mlezi wake hadithi aliyoisikiliza kuhusu suala lengwa
Kusikiliza hadithi kwa makini kuna umuhimu gani?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 67
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Picha
-Vifaa halisi
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 68
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 69
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
8 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa ufahamu
Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu,
- kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha,
- kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu
- kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu,
- kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu suala lengwa
-kutaja masuala ya suala lengwa
-kuimba nyimbo kuhusu suala lengwa
-kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha
-kusoma kifungu chepesi cha maneno 39- 42
-kutambua msamiati wa suala lengwa
-kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano
-kueleza ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha
-kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma
-kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu
Je, ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe kwenye vifungu vya ufahamu?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 70
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 71
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 72
-Kadi maneno
-Mti maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
8 3
Kuandika
Sarufi
Sarufi
Sarufi
Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi
Matumizi ya -ako na -enu
Matumizi ya -ako na -enu
Matumizi ya -ako na -enu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua kiulizi katika maandishi,
- kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake,
- kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi,
- kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua kiulizi katika maandishi kitabuni, kwenye kadi maneno, mti maneno na kifaa cha kidijitali
-kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake
-kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi
-kutazama matumizi ya kiulizi kwenye vifaa vya kidijitali
-kuandika kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali
-kuandika sentensi sahili akitumia kiulizi ipasavyo
-kumwonyesha mzazi au mlezi sentensi zenye matumizi yafaayo ya kiulizi
Je, alama ya kiulizi hutumika vipi?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 73
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 74
-Kapu maneno
-Vifaa halisi
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 75
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 76
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki

Your Name Comes Here

Download

Feedback