If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 5 | 1 |
MNYAMA NIMPENDAYE
Kusikiliza na Kuzungumza |
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua picha kuhusu suala lengwa, - kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika hadithi aliyoisikiliza, - kujibu maswali kuhusu hadithi aliyoisikiliza, - kueleza ujumbe wa hadithi aliyoisikiliza, - kufurahia ufahamu wa kusikiliza. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua picha kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali -kujadili picha kutoka kwenye kitabu, chati, vya kidijitali -kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi -kusikiliza ufahamu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vyombo vya kidijitali -kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza -kujibu maswali yanayohusiana na ufahamu aliousikiliza -kueleza maudhui ya ufahamu aliousikiliza -kumsimulie mzazi au mlezi wake hadithi aliyoisikiliza kuhusu suala lengwa |
Kusikiliza hadithi kwa makini kuna umuhimu gani?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 66
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Picha -Vifaa halisi -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 5 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 67
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Picha -Vifaa halisi -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 5 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 68
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Picha -Vifaa halisi -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 6 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu, - kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha, - kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu, - kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu suala lengwa -kutaja masuala ya suala lengwa -kuimba nyimbo kuhusu suala lengwa -kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha -kusoma kifungu chepesi cha maneno 39- 42 -kutambua msamiati wa suala lengwa -kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano -kueleza ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha -kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma -kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu |
Je, ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe kwenye vifungu vya ufahamu?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 69
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 6 | 2 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 70
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 6 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 71
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Muongozo wa Mwalimu -Maelezo ya somo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua kiulizi katika maandishi, - kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake, - kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi, - kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua kiulizi katika maandishi kitabuni, kwenye kadi maneno, mti maneno na kifaa cha kidijitali -kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake -kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi -kutazama matumizi ya kiulizi kwenye vifaa vya kidijitali -kuandika kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali -kuandika sentensi sahili akitumia kiulizi ipasavyo -kumwonyesha mzazi au mlezi sentensi zenye matumizi yafaayo ya kiulizi |
Je, alama ya kiulizi hutumika vipi?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 72
-Vifaa vya kidijitali -Kadi maneno -Mti maneno -Chati -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya rika
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 2 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 73

| 7 | 3 |

| 8 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ako na -enu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua matumizi yafaayo ya -ako na -enu katika kifungu, - kutumia -ako na -enu ipasavyo katika sentensi, - kuthamini matumizi ya -ako na -enu katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusilikiliza kifungu au wimbo unaohusu matumizi ya –ako na –enu -kutambua matumizi ya -ako na -enu katika kadi za maneno, mti maneno, kapu maneno na vifaa halisi -kumtungia mwenzake sentensi zenye matumizi ya -ako na –enu -kusikiliza sentensi zinazotungwa na wenzake zenye matumizi ya -ako na -enu -mwanafunzi awasilishie sentensi zenye kutumia maneno -ako na –enu -kuandika sentensi zenye -ako na –enu -kujaza nafasi kwa kutumia -ako na -enu |
Je,-ako na -enu hutumiwa wakati gani?
|
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 74
-Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Vifaa halisi -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 8 | 2 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 75
-Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Vifaa halisi -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 8 | 3 |

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 76
-Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Vifaa halisi -Vifaa vya kidijitali -Muongozo wa Mwalimu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
Your Name Comes Here