If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 3 |
KAZI MBALIMBALI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutambua silabi za sauti py, vy na sh katika maneno mbalimbali - Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa - Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi - Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa - Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kutamka maneno hayo vizuri |
Je, unazingatia mambo gani unapotamka maneno mbalimbali katika kifungu?
|
Mentor uk. 48
Kifaa cha kidijitali Kadi maneno Chati Mti maneno |
Kutambua silabi za sauti py, vy na sh
Kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh
Kusoma kifungu chenye sauti py, vy na sh
Kuunda maneno yenye sauti py, vy na sh
|
|
| 2 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutambua silabi za sauti py, vy na sh katika maneno kutoka kifungu - Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa - Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa - Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
Mentor uk. 50
Sauti za kurekodi Vifaa vya kidijitali Kadi maneno Picha Mentor uk. 52 Kifaa cha kidijitali Matini Mentor uk. 54 Chati Matini ya mwalimu |
Kupigia mstari silabi za sauti py, vy na sh katika maneno
Kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti py, vy na sh
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti py, vy na sh kwa zamu - Kupigia mstari maneno yenye sauti lengwa katika kifungu - Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika vizuri - Kusoma kifungu tena kwa kutumia ishara mbalimbali - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa |
Je, unafanya nini ili usome vizuri?
|
Mentor uk. 55
Vifaa vya kidijitali Picha Matini ya mwalimu Mentor uk. 56 Kifaa cha kidijitali |
Kutambua maneno yenye sauti py, vy na sh katika kifungu
Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo
Kusoma kifungu kwa kutumia ishara zifaazo
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
|
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nafasi ya pambizo na aya katika uandishi - Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya - Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya |
- Kutambua nafasi ya pambizo na aya katika uandishi - Kusoma vifungu na kutambua nafasi ya pambizo na aya - Kuandika kifungu akizingatia nafasi ya pambizo na aya - Kuwasiliana na wenzake kuhusu kifungu alichoandika ili kutathmini matumizi ya pambizo na aya |
Je, kwa nini tunafaa kuzingatia nafasi ya pambizo tunapoandika?
|
Mentor uk. 56
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Chati Kadi Mentor uk. 57 Vifungu mbalimbali Mentor uk. 59 Vitabu vyenye vifungu Karatasi |
Kutambua nafasi ya pambizo na aya
Kuandika kifungu akizingatia nafasi ya pambizo na aya
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi - Kutunga sentensi katika umoja na wingi - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi |
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake - Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake |
Je, kwa nini unahitaji kutaja vitu katika hali ya umoja na wingi?
|
Mentor uk. 59
Chati yenye sentensi za umoja na wingi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua sentensi katika umoja na wingi
Kujaza nafasi kwa kutumia umoja au wingi wa sentensi
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi - Kutunga sentensi katika umoja na wingi - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi |
- Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi alizopewa kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kuigiza michezo inayohusisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake - Kutunga sentensi katika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake |
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
|
Mentor uk. 60
Kadi za sentensi za umoja na wingi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Mentor uk. 61 Kadi zenye sentensi za umoja na wingi Picha |
Kuambatanisha sentensi za umoja na wingi
Kutunga sentensi katika umoja na wingi
|
|
| 3 | 3 |
USALAMA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza - Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza - Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu |
- Kusikiliza kifungu cha maneno 60-65 kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali ili kutambua ujumbe unaowasilishwa - Kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza akiwa na wenzake - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati aliousikiliza uliotumika kwenye kifungu - Kujibu maswali yanayohusiana na kifungu alichosikiliza |
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?
|
Mentor uk. 64
Vifaa vya kidijitali Chati Kadi maneno Matini ya mwalimu |
Kutambua ujumbe wa kifungu
Kuuliza na kujibu maswali
Orodha hakiki
Kueleza
Kushiriki mjadala
|
|
| 4 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza - Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza - Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu |
- Kujadili mambo muhimu katika kifungu alichokisikiliza akiwa na wenzake - Kusimulia wenzake upya kifungu alichokisikiliza - Kutoa maoni kuhusu ujumbe unaopatikana katika kifungu alichosikiliza - Kutambua hatari zinazoweza kumletea mtoto |
Je, unafanya nini ili uelewe mambo unayoambiwa?
|
Mentor uk. 65
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Picha kuhusu usalama |
Kutambua msamiati katika kifungu
Kueleza ujumbe wa kifungu
Kusimulia kifungu
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Ufahamu wa Kusikiliza
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza - Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza - Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu |
- Elezeni ujumbe wa kifungu mlichosikiliza katika Shughuli ya 1 - Andikeni maneno mapya mliyopata kwenye kifungu hicho - Elezeni maana ya maneno hayo - Tungeni sentensi mkitumia maneno mliyoandika - Simulia mwenzako kifungu mlichosikiliza |
Je, ni mambo gani ya usalama unayoweza kutambua katika mazingira yako?
|
Mentor uk. 65
Vifaa vya kidijitali Chati Picha zinazohusiana na usalama Mentor uk. 66 Picha Michoro |
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno mapya
Kusimulia kifungu kwa ufasaha
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi - Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
- Soma kifungu kilichotolewa kuhusu usalama - Jibu maswali yanayohusiana na kifungu hicho - Jadili ujumbe uliomo kwenye kifungu - Eleza mambo muhimu kuhusu usalama shuleni au nyumbani |
Je, ujumbe gani unapatikana katika kifungu kuhusu usalama?
|
Mentor uk. 67
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kusoma na kufasiri kifungu
Kueleza ujumbe wa kifungu
Kutoa mifano ya hatari zinazoweza kumkumba mtoto
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi - Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
- Tambua msamiati mpya katika kifungu ulichosoma - Tumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi - Eleza mafunzo yanayopatikana kutokana na kifungu kuhusu usalama - Jadili mbinu za kuzingatia usalama katika mazingira yako |
Je, ni hatua gani unazoweza kuchukua ili kuhakikisha uko salama?
|
Mentor uk. 68
Kadi za maneno mapya Picha zinazohusiana na usalama Chati |
Kutambua msamiati mpya
Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
Kufanya tathmini ya maana ya msamiati
|
|
| 5 | 2 |
Kuandika
|
Matumizi ya Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua alama ya kiulizi katika matini - Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini - Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali |
- Kutambua alama ya kiulizi katika sentensi kutoka kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake - Kujadili na wenzake matumizi ya alama ya kiulizi ili kukuza uwezo wa kuitumia ipasavyo - Kunakili ipasavyo kifungu kilichotumia alama ya kiulizi akishirikiana na wenzake |
Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika maandishi?
|
Mentor uk. 69
Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali Kadi zenye mifano ya matumizi ya kiulizi Mentor uk. 70 Mifano ya sentensi zenye alama ya kiulizi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua alama ya kiulizi katika matini
Kutunga sentensi zenye alama ya kiulizi
Orodha hakiki ya matumizi ya kiulizi
Kujaza pengo kwa kuweka alama ya kiulizi
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
|
Matumizi ya Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua alama ya kiulizi katika matini - Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini - Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali |
- Kuandika kifungu cha aya moja mkitumia alama ya kiulizi - Kuwasomea wenzenu kifungu mlichoandika - Kuwaombe watolee kifungu chenu maoni - Kurekebisha makosa yenye matumizi ya alama ya kiulizi katika kifungu |
Ni wakati gani tutahitaji kutumia alama ya kiulizi?
|
Mentor uk. 71
Mifano ya vifungu vyenye alama ya kiulizi Vifaa vya kidijitali Chati |
Kuandika kifungu kifupi chenye alama ya kiulizi
Kutoa maoni kuhusu matumizi ya alama ya kiulizi
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ake na -ao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua -ake na -ao katika sentensi - Kutumia -ake na -ao ipasavyo katika sentensi - Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mazungumzo ya kawaida |
- Kutambua maneno yenye -ake na -ao katika kifungu - Kueleza matumizi ya -ake na -ao katika sentensi kwa kuonyesha umiliki - Kutazama picha zenye mifano ya matumizi ya -ake na -ao na kuzijadili na wenzake |
Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano?
|
Mentor uk. 71
Picha zinazoonyesha umiliki Mti maneno Kifaa cha kidijitali |
Kutambua -ake na -ao katika sentensi
Kuuliza maswali na kutoa majibu
Kutunga sentensi zenye -ake na -ao
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ake na -ao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua -ake na -ao katika sentensi - Kutumia -ake na -ao ipasavyo katika sentensi - Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mazungumzo ya kawaida |
- Kusoma sentensi zenye maneno yenye -ake na -ao kutoka kwenye chati, kitabu, vifaa vya kidijitali n.k. akiwa na wenzake - Kutambua -ake na -ao katika kifungu - Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi kwa kutumia -ake na -ao |
Je, unatumia neno gani kuonyesha kuwa kitu ni cha mtu mwingine? Unatumia neno gani kuonyesha kuwa vitu ni vya watu wengine?
|
Mentor uk. 73
Kadi zenye -ake na -ao Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Mentor uk. 74 Picha zenye vitu mbalimbali Chati Kadi zenye sentensi za -ake na -ao |
Kujaza mapengo kwa -ake na -ao
Kutambua tofauti kati ya -ake na -ao
|
|
| 6 | 3 |
USAFI WA MAZINGIRA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutambua silabi za sauti dh, th na ch katika maneno mbalimbali - Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa - Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi - Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa - Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kutamka maneno hayo vizuri |
Je, kwa nini tunafaa kutamka maneno vizuri?
|
Mentor uk. 77
Kifaa cha kidijitali Kadi maneno Chati Mti maneno |
Kutambua silabi za sauti dh, th na ch
Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch
Kusoma kifungu chenye sauti dh, th na ch
|
|
| 7 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutambua silabi za sauti dh katika maneno kutoka kifungu - Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa - Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa - Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
Mentor uk. 79
Sauti za kurekodi Vifaa vya kidijitali Kadi maneno Picha Mentor uk. 81 Kifaa cha kidijitali Matini |
Kupigia mstari silabi za sauti dh, th na ch katika maneno
Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti dh, th na ch
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kutambua sauti dh, th na ch katika kifungu chepesi kuhusu usafi wa mazingira - Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika) - Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo |
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
|
Mentor uk. 83
Vifaa vya kidijitali Chati Matini ya mwalimu |
Kutambua sauti dh, th na ch katika maneno
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kusoma kwa sauti inayosikika
Kusoma kwa kasi ifaayo
Kusoma kwa kuzingatia ishara
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa zamu - Kupigia mstari maneno yenye sauti lengwa katika kifungu - Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika vizuri - Kusoma kifungu tena kwa kutumia ishara mbalimbali - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa |
Je, kila mmoja wenu alisoma kwa sauti inayosikika vizuri?
|
Mentor uk. 84
Vifaa vya kidijitali Picha Matini ya mwalimu |
Kutambua maneno yenye sauti dh, th na ch katika kifungu
Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo
Kusoma kifungu kwa kutumia ishara zifaazo
|
|
| 8 | 1 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Imla |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa ufasaha - Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha - Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake - Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo |
Je, mnatumia ishara gani mnapoongea?
|
Mentor uk. 85
Kifaa cha kidijitali Matini ya mwalimu Mentor uk. 86 Vifaa vya kidijitali Karatasi za kuandikia |
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma
Kusoma kwa kasi ifaayo
|
|
| 8 | 2 |
Kuandika
|
Imla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo - Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi |
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yatakayotamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akizingatia kanuni zifaazo za uandishi (k.v matumizi ya herufi kubwa na ndogo, tahajia, nafasi baina ya maneno n.k) - Kujadili na wenzake kifungu alichokiandika ili kukitathmini |
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
|
Mentor uk. 87
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Karatasi za kuandikia |
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla
Kujadili kazi ya imla iliyoandikwa
|
|
| 8 | 3 |
Kuandika
|
Imla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo - Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi |
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika kwa imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kurekebisha imla yake kulingana na maoni ya mwalimu na wenzake - Kuchunguza kazi ya wenzake ili kutoa maoni yake - Kujadili changamoto alizopata wakati wa kuandika imla |
Je, umeandika kwa kuzingatia mambo haya: hati safi, kuacha nafasi katikati ya maneno, kuandika herufi zote vizuri?
|
Mentor uk. 87
Chati Kadi maneno Karatasi za kuandikia |
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla
Kurekebisha makosa ya imla
Tathmini rika
|
|
| 9 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano - Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku |
- Kutambua maneno yenye rangi -eupe, -eusi, -ekundu kwa kurejelea vitu halisi katika mazingira yake, kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kusikiliza maelezo kuhusu matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake |
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
|
Mentor uk. 88
Picha za vitu vyenye rangi mbalimbali Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Mentor uk. 89 Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali Kadi za maneno Chati |
Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
Kupigia mstari maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Maagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano - Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku |
- Kamilisha sentensi ukitumia -eupe, -eusi, -ekundu kulingana na rangi ya picha - Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni - Eleza maana na matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mazingira mbali mbali |
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa vipi kulingana na kategoria za maneno?
|
Mentor uk. 90
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93 - Picha za watu wakitoa maagizo - Chati zenye maagizo - Vifaa vya kidijitali |
Kukamilisha sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu
Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu
Kutoa mifano ya vitu vyenye rangi nyeupe, nyeusi, nyekundu
|
|
| 9 | 3 |
DUKANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Maagizo
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani - Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani - Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku |
- Kusoma maagizo mbalimbali - Kutoa maagizo kwa mwenzake kama "Tia vitabu vyako mkobani", "Fungua mlango" - Kufuata maagizo anayopewa na mwenzake - Kubadilishana zamu kuwa mtoa maagizo na mfuata maagizo - Kuigiza michezo ya kutoa na kufuata maagizo |
Je, unazingatia nini wakati unatoa maagizo?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93-94
- Kadi zenye maagizo - Vitu halisi vya kutumia katika maigizo - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 94 - Mashairi yenye maagizo - Nyimbo zinazohusiana na maagizo - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 95 - Picha za dukani - Kifungu cha ufahamu "Duka la Kathambi" |
- Kutoa maagizo kwa usahihi
- Kufuata maagizo ipasavyo
- Kuigiza michezo inayohusisha kutoa na kufuata maagizo
- Kuuliza na kujibu maswali
|
|
| 10 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu - Kutumia msamiati wa suala lengwa katika mawasiliano - Kueleza ujumbe wa kifungu cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
- Kusoma tena kifungu "Duka la Kathambi" - Kutambua msamiati muhimu kama "duka", "muuzaji", "wanunuzi", "noti" - Kutumia msamiati huo kutunga sentensi - Kujibu maswali yanayohitaji habari mahususi kutoka kwenye kifungu - Kujadili umuhimu wa maduka katika jamii |
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96
- Kamusi - Kadi maneno za msamiati wa dukani - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96-97 - Vifungu vya hadithi kuhusu dukani - Picha zinazohusiana na dukani |
- Kutambua msamiati wa dukani
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
- Kuuliza na kujibu maswali
- Kueleza ujumbe wa kifungu
- Kutoa mafunzo kutoka kwenye kifungu
|
|
| 10 | 2 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha - Kueleza ujumbe wa insha - Kufurahia uandishi wa insha ili kuimarisha mawasiliano |
- Kusoma insha ya "Joni na Mama Yake" - Kutambua kichwa cha insha hiyo - Kutambua sehemu kuu za insha: utangulizi, kiini, na hitimisho - Kueleza ujumbe wa insha hiyo - Kujadili mambo muhimu yanayozingatiwa katika uandishi wa insha |
Je, umewahi kuandika insha? Ulizingatia mambo gani katika kuandika insha hiyo?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98
- Mfano wa insha "Joni na Mama Yake" - Chati ya muundo wa insha - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98-99 - Kielelezo cha insha - Vifaa vya kidijitali - Orodha hakiki ya kanuni za uandishi - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 99 - Sampuli za insha zilizosahihishwa - Vigezo vya kutathmini insha |
- Kutambua sehemu za insha
- Kueleza ujumbe wa insha
- Kuchambua muundo wa insha
- Kutoa mafunzo kutoka kwenye insha
- Kuuliza na kujibu maswali
|
|
| 10 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matumizi ya neno yeye na wao katika ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku |
- Kutazama picha zinazoonyesha ukanushaji - Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu katika picha - Kuangalia mifano: "Yeye anaandika - Yeye haandiki" na "Wao wanaandika - Wao hawaandiki" - Kujadili jinsi ukanushaji unavyofanyika kwa nafsi ya tatu |
Je, unafanya nini sasa hivi? Kama hufanyi mambo uliyotaja utasema je?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 100 - Picha za ukanushaji - Chati za sentensi zenye ukanushaji - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji
- Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji
- Kuuliza na kujibu maswali
- Kupambanua ukanushaji katika sentensi
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi - Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi - Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu ipasavyo katika mawasiliano |
- Kupigia mstari sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kutofautisha kati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi - Kukamilisha sentensi kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi - Kuandika sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi |
Je, ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja hutofautiana vipi na wa wingi?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 101-102 - Chati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kukamilisha sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kutofautisha kati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Matamshi Bora: Sauti mbw Matamshi Bora: Sauti mbw |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja na wingi ipasavyo - Kubadilisha sentensi za ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja hadi wingi - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku |
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja - Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu wingi - Kuandika sentensi za nafsi ya tatu umoja katika wingi - Kumsomea mzazi au mlezi sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kucheza michezo ya kuelewana inayohusisha ukanushaji wa nafsi ya tatu |
Je, tutachukulia vipi ukanushaji wa nafsi ya tatu wakati wa kuandika?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 103-104
- Kadi zenye sentensi za kukanusha - Chati ya mifano ya ukanushaji - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 105 - Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /mbw/ - Vifaa vya kidijitali - Kadi za silabi za sauti /mbw/ - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 106 - Chati zenye sentensi za sauti /mbw/ - Vifaa vya kurekodi sauti |
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu
- Kubadilisha sentensi za nafsi ya tatu umoja hadi wingi
- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kufanya tathmini ya matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
|
| 11 | 3 |
NDEGE NIMPENDAYE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Matamshi Bora: Sauti nd
Matamshi Bora: Sauti ny Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua silabi za sauti /nd/ katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi za sauti /nd/ kwa ufasaha - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutamka sauti /nd/ kwa usahihi - Kusoma silabi zenye sauti /nd/ - Kupigia mstari silabi za sauti /nd/ katika maneno kama "ndugu", "punda", "ndani" - Kutamka silabi alizopigia mstari - Kutaja maneno mengine yenye silabi za sauti /nd/ |
Je, utafanya nini ili kusikika vizuri unaposema maneno?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 107
- Kadi za silabi zenye sauti /nd/ - Picha zenye maneno ya sauti /nd/ - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 109-110 - Kadi za silabi zenye sauti /ny/ - Picha zenye maneno ya sauti /ny/ - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 111 - Kifungu "Kuku na Mwewe" - Vifaa vya kidijitali - Chati za maneno yenye sauti lengwa |
- Kutamka sauti /nd/ kwa usahihi
- Kutambua sauti /nd/ katika maneno
- Kutunga sentensi zenye maneno ya sauti /nd/
- Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti /nd/
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Tahajia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kujadili kwa nini ni vizuri kuongea kwa sauti inayosikika - Kusomea mwenzake kifungu "Kuku na Mwewe" kwa kutumia sauti inayosikika - Kupokea maoni kutoka kwa mwenzake - Kujadili iwapo amesoma kwa kasi ifaayo - Kumsikiliza mwenzake akisoma na kutoa maoni |
Je, unapenda kusoma polepole au haraka?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 112
- Kifungu "Kuku na Mwewe" - Vifaa vya kurekodi sauti - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 112-113 - Kifungu "Mbwa na Mbweha" - Vifaa vya kidijitali - Vifungu vya hadithi mbalimbali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 114 - Insha "Ndege Wangu" - Kamusi |
- Kusoma kwa kasi ifaayo
- Kusoma kwa sauti inayosikika
- Kutathmini usomaji wa wenzake
- Kurekebisha makosa ya usomaji
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
|
Tahajia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha - Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno - Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi |
- Kuandika insha kuhusu ndege anayempenda - Kuzingatia tahajia sahihi za maneno katika uandishi - Kusoma insha yake na kurekebisha tahajia - Kumsomea mzazi au mlezi insha aliyoandika - Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi |
Je, kwa nini ni muhimu kuandika maneno vizuri?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 114-115 - Kamusi - Chati ya tahajia sahihi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika insha yenye tahajia sahihi
- Kurekebisha tahajia zisizo sahihi
- Kutambua na kutumia tahajia sahihi za maneno
- Kusoma insha yake kwa wenzake
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno hili na haya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua neno hili na haya katika sentensi - Kutofautisha kati ya neno hili na haya - Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
- Kujadili matumizi ya hili (umoja) na haya (wingi) - Kutazama picha zenye vitu na kusoma maneno chini ya picha - Kupigia mstari hili na haya katika maneno - Kujadili mifano: "Embe hili" (umoja) na "Maembe haya" (wingi) - Kueleza kuwa hili hutumiwa katika umoja na haya hutumiwa katika wingi |
Je, unatumia neno gani kutaja tunda ambalo liko karibu nawe? Je, unatumia neno gani kutaja matunda ambayo yako karibu nawe?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
- Picha za vitu katika umoja na wingi - Chati ya matumizi ya hili na haya - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 117 - Kifungu chenye maneno hili na haya - Chati ya sentensi zenye hili na haya |
- Kutambua matumizi ya hili (umoja)
- Kutambua matumizi ya haya (wingi)
- Kutumia hili na haya katika sentensi
- Kutofautisha kati ya hili na haya
|
|
| 13 |
Midterm |
||||||||
| 14 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno hili na haya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutumia neno hili na haya ipasavyo katika kifungu - Kuandika kifungu akitumia neno hili na haya ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
- Kuandika kifungu kifupi akitumia hili na haya - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho - Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi - Kusahihisha kifungu chake kulingana na maoni aliyopokea - Kuwasilisha kifungu kilichosahihishwa kwa mwalimu |
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno hili na haya?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 118-119 - Mifano ya vifungu vyenye hili na haya - Kamusi - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika kifungu chenye hili na haya
- Kutumia hili na haya ipasavyo katika mawasiliano
- Kupokea na kutumia maoni
- Kuwasilisha kifungu kilichosahihishwa
|
|
Your Name Comes Here