If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 |
Opener exam |
||||||||
| 2 | 4 |
USAFI WA SEHEMU ZA UMMA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza na Kujibu - Mahojiano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano -Kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo -Kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano -Kusikiliza mahojiano kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza -Kushiriki mahojiano kuhusu suala lengwa |
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 1
Vifaa vya kidijitali Video za mahojiano Chati Kadi maneno |
Kutambua vipengele vya mahojiano
Kushiriki mahojiano
Kujibu maswali
Kueleza umuhimu wa mahojiano
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi
Viwakilishi vya Nafsi, Vionyeshi na vya Idadi Viakifishi - Alama ya Hisi na Ritifaa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha simulizi -Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu -Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu -Kueleza maana ya msamiati katika kifungu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu simulizi kwenye kitabu -Kudondoa habari mahususi katika kifungu -Kupanga matukio yanavyofuatana -Kufanya utabiri na ufasiri -Kutambua msamiati wa usafi wa sehemu za umma |
Je, tunapataje habari mahususi katika kifungu cha ufahamu?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 4
Picha Michoro Vifaa vya kidijitali KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 10 Chati Kadi maneno KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 8 Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali Kadi zenye mifano |
Kusoma kwa kutambua habari
Kujibu maswali
Kupanga matukio
Kufanya tathmini
|
|
| 3 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Sarufi |
Kusikiliza na Kujibu - Mahojiano
Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi Viwakilishi vya Nafsi, Vionyeshi na vya Idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano -Kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali -Kutathmini uongozi bora katika mahojiano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuigiza mahojiano kati ya chifu na mwanakijiji -Kutathmini mahojiano yaliyoigiziwa -Kushiriki mazungumzo na mzazi kuhusu suala lengwa -Kutumia orodha ya ukaguzi kujitathmini |
Je, unahitaji nini ili ufanye mahojiano mazuri?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 2
Orodha ya ukaguzi Kadi za tathmini Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 5 Chati Kamusi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 12 Kifaa cha kidijitali Jedwali la viwakilishi |
Kushiriki mahojiano
Kujitathmini
Kutoa maoni
Kuigiza mazungumzo
|
|
| 3 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Viakifishi - Alama ya Hisi na Ritifaa
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /g/ na /gh/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutumia alama ya ritifaa ipasavyo -Kufurahia matumizi yafaayo ya alama za uakifishaji -Kuandika vifungu vyenye matumizi sahihi ya alama za uakifishaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua matumizi ya alama ya ritifaa -Kuandika maneno yenye alama ya ritifaa -Kutunga kifungu kuhusu usafi -Kuwasambazia wenzake kifungu kwenye mtandao |
Je, alama ya ritifaa hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 9
Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali Mifano ya alama za ritifaa KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 15 Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye alama ya ritifaa
Kusahihisha kifungu
Kuweka alama za uakifishaji
|
|
| 3 | 4 |
MATUMIZI YAFAAYO YA DAWA
Kusoma Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Viwakilishi vya Sifa, Pekee na Viulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia -Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma -Kueleza kwa muhtasari ujumbe wa matini aliyosoma -Kujenga mazoea ya kusoma matini za miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuteua matini kuhusu suala linalomvutia -Kusoma matini ya kujichagulia -Kutambua msamiati katika matini -Kutumia kamusi kutafuta maana -Kuwaeleza wenzake ujumbe wa matini |
Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 17
Matini mbalimbali za kujichagulia Kamusi Kijitabu cha rekodi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 23 Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Orodha ya viwakilishi |
Kutambua msamiati mpya
Kutunga sentensi
Kutoa muhtasari
Kuweka rekodi ya aliyosoma
|
|
| 4 | 1 |
Kuandika
|
Barua ya Kirafiki ya Kutoa Shukrani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya kutoa shukrani -Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki -Kujadili ujumbe unaoafiki barua ya kirafiki ya kutoa shukrani |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza umuhimu wa kuandika barua ya kirafiki -Kutambua lugha inayofaa kwa uandishi -Kujadili vipengele vya kimuundo -Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 20
Matini ya mwalimu Michoro Chati Mfano wa barua ya kirafiki |
Kutambua vipengele vya barua
Kuchora muundo
Kujibu maswali
Kueleza lugha inayofaa
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /g/ na /gh/
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /g/ na /gh/ -Kuigiza mazungumzo akizingatia matamshi bora -Kushiriki mazungumzo na mzazi kwa kuzingatia sauti lengwa |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuigiza mazungumzo kati ya Maya na Mlama -Kutaja maneno yote yenye sauti /g/ na /gh/ -Kutunga sentensi akitumia maneno ya sauti lengwa -Kushiriki mazungumzo na mzazi |
Je, unatumiaje sauti /g/ na /gh/ katika mazungumzo?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 16
Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno Mazungumzo ya Maya na Mlama KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 19 Shajara ya usomaji Matini ya mwalimu Kijitabu maalum |
Kuigiza mazungumzo
Kutamka sauti sahihi
Kutunga vitanzandimi
Kushiriki na mzazi
|
|
| 4 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Sifa, Pekee na Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua viwakilishi vya pekee na viulizi -Kutumia viwakilishi vya pekee na viulizi ipasavyo -Kuchangamkia kutumia viwakilishi mbalimbali katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viwakilishi vya pekee na viulizi -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vya pekee na viulizi -Kuandika aya kuhusu dawa akitumia viwakilishi mbalimbali -Kumsomea mzazi sentensi zenye viwakilishi |
Viwakilishi vya pekee hutumiwa kwa namna gani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 25
Vifaa vya kidijitali Kadi za viwakilishi Matini ya mwalimu |
Kutunga sentensi sahihi
Kutambua viwakilishi
Kufanyiana tathmini
Kushiriki na mzazi
|
|
| 4 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Barua ya Kirafiki ya Kutoa Shukrani
Hadithi - Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani -Kukuza mazoea ya kuandika barua ya kirafiki -Kutumia lugha ifaayo katika barua ya kirafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani -Kuwasomea wenzake barua aliyoandika -Kurekebisha barua akizingatia maoni ya wenzake -Kumwandikia mzazi barua ya kutoa shukrani |
Je, unazingatia nini unapoandika barua ya kirafiki?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 21
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Mifano ya barua za kirafiki KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 28 Kadi za tashbihi |
Kuandika barua ya kirafiki
Kusomeana barua
Kufanya tathmini
Kutoa maoni
|
|
| 5 | 1 |
DHIKI ZINAZOKUMBA WANYAMA
Kusoma |
Kusoma kwa Kina - Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza maana ya tamthilia ili kuipambanua -Kujadili sifa za tamthilia kama utanzu wa fasihi andishi -Kuchangamkia usomaji wa tamthilia |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kufafanua maana ya tamthilia -Kutafiti maktabani kuhusu sifa za tamthilia -Kuwawasilishia wenzake utafiti wake -Kusoma tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu |
Je, tamthilia uliyowahi kusoma ilikuwa inahusu nini?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 31
Diwani ya mashairi iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua sifa za tamthilia
Kusoma tamthilia
Kuandika muhtasari
Kujadili ujumbe
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Viwakilishi Vimilikishi na Visisitizi
Insha za Kubuni - Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika matini -Kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo -Kuchangamkia kutumia viwakilishi katika sentensi na vifungu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuchopoa viwakilishi vimilikishi na visisitizi -Kutambua viwakilishi katika sentensi -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi vimilikishi -Kumsomea mzazi sentensi zinazotumia viwakilishi |
Unazingatia nini unapotumia viwakilishi vimilikishi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 36
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Orodha ya viwakilishi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 34 Mifano ya insha za masimulizi Picha |
Kutambua viwakilishi vimilikishi
Kutunga sentensi
Kujaza mapengo
Kushiriki na mzazi
|
|
| 5 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Hadithi - Mighani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo -Kuchangamkia kushiriki katika uwasilishaji wa mighani -Kuwawasilishia mzazi mighani aliyotafitia katika jamii |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo -Kubainisha sifa na vipengele vya uwasilishaji -Kuwasilishia mzazi mighani aliyotafitia -Kujadili ujumbe husika |
Je, ni mambo gani muhimu katika uwasilishaji wa mighani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 29
Vifaa vya kidijitali Matini zilizo na mighani Chati za uwasilishaji |
Kusimulia mighani
Kueleza matumizi
Kutunga mighani
Kushiriki na jamii
|
|
| 5 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Tamthilia
Viwakilishi Vimilikishi na Visisitizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua muundo wa tamthilia -Kujadili wahusika na mazungumzo katika tamthilia -Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kurasa chache za tamthilia -Kujadili muundo wa tamthilia -Kutambua wahusika na mazungumzo -Kuwasilishia mzazi sifa za tamthilia |
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi vya tamthilia?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 33
Tamthilia iliyoteuliwa Chati ya sifa za tamthilia Vifaa vya kidijitali KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 37 Kapu na kadi maneno Matini ya mwalimu |
Kusoma tamthilia
Kutambua muundo
Kueleza sifa
Kufanya tathmini
|
|
| 6 |
Mid term exam |
||||||||
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kuendeleza wazo kuu katika aya za insha -Kutumia wahusika katika simulizi -Kuwasilisha insha kwa wenzake ili waitathmini |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuendeleza wazo moja kuu katika kila aya -Kutumia wahusika katika simulizi -Kuwasomea wenzake insha aliyoandika -Kutambua wazo moja kuu katika insha za wengine |
Je, unavyoendeleza wazo kuu katika insha ya masimulizi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 35
Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za masimulizi Matini ya mwalimu |
Kuandika insha sahihi
Kuendeleza wazo kuu
Kurekebisha insha
Kuwasilisha kazi
|
|
| 7 | 2 |
MATUMIZI BORA YA MALIASILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Hadithi - Visasili
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza dhana ya visasili ili kuibanisha -Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili -Kuwasilisha visasili kwa kuzingatia uwasilishaji ufaao |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya visasili -Kufanya utafiti kuhusu sifa za visasili -Kuwawasilishia wenzake matokeo ya utafiti -Kujadili vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji |
Je, uwasilishaji wa hadithi ya visasili huzingatia vipengele gani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 40
Orodha ya visasili Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 42 Diwani ya mashairi iliyoteuliwa Chati ya sifa za usomaji |
Kutambua visasili
Kueleza matumizi
Kutunga visasili
Kutofautisha visasili na semi zingine
|
|
| 7 | 3 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali - Hali ya Mazoea na Timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu -Kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo -Kufurahia kutumia hali za vitenzi ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kushirikiana kueleza maana ya hali ya mazoea -Kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa -Kutunga sentensi kwa kutumia hali ya mazoea -Kuandika sentensi katika hali ya mazoea |
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 47
Kadi za vihusishi Chati Vifaa vya kidijitali |
Kutambua hali ya mazoea
Kutunga sentensi sahihi
Kufanyiana tathmini
Kuweka rekodi
|
|
| 7 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kutambua mbinu za lugha katika insha ya masimulizi -Kujadili umuhimu wa mbinu za lugha -Kujadili wahusika na mandhari katika insha za masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha katika vielelezo -Kushirikiana kujadili umuhimu wa lugha ya kiubunifu -Kutafiti kuhusu umuhimu wa mbinu za lugha -Kujadili wahusika na mandhari |
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya masimulizi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 45
Mifano ya insha za masimulizi Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mbinu za lugha
Kujadili umuhimu
Kuandika mwongozo
Kutunga insha
|
|
| 8 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Hadithi - Visasili
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi -Kufurahia uchambuzi na uwasilishaji wa visasili -Kujadili na mzazi kuhusu visasili katika jamii |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi -Kubainisha vipengele vya uwasilishaji -Kujadili na mzazi kuhusu visasili -Kusimulia visasili akizingatia vipengele vya uwasilishaji |
Visasili vina sifa gani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 41
Vifaa vya kidijitali Matini zilizo na visasili Chati za uwasilishaji KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 43 Makala mbalimbali Chati ya usomaji |
Kusimulia visasili
Kueleza matumizi
Kutunga visasili
Kushiriki na jamii
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali - Hali ya Mazoea na Timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kueleza maana ya hali timilifu -Kutumia hali timilifu ipasavyo -Kutofautisha hali ya mazoea na hali timilifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua hali timilifu katika picha -Kutunga sentensi kwa kutumia hali timilifu -Kubadilisha sentensi kutoka hali ya mazoea hadi timilifu -Kumwasilishia mzazi sentensi alizotunga |
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 48
Picha za matendo Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua hali timilifu
Kutunga sentensi
Kubadilisha hali
Kushiriki na mzazi
|
|
| 8-9 |
Mid term Break |
||||||||
| 9 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kusikiliza Maagizo Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, -Kuandika insha ya masimulizi akizingatia mbinu za lugha -Kufurahia kuandika insha ya masimulizi -Kutunga insha zenye wahusika wanaobainika na mandhari ifaavyo |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya masimulizi akitumia lugha kiubunifu -Kuwabainisha wahusika na mandhari -Kuwasomea wenzake insha aliyoandika -Kumsomea mzazi kielelezo cha insha |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika uandishi wa insha ya masimulizi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 46
Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za masimulizi Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 51 Chati za maagizo KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 54 Kifaa cha kidijitali Kamusi |
Kuandika insha ya masimulizi
Kutumia mbinu za lugha
Kurekebisha insha
Kuwasilisha kazi
|
|
| 10 | 1 |
MAJUKUMU YA KIJINSIA
Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Nyakati na Hali - Hali Timilifu
Insha ya Maelekezo Kusikiliza Maagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ili kuzipambanua - Kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu katika matini - Kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo katika matini - Kuchangamkia kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu - Kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu (li, me) na wakati ujao hali timilifu (ta, me) akishirikiana na wenzake - Kushirikiana na wenzake kutenga vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu kutoka kwenye chati au mti maneno |
Kwa nini ni muhimu kujifunza nyakati na hali?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 59
Chati za nyakati na hali Mti maneno Vifaa vya kidijitali KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 56 Kifaa cha kidijitali Mifano ya insha za maelekezo Kamusi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 52-53 Kadi za maagizo Matini ya mwalimu |
Kutambua viambishi vya nyakati
Kutunga sentensi
Kujaza pengo
Kufanyiana tathmini
|
|
| 10 | 2 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Nyakati na Hali - Hali Timilifu Insha ya Maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu - Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusakura vifungu vya ufahamu kuhusu suala lengwa kwenye vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake na kuvisoma - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kifupi kwa sauti na kueleza habari husika kwa ufupi |
Ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 55
Vifaa vya kidijitali Kamusi Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 60 Chati za nyakati KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 57-58 Mifano ya insha za maelekezo |
Kusoma kwa ufahamu
Kueleza ujumbe
Kushiriki na mzazi/mlezi
Kufanyiana tathmini
|
|
| 10 | 3 |
USALAMA NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira Vivumishi vya Sifa na Viashiria |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza - Kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku - Kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini - Kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake - Kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini na maisha ya kila siku - Kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini |
Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako?
Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 62
Vifaa vya kidijitali Matini za sauti Kanda za sauti KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 63 Tamthilia iliyoteuliwa Matini ya mwalimu Vitabu vya fasihi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 68 Chati za vivumishi Kadi maneno |
Kueleza ujumbe
Kuhusisha na maisha ya kila siku
Kujadili mafunzo
Kushiriki na mzazi/mlezi
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha za Kubuni - Mdokezo
Kusikiliza kwa Kufasiri Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua - Kubainisha aina za insha ya mdokezo - Kujadili vipengele vya insha ya mdokezo - Kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika - Kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maana ya insha ya mdokezo - Kujadili vipengele vya insha ya mdokezo atakachosimulia kutokana na mdokezo kwenye matini au kwenye kikundi - Kubainisha aina za insha ya mdokezo (kuanzia na kumalizia) kwa kujadiliana na wenzake - Kusoma kielelezo cha insha kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 66
Mifano ya insha za mdokezo Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 63 Matini za mzazi/mlezi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 64-65 Tamthilia iliyoteuliwa Vitabu vya fasihi |
Kutambua aina za insha za mdokezo
Kujadili vipengele
Kusoma mifano
Kushiriki mijadala
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Vivumishi vya Sifa na Viashiria
Insha za Kubuni - Mdokezo Usikilizaji Husishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini - Kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akishirikiana na wenzake - Kutunga aya kuhusu suala lengwa kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akishirikiana na wenzake - Kutafiti mtandaoni kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria - Kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyotafiti mtandaoni |
Je, kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vya sifa na vivumishi vya sifa?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 69
Vifaa vya kidijitali Matini za utafiti Chati za vivumishi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 67 Mifano ya insha za mdokezo Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 72 Matini za mazungumzo Chati za vipengele vya usikilizaji |
Kutunga sentensi na aya
Kutafiti mtandaoni
Kushiriki na mzazi/mlezi
Kufanya tathmini
|
|
| 11 | 2 |
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUM
Kusoma Sarufi Kuandika |
Ufupisho
Vivumishi Vimilikishi na vya Idadi Insha za Kubuni - Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua - Kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu - Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho - Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ufupisho akishirikiana na wenzake - Kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu akiwa na wenzake - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akishirikiana na wenzake - Kutambua kwenye matini andishi au ya kidijitali habari za kimsingi katika makala na kuzieleza kwa usahihi kwa kuzingatia mtazamo wa matini katika matini ya kufupishwa akishirikiana na wenzake |
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 75
Matini za kufupisha Vifaa vya kidijitali Kamusi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 80 Chati za vivumishi Kadi maneno KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 78 Mifano ya insha za maelezo Chati za tamathali za lugha |
Kutambua vipengele vya ufupisho
Kujadili na wenzake
Kusoma vifungu
Kutambua habari za kimsingi
|
|
| 11 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Sarufi |
Usikilizaji Husishi
Ufupisho Vivumishi Vimilikishi na vya Idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi - Kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi - Kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kumsikiliza mwenzake, mwalimu au mgeni mwalikwa akisema kauli au akisoma vifungu vifupi kuhusu suala lengwa na kufasiri hisia zake - Kuigiza kikao cha utoaji nasaha akishirikiana na wenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi - Kushiriki mazungumzo kuhusu suala lengwa na mzazi, mlezi au mwenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 73-74
Vifaa vya kidijitali Matini za mazungumzo Jedwali la ukaguzi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 76-77 Matini za kufupisha Jedwali la vipengele KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 81-82 Matini ya mwalimu Chati za vivumishi |
Kuigiza kikao cha utoaji nasaha
Kufasiri hisia za mzungumzaji
Kushiriki na mzazi/mlezi
Kufanyiana tathmini
|
|
| 11 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha za Kubuni - Maelezo
Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo Kusoma kwa Kina - Mandhari na Ploti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo - Kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri - Kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 79
Mifano ya insha za maelezo Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 84 Matini za uzungumzaji Chati za vipengele vya uzungumzaji KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 86 Tamthilia iliyoteuliwa |
Kuandika insha ya maelezo
Kutumia tamathali za lugha
Kusomeana insha
Kutoa na kupokea maoni
|
|
| 12 | 1 |
UHALIFU WA MTANDAONI
Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - I-ZI
Viakifishi - Alama za Mtajo na Mshazari Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini - Kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I katika sentensi - Kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchopoa nomino za ngeli ya I-ZI na I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI na I-I katika sentensi na mafungu ya maneno akishirikiana na wenzake - Kutaja majina katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI na I-I akiwa na wenzake |
Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 90
Chati za ngeli Kadi maneno Tarakilishi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 88 Matini zenye alama za mtajo Vifaa vya kidijitali Mifano ya matumizi ya mshazari KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 85 Jedwali la ukaguzi Matini ya mwalimu |
Kutambua nomino za ngeli ya I-ZI
Kutambua viambishi vya upatanisho
Kutaja majina mazingireni
Kutunga sentensi
|
|
| 12 | 2 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Kina - Mandhari na Ploti
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - I-I Viakifishi - Alama za Mtajo na Mshazari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua mandhari na ploti katika tamthilia - Kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha - Kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma - Kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au kwa kushirikiana na wenzake - Kujadili umuhimu wa ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au na wenzake - Kuandaa muhtasari kuhusu ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu - Kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti ya tamthilia aliyosoma - Kumweleza mzazi au mlezi kuhusu mandhari na ploti katika tamthilia aliyosoma |
Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 87
Tamthilia iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 92-94 Chati za ngeli KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 89 Matini za kusahihisha Vitabu vya ziada |
Kutambua ploti
Kujadili umuhimu wa ploti
Kuandaa muhtasari
Kushiriki na mzazi/mlezi
|
|
| 12 | 3 |
MAJUKUMU YA MNUNUZI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /k/ na /gh/
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - U-U na U-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua sauti /k/ na /gh/ katika silabi na maneno - Kutamka sauti /k/ na /gh/ ipasavyo katika silabi na maneno - Kutumia maneno yenye sauti /k/ na /gh/ ipasavyo katika matini ili kuyatofautisha kimatamshi - Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /k/ na /gh/ katika mazungumzo ya kawaida |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /k/ na /gh/ katika maneno na silabi akishirikiana na wenzake - Kutambua maneno yenye sauti /k/ na /gh/ katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo akiwa na wenzake - Kutunga vitanzandimi vinavyotumia sauti /k/ na /gh/ na kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali - Kushiriki mazungumzo na mzazi au mlezi wake kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /k/ na /gh/ |
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti /k/ na /gh/?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 95
Vifaa vya kidijitali Mti maneno Kadi za maneno KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 96 Kamusi Matini za ushawishi KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 100 Chati za ngeli |
Kutambua sauti /k/ na /gh/ katika maneno
Kutunga vitanzandimi
Orodha hakiki ya maneno yenye sauti hizo
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika |
Insha za Kubuni - Masimulizi (Ukuzaji wa Wazo)
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /k/ na /gh/ Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - U-U na U-YA Insha za Kubuni - Masimulizi (Ukuzaji wa Wazo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi - Kujadili vipengele vinavyojenga wazo katika aya kuhusu insha ya masimulizi - Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika aya ipasavyo - Kufurahia utunzi wa insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa wazo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho) katika insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi na za kidijitali - Kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali akishirikiana na wenzake - Kushirikiana na wenzake kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi - Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo |
Je, unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 98
Mifano ya insha za masimulizi Vifaa vya kidijitali Matini za mwalimu KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 95 Chati za maneno KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 96 Kamusi Matini mbalimbali KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 103 Kadi za nomino KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 99 Vidokezo vya uandishi |
Kutambua vipengele vya kujenga wazo
Kujadili ukuzaji wa wazo
Kuandika vidokezo
Kujenga mpangilio
|
|
Your Name Comes Here