Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
USAFI WA MAZINGIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutambua silabi za sauti dh, th na ch katika maneno mbalimbali
- Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa
- Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi
- Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa
- Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa
- Kutamka maneno hayo vizuri
Je, kwa nini tunafaa kutamka maneno vizuri?
Mentor uk. 77
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Chati
Mti maneno
Kutambua silabi za sauti dh, th na ch Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch Kusoma kifungu chenye sauti dh, th na ch
1 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutambua silabi za sauti dh katika maneno kutoka kifungu
- Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa
- Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa
- Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
Mentor uk. 79
Sauti za kurekodi
Vifaa vya kidijitali
Kadi maneno
Picha
Mentor uk. 81
Kifaa cha kidijitali
Matini
Kupigia mstari silabi za sauti dh, th na ch katika maneno Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch Kuunda vitanzandimi vyenye sauti dh, th na ch
1 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kutambua sauti dh, th na ch katika kifungu chepesi kuhusu usafi wa mazingira
- Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika)
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
Mentor uk. 83
Vifaa vya kidijitali
Chati
Matini ya mwalimu
Kutambua sauti dh, th na ch katika maneno Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kusoma kwa sauti inayosikika Kusoma kwa kasi ifaayo Kusoma kwa kuzingatia ishara
2 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa zamu
- Kupigia mstari maneno yenye sauti lengwa katika kifungu
- Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika vizuri
- Kusoma kifungu tena kwa kutumia ishara mbalimbali
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa
Je, kila mmoja wenu alisoma kwa sauti inayosikika vizuri?
Mentor uk. 84
Vifaa vya kidijitali
Picha
Matini ya mwalimu
Kutambua maneno yenye sauti dh, th na ch katika kifungu Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo Kusoma kifungu kwa kutumia ishara zifaazo
2 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa ufasaha
- Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha
- Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake
- Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
Je, mnatumia ishara gani mnapoongea?
Mentor uk. 85
Kifaa cha kidijitali
Matini ya mwalimu
Mentor uk. 86
Vifaa vya kidijitali
Karatasi za kuandikia
Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma Kusoma kwa kasi ifaayo
2 3
Kuandika
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi

- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yatakayotamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akizingatia kanuni zifaazo za uandishi (k.v matumizi ya herufi kubwa na ndogo, tahajia, nafasi baina ya maneno n.k)
- Kujadili na wenzake kifungu alichokiandika ili kukitathmini
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
Mentor uk. 87
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Karatasi za kuandikia
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla Kujadili kazi ya imla iliyoandikwa
3 1
Kuandika
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi

- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika kwa imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kurekebisha imla yake kulingana na maoni ya mwalimu na wenzake
- Kuchunguza kazi ya wenzake ili kutoa maoni yake
- Kujadili changamoto alizopata wakati wa kuandika imla
Je, umeandika kwa kuzingatia mambo haya: hati safi, kuacha nafasi katikati ya maneno, kuandika herufi zote vizuri?
Mentor uk. 87
Chati
Kadi maneno
Karatasi za kuandikia
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla Kurekebisha makosa ya imla Tathmini rika
3 2
Sarufi
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku

- Kutambua maneno yenye rangi -eupe, -eusi, -ekundu kwa kurejelea vitu halisi katika mazingira yake, kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kusikiliza maelezo kuhusu matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
Mentor uk. 88
Picha za vitu vyenye rangi mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu Kupigia mstari maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
3 3
Sarufi
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku

- Tazama picha za vitu vyenye rangi tofauti
- Soma sentensi zilizo chini ya picha
- Pigia mstari maneno yaliyotumia -eupe, -eusi na -ekundu
- Eleza -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini
- Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi na -ekundu
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini?
Mentor uk. 89
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali
Kadi za maneno
Chati
Mentor uk. 90
Kadi za sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kueleza matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu Kuorodhesha vitu vya rangi nyeupe, nyeusi na nyekundu
4 1
DUKANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani
- Kutoa maagizo mepesi yanayotumiwa darasani
- Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku

- Kutazama picha zinazoonyesha watu wakitoa maagizo
- Kutambua maagizo yanayotolewa katika picha hizo
- Kujadili kwa nini ni muhimu kufuata maagizo
- Kupigilia mstari maagizo katika sentensi mbalimbali
- Kutoa mifano ya maagizo mazuri na maagizo mabaya
Je, kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93
- Picha za watu wakitoa maagizo
- Chati zenye maagizo
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93-94
- Kadi zenye maagizo
- Vitu halisi vya kutumia katika maigizo
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 94
- Mashairi yenye maagizo
- Nyimbo zinazohusiana na maagizo
- Kutambua maagizo katika sentensi - Kutoa maagizo mbalimbali - Kufuata maagizo - Kuuliza na kujibu maswali - Kujaza nafasi kwa maagizo yanayofaa
4 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma

- Kutazama picha inayohusu duka
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu
- Kusoma kifungu "Duka la Kathambi"
- Kuthibitisha iwapo utabiri wake ulikuwa sahihi
- Kujadili ujumbe wa kifungu hicho
- Kujibu maswali kuhusu kifungu
Je, unafanya nini ili uelewe kifungu unachosoma?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 95
- Picha za dukani
- Kifungu cha ufahamu "Duka la Kathambi"
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96
- Kamusi
- Kadi maneno za msamiati wa dukani
- Kutambua msamiati wa dukani - Kuuliza na kujibu maswali - Kufanya utabiri kutokana na picha - Kutambua ujumbe wa kifungu - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
4 3
Kusoma
Kuandika
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Uandishi wa Insha
Uandishi wa Insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu cha ufahamu
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu cha ufahamu
- Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma

- Kusoma kifungu kipya kuhusu dukani
- Kutabiri mwisho wa hadithi kutokana na matukio ya hapo awali
- Kutambua msamiati mpya kama "chenji", "pesa", "bidhaa"
- Kutumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi
- Kujadili mafunzo yanayopatikana kutoka kwenye kifungu hicho
Je, unakisiaje matokeo ya hadithi kutoka kwa matukio ya awali?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96-97
- Vifungu vya hadithi kuhusu dukani
- Picha zinazohusiana na dukani
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98
- Mfano wa insha "Joni na Mama Yake"
- Chati ya muundo wa insha
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98-99
- Kielelezo cha insha
- Vifaa vya kidijitali
- Orodha hakiki ya kanuni za uandishi
- Kutabiri matukio ya hadithi - Kueleza mafunzo yanayotokana na hadithi - Kutambua msamiati mpya - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya - Kufanya tathmini ya maana ya msamiati
5 1
Kuandika
Uandishi wa Insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuandika insha yenye maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi
- Kusahihisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake
- Kufurahia uandishi wa insha ili kuimarisha mawasiliano andishi

- Kusoma mfano wa insha iliyoandikwa vizuri
- Kujadili vipengele muhimu vinavyoifanya insha iwe nzuri
- Kuandika insha nyingine kwa kuzingatia maoni aliyopata
- Kuwasomea mzazi au mlezi insha aliyoandika
- Kuwasilisha insha yake kwa mwalimu
Je, ni vigezo gani vya tathmini ya insha ya kusimulia?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 99
- Sampuli za insha zilizosahihishwa
- Vigezo vya kutathmini insha
- Vifaa vya kidijitali
- Kuandika insha inayofuata kanuni za uandishi - Kusahihisha insha kulingana na maoni - Kuwasilisha insha iliyorekebishwa - Kufanya tathmini ya insha za wenzake - Kuboresha insha yake
5 2
Sarufi
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matumizi ya neno yeye na wao katika ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku

- Kutazama picha zinazoonyesha ukanushaji
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu katika picha
- Kuangalia mifano: "Yeye anaandika - Yeye haandiki" na "Wao wanaandika - Wao hawaandiki"
- Kujadili jinsi ukanushaji unavyofanyika kwa nafsi ya tatu
Je, unafanya nini sasa hivi? Kama hufanyi mambo uliyotaja utasema je?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 100
- Picha za ukanushaji
- Chati za sentensi zenye ukanushaji
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 101-102
- Chati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kapu maneno
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji - Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji - Kuuliza na kujibu maswali - Kupambanua ukanushaji katika sentensi
5 3
Sarufi
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja na wingi ipasavyo
- Kubadilisha sentensi za ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja hadi wingi
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku

- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu wingi
- Kuandika sentensi za nafsi ya tatu umoja katika wingi
- Kumsomea mzazi au mlezi sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kucheza michezo ya kuelewana inayohusisha ukanushaji wa nafsi ya tatu
Je, tutachukulia vipi ukanushaji wa nafsi ya tatu wakati wa kuandika?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 103-104
- Kadi zenye sentensi za kukanusha
- Chati ya mifano ya ukanushaji
- Vifaa vya kidijitali
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu - Kubadilisha sentensi za nafsi ya tatu umoja hadi wingi - Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kufanya tathmini ya matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu
6 1
NDEGE NIMPENDAYE

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti mbw
Matamshi Bora: Sauti nd
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua silabi za sauti /mbw/ katika maneno
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti /mbw/ kwa ufasaha
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutamka sauti /mbw/ kwa usahihi
- Kusoma silabi zenye sauti /mbw/
- Kupigia mstari silabi za sauti /mbw/ katika maneno kama "dimbwi", "mbweha", "mbweu"
- Kutamka silabi alizopigia mstari
- Kutaja maneno mengine yenye silabi za sauti /mbw/
Je, tunafaa kutamka maneno vizuri?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 105
- Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /mbw/
- Vifaa vya kidijitali
- Kadi za silabi za sauti /mbw/
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 106
- Chati zenye sentensi za sauti /mbw/
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 107
- Kadi za silabi zenye sauti /nd/
- Picha zenye maneno ya sauti /nd/
- Kutamka sauti /mbw/ kwa usahihi - Kutambua sauti /mbw/ katika maneno - Kutunga sentensi zenye maneno ya sauti /mbw/ - Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti /mbw/
6 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusoma
Matamshi Bora: Sauti ny
Kusoma kwa Ufasaha
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua silabi za sauti /ny/ katika maneno
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti /ny/ kwa ufasaha
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutamka sauti /ny/
- Kusoma silabi zenye sauti /ny/
- Kupigia mstari silabi za sauti /ny/ katika maneno kama "nyumba", "nyama", "manyoya"
- Kutamka silabi alizopigia mstari
- Kutaja maneno mengine yenye silabi za sauti /ny/
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 109-110
- Kadi za silabi zenye sauti /ny/
- Picha zenye maneno ya sauti /ny/
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 111
- Kifungu "Kuku na Mwewe"
- Vifaa vya kidijitali
- Chati za maneno yenye sauti lengwa
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 112
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Kutamka sauti /ny/ kwa usahihi - Kutambua sauti /ny/ katika maneno - Kutunga sentensi zenye maneno ya sauti /ny/ - Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti /ny/
6 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Tahajia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kujadili ishara za mwili zinazotumika wakati wa kuongea
- Kusomea mwenzake kifungu cha "Mbwa na Mbweha" akitumia ishara za mwili
- Kupokea maoni kutoka kwa mwenzake kuhusu matumizi ya ishara
- Kutafuta kifungu kizuri mtandaoni au kitabuni
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi nzuri na ishara mbalimbali
Je, unajua kutumia ishara gani unapoongea?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 112-113
- Kifungu "Mbwa na Mbweha"
- Vifaa vya kidijitali
- Vifungu vya hadithi mbalimbali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 114
- Insha "Ndege Wangu"
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Kutumia ishara za mwili wakati wa kusoma - Kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo - Kutoa na kupokea maoni kuhusu usomaji - Kusoma vifungu mbalimbali
7 1
Kuandika
Sarufi
Tahajia
Matumizi ya neno hili na haya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha
- Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno
- Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi

- Kuandika insha kuhusu ndege anayempenda
- Kuzingatia tahajia sahihi za maneno katika uandishi
- Kusoma insha yake na kurekebisha tahajia
- Kumsomea mzazi au mlezi insha aliyoandika
- Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi
Je, kwa nini ni muhimu kuandika maneno vizuri?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 114-115
- Kamusi
- Chati ya tahajia sahihi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
- Picha za vitu katika umoja na wingi
- Chati ya matumizi ya hili na haya
- Kuandika insha yenye tahajia sahihi - Kurekebisha tahajia zisizo sahihi - Kutambua na kutumia tahajia sahihi za maneno - Kusoma insha yake kwa wenzake
7 2
Sarufi
Matumizi ya neno hili na haya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua neno hili na haya katika kifungu
- Kutumia neno hili na haya katika sentensi
- Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano

- Kusoma kifungu kilichotolewa
- Kutambua sentensi ambazo zimetumia neno hili
- Kutambua sentensi ambazo zimetumia neno haya
- Kujaza nafasi kwa kutumia hili na haya
- Kuwasomea wenzake sentensi alizojaza
- Kuandika kifungu kifupi akitumia hili na haya
Je, maneno hili na haya hutumiwa kuonyesha nini?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 117
- Kifungu chenye maneno hili na haya
- Chati ya sentensi zenye hili na haya
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua hili na haya katika kifungu - Kujaza nafasi kwa kutumia hili na haya - Kutunga sentensi zenye hili na haya - Kuandika kifungu kifupi chenye hili na haya
7 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya neno hili na haya
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutumia neno hili na haya ipasavyo katika kifungu
- Kuandika kifungu akitumia neno hili na haya ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano

- Kuandika kifungu kifupi akitumia hili na haya
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho
- Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi
- Kusahihisha kifungu chake kulingana na maoni aliyopokea
- Kuwasilisha kifungu kilichosahihishwa kwa mwalimu
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno hili na haya?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 118-119
- Mifano ya vifungu vyenye hili na haya
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 121
- Mfano wa mazungumzo
- Picha zinazohusiana na sokoni
- Kuandika kifungu chenye hili na haya - Kutumia hili na haya ipasavyo katika mawasiliano - Kupokea na kutumia maoni - Kuwasilisha kifungu kilichosahihishwa
8 1
SOKONI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua suala lengwa linalozungumziwa
- Kuteua mada ya kuzungumzia
- Kupanga mawazo yake kabla ya kuzungumza
- Kuchangamkia mazungumzo katika mawasiliano ya kila siku

- Kuchagua jambo la kuzungumzia kati ya "Mambo yanayofanyika sokoni" na "Umuhimu wa soko"
- Kuzungumza kuhusu jambo hilo
- Kuzingatia matamshi bora, kupanga maelezo vizuri, sauti inayosikika na ishara mbalimbali
- Kufanyiana tathmini ya mazungumzo
Je, unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
- Picha zinazohusiana na shughuli za sokoni
- Chati ya vipengele vya kuzingatia katika mazungumzo
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 122
- Picha za watu wakizungumza
- Mifano ya mazungumzo bora
- Kuzungumza kwa ufasaha - Kutumia matamshi bora - Kupanga mawazo vizuri - Kutumia ishara zinazofaa - Kufanya tathmini ya mazungumzo
8 2
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma

- Kutazama picha ya sokoni
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu
- Kusoma kifungu kilichotolewa
- Kuthibitisha iwapo utabiri wao ulitimia
- Kujadili kuhusu kifungu hicho
- Kutafuta maneno "bidhaa", "mikokoteni", "wateja" na "maduka" katika kifungu
Je, unafanya nini ili usome kifungu vizuri?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 123
- Picha zinazohusiana na sokoni
- Kifungu cha ufahamu
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 124
- Kadi za msamiati wa sokoni
- Kamusi
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 124-125
- Kutambua maneno yanayohusu sokoni - Kueleza ujumbe wa kifungu - Kutabiri ujumbe wa kifungu - Kueleza mafunzo ya kifungu
8 3
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya masimulizi
- Kueleza ujumbe wa insha ya masimulizi
- Kufurahia uandishi wa insha ya masimulizi ili kuimarisha mawasiliano

- Kujadili kuhusu kuandika insha ya masimulizi
- Kusoma insha "Mimi na Dada Yangu"
- Kutambua jambo linalosimuliza katika insha hiyo
- Kutambua muundo wa insha ya masimulizi (utangulizi, kiini, hitimisho)
- Kujadili umuhimu wa kuwa na kichwa cha insha
Je, umewahi kumsimulia mtu hadithi? Hadithi hiyo ilihusu nini?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-126
- Insha ya "Mimi na Dada Yangu"
- Chati ya muundo wa insha ya masimulizi
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 126
- Mifano ya insha za masimulizi
- Orodha ya kanuni za uandishi wa insha
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 126-127
- Mifano ya insha zilizosahihishwa
- Orodha ya vigezo vya kutathmini insha
- Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya masimulizi - Kutambua muundo wa insha ya masimulizi - Kueleza ujumbe wa insha - Kutambua sehemu kuu za insha
9

Midterm

10 1
Sarufi
Matumizi ya juu ya, ndani ya, na mbele ya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vihusishi vya mahali katika matini
- Kueleza matumizi ya vihusishi vya mahali
- Kuchangamkia matumizi ya vihusishi vya mahali katika mazungumzo ya kila siku

- Kuambia mwenzake aweke kalamu juu ya dawati
- Kujadili matumizi ya kihusishi "juu ya"
- Kutazama picha na kujaza nafasi kwa usahihi
- Kutunga sentensi tano sahihi akitumia "juu ya"
- Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
Je, unatumia maneno gani kuonyesha kitu kilicho mahali?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 127-128
- Picha za vitu vilivyowekwa mahali mbalimbali
- Chati ya vihusishi vya mahali
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua matumizi ya "juu ya" - Kutunga sentensi zenye kihusishi "juu ya" - Kujaza nafasi kwa vihusishi vya mahali - Kucheza michezo ya kuelewa vihusishi
10 2
Sarufi
Matumizi ya juu ya, ndani ya, na mbele ya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vihusishi vya mahali katika matini
- Kutumia vihusishi vya mahali ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi ya vihusishi vya mahali katika mazungumzo ya kila siku

- Kuweka kifutio ndani ya mfuko
- Kujadili matumizi ya kihusishi "ndani ya"
- Kutazama picha na kujaza nafasi kwa usahihi
- Kutunga sentensi akitumia "ndani ya"
- Kujadili maana ya "mbele ya"
- Kusimama mbele ya darasa na kuonyesha wenzake
Je, vihusishi vya mahali vina umuhimu gani katika mawasiliano?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 128-129
- Picha zinazohusiana na vihusishi vya mahali
- Vitu halisi
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua matumizi ya "ndani ya" - Kutambua matumizi ya "mbele ya" - Kutunga sentensi zenye vihusishi vya mahali - Kutumia vihusishi vya mahali katika mazungumzo
10 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya juu ya, ndani ya, na mbele ya
Matamshi Bora: Sauti mb
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutumia vihusishi vya mahali ipasavyo katika matini
- Kuandika tungo zenye vihusishi vya mahali
- Kuchangamkia matumizi ya vihusishi vya mahali katika mazungumzo ya kila siku

- Kutazama picha zinazoonyesha vitu mahali mbalimbali
- Kujaza nafasi kwa kutumia "juu ya", "ndani ya" au "mbele ya"
- Kutunga sentensi zenye vihusishi vya mahali
- Kujaza nafasi katika sentensi
- Kuandika kifungu kifupi akitumia vihusishi vya mahali
Je, ni maneno yapi unaweza kutumia kurejelea kitu/mtu aliye mahali fulani?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 130-131
- Picha zinazoonyesha matumizi ya vihusishi vya mahali
- Chati ya sentensi zenye vihusishi vya mahali
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 134
- Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /mb/
- Kadi za silabi za sauti /mb/
- Kutambua vihusishi vya mahali katika sentensi - Kutumia vihusishi vya mahali katika mazungumzo - Kuandika sentensi zenye vihusishi vya mahali - Kuandika kifungu chenye vihusishi vya mahali
11 1
TEKNOLOJIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti mb
Matamshi Bora: Sauti nz
Matamshi Bora: Sauti tw
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua silabi za sauti /mb/ katika sentensi
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti /mb/ kwa ufasaha
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kusikiliza sentensi zikitamkwa kwenye kifaa cha kidijitali
- Kutambua maneno yenye silabi za sauti /mb/ katika sentensi hizo
- Kutamka maneno hayo kwa usahihi
- Kujirekodi akitamka maneno yenye silabi za sauti /mb/
- Kuwatumia wenzake rekodi zake ili wasikilize na kutoa maoni
Je, ni kwa nini ni muhimu kutamka maneno kwa usahihi?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 135
- Sentensi zenye maneno ya sauti /mb/
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 135-136
- Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /nz/
- Kadi za silabi za sauti /nz/
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138
- Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /tw/
- Kadi za silabi za sauti /tw/
- Kutambua maneno yenye sauti /mb/ - Kutamka maneno ya sauti /mb/ kwa usahihi - Kutunga sentensi zenye maneno ya sauti /mb/ - Kujirekodi akitamka maneno ya sauti /mb/
11 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu "Safari ya Sokoni"
- Kutamka kila neno kwa usahihi
- Kutambua maneno yenye sauti /mb/, /nz/ na /tw/
- Kusoma tena kifungu hicho kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kujadili ujumbe wa kifungu
Kwa nini unafaa kusoma kifungu vizuri?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 142
- Kifungu "Safari ya Sokoni"
- Chati ya maneno yenye sauti lengwa
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 143
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu - Kusoma kwa matamshi bora - Kusoma kwa sauti inayosikika - Kueleza ujumbe wa kifungu
11 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kujadili ishara za mwili zinazotumika wakati wa kuongea
- Kusomea mwenzake aya ya kifungu "Safari ya Sokoni" akitumia ishara za uso na mikono
- Kupokea maoni kutoka kwa mwenzake kuhusu matumizi ya ishara
- Kutafuta kifungu kizuri mtandaoni au kitabuni
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho
Je, unajua kutumia ishara gani unapoongea?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 143-144
- Kifungu "Safari ya Sokoni"
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
- Insha "Matumizi Bora ya Teknolojia"
- Chati ya muundo wa insha ya maelezo
- Kutumia ishara za mwili wakati wa kusoma - Kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo - Kutoa na kupokea maoni kuhusu usomaji - Kusoma vifungu mbalimbali
12 1
Kuandika
Sarufi
Insha ya Maelezo
Vinyume vya Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuandika insha ya maelezo kati ya maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi
- Kusahihisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake
- Kuchangamkia uandishi wa insha ya maelezo ili kuimarisha mawasiliano

- Kurekebisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake
- Kuandika insha nyingine yenye maudhui ya teknolojia
- Kuzingatia muundo wa insha, tahajia sahihi na kanuni za uandishi
- Kumsomea mzazi au mlezi insha aliyoandika
- Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 146
- Mifano ya insha zilizosahihishwa
- Orodha ya vigezo vya kutathmini insha
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
- Picha za vitendo na vinyume vyake
- Chati za vitendo na vinyume vyake
- Kusahihisha insha kulingana na maoni - Kuandika insha inayozingatia kanuni za uandishi - Kusoma insha kwa wenzake - Kutoa na kupokea maoni kuhusu insha
12 2
Sarufi
Vinyume vya Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vinyume vya vitendo katika matini
- Kutumia vinyume vya vitendo ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku

- Kusoma kifungu kilichotolewa
- Kuandika maneno ambayo ni vinyume katika kifungu
- Kutaja vitenzi vingine na vinyume vyake
- Kujaza nafasi kwa kutumia kinyume cha kitenzi kwenye mabano
- Kuandika upya sentensi akitumia vinyume vya vitenzi vilivyopigiwa mstari
Ni kwa nini tunahitaji kujua vinyume vya vitendo?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 148
- Kifungu chenye vitendo na vinyume vyake
- Kadi za vitendo na vinyume vyake
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua vinyume vya vitendo - Kujaza nafasi kwa kutumia vinyume vya vitendo - Kutunga sentensi zenye vinyume vya vitendo - Kubadilisha sentensi kwa kutumia vinyume vya vitendo
12 3
Sarufi
Vinyume vya Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutumia vinyume vya vitendo ipasavyo katika matini
- Kutunga sentensi kwa kutumia vitendo na vinyume vyake
- Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku

- Kutunga sentensi akitumia vitenzi na vinyume vyake
- Kufanya zoezi la kupigia mstari silabi za sauti /mb/ katika maneno
- Kusoma kifungu chenye sauti /mb/ na kutamka maneno hayo vizuri
- Kuandika insha kuhusu "Umuhimu wa Kompyuta"
- Kufanya zoezi la kutathmini uwezo wake
Je, vinyume vya vitendo vina umuhimu gani katika lugha ya Kiswahili

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 149-150
- Kamusi
- Chati ya vitendo na vinyume vyake
- Vifaa vya kidijitali
- Kutunga sentensi zenye vitendo na vinyume vyake - Kutambua vitendo na vinyume vyake katika kifungu - Kuandika insha yenye vitendo na vinyume vyake - Kufanyiana tathmini ya matumizi ya vinyume vya vitendo

Your Name Comes Here

Download

Feedback