Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA KWANZA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
Kusikili za na Kuzung umza
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua siku za wiki katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi atambue siku za wiki yaani: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kwa kutumia
kadi za maneno
Wiki moja ina siku ngapi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
1 2

1 3

, kutaja majina ya siku za wiki kwa mfululizo ili kumsaidia kuratibu shughuli za siku
Mwanafunzi aweza kuimba wimbo wa siku za wiki.
Mwanafunzi aweza kukariri mashairi kuhusu siku za wiki
Wiki moja ina siku ngapi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
1 4
Kusikili za na Kuzung umza
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuelezea shughuli za siku aweze: kusimulia matukio katika siku tofauti za wiki ili kujenga stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi asimulie kisa darasani.
Mwanafunzi aonyeshe umakinifu anaposikiliza masimulizi ya mwalimu na wanafunzi wenzake
Ni matukio yapi uliyowahi kushuhudia
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
2 1
Kusikili za na Kuzung umza
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kuelezea shughuli za siku kufahamu masimulizi ya matukio ya siku za wiki aliyosimuliwa ili kupata ujumbe
Wanafunzi waweza kusimuliana matukio ya
"siku za wiki wakiwa wawili wawili.
Mwanafunzi asikilize masimulizi kuhusu matukio ya siku za wiki kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m. simu, kinasasauti, kipakatalishi n.k."
Ni matukio yapi uliyowahi kushuhudia
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
2 2

2 3

2 4
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma Hadithi

, kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi
Umewahi kusikiliza hadithi ipii
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 1
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazojumuisha matukio ya siku za wiki ili kujenga umakinifu
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi
Umewahi kusikiliza hadithi ip
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 2

3 3

, kufahamu hadithi aliyosomewa katika mada ili kupata ujumbe
Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi.
Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu.
Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi
Umewahi kusikiliza hadithi ip
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 4
Familia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo
Mwanafunzi ashirikishwe kutambua sauti /m/, /a/,
/u/ na /k katika maneno. Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha watamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na katika darasa.
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
4 1
Familia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua majina ya herufi
zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya)
"kutamkia sauti. Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.
Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa"
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
4 2

4 3

4 4

, kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti.
Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.
Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
5 1
Familia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma
"Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.
Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno"
marefu zaidi vipande vipande
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
5 2

5 3

, kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kujenga stadi ya kusoma
Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.
Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno marefu zaidi vipande vipande
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
5 4

6 1

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno marefu zaidi vipande vipande.
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili.
Mwanafunzi asikilize na kusoma hadithi kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta n.k.
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 2
Familia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi afinyange na aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni.
Mwanafunzi aandike maneno yaliyo na herufi za sauti alizofunzwa kwa kunakili aliyoandika mwalimu
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 3

6 4
Kusikili za na Kuzung umza
Maneno ya heshima

, kutambua maneno ya heshima katika familia
Wanafunzi waweza kuonyeshwa mchoro wa mtoto akipokea zawadi halafu wajadili neno linalofaa kutumiwa na anayepokea zawadi.
Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayoashiria matumizi ya maneno ya heshima k.m. Mtu akipokea zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 1
Kusikili za na Kuzung umza
Maneno ya heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano
Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayoashiria matumizi ya maneno ya heshima k.m. Mtu akipokea zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini.
Mwanafunzi aweza kupewa ufafanuzi kuhusu maneno ya heshima kama vile
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 2

7 3

, kuambatanisha maneno ya heshima na hisia zifaazo katika mawasiliano
zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini. Mwanafunzi aweza kupewa ufafanuzi kuhusu maneno ya heshima kama vile
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 4

8 1
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma: Hadithi

, kutambua msamiati uliotumika katika hadithi
Mwanafunzi aweza kujadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 2
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu familia darasani
Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea
kwenye hadithi. Mwanafunzi aweza kufuatilia hadithi ikisomwa na mwalimu, kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye

Charti
Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 3

8 4

, kusoma hadithi kuhusu familia darasani
Mwanafunzi aweza kufuatilia hadithi ikisomwa na mwalimu, kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye asome akiwa peke yake au wiwili wawili.
.
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
9 1
Kusikili za na Kuzung umza
Sarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua maneno na viambishi vinavyotumika kuonyesha nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi
Mwanafunzi aweza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi
Je, unatumia maneno gani kujirejelea na mkiwa wengi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
9 2

9 3

, kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi
Manafunzi aweza kusoma sentensi zinazojumuisha matumizi ya nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi.
Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwa kutumia maneno na viambishi vinavyowakilisha nafsi ya kwanza na wakati uliopo kama vile; mimi nina ; sisi tuna.

9 4

10 1
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha mazungumzo
Mwanafunzi atambue sauti /t/, /l/, /n/ na /o/ katika maneno.
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
10 2
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno
Mwanafunzi asikilize mwalimu anapotamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili au kama darasa
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
10 3

10 4
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua majina ya herufi
zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia
kadi za herufi
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
11 1
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma
Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi na kuchanganua yaliyo marefu zaidi. Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili
Unajua kusoma herufi na
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
11 2

11 3
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kujenga stadi ya kusoma
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili.
Mwanafunzi asikilize na kusoma hadithi kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta n.k.
Unajua kusoma herufi na
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
11 3-4

12

Wiki 9

Your Name Comes Here

Download

Feedback