Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA KWANZA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
SIKU ZA WIKI

4.1 Kusikiliza na Kuzungumza
4.1.1 Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kadi maneno - Kutamka sauti lengwa ipasavyo ili kuimarisha mazungumzo - Kutamka silabi za sauti lengwa ipasavyo - Kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kuchangamkia nafasi ya matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kusikiliza mwalimu au mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa - kutamka sauti pamoja na mwalimu - kutamka sauti lengwa akishirikiana na wenzake - kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali k.v. kinasasauti na rununu kisha kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
Ni sauti zipi unazojua kutamka vizuri?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 36 - Sauti n, o, w, e, i, h - Silabi za sauti lengwa - Vifaa vya kidijitali - Kinasasauti - Rununu
Uchunguzi Matamshi ya pamoja Tathmini ya wenzao
1 2
4.1 Kusikiliza na Kuzungumza
4.2 Kusoma
4.1.1 Matamshi Bora
4.2.1 Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kadi maneno - Kutamka sauti lengwa ipasavyo ili kuimarisha mazungumzo - Kutamka silabi za sauti lengwa ipasavyo - Kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kuchangamkia nafasi ya matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kusikiliza maneno yenye sauti lengwa yakisomwa na mwalimu kisha kutamka maneno hayo - kumtamkia mzazi au mlezi sauti alizojifunza
Ni sauti zipi unazojua kutamka vizuri?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 37 - Maneno yenye sauti lengwa - Mazingira ya nyumbani - Mazungumzo na wazazi/walezi
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 38 - Kifungu cha "Siku za wiki" - Silabi za sauti lengwa
Uchunguzi Mazungumzo na wazazi/walezi Majaribio ya matamshi
1 3
4.2 Kusoma
4.2.1 Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti - Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti akishirikiana na wenzake - kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 15 kwa dakika na kwa kuizingatia viakifishi) akishirikiana na wenzake
Je, unaweza kusoma silabi zipi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 39 - Viakifishi - Saa ya kushika - Kasi ya kusoma
Uchunguzi Kusoma kwa kasi ifaayo Kuzingatia ishara
1 4
4.2 Kusoma
4.2.1 Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti - Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma hadithi kutoka kwenye kita au kifaa cha kidijtali akishirikiana na wenzake, akizingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti - amsomee mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti
Je, unaweza kusoma silabi zipi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 39 - Vitabu mbalimbali - Kifaa cha kidijitali - Mazingira ya nyumbani
Uchunguzi Usomaji wa vikundi Maonyesho kwa wazazi/walezi
2 1
4.3 Kuandika
4.3.1 Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua nafasi baina ya herufi katika maneno - Kuandika maneno kwa kuunganisha silabi - Kufurahia kuandika maneno kwa kuzingatia nafasi ifaayo baina ya herufi
Mwanafunzi aelekezwe: - kuonyesha nafasi baina ya herufi zinazounda maneno kwenye kitabu, chati au chombo cha kidijitali - kushirikiana na wenzake katika vikundi kutambua nafasi baina ya herufi katika maneno
Je, kwa nini tunafaa kuandika kwa hati nadhifu?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 40 - Kitabu - Chati - Chombo cha kidijitali - Maneno yenye nafasi baina ya herufi
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 40 - Daftari - Mifano ya maneno ya kuunganisha - Kifaa cha kidijitali (ikiwa kinapatikana)
Uchunguzi Kutambua nafasi baina ya herufi Kazi za vikundi
2 2
4.3 Kuandika
4.3.1 Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua nafasi baina ya herufi katika maneno - Kuandika maneno kwa kuunganisha silabi - Kufurahia kuandika maneno kwa kuzingatia nafasi ifaayo baina ya herufi
Mwanafunzi aelekezwe: - (Hakuna shughuli hususa iliyotajwa katika kipindi cha 3 - kufuata utaratibu wa kawaida wa kufanyia tathmini na kutathmini matendo)
Je, kwa nini tunafaa kuandika kwa hati nadhifu?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 40 - Kazi za tathmini - Daftari za majaribio - Utunzaji wa hati nadhifu
Uchunguzi Majaribio ya kuandika Kutathmini kwa kurekebesha
2 3
4.4 Sarufi
4.4.1 Umoja na Wingi wa Majina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua majina ya vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi - Kutumia majina ya vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi - Kuchangamkia kuzungumzia vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua majina ya vitu katika mazingira yake ya darasani kwa kutazama vitu halisi, picha au vifaa vya kidijitali - kuimba wimbo unaotaja vitu katika mazingira yake
Je, ni vitu gani vya darasani unavyoweza kutaja katika umoja na wingi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 42 - Vitu halisi vya darasani - Picha za vitu - Vifaa vya kidijitali - Nyimbo kuhusu umoja na wingi
Uchunguzi Kutambua majina Kuimba
2 4
4.4 Sarufi
4.4.1 Umoja na Wingi wa Majina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua majina ya vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi - Kutumia majina ya vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi - Kuchangamkia kuzungumzia vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma majina ya vitu vinavyopatikana katika mazingira yake katika umoja na wingi - kujaza nafasi kwa kutumia majina ya vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi
Je, ni vitu gani vya darasani unavyoweza kutaja katika umoja na wingi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 43 - Sentensi za umoja na wingi - Majaribio ya kujaza mapengo - Vitabu mbalimbali
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 44 - Mazingira ya nyumbani - Mazungumzo na wazazi/walezi - Vitu vya nyumbani
Uchunguzi Kusoma Kujaza mapengo
3 1
MIMI NA WENZANGU

5.1 Kusikiliza na Kuzungumza
5.1.1 Kifungu cha Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika kifungu - Kutunga sentensi sahihi akitumia msamiati uliotumiwa - Kusikiliza kifungu anachosomewa cha maneno kati ya 15-20 na kupata ujumbe - Kujibu maswali kuhusu hadithi aliyosikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu ili kujenga ari ya kusoma
Mwanafunzi aelekezwe: - kushirikiana na wengine kujadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi - kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi
Unatarajiwa kufanya nini unaposomewa hadithi? Unawezaje kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi unachosomewa?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 46 - Picha za hadithi "Mimi na wenzangu" - Mazingira ya majadiliano
Uchunguzi Majadiliano Kutabiri matukio
3 2
5.1 Kusikiliza na Kuzungumza
5.1.1 Kifungu cha Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika kifungu - Kutunga sentensi sahihi akitumia msamiati uliotumiwa - Kusikiliza kifungu anachosomewa cha maneno kati ya 15-20 na kupata ujumbe - Kujibu maswali kuhusu hadithi aliyosikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu ili kujenga ari ya kusoma
Mwanafunzi aelekezwe: - kuthibitisha utabiri wake baada ya kusikiliza hadithi - kutunga sentensi akitumia msamiati uliotumika kwenye hadithi - kusikiliza kifungu cha maneno kati ya 15-20 kikisomwa na mwalimu au kupitia vifaa vya kiteknolojia
Unatarajiwa kufanya nini unaposomewa hadithi? Unawezaje kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi unachosomewa?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 47 - Kifungu cha maneno 15-20 - Vifaa vya kidijitali - Msamiati wa suala lengwa
Uchunguzi Kuthibitisha utabiri Kutunga sentensi
3 3
5.1 Kusikiliza na Kuzungumza
5.2 Kusoma
5.1.1 Kifungu cha Hadithi
5.2.1 Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika kifungu - Kutunga sentensi sahihi akitumia msamiati uliotumiwa - Kusikiliza kifungu anachosomewa cha maneno kati ya 15-20 na kupata ujumbe - Kujibu maswali kuhusu hadithi aliyosikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu ili kujenga ari ya kusoma
Mwanafunzi aelekezwe: - kujibu maswali kutokana na kifungu - kujadiliane kuhusu hadithi waliyosomewa katika kikundi
Unatarajiwa kufanya nini unaposomewa hadithi? Unawezaje kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi unachosomewa?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 47 - Maswali ya hadithi - Mazingira ya kikundi - Majadiliano ya darasa
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 48 - Kadi maneno - Chati - Mti maneno - Kapu maneno - Msamiati "mimi" na "wenzangu"
Uchunguzi Kujibu maswali Majadiliano
3 4
5.2 Kusoma
5.2.1 Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma kifungu chepesi cha maneno 13-16 kuhusu suala lengwa na kutambua msamiati wa suala lengwa akishirikiana na wenzake - kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake
Ni mambo gani unayoweza kujifunza katika hadithi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 48 - Hadithi "Tumaini" - Kifungu cha maneno 13-16 - Mazingira ya kikundi
Uchunguzi Kusoma kwa ufahamu Kueleza ujumbe
4 1
5.2 Kusoma
5.2.1 Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi aelekezwe: - kumweleza mzazi au mlezi kuhusu ujumbe aliopata kutokana na kifungu alichosoma
Ni mambo gani unayoweza kujifunza katika hadithi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 50 - Mazingira ya nyumbani - Mazungumzo na wazazi/walezi - Ujumbe uliojifunzwa
Uchunguzi Mazungumzo na wazazi/walezi Maeleza ya ujumbe
4 2
5.3 Kuandika
5.3.1 Matumizi ya Kikomo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua alama ya kikomo katika maandishi - Kuandika alama ya kikomo ifaavyo katika daftari - Kutumia ipasavyo alama ya kikomo katika sentensi - Kufurahia kutumia alama ya kikomo ipasavyo katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua alama ya kikomo (.) katika sentensi kitabuni, kwenye chati au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake
Alama gani zinazotumika katika kuandika sentensi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 51 - Alama ya kikomo (.) - Vitabu - Chati - Kifaa cha kidijitali
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 51 - Daftari - Kifaa cha kidijitali - Sentensi za mfano
Uchunguzi Kutambua alama Kuandika alama
4 3
5.3 Kuandika
5.3.1 Matumizi ya Kikomo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua alama ya kikomo katika maandishi - Kuandika alama ya kikomo ifaavyo katika daftari - Kutumia ipasavyo alama ya kikomo katika sentensi - Kufurahia kutumia alama ya kikomo ipasavyo katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe: - kumwonyesha mzazi au mlezi alama ya kikomo na kuitumia ipasavyo katika sentensi
Alama gani zinazotumika katika kuandika sentensi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 51 - Mazingira ya nyumbani - Sentensi zilizoandikwa - Maonyesho kwa wazazi/walezi
Uchunguzi Maonyesho kwa wazazi/walezi Majaribio ya kuitumia
4 4
5.4 Sarufi
5.4.1 Matumizi ya -angu na -etu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matumizi ya -angu na -etu katika miktadha mbalimbali - Kutumia -angu na -etu katika mazungumzo kwa ufasaha ili kuimarisha mawasiliano - Kufurahia kutumia -angu na -etu katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua matumizi ya -angu na -etu kwa kurejelea vitu katika mazingira yake - kuigiza matumizi ya -angu na -etu akiwa na wenzake katika kikundi kwa kutumia vitu anavyomiliki k.v. kitabu changu – vitabu vyetu; rafiki yangu - marafiki zetu
Je, ni maneno gani unayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 52 - Vitu mbalimbali vya darasa - Kadi za maneno - Maigizo ya kikundi - Msamiati wa -angu na -etu
Uchunguzi Kutambua matumizi Maigizo
5 1
5.4 Sarufi
6.1 Kusikiliza na Kuzungumza
5.4.1 Matumizi ya -angu na -etu
6.1.1 Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matumizi ya -angu na -etu katika miktadha mbalimbali - Kutumia -angu na -etu katika mazungumzo kwa ufasaha ili kuimarisha mawasiliano - Kufurahia kutumia -angu na -etu katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma sentensi zinazotumia maneno - angu na –etu - kukamilisha sentensi zenye matumizi ya -angu na –etu
Je, ni maneno gani unayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 53 - Sentensi ze mfano - Majaribio ya kukamilisha sentensi - Daftari
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 55 - Kadi maneno - Sauti lengwa s, b, y, z, g, d - Vifaa vya kidijitali
Uchunguzi Kusoma sentensi Kukamilisha sentensi
5 2
MWILI WANGU

6.1 Kusikiliza na Kuzungumza
6.1.1 Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kadi maneno - Kutamka sauti lengwa ipasavyo ili kuimarisha mazungumzo - Kutamkasilabi za sautilengwa ipasavyo - Kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kuchangamkia nafasi ya matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kutamka sauti lengwa akiwa na mwalimu kisha akishirikiana na wenzake - kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali k.v. kinasasauti na rununu
Ni sauti zipi unazojua kutamka?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 56 - Vifaa vya kidijitali - Kinasasauti - Rununu - Silabi za sauti lengwa
Uchunguzi Matamshi ya pamoja Tathmini ya wenzao
5 3
6.1 Kusikiliza na Kuzungumza
6.1.1 Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kadi maneno - Kutamka sauti lengwa ipasavyo ili kuimarisha mazungumzo - Kutamkasilabi za sautilengwa ipasavyo - Kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kuchangamkia nafasi ya matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kutamka silabi alizozisikiliza ipasavyo akishirikiana na wenzake - kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
Ni sauti zipi unazojua kutamka?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 57 - Maneno yenye silabi za sauti lengwa - Sehemu za mwili k.v. mikono, kichwa, masikio, miguu
Uchunguzi Majaribio ya matamshi Utamkaji kwa wenzao
5 4
6.2 Kusoma
6.2.1 Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti - Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua sauti lengwa (/s/, /b/, /y/, /z/, /g/, /d/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake - kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akishirikiana na wenzake
Je, ni kwa nini unafaa kutamka maneno vizuri unaposoma?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 59 - Kifungu cha "Safari ya mwili" - Maneno yenye sauti lengwa
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 59 - Viakifishi - Saa ya kushika - Sauti inayosikika
Uchunguzi Kusoma kwa sauti Kutathminia matamshi
6 1
6.2 Kusoma
6.2.1 Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti - Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijtali, nk akishirikiana na wenzake, kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kwa sauti inayosikika - amsomee mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti
Je, ni kwa nini unafaa kutamka maneno vizuri unaposoma?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 60 - Vitabu mbalimbali - Kifaa cha kidijitali - Mazingira ya nyumbani
Uchunguzi Usomaji wa vikundi Maonyesho kwa wazazi/walezi
6 2
6.3 Kuandika
6.3.1 Tahajia (Imla)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maneno yasiyozidi silabi tatu kutokana na suala lengwa - Kuandika kwa usahihi maneno yasiyozidi silabi tatu kwa kuunganisha silabi kuunda neno - Kufurahia kuandika maneno kwa usahihi
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua maneno yasiyozidi silabi tatu kutokana na suala lengwa kwa kusomewa na mwalimu au katika kifaa cha kidijitali
Je, ni maneno gani ya silabi tatu unayajua?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 61 - Maneno ya silabi tatu k.v. kidole, mkono, mguu, sikio, kifua, mdomo, mabega - Vifaa vya kidijitali
Uchunguzi Kutambua maneno Imla ya mazungumzo
6 3
6.3 Kuandika
6.3.1 Tahajia (Imla)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maneno yasiyozidi silabi tatu kutokana na suala lengwa - Kuandika kwa usahihi maneno yasiyozidi silabi tatu kwa kuunganisha silabi kuunda neno - Kufurahia kuandika maneno kwa usahihi
Mwanafunzi aelekezwe: - kusikiliza maneno yasiyozidi silabi tatu ya kiwango chake yakisomwa na mwalimu au kutoka kwa kifaa cha kidigitali (k.v radio) na kuyaandika - kushirikiana na wenzake kuandika maneno yasiyozidi silabi tatu ya kiwango chake, kwa kuunganisha silabi kuunda neno
Je, ni maneno gani ya silabi tatu unayajua?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 61 - Maneno ya sehemu za mwili - Kifaa cha kidijitali - Majaribio ya kusikiliza na kuandika
Uchunguzi Imla Majaribio ya kuandika
6 4
6.3 Kuandika
6.4 Sarufi
6.3.1 Tahajia (Imla)
6.4.1 Matumizi ya -zuri na –baya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maneno yasiyozidi silabi tatu kutokana na suala lengwa - Kuandika kwa usahihi maneno yasiyozidi silabi tatu kwa kuunganisha silabi kuunda neno - Kufurahia kuandika maneno kwa usahihi
Mwanafunzi aelekezwe: - kuyakosoa maneno aliyoyaendeleza visivyofaa
Je, ni maneno gani ya silabi tatu unayajua?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 61 - Majaribio ya kurekebi - Daftari la majaribio - Mazingira ya darasa
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 62 - Picha za gari zuri na gari baya - Sentensi za -zuri na -baya - Vitu vya darasa
Uchunguzi Kurekebi Uchunguzi wa kazi
7 1
6.4 Sarufi
6.4.1 Matumizi ya -zuri na –baya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matumizi ya –zuri na – baya katika kifungu - Kutumia –zuri na – baya katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kufurahia kutumia –zuri na –baya katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe: - kusikiliza matumizi ya –zuri na –baya kwa kutumia kifaa cha kidijitali - kusoma sentensi zinazotumia maneno - zuri na –baya - kukamilisha sentensi zenye matumizi ya -zuri na –baya
Je, ni maneno gani unayotumia kuelezea vitu vinavyokupendeza au visivyokupendeza?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 63 - Vifaa vya kidijitali - Sentensi ze mfano - Majaribio ya kukamilisha sentensi
Uchunguzi Kusoma sentensi Kukamilisha sentensi
7 2
6.4 Sarufi
6.4.1 Matumizi ya -zuri na –baya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matumizi ya –zuri na – baya katika kifungu - Kutumia –zuri na – baya katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kufurahia kutumia –zuri na –baya katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe: - kujaza mapengo kwa kutumia -zuri na –baya - kumtajia mzazi au mlezi vitu nyumbani kutumia –zuri na – baya
Je, ni maneno gani unayotumia kuelezea vitu vinavyokupendeza au visivyokupendeza?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 64 - Majaribio ya kujaza mapengo - Mazingira ya nyumbani - Mazungumzo na wazazi/walezi
Uchunguzi Kujaza mapengo Mazungumzo na wazazi/walezi
7 3
USAFI WA MWILI

7.1 Kusikiliza na Kuzungumza
7.1 Kusikiliza na Kuzungumza
7.1.1 Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maagizo mepesi yanayotolewa darasani - Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani - Kubainisha maagizo yanayopaswa kufuatwa katika mazingira yake - Kuthamini umuhimu wa maagizo katika maisha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua maagizo kwa kutazama video ya maagizo - kutoa na kufuata maagizo (kama vile simama, keti, andika na chora) akiwa na wenzake katika kikundi
Ni maagizo yapi yanayotaki wa kufuatwa na yasiyotaki wa kufuatwa katika mazingira tofauti?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 65 - Video za maagizo - Picha za maagizo mbalimbali - Maigizo ya mazungumzo
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 65 - Mazungumzo ya kikundi - Maelezo ya matokeo - Mazingira ya darasa
Uchunguzi Kutambua maagizo Maigizo
7 4
7.1 Kusikiliza na Kuzungumza
7.1.1 Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maagizo mepesi yanayotolewa darasani - Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani - Kubainisha maagizo yanayopaswa kufuatwa katika mazingira yake - Kuthamini umuhimu wa maagizo katika maisha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe: - kuimba na kuigiza nyimbo zinazohusu maagizo
Ni maagizo yapi yanayotaki wa kufuatwa na yasiyotaki wa kufuatwa katika mazingira tofauti?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 66 - Nyimbo kuhusu maagizo - Maigizo ya nyimbo - Vifaa vya muziki
Uchunguzi Kuimba Maigizo
8 1
7.2 Kusoma
7.2.1 Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi aelekezwe: - kusikiliza au atazame nyimbo kuhusu usafi wa mwili kwenye kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake - kuimba wimbo kuhusu usafi wa mwili akiwa na wenzake
Je, unapenda kusoma kuhusu nini?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 67 - Nyimbo kuhusu usafi wa mwili - Vifaa vya kidijitali - Mazingira ya darasa
Uchunguzi Kusikiliza nyimbo Kuimba
8 2
7.2 Kusoma
7.2.1 Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi aelekezwe: - kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu akishirikiana na wenzake - kusoma kifungu chepesi cha maneno 17- 22 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v oga, nawa osha, maji, sabuni) akishirikiana na wenzake - kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano akishirikiana na wenzake
Je, unapenda kusoma kuhusu nini?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 67 - Hadithi "Chichi" - Picha za hadithi - Kifungu cha maneno 17-22 - Msamiati wa usafi
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 69 - Mazingira ya darasa - Majaribio ya kuthibitisha ufahamu - Mazungumzo ya ujumbe
Uchunguzi Kutabiri Kusoma kwa ufahamu
8 3
7.3 Kuandika
7.3.1 Kuandika maneno ipasavyo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maneno yanayotokana na suala lengwa - Kuandika maneno yanayohusu suala lengwa kwa kuunganisha silabi ili kuunda neno - Kufurahia uandishi wa maneno katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua maneno mepesi yanayotokana na suala lengwa (kama vile: oga, nawa, osha, maji, sabuni)
Ni maneno gani unayoweza kuandika kwa kuunganisha silabi? Kwa nini ni muhimu kujifunza kuandika?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 70 - Maneno ya usafi wa mwili - Mti maneno - Mazingira ya darasa
Uchunguzi Kutambua maneno Kuandika maneno
8 4
7.3 Kuandika
7.3.1 Kuandika maneno ipasavyo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maneno yanayotokana na suala lengwa - Kuandika maneno yanayohusu suala lengwa kwa kuunganisha silabi ili kuunda neno - Kufurahia uandishi wa maneno katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kuandika maneno yanayotokana na suala lengwa daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali kwa kuunganisha silabi kuunda neno akishirikiana na wenzake
Ni maneno gani unayoweza kuandika kwa kuunganisha silabi? Kwa nini ni muhimu kujifunza kuandika?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 71 - Daftari - Kifaa cha kidijitali - Silabi za kuunganisha
Uchunguzi Majaribio ya kuandika Kuunganisha silabi
9 1
7.3 Kuandika
7.4 Sarufi
7.3.1 Kuandika maneno ipasavyo
7.4.1 Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maneno yanayotokana na suala lengwa - Kuandika maneno yanayohusu suala lengwa kwa kuunganisha silabi ili kuunda neno - Kufurahia uandishi wa maneno katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kushirikiana na wenzake kujadili na kurekebisha makosa katika maandishi yake
Ni maneno gani unayoweza kuandika kwa kuunganisha silabi? Kwa nini ni muhimu kujifunza kuandika?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 71 - Mazingira ya darasa - Kazi za kurekebi - Mazungumzo ya kikundi
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 73 - Picha za "Mimi ninasoma" na "Mimi sisomi" - Vitendo vya majaribio - Mazingira ya darasa
Uchunguzi Kurekebi Mazungumzo ya kikundi
9 2
7.4 Sarufi
7.4.1 Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika vifungu - Kutumia ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika kifungu kwa usahihi - Kuchangamkia matumizi ya ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kushirikiana na wenzake katika kikundi kukanusha sentensi katika nafsi ya kwanza umoja - kukamilisha sentensi zinazoashiria ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja kwa kuelekezwa na mwalimu
Unafanya nini sasa? Kama haukufanya mambo uliyotaja ungesemaje?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 74 - Sentensi za mimi/sisi - Majaribio ya kukanusha - Kazi za kikundi
Uchunguzi Kukanusha sentensi Kukamilisha sentensi
9 3
7.4 Sarufi
7.4.1 Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika vifungu - Kutumia ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika kifungu kwa usahihi - Kuchangamkia matumizi ya ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kusikiliza sentensi kwa kutumia kifaa cha kidigitali zilizokanushwa akielekezwa na mwalimu
Unafanya nini sasa? Kama haukufanya mambo uliyotaja ungesemaje?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 75 - Vifaa vya kidijitali - Sentensi zilizokanushwa - Mazingira ya darasa
Uchunguzi Kusikiliza sentensi Majaribio ya ukanusho
9 4
VYAKULA VYETU

8.1 Kusikiliza na Kuzungumza
8.1 Kusikiliza na Kuzungumza
8.1.1 Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kadi maneno - Kutamka sauti lengwa ipasavyo ili kuimarisha mazungumzo - Kutamka silabi za sauti lengwa ipasavyo - Kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kuchangamkia nafasi ya matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kushiriki katika kutambua sauti lengwa (/j/, /r/, /p/, /f/, /v/, /sh/) katika kadi maneno - kusikiliza mwalimu au mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa
Kwa nini muhimu kutamka maneno ipasavyo?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 77 - Kadi maneno - Sauti lengwa j, r, p, f, v, sh - Vifaa vya kidijitali
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 78 - Vifaa vya kidijitali (papaya) - Silabi za sauti lengwa
Uchunguzi Majaribio ya matamshi Kutambua sauti
10 1
8.1 Kusikiliza na Kuzungumza
8.1.1 Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kadi maneno - Kutamka sauti lengwa ipasavyo ili kuimarisha mazungumzo - Kutamka silabi za sauti lengwa ipasavyo - Kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kuchangamkia nafasi ya matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali k.v. kinasasauti na rununu - kutamka silabi alizozisikiliza ipasavyo ashirikiana na wenzake - kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake - kumwomba mzazi au mlezi kutumia kifaa cha kidijitali kama vile simu ili kusikiliza matamshi ya sauti lengwa
Kwa nini muhimu kutamka maneno ipasavyo?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 79 - Kinasasauti - Rununu - Maneno yenye silabi za sauti lengwa - Mazingira ya nyumbani
Uchunguzi Majaribio ya matamshi Mazungumzo na wazazi/walezi
10 2
8.2 Kusoma
8.2.1 Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua sauti lengwa (/j/, /r/, /p/, /f/, /v/, /sh/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake - kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akishirikiana na wenzake
Matamshi bora na sauti inayosikika yana umuhimu gani katika kusoma?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 81 - Kifungu cha "Chakula cha nyanya" - Maneno yenye sauti lengwa
Uchunguzi Kusoma kwa sauti Kutathminia matamshi
10 3
8.2 Kusoma
8.2.1 Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti akishirikiana na wenzake - kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 25 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) akishirikiana na wenzake
Matamshi bora na sauti inayosikika yana umuhimu gani katika kusoma?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 81 - Viakifishi - Saa ya kushika - Sauti inayosikika
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 82 - Vitabu mbalimbali - Kifaa cha kidijitali - Mazingira ya nyumbani
Uchunguzi Kusoma kwa kasi ifaayo Kuzingatia ishara
10 4
8.3 Kuandika
8.3.1 Tahajia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua tahajia sahihi katika sentensi - Kuandika sentensi tatu kuhusu suala lengwa akizingatia tahajia sahihi - Kuchangamkia matumizi ya tahajia sahihi katika uandishi wa sentensi
Mwanafunzi aelekezwe: - kutambua sentensi zinazohusu suala lengwa zenye tahajia sahihi kwa kutumia nyenzo kama vile: kadi za majina, mti maneno, kapu maneno, chati, kifungu au kifaa cha kidigitali
Kwa nini ni muhimu kuyaandika maneno na sentensi kwa usahihi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 83 - Kadi za majina - Mti maneno - Kapu maneno - Chati - Kifaa cha kidijitali
Uchunguzi Kutambua tahajia sahihi Kuandika sentensi
11 1
8.3 Kuandika
8.3.1 Tahajia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua tahajia sahihi katika sentensi - Kuandika sentensi tatu kuhusu suala lengwa akizingatia tahajia sahihi - Kuchangamkia matumizi ya tahajia sahihi katika uandishi wa sentensi
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma sentensi zenye tahajia sahihi kuhusu suala lengwa - kunakili sentensi zenye tahajia sahihi kuhusu suala lengwa kwenye daftari - kutunga sentensi tatu sahihi kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake
Kwa nini ni muhimu kuyaandika maneno na sentensi kwa usahihi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 84 - Sentensi ze mfano - Daftari - Majaribio ya kutunga sentensi
Uchunguzi Kunakili sentensi Kutunga sentensi
11 2
8.3 Kuandika
8.4 Sarufi
8.3.1 Tahajia
8.4.1 Matumizi ya hiki na hivi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua tahajia sahihi katika sentensi - Kuandika sentensi tatu kuhusu suala lengwa akizingatia tahajia sahihi - Kuchangamkia matumizi ya tahajia sahihi katika uandishi wa sentensi
Mwanafunzi aelekezwe: - kuandika sentensi alizotunga kwa kuzingatia tahajia sahihi - kusoma sentensi alizoandika pamoja na wenzake katika kikundi kisha wenzake wazitolee maoni - kusahihisha sentensi alizoandika kwa kuzingatia tahajia - kumwonyesha mzazi au mlezi sentensi sahihi alizoandika ili apate maoni yake
Kwa nini ni muhimu kuyaandika maneno na sentensi kwa usahihi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 84 - Daftari - Mazingira ya kikundi - Maoni ya wenzao - Mazingira ya nyumbani
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 85 - Picha za viti/kiti, vitabu/kitabu, vikoi/kikoi, vitunguu/kitunguu, viota/kiota - Nyenzo halisi - Kadi za majina - Kapu maneno - Chati - Kifaa cha kidijitali
Uchunguzi Kuandika sentensi Tathmini ya wenzao
11 3
8.4 Sarufi
8.4.1 Matumizi ya hiki na hivi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maneno hiki na hivi katika vifungu - Kusoma vifungu vinavyojumuisha maneno hiki na hivi ili kuonyeshea ifaavyo - Kutumia maneno hiki na hivi kuonyeshea vitu katika mazingira yake - Kuchangamkia matumizi ya hiki na hivi katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe: - kusoma vifungu vinavyojumuisha hiki na hivi kisha abainishe matumizi ya hiki na hivi - kuonyesha vitu mbalimbali kama vile vyakula na kuvitungia sentensi katika kikundi k.v. chakula hiki – vyakula hivi
Unajua majina yapi ya vitu vinavyoweza kuashiriwa kwa kutumia maneno hiki na hivi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 87 - Vifungu vya sentensi - Vyakula vinavyopatikana darasani - Majaribio ya kuonyesha vitu
Uchunguzi Kusoma vifungu Kutunga sentensi
11 4
8.4 Sarufi
8.4.1 Matumizi ya hiki na hivi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maneno hiki na hivi katika vifungu - Kusoma vifungu vinavyojumuisha maneno hiki na hivi ili kuonyeshea ifaavyo - Kutumia maneno hiki na hivi kuonyeshea vitu katika mazingira yake - Kuchangamkia matumizi ya hiki na hivi katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe: - kumtungia mwenzake sentensi katika kikundi kwa kutumia hiki na hivi - kutoa maoni kuhusu sentensi zilizotungwa na wenzake - kukamilisha vifungu vyenye mapengo kwa kutumia hiki na hivi wakiwa wawiliwawili k.v. chakula (hiki, hii), vyakula (hivi, hizi)
Unajua majina yapi ya vitu vinavyoweza kuashiriwa kwa kutumia maneno hiki na hivi?
KLB VISIONARY mazoezi ya kiswahili pg. 88 - Kazi za kikundi - Maoni ya wenzao - Majaribio ya kujaza mapengo
Uchunguzi Kutungia sentensi Kujaza mapengo
12

Wiki 9

Your Name Comes Here

Download

Feedback