If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
USAFIRI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti ch na dh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno -Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha -Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa -Kufurahia matamshi bo katika mawasiliano |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kutambua silabi za sauti /ch/ na /dh/ katika maneno -Kusikiliza matamshi bora ya silabi za sauti lengwa -Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa ifaavyo -Kutambua sauti hizo katika maneno yayo |
Je, ni maneno gani unayojua yenye sauti /ch/ na /dh/?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 57
-Kadi za sauti -Vifaa vya kidijitali -Chati za maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 58 -Vifaa vya kujirekodi -Mti maneno -Kadi za silabi |
Utathmini wa matamshi
-Kutambua sauti
-Mashairi na nyimbo
|
|
| 2 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika |
Matamshi Bora: Sauti ch na dh
Kusoma kwa ufasaha Kusoma kwa ufasaha Kusoma kwa ufasaha Nafasi katika maandishi Nafasi katika maandishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno -Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha -Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa -Kufurahia matamshi bo katika mawasiliano |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kutamka silabi dha, dhe, dhi, dho, dhu -Kutamka maneno yenye sauti /dh/ -Kusoma kifungu chenye sauti /ch/ na /dh/ -Kukariri mashairi na nyimbo |
Kwa nini ni vizuri kutamka sauti za Kiswahili sawasawa?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 59
-Vifaa vya kidijitali -Chati za mashairi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 60 -Kivimo cha kasi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 62 -Mazungumzo na wazazi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 63 -Kadi za maneno -Mifano ya mwandiko Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 65 -Daftari za wanafunzi -Sentensi za kurekebisha |
Usomai wa kifungu
-Utamko wa sauti
-Kujitathimini matamshi
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
Sarufi Sarufi |
Nafasi katika maandishi
Umoja na wingi wa vifungu vya maneno Umoja na wingi wa vifungu vya maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi -Kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno -Kufurahia kuandika akizingatia nafasi kati ya maneno |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kuandika sentensi za imla -Kutunga sentensi kuhusu usafiri -Kuandika sentensi akizingatia nafasi ifaayo -Kuwaonyesha wenzake kazi zao |
Umetumia nafasi bora kati ya maneno?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 66
-Daftari za wanafunzi -Sentensi za imla -Kadi za vifungu -Chati za umoja na wingi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 68 -Picha za usafiri |
Sentensi za imla
-Utunga wa sentensi
-Uhakiki wa wenzake
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Umoja na wingi wa vifungu vya maneno
Hadithi Hadithi Hadithi Kusoma kwa ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi -Kusoma vifungu vya maneno katika umoja na wingi -Kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno -Kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kulinganisha vifungu vya umoja na wingi -Kucheza mchezo wa kuambatanisha -Kuambatanisha kadi za umoja na wingi -Kujaza jedwali la umoja na wingi |
Umefanya maandalizi ya kutumia umoja na wingi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 70
-Kadi za kucheza -Jedwali za umoja na wingi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 73 -Picha za wanyama -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 74 -Hadithi za kusikiliza -Maswali ya ufahamu Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 75 -Mazungumzo na wazazi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 76 |
Mchezo wa kuambatanisha
-Kujaza jedwali
-Ujitathimini
|
|
| 5 | 1 |
MNYAMA NIMPENDAYE
Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa ufahamu
Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa -Kutabiri yatakayotokea katika kifungu -Kueleza ujumbe wa kifungu -Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu -Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kusoma hadithi ya Jasiri na ng'ombe -Kutambua sifa za wahusika -Kujadili matendo ya wahusika -Kuchunguza mafunzo kutoka hadithi |
Ni mafunzo gani tunayopata kutoka hadithi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 78
-Wimbo kuhusu wanyama -Maswali ya kina Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 79 -Nyimbo za wanyama -Mazungumzo na wazazi -Kadi za alama za uakifishaji -Chati za sentensi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 80 -Daftari za wanafunzi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 81 -Picha za wanyama |
Usomai wa kifungu
-Maswali ya kina
-Mazungumzo ya vikundi
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ako na -enu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua matumizi yafaayo ya -ako na -enu -Kutumia -ako na -enu ipasavyo katika sentensi -Kuthamini matumizi ya -ako na -enu |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kutambua matumizi ya -ako katika sentensi -Kusiciliza sentensi zenye -ako -Kusoma sentensi zinazotumia -ako -Kutaja vitu kwa kutumia -ako |
Je, -ako na -enu hutumiwa wakati gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 82
-Kadi za maneno -Chati za matumizi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 85 -Kadi za majina -Mazungumzo na wazazi |
Kutambua matumizi
-Kusoma sentensi
-Maigizo ya kutumia
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma |
Matumizi ya -ako na -enu
Matamshi Bora: Sauti ny na ng Matamshi Bora: Sauti ny na ng Matamshi Bora: Sauti ny na ng Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua matumizi yafaayo ya -ako na -enu -Kutumia -ako na -enu ipasavyo katika sentensi -Kuthamini matumizi ya -ako na -enu |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kubadilisha -ako kuwa -enu -Kujaza nafasi kwa kutumia -ako na -enu -Kutunga sentensi zenye -ako na -enu -Kuwalinganisha umoja na wingi |
Je, unatumia -ako na -enu kwa usahihi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 87
-Zoezi la kujaza nafasi -Jedwali za kulinganisha Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 89 -Kadi za maneno -Vifaa vya kidijitali -Chati za sauti Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 90 -Kadi za silabi -Zoezi la kuunganisha Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 91 -Vifaa vya kujirekodi -Mazungumzo na wazazi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 94 -Kifungu cha ufahamu -Kivimo cha kasi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 95 -Vifaa vya ishara |
Zoezi la kujaza
-Ulinganishi wa wingi
-Ujitathimini
|
|
| 8 | 1 |
UKOO
Kusoma Kuandika Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Tahajia: Imla Tahajia: Imla Tahajia: Imla |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi -Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa matamshi bora -Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika -Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia kasi ifaayo -Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia ishara zifaazo |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kumsomea mzazi au mlezi hadithi -Kutumia vipengele vyote vya ufasaha -Kusoma kwa sauti inayosikika -Kutumia ishara za uso na mikono |
Utajua kama unasoma kwa ufasaha?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 96
-Mazungumzo na wazazi -Kivimo cha matamshi -Kadi za silabi -Zoezi la imla Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 97 -Daftari za imla -Sentensi za mifano Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 98 -Mchezo wa imla -Sentensi za imla |
Usomaji kwa wazazi
-Matumizi ya ishara
-Uhakiki wa ufasaha
|
|
| 9 |
Midterm |
||||||||
| 10 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya (-refu, -kubwa, -tamu)
Maagizo ya Hatua Mbili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutambua matumizi ya -refu, -kubwa, -tamu -Kutumia -refu, -kubwa, -tamu katika sentensi -Kufurahia kutumia maneno ya kuelezea sifa |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kutambua matumizi ya -refu -Kusoma sentensi zenye -refu -Kutaja vitu kwa kutumia -refu -Kuonyesha umoja na wingi wa -refu |
Je, ni maneno gani kama unatumia kuelezea sifa?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 99
-Picha za vitu -Sentensi za mifano Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 101 -Kadi za comparison Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi pg. 103 -Picha za chakula -Mazungumzo na wazazi Oxford Kiswahili dadisi uk. 106 -Vifaa vya kidijitali -Vipindi vya video -Maelezo ya darasa -Mwongozo wa Mwalimu |
Kutambua matumizi
-Kusoma sentensi
-Kuonyesha umoja na wingi
|
|
| 11 | 1 |
SEBULENI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Kusoma |
Maagizo ya Hatua Mbili
Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kufuata maagizo mepesi ya hatua mbili kwa usahihi. -Kutoa maagizo mepesi ya hatua mbili kwa wenzake. -Kuchangamkia maagizo katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kukagua picha na kutoa maagizo ya hatua mbili kulingana na picha. -Kuigiza maagizo ya hatua mbili (k.m nenda uzime runinga). -Kushiriki mchezo wa kutoa na kufuata maagizo ya hatua mbili. |
Ni mambo gani muhimu kunafikiri kutoa maagizo?
|
Oxford Kiswahili dadisi uk. 106
-Picha -Vifaa vya mchezo -Maelezo ya darasa -Mwongozo wa Mwalimu Oxford Kiswahili dadisi uk. 107 -Shairi la kukariri -Wimbo kuhusu maagizo Oxford Kiswahili dadisi uk. 108 -Picha za sebuleni -Kifungu cha ufahamu -Vifaa vya kufundishia -Kadi za maneno Oxford Kiswahili dadisi uk. 110 -Hadithi za usalama -Picha za mazingira -Wimbo wa sebuleni |
Uchunguzi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Shughuli za maigizo
-Tathmini ya kazi ya kikundi
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
Sarufi Sarufi Sarufi |
Uhariri
Ukanusho wa nafsi ya pili, umoja na wingi Ukanusho wa nafsi ya pili, umoja na wingi Ukanusho wa nafsi ya pili, umoja na wingi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua vipengele vya kuhariri katika maandishi. -Kutambua makosa ya kuandika katika sentensi. -Kujadili umuhimu wa kuhariri maandishi baada ya kuandika. |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua alama za uakifishaji (dogo, nukta, kiulizi) katika sentensi. -Kuangalia sentensi zilioandikwa na kutambua makosa ya kiandishi. -Kujadili na wenzake kuhusu alama na herufi zinazofaa kutumika. -Kutambua mahali pa alama za uakifishaji katika sentensi. |
Kwa nini ni vizuri kusoma kazi uliyoandika na kuirekebisha?
|
Oxford Kiswahili dadisi uk. 111
-Maandiko ya sentensi -Chati za alama za uakifishaji -Maelezo ya darasa -Mwongozo wa Mwalimu -Mazoezi ya maandishi -Kadi za maelezo Oxford Kiswahili dadisi uk. 112 -Karatasi za maandishi -Majukumu ya nyumbani Oxford Kiswahili dadisi uk. 113 -Picha za vitendo -Chati za sentensi -Kadi za maneno Oxford Kiswahili dadisi uk. 114 -Vifaa vya kidijitali -Zoezi la mjini Oxford Kiswahili dadisi uk. 115 -Picha za vitendo vya wingi -Jedwali la sentensi -Mazoezi ya kufikiria |
Uchunguzi
-Shughuli za kikundi
-Mjadala
-Utambui wa makosa
|
|
Your Name Comes Here