If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
USAFI WA MAZINGIRA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutambua silabi za sauti dh, th na ch katika maneno mbalimbali - Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa - Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi - Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa - Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kutamka maneno hayo vizuri |
Je, kwa nini tunafaa kutamka maneno vizuri?
|
Mentor uk. 77
Kifaa cha kidijitali Kadi maneno Chati Mti maneno |
Kutambua silabi za sauti dh, th na ch
Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch
Kusoma kifungu chenye sauti dh, th na ch
|
|
| 1 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutambua silabi za sauti dh katika maneno kutoka kifungu - Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa - Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa - Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
Mentor uk. 79
Sauti za kurekodi Vifaa vya kidijitali Kadi maneno Picha Mentor uk. 81 Kifaa cha kidijitali Matini |
Kupigia mstari silabi za sauti dh, th na ch katika maneno
Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti dh, th na ch
|
|
| 1 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kutambua sauti dh, th na ch katika kifungu chepesi kuhusu usafi wa mazingira - Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika) - Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo |
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
|
Mentor uk. 83
Vifaa vya kidijitali Chati Matini ya mwalimu |
Kutambua sauti dh, th na ch katika maneno
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kusoma kwa sauti inayosikika
Kusoma kwa kasi ifaayo
Kusoma kwa kuzingatia ishara
|
|
| 2 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa zamu - Kupigia mstari maneno yenye sauti lengwa katika kifungu - Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika vizuri - Kusoma kifungu tena kwa kutumia ishara mbalimbali - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa |
Je, kila mmoja wenu alisoma kwa sauti inayosikika vizuri?
|
Mentor uk. 84
Vifaa vya kidijitali Picha Matini ya mwalimu |
Kutambua maneno yenye sauti dh, th na ch katika kifungu
Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo
Kusoma kifungu kwa kutumia ishara zifaazo
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Imla |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa ufasaha - Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha - Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake - Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo |
Je, mnatumia ishara gani mnapoongea?
|
Mentor uk. 85
Kifaa cha kidijitali Matini ya mwalimu Mentor uk. 86 Vifaa vya kidijitali Karatasi za kuandikia |
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma
Kusoma kwa kasi ifaayo
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
|
Imla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo - Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi |
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yatakayotamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akizingatia kanuni zifaazo za uandishi (k.v matumizi ya herufi kubwa na ndogo, tahajia, nafasi baina ya maneno n.k) - Kujadili na wenzake kifungu alichokiandika ili kukitathmini |
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
|
Mentor uk. 87
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Karatasi za kuandikia |
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla
Kujadili kazi ya imla iliyoandikwa
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
|
Imla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo - Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi |
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika kwa imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kurekebisha imla yake kulingana na maoni ya mwalimu na wenzake - Kuchunguza kazi ya wenzake ili kutoa maoni yake - Kujadili changamoto alizopata wakati wa kuandika imla |
Je, umeandika kwa kuzingatia mambo haya: hati safi, kuacha nafasi katikati ya maneno, kuandika herufi zote vizuri?
|
Mentor uk. 87
Chati Kadi maneno Karatasi za kuandikia |
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla
Kurekebisha makosa ya imla
Tathmini rika
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano - Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku |
- Kutambua maneno yenye rangi -eupe, -eusi, -ekundu kwa kurejelea vitu halisi katika mazingira yake, kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kusikiliza maelezo kuhusu matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake |
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
|
Mentor uk. 88
Picha za vitu vyenye rangi mbalimbali Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
Kupigia mstari maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano - Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku |
- Tazama picha za vitu vyenye rangi tofauti - Soma sentensi zilizo chini ya picha - Pigia mstari maneno yaliyotumia -eupe, -eusi na -ekundu - Eleza -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini - Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi na -ekundu |
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini?
|
Mentor uk. 89
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali Kadi za maneno Chati Mentor uk. 90 Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali |
Kueleza matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu
Kuorodhesha vitu vya rangi nyeupe, nyeusi na nyekundu
|
|
| 4 | 1 |
DUKANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maagizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani - Kutoa maagizo mepesi yanayotumiwa darasani - Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku |
- Kutazama picha zinazoonyesha watu wakitoa maagizo - Kutambua maagizo yanayotolewa katika picha hizo - Kujadili kwa nini ni muhimu kufuata maagizo - Kupigilia mstari maagizo katika sentensi mbalimbali - Kutoa mifano ya maagizo mazuri na maagizo mabaya |
Je, kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93
- Picha za watu wakitoa maagizo - Chati zenye maagizo - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93-94 - Kadi zenye maagizo - Vitu halisi vya kutumia katika maigizo - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 94 - Mashairi yenye maagizo - Nyimbo zinazohusiana na maagizo |
- Kutambua maagizo katika sentensi
- Kutoa maagizo mbalimbali
- Kufuata maagizo
- Kuuliza na kujibu maswali
- Kujaza nafasi kwa maagizo yanayofaa
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
- Kutazama picha inayohusu duka - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu - Kusoma kifungu "Duka la Kathambi" - Kuthibitisha iwapo utabiri wake ulikuwa sahihi - Kujadili ujumbe wa kifungu hicho - Kujibu maswali kuhusu kifungu |
Je, unafanya nini ili uelewe kifungu unachosoma?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 95
- Picha za dukani - Kifungu cha ufahamu "Duka la Kathambi" - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96 - Kamusi - Kadi maneno za msamiati wa dukani |
- Kutambua msamiati wa dukani
- Kuuliza na kujibu maswali
- Kufanya utabiri kutokana na picha
- Kutambua ujumbe wa kifungu
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Uandishi wa Insha Uandishi wa Insha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu cha ufahamu - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu cha ufahamu - Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
- Kusoma kifungu kipya kuhusu dukani - Kutabiri mwisho wa hadithi kutokana na matukio ya hapo awali - Kutambua msamiati mpya kama "chenji", "pesa", "bidhaa" - Kutumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi - Kujadili mafunzo yanayopatikana kutoka kwenye kifungu hicho |
Je, unakisiaje matokeo ya hadithi kutoka kwa matukio ya awali?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96-97
- Vifungu vya hadithi kuhusu dukani - Picha zinazohusiana na dukani - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98 - Mfano wa insha "Joni na Mama Yake" - Chati ya muundo wa insha - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98-99 - Kielelezo cha insha - Vifaa vya kidijitali - Orodha hakiki ya kanuni za uandishi |
- Kutabiri matukio ya hadithi
- Kueleza mafunzo yanayotokana na hadithi
- Kutambua msamiati mpya
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
- Kufanya tathmini ya maana ya msamiati
|
|
| 5 | 1 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandika insha yenye maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi - Kusahihisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake - Kufurahia uandishi wa insha ili kuimarisha mawasiliano andishi |
- Kusoma mfano wa insha iliyoandikwa vizuri - Kujadili vipengele muhimu vinavyoifanya insha iwe nzuri - Kuandika insha nyingine kwa kuzingatia maoni aliyopata - Kuwasomea mzazi au mlezi insha aliyoandika - Kuwasilisha insha yake kwa mwalimu |
Je, ni vigezo gani vya tathmini ya insha ya kusimulia?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 99 - Sampuli za insha zilizosahihishwa - Vigezo vya kutathmini insha - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika insha inayofuata kanuni za uandishi
- Kusahihisha insha kulingana na maoni
- Kuwasilisha insha iliyorekebishwa
- Kufanya tathmini ya insha za wenzake
- Kuboresha insha yake
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matumizi ya neno yeye na wao katika ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku |
- Kutazama picha zinazoonyesha ukanushaji - Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu katika picha - Kuangalia mifano: "Yeye anaandika - Yeye haandiki" na "Wao wanaandika - Wao hawaandiki" - Kujadili jinsi ukanushaji unavyofanyika kwa nafsi ya tatu |
Je, unafanya nini sasa hivi? Kama hufanyi mambo uliyotaja utasema je?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 100
- Picha za ukanushaji - Chati za sentensi zenye ukanushaji - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 101-102 - Chati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kapu maneno |
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji
- Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji
- Kuuliza na kujibu maswali
- Kupambanua ukanushaji katika sentensi
|
|
| 5 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja na wingi ipasavyo - Kubadilisha sentensi za ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja hadi wingi - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku |
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja - Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu wingi - Kuandika sentensi za nafsi ya tatu umoja katika wingi - Kumsomea mzazi au mlezi sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kucheza michezo ya kuelewana inayohusisha ukanushaji wa nafsi ya tatu |
Je, tutachukulia vipi ukanushaji wa nafsi ya tatu wakati wa kuandika?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 103-104 - Kadi zenye sentensi za kukanusha - Chati ya mifano ya ukanushaji - Vifaa vya kidijitali |
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu
- Kubadilisha sentensi za nafsi ya tatu umoja hadi wingi
- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kufanya tathmini ya matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
|
| 6 | 1 |
NDEGE NIMPENDAYE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti mbw
Matamshi Bora: Sauti nd |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua silabi za sauti /mbw/ katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi za sauti /mbw/ kwa ufasaha - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutamka sauti /mbw/ kwa usahihi - Kusoma silabi zenye sauti /mbw/ - Kupigia mstari silabi za sauti /mbw/ katika maneno kama "dimbwi", "mbweha", "mbweu" - Kutamka silabi alizopigia mstari - Kutaja maneno mengine yenye silabi za sauti /mbw/ |
Je, tunafaa kutamka maneno vizuri?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 105
- Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /mbw/ - Vifaa vya kidijitali - Kadi za silabi za sauti /mbw/ - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 106 - Chati zenye sentensi za sauti /mbw/ - Vifaa vya kurekodi sauti - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 107 - Kadi za silabi zenye sauti /nd/ - Picha zenye maneno ya sauti /nd/ |
- Kutamka sauti /mbw/ kwa usahihi
- Kutambua sauti /mbw/ katika maneno
- Kutunga sentensi zenye maneno ya sauti /mbw/
- Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti /mbw/
|
|
| 6 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma |
Matamshi Bora: Sauti ny
Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua silabi za sauti /ny/ katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi za sauti /ny/ kwa ufasaha - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutamka sauti /ny/ - Kusoma silabi zenye sauti /ny/ - Kupigia mstari silabi za sauti /ny/ katika maneno kama "nyumba", "nyama", "manyoya" - Kutamka silabi alizopigia mstari - Kutaja maneno mengine yenye silabi za sauti /ny/ |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 109-110
- Kadi za silabi zenye sauti /ny/ - Picha zenye maneno ya sauti /ny/ - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 111 - Kifungu "Kuku na Mwewe" - Vifaa vya kidijitali - Chati za maneno yenye sauti lengwa - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 112 - Vifaa vya kurekodi sauti |
- Kutamka sauti /ny/ kwa usahihi
- Kutambua sauti /ny/ katika maneno
- Kutunga sentensi zenye maneno ya sauti /ny/
- Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti /ny/
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Tahajia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kujadili ishara za mwili zinazotumika wakati wa kuongea - Kusomea mwenzake kifungu cha "Mbwa na Mbweha" akitumia ishara za mwili - Kupokea maoni kutoka kwa mwenzake kuhusu matumizi ya ishara - Kutafuta kifungu kizuri mtandaoni au kitabuni - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi nzuri na ishara mbalimbali |
Je, unajua kutumia ishara gani unapoongea?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 112-113
- Kifungu "Mbwa na Mbweha" - Vifaa vya kidijitali - Vifungu vya hadithi mbalimbali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 114 - Insha "Ndege Wangu" - Kamusi - Vifaa vya kidijitali |
- Kutumia ishara za mwili wakati wa kusoma
- Kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kutoa na kupokea maoni kuhusu usomaji
- Kusoma vifungu mbalimbali
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Tahajia
Matumizi ya neno hili na haya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha - Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno - Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi |
- Kuandika insha kuhusu ndege anayempenda - Kuzingatia tahajia sahihi za maneno katika uandishi - Kusoma insha yake na kurekebisha tahajia - Kumsomea mzazi au mlezi insha aliyoandika - Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi |
Je, kwa nini ni muhimu kuandika maneno vizuri?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 114-115
- Kamusi - Chati ya tahajia sahihi za maneno - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 116 - Picha za vitu katika umoja na wingi - Chati ya matumizi ya hili na haya |
- Kuandika insha yenye tahajia sahihi
- Kurekebisha tahajia zisizo sahihi
- Kutambua na kutumia tahajia sahihi za maneno
- Kusoma insha yake kwa wenzake
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno hili na haya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua neno hili na haya katika kifungu - Kutumia neno hili na haya katika sentensi - Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
- Kusoma kifungu kilichotolewa - Kutambua sentensi ambazo zimetumia neno hili - Kutambua sentensi ambazo zimetumia neno haya - Kujaza nafasi kwa kutumia hili na haya - Kuwasomea wenzake sentensi alizojaza - Kuandika kifungu kifupi akitumia hili na haya |
Je, maneno hili na haya hutumiwa kuonyesha nini?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 117 - Kifungu chenye maneno hili na haya - Chati ya sentensi zenye hili na haya - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua hili na haya katika kifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia hili na haya
- Kutunga sentensi zenye hili na haya
- Kuandika kifungu kifupi chenye hili na haya
|
|
| 7 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya neno hili na haya
Mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutumia neno hili na haya ipasavyo katika kifungu - Kuandika kifungu akitumia neno hili na haya ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
- Kuandika kifungu kifupi akitumia hili na haya - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho - Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi - Kusahihisha kifungu chake kulingana na maoni aliyopokea - Kuwasilisha kifungu kilichosahihishwa kwa mwalimu |
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno hili na haya?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 118-119
- Mifano ya vifungu vyenye hili na haya - Kamusi - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 121 - Mfano wa mazungumzo - Picha zinazohusiana na sokoni |
- Kuandika kifungu chenye hili na haya
- Kutumia hili na haya ipasavyo katika mawasiliano
- Kupokea na kutumia maoni
- Kuwasilisha kifungu kilichosahihishwa
|
|
| 8 | 1 |
SOKONI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua suala lengwa linalozungumziwa - Kuteua mada ya kuzungumzia - Kupanga mawazo yake kabla ya kuzungumza - Kuchangamkia mazungumzo katika mawasiliano ya kila siku |
- Kuchagua jambo la kuzungumzia kati ya "Mambo yanayofanyika sokoni" na "Umuhimu wa soko" - Kuzungumza kuhusu jambo hilo - Kuzingatia matamshi bora, kupanga maelezo vizuri, sauti inayosikika na ishara mbalimbali - Kufanyiana tathmini ya mazungumzo |
Je, unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
- Picha zinazohusiana na shughuli za sokoni - Chati ya vipengele vya kuzingatia katika mazungumzo - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 122 - Picha za watu wakizungumza - Mifano ya mazungumzo bora |
- Kuzungumza kwa ufasaha
- Kutumia matamshi bora
- Kupanga mawazo vizuri
- Kutumia ishara zinazofaa
- Kufanya tathmini ya mazungumzo
|
|
| 8 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
- Kutazama picha ya sokoni - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu - Kusoma kifungu kilichotolewa - Kuthibitisha iwapo utabiri wao ulitimia - Kujadili kuhusu kifungu hicho - Kutafuta maneno "bidhaa", "mikokoteni", "wateja" na "maduka" katika kifungu |
Je, unafanya nini ili usome kifungu vizuri?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 123
- Picha zinazohusiana na sokoni - Kifungu cha ufahamu - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 124 - Kadi za msamiati wa sokoni - Kamusi - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 124-125 |
- Kutambua maneno yanayohusu sokoni
- Kueleza ujumbe wa kifungu
- Kutabiri ujumbe wa kifungu
- Kueleza mafunzo ya kifungu
|
|
| 8 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya masimulizi - Kueleza ujumbe wa insha ya masimulizi - Kufurahia uandishi wa insha ya masimulizi ili kuimarisha mawasiliano |
- Kujadili kuhusu kuandika insha ya masimulizi - Kusoma insha "Mimi na Dada Yangu" - Kutambua jambo linalosimuliza katika insha hiyo - Kutambua muundo wa insha ya masimulizi (utangulizi, kiini, hitimisho) - Kujadili umuhimu wa kuwa na kichwa cha insha |
Je, umewahi kumsimulia mtu hadithi? Hadithi hiyo ilihusu nini?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-126
- Insha ya "Mimi na Dada Yangu" - Chati ya muundo wa insha ya masimulizi - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 126 - Mifano ya insha za masimulizi - Orodha ya kanuni za uandishi wa insha - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 126-127 - Mifano ya insha zilizosahihishwa - Orodha ya vigezo vya kutathmini insha |
- Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya masimulizi
- Kutambua muundo wa insha ya masimulizi
- Kueleza ujumbe wa insha
- Kutambua sehemu kuu za insha
|
|
| 9 |
Midterm |
||||||||
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya juu ya, ndani ya, na mbele ya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua vihusishi vya mahali katika matini - Kueleza matumizi ya vihusishi vya mahali - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi vya mahali katika mazungumzo ya kila siku |
- Kuambia mwenzake aweke kalamu juu ya dawati - Kujadili matumizi ya kihusishi "juu ya" - Kutazama picha na kujaza nafasi kwa usahihi - Kutunga sentensi tano sahihi akitumia "juu ya" - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga |
Je, unatumia maneno gani kuonyesha kitu kilicho mahali?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 127-128 - Picha za vitu vilivyowekwa mahali mbalimbali - Chati ya vihusishi vya mahali - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua matumizi ya "juu ya"
- Kutunga sentensi zenye kihusishi "juu ya"
- Kujaza nafasi kwa vihusishi vya mahali
- Kucheza michezo ya kuelewa vihusishi
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya juu ya, ndani ya, na mbele ya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua vihusishi vya mahali katika matini - Kutumia vihusishi vya mahali ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi vya mahali katika mazungumzo ya kila siku |
- Kuweka kifutio ndani ya mfuko - Kujadili matumizi ya kihusishi "ndani ya" - Kutazama picha na kujaza nafasi kwa usahihi - Kutunga sentensi akitumia "ndani ya" - Kujadili maana ya "mbele ya" - Kusimama mbele ya darasa na kuonyesha wenzake |
Je, vihusishi vya mahali vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 128-129 - Picha zinazohusiana na vihusishi vya mahali - Vitu halisi - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua matumizi ya "ndani ya"
- Kutambua matumizi ya "mbele ya"
- Kutunga sentensi zenye vihusishi vya mahali
- Kutumia vihusishi vya mahali katika mazungumzo
|
|
| 10 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya juu ya, ndani ya, na mbele ya
Matamshi Bora: Sauti mb |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutumia vihusishi vya mahali ipasavyo katika matini - Kuandika tungo zenye vihusishi vya mahali - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi vya mahali katika mazungumzo ya kila siku |
- Kutazama picha zinazoonyesha vitu mahali mbalimbali - Kujaza nafasi kwa kutumia "juu ya", "ndani ya" au "mbele ya" - Kutunga sentensi zenye vihusishi vya mahali - Kujaza nafasi katika sentensi - Kuandika kifungu kifupi akitumia vihusishi vya mahali |
Je, ni maneno yapi unaweza kutumia kurejelea kitu/mtu aliye mahali fulani?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 130-131
- Picha zinazoonyesha matumizi ya vihusishi vya mahali - Chati ya sentensi zenye vihusishi vya mahali - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 134 - Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /mb/ - Kadi za silabi za sauti /mb/ |
- Kutambua vihusishi vya mahali katika sentensi
- Kutumia vihusishi vya mahali katika mazungumzo
- Kuandika sentensi zenye vihusishi vya mahali
- Kuandika kifungu chenye vihusishi vya mahali
|
|
| 11 | 1 |
TEKNOLOJIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti mb
Matamshi Bora: Sauti nz Matamshi Bora: Sauti tw |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua silabi za sauti /mb/ katika sentensi - Kutamka maneno yenye silabi za sauti /mb/ kwa ufasaha - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kusikiliza sentensi zikitamkwa kwenye kifaa cha kidijitali - Kutambua maneno yenye silabi za sauti /mb/ katika sentensi hizo - Kutamka maneno hayo kwa usahihi - Kujirekodi akitamka maneno yenye silabi za sauti /mb/ - Kuwatumia wenzake rekodi zake ili wasikilize na kutoa maoni |
Je, ni kwa nini ni muhimu kutamka maneno kwa usahihi?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 135
- Sentensi zenye maneno ya sauti /mb/ - Vifaa vya kurekodi sauti - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 135-136 - Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /nz/ - Kadi za silabi za sauti /nz/ - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138 - Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /tw/ - Kadi za silabi za sauti /tw/ |
- Kutambua maneno yenye sauti /mb/
- Kutamka maneno ya sauti /mb/ kwa usahihi
- Kutunga sentensi zenye maneno ya sauti /mb/
- Kujirekodi akitamka maneno ya sauti /mb/
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kusoma kifungu "Safari ya Sokoni" - Kutamka kila neno kwa usahihi - Kutambua maneno yenye sauti /mb/, /nz/ na /tw/ - Kusoma tena kifungu hicho kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo - Kujadili ujumbe wa kifungu |
Kwa nini unafaa kusoma kifungu vizuri?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 142
- Kifungu "Safari ya Sokoni" - Chati ya maneno yenye sauti lengwa - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 143 - Vifaa vya kurekodi sauti |
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu
- Kusoma kwa matamshi bora
- Kusoma kwa sauti inayosikika
- Kueleza ujumbe wa kifungu
|
|
| 11 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kujadili ishara za mwili zinazotumika wakati wa kuongea - Kusomea mwenzake aya ya kifungu "Safari ya Sokoni" akitumia ishara za uso na mikono - Kupokea maoni kutoka kwa mwenzake kuhusu matumizi ya ishara - Kutafuta kifungu kizuri mtandaoni au kitabuni - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho |
Je, unajua kutumia ishara gani unapoongea?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 143-144
- Kifungu "Safari ya Sokoni" - Vifaa vya kurekodi sauti - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145 - Insha "Matumizi Bora ya Teknolojia" - Chati ya muundo wa insha ya maelezo |
- Kutumia ishara za mwili wakati wa kusoma
- Kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kutoa na kupokea maoni kuhusu usomaji
- Kusoma vifungu mbalimbali
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Insha ya Maelezo
Vinyume vya Vitendo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandika insha ya maelezo kati ya maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi - Kusahihisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake - Kuchangamkia uandishi wa insha ya maelezo ili kuimarisha mawasiliano |
- Kurekebisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake - Kuandika insha nyingine yenye maudhui ya teknolojia - Kuzingatia muundo wa insha, tahajia sahihi na kanuni za uandishi - Kumsomea mzazi au mlezi insha aliyoandika - Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi |
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 146
- Mifano ya insha zilizosahihishwa - Orodha ya vigezo vya kutathmini insha - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147 - Picha za vitendo na vinyume vyake - Chati za vitendo na vinyume vyake |
- Kusahihisha insha kulingana na maoni
- Kuandika insha inayozingatia kanuni za uandishi
- Kusoma insha kwa wenzake
- Kutoa na kupokea maoni kuhusu insha
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua vinyume vya vitendo katika matini - Kutumia vinyume vya vitendo ipasavyo katika matini - Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku |
- Kusoma kifungu kilichotolewa - Kuandika maneno ambayo ni vinyume katika kifungu - Kutaja vitenzi vingine na vinyume vyake - Kujaza nafasi kwa kutumia kinyume cha kitenzi kwenye mabano - Kuandika upya sentensi akitumia vinyume vya vitenzi vilivyopigiwa mstari |
Ni kwa nini tunahitaji kujua vinyume vya vitendo?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 148 - Kifungu chenye vitendo na vinyume vyake - Kadi za vitendo na vinyume vyake - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua vinyume vya vitendo
- Kujaza nafasi kwa kutumia vinyume vya vitendo
- Kutunga sentensi zenye vinyume vya vitendo
- Kubadilisha sentensi kwa kutumia vinyume vya vitendo
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutumia vinyume vya vitendo ipasavyo katika matini - Kutunga sentensi kwa kutumia vitendo na vinyume vyake - Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku |
- Kutunga sentensi akitumia vitenzi na vinyume vyake - Kufanya zoezi la kupigia mstari silabi za sauti /mb/ katika maneno - Kusoma kifungu chenye sauti /mb/ na kutamka maneno hayo vizuri - Kuandika insha kuhusu "Umuhimu wa Kompyuta" - Kufanya zoezi la kutathmini uwezo wake |
Je, vinyume vya vitendo vina umuhimu gani katika lugha ya Kiswahili
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 149-150 - Kamusi - Chati ya vitendo na vinyume vyake - Vifaa vya kidijitali |
- Kutunga sentensi zenye vitendo na vinyume vyake
- Kutambua vitendo na vinyume vyake katika kifungu
- Kuandika insha yenye vitendo na vinyume vyake
- Kufanyiana tathmini ya matumizi ya vinyume vya vitendo
|
|
Your Name Comes Here