If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
Usawa wa Kijinsia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali. Kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali. Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aweze kukariri shairi kuhusu mada lengwa (maadili) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kusikiliza shairi lengwa likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni au kupitia vifaa vya kidijitali. |
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 85-86
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 1 | 2 |
Usawa wa Kijinsia
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika akitumia tarakilishi nomino zaidi katika ngeli ya I-I Kutambua nomino za ngeli ya I-I katika orodha atakayopewa, aziburure na kuzitia kapuni. Kuchangamkia matumizi ya nomino katika ngeli ya I-I |
Mwanafunzi aweze kujadiliana picha zilizopo katika Uk. 87
Mwanafunzi aweze kuandika akitumia tarakilishi nomino zaidi katika ngeli ya I-I Wakiwa wawiliwawili mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya I-I katika orodha atakayopewa, aziburure na kuzitia kapuni |
Je, ngeli ya I-I inahusu nini?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 87

| 1 | 3 |

| 1 | 4 |
Usawa wa Kijinsia
|
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Makala- Mtoto si kidonda
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala haya. |
Mwanafunzi aweze kusoma makala haya,
|
Je, kusoma kwa mapana kuna umuhimu gani?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 88-90
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 1 |
Usawa wa Kijinsia
|
Kuandika; Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vipengele muhimu vya kimuundo kama vile anwani, mwili na hitimisho katika uandishi wa insha ya wasifu. Kujadili na mwenzake vidokezo atakavyotumia kuandika insha ya wasifu juu ya |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kutazama nakala za insha ya wasifu magazetini, vitabuni au kwenye tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kutambua vipengele muhimu vya kimuundo kama vile anwani, mwili na hitimisho katika uandishi wa insha ya wasifu. Kujadili na mwenzake vidokezo atakavyotumia kuandika insha ya wasifu juu ya |
Insha ya wasifu inahusu nini?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 91

| 2 | 2 |

| 2 | 3 |
Usawa wa Kijinsia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza shairi likikaririwa katika tarakilishi kisha kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti /d/, /nd/, /ch/, /sh/, /nj/ na /ng/ Kutambua msamiati uliotumika katika shairi kuhusu Usawa wa Kijinsia. Kutunga sentensi akitumia msamiati uliotumika katika shairi kwa usahihi. Kuchangamkia matumizi ya lugha ya ushairi. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza shairi likikaririwa katika tarakilishi kisha kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti /d/, /nd/, /ch/, /sh/, /nj/ na /ng/
Mwanafunzi aweze kujiunga na mwenzake kisha kutambua msamiati uliotumika katika shairi kuhusu Usawa wa Kijinsia. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia msamiati uliotumika katika shairi kwa usahihi. |
Ushairi una umuhimu gani katika jamii?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 92
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 4 |
Usawa wa Kijinsia
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nomino zinazopatikana katika ngeli ya I-I Kuandika nomino alizozitaja katika umoja na wingi. Kujaza mapengo katika sentensi kwa nomino sahihi. Kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-I |
Mwanafunzi aweze kutaja nomino zinazopatikana katika ngeli ya I-I
Mwanafunzi aweze kuandika nomino alizozitaja katika umoja na wingi. Mwanafunzi aweze kujaza mapengo katika sentensi kwa nomino sahihi. |
J, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 93
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 1 |
Usawa wa Kijinsia
|
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Makala- Maktaba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana jinsi ya kuchagua makala ya kusoma. Kuelezea umuhimu wa kusoma makala. Kufurahia kuchagua makala ya kusoma. |
Mwanafunzi aweze kujadili picha katika Uk. 94 akiwa na mwenzake.
Wanafunzi waweze kujadiliana wakiwa wawiliwawili au katika vikundi jinsi ya kuchagua makala ya kusoma. Wanafunzi kujadiliana umuhimu wa kusoma makala. |
Ni makala gani inyopatikana katika maktaba?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 94

| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
Usawa wa Kijinsia
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupigia mstari viambishi vipatanishi au kuvikolezea rangi. Kuandika sentensi katika umoja na kukolezea rangi viambishi vipatanishi. Kujaza mapengo kwa kiambatanishi sahihi. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viambishi vipatanishi
Mwanafunzi aweze kupigia mstari viambishi vipatanishi au kuvikolezea rangi. Mwanafunzi aweze kuandika sentensi katika umoja na kukolezea rangi viambishi vipatanishi. Mwanafunzi aweze kujaza mapengo kwa kiambatanishi sahihi |
Je, nomino za ngeli ya I-I huchukua viambishi gani katika sentensi?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 94-95
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 4 |
Majanga na jinsi ya kuyazuia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Nahau za kazi na ushirikiano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika chati ya maneno. kujadili maana za nahau za kazi na ushirikiano na kutoa mifano. kutunga sentensi akitumia nahau za kazi na ushirikiano. |
Mwanafunzi aweze kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika chati ya maneno.
Wanafunzi wakiwa wawiliwawili, kujadiliana maana za nahau za kazi na ushirikiano na kutoa mifano. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nahau za kazi na ushirikiano. |
Je, nahau ni nini?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 97-98
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 1 |
Majanga na jinsi ya kuyazuia
|
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana na mwenzake kuhusu aina za matini. Kuchagua majanga kutoka mtandaoni na kusoma matini hiyo kimyakimya na utulivu ili aweze kupata ujumbe kamili. Kuchangamkia matumizi ya msamiati alioupata katika matini. |
Mwanafunzi aweze kujadiliana na mwenzake kuhusu aina za matini.
Mwanafunzi aweze kuchagua Majanga kutoka mtandaoni na kusoma matini hiyo kimyakimya na utulivu ili aweze kupata ujumbe kamili. |
Matini ulioisoma inahusu nini?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 98-99

| 4 | 2 |

| 4 | 3 |
Majanga na jinsi ya kuyazuia
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino na sentensi Ngeli ya PA-KU-MU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika orodha ya maneno aliyopewa. Kuandika sentensi kwa umoja na wingi katika ngeli ya PA-KU-MU Kuchangamkia matumizi ya PA-KU-MU katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika orodha ya maneno aliyopewa.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vipatanishi katika ngeli huu ni pa-, ku- na mu- kutegemea mahali panaporejelewa Mwanafunzi aweze kuandika sentensi kwa umoja na wingi katika ngeli ya PA-KU-MU |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya PA-KU-MU?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 99-100
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 4 |
Majanga na jinsi ya kuyazuia
|
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini- Maktaba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana na mwenzake kuhusu aina za matini. Kusoma matini aliyoichagua kimyakimya ili aweze kupata ujumbe kamili. Kuchangamkia kuchagua matini kuhusu majanga mtandaoni na kusoma kwa makini. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi wajadiliane kuhusu picha iliyopo UK. 103
Mwanafunzi aweze kujadiliana na mwenzake kuhusu aina za matini. Mwanafunzi aweze kusoma matini aliyoichagua kimyakimya ili aweze kupata ujumbe kamili |
Ni matini gani umewahi kusoma maktabani?
|
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 102-103
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 1 |
Wanyama wa Majini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi:
Kauli ya kutendeana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. Kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana. Kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana. Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendeana katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuzileta maana mbalimbali?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 139-141

| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Wanyama wa Majini
|
Kauli ya kutendesha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendesha katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. Kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendesha Kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendesha Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendesha katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendesha katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendesha Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendesha |
Kauli ya kutendesha inahusu nini?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 142-144

| 5 | 4 |

| 6 | 1 |
Wanyama wa Majini
|
Kauli ya kutendua
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendua katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. Kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendua Kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendua Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendua katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendua. Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendua |
Je, mmegundua nini kuhusu kauli ya kutendua?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 145-147
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 2 |
Afya ya Akili
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo ya kimuktadha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi. Kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. Kuigiza mazungumzo ya muktadha wowote rasmi. Kufurahia matumizi ya lugha rasmi. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. Mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo ya muktadha wowote rasmi |
Je, ni wapi katika shughuli za kila siku watu huitumia lugha rasmi na lugha isiyo rasmi?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 148-151
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 3 |
Afya ya Akili
|
Kusoma kwa mapana; Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini. |
Wanafunzi wakiwa wawili waweze kusoma matini,
|
Je, ni habari zipi unazopenda kuzisoma kwenye vyanzo mbalimbali vya matini?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 151-153
Kapu maneno Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 4 |

| 7 | 1 |
Afya ya Akili
|
Kuandika insha; Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo katika matini mbalimbali. Kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo. Kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha. Kuchangamkia utunzi mzuri w insha ili kuimarisha uandishi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo. Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha. |
Je, ni mada gani zinazoweza kuandikiwa insha ya maelezo?
Je, insha nzuri ya maelezo ina muundo gani?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 154-157
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 2 |
Afya ya Akili
|
Kuandika insha; Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye vitabu au tarakilishi wakiwa katika vikundi. Kusoma insha ya maelezo, |
Mwanafunzi aweze kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye vitabu au tarakilishi wakiwa katika vikundi
Mwanafunzi aweze kusoma insha ya maelezo, |
Je, ni mawazo yapi yanayojitokeza katika insha ya maelezo mlioisoma?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 154-157
Kapu maneno Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 3 |

| 7 | 4 |
Afya ya Akili
|
Sarufi; Vinyume vya vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja vivumishi ambavyo anaweza kutaja vinyume vyake. Kutunga na kuandika sentensi akivitumia vinyume vya vivumishi. Kuonea fahari matumizi ya vinyume vya vivumishi. |
Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutaja vivumishi ambavyo anaweza kutaja vinyume vyake
Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi akivitumia vinyume vya vivumishi. |
Je, umegundua nini kuhusu vinyume vya vivumishi?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 157-159
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 1 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Sitiari za tabia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya neno sitiari. Kutaja viumbe wanaowajua na kueleza tabia zinazowafanya wajulikane. Kusoma kifungu, |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno sitiari.
Mwanafunzi aweze kutaja viumbe wanaowajua na kueleza tabia zinazowafanya wajulikane Mwanafunzi aweze kusoma kifungu, |
Je, ni maneno gani ambayo mnaweza kuyatumia kukilinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 161-163
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 |
Midterm break |
||||||||
| 9 | 1 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Kusoma kwa mapana; Matini za kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana namna mnaweza kuyafikia na kuyasoma matini yaliyohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali. Kujadiliana kuhusu majina ya misimu. Kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu. Kufurahia matumizi ya kidijitali anaposoma matini mbalimbali. |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana namna mnaweza kuyafikia na kuyasoma matini yaliyohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali
Mwanafunzi aweze kujadiliana kuhusu majina ya misimu. Mwanafunzi aweze kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu |
Ni hatua gani za kiusalama mnazozingatia mnapotafuta habari mtandaoni?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 164-165
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 2 |

| 9 | 3 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Kusoma kwa mapana; Matini za kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini. |
Mwanafunzi aweze kusoma matini,
|
Je, mnazikumbuka habari gani mlizisoma mtandaoni?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 165-167
Kapu maneno Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 4 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Kuandika
insha; Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sifa za insha ya masimulizi. Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali. Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kueleza sifa za insha ya masimulizi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali |
Insha ya masimulizi ina sifa gani?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 167-168
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 1 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Kuandika
insha; Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma insha. |
Mwanafunzi aweze kusoma insha,
|
Je, unazingatia mambo gani ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 168-170
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Kuandika
insha; Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana kuhusu kisa chochote kinachohusu Ugaidi ambacho amewahi kukisikia. Kuandika insha ya masimulizi kuhusu kisa hicho. Kuonea fahari umuhimu wa insha za masimulizi. |
Mwanafunzi aweze kujadiliana kuhusu kisa chochote kinachohusu Ugaidi ambacho amewahi kukisikia
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kuhusu kisa hicho |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 170-171
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 4 |

| 11 | 1 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Sarufi; Matumizi ya lugha: Hali ya masharti -nge
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vya hali ya masharti nge katika sentensi. Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kutambua viambishi vya hali ya masharti nge katika sentensi
Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti |
Je, mnaeleza vipi iwapo hamkulifanya jambo fulani kutokana na Ukosefu wa kitu, jambo au mtu?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 171-173
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 2 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Hali ya masharti -ngali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua kiambishi cha hali ya masharti ngali katika sentensi. Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti |
Mwanafunzi aweze kutambua kiambishi cha hali ya masharti ngali katika sentensi
Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti |
Je, mmegundua nini kuhusu kiambishi cha hali ya masharti ngali?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 173-175
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 3 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Hali ya masharti -ki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua kiambishi cha hali ya masharti -ki katika sentensi. Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti |
Mwanafunzi aweze kutambua kiambishi cha hali ya masharti -ki katika sentensi
Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti |
Kiambishi cha hali ya masharti
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 176-178

| 11 | 4 |

| 12 | 1 |
Kukabiliana na Ugaidi
|
Hali ya masharti -ki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana ujumbe anaoweza kuwapasha watu wengine kuhusu usalama. Kueleza ni somo gani jingine huishughulikia hali ya masharti. Kutathmini matumizi ya hali ya masharti. |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana ujumbe anaoweza kuwapasha watu wengine kuhusu usalama
Mwanafunzi aweze kueleza ni somo gani jingine huishughulikia hali ya masharti |
Ni masomo yapi mengine huzishughulikia hali ya masharti?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 178
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 2 |
Ushuru
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana mambo yanayoendelea katika picha zilizopo katika kitabu cha mwanafunzi. Kushirikiana kubuni na kusimuliza kwa zamu visa mbalimbali. Kufurahia kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana mambo yanayoendelea katika picha zilizopo katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi wakiwa wawili waweze kushirikiana kubuni na kusimuliza kwa zamu visa mbalimbali |
Je, ni masimulizi gani mmewhi kuyasikiliza yakisimuliwa?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 179-180
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 3 |

| 12 | 4 |
Ushuru
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza masimulizi, |
Mwanafunzi aweze kusikiliza masimulizi,
|
Je, masimulizi ya Ushuru yana umuhimu gani?
Je, ni mada gani mnazoweza kuzitolea masimulizi?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 180-181
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 13 | 1 |
Ushuru
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa masimulizi kuhusu masuala ya kiuchumi na rasilimali. Kujadili ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali. Kuchangamkia kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aweze kutoa masimulizi kuhusu masuala ya kiuchumi na rasilimali.
wakiwa katika vikundi. Wanafunzi waweze kujadili ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali |
Ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 181-182
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 13 | 2 |
Ushuru
|
Kusoma kwa ufahamu; Kifungu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu. Kusoma msamiati wa Ushuru ulioandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. Kuchangamkia kutumia msamiati wa Ushuru. |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kueleza ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu
Mwanafunzi aweze kusoma msamiati wa Ushuru ulioandikwa katika kitabu cha mwanafunzi |
Je, ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 182
Kapu maneno Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 13 | 3 |

| 13 | 4 |
Ushuru
|
Kusoma kwa ufahamu; Kifungu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu,
|
Je, mnafanya nini ili kujua maana za msamiati uliotumiwa katika vifungu?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 183-185
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 14 | 1 |
Ushuru
|
Kuandika barua; Barua rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua rasmi. Kutaja na kueleza sehemu mbalimbali za barua rasmi wakiwa katika vikundi. Kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya barua rasmi.
Mwanafunzi aweze kutaja na kueleza sehemu mbalimbali za barua rasmi wakiwa katika vikundi. Mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 185-186

| 14 | 2 |

| 14 | 3 |
Ushuru
|
Kuandika barua; Barua rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua barua rasmi kwenye vielelezo vya barua rasmi zilizochapishwa kwenye vitabu au magazeti. Kujadiliana kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. Kuonea fahari umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. |
Katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua barua rasmi kwenye vielelezo vya barua rasmi zilizochapishwa kwenye vitabu au magazeti.
Wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. |
Barua rasmi ina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 186-188
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
Your Name Comes Here