If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
SAA NA MAJIRA:
Kuandika
|
Aina za Insha:
Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano. |
"""ashirikiane na wenzake
kujadili mada ya baruapepe na vipengele vyake/yale yanayofaa"" ""kujumuishwa ""aandike barua pepe kwa " " rafiki kwa kuzingatia ubora wa sentensi (sahihi kisarufi, zilizokamilika kimaana, zenye kufuatana kwa kujenga wazo na zenye kuzingatia uakifishi mzuri) kuunda aya "ashirikiane msamiati wa "mada lengwa katika baruapepe yake" kuituma kwa wenzake na "mwalimu ili waisome na kuitathmini" |
Unazingatia mambo gani unapoandika
"baruapepe?
2. Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe?"
|
Kielelezo cha insha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 54-56 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 54-55 |
"Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi"
"kufanyiana
tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha"
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli I-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine kutaja nomino katika ngeli ya I-ZI Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano. |
Mwanafunzi:
Atambue nomino katika ngeliya "I-ZI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v. nguo- nguo, ndizi-ndizi, ndoo-ndoo na nyumbanyumba) Aandike nomino katika ngeliya" I-ZI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi |
Je, unajua nomino
zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi?
|
Picha
Vifaa halisi KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 56-60 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 56-58 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Umoja na wingi
wa nomino: Ngeli I-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano. |
"asikize usomaji wa
""za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti"" " " yenye nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi Ajaze mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya I-ZI kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi." |
Je, unajua nomino zipi ambazo
hazibadiliki katika umoja na wingi?
|
"Picha
Vifaa halisi" "KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 56-60 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 56-58" |
"Kutambua
k.m. kwenye orodha"
" Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi"
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
"Umoja na wingi
wa sentensi:"
katika ngeli ya I-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I- ZI kwenye sentensi kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-ZI katika mawasiliano |
"Mwanafunzi: atambue viambishi vya ngeli ya
"ya I-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini au kuvikoleza rangi katika tarakilishi - ZI katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au" katika vikundi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti |
"Je, unajua nomino
zipi ambazo zinaanza"
kwa herufi U katika umoja?
|
Picha
Vifaa halisi KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 59-60 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 59-62 |
"Kutambua
k.m. kwenye"
"orodha b)
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi"
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa sentensi: katika
ngeli ya I-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I- ZI kwenye sentensi kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-ZI katika mawasiliano |
Aunde sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya I-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake
|
Je, unajua nomino zipi ambazo zinaanza kwa herufi U katika umoja?
|
Picha
Vifaa halisi KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 59-60 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 59-62 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
"KUKABI LIANA NA
UMASKI"
NI
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Methali: Methali zinazohusu bidii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi. kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii" |
"Mwanafunzi:
methali zinazohusu bidii (k.v. mchagua jembe si mkulima, mgagaa na upwa" "hali wali mkavu, atafutaye hupata, anayejitahidi hufaidi, ukiona vyaelea vimeundwa) katika chati, ubao, vyombo vya kidijitali ajadili maana na matumizi ya methali zinazohusu bidii na wenzake darasani" |
Je, ni nini
umuhimu wa methali katika jamii?
|
"tapurekoda
tarakilishi methali KLB Visionary" Kiswahili "Kitabu cha mwanfunzi Uk. 63-64 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 63-65" |
"Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia
lugha katika"
mawasiliano
"Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Mijadala
Mazungumzo"
|
|
| 3 | 4 |
"KUKABI LIANA NA
UMASKI"
NI
|
Kusikiliza na
"Kuzungumza:
Methali: Kutumia Methali zinazohusu bidii"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii kutumia methali zinazohusubidii katika mawasiliano kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii |
"atoe mifano ya methali zinazohusubidii zikitumiwa" "kupitia vyombo vya kidijitali. " " katika kukamilisha methali zinazohusu bidii" asakure mitandaoni kwa "kusaidiwa na mzazi au mlezi wake ili kupata methali zaidi zinazohusu bidii na matumizi ya methali hizo." |
Je, ni nini
"umuhimu wa methali
katika jamii?"
|
tapurekoda
tarakilishi methali KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 63-64 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 63-65 |
Kumakinikia
"jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Mijadala
Mazungumzo"
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma
|
"Kusoma kwa
ufahamu: Lugha"
"katika
ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vina na mizani katika shairi ili kuvibainisha kueleza mambo yanayotofautisha shairi na maandishi mengine Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti. |
Mwanafunzi:
Atambue vina na mizani katika "shairi lililochapisha au la mtandaoni Ajadili vina na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au katika kikundi" Ashirikiane na mwenzake "kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe" Asikilize shairi likisomwa kwa "mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake ashirikiane na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo" |
Je, ni nini
kinachotofautisha"
"mashairi na
maandishi mengine?"
|
Mgeni mwalikwa
Chati KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 64-66 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 66-67 |
Kutunga
sentensi k.m. kwa"
"kutumia
msamiati lengwa"
Kujibu
maswali k.m.
katika ufahamu
Kutoa
muhtasari wa
ufahamu au
matini
yaliyosomwa
Kukariri na
kuimba mashairi
Kusoma kwa
sauti
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
|
"Kusoma kwa ufahamu: Lugha
katika"
ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"kueleza maana ya vina,mizani na ujumbe katika shairi kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti." |
Mwanafunzi:
Atambue vina na mizani katika shairi lililochapisha au la "mtandaoni Ajadili vinaa na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au katika kikundi" ashirikiane na mwenzake "kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe" asikilize shairi likisomwa kwa "mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake" ashrikiane na wenzake kutafuta "mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo" |
Je, ni nini kinachotofautisha
mashairi na maandishi mengine?
|
"Mgeni mwalikwa
Chati" "KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 64-66 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 66-67" |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia"
"msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
Kukariri na kuimba mashairi
Kusoma kwa sauti"
|
|
| 4 | 3 |
Kuandi ka
|
"Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali kueleza mambo ya kuzingatika katika uandishi wa insha ya maelezo Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi. |
"Mwanafunzi:
atambue vifungo vya maelezo vilivyoandikwa" kwenye matini mbalimbali au tarakilishi mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini aliyoandika ili kuitolea maoni. |
. Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
Kielelezo cha insha ya maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 66-67 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 68-69 |
Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha
|
|
| 4 | 4 |
Kuandi ka
|
"Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika hoja zitakazomsaidia Kuandika insha ya maelezo kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo" c. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi. |
"Aandike isha ya maelezo
(k.v. Jinsi ninavyoweza kuchangia kukabiliana na" "umaskini nyumbani, Maskini alivyogeuka kuwa tajiri, Jinsi elimu ilivyosaidia kumaliza umaskini, jinsi matumizi bora ya pesa yanasaidia kumaliza" "umaskini, jinsi ulipaji ushuru unasaidia kukabiliana na umaskini) isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali" |
"Unazingatia nini
unapoandika insha ya"
maelezo?
|
"Kielelezo cha insha ya maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 66-67" "KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 68-69 |
"Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi"
"kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara"
"e) Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha"
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Nomino: Kutambua nomino katika Ngeli ya
U-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano. |
"Mwanafunzi:
atambue nomino katika ngeli ya ya U-ZI kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.m. UziNyuzi, Ukuta-Kuta, Uta- Nyuta, ubavu-mbavu, wakatinyakati, ukucha-kucha na ufunguo- funguo, wimbonyimbo)" |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
|
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 68-70 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 70-72 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Nomino: Kuandika umoja na wingi wa mafungu katika ngeli ya U-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya U-ZI Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano. |
"andike nomino katika ngeli
ya U-ZI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi " " za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti " " yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi" "ajaze mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-ZI" "kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi." |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
|
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 68-70 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 70-72 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U- ZI kwenye sentensi kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi kufurahia matumizi ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi:
"atambue viambishi vya ngeliya U-ZIkatika sentensi kwa" "kuvipigia mstari daftarini mwake aukuvikoleza rangi katika tarakilishi " " zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti " " nomino ya ngeli ya U-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wengine " " viambishi vya ngeli ya U-ZI kwa maandishi ya mkono au tarakilishi." |
Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi vipatanishi gani ?
|
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 71-72 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 73-75 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 1 |
MAADILi
|
Kusikiliza na
kuzungumza: Matamshi Bora: Kukariri Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
"Mwanafunzi:
akariri shairi kuhusu mada lengwa (maadili) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali ikilize shairi lengwa likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni mwalikwa (mghani) au kupitia vifaa vya kidijitali " " kukariri au kuimba shairi" kwa mahadhi mbalimbali |
Ushairi unaweza
kuboresha mazungumzo yako vipi?
|
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 75-76 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 77-79 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
|
|
| 6 | 2 |
MAADILi
|
Kusikiliza na kuzungumza: Matamshi Bora: Ushairi- kueleza Msamiati na ujumbe katika shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali Kuchangamkia ushairi Kama njia ya kujieleza Kwa ufasaha. |
"atambue msamiati
uliotumika katika ushairi kuhusu maadili (k.m. haki, usawa, heshima na uwajibikaji) na kuueleza akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake" "ashirikiane na wenzake kujadili ujumbe katika shairi" " na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri" |
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
|
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 75-76 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 77-79 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Kuchagua Makala ya kusoma
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa Makala kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha |
"Mwanafunzi:
" " atakayosoma katika maktaba e makala ya aina mbalimbali ya kujichagulia liane na wenzake kuhusu makala aliyoyasoma na alichojifunza kutokana na makala hayo amusi kupata maana za msamiati uliotumika katika makala. na mzazi au mlezi wake kupata makala zaidi na kuyasoma ili kujenga mazoea ya usomaji." |
Unapenda kusoma makala ya aina gani?
Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala uliyowahi kusoma?
|
Kamusi
Makala KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 77 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 79-81 |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
Kukariri na kuimba mashairi
Kusoma kwa sauti
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Kusoma Makala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa Makala kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha |
"Mwanafunzi:
achague makala atakayosoma katika maktaba" "achague makala ya aina mbalimbali ya kujichagulia" "ajadIliane na wenzake kuhusu makala aliyoyasoma na alichojifunza kutokana na makala hayo" atumie kamusi kupata maana "za msamiati uliotumikakatika makala." Asaidiwe na mzazi au mlezi wake kupata makala zaidi na |
Unapenda kusoma makala ya aina gani?
Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala uliyowahi kusoma?
|
Kamusi
Makala KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 77 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 79-81 kuyasoma ili kujenga mazoea ya usomaji. |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
Kukariri na
kuimba mashairi e) Kusoma kwa sauti
|
|
| 7 | 1 |
Kuandi ka
|
Kuandika Insha: Kutambua muundo wa Insha za
Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya wasifu kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika |
Mwanafunzi:atazame
nakala za insha za wasifu kwenye chapa au kwenye tarakilishi. vipengele muhimu vya kimuundo kama vile kichwa, mwili, hitimisho ajadili na wenzake kuhusu kinachoweza kuandikiwa katika insha ya wasifu (k.v. mtu, kitu, mnyama na mahali) |
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
|
"Kielelezo cha insha ya wasifu
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 77-79 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 81-83" |
"Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha"
|
|
| 7 | 2 |
Kuandi ka
|
Kuandika Insha: Kuandika Insha ya
Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika |
Ajadaili na wenzake kuhusu
"mada mbalimbali zinazoweza kutungiwa insha za wasifu k.m. mwanafunzi mwadilifu, mtu aliyeshinda tuzo kwa wadilifu wake n.k." Aandike insha ya wasifu "isiyopungua maneno 150 daftarini au kwenye tarakilishi." Awesome wenzake insha aliyoiandika ili kuitathmini |

| 7 | 3 |

| 7 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na
Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino katika ngeli ya UYA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine kutaja nomino zinazopatikana katika ngeli ya U-YA Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika mawasiliano. |
"Mwanafunzi:
"atambue nomino katika ngeli ya U-YA kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (kama vile upishi, ulezi, ugonjwa) aandike nomino katika ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi maji wa nomino za ngeli ya U-YA kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti" |
Je, ni nomino
zipi hupatikana katika ngeli ya U-YA?
|
Manyoya, kadi za maneno,
chati, picha, kifaa cha kidigitali KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 80-81 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 83-85 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuandika nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya U- YA Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika mawasiliano. |
"Mwanafunzi: askize usomaji wa nomino
za ngeli ya U-YA kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti aandike mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya UYA katika umoja na wingi ajaze mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-YA kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi" |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-YA?
|
Manyoya, kadi za maneno, chati, picha, kifaa cha kidigitali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 80-81 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 83-85 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Umoja na wingi
wa sentensi: Ngeli ya
U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo, kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U- YA kwenye sentensi kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi kufurahia matumizi ya ngeli ya U-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi:
bue viambishi vya ngeli ya U-YA katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini mwake au kuvikoleza rangi katika tarakilishi atumie nomino katika ngeli ya U-YA katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi |
Je, nomino za
ngeli ya U-YA huchukua viambishi gani katika sentensi?
|
Manyoya, kadi za maneno, chati, picha,
kifaa cha kidigitali KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 82 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 86-88 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 3 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya
U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U- YA kwenye sentensi kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi kufurahia matumizi ya ngeli ya U-YA katika mawasiliano |
"asikize usomaji wa sentensi
zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-YA kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti aunde sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya UYA akiwa peke yake au kwa kushirikiana" "na wengine ajaze mapengo kwa kutumia" "viambishi vya ngeli ya U-YA kwa maandishi ya mkono au tarakilishi" |
Je, nomino za ngeli ya U-YA huchukua viambishi gani katika sentensi?
|
Manyoya, kadi za maneno, chati, picha, kifaa cha kidigitali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 82 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 86-88 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 4 |
ELIMU YA MAZIN GIRA
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau: Nahau za usafi na mazingira
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano Kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano. |
Mwanafunzi:
usafi na mazingira (k.v. angua kucha, penga kamasi, piga deki, piga mswaki, chokonoa meno, futa vumbi) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno, chati, kamusi na katika vyombo vya kidijitali na wenzake maana za nahau za usafi na mazingira na kutoa mifano |
Je, ni nahau zipi zinahusu usafi?
Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?
|
Kifaa cha kidijitali
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 85-87 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 89-91 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
|
|
| 9 | 1 |
ELIMU YA MAZIN GIRA
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau: Nahau za usafi na mazingira
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kufafanua maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano kwa kutoa mifano kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano Kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano. |
"kutumia nahau za usafi na
mazingira kutunga sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake "ashirikiane na wenzake kujaza mapengo katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka kwenye zoezi la ubaoni, vitabuni au katika tarakilishi." |
Je, ni nahau zipi zinahusu usafi?
Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?
|
Kifaa cha kidijitali
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 85-87 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 89-91 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi
anavyotumia
"lugha katika
mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha"
|
|
| 9 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa
Mapana: Kutambua Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba Kueleza njia za kupata matini ya kusoma kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma |
"Mwanafunzi:
atambue aina mbalimbali ya matini (kama vile vitabu, magazeti, na majarida) kwenye maktaba, tarakilishi au kadi za katalogi. asome matini achague matini atakayosoma kimyakimya ili kupata ujumbe uliopo na kufaidi matumizi ya lugha. kutokana na matini alizosoma kwa wenzake. a wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao." |
Unapenda kusoma
matini ya aina gani?
Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?
|
Magazeti
Majarida Vitabu mbalimbali KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 85-87 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 89-91 |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
Kukariri na kuimba mashairi
Kusoma kwa sauti
|
|
| 9 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Kusoma Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma |
"Mwanafunzi:
atambue aina mbalimbali za matini (kama vile vitabu, magazeti, na majarida) kwenye maktaba, tarakilishi au kadi za katalogi. "achangue matini atakayosoma "Asome matini kimyakimyaili kupata ujumbe uliopo na" kufaidi matumizi ya lugha. Asimulie ujumbe kutokanana "matini alizosoma kwa wenzake." Ajadiliane na wenzake matini "alizosoma ili kuchocheahamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao." |
Unapenda kusoma matini ya aina gani?

Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa kwa sauti
|
|
| 9 | 4 |

| 10 | 1 |
Kuandi ka
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali kueleza muundi wa insha ya maelezo kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora |
Mwanafunzi:
e vifungu vya insha za maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi (k.v. maelezo kuhusu upandaji wa miche, kusafisha darasa, kufua nguo, kuzuia mmomonyoko wa udongo, kupanda miti) zake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo |
Je, ni shughuli
gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo?
|
Kielelezo cha insha ya Maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 89-90 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 94-96 |
Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha
|
|
| 10 | 2 |
Kuandi ka
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora |
"aandike isha ya maelezo
isiyopungua maneno 150 akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali "atunge insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini" Atunde insha ya maelezo na awasoasomee wenzake insha "aliyoandika ili kuisikiliza na kuitathmini" |
Je, ni shughuli gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo?
|
Kielelezo cha insha ya Maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 89-90 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 94-96 |
Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha
|
|
| 10 | 3 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya
KU-KU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino katika ngeli ya KU-KU kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KUKU katika mawasiliano |
Mwanafunzi:
Atambue nomino katika ngeliya KU-KU (kama vile kupika, kufyeka, kuzuru, kukariri, kufua) kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno Aandike nomino katika ngeliya KU-KU katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya KU-KU?
|
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 91-95 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 96-99 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya
KU-KU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli yaKU- KU kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KUKU katika mawasiliano |
"asikize usomaji wa nomino
za ngeli ya KU-KU kutoka kwenye tepurekoda au kinasa" "sauti aandike mafungu ya maneno" yenye nomino za ngeli ya KU- KU katika umoja na wingi "Ajaze mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya KU-KU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi." |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya KU-KU?
|
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 91-95 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 96-99 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya
KU-KU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KUKU kwenye sentensi kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano |
"Mwanafunzi:
atambue viambishi vya ngeli ya KU-KU katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi atumie nomino za ngeli ya KU-KU katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi " " zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya KU-KU kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti" |
Je, nomino za
ngeli ya KU-KU huchukua viambishi gani katika sentensi?
|
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 94-95 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 99-102 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
|
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya
KU-KU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KUKU kwenye sentensi kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano |
"aunde sentensi kwa kutumia
nomino ya ngeli ya KUKU akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake "ajaze mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya KU-KU kwa maandishi ya mkono au tarakilishi." |
Je, nomino za ngeli ya KU-KU huchukua viambishi gani katika sentensi?
|
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 94-95 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 99-102 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 3 |
NDEGE WA PORINI
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe: Visawe vya maneno matatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano kuthamini matumizi ya maneno matatu yenye maana sawa katika mawasiliano |
"Mwanafunzi:Atambue maneno
matatu yenye maana sawa (k.v. nyumbani- kiamboni, mastakimuni, chengoni. Barabara- tariki, gurufa, baraste. Jitimaihuzuni, kihoro, simanzi) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti maneno, kuburura kwa kutumia tarakilishi, n.k. " " matatu yenye maana sawa akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake" |
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
|
picha ya visawe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 97-99 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 103-105 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Mijadala
Mazungumzo
|
|
| 11 | 4 |
NDEGE WA PORINI
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe: Visawe vya maneno matatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano kuthamini matumizi ya maneno matatu yenye maana sawa katika mawasiliano |
kuambatanisha maneno
matatu yenye maana sawa katika kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno n.k a vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au katika vyombo vya kidijitali n.k. ashiriki kujadili visawe mbalimbali katika vikundi vya wanafunzi wawiliwawili au zaidi oja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi. |
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
|
picha ya
visawe "KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 97-99 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 103-105" |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Mijadala
Mazungumzo
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kutambua Mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua mchezo wa kuigiza katika matini kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza Kufurahia kusoma michezo na kuigiza. |
"Mwanafunzi:aeleze
maana ya mchezo wa kuigiza akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi mchezo wa kuigiza, wahusika na maelekezo katika matini mbalimbali kama vile vitabu, chati na vilevile kwa kutumia tarakilishi mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe "ashiriki katika majadiliano kuhusu msamiati wa suala lengwa (ndege wa porini) uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza (k.v. chiriku, kasuku, tai, korongo, mwewe na kanga)" |
Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?
Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?
Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
|
Magazeti
Majarida Vitu mbalimbali KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 99-101 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.105-107 |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
Kukariri na kuimba mashairi
Kusoma kwa sauti
|
|
| 12 | 2 |

| 12 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kusoma Mchezo wa
kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali kufafanua umuhimu wa mchezo wa kuigiza Kufurahia kusoma michezo na kuigiza. |
"tazame mchezo mfupi wa kuigiza ukiigizwa darasani au kwenye vifaa vya kidijitali
aigize mchezo mfupi aliousoma akishirikiana na wenzake ashiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza chezo wa kuigiza kwenye mtandao tika kutoa muhtasari wa mchezo aliousoma " " ya ufahamu" |
Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?
Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?
Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
|
Magazeti
Majarida Vitu mbalimbali KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 99-101 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.105-107 |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
|
|
| 12 | 4 |
Kusoma
|
Kuigiza mchezo mfupi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza Kufurahia kusoma michezo na kuigiza. |
"tazame mchezo mfupi wa kuigiza ukiigizwa darasani au kwenye vifaa vya kidijitali
aigize mchezo mfupi aliousoma akishirikiana na wenzake ashiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza" "chezo wa kuigiza kwenye mtandao tika kutoa muhtasari wa mchezo aliousoma "kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu" |
Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?
Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?
Kusoma michezo
ya kuigiza kuna umuhimu gani?
|
"Magazeti
Majarida Vitu mbalimbali KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 99-101" KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.105-107 |
"Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu"
c) Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
|
Your Name Comes Here