If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
SAA NA MAJIRA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano - Kutumia maneno ya heshima yanayohusiana na udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku - Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maneno ya udugu kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu - Kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi - Kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya udugu kwenye tarakilishi na video - Kujadili matumizi ya maneno ya udugu akishirikiana na wenzake darasani |
Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 65
Picha Chati ya maneno ya udugu Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 69 Tarakilishi/vipakatalishi Mwongozo wa usalama mtandaoni |
Kutambua maneno ya udugu
Kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika sentensi
Kujaza nafasi kwa kutumia maneno ya udugu
Igizo la mazungumzo linalotumia maneno ya udugu ipasavyo
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli I-ZI
Baruapepe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi - Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v. nguo- nguo, ndizi- ndizi, ndoo-ndoo na nyumba-nyumba) - Kuandika nomino katika ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi - Kusikiliza za usomaji wa nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti - Kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi |
Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 73
Kadi maneno Tarakilishi/vifaa vya kidijitali Chati ya ngeli ya I-ZI Miti maneno Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71 Vielelezo vya baruapepe Tarakilishi/vipakatalishi Kielelezo cha muundo wa baruapepe |
Kutambua nomino za ngeli ya I-ZI
Kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
Kupigia mstari nomino za ngeli ya I-ZI katika vifungu
Kufanya mazoezi ya kuandika mafungu ya maneno katika umoja na wingi
|
|
| 2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano - Kutumia maneno ya heshima yanayohusiana na udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku - Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake matumizi ya maneno ya udugu kama vile bwana, bibi, ndugu, binti, mama, mama mkubwa/mdogo, mjomba - Kuigiza mazungumzo mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa udugu - Kuambatanisha maneno ya udugu na maana zake - Kutunga sentensi akitumia maneno ya udugu na kuzisoma kwa wenzake - Kutamka kwa usahihi maneno ya udugu |
Je, unaweza kuwatambua ndugu zako kwa kutumia maneno gani?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 67
Kadi maneno Chati ya maneno ya udugu na vyeo Picha za familia Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71 Vifaa vya kidijitali Kamusi ya mtandaoni Chati ya msamiati wa majira ya siku |
Kutunga sentensi zenye maneno ya udugu
Kutoa mifano ya matumizi ya maneno ya udugu
Igizo la mazungumzo linalotumia maneno ya udugu ipasavyo
Tathmini ya maigizo ya wenzake
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viambishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini au kuvikoleza rangi katika tarakilishi - Kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi - Kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti - Kuunda sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya I-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake |
Je, utajuaje viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI kwenye sentensi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 74
Vifaa vya kidijitali Orodha ya nomino za ngeli ya I-ZI Mifano ya sentensi zenye nomino za ngeli ya I-ZI |
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi
Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya I-ZI
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya I-ZI kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi
Kufanyiana tathmini ya sentensi
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Baruapepe
Methali: Methali Zinazohusu Bidii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake - Kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo - Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika baruapepe kwa rafiki, mzazi, mwalimu n.k akishirikiana na wenzake darasani, kwa kutumia tarakilishi akizingatia muundo wa uandishi wa baruapepe - Kushirikiana na wenzake kujadili mada ya baruapepe na vipengele vyake/yale yanayofaa kujumuishwa - Kuandika baruapepe kwa kuzingatia ubora wa sentensi (sahihi kisarufi, zilizokamilika kimaana, zenye kufuatana kwa kujenga wazo na zenye kuzingatia uakifishi mzuri) kuunda aya - Kutuma baruapepe aliyoiandika kwa mpokeaji |
Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 72
Vifaa vya kidijitali Kielelezo cha baruapepe iliyokamilika Mwongozo wa kuandika baruapepe Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 78 Chati ya methali Orodha ya methali zinazohusu bidii |
Kuandika baruapepe yenye anwanipepe ya mtumaji na mpokeaji, mada, mtajo, mwili, hitimisho na jina la mwandishi
Kutuma baruapepe kwa mwalimu au mpokeaji
Kufanya tathmini ya baruapepe za wenzake
|
|
| 3 | 2 |
KUKABILIANA NA UMASKINI
Kusoma |
Kusoma kwa Ufahamu: Shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mizani na vina katika shairi ili kuvibainisha - Kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu - Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vina na mizani katika shairi lililochapisha au la mtandaoni - Kujadili vina na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au katika kikundi - Kushirikiana na mwenzake kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe - Kusikiliza shairi likisomwa kwa mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake |
Je, ni nini kinachotofautisha mashairi na maandishi mengine?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 82
Mashairi mbalimbali Vifaa vya kidijitali Chati yenye mifano ya vina na mizani |
Kutambua vina na mizani katika shairi
Kusoma shairi kwa kuzingatia vina na mizani
Kupigia mistari vina vya kati na vya mwisho
Kueleza idadi ya mizani katika shairi
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI ili kuzibainisha - Kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi - Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya U-ZI - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.m. uzi- nyuzi, ukuta-kuta, uta- nyuta, ubavu- mbavu, wakati-nyakati, ukucha-kucha na ufunguo-funguo, wimbo-nyimbo) - Kuandika nomino katika ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akiwa na wenzake - Kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 87
Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Chati ya nomino za ngeli ya U-ZI |
Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI
Kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
Kupigia mstari nomino za ngeli ya U-ZI katika kifungu
Kuorodhesha mifano ya nomino za ngeli ya U-ZI
|
|
| 3 | 4 |

| 4 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi - Kushirikiana na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya maelezo - Kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha - Kutambua mada ya insha mliyosoma - Kujadili muundo wa insha hiyo |
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 85
Vielelezo vya insha za maelezo Vifaa vya kidijitali Kielelezo cha muundo wa insha |
Kutambua vipengele vya insha ya maelezo
Kueleza sifa za insha ya maelezo
Kuorodhesha mambo muhimu ya kuzingatia katika insha ya maelezo
Kutofautisha insha ya maelezo na aina nyingine za insha
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Methali: Methali Zinazohusu Bidii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua methali zinazohusu bidii ili kuzitofautisha na aina zingine za methali - Kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii - Kutumia methali zinazohusu bidii katika mawasiliano - Kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake katika kukamilisha methali zinazohusu bidii - Kusakura mtandaoni kwa kusaidiwa na mzazi au mlezi wake ili kupata methali zaidi zinazohusu bidii na matumizi ya methali hizo - Kutunga sentensi akitumia methali zinazohusu bidii - Kutumia kamusi ya methali kueleza maana za methali mbalimbali zinazohusu bidii |
Kutumia methali zinazohusu bidii kuna umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 80
Kamusi ya methali Vifaa vya kidijitali Chati ya methali na maana zake |
Kueleza maana za methali zinazohusu bidii
Kutunga sentensi zenye methali zinazohusu bidii
Kutumia methali kukamilisha kifungu
Kuandika kifungu kifupi ukitumia methali za bidii
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mizani na vina katika shairi ili kuvibainisha - Kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu - Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo - Kusoma shairi "Tumeshinda Uchochole" akizingatia vina, mizani na ujumbe - Kuandika ujumbe unaojitokeza katika shairi "Tumeshinda Uchochole" - Kujibu maswali kuhusu vina, mizani na ujumbe wa shairi |
Ujumbe gani unaweza kutolewa kupitia ushairi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 84
Shairi la "Tumeshinda Uchochole" Vifaa vya kidijitali Mashairi mbalimbali |
Kusoma shairi kwa kuzingatia vina na mizani
Kujibu maswali kuhusu shairi
Kueleza ujumbe unaojitokeza katika shairi
Kufanya tathmini ya idadi ya mizani katika beti
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kufurahia matumizi ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viambishi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini mwake au kuvikoleza rangi katika tarakilishi - Kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti - Kuunda sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya U-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake - Kujaza nafasi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-ZI |
Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi gani katika sentensi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 91
Vifaa vya kidijitali Chati ya viambishi vya ngeli ya U-ZI Kadi za sentensi |
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI
Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya U-ZI
Kutunga sentensi zenye viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI
Kufanyiana tathmini ya sentensi
|
|
| 5 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali - Kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili kuitolea maoni |
Ni mambo gani unazingatia ili kuandika insha ya maelezo ya kuvutia?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 86
Vifaa vya kidijitali Orodha hakiki ya mambo ya kuzingatia katika insha ya maelezo |
Kuandika insha ya maelezo ifaayo
Kutumia methali na nahau katika insha
Kusahihisha makosa katika insha
Kutathmini insha za wenzake
|
|
| 5 | 2 |
MAADILI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano - Kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukariri shairi kuhusu mada lengwa (maadili) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali - Kusikiliza shairi lengwa likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni mwalikwa (mghani) au kupitia vifaa vya kidijitali - Kushirikiana na wenzake kukariri au kuimba shairi kwa mahadhi mbalimbali - Kutambua msamiati uliotumika katika ushairi kuhusu maadili (k.m. haki, usawa, heshima na uwajibikaji) na kuueleza akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake |
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 94
Chati ya shairi la "Nawajibika" Vifaa vya kidijitali Kamusi |
Kukariri shairi kwa kuzingatia mahadhi
Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi
Kujibu maswali kuhusu ujumbe wa shairi
Kutumia msamiati wa shairi kutunga sentensi
|
|
| 5 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Makala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa makala - Kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua makala mbalimbali kuhusu maadili - Chagueni makala yanayowavutia miongoni mwa yale mliyotambua - Someni makala mliyochagua - Jadilini mmejifunza nini kutokana na makala hayo |
Je, unafaa kuzingatia nini unapojichagulia makala ya kusoma?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 96
Makala mbalimbali Vifaa vya kidijitali Kamusi |
Kutambua makala ya kusoma
Kueleza ujumbe wa makala
Kutambua msamiati muhimu katika makala
Kutoa muhtasari wa makala
|
|
| 5 | 4 |

| 6 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya U-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuandika nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi - Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya U-YA - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi u- katika umoja na zinazoanza kwa ma- katika wingi - Kutambua nomino katika ngeli ya U-YA kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu la maneno au kifaa cha kidijitali - Kupiga mstari viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-YA katika sentensi - Kujaza nafasi kwa viambishi vifaavyo vya ngeli ya U-YA |
Je, nomino za ngeli ya U-YA huchukua viambishi gani katika sentensi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 100
Kadi maneno Chati ya nomino za ngeli ya U-YA Picha zenye nomino za ngeli ya U-YA |
Kutambua nomino za ngeli ya U-YA
Kuandika nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-YA
Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya U-YA
|
|
| 6 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao - Kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi - Jadilini sehemu mbalimbali za insha ya wasifu vifuatavyo kwenye insha mliyosoma: kichwa, utangulizi, mwili na hitimisho - Jikiteni jinsi mada yenyewe, utangulizi, mwili na hitimisho vinaweza kumwelezea mtu, kitu, mnyama au mahali |
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 98
Insha za wasifu Vifaa vya kidijitali Mchoro wa muundo wa insha ya wasifu |
Kutambua vipengele vya muundo vya insha ya wasifu
Kuchora mchoro wa muundo wa insha ya wasifu
Kueleza vipengele vinavyojenga insha ya wasifu
Kutofautisha insha ya wasifu na aina nyingine za insha
|
|
| 6 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano - Kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kujadili ujumbe katika shairi - Kujibu maswali yanayotokana na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati alioujifunza kutoka kwa shairi - Kukariri shairi mbele ya darasa akizingatia matamshi bora na mahadhi |
Je, shairi linalohusiana na maadili lina umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 95
Mashairi mbalimbali Vifaa vya kidijitali Uchati wa msamiati wa maadili |
Kukariri shairi kwa usahihi
Kutambua ujumbe katika shairi
Kutumia msamiati wa shairi katika sentensi
Kufanya tathmini ya shairi zilizokaririwa
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Makala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa makala - Kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tambua maneno usiyojua maana zake katika makala mliyosoma - Tumia kamusi kueleza maana za msamiati huo - Wasilisha kazi yako kwa mwalimu na wenzako - Waombe wakutolee maoni |
Unapenda kusoma makala ya aina gani?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 97
Kamusi Makala mbalimbali Vifaa vya kidijitali |
Kutambua msamiati katika makala
Kueleza maana ya msamiati kwa kutumia kamusi
Kutoa maoni kuhusu ujumbe wa makala
Kutumia msamiati katika sentensi
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-YA kwenye sentensi - Kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi kwenye sentensi - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tunga sentensi ukitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja - Andika sentensi ulizotunga katika wingi - Wasomee wenzako sentensi ulizotunga - Waombe wakutolee maoni - Chagua jibu sahihi kujazia kila nafasi kwa viambishi vya ngeli ya U-YA |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-YA?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 101
Chati ya viambishi vya ngeli ya U-YA Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya U-YA
Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya U-YA
Kuandika sentensi katika umoja na wingi
Kufanyiana tathmini ya sentensi
|
|
| 7 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao - Kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua mada ya kutungia insha ya wasifu - Jadili kuhusu mada uliyochagua na wenzako darasani - Andaa vidokezo ambavyo vitakuongoza kuandika insha ya wasifu kuhusu mada uliyochagua - Andika insha ya wasifu kwa kuzingatia vidokezo ulivyoandaa |
Je, ni mada gani zinafaa kuandikiwa insha ya wasifu?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 99
Vifaa vya kidijitali Orodha ya vipengele vya insha ya wasifu Miongozo ya kuandika insha ya wasifu |
Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo ufaao
Kutumia lugha ya kiubunifu kuandika insha
Kusahihisha makosa katika insha
Kutoa tathmini ya insha za wenzake
|
|
| 7 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Nahau: Nahau za Usafi na Mazingira
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali - kufafanua maana za nahau mbalimbali za usafi na mazingira kwa kutoa mifano - kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano - kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua nahau za usafi na mazingira (k.v. angua kucha, penga kamasi, piga deki, piga sulu, piga mswaki, enda msalani) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno au katika vyombo vya kidijitali - kujadiliana na wenzake maana za nahau za usafi na mazingira na kutoa mifano - kutumia nahau za usafi na mazingira kutunga sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake - kushirikiana na wenzake kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka |
1. Je, ni nahau zipi zinahusu usafi?
2. Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 104
Picha za nahau mbalimbali Kadi za maneno Chati ya nahau |
Kutambua nahau za usafi na mazingira
Kueleza maana za nahau
Kutunga sentensi zenye nahau
Kujaza nafasi kwa kutumia nahau
|
|
| 7 | 4 |
ELIMU YA MAZINGIRA
Kusoma Kusoma |
Kusoma kwa Mapana: Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba - kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa - kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua aina mbalimbali za matini (kama vile vitabu, magazeti, na majarida) kwenye maktaba, tarakilishi au kadi za katalogi - kutazama picha za matini mbalimbali na kujadili kuhusu aina za matini - kujadili kuhusu nini kinachoonekana kwenye picha za matini mbalimbali - kutambua matini ya kujisomea maktabani au mtandaoni - kutambua matini inayomvutia kuisoma |
1. Unapenda kusoma matini ya aina gani?
2. Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
3. Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 107
Picha za matini mbalimbali Vitabu, magazeti na majarida Vifaa vya kidijitali Matini mbalimbali Maktaba |
Kutambua aina mbalimbali za matini
Kusoma matini aliyochagua
Kueleza aina za matini
Kujibu maswali kuhusu matini
|
|
| 8 |
Midterm |
||||||||
| 9 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya KU-KU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino katika ngeli ya KU-KU - kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi - kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya KU-KU - kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KU-KU katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha za vitendo mbalimbali na kujadili viambishi vya ngeli ya KU-KU - kusoma sentensi zilizo chini ya picha na kuangalia herufi za rangi nyekundu katika umoja na wingi - kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU kwenye sentensi - kupigia mstari viambishi vya ngeli ya KU-KU kwenye sentensi - kujaza nafasi kwa viambishi cha ngeli ya KU-KU kwa usahihi |
1. Je, nomino zipi hupatikana katika ngeli ya KU-KU?
2. Je, nomino za ngeli ya KU-KU huchukua viambishi gani katika sentensi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 112
Picha za vitendo Sentensi zilizo na nomino za ngeli ya KU-KU Orodha ya nomino za ngeli ya KU-KU Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 113 Mti maneno Jedwali la kuundika nomino za ngeli ya KU-KU Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya ngeli ya KU-KU
Kupigia mstari viambishi vya ngeli ya KU-KU
Kujaza pengo kwa viambishi vya ngeli ya KU-KU
Kutumia viambishi vya ngeli ya KU-KU
|
|
| 9 | 2 |
Kuandika
|
Kuandika Insha: Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali - kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao - kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma insha ya maelezo kuhusu jinsi ya kuhifadhi mazingira - kujadili muundo wa insha ya maelezo - kutambua utangulizi, mwili na hitimisho wa insha ya maelezo - kutambua sifa za insha ya maelezo - kueleza ujumbe wa insha hiyo - kujifunza mambo muhimu yanayofaa kuzingatiwa katika kuandika insha ya maelezo |
1. Je, ni shughuli gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo?
2. Unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya maelezo?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 109
Matini ya insha ya maelezo Mifano ya insha za maelezo Chati ya muundo wa insha |
Kutambua insha ya maelezo
Kutambua sehemu za insha ya maelezo
Kutaja sifa za insha ya maelezo
Kueleza ujumbe wa insha
|
|
| 9 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Nahau: Nahau za Usafi na Mazingira
Kusoma kwa Mapana: Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali - kufafanua maana za nahau mbalimbali za usafi na mazingira kwa kutoa mifano - kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano - kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuchagua nahau za usafi na mazingira kwenye orodha (k.v. enda haja, piga chafya, onea kijicho, paka tope, piga milundi, enda mrama, changa bia, piga mswaki, futa vumbi, piga sulu) - kueleza maana za nahau alizochagua - kuambatanisha nahau ya usafi na mazingira na maana yake kwa usahihi - kupigia mstari nahau za usafi na mazingira kwenye sentensi - kutunga sentensi kutokana na picha zinazoonyesha nahau za usafi na mazingira |
1. Je, watu hufanya nini kulinda mazingira?
2. Je, ni nini umuhimu wa kutumia nahau katika lugha?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 105
Orodha ya nahau Picha zinazoonyesha nahau mbalimbali Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 108 Matini mbalimbali Daftari za wanafunzi |
Kutambua nahau za usafi na mazingira katika sentensi
Kueleza maana za nahau
Kutunga sentensi zenye nahau za usafi na mazingira
Kuambatanisha nahau na maana zake
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya KU-KU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU kwenye sentensi - kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua viambishi vya ngeli ya KU-KU katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi - kutumia nomino za ngeli ya KU-KU katika sentensi akiwa na wenzake - kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya KU-KU - kuunda sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya KU-KU - kujaza nafasi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya KU-KU |
1. Je, viambishi vya ngeli ya KU-KU hutumiwa vipi katika sentensi?
2. Kwa nini ni muhimu kujua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 115
Sentensi zenye viambishi vya ngeli ya KU-KU Vifaa vya kidijitali Tepurekoda au kinasasauti |
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU
Kuunda sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU
Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya KU-KU
Kutofautisha umoja na wingi wa ngeli ya KU-KU
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya KU-KU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU kwenye sentensi - kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusikiliza sentensi zikisomwa katika kiungo kilichotolewa - kutambua nomino za ngeli ya KU-KU kwenye sentensi alizosikiliza - kutumia kiambishi cha ngeli ya KU-KU kujaza kila nafasi kwa usahihi - kuandika nomino tano za ngeli ya KU-KU - kuchagua nomino ya ngeli ya KU-KU kwenye orodha iliyotolewa kujazia kila pengo - kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU |
1. Je, kuna nomino gani nyingine za ngeli ya KU-KU ambazo hujazitaja bado?
2. Je, ni viambishi gani vya ngeli ya KU-KU hutumika katika umoja na wingi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 116
Kiungo cha sauti: Orodha ya nomino za ngeli ya KU-KU Sentensi zenye nafasi za kujaza |
Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya KU-KU
Kutambua nomino za ngeli ya KU-KU
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU
Kufafanua matumizi ya viambishi vya ngeli ya KU-KU
|
|
| 10 | 2 |
Kuandika
|
Kuandika Insha: Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali - kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao - kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kujadili mada mbalimbali kuhusu mazingira zinazoweza kuandikiwa insha ya maelezo - kuchagua mada kati ya zile zilizojadiliwa - kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha hiyo - kuandika insha isiyopungua maneno 150 kuhusu mada aliyoichagua - kusoma insha aliyoandika kwa wenzake ili waitolee maoni - kurekebisha insha kulingana na maoni ya wenzake - kuhifadhi insha hiyo katika potifolio |
1. Je, ni vipengele gani muhimu vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
2. Kwa nini ni muhimu kutunza mazingira?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 111
Daftari la mwanafunzi Mifano ya insha za maelezo Vidokezo vya kuandaa insha |
Kuandika insha ya maelezo
Kuzingatia sifa za insha ya maelezo
Kutumia vidokezo kuandika insha
Kuwasilisha insha
Kurekebisha insha
|
|
| 10 | 3 |
NDEGE WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini - kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano - kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua maneno matatu yenye maana sawa (k.v. nyumbani, mastakimu, chengo; barabara, tariki, baraste; jitimai, huzuni, simanzi) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti maneno au kuburura kwa kutumia tarakilishi - kueleza maana ya maneno matatu yenye maana sawa akiwa na wenzake - kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa kutoka kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno - kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au vyombo vya kidijitali - kujadili visawe mbalimbali katika vikundi |
Unajua maneno gani yenye maana sawa?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 118
Picha za ndege wa porini Kadi za maneno Kapu la maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua maneno matatu yenye maana sawa
Kueleza maana ya visawe
Kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa
Kutunga sentensi kwa kutumia visawe
|
|
| 10 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini - kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha - kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza - kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali - kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza - kufurahia kusoma michezo na kuigiza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu ndege wa porini "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO" - kueleza maana ya mchezo wa kuigiza - kujadili ujumbe wa mchezo wa kuigiza - kutaja wahusika watano waliotajwa kwenye mchezo wa kuigiza - kuonyesha maelekezo yaliyotumika katika mchezo wa kuigiza - kujadili maana za maneno kama yalivyotumika katika mchezo wa kuigiza - kuigiza mchezo uliosomwa |
1. Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?
2. Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?
3. Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 121
Mchezo wa kuigiza "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO" Orodha ya wahusika Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mchezo wa kuigiza
Kutaja wahusika kwenye mchezo wa kuigiza
Kueleza maana ya maneno
Kujibu maswali kutoka kwa mchezo wa kuigiza
Kuigiza mchezo wa kuigiza
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini - kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha - kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza - kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali - kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza - kufurahia kusoma michezo na kuigiza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kueleza maana za maneno kama vile 'mwewe', 'mbuni', 'chiriku', 'kasuku' na 'kukuziwa' jinsi yalivyotumika katika mchezo wa kuigiza - kuandika ujumbe wa mchezo wa kuigiza kwa ufupi - kuwasilisha muhtasari wa mchezo wa kuigiza kwa wenzake ili wautolee maoni - kuigiza mchezo wa kuigiza kwa kuhakikisha wametilia mkazo maelekezo yaliyotolewa - kusoma video ya mchezo wa kuigiza katika mtandao salama - kujadili maelekezo yaliyotumiwa kwenye mchezo huo |
1. Je, ujumbe wa mchezo wa kuigiza "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO" ni upi?
2. Ni matatizo gani yanayowakumba ndege wa porini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 123
Mchezo wa kuigiza ulioandikwa Video za mchezo wa kuigiza Kamusi ya Kiswahili |
Kueleza maana ya maneno
Kuandika muhtasari wa mchezo wa kuigiza
Kuigiza mchezo wa kuigiza kwa kuzingatia maelekezo
Kujadili ujumbe wa mchezo wa kuigiza
|
|
| 11 | 2 |

| 11 | 3 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendewa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa katika matini ili kuvitofautisha - kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa ipasavyo anapowasiliana - kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo vinavyofanyiwa watu (k.v. somewa, pewa, bebewa, ombewa) - kujadili vitendo vinavyofanyiwa wahusika katika picha - kueleza kuwa vitenzi somewa, pewa, bebewa na ombewa viko katika kauli ya kutendewa - kutambua vitenzi katika kauli ya kutendewa kwenye orodha ya vitenzi (chorewa, limia, pikiwa, imbia, andikiwa) - kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendewa kwenye sentensi - kuchagua sentensi zilizotumia vitenzi katika kauli ya kutendewa |
Je, vitenzi vinabadilika vipi vikiongezewa viambishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 128
Picha zinazoonyesha watu wakifanyiwa vitendo Orodha ya vitenzi Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa |
Kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa
Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendewa
Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa
Kueleza maana ya kauli ya kutendewa
|
|
| 11 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendewa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa katika matini ili kuvitofautisha - kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa ipasavyo anapowasiliana - kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuambatanisha vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa (anda - andikiwa, zima - zimiwa) - kutaja vitenzi vingine vitano vilivyo katika kauli ya kutendewa - kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa (pima - pimiwa, cheza - chezewa) - kutunga sentensi katika kauli ya kutendewa akitumia vitenzi mbalimbali - kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitolee maoni |
1. Je, unaweza kutaja vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendewa?
2. Kauli ya kutendewa inatusaidiaje katika kuwasiliana?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 129
Jedwali la vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa Daftari la mwanafunzi |
Kuambatanisha vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa
Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa
Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa
Kuwasomea wenzake sentensi
|
|
| 12 | 1 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vitenzi katika hali ya kutendeka katika matini ili kuvitofautisha - kutumia vitenzi katika hali ya kutendeka ipasavyo anapowasiliana - kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendeka katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo (futika, funguka, shoneka, limika) - kujadili kinachofanyika kwenye picha hizo - kusoma vitenzi kwenye picha hizo - kueleza kwamba vitenzi hivyo viko katika kauli ya kutendeka - kutaja vitenzi vitano vingine katika kauli ya kutendeka - kuchagua vitenzi katika kauli ya kutendeka kwenye chati - kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendeka kwenye sentensi - kuchagua sentensi zilizo na vitenzi katika kauli ya kutendeka |
Je, ni vitenzi vipi viko kwenye kauli ya kutendeka?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 130
Picha zinazoonyesha vitendo katika kauli ya kutendeka Chati ya vitenzi Sentensi zenye vitenzi vya kauli ya kutendeka |
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendeka
Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendeka
Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendeka
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza sifa za insha ya masimulizi ili kuibainisha - kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo - kuchangamkia utunzi mzuri |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma insha ya masimulizi kuhusu "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE" - kutambua sifa za insha ya masimulizi - kupambanua sehemu za insha hiyo (mada, utangulizi, mwili, hitimisho) - kujadili maudhui ya insha hiyo - kuandika vidokezo vya insha tofauti ya masimulizi kuhusu ndege wa porini - kujadiliana na wenzake kuhusu vidokezo hivyo |
Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 126
Insha ya masimulizi "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE" Chati ya sifa za insha ya masimulizi Daftari la mwanafunzi |
Kutambua sifa za insha ya masimulizi
Kupambanua sehemu za insha ya masimulizi (mada, utangulizi, mwili, hitimisho)
Kueleza maudhui ya insha ya masimulizi
Kuandika vidokezo vya insha ya masimulizi
|
|
| 12 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini - kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano - kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuchagua kundi la maneno lenye visawe pekee (k.v. kandanda, kabumbu, soka) - kueleza maana ya maneno aliyochagua - kutaja visawe vingine vitatu anavyojua - kushiriki katika mchezo ambapo mmoja anataja neno na mwingine anataja visawe viwili vya neno hilo - kuambatanisha kila neno na visawe vyake kwenye jedwali - kutamka sentensi upya kwa kutumia visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari |
1. Je, mtu anaweza kutumia visawe wapi?
2. Kwa nini visawe ni muhimu katika lugha?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 119
Kadi za visawe Jedwali la kuambatanisha maneno na visawe Sentensi zenye maneno yaliyopigiwa mstari |
Kuchagua maneno yenye visawe
Kutaja visawe vya maneno
Kuambatanisha maneno na visawe vyake
Kutumia visawe katika sentensi
|
|
| 12 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini - kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha - kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza - kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali - kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza - kufurahia kusoma michezo na kuigiza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutafuta video ya mchezo wa kuigiza katika mtandao salama - kutaja wahusika katika mchezo huo wa kuigiza - kueleza maelekezo yaliyotumiwa katika mchezo huo wa kuigiza - kuandika ujumbe wa mchezo huo wa kuigiza kwa ufupi - kusomea wenzake ujumbe huo ili wautolee maoni - kuendelea kufanya mazoezi ya kuigiza mchezo alichosoma kwa kutumia maelekezo yafaayo |
1. Kwa nini maelekezo ni muhimu katika mchezo wa kuigiza?
2. Ni maelekezo gani yaliyotumiwa katika mchezo wa kuigiza uliotazama?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 125
Video ya mchezo wa kuigiza Kifaa cha kidijitali cha kutazama video Mtandao salama |
Kutaja wahusika katika mchezo wa kuigiza
Kueleza maelekezo katika mchezo wa kuigiza
Kuandika ujumbe wa mchezo wa kuigiza
Kuigiza mchezo kwa kuzingatia maelekezo
|
|
| 13 | 1 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vitenzi katika hali ya kutendana katika matini ili kuvitofautisha - kutumia vitenzi katika hali ya kutendana ipasavyo anapowasiliana - kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendana katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo (salimiana, agana) - kujadili kinachotendeka kwenye picha hizo - kusoma vitenzi kwenye picha hizo - kueleza kuwa vitenzi hivyo viko katika kauli ya kutendana - kutaja vitenzi vingine vitano katika kauli ya kutendana - kuchora duara kwenye vitenzi katika kauli ya kutendana kwenye mraba - kupigia mstari vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendana kwenye sentensi |
Kauli ya kutendana huonyesha nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 133
Picha zinazoonyesha vitendo katika kauli ya kutendana Mraba wenye vitenzi mbalimbali Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendana |
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendana
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendana
Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendana
Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendana
|
|
| 13 | 2 |

| 13 | 3 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kutendewa, Kutendeka na Kutendana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matini ili kuvitofautisha - kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasiliana - kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kubainisha kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana kwa vitenzi mbalimbali - kutumia jedwali lililopeanwa kunyambua vitenzi katika kauli tatu: kutenda, kutendewa, kutendeka na kutendana - kujaza nafasi kwa vitenzi katika kauli mwafaka - kutunga sentensi kutumia vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana - kuwasilisha kazi yake kwa mwalimu |
1. Ni tofauti gani kati ya vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana?
2. Ni kauli ipi unaipenda zaidi kati ya kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana? Kwa nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 136
Jedwali la kunyambua vitenzi katika kauli mbalimbali Sentensi zenye nafasi za kujaza Daftari la mwanafunzi |
Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana
Kujaza nafasi kwa vitenzi katika kauli mwafaka
Kutunga sentensi kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali
Kubainisha tofauti kati ya kauli mbalimbali
|
|
| 13 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza sifa za insha ya masimulizi ili kuibainisha - kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo - kuchangamkia utunzi mzuri |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuzingatia vidokezo alivyoandaa kuandika insha ya masimulizi kuhusu "Ziara ya Kuona Ndege wa Porini" - kuandika insha isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia vigezo kama vile mada, utangulizi, mwili, na hitimisho - kusoma insha aliyoandika kwa wenzake ili waisome na kuitolea maoni - kurekebisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake - kuhifadhi nakala safi ya insha hiyo katika potifolio |
Je, ni sifa zipi muhimu za insha ya masimulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 127
Vidokezo vya insha ya masimulizi Daftari la mwanafunzi Potifolio |
Kuandika insha ya masimulizi
Kuzingatia muundo wa insha ya masimulizi
Kusoma na kurekebisha insha ya masimulizi
Kuhifadhi insha katika potifolio
|
|
Your Name Comes Here