If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
USALAMA NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kufasiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza - Kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku - Kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini - Kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake - Kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini na maisha ya kila siku - Kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini |
Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako?
Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 62
Vifaa vya kidijitali Matini za sauti Kanda za sauti KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 63 Matini za mzazi/mlezi Matini ya mwalimu |
Kueleza ujumbe
Kuhusisha na maisha ya kila siku
Kujadili mafunzo
Kushiriki na mzazi/mlezi
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua - Kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia - Kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia - Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kujenga misingi ya uchambuzi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya maudhui katika fasihi - Kutambua maudhui mbalimbali katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu akiwa na mwenzake - Kujadili maudhui ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu akishirikiana na wenzake - Kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu maudhui - Kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu |
Je, tamthilia uliyowahi kusoma ilikuwa inahusu nini?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 63
Tamthilia iliyoteuliwa Matini ya mwalimu Vitabu vya fasihi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 64-65 |
Kutambua maudhui
Kujadili dhamira
Kuwasilisha uchambuzi
Kuandika maelezo mafupi
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Mdokezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua - Kubainisha aina za insha ya mdokezo - Kujadili vipengele vya insha ya mdokezo - Kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika - Kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maana ya insha ya mdokezo - Kujadili vipengele vya insha ya mdokezo atakachosimulia kutokana na mdokezo kwenye matini au kwenye kikundi - Kubainisha aina za insha ya mdokezo (kuanzia na kumalizia) kwa kujadiliana na wenzake - Kusoma kielelezo cha insha kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 66
Mifano ya insha za mdokezo Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 67 |
Kutambua aina za insha za mdokezo
Kujadili vipengele
Kusoma mifano
Kushiriki mijadala
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa na Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini - Kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vivumishi vya sifa na viashiria kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno - Kutenga vivumishi vya sifa na viashiria katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali - Kumtajia mwenzake vivumishi vya sifa na viashiria katika mazingira ya shuleni na ya nyumbani |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 68
Chati za vivumishi Kadi maneno Vifaa vya kidijitali KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 69 Matini za utafiti |
Kutambua vivumishi
Kutunga sentensi
Kutaja vivumishi mazingireni
Kufanyiana tathmini
|
|
| 3 | 1 |
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUM
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Usikilizaji Husishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi - Kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi - Kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya usikilizaji husishi akishirikiana na wenzake - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi kutoka kwenye mazungumzo mafupi, akiwa na mwenzake - Kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa kutoka kwenye vifaa vya kidijitali akizingatia na kutambua vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa |
Unaposhiriki katika usikilizaji husishi, utazingatia nini ili kufanikisha usikilizaji?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 72
Vifaa vya kidijitali Matini za mazungumzo Chati za vipengele vya usikilizaji KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 73-74 Jedwali la ukaguzi |
Kutambua vipengele vya usikilizaji husishi
Kushiriki mazungumzo
Kuigiza kikao cha utoaji nasaha
Kufanya tathmini
|
|
| 3 | 2 |
Kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua - Kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu - Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho - Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ufupisho akishirikiana na wenzake - Kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu akiwa na wenzake - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akishirikiana na wenzake - Kutambua kwenye matini andishi au ya kidijitali habari za kimsingi katika makala na kuzieleza kwa usahihi kwa kuzingatia mtazamo wa matini katika matini ya kufupishwa akishirikiana na wenzake |
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 75
Matini za kufupisha Vifaa vya kidijitali Kamusi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 76-77 Jedwali la vipengele |
Kutambua vipengele vya ufupisho
Kujadili na wenzake
Kusoma vifungu
Kutambua habari za kimsingi
|
|
| 3 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo - Kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri - Kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo - Kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake - Kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake |
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 78
Mifano ya insha za maelezo Vifaa vya kidijitali Chati za tamathali za lugha KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 79 Matini ya mwalimu |
Kutambua tamathali za lugha
Kueleza umuhimu wa tamathali
Kupigia mstari tamathali
Kujadili na wenzake
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi Vimilikishi na vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini - Kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vivumishi vimilikishi, na vya idadi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake - Kutenga vivumishi vimilikishi na vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi - Kumtajia mwenzake vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya shuleni |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 80
Chati za vivumishi Kadi maneno Vifaa vya kidijitali KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 81-82 Matini ya mwalimu |
Kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi
Kutenga vivumishi
Kutaja vivumishi mazingireni
Kujaza nafasi
|
|
| 4 | 1 |
UHALIFU WA MTANDAONI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo - Kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji - Kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake - Kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo akishirikiana na wenzake - Kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika |
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 84
Vifaa vya kidijitali Matini za uzungumzaji Chati za vipengele vya uzungumzaji KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 85 Jedwali la ukaguzi Matini ya mwalimu |
Kutambua vipengele vya uzungumzaji
Kusikiliza uzungumzaji
Kutathmini vipengele
Kushiriki uzungumzaji
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Mandhari na Ploti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua mandhari na ploti katika tamthilia - Kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha - Kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma - Kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake - Kueleza umuhimu wa mandhari katika tamthilia akishirikiana na wenzake - Kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu - Kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari - Kusoma chapisho la tamthilia au kutoka mtandaoni na kutambua mandhari yake |
Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 86
Tamthilia iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 87 |
Kutambua mandhari
Kueleza umuhimu wa mandhari
Kuandika maelezo mafupi
Kuwasilisha uchambuzi
|
|
| 4 | 3 |
Kuandika
|
Viakifishi - Alama za Mtajo na Mshazari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini - Kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali - Kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo - Kuandika kwenye kifaa cha kidijitali kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakitolee maoni |
Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 88
Matini zenye alama za mtajo Vifaa vya kidijitali Mifano ya matumizi ya mshazari KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 89 Matini za kusahihisha Vitabu vya ziada |
Kutambua alama za mtajo na mshazari
Kuandika sentensi na vifungu
Kusambaza mtandaoni
Kutoa na kupokea maoni
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - I-ZI
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - I-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini - Kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I katika sentensi - Kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchopoa nomino za ngeli ya I-ZI na I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI na I-I katika sentensi na mafungu ya maneno akishirikiana na wenzake - Kutaja majina katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI na I-I akiwa na wenzake |
Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 90
Chati za ngeli Kadi maneno Tarakilishi KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 92-94 Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua nomino za ngeli ya I-ZI
Kutambua viambishi vya upatanisho
Kutaja majina mazingireni
Kutunga sentensi
|
|
| 5 | 1 |
MAJUKUMU YA MNUNUZI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /k/ na /gh/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua sauti /k/ na /gh/ katika silabi na maneno - Kutamka sauti /k/ na /gh/ ipasavyo katika silabi na maneno - Kutumia maneno yenye sauti /k/ na /gh/ ipasavyo katika matini ili kuyatofautisha kimatamshi - Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /k/ na /gh/ katika mazungumzo ya kawaida |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /k/ na /gh/ katika maneno na silabi akishirikiana na wenzake - Kutambua maneno yenye sauti /k/ na /gh/ katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo akiwa na wenzake - Kutunga vitanzandimi vinavyotumia sauti /k/ na /gh/ na kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali - Kushiriki mazungumzo na mzazi au mlezi wake kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /k/ na /gh/ |
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti /k/ na /gh/?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 95
Vifaa vya kidijitali Mti maneno Kadi za maneno Matini za mwalimu Chati za maneno |
Kutambua sauti /k/ na /gh/ katika maneno
Kutunga vitanzandimi
Orodha hakiki ya maneno yenye sauti hizo
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
|
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi - Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi - Kueleza maana ya msamiati na vifungu vya maneno katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi - Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi - Kuchangamkia usomaji wa ufahamu shawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini) - Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi akishirikiana na wenzake - Kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake - Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake |
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 96
Vifaa vya kidijitali Kamusi Matini za ushawishi Matini mbalimbali |
Kudondoa habari mahususi
Kutabiri matukio
Kueleza maana ya msamiati
Kujadili ushawishi
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi (Ukuzaji wa Wazo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi - Kujadili vipengele vinavyojenga wazo katika aya kuhusu insha ya masimulizi - Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika aya ipasavyo - Kufurahia utunzi wa insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa wazo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho) katika insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi na za kidijitali - Kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali akishirikiana na wenzake - Kushirikiana na wenzake kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi - Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo |
Je, unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 98
Mifano ya insha za masimulizi Vifaa vya kidijitali Matini za mwalimu KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 99 Vidokezo vya uandishi |
Kutambua vipengele vya kujenga wazo
Kujadili ukuzaji wa wazo
Kuandika vidokezo
Kujenga mpangilio
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - U-U na U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya U-U na U-YA katika matini - Kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA katika sentensi - Kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U-YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U-YA ipasavyo ili kuimarisha umilisi wa lugha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchopoa nomino za ngeli ya U-U na U-YA kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akishirikiana na wenzake - Kutenga nomino za ngeli ya U-U na U-YA katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, vifaa vya kidijitali, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari akishirikiana na wenzake - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-U na U-YA katika sentensi na vifungu akishirikiana na wenzake - Kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhusu suala lengwa kwa kutumia nomino za ngeli ya U-U na U-YA |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-U?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 100
Chati za ngeli Kadi za maneno Vifaa vya kidijitali KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 103 Matini za mwalimu Kadi za nomino |
Kutambua nomino za ngeli U-U na U-YA
Kutambua upatanisho wa kisarufi
Kutunga sentensi sahihi
Orodha hakiki
|
|
| 6 | 1 |
KUKABILIANA NA HISIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja - Kutoa mazungumzo kwa kuzingatia vidokezo vya hoja - Kuchangamkia kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja akishirikiana na wenzake - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja akishirikiana na wenzake - Kusikiliza mazungumzo yanayotumia vidokezo vya hoja kutoka kwenye vifaa vya kidijitali - Kuandaa vidokezo vya mazungumzo kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake |
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 120
Vifaa vya kidijitali Chati ya vipengele Vidokezo vya mazungumzo Picha za kuongoza Matini za mwalimu |
Kueleza maana ya vidokezo
Kutambua vipengele
Kuandaa vidokezo
Kushiriki mazungumzo
|
|
| 6 | 2 |
Kusoma
|
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua habari mahususi katika kifungu cha mjadala - Kutofautisha hoja za kuunga mkono na za kupinga katika mjadala - Kujadili maudhui ya mjadala - Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ili kuboresha umilisi wa lugha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala kuhusu kukabiliana na hisia kutoka kwenye vitabu au vifaa vya kidijitali - Kutambua habari mahususi katika kifungu cha mjadala - Kutofautisha hoja za kuunga mkono na za kupinga katika mjadala akishirikiana na wenzake - Kudondoa hoja kuu za mjadala na kuziandika daftarini |
Je, ni kwa njia gani tunaweza kutofautisha hoja za kuunga mkono na za kupinga katika mjadala?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 151
Vifungu vya mijadala Kamusi Vifaa vya kidijitali Matini za mijadala Chati za hoja |
Kutambua habari mahususi
Kutofautisha hoja
Kudondoa hoja kuu
Kujadili maudhui
|
|
| 6 | 3 |
Kuandika
|
Barua ya Kuomba Msaada
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua ujumbe unaofaa katika barua ya kuomba msaada - Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kuomba msaada - Kujadili muundo wa barua ya kuomba msaada - Kuandika barua ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya barua ya kuomba msaada akishirikiana na wenzake - Kutambua ujumbe unaofaa katika barua ya kuomba msaada - Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kuomba msaada - Kujadili muundo wa barua ya kuomba msaada akishirikiana na wenzake - Kusoma kielelezo cha barua ya kuomba msaada katika kitabu |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kuomba msaada?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 113
Mifano ya barua za kuomba msaada Vifaa vya kidijitali Matini za mwalimu Karatasi za kuandikia Mfano wa barua |
Kutambua ujumbe
Kueleza lugha ifaayo
Kujadili muundo
Kusoma mifano
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitenzi na Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini - Kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo katika matini - Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kinyume akishirikiana na wenzake - Kutambua vinyume vya vitenzi katika sentensi na vifungu - Kutambua vinyume vya vielezi katika sentensi na vifungu - Kulinganisha picha za A na B ili kutambua vitendo vinavyopingana - Kuchagua kitenzi na kinyume chake kwenye wingu la maneno |
Je, kuna vinyume gani vya vitenzi unavyovijua?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 115
Picha za vitendo Wingu la maneno Chati za vinyume KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 117 Orodha ya vinyume Matini za mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vinyume vya vitenzi
Kutambua vinyume vya vielezi
Kulinganisha picha
Kuchagua vinyume
|
|
| 7 | 1 |
HAKI ZA WATOTO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kueleza maana ya kusikiliza kwa makini - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa makini - Kusikiliza matini kwa makini na kutambua ujumbe - Kuchangamkia kusikiliza kwa makini katika mazungumzo mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kusikiliza kwa makini akishirikiana na wenzake - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa makini - Kusikiliza habari kuhusu haki za watoto kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mwalimu au mgeni mwalikwa - Kudondoa habari muhimu kutoka kwenye habari aliyosikiliza - Kujadili ujumbe wa habari aliyosikiliza akishirikiana na wenzake |
Je, unazingatia nini unaposikiliza habari ili upate ujumbe kamili?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 132
Vifaa vya kidijitali Habari za kusikiliza Chati ya vipengele Maswali ya ufahamu Matini za mwalimu |
Kueleza maana ya kusikiliza kwa makini
Kutambua vipengele
Kudondoa habari muhimu
Kujadili ujumbe
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo - Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu kuhusu haki za watoto katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) |
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 134
Vifungu vya kusoma Vifaa vya kidijitali Chati ya vipengele Matini mbalimbali Chati ya tathmini |
Kujadili vipengele vya ufasaha
Kusoma kwa matamshi bora
Kusoma kwa kasi ifaayo
Kusoma kwa sauti ifaayo
|
|
| 7 | 3 |
Kuandika
|
Hotuba ya Kutoa Ufafanuzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi - Kutambua vipengele vya hotuba ya kutoa ufafanuzi - Kujadili muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi - Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kwa kuzingatia vipengele vyake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi akishirikiana na wenzake - Kutambua vipengele vya hotuba ya kutoa ufafanuzi kutoka kwenye mifano - Kujadili muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi - Kusoma kielelezo cha hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu haki za watoto - Kuandaa muhtasari wa hotuba ya kutoa ufafanuzi |
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi katika hotuba ya kutoa ufafanuzi?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 136
Mifano ya hotuba Vifaa vya kidijitali Muhtasari wa hotuba Karatasi za kuandikia Chati ya tathmini |
Kueleza maana ya hotuba
Kutambua vipengele
Kujadili muundo
Kuandaa muhtasari
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutendeka, Kutendewa, Kutendatenda
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi - Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda - Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo - Kuchangamkia kutumia kauli mbalimbali za vitenzi ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi akishirikiana na wenzake - Kusoma maneno katika jedwali na kutambua mabadiliko katika vitenzi - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendeka katika kadi mbalimbali - Kubadilisha vitenzi kuwa katika kauli ya kutendeka - Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka |
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
|
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 126
Jedwali la vitenzi Kadi za vitenzi Chati za kauli KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 128 Orodha ya vitenzi Vifaa vya kidijitali Matini za mwalimu |
Kueleza mnyambuliko wa vitenzi
Kutambua kauli ya kutendeka
Kubadilisha vitenzi
Kutunga sentensi
|
|
| 8 | 1 |
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua habari muhimu katika matini ya kusikiliza - Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha - Kujadili jinsi habari zinavyofuatana - Kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza habari kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa - Kutambua habari muhimu - Kueleza maana ya msamiati - Kuwasilisha hoja kwa wenzake |
Je, ni kwa nini muhimu kusikiliza kwa makini maelezo ya daktari?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 132
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kueleza habari
Kuorodhesha hoja
Kujadili msamiati
Kuwasilisha kwa wenzake
|
|
| 8 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuwasilisha hoja za habari - Kujadili jinsi hoja zinavyofuatana - Kutafiti video kuhusu ugonjwa - Kueleza ujumbe wa video |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuwasilisha hoja za habari aliyosikiliza - Kujadili hoja na wenzake - Kutafiti video mtandaoni - Kumweleza mzazi habari muhimu |
Je, ni mambo gani muhimu yanayotokana na ugonjwa usioambukizwa?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 133
Video za kielimu Kifaa cha kidijitali |
Kuwasilisha hoja
Kujadili kwa kikundi
Kujitathmini
Kuelezea mzazi
|
|
| 8 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kwa matamshi bora - Kuzingatia kasi ifaayo ya kusoma - Kutumia sauti ipasavyo - Kujitathmini ubora wa usomaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu "Saratani" kwa ufasaha - Kuzingatia matamshi bora - Kupima kasi ya usomaji - Kujadili sauti na ishara |
Je, unazingatia mambo gani wakati wa kusoma kwa ufasaha?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 134
Kifungu "Saratani" Saa ya kukagulia muda |
Kusoma kwa ufasaha
Kupima kasi ya kusoma
Kutathmini sauti
Kutumia ishara
|
|
| 8 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kwa kutumia ishara - Kujitathmini stadi za usomaji - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha - Kuboresha mbinu za kusoma |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kwa kutumia ishara za uso na mikono - Kujitathmini uwezo wa kusoma - Kupima kasi ya usomaji - Kuboresha usomaji wake |
Je, ishara za uso na mikono zinachangia vipi katika usomaji?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 135
Jedwali la kujitathmini Matini ya mazoezi |
Kusoma kwa ishara
Kujitathmini
Kupima kasi
Kuboresha usomaji
|
|
| 9 |
Mid term break |
||||||||
| 10 | 1 |
Kuandika
|
Hotuba ya Kutoa Ufafanuzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya hotuba ya ufafanuzi - Kutambua vipengele vya hotuba - Kujadili lugha inayofaa - Kuchangamkia kuandika hotuba |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili hotuba za ufafanuzi - Kusoma kielelezo cha hotuba - Kutambua ujumbe na muundo - Kujadili lugha ya hotuba |
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi vya hotuba ya ufafanuzi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 136
Picha za maelezo Kielelezo cha hotuba |
Kutambua vipengele
Kujadili muundo
Kueleza lugha
Kutofautisha hotuba
|
|
| 10 | 2 |
Kuandika
|
Hotuba ya Kutoa Ufafanuzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika hotuba ya ufafanuzi - Kuzingatia muundo ufaao - Kutumia lugha sahihi - Kuwasilisha hotuba darasani |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafiti kuhusu msongo wa mawazo - Kuandika vidokezo vya hotuba - Kuandika hotuba kamili - Kuiwasilisha darasani |
Je, unazingatia nini unapoandika hotuba ya ufafanuzi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 137
Vifaa vya kidijitali Matini ya utafiti |
Kuandika hotuba
Kuwasilisha darasani
Kupokea maoni
Kurekebisha
|
|
| 10 | 3 |
Sarufi
|
Sentensi Changamano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya sentensi changamano - Kutambua vipande vya sentensi - Kujadili muundo wa sentensi - Kuchangamkia kutumia sentensi changamano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma vipande vya sentensi - Kutambua kipande kinachojisimamia - Kueleza maana ya sentensi changamano - Kujadili muundo wake |
Je, ni tofauti gani kati ya sentensi rahisi na changamano?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 138
Jedwali la mifano Vipande vya sentensi |
Kutambua vipande
Kueleza tofauti
Kujadili muundo
Kutunga mifano
|
|
| 10 | 4 |
Sarufi
|
Sentensi Changamano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutunga sentensi changamano - Kutambua sentensi changamano - Kupata ushauri wa mwalimu - Kuchangamkia kutumia sentensi sahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua sentensi changamano - Kutunga sentensi tano changamano - Kubadilishana na wenzake - Kupata ushauri wa mwalimu |
Je, unatunga vipi sentensi changamano sahihi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 139
Orodha ya sentensi Matini ya mazoezi |
Kutunga sentensi
Kubadilishana
Kurekebisha
Kupata ushauri
|
|
| 11 | 1 |
HESHIMA KWA TAMADUNI ZA WENGINE
Kusikiliza na Kuzungumza |
Wahusika katika Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua wahusika katika hadithi - Kueleza sifa za wahusika - Kujadili jukumu la wahusika - Kuchangamkia uchambuzi wa wahusika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafuta video ya hadithi mtandaoni - Kusikiliza hadithi kwa makini - Kutambua wahusika - Kumsimulia mzazi hadithi |
Je, wahusika wana jukumu gani katika hadithi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 141
Video za hadithi Kifaa cha kidijitali |
Kutambua wahusika
Kueleza sifa
Kusimulia
Kujadili jukumu
|
|
| 11 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Wahusika katika Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza sifa za wahusika - Kujadili mienendo ya wahusika - Kulinganisha wahusika - Kuchangamkia uchunguzi wa kina |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili sifa za wahusika - Kulinganisha wahusika mbalimbali - Kueleza mienendo yao - Kutoa mifano ya wahusika |
Je, ni sifa gani za muhimu za muhusika katika hadithi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 141
Chati za wahusika Matini ya hadithi |
Kueleza sifa
Kulinganisha
Kujadili mienendo
Kutoa mifano
|
|
| 11 | 3 |
Kusoma
|
Mbinu za Lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mbinu za lugha - Kueleza matumizi ya mbinu hizo - Kujadili umuhimu wa mbinu - Kuchangamkia utafiti wa mbinu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua mbinu za lugha kwenye tamthilia - Kueleza maana ya kila mbinu - Kufafanua athari za mbinu - Kujadili umuhimu wake |
Je, mbinu za lugha zinachangia vipi katika tamthilia?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 142
Tamthilia iliyoteuliwa Kadi za mbinu za lugha |
Kutambua mbinu
Kueleza maana
Kufafanua athari
Kujadili umuhimu
|
|
| 11 | 4 |
Kusoma
|
Mbinu za Lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza athari za mbinu za lugha - Kujadili umuhimu wa mbinu - Kuweka rekodi ya kujifunza - Kuchangamkia utunzi wa kazi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza athari za mbinu - Kujadili umuhimu wa mbinu - Kujaza jedwali la "Shajara yangu" - Kuweka rekodi ya ujifunzaji |
Je, mbinu za lugha zinasaidia vipi msomaji kuelewa ujumbe?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 143
Jedwali la "Shajara yangu" Tamthilia ya kurejelea |
Kueleza athari
Kujadili umuhimu
Kujaza jedwali
Kuweka rekodi
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya insha ya maelezo - Kujadili lugha ya kujenga picha - Kueleza sifa za mahali - Kuchangamkia uandishi wa maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo "Uwanja wa sherehe" - Kutambua vipengele vya lugha - Kujadili vipengele vya insha - Kueleza sifa za mahali |
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapoeleza mahali?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 145
Kielelezo "Uwanja wa sherehe" Picha za maeneo |
Kutambua vipengele
Kujadili lugha
Kueleza sifa
Kuchambua picha
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika insha ya maelezo - Kutumia lugha ya kujenga picha - Kuwasilisha insha darasani - Kuchangamkia utunzi wa kielelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua mada ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo - Kutathmini insha kwa jedwali - Kuwasilisha kwa wenzake |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 146
Jedwali la tathmini Mwongozo wa uandishi |
Kuandika insha
Kutathmini
Kuwasilisha
Kurekebisha
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa Hali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji - Kutambua ukanushaji wa hali - Kujadili mabadiliko yanayotokea - Kuchangamkia matumizi sahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na ukanushaji wake - Kueleza maana ya ukanushaji - Kutambua mabadiliko - Kujadili kanuni za ukanushaji |
Je, ni mabadiliko gani yanayotokea unapokanusha sentensi?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 147
Jedwali la mifano Sentensi za mazoezi |
Kutambua ukanushaji
Kueleza mabadiliko
Kujadili kanuni
Kulinganisha
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa Hali ya Mazoea na Timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kanusha hali ya mazoea - Kanusha hali timilifu - Kutumia ukanushaji sahihi - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi za hali ya mazoea - Kusoma sentensi za hali timilifu - Kanusha sentensi mbalimbali - Kutunga sentensi sahihi |
Je, kuna tofauti gani katika kanusha hali ya mazoea na timilifu?
|
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 148
Sentensi za mazoezi Orodha ya hali mbalimbali |
Kanusha hali
Kutumia sahihi
Kutunga sentensi
Kutofautisha
|
|
Your Name Comes Here