If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno -Kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha -Kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu au watu katika mazingira yake (k.m.: Mwalimu mzuri, njia ndefu, kijiko kichafu)
-Kutambua vivumishi vya sifa (k.v. – zuri, -baya, -refu, -fupi, -ekundu, hodari) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi vya sifa katika sentensi |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Chati ya vivumishi vya sifa -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha -Kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali -Kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo karibu naye, mbali naye na mbali kabisa (k.m: Kitabu hiki/hicho/kile)
-Kutambua vivumishi viashiria (k.v. huyu, huyo, yule, hivi, hivyo, vile) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi viashiria katika sentensi |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 14
-Chati ya vivumishi viashiria -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha -Kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali -Kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kutambua vivumishi viashiria katika kifungu
-Kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake -Kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa -Kutunga sentensi sahihi akitumia vifaa vya kidijitali |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 14
-Chati ya vivumishi viashiria -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi -Kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali -Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano |
- Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi ili kuibainisha
-Kutambua vivumishi vimilikishi (k.v –angu, - ako, -ake, -etu, -ao n.k.) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 16
-Chati ya vivumishi vimilikishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 3 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Heshima, Adabu na Vyeo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano, -kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kuyatumia kwa usahihi katika mawasiliano, -kuthamini kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno ya heshima (k.v. shehe, kasisi, padre, mwadhini, mheshimiwa, rais, mtawa) kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno, -kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu. |
Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti?
-Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 54
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 3 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Heshima, Adabu na Vyeo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano, -kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kuyatumia kwa usahihi katika mawasiliano, -kuthamini kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi, -kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya heshima kwenye tarakilishi na video, -kuigiza mazungumzo mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa heshima. |
Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti?
-Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 56
-Vifaa vya kidijitali -Video |
|
|
| 3 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali anaposoma, -kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili na wenzake kuhusu hatua za kiusalama na maadili anayofaa kuzingatia anapotafuta na kusoma matini ya kidijitali, -kujadili na wenzake kuhusu utunzaji wa vifaa vya kidijitali anavyotumia katika usomaji. |
Kusoma matini ya kidijitali kuna manufaa gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 57
-Vifaa vya kidijitali -Mitandao salama Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 59 |
|
|
| 3 | 4 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua barua rasmi kwa kuzingatia muundo wake, -kutambua vipengele vya barua rasmi ili kuvizingatia katika uandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua barua rasmi kwenye kielelezo cha barua rasmi iliyochapishwa au kwenye tarakilishi, -kujadili vipengele vya barua rasmi (k.v. anwani ya mwandishi, anwani ya mpokeaji, mtajo, mada ya barua, mwili, hitimisho, sahihi na jina la mwandishi). |
Barua rasmi ni barua ya aina gani?
-Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 61
-Kielelezo cha barua rasmi -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Barua Rasmi
Ngeli ya YA-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo, -kuchangamkia umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika barua rasmi kwa mwalimu akiomba kujiunga na klabu shuleni (k.v. vile skauti, mazingira, kilimo na muziki), -kuandika barua rasmi katika daftari akiwa peke yake, -kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. |
Barua rasmi ni barua ya aina gani?
-Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 63
-Kielelezo cha barua rasmi -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 64 -Kapu la maneno |
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya YA-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA kutokana na upatanisho wa kisarufi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya YA-YA kwa kushirikiana na wenzake. |
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 66
-Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya YA-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutumia nomino za ngeli ya YA –YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujaza mapengo kwa kutumia viambishi mwafaka vya ngeli ya YA-YA, -Geuza sentensi hizi ziwe katika umoja. |
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 67
-Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya YA-YA
Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Tunga sentensi tatu katika umoja ukitumia nomino katika ngeli ya YA-YA, -Tunga sentensi tatu katika wingi ukitumia nomino katika ngeli ya YA-YA. |
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 68
-Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 69 -Chati |
|
|
| 5 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutumia methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mawasiliano, -kuchangamkia matumizi ya methali zinazohimiza umoja na ushirikiano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza methali za umoja na ushirikiano zikitumiwa kupitia vyombo vya kidijitali, -kujadili na wenzake maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano, -kulinganisha methali na maana yake, -kukamilisha methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mazungumzo akishirikiana na wenzake. |
Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
-Ni methali gani unazozijua kuhusu umoja na ushirikiano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 71
-Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili dhana za ukwapi na utao katika shairi ili kuzibainisha, -kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa kuzingatia muundo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili ukwapi na utao katika shairi, -kutambua ukwapi na utao katika shairi kwenye ubao, chati, vitabu au vyombo vya kidijitali, -kusoma shairi akizingatia ukwapi na utao. |
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 72
-Chati -Vitabu vya mashairi -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 5 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia ili kupata ujumbe. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujirekodi akisoma aina za mashairi lengwa akitumia vyombo vya kidijitali ili kuweza kujirekebisha anakokosea, -kutofautisha mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwenye ubao, chati, vitabu au vifaa vya kidijitali, -kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia katika matini mbalimbali. |
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 73
-Chati -Vitabu vya mashairi -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 75 |
|
|
| 5 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali, -kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi, -kujadili vidokezo vya insha ya maelezo atakavyovitumia katika kuandika insha yake, -kuonyesha umilisi wa ubunifu kwa kuandika insha ya maelezo. |
Insha ya maelezo ina sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 76
-Kielelezo cha insha ya maelezo -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Maelezo
Ngeli ya U-U |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia utunzi bora maishani. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika insha ya maelezo (k.v. Siku ya sherehe ya kitaifa, Siku ya michezo ya kitaifa, Nchi yetu, n.k) isiyopungua maneno 200 akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na lugha ya kiubunifu, -kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya maelezo na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu. |
Insha ya maelezo ina sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 77
-Kielelezo cha insha ya maelezo -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 78 -Kadi za maneno -Mti wa maneno |
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-U
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutumia nomino za ngeli ya U - U katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya U-U katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya U-U kwa kushirikiana na wenzake. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 79
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-U
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-U katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Jaza mapengo kwa nomino za ngeli ya U-U ili kukamilisha sentensi zifuatazo, -Andika nomino hizi katika wingi, -Tunga sentensi katika umoja ukitumia nomino hizi, -Tunga sentensi tano ukitumia nomino za ngeli ya U-U katika wingi. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 81
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 6 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kukariri au kuimba shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia, matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali ili kukuza matamshi bora, -kueleza maana ya maneno yenye sauti lengwa yaliyotumika katika shairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza shairi kuhusu suala lengwa na lenye maneno yenye sauti lengwa (d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng) likikaririwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali, -kukariri akishirikiana na wenzake, shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali, -kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika shairi. |
Kwa nini
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 82
-Nakala ya shairi -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 84 |
|
|
| 7 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili mambo ya kuzingatia katika kuchagua makala ya kusoma katika maktaba, -kutambua makala atakayosoma katika maktaba. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza umuhimu wa kusoma kwa mapana, -kujadili mambo ya kuzingatia anapochagua matini za kusoma katika maktaba (k.v. makala yanayoambatana na umri, ukubwa wa maandishi, ujumbe anaotaka kuupata), -kuchagua makala mbalimbali kuhusu suala lengwa katika maktaba (makala yaliyochapishwa au katika kifaa cha kidijitali). |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mazoea ya kusoma makala au hadithi?
-Kusoma makala kuhusu usawa wa kijinsia kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 85
-Makala mbalimbali -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma makala aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa, -kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma makala alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa, -kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha, -kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati. |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mazoea ya kusoma makala au hadithi?
-Kusoma makala kuhusu usawa wa kijinsia kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 88
-Makala mbalimbali -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 7 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu ili kuibainisha, -kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia sifa zake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kukuza hamu ya ujifunzaji kwa kutazama nakala za insha ya wasifu kwenye chapa au kwenye tarakilishi, -kutambua vipengele muhimu vya kimuundo (k.v. kichwa, mwili, hitimisho) katika uandishi wa insha ya wasifu, -kukuza umilisi wa mawasiliano na ushirikiano kwa kujadili na wenzake kuhusu mada mbalimbali zinazoweza kutungiwa insha za wasifu. |
Insha ya wasifu ina sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 89
-Kielelezo cha insha ya wasifu -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 90 |
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino katika ngeli ya I - I katika sentensi ili kuzibainisha, -kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I - I katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya I-I katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi, -kutambua nomino katika ngeli ya I-I kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati). |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 91
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 8 |
Mid term |
||||||||
| 9 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutumia nomino za ngeli ya I - I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya I-I katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya I-I kwa kushirikiana na wenzake. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 92
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 94 |
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Tunga sentensi ukitumia nomino hizi za ngeli ya I-I, -Tafuta sentensi zenye nomino za ngeli ya I-I kisha uziandike katika daftari lako. Linganisha orodha yako na ile ya wenzako darasani. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 95
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 9 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Nahau
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika matini mbalimbali, -kujadili maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano ili kuzitofautisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nahau za kazi na ushirikiano (k.v. chapa kazi, kunja jamvi, changa bia, sema kwa sauti moja, fanya itifaki) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno, chati, kamusi na katika vyombo vya kidijitali, -kujadili na wenzake maana za nahau za kazi na ushirikiano kwa kutoa mifano. |
Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 96
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kapu maneno -Mti maneno |
|
|
| 9 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Nahau
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano, -kuthamini matumizi ya nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuambatanisha nahau na maana yake, -kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake, -kusakura mtandaoni ili kupata nahau zaidi za kazi na ushirikiano na maana zake na kuziandika, -kujadili na wenzake nahau alizozipata ili kuelimishana. |
Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 98
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kapu maneno -Mti maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 99 -Matini mbalimbali |
|
|
| 10 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa, -kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusimulia ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake, -kujadiliana na wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao. |
Unapenda kusoma matini ya aina gani?
-Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 101
-Matini mbalimbali -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 10 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa, -kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma matini mbalimbali kuhusu majanga na jinsi ya kuyazuia, -kusimulia ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake, -kujadiliana na wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao. |
Unapenda kusoma matini ya aina gani?
-Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 102
-Matini mbalimbali -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 10 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili maudhui ya insha ya maelezo ili kukuza ubunifu, -kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, mtiririko, sarufi, muundo na mtindo ufaao. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya insha za maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi (k.v. maelezo kuhusu kuzuia mmomonyoko wa udongo, mafuriko, mitetemeko ya ardhi, mkurupuko wa magonjwa kama vile kipindupindu), -kujadili mada na vidokezo vya insha insha atakayoiandika. |
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 102
-Kielelezo cha insha ya maelezo -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 104 |
|
|
| 10 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya PA-KU-MU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU ili kuzibainisha, -kuandika nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi, -kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, -kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v: huku, humu, hapa, hapo, huko, humo, pale, kule, mle), -kuandika nomino katika ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kubadilisha sentensi zenye nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi, -kutunga sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya PA-KU-MU akiwa peke yake au kwa kwa kushirikiana na wenzake, -kujaza mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya PA-KU-MU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi. |
Nonimo katika ngeli ya PA-KU-MU ni gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 108
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 11 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno -kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano -kuthamini matumizi ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti wa maneno, tarakilishi, n.k. -kueleza maana ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa kwa kujadiliana na wenzake -kuambatanisha maneno zaidi ya matatu yaliyo na maana sawa katika kapu la maneno -kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati -kujadili visawe mbalimbali akiwa na wenzake -kutumia kisawe kimoja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi. |
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 108
-Kadi za maneno -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi -Picha -Michoro kwenye chati |
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha -kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe na msamiati wa suala lengwa -kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari -kuonea fahari nafasi ya mchezo wa kuigiza katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya mchezo wa kuigiza akishirikiana na wenzake -kujadili na wenzake sifa za mchezo wa kuigiza (k.v. huwa na wahusika, kuna mazungumzo, maelekezo) -kusoma mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe -kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza -kushiriki katika majadiliano kuhusu msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza -kujibu maswali kutokana na mchezo aliousoma -kutoa muhtasari wa ujumbe ulio katika mchezo wa kuigiza -kutazama mchezo mfupi wa kuigiza shuleni au kwenye vifaa vya kidijitali -kushiriki katika mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza. |
1. Je, mchezo wa kuigiza una sifa gani?
-2. Umewahi kushiriki katika mchezo gani wa kuigiza?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 111
-Vitabu vya mchezo wa kuigiza -Vifaa vya kidijitali -Chati -Michezo ya kuigiza |
|
|
| 11 | 3 |

| 11 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Insha za Masimulizi |

-Vitabu vya mchezo wa kuigiza -Vifaa vya kidijitali -Chati -Michezo ya kuigiza Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 116 -Vielelezo vya insha -Vitabu vya hadithi |
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi -kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo -kuchangamkia utunzi mzuri katika uandishi wa insha ya masimulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi -kujadili muundo wa insha ya masimulizi -kuonyesha ubunifu kwa kuandika insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia tukio linalohusiana na wanyama wa porini akizingatia nomino na vivumishi mbalimbali, mnyambuliko wa vitenzi, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa -kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya masimuizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza. |
Ni nini unachoweza kufanya ili uwe mwandishi bora wa insha?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 116
-Vielelezo vya insha -Vifaa vya kidijitali -Vitabu vya hadithi |
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendeana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vitenzi katika hali ya kutendeana katika matini -kutumia vitenzi katika hali za kutendeana ipasavyo katika sentensi -kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendeana katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendeana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali -kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake -kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi -kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi -kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 119
-Chati -Jedwali la mnyambuliko -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi |
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendesha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vitenzi katika hali ya kutendesha katika matini -kutumia vitenzi katika hali za kutendesha ipasavyo katika sentensi -kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendesha katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendesha katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali -kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake -kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi -kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi -kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 121
-Chati -Jedwali la mnyambuliko -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi |
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendua
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vitenzi katika hali ya kutendua katika matini -kutumia vitenzi katika hali za kutendua ipasavyo katika sentensi -kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendua katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali -kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake -kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi -kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi -kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 123
-Chati -Jedwali la mnyambuliko -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi |
|
|
Your Name Comes Here