Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TANO
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
MAPAMBO

Sarufi
Nomino Ambata
Kufika mwisho kipindi  mwanafunzi aweze:
a.  Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino.
b. Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
-c. Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino ambata (k.v askarikanzu, mbwamwitu, mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi.
- Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano.
- Kutumia nomino ambata katika sentensi na kuziandika katika daftari lake.
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Chati za nomino ambata
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino ambata Kueleza maana ya nomino ambata Kutunga sentensi zenye nomino ambata
2 2
Sarufi
Nomino Ambata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino.
- Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino ambata kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake.
- Kusakura mtandaoni ili kupata mifano zaidi ya nomino ambata na kuziandika katika daftari lake.
- Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino ambata.
Ni mifano gani ya nomino ambata unayojua?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye nomino ambata Kusakura mtandaoni mifano ya nomino ambata Kujaza pengo kwa nomino ambata
2 3
Sarufi
Kuandika
Nomino za dhahania
Kuandika kwa Tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali.
- Kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka.
- Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari, ukweli) kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali.
- Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano.
- Kutumia nomino za dhahania katika sentensi na kuziandika sentensi hizo daftarini mwake.
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Chati za nomino za dhahania
Kadi maneno
Mti maneno
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 46
Tarakilishi
Picha za sehemu za tarakilishi
Chati ya sehemu za tarakilishi
Kutambua nomino za dhahania Kueleza maana ya nomino za dhahania Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
2 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Sarufi
Matamshi Bora
Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora.
- Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika mashindano ya kutega na kutegua vitendawili darasani.
- Kubuni vitendawili vyao wenyewe kuhusu mapambo.
- Kusikiliza vitendawili kwenye kifaa cha kidijitali na kuvitegua.
Kutega na kutegua vitendawili kuna umuhimu gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 42
Orodha ya vitendawili
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 54
Maswali ya zoezi
Kutega na kutegua vitendawili Kubuni vitendawili vipya Ushiriki katika mashindano ya vitendawili
3 1
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua herufi kubwa katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia herufi kubwa (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia herufi kubwa ifaavyo.
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 55
Chati za matumizi ya herufi kubwa
Vifaa vya kidijitali
Kutambua herufi kubwa katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia herufi kubwa Kuandika sentensi zenye herufi kubwa
3 2
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua alama ya koma katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia koma (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia koma ifaavyo.
Kwa nini tunahitaji alama ya koma katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 57
Chati za matumizi ya koma
Vifaa vya kidijitali
Kutambua alama ya koma katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia koma Kuandika sentensi zenye koma
3 3
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua kikomo katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kikomo (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia kikomo ifaavyo.
Ni wakati gani tunatumia kikomo katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 59
Chati za matumizi ya kikomo
Vifaa vya kidijitali
Kutambua kikomo katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo Kuandika sentensi zenye kikomo
3 4
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Uakifishi
Kuandika kwa Tarakilishi
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua kiulizi katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia kiulizi ifaavyo.
- Kuandika sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali.
Unatumia alama ya kiulizi wakati gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 61
Chati za matumizi ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47
Tarakilishi
Picha za sehemu za tarakilishi
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 65
Picha
Chati ya maneno ya udugu
Kadi za maneno
Kutambua kiulizi katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia kiulizi Kuandika sentensi zenye kiulizi
4 1
SAA NA MAJIRA

Kusoma
Sarufi
Kuandika
Kusoma kwa Mapana
Ngeli I-ZI
Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali
- Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa
- Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuzingatia hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya kidijitali k.v. kufungua mitandao ifaayo
- Kutambua mitandao salama yenye matini inayohusu suala lengwa (saa na majira) na inayoafiki kiwango chake
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao
- Kusoma matini kwa kutumia vifaa vya kidijitali yanayojumuisha msamiati wa saa na majira
Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kidijitali?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 69
Tarakilishi/vipakatalishi
Picha
Mwongozo wa usalama mtandaoni
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 73
Kadi maneno
Tarakilishi/vifaa vya kidijitali
Chati ya ngeli ya I-ZI
Miti maneno
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71
Vielelezo vya baruapepe
Kielelezo cha muundo wa baruapepe
Kutambua hatua za kiusalama za kuzingatia mtandaoni Kutumia mitandao salama kusakura matini Kutoa muhtasari wa matini aliyosoma Kutumia msamiati wa saa na majira katika mawasiliano
4 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano
- Kutumia maneno ya heshima yanayohusiana na udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku
- Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake matumizi ya maneno ya udugu kama vile bwana, bibi, ndugu, binti, mama, mama mkubwa/mdogo, mjomba
- Kuigiza mazungumzo mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa udugu
- Kuambatanisha maneno ya udugu na maana zake
- Kutunga sentensi akitumia maneno ya udugu na kuzisoma kwa wenzake
- Kutamka kwa usahihi maneno ya udugu
Je, unaweza kuwatambua ndugu zako kwa kutumia maneno gani?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 67
Kadi maneno
Chati ya maneno ya udugu na vyeo
Picha za familia
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71
Vifaa vya kidijitali
Kamusi ya mtandaoni
Chati ya msamiati wa majira ya siku
Kutunga sentensi zenye maneno ya udugu Kutoa mifano ya matumizi ya maneno ya udugu Igizo la mazungumzo linalotumia maneno ya udugu ipasavyo Tathmini ya maigizo ya wenzake
4 3
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli ya I-ZI
Baruapepe
Methali: Methali Zinazohusu Bidii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
- Kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-ZI katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viambishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
- Kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
- Kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
- Kuunda sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya I-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake
Je, utajuaje viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI kwenye sentensi?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 74
Vifaa vya kidijitali
Orodha ya nomino za ngeli ya I-ZI
Mifano ya sentensi zenye nomino za ngeli ya I-ZI
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 72
Kielelezo cha baruapepe iliyokamilika
Mwongozo wa kuandika baruapepe
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 78
Chati ya methali
Orodha ya methali zinazohusu bidii
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya I-ZI Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya I-ZI kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi Kufanyiana tathmini ya sentensi
4 4
KUKABILIANA NA UMASKINI

Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mizani na vina katika shairi ili kuvibainisha
- Kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu
- Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vina na mizani katika shairi lililochapisha au la mtandaoni
- Kujadili vina na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au katika kikundi
- Kushirikiana na mwenzake kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe
- Kusikiliza shairi likisomwa kwa mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake
Je, ni nini kinachotofautisha mashairi na maandishi mengine?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 82
Mashairi mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Chati yenye mifano ya vina na mizani
Kutambua vina na mizani katika shairi Kusoma shairi kwa kuzingatia vina na mizani Kupigia mistari vina vya kati na vya mwisho Kueleza idadi ya mizani katika shairi
5 1
Sarufi
Ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI ili kuzibainisha
- Kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
- Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya U-ZI
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.m. uzi- nyuzi, ukuta-kuta, uta- nyuta, ubavu- mbavu, wakati-nyakati, ukucha-kucha na ufunguo-funguo, wimbo-nyimbo)
- Kuandika nomino katika ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 87
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Chati ya nomino za ngeli ya U-ZI
Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI Kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi Kupigia mstari nomino za ngeli ya U-ZI katika kifungu Kuorodhesha mifano ya nomino za ngeli ya U-ZI
5 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha ya Maelezo
Methali: Methali Zinazohusu Bidii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
- Kushirikiana na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya maelezo
- Kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha
- Kutambua mada ya insha mliyosoma
- Kujadili muundo wa insha hiyo
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 85
Vielelezo vya insha za maelezo
Vifaa vya kidijitali
Kielelezo cha muundo wa insha
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 80
Kamusi ya methali
Chati ya methali na maana zake
Kutambua vipengele vya insha ya maelezo Kueleza sifa za insha ya maelezo Kuorodhesha mambo muhimu ya kuzingatia katika insha ya maelezo Kutofautisha insha ya maelezo na aina nyingine za insha
5 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mizani na vina katika shairi ili kuvibainisha
- Kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu
- Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo
- Kusoma shairi "Tumeshinda Uchochole" akizingatia vina, mizani na ujumbe
- Kuandika ujumbe unaojitokeza katika shairi "Tumeshinda Uchochole"
- Kujibu maswali kuhusu vina, mizani na ujumbe wa shairi
Ujumbe gani unaweza kutolewa kupitia ushairi?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 84
Shairi la "Tumeshinda Uchochole"
Vifaa vya kidijitali
Mashairi mbalimbali
Kusoma shairi kwa kuzingatia vina na mizani Kujibu maswali kuhusu shairi Kueleza ujumbe unaojitokeza katika shairi Kufanya tathmini ya idadi ya mizani katika beti
5 4
Sarufi
Ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
- Kufurahia matumizi ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viambishi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini mwake au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
- Kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
- Kuunda sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya U-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake
- Kujaza nafasi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-ZI
Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi gani katika sentensi?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 91
Vifaa vya kidijitali
Chati ya viambishi vya ngeli ya U-ZI
Kadi za sentensi
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya U-ZI Kutunga sentensi zenye viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI Kufanyiana tathmini ya sentensi
6 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha ya Maelezo
Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali
- Kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili kuitolea maoni
Ni mambo gani unazingatia ili kuandika insha ya maelezo ya kuvutia?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 86
Vifaa vya kidijitali
Orodha hakiki ya mambo ya kuzingatia katika insha ya maelezo
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 94
Chati ya shairi la "Nawajibika"
Kamusi
Kuandika insha ya maelezo ifaayo Kutumia methali na nahau katika insha Kusahihisha makosa katika insha Kutathmini insha za wenzake
6 2
MAADILI

Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Makala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa makala
- Kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
- Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua makala mbalimbali kuhusu maadili
- Chagueni makala yanayowavutia miongoni mwa yale mliyotambua
- Someni makala mliyochagua
- Jadilini mmejifunza nini kutokana na makala hayo
Je, unafaa kuzingatia nini unapojichagulia makala ya kusoma?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 96
Makala mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Kutambua makala ya kusoma Kueleza ujumbe wa makala Kutambua msamiati muhimu katika makala Kutoa muhtasari wa makala
6 3
Sarufi
Ngeli ya U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
- Kuandika nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi
- Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya U-YA
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi u- katika umoja na zinazoanza kwa ma- katika wingi
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-YA kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu la maneno au kifaa cha kidijitali
- Kupiga mstari viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-YA katika sentensi
- Kujaza nafasi kwa viambishi vifaavyo vya ngeli ya U-YA
Je, nomino za ngeli ya U-YA huchukua viambishi gani katika sentensi?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 100
Kadi maneno
Chati ya nomino za ngeli ya U-YA
Picha zenye nomino za ngeli ya U-YA
Kutambua nomino za ngeli ya U-YA Kuandika nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-YA Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya U-YA
6 4
Kuandika
Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu
- Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
- Kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
- Jadilini sehemu mbalimbali za insha ya wasifu vifuatavyo kwenye insha mliyosoma: kichwa, utangulizi, mwili na hitimisho
- Jikiteni jinsi mada yenyewe, utangulizi, mwili na hitimisho vinaweza kumwelezea mtu, kitu, mnyama au mahali
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 98
Insha za wasifu
Vifaa vya kidijitali
Mchoro wa muundo wa insha ya wasifu
Kutambua vipengele vya muundo vya insha ya wasifu Kuchora mchoro wa muundo wa insha ya wasifu Kueleza vipengele vinavyojenga insha ya wasifu Kutofautisha insha ya wasifu na aina nyingine za insha
7 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Ushairi
Kusoma kwa Mapana: Makala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali
- Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi
- Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano
- Kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali
- Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kujadili ujumbe katika shairi
- Kujibu maswali yanayotokana na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati alioujifunza kutoka kwa shairi
- Kukariri shairi mbele ya darasa akizingatia matamshi bora na mahadhi
Je, shairi linalohusiana na maadili lina umuhimu gani?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 95
Mashairi mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Uchati wa msamiati wa maadili
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 97
Kamusi
Makala mbalimbali
Kukariri shairi kwa usahihi Kutambua ujumbe katika shairi Kutumia msamiati wa shairi katika sentensi Kufanya tathmini ya shairi zilizokaririwa
7 2
Sarufi
Ngeli ya U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-YA kwenye sentensi
- Kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi kwenye sentensi
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tunga sentensi ukitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja
- Andika sentensi ulizotunga katika wingi
- Wasomee wenzako sentensi ulizotunga
- Waombe wakutolee maoni
- Chagua jibu sahihi kujazia kila nafasi kwa viambishi vya ngeli ya U-YA
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-YA?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 101
Chati ya viambishi vya ngeli ya U-YA
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya U-YA Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya U-YA Kuandika sentensi katika umoja na wingi Kufanyiana tathmini ya sentensi
7 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha ya Wasifu
Nahau: Nahau za Usafi na Mazingira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu
- Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
- Kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua mada ya kutungia insha ya wasifu
- Jadili kuhusu mada uliyochagua na wenzako darasani
- Andaa vidokezo ambavyo vitakuongoza kuandika insha ya wasifu kuhusu mada uliyochagua
- Andika insha ya wasifu kwa kuzingatia vidokezo ulivyoandaa
Je, ni mada gani zinafaa kuandikiwa insha ya wasifu?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 99
Vifaa vya kidijitali
Orodha ya vipengele vya insha ya wasifu
Miongozo ya kuandika insha ya wasifu
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 104
Picha za nahau mbalimbali
Kadi za maneno
Chati ya nahau
Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo ufaao Kutumia lugha ya kiubunifu kuandika insha Kusahihisha makosa katika insha Kutoa tathmini ya insha za wenzake
7 4
ELIMU YA MAZINGIRA

Kusoma
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana: Matini
Ngeli ya KU-KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba
- kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa
- kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua aina mbalimbali za matini (kama vile vitabu, magazeti, na majarida) kwenye maktaba, tarakilishi au kadi za katalogi
- kutazama picha za matini mbalimbali na kujadili kuhusu aina za matini
- kujadili kuhusu nini kinachoonekana kwenye picha za matini mbalimbali
- kutambua matini ya kujisomea maktabani au mtandaoni
- kutambua matini inayomvutia kuisoma
1. Unapenda kusoma matini ya aina gani? 2. Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma? 3. Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 107
Picha za matini mbalimbali
Vitabu, magazeti na majarida
Vifaa vya kidijitali
Matini mbalimbali
Maktaba
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 112
Picha za vitendo
Sentensi zilizo na nomino za ngeli ya KU-KU
Orodha ya nomino za ngeli ya KU-KU
Kutambua aina mbalimbali za matini Kusoma matini aliyochagua Kueleza aina za matini Kujibu maswali kuhusu matini
8-9

MID TERM ASSESSMENT & MID TERM BREAK

10 1
Sarufi
Kuandika
Ngeli ya KU-KU
Kuandika Insha: Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua nomino katika ngeli ya KU-KU
- kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi
- kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya KU-KU
- kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KU-KU katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo mbalimbali na kutaja vitendo hivyo
- kutaja nomino za ngeli ya KU-KU kutokana na vitendo katika picha
- kutaja nomino nyingine za ngeli ya KU-KU
- kuchagua nomino za ngeli ya KU-KU kwenye mti maneno
- kuunda nomino za ngeli ya KU-KU kwa kutumia kiambishi ku- na kitenzi
- kuandika sentensi katika umoja na wingi
- kutunga sentensi kwa kutumia nomino za ngeli ya KU-KU
1. Ni vipi tunaweza kuunda nomino za ngeli ya KU-KU? 2. Je, nomino za ngeli ya KU-KU zinatofautiana vipi na nomino za ngeli nyingine?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 113
Picha za vitendo
Mti maneno
Jedwali la kuundika nomino za ngeli ya KU-KU
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 109
Matini ya insha ya maelezo
Mifano ya insha za maelezo
Chati ya muundo wa insha
Kuunda nomino za ngeli ya KU-KU Kutambua nomino za ngeli ya KU-KU Kuandika sentensi katika umoja na wingi Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU
10 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Nahau: Nahau za Usafi na Mazingira
Kusoma kwa Mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali
- kufafanua maana za nahau mbalimbali za usafi na mazingira kwa kutoa mifano
- kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano
- kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuchagua nahau za usafi na mazingira kwenye orodha (k.v. enda haja, piga chafya, onea kijicho, paka tope, piga milundi, enda mrama, changa bia, piga mswaki, futa vumbi, piga sulu)
- kueleza maana za nahau alizochagua
- kuambatanisha nahau ya usafi na mazingira na maana yake kwa usahihi
- kupigia mstari nahau za usafi na mazingira kwenye sentensi
- kutunga sentensi kutokana na picha zinazoonyesha nahau za usafi na mazingira
1. Je, watu hufanya nini kulinda mazingira? 2. Je, ni nini umuhimu wa kutumia nahau katika lugha?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 105
Orodha ya nahau
Picha zinazoonyesha nahau mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 108
Matini mbalimbali
Daftari za wanafunzi
Kutambua nahau za usafi na mazingira katika sentensi Kueleza maana za nahau Kutunga sentensi zenye nahau za usafi na mazingira Kuambatanisha nahau na maana zake
10 3
Sarufi
Ngeli ya KU-KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU kwenye sentensi
- kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
- kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua viambishi vya ngeli ya KU-KU katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
- kutumia nomino za ngeli ya KU-KU katika sentensi akiwa na wenzake
- kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya KU-KU
- kuunda sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya KU-KU
- kujaza nafasi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya KU-KU
1. Je, viambishi vya ngeli ya KU-KU hutumiwa vipi katika sentensi? 2. Kwa nini ni muhimu kujua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 115
Sentensi zenye viambishi vya ngeli ya KU-KU
Vifaa vya kidijitali
Tepurekoda au kinasasauti
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 116
Kiungo cha sauti:
Orodha ya nomino za ngeli ya KU-KU
Sentensi zenye nafasi za kujaza
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KU-KU Kuunda sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya KU-KU Kutofautisha umoja na wingi wa ngeli ya KU-KU
10 4
Kuandika
Kuandika Insha: Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
- kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
- kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora
Mwanafunzi aelekezwe:
- kujadili mada mbalimbali kuhusu mazingira zinazoweza kuandikiwa insha ya maelezo
- kuchagua mada kati ya zile zilizojadiliwa
- kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha hiyo
- kuandika insha isiyopungua maneno 150 kuhusu mada aliyoichagua
- kusoma insha aliyoandika kwa wenzake ili waitolee maoni
- kurekebisha insha kulingana na maoni ya wenzake
- kuhifadhi insha hiyo katika potifolio
1. Je, ni vipengele gani muhimu vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo? 2. Kwa nini ni muhimu kutunza mazingira?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 111
Daftari la mwanafunzi
Mifano ya insha za maelezo
Vidokezo vya kuandaa insha
Kuandika insha ya maelezo Kuzingatia sifa za insha ya maelezo Kutumia vidokezo kuandika insha Kuwasilisha insha Kurekebisha insha
11 1
NDEGE WA PORINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Visawe
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini
- kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
- kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutambua maneno matatu yenye maana sawa (k.v. nyumbani, mastakimu, chengo; barabara, tariki, baraste; jitimai, huzuni, simanzi) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti maneno au kuburura kwa kutumia tarakilishi
- kueleza maana ya maneno matatu yenye maana sawa akiwa na wenzake
- kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa kutoka kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno
- kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au vyombo vya kidijitali
- kujadili visawe mbalimbali katika vikundi
Unajua maneno gani yenye maana sawa?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 118
Picha za ndege wa porini
Kadi za maneno
Kapu la maneno
Mti maneno
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 121
Mchezo wa kuigiza "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO"
Orodha ya wahusika
Kutambua maneno matatu yenye maana sawa Kueleza maana ya visawe Kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa Kutunga sentensi kwa kutumia visawe
11 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
- kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha
- kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
- kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
- kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza
- kufurahia kusoma michezo na kuigiza
Mwanafunzi aelekezwe:
- kueleza maana za maneno kama vile 'mwewe', 'mbuni', 'chiriku', 'kasuku' na 'kukuziwa' jinsi yalivyotumika katika mchezo wa kuigiza
- kuandika ujumbe wa mchezo wa kuigiza kwa ufupi
- kuwasilisha muhtasari wa mchezo wa kuigiza kwa wenzake ili wautolee maoni
- kuigiza mchezo wa kuigiza kwa kuhakikisha wametilia mkazo maelekezo yaliyotolewa
- kusoma video ya mchezo wa kuigiza katika mtandao salama
- kujadili maelekezo yaliyotumiwa kwenye mchezo huo
1. Je, ujumbe wa mchezo wa kuigiza "SHIDA TUNAZOKABILIANA NAZO" ni upi? 2. Ni matatizo gani yanayowakumba ndege wa porini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 123
Mchezo wa kuigiza ulioandikwa
Video za mchezo wa kuigiza
Kamusi ya Kiswahili
Kueleza maana ya maneno Kuandika muhtasari wa mchezo wa kuigiza Kuigiza mchezo wa kuigiza kwa kuzingatia maelekezo Kujadili ujumbe wa mchezo wa kuigiza
11 3
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendewa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa katika matini ili kuvitofautisha
- kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa ipasavyo anapowasiliana
- kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha vitendo vinavyofanyiwa watu (k.v. somewa, pewa, bebewa, ombewa)
- kujadili vitendo vinavyofanyiwa wahusika katika picha
- kueleza kuwa vitenzi somewa, pewa, bebewa na ombewa viko katika kauli ya kutendewa
- kutambua vitenzi katika kauli ya kutendewa kwenye orodha ya vitenzi (chorewa, limia, pikiwa, imbia, andikiwa)
- kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendewa kwenye sentensi
- kuchagua sentensi zilizotumia vitenzi katika kauli ya kutendewa
Je, vitenzi vinabadilika vipi vikiongezewa viambishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 128
Picha zinazoonyesha watu wakifanyiwa vitendo
Orodha ya vitenzi
Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa
Kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa Kupigia mstari vitenzi katika kauli ya kutendewa Kuchagua sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa Kueleza maana ya kauli ya kutendewa
11 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendewa
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa katika matini ili kuvitofautisha
- kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa ipasavyo anapowasiliana
- kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuambatanisha vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa (anda - andikiwa, zima - zimiwa)
- kutaja vitenzi vingine vitano vilivyo katika kauli ya kutendewa
- kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa (pima - pimiwa, cheza - chezewa)
- kutunga sentensi katika kauli ya kutendewa akitumia vitenzi mbalimbali
- kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitolee maoni
1. Je, unaweza kutaja vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendewa? 2. Kauli ya kutendewa inatusaidiaje katika kuwasiliana?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 129
Jedwali la vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa
Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa
Daftari la mwanafunzi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 130
Picha zinazoonyesha vitendo katika kauli ya kutendeka
Chati ya vitenzi
Sentensi zenye vitenzi vya kauli ya kutendeka
Kuambatanisha vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendewa Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendewa Kuwasomea wenzake sentensi
12 1
Kuandika
Insha za Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kueleza sifa za insha ya masimulizi ili kuibainisha
- kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
- kuchangamkia utunzi mzuri
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma insha ya masimulizi kuhusu "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE"
- kutambua sifa za insha ya masimulizi
- kupambanua sehemu za insha hiyo (mada, utangulizi, mwili, hitimisho)
- kujadili maudhui ya insha hiyo
- kuandika vidokezo vya insha tofauti ya masimulizi kuhusu ndege wa porini
- kujadiliana na wenzake kuhusu vidokezo hivyo
Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 126
Insha ya masimulizi "CHANZO CHA TABIA ZA NDEGE"
Chati ya sifa za insha ya masimulizi
Daftari la mwanafunzi
Kutambua sifa za insha ya masimulizi Kupambanua sehemu za insha ya masimulizi (mada, utangulizi, mwili, hitimisho) Kueleza maudhui ya insha ya masimulizi Kuandika vidokezo vya insha ya masimulizi
12 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini
- kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
- kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- kuchagua kundi la maneno lenye visawe pekee (k.v. kandanda, kabumbu, soka)
- kueleza maana ya maneno aliyochagua
- kutaja visawe vingine vitatu anavyojua
- kushiriki katika mchezo ambapo mmoja anataja neno na mwingine anataja visawe viwili vya neno hilo
- kuambatanisha kila neno na visawe vyake kwenye jedwali
- kutamka sentensi upya kwa kutumia visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari
1. Je, mtu anaweza kutumia visawe wapi? 2. Kwa nini visawe ni muhimu katika lugha?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 119
Kadi za visawe
Jedwali la kuambatanisha maneno na visawe
Sentensi zenye maneno yaliyopigiwa mstari
Kuchagua maneno yenye visawe Kutaja visawe vya maneno Kuambatanisha maneno na visawe vyake Kutumia visawe katika sentensi
12 3
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
- kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha
- kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
- kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
- kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza
- kufurahia kusoma michezo na kuigiza
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutafuta video ya mchezo wa kuigiza katika mtandao salama
- kutaja wahusika katika mchezo huo wa kuigiza
- kueleza maelekezo yaliyotumiwa katika mchezo huo wa kuigiza
- kuandika ujumbe wa mchezo huo wa kuigiza kwa ufupi
- kusomea wenzake ujumbe huo ili wautolee maoni
- kuendelea kufanya mazoezi ya kuigiza mchezo alichosoma kwa kutumia maelekezo yafaayo
1. Kwa nini maelekezo ni muhimu katika mchezo wa kuigiza? 2. Ni maelekezo gani yaliyotumiwa katika mchezo wa kuigiza uliotazama?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 125
Video ya mchezo wa kuigiza
Kifaa cha kidijitali cha kutazama video
Mtandao salama
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 133
Picha zinazoonyesha vitendo katika kauli ya kutendana
Mraba wenye vitenzi mbalimbali
Sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendana
Kutaja wahusika katika mchezo wa kuigiza Kueleza maelekezo katika mchezo wa kuigiza Kuandika ujumbe wa mchezo wa kuigiza Kuigiza mchezo kwa kuzingatia maelekezo
12 4
Sarufi
Kuandika
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kutendewa, Kutendeka na Kutendana
Insha za Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matini ili kuvitofautisha
- kutumia vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasiliana
- kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- kubainisha kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana kwa vitenzi mbalimbali
- kutumia jedwali lililopeanwa kunyambua vitenzi katika kauli tatu: kutenda, kutendewa, kutendeka na kutendana
- kujaza nafasi kwa vitenzi katika kauli mwafaka
- kutunga sentensi kutumia vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana
- kuwasilisha kazi yake kwa mwalimu
1. Ni tofauti gani kati ya vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana? 2. Ni kauli ipi unaipenda zaidi kati ya kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana? Kwa nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 136
Jedwali la kunyambua vitenzi katika kauli mbalimbali
Sentensi zenye nafasi za kujaza
Daftari la mwanafunzi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 127
Vidokezo vya insha ya masimulizi
Potifolio
Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendewa, kutendeka na kutendana Kujaza nafasi kwa vitenzi katika kauli mwafaka Kutunga sentensi kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali Kubainisha tofauti kati ya kauli mbalimbali
13-14

END-TERM ASSESSMENTS & CLOSING


Your Name Comes Here


Download

Feedback